Meja Kunta Feat D Voice - Madanga ya Mke Wangu (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 мар 2021
  • #MejaKunta #MadangaYaMkeWangu #DVoice #SlideDigital
    MEJA KUNTA SONGS OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/mejakunta
    Follow Meja Kunta on
    / mejakuntaofficial
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

Комментарии • 2,2 тыс.

  • @barakaabely
    @barakaabely 6 месяцев назад +368

    Wangapi wameanza kumfatilia d voice baada ya kutangazwa wasafi WCB tujuane kwa like

    • @rosemuna5569
      @rosemuna5569 6 месяцев назад +4

      I see tupo wengi hhhahahah

    • @CrissDuke
      @CrissDuke 6 месяцев назад +4

      Ww umemjua leo uyo ni staa kitambo

    • @panchobway3245
      @panchobway3245 6 месяцев назад +1

      Hhhhh

    • @hamadiayossy190
      @hamadiayossy190 6 месяцев назад

      Nipo hapa,tena huu wimbo ni wa d voice sema kaamua kumpa mejq kunta kwa makubaliano,

    • @HassanabubakarAbubakar
      @HassanabubakarAbubakar 6 месяцев назад +1

      Huyu no star kitambo

  • @user-bi1xt3nq5o
    @user-bi1xt3nq5o 6 месяцев назад +71

    D voice baada ya kutambulishwa wasafii njooni apa ❤❤❤

  • @soduxrashol
    @soduxrashol 6 месяцев назад +75

    Tulokuja hapa baada ya dvoice kutambulishwa wasafi 🖐🏻

  • @kivungemoses42
    @kivungemoses42 2 года назад +11

    Wimbo mzuri kulingana na hiki kizazi kilichoasi. Ila pale unapomtaja Yesu na kuutaja Utatu Mtakatifu katika wimbo wa kiPumbavu kiasi hiki unakufuru. Sijui Meja ni dini gani ila naamini kama angetawa Mtume Muhammad kwenye nyimbo ya kiPumbavu kama hii Kingeumana.

  • @zuueliza9463
    @zuueliza9463 3 года назад +881

    Nyie ngoma tamu meja kunta unajua baba wangu aiseee, ebu wanaomkubali meja kunta tupieni like hapa aiseee me ananikosha sauti balaa nanusu😍😍😍😋

  • @dongaboyofficiel-el8nl
    @dongaboyofficiel-el8nl 6 месяцев назад +22

    Tulio mfata d voice baada yakuingia wcb ❤❤

  • @meshackpeter9062
    @meshackpeter9062 6 месяцев назад +24

    Hii ngoma dogo D Voice aliua sana, kuanzia uandishi hadi kuimba.🔥

  • @MohamedeFranciscoXavierX-kr9ez
    @MohamedeFranciscoXavierX-kr9ez 6 месяцев назад +24

    D voice ❤❤❤ WCB

  • @melixallen5930
    @melixallen5930 3 года назад +189

    Kila mtu anamuongelea meja kunta ila huyu D voice kaua sana🔥🔥🔥

  • @selinashaukuiha4224
    @selinashaukuiha4224 Год назад +35

    Jamani mi mkenya napenda sana singeli 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿❤❤ meja moto🔥🔥🔥🔥

  • @user-zp1hy6pb2i
    @user-zp1hy6pb2i 4 месяца назад +5

    Kuna aliyemwona chino kama Mimi,aisee maisha kweli ni kukomaa

  • @karimhassan3661
    @karimhassan3661 3 года назад +52

    D Voice nouma sana.... Napenda sauti yake ndio kila kitu ktk hii nyimbo.

  • @andrewkivua1974
    @andrewkivua1974 3 года назад +335

    Hatariii..... mkenya wa kwanza kuskiza singeli 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @norahnorah5342
      @norahnorah5342 3 года назад +1

      Pamoja

    • @valeriaveda7519
      @valeriaveda7519 3 года назад +4

      😂😂😂mkenya wa buza

    • @andrewkivua1974
      @andrewkivua1974 3 года назад +1

      @@valeriaveda7519 😂😂😂😂😂😂acha banah

    • @valeriaveda7519
      @valeriaveda7519 3 года назад

      Aya bwanaa 😂😂😂😂 buza wapajua kumbe🤔🤔🤔🤔

    • @andrewkivua1974
      @andrewkivua1974 3 года назад +1

      @@valeriaveda7519 nawaona marafiki zangu wabongo wakipataja sana......Buza kwa mpalange😂😂

  • @goodluckkajala9523
    @goodluckkajala9523 3 года назад +112

    D voice katisha sanaa aliegmuelew agonge LIKe

  • @noblechild5652
    @noblechild5652 3 года назад +23

    Likes za producer wa hii Ngoma 🔥🔥🔥🔥

  • @khadija4387
    @khadija4387 2 дня назад +1

    Kama umemuona chino wanaman gonga like apa

  • @Eddy_De_Change
    @Eddy_De_Change 3 года назад +19

    meja kunte Huyo Dogo D Voice Kuwa naye makini anaweza chukua nafasi yako humu kakufunika mbaya

  • @mansourjuma3731
    @mansourjuma3731 3 года назад +183

    Kw niaba ya TIN WHITE. Sihitaji like ya mtu, ila ukilike cyo dhambi. 😜

  • @latifafatu132
    @latifafatu132 Год назад +45

    D VOICE ANAJUWA SOME LOVE FROM KENYA 🇰🇪

  • @baldiusmmari4638
    @baldiusmmari4638 3 года назад +85

    Huu ndio mziki wenye vibe lake la kipekee yaani naamanisha duniani kote huwezi kuta vigoma ,vinanda na midundo kama hii its only in TANZANIA na seriously in feel very proud listening to singeli ..

  • @joantha0069
    @joantha0069 3 года назад +89

    Mia kwa Mia Kama balozi Kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 singeli should be in Grammy's.... content humour,,, reality you guys you killing it🔥🔥🔥🤘

  • @isackmaturo7331
    @isackmaturo7331 2 года назад +3

    Nyimbo za matusi msiwe mnataja jina la Yesu hata kama ww sio muumin wa yesu

  • @Dr.manyaunyau
    @Dr.manyaunyau 3 месяца назад +28

    Yani mimi sijawai kupewa like sijui kwa nini😂

    • @Duly699
      @Duly699 2 месяца назад

      We zombie, haujui😂

    • @TheopistaMuheta-qp1bc
      @TheopistaMuheta-qp1bc Месяц назад

      😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉

    • @lauriankisala-cz3fp
      @lauriankisala-cz3fp 21 день назад

      Samahani, ivi Kuna Siri ganni katka likes huku RUclips mana naona wengi sana wanaomba likes.. answer me please 🙏.

  • @abdulhaleemsalim1059
    @abdulhaleemsalim1059 3 года назад +3

    Duh nyimbo gani dunia kwisha yani mke aka akadange akuletee hela kiyama kimefika

  • @hidayaabubakary8250
    @hidayaabubakary8250 3 года назад +57

    Sijachelewa jmn hii nyimbo naipenda mnoooooo 💕💕💕💕 like namimi

  • @joejux1380
    @joejux1380 3 года назад +137

    Kama umegundua kuwa sauti zao
    Hawa Wanyama zinafanana gonga
    Like tujuane 🤝🤝🤝

  • @harunayussuf6866
    @harunayussuf6866 2 года назад +36

    D voice umeua sana kwenye ngoma hii kipaji.🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪👍

  • @rehemajackson5755
    @rehemajackson5755 2 года назад +15

    D vocal.... D voice ni hatari ila kakutana na fundi zaidiiii

  • @churasuperstar2985
    @churasuperstar2985 3 года назад +72

    Machizi waki kutana lazima waache watu hoi tabani kama hili ngoma Naipenda kinoma aise 🙏❤️ ma baharia Wenzangu tujuwane kwenye like basi

    • @mkombozijahazi4487
      @mkombozijahazi4487 3 года назад +1

      d fundikino maanangoma kalisaana siopwhebu gongaleketujuane wanangu wabuzampo

  • @hdija8355
    @hdija8355 3 года назад +13

    I see you far mkali mejja since day one...baba mmoja mama mmoja tumbo mbali mbali yaan binam yangu alielewa hapa gonga like tusepe na kijiji🤑🤑

  • @zamiraali6940
    @zamiraali6940 6 месяцев назад +12

    Who is here after D voice was signed under WCB_wasafi❤

  • @osmaneibrahim142
    @osmaneibrahim142 2 года назад +11

    D voice kamfunika Meja Kunta hapa 🔥🔥🔥🙌

  • @donaldmartin-ps2ig
    @donaldmartin-ps2ig 6 месяцев назад +3

    Hapa meja kunta alikutana na moto wa ges

  • @hassanmkotya8204
    @hassanmkotya8204 3 года назад +80

    Sasa naona ngoma hii inavyoeenda kua trending soon daaah Ila bonge la video ubunifu100%ho hongera #D voice

  • @japhetilamosai6756
    @japhetilamosai6756 3 года назад +22

    Mejaaaa big up nyimbo zako uko poaaa wewe fundi wakasome wakongwe was singel✊

  • @abdimlundi8305
    @abdimlundi8305 2 года назад +3

    Dada anaecheza kati hapo mnamjua😊😊😊ndo masha love alokalia chupa akapasuaaa...😍😍bonge la ngoma

  • @danielkaristo1697
    @danielkaristo1697 3 года назад +44

    Meja x d voice goma la 🔥🔥🔥 bonge la video iko poa mungu abariki kazi za mikono yenu 🙏🙏

  • @bidatheboss846
    @bidatheboss846 3 года назад +137

    Alie ona madanga ya make wangu Gonga like twende sawa 😂😂 nimewasanua wengi kweli maana mwandishi NOMA SANA.
    All in all chupa qari💏💏

  • @elvirakaganda3807
    @elvirakaganda3807 2 года назад +34

    TANZANIAAAA..!!🇹🇿🇹🇿🇹🇿 we blessed #period 😎💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾 singeli to the world🌎

  • @lynshish2355
    @lynshish2355 2 года назад +46

    I really love the song ..much love from kenya

  • @nyamisskarega9245
    @nyamisskarega9245 3 года назад +107

    Tumpeleke Meja namba moja on trending maana wanaume WA siku he ndo walivo 🔥

  • @deeluck_tz
    @deeluck_tz 3 года назад +69

    Like kwa produced WA hii ngoma

  • @iAMWILLSTEEL
    @iAMWILLSTEEL 2 года назад +61

    Much love from NIGERIA 🇳🇬 🔥🔥🔥

  • @hanifayasin4395
    @hanifayasin4395 2 года назад +39

    Am enjoying this song too much thanks my 2 brothers 🎊💕💕💕❤️❤️❤️😊🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @nancylee2429
    @nancylee2429 3 года назад +18

    D voice umeuaa baba💥💥💥

  • @athumanmtamatale7014
    @athumanmtamatale7014 3 года назад +37

    Hii ngoma huyu D Voice ameua sana jamaa 🔥🔥🔥

    • @maggymgaya2504
      @maggymgaya2504 3 года назад +1

      Sanaaa kwasababu n wimbo wake,,, Meja alitaka kumfanya dogo asikike ajulikane😊

  • @winnieshao7901
    @winnieshao7901 2 года назад +22

    We are proud of you guys…..endeleeni kutuwakilisha kibongo bongo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @piusswai6180
    @piusswai6180 6 месяцев назад +2

    Kumbe D voice ameanza kuimba nyimbo kali siku nyingi

  • @alexiswamillazo6520
    @alexiswamillazo6520 3 года назад +49

    Daah sijawahi kurudia kutazama Mara mbili Singeli ila hii nimeirudia zaidi ya mara nne kuma make

    • @emmanuellugano7912
      @emmanuellugano7912 3 года назад

      Bora ww m nd repeat kbx

    • @ramxeyiron1260
      @ramxeyiron1260 3 года назад

      Hili shipa wanangu

    • @edyteemba1918
      @edyteemba1918 2 года назад

      @@emmanuellugano7912 hahaha haa mimi najikuta nikirudia rudia nenda nae kwa mpalangee!! Hahaha haa hii noma aisee dah

  • @tatuathuman104
    @tatuathuman104 3 года назад +70

    Ila huyu d voice ni noma🔥🔥🔥🙌🙌

  • @ramadhanishebani5179
    @ramadhanishebani5179 3 года назад +104

    Ukipata bwana mzungu mpeleke kwa mpalange Mumeo nimekuruhusu ukadange kama umeskia huo mstari comment n like tuwe sambamba

  • @sheilamembe9762
    @sheilamembe9762 3 года назад +6

    Kama umerudia ngoma zaidi ya mala1 gonga likes

  • @marjoriethejewel441
    @marjoriethejewel441 3 года назад +97

    Can't get enough of this vibe 🎈🎈🎈🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯❤️❤️❤️❤️❤️

  • @irenemagawa3084
    @irenemagawa3084 3 года назад +3

    Dah,,,uko vizur meja🧡🧡🧡🧡🧡🧡

  • @lovenessmalima4546
    @lovenessmalima4546 3 года назад +3

    🇰🇪🇰🇪 Marafiki zangu wa Wakenya kwa #MPARANGE# mnapajua Lakini !!??😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

  • @angelholsey2484
    @angelholsey2484 3 года назад +186

    Wanaokubaliana na mimi kuwa meja ndo king wa singeli tujuwane 👇

  • @samwelayoub2820
    @samwelayoub2820 3 года назад +11

    D ni wengi ila voice ni mmoja

  • @stnashofficial5399
    @stnashofficial5399 6 месяцев назад +2

    Kumbe d voice jama nimunyma kuimba hii ngoma nikali sana diamond kaona kipaji kipo

  • @maimunaally919
    @maimunaally919 Год назад +36

    I'm back Here in 2023 and i can't get enough of this

  • @zkiduku4068
    @zkiduku4068 3 года назад +5

    meja kunta hawezagi kuimba bila kutaja neno madanga

  • @dullydarlington3606
    @dullydarlington3606 3 года назад +42

    2po pamoja na wewe hata wafanyaje cc ni mashabiki zako sio wao achia vitu meja tutakufwata tu popote like nyungi kwake kwa master

  • @elianhxondixan4652
    @elianhxondixan4652 6 месяцев назад +1

    wangap ndo unajua kuwa dvoice yuko kwa hii ngoma leoo

  • @salumukaisi4222
    @salumukaisi4222 3 года назад +2

    Kwan wameimba wawil au mejaa bhna mbon unatufany hiv saut za fanan kabs ngom tamu hiii

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 3 года назад +93

    Ngoma kali hatariii sanaaa 🤣🤣✅Tin white na dullavan wameuvaa uhusika 🤣🤣🤣 Meja muda si mwingi atakuwa king 👑 of Singeli ✅🇹🇿 Pambania kombo Meja

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 года назад +17

    Nakukubali kinoma mwanangu mejakunta. Love from nungwi zanzibar 🇹🇿.

  • @aliyah.m.hussein941
    @aliyah.m.hussein941 3 года назад +5

    wow alie angalia hii nyimbo mpaka ina fika 1M like hapa

  • @user-ez1lf9tz5o
    @user-ez1lf9tz5o 4 месяца назад +2

    D baba toa moja na bosi sasa tupe salute i love singeli❤ for real 👊

  • @ingabireshakira9631
    @ingabireshakira9631 3 года назад +21

    Sipati picha Meja kunta angekua anaimba RnB🔥

    • @reyyathu8978
      @reyyathu8978 2 года назад

      😂😂😅😅😅😅😅

  • @kevinobara538
    @kevinobara538 2 года назад +27

    Much love ❤️ from kisauni mitaa ya kati

  • @edwinkimuyu9656
    @edwinkimuyu9656 2 года назад +23

    I love this song ..from Kenya

  • @ben.breaker
    @ben.breaker 3 года назад +17

    kwa video kali kama hizi singeli itaenda international 🔥🔥🐉

  • @asmarashid3808
    @asmarashid3808 3 года назад +21

    Bonge la dudeeeeeeeeeee, mejaa hunaga kazi mbovu mzee babah

  • @matingatwaha1439
    @matingatwaha1439 3 года назад +3

    Huy ndio anatakiwa aitwe king of singel like kwa meja kunta

  • @user-wu8gm7kp4n
    @user-wu8gm7kp4n 6 месяцев назад +14

    Congratulations D Voice,,, wishing you all the best as you're nurturing your talent,,,,Mola azidi kukubariki unapoendelea kukuza talanta yako💖💓🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @starshinemussa8326
    @starshinemussa8326 3 года назад +60

    Tujitahidi ifike #1 ON TRENDING

  • @dorahmoshi1302
    @dorahmoshi1302 3 года назад +282

    Wapi like ya dulla van kwa alie mwona😂😂😂

  • @FMurad333
    @FMurad333 2 года назад +1

    Kilichoo niiudhii hiyo Dogoo anayee jifanyaa demu , na Meja pia kafelii , Mademu kibao , MUTAJIBU NM MUNGUU KESHOO DAHH

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 2 года назад +2

    Kama unamini mpake uwehuke ndio uimbe singeli tujuane hapa👍👍👍🤣🤣🤣

  • @allytv6448
    @allytv6448 3 года назад +15

    Like moja kwa kunta wake

  • @sakinasauli3363
    @sakinasauli3363 3 года назад +16

    Ngoma tam sana achia like twend sawa

  • @hassanchaha6515
    @hassanchaha6515 3 года назад

    Ni mzuri lakn watu wanasema iludiweeéeeeeeeeee,🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙉🙉🙉🙊🙊🙊duh

  • @mamenkusah3133
    @mamenkusah3133 6 месяцев назад +2

    wANGAPI WAMEKUJA HUKU BAADA YA d voic KUWA JAMAA WA WCB😂

  • @AminaAmina-in9sh
    @AminaAmina-in9sh 3 года назад +7

    🇹🇿💪hatupoi hatuboi ngoma kal nimependa adi nimependa tena.... nikiwa🇴🇲no stress

  • @Mariaclala536
    @Mariaclala536 3 года назад +15

    Sema huyu D VOICE ni mnyama sana hii vocal yake ni sumu mzee

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 6 месяцев назад +3

    🔥🔥🔥🔥 Wcb 4life🔥🔥🔥👊

  • @veremox
    @veremox Год назад +55

    i dont understand but im in love with this rythm! much love from brazil! :D

    • @zuhurarashid7117
      @zuhurarashid7117 Год назад +6

      Lol he respects his wife's side dudes bcoz they are the ones who help him😂

    • @africatanzaniatours5980
      @africatanzaniatours5980 Год назад +2

      Respect broo this is singeli Natural music of Tanzania this sound is dude , you can support him for get do performance there . Great 🔥🔥

    • @Demboys_p
      @Demboys_p Год назад

      @@zuhurarashid7117 that’s tuff 🤣🤣🤣

    • @GloryJohn-nm5wo
      @GloryJohn-nm5wo 8 месяцев назад

      ​@@africatanzaniatours5980a❤❤❤❤❤❤❤qq❤

  • @fadhilimanoni9245
    @fadhilimanoni9245 3 года назад +23

    Kariii

  • @lizzypaul8214
    @lizzypaul8214 3 года назад +7

    Dah bonge la ngoma video ndio usiseme nakupenda bureeee meja😍😍

  • @adamclassic4295
    @adamclassic4295 2 года назад +1

    Huyu Mtt D Voice Hatare sana

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 3 года назад +36

    D voice next level

  • @azinacapri001
    @azinacapri001 3 года назад +9

    Hili ngoma laua bana....izo sauti noma hatari 💥💯

  • @zifunazifu8626
    @zifunazifu8626 3 года назад +13

    Unyama 🔥 ngoma kali san

  • @zubedahamis2346
    @zubedahamis2346 Год назад +1

    Nyimbo Kali hii kuwahi kutokea

  • @petermiasi7386
    @petermiasi7386 6 месяцев назад +1

    TUME KUJA KUMONA MSANII MPYA WA WASAFII

  • @halimakidoth4354
    @halimakidoth4354 3 года назад +39

    Anaemkubali tine white na dullvan gonga like

  • @gideonmarwa6347
    @gideonmarwa6347 3 года назад +4

    Meja hatree haya wanangu wa singelii wote hapa like💫💫

  • @tumpepanja9671
    @tumpepanja9671 6 месяцев назад +1

    Karibu wcb

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 года назад +1

    Duniani hapa kuna Mambo Mengi Sana Duh.....

  • @farajiwamu9396
    @farajiwamu9396 3 года назад +25

    hako ka D voice ndyo kamenikosha humo 😂🙌🏽

  • @janethmgaya2237
    @janethmgaya2237 3 года назад +4

    Hiii nyimbo naipenda sana, lkn sauti meja ni nzuri sana 😘😘😘