We jamaa unajua aseee ..mpaka una kera.. yani kikubwa burudani na unaitoa mpaka unapitiliza .. wish aiku nkikupe kazi truly.... On it.. naenjoy kukusikia ...nimecheki show yako ya turiani aseeee.. unajua unajua unajua miso..... The really show to enjoy is here .... Uko vizuri
hii ngoma jana imenipa nguvu ya kusoma usku mzima naiskiliza bila kuchoka ...nataka kuona Tv zote bongo zinarudia hii ngoma asubh mchana jion na usku...
Mwanzo nilidhani jamaa ana kamkoba,kumbe jamaa ana kakidumu Kuna mwamba ana kofia imevaliwa upande inaning'inia kama ulimi wa mbwa aliyechoka, Makoti yao sasa, Yaani jamaa nawaelewa sana
OYA HILI DUDE BALAA HAPA NIMESAHAU KAMA KUNA KAZI NAFANYA C NMEZIDIWA RAHA KWA HILI GIMA, EM NAOMBA LIKES ZA KUTOSHA TUWAPE NGUVU MISSO MISONDO🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂🎉🎉❤❤❤❤
Unaesoma comment hii mungu akupe afya njema na umri mrefu naamini kwa uwezo wake baada ya miaka kumi(10) tutakutana tena hapa kujikumbusha na hii ngoma❤
Mi nilijua WAHINDI Nikaisaka hii ngoma kwa uzuri wake daah kumbe misomisondo ndio katia huu utamu....BIG UP SANA MISONDO...UTAFIKA MBALI NA NAKUOMBEA KWA HILI ULILOFANYA UPATE MIALIKO MIKUBWA INDIA UPIGE HELA NYINGI SANAA NA UENDELEE KUPIGA HELA BRO
Nikipata nikikosa nalidhika na kidogo , oya mwanangu huli bonge la kazi oya bila kuchoka mwanangu mwanga nauwona bila chenga kabisa ,, LoLo ndo kazi bora katika kazi zako zote👏👏💪🤲🙏
Eh wabongo mambo yenu yapo kiwango tofauti kabisa jamani! This is beautiful. Mob respect from 🇰🇪. Wakenya mlete likes na trela!
Ila nyinyi wabongo Ubunfu mnao,mung awalinde🎉🎉🎉🎉
aisee ni🔥🔥🔥
Hii nyimbo niliiona Instagram nikaenda kutafta RUclips nikaikosa nika ikuta2 ya wahindi nikachoka leo nimeipata sasa like kwa misso❤❤❤❤
Ingia you tube Andika neha kakar tera gatha
Ina masaa 3 tangu iwekwe RUclips. Na ni remix ya hizo nyimbo za kihindi
Mimi pia 😂😂😂
Nyimbo ni nyingi wimbo ni mmoja
ruclips.net/video/js463UGu0-A/видео.html
❤kiukweli acheni rombaya inyimbo mzuri ingekuwa ameimba zuchu mungekubali wakati ajui mpeni mauwayake huyu mdada anajuwa 🎉
Sema Uyu Dogo Miso Misondo Anajua Sana Aise Ana Kipaji Uyu Dogo Atafika Mbali.
missomissondo umetisha mwnang
ruclips.net/video/zifZUMjys0k/видео.htmlsi=12MWwSCalEC265SY
Sanaaa
Inabidi umpe Dada maana miso misondo ana hatari
@@RASHIDMOHAMMEDI 😂😂
Mungu ni mwema sana, hawa jama a wanasonga, viewers 1.5 million sio swala dogo
Misso missondo umetisha
Sana pande za Mozambique 🇲🇿🇲🇿 asante
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
One love Maputo cidade hap nip na mm
wewe ni mtanzania au raia wa msumbiji?
Mozambique mnaongea kiswahili?
😊😊😊😊
Remix, casting, song visuals, choreography, dancers 🔥🔥🔥🔥🔥.... Salute for your good effort..comment from INDIA 🇮🇳 for TANZANIA 🇹🇿🇹🇿❤
welcome to TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@festohaule5243 Thank you 🙏🇹🇿❤
Welcome to Tanzania my sister @nidhisha123❤
Oky seaster thank you. From Tanzania
@@nidhisha.123 wolcome my sister to tanzania
huwa si mpenzi wa singeli ila hii ni hatari nimeipenda🌹
Weeh misso misondo umepiga nje apo misso misondo una hatari ndakupa dada 😂😂😂 na kukubali Sana ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥🌟🌟
Nawakilisha Wakenya wote kwa kusikiza pini hili Kali la Misosondoooo
Niko ndani babe
Aiseee, i love the minds behind the CREATIVITY LEVEL yenu, ni kubwa sana. Big up we love u
Wa kwanza kukoment tajir chuwa natak like zangu
Boss🙌
Aya poa😂😂😂😂😂😂.
Ubunifu huo endelea nao daaah , yaani ninailudialudia kuiangalia daaah hongera sana kk
Oyaaa wimbo tumewukubali kisenge yaani mpaka wunakera daah😂😂😂
Misso misondo wakali sana haiwote apo 🇹🇿🇹🇿salute pande za 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🙏 Asante wote
Apoamna mnacho kufanya mnakimedi ujinga🎉🎉🎉🎉🎉 😅❤2:32 2:33 2:34 2:34 akimwangalia miso misondo
Yoyote anaerudia kuangalia hii video mara kwa mara. Mungu akubariki ww na akupe kizazi chema. Lv all❤❤❤❤
Jaman nimerudia Mara mbili mbili lakini siichoki hii ngoma yan dah hata like tuy inatosha 😂😂❤
Dj ,,yupi mwenye moto kama miso kama Hamna gonga like 👍 ❤❤❤
Mushizo
Utawauaa😅@@ongeneraltv
Hap xawa anatsha san👍
Yeyote atakayesoma hii comment mungu akulinde ww na uzao wako🤲❤🤲❤🤲❤
Inshaalhaaaaaaaaaaaaaaaa
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Amin
Asante
Mu Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 tunabajuwa sana bantu bangu
I want carorb music 👍👍👍👍
Oyaa tu Enjoy haya maisha wengine unashanga wanakufa Kesho just enjoy the moment we have now 😂😂❤
ruclips.net/video/js463UGu0-A/видео.html
Asante kaka mungu akulinde
Kwa maneno yako
Hii ngoma kali sana,,sema huyo muhindi 😅😅😅
We jamaa unajua aseee ..mpaka una kera.. yani kikubwa burudani na unaitoa mpaka unapitiliza .. wish aiku nkikupe kazi truly.... On it.. naenjoy kukusikia ...nimecheki show yako ya turiani aseeee.. unajua unajua unajua miso..... The really show to enjoy is here .... Uko vizuri
Kama unaona misso missondo wanastairi tofauti yakutoa burudani kuliko wasanii wengine gonga like💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Umenena ...yaaani..miondoko
HAKUNA dj wala msanii kama HUYU jamaa sio wengine matusi tuuu misondo piga mzigo mwinngine
Siolazima
Lagu ini sangat bagus, artis ini tidak akan kita kenal tanpa gerakan miso miso. Selamat saudara India, terima kasih untuk lagu yang bagus
hii ngoma jana imenipa nguvu ya kusoma usku mzima naiskiliza bila kuchoka ...nataka kuona Tv zote bongo zinarudia hii ngoma asubh mchana jion na usku...
😀 utawalipa ukitoka kwenye paper au sio
Eeeeeeeee..,..hhhhhhhhh we atali sanaàaàaà yaani we acha tu
Izo ni stress
Kunawatu walitabiri kuwa misso ni upepo tuu.. kunamda watapotea.. ilaa aloo, asante vijana kwa kuendelea kuwaprove watu wrong😂❤❤
Hii ngoma la kitaifa kama unamkubali mwamba gonga like
Umepigaje apo kaka 🕯🕯
Mungu alikuleta kwenyehii tasinia kwalengo lakufurahisha watu miso misondo unahataliiiiiiiiiiìiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaa mungu akubariki daima
Tulimaiza kuangalia Mala ya kwanza tukarudisha nyuma kidogo tuko Wangap
Na leo tuko namba 2 on trendings music, hakika Mungu Ni wetu sote❤❤
Unyama sanaaa
Kazi Nzuri Broo Unapambana Saana Asee 👊👊 Big-Up Saana ✌️👊
bonge la ngoma bonge la video la kienyeji....hawa ndo wakali wa karne
❤❤❤❤❤ bash félicitations mingi sana😂😂😂😂
Kila kona tera ghata 💥💥💥💥💥💥respect miso no kupoà paka gharika ya nuhu ilejee tena manina
hii story imeweza wanaoikubali video like apa🙆🙆🙆🙆🙆
Hongera sana dogo kwa kutufanya tuujue mziki wa kihindi bila wewe huenda wengine tusingeijua original version ya hii nyimbo
Inabidi mwenye original song ampe zawadi misso maana bila yeye tusinge mfatilia😂
Original umetoka miaka 6 iliyopita ila kwa sasa watu wataufatilia tena@@jamesnick35
ee eeeeeeeee bwana 😮😮😮😮😮
Hii nyimbo ukiingalia unajikuta umetabasamu😊
Ujakosea
Goma la kitaifa hili 🔥 kama unamkubali miso misondo gonna like hapa
Unayaweza sana mungu akuwezeshe uzidi kua mbunifubola big up of you🌹🥀
All Kenyans Kenyans let's gather here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwanzo nilidhani jamaa ana kamkoba,kumbe jamaa ana kakidumu
Kuna mwamba ana kofia imevaliwa upande inaning'inia kama ulimi wa mbwa aliyechoka,
Makoti yao sasa,
Yaani jamaa nawaelewa sana
Mtanzania ka mm gonga like ap
Mpeni maua yake miso misondo kama uampenda mpe like hapo
Vp
ruclips.net/video/zifZUMjys0k/видео.htmlsi=12MWwSCalEC265SY
Unae soma Comment Hii Tambua Mungu anajua mawazo yako Anajua Matamanio Yako Lakini Amenyamaza Kwasababu Hujamshirikisha Piga Goti Mwambie Akusimamie Utaona mambo yako yakifanikiwa
Amen❤
Naisi huu ujumbe ni kwaajili yangu 🙏
Amen
Amen
ruclips.net/video/js463UGu0-A/видео.html
Nice my bro,ulipga chaka, to chaka, but today umestand again,all in all your giving thank 4 God kwa kukusmamsha tena
dar kaka unajua achia vyuma mpaka paeleweke nakukubali sana toka yatapita mpaka Leo there ghata
Bomba la nyimbo na mpa hongera miso misondo i love it ❤❤❤
OYA HILI DUDE BALAA HAPA NIMESAHAU KAMA KUNA KAZI NAFANYA C NMEZIDIWA RAHA KWA HILI GIMA, EM NAOMBA LIKES ZA KUTOSHA TUWAPE NGUVU MISSO MISONDO🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂🎉🎉❤❤❤❤
Unaesoma comment hii mungu akupe afya njema na umri mrefu naamini kwa uwezo wake baada ya miaka kumi(10) tutakutana tena hapa kujikumbusha na hii ngoma❤
Kama una amini hii goma ndio Kali zaidi katika mwisho wa mwaka huu 2024 gonga like hapa 👍 twende pamoja ❤❤❤
Wamemfunika mwenye wimbo..
Fine
Mhhhh Sina neno macho yako tu 🌪️🔥👀🇱🇷😊
Wakusini tujuane Kwa like 🎉🎉😂😂😂😂😂
Nimeona miti ya mbaazi😂
🎉😂
Wallah nimeiona jana kwa muhitimu sijui wa nn nikaipenda bc toka jana naitaguta ndio nimei ɓamba saivi nzr sana
Wangapi tumekubali dundoooooooo😂😂😂😂😂 1:20
Nikohapa
Tupo wote
Nipo huku
Wewe miso misondo
Tena limechangamka kuliko lao😅😅😅😅 apo kwa misomisondo goma lake ndio limevutia zaidi
Mi nilijua WAHINDI Nikaisaka hii ngoma kwa uzuri wake daah kumbe misomisondo ndio katia huu utamu....BIG UP SANA MISONDO...UTAFIKA MBALI NA NAKUOMBEA KWA HILI ULILOFANYA UPATE MIALIKO MIKUBWA INDIA UPIGE HELA NYINGI SANAA NA UENDELEE KUPIGA HELA BRO
Ndio n ngoma yakind wame sampo
Nikipata nikikosa nalidhika na kidogo , oya mwanangu huli bonge la kazi oya bila kuchoka mwanangu mwanga nauwona bila chenga kabisa ,, LoLo ndo kazi bora katika kazi zako zote👏👏💪🤲🙏
Nawakubari sana wanangu miso misondo,
Nawaona mfike mbari na mziki wetu wa Asiri, big up
😂safi sanaaaa pambana dogo mungu yu pamoja nasi Wana kusini Wana masasi Wana ruangwa mpaka ng'apaaaaaaa
Niaje familia
Liwale pia ndg
Aiseeee😂😂😂
Mungu akiajua kukupa anakupa no matter who says what🙏🏿
Mmetisha kinoma hii Ngoma Kali xn Keep it up misondo
Safiii sana umekonga nyoyo za Wengi. Ubarikiwe ufike mbali sana
Mungu awazidishie mpo vizuli sana
Daaah y mungu n mwema mungu amtie nguvu n amumzidzhie maarifaa
Nyimbo tamu mpaka nakufa Mimi daah ❤❤❤
Yuko vizuri jamani❤
We misooooo weeeee!! Najua unataka utuuwe na vibe dundo limekubal
beat pekee inanimaliza na sijui maana ya wimbo hongera misso missondo
Imeandikwa atakeyelike comment ya mwenzake naye yake watailike
wamemchokoza misso nakubali sana
Najiuliza tu kama nyinyi wote humu Mmeshatazama Tamthilia ya House Girl
Bonge la ngoma nakubali sana isoso misondo
Alan walker wa Tanzania 🔥🔥🔥
Misso unatisha Mungu akulinde kwenye misondo maana unatulusha❤
Wabuyangane😂😂😂😂
Kazi nzuri sana kk ubarikiwe
Hahahahaaaa ety wabuyangane, kwakwel ayanganile😂😂😂😂
Bora tusikilize ngoma kama hii kuliko matusi kula uchao ❤❤❤❤❤gonga goma jingine mkali wangu nikiwa napiga vitu vyangu lazima niwekee non stop
MUNGU Akulinde ambaye utasoma hi comment
Mungu akujaliye ufikembalii ❤❤❤❤❤❤❤❤
Oya miso misondo. Allyb kwako mtoto unatisha kaka🔥🔥🔥🔥🐆
Very creative hawa jamaa noma sana 💥💥💥
Nimeipend hii nyimbo ajawai kupoa misso
Imepoa sna misso🎉🎉
Maninà anae bishana na ukweri... kwa sasa tz nzima hakuna mkari kumshinda misoooooo misooooondooooooo
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Endelezen pambaanooo guys
Mungu ana bless
Kama umerudia kuangalia Mara mbili naomba like zangu please ngoma balaaaa sanaaa
ruclips.net/video/js463UGu0-A/видео.html
Vp
Powa kabisa yaan vipi uko powa
Miso Flowers 🌺🌺🌺🌺🌹🌹🌹 kwako brother umetisha sana leta vyuma vikali zaidi
Misso unatuwakilisha vyema wana MTWARA❤❤❤❤
Misso hapa ndipo🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂kazi safi wazee wa Makoti makofii ..
Umepigaje hapo😂😂😂😂
Nyimbo nzuri ya kwanza kuisikia tangua nizaliwe
Aki aisee Mungu aliejuu milele muzidi kufanya vizuri zaidi na mumeweza sanaa 😮😮😘😘😘😘🤩🤩😍🥰❤️❤️❤️❤️💪💪💪🫶🫶🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👌👌👌👌
Huu wimbo ni mzuri utakuwa na Views milioni 3 ndani ya cku 6
Hiv huyu muhindi mwenye huu wimbo akiona hawa jamaa si anajiuliza hawa watu ni wa nchi gan duuu
Mwenye nyimbo huyu ,imetutesa saana🎉🎉🎉🎉🎉 like jamani
Mabaya na wabaya wamezamishwa umilele wote.
Nice job nimependa
Umepigaje hapo🎉😮
Big up kwa bro majizo kwa kukiona hiki kipaji na kukisimamia
Mr comment 🇹🇿 misso Dj la kimataifa 🎉🎉 huna kaz mbovu bro ww ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥✌️✌️
Sisi wa 1993 atuna chakusema tuna wakubali nacoment nikiwa nimelewa sana kuma nimekosea mnisame tu
Mungu ambariki misso misond❤