Rayvanny ft.Dulla makabila - MISS BUZA (official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 4,7 тыс.

  • @rexdiiofficial
    @rexdiiofficial 4 года назад +16

    Daah! kwa kweli sikujui kile ningemfanya bi buza, ingekua ni wewe ungemfanyia nini? wazi tu na likes hapo bwana na uchoyo kando

    • @kingmc3086
      @kingmc3086 4 года назад

      😂😂😂😂hata mimi sijui ningefanya nini ila nitajua tu😆😆

    • @sirson4585
      @sirson4585 4 года назад

      mimi hata sin neno😂😂😂🤣😂🤣😂🤣

    • @rufdan4183
      @rufdan4183 4 года назад

      miye nitamuona tu😂😂🤣😂🤣😂🤣

    • @JamesShilingi
      @JamesShilingi Месяц назад

      I p😅😊😅up

  • @nelsondavid9806
    @nelsondavid9806 8 месяцев назад +15

    miss buza 2024 april;🤪

  • @ADMUSICSTUDIO-l5y
    @ADMUSICSTUDIO-l5y 4 года назад +33

    I am Number One View Vanny Boy I'm From Nigeria 🌹🌹🙏 God bless you

  • @SWEETGALKHAN_001
    @SWEETGALKHAN_001 Год назад +6

    ❤miss Buzaaa all the way its 2023 june 17th plz i adore this song from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇲💯💯💯

  • @itsjoshKE
    @itsjoshKE 4 года назад +56

    Mi ni Fan wa singeli toka 254 🇰🇪 and I can confirm hii Rayvanny ameweza. 🔥🔥🔥

    • @medlyewoi
      @medlyewoi 4 года назад

      joshua ngotho ruclips.net/video/FwsF_k8trgs/видео.html

    • @denischirchir4877
      @denischirchir4877 3 года назад

      📲 kali sana

  • @MimosaStores254
    @MimosaStores254 4 года назад +58

    Eti Dera kipya na nini ya Zamani😂😂🙊 Rayvanny ni moto. Eldoret Kenya nko najilisha na Miss Buza mdogo Mdogo nkingojea Curfew ya Kesho 🤗

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 года назад

      Enjoy singeli hiyo

    • @collinmaiyo
      @collinmaiyo 4 года назад

      hehe ati kesho curfew inatupata wapi😅😅 makaran emet oret

    • @fatuu3397
      @fatuu3397 4 года назад

      Oyaa eldoret gang

    • @bunny_dailylife
      @bunny_dailylife 4 года назад

      Ata mimi kakamega 🤔

  • @alvinokoth9460
    @alvinokoth9460 4 года назад +66

    First one from kenya .. Like zikuje.. Rayvanny Kali..

  • @espadad7256
    @espadad7256 4 года назад +36

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 turepresent hapa...hii ngoma iko juu

  • @innocentsimika1937
    @innocentsimika1937 4 года назад +40

    kama kawaaida yetu kesho kutwa tunaonga 1M ..sio kwa ubaya, kama unaungana na mm gonga like tuamshe popo🔥🔥🔥

    • @sizzamonela8451
      @sizzamonela8451 4 года назад

      Lkn mlisema Konde atapotea kaimba single lkn wenyewa ndio mnazamia huko huko kumbe ilikuwa gele eti aibu mnamuiga konde

    • @edyjr520
      @edyjr520 4 года назад

      Mapema 2

  • @yobrake5856
    @yobrake5856 4 года назад +172

    Misi buza yupo apa mtaani
    Mombasa Kenya
    Likes zake zije nimpelekee azione🇸🇴🇹🇿🇺🇬🇰🇪🇨🇩

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 4 года назад

      Bonyeza🔥🔥👇
      ruclips.net/video/bdyH1QtSDeA/видео.html

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 4 года назад

      Kwetu mombasa hakuna miss buzaa

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 4 года назад

      @@Ryoof-qo7if tuupo kibao njoo kisauni likoni fery

  • @irambonaericwamakamba6659
    @irambonaericwamakamba6659 4 года назад +10

    Bro unakipaji cha hali ya juu I SUPPORT U from #Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @leonardgreyson3196
    @leonardgreyson3196 4 года назад +1

    Nyimbo kariii ila uyo makabila ndio kaharibuuuu kila kitu uyo makabila anajua kutunga tuu kuimba hajuii bora mara mia ungemueka msaga sumu

  • @eliasibuzacha2978
    @eliasibuzacha2978 4 года назад +21

    Rayvan damu damu wcb chama lawana na TZ nzima gonga like twende sawa

  • @OnyanchaTV
    @OnyanchaTV 4 года назад +23

    😂😂😂kama dem wako amewahi kutoa doo piga like👊 vannyboy nakuaminia brathee tembea Doha uwashe moto wakenya tunakudai

  • @emeranceabedi2503
    @emeranceabedi2503 4 года назад +20

    Rayvanny we noma 🤣🤣🤣🤣🤣kweli gonga like ❤kwa vanny yakeeeee

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 года назад +42

    Kelele ya kwanza kwa misi akee wee kelele ya pili kwa misi akee weweee kelele ya tatu kwa misi akee weweweeeeeeeeeeeeeeee sheuka na like from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sadamuabdul6610
    @sadamuabdul6610 4 года назад +37

    Kelele ya kwanza kwa Miss akee @Dullvan we umeshindikana aseee 🙌🙌🙌🙌

    • @deodatusmarcus7078
      @deodatusmarcus7078 4 года назад

      sadamu abdul hahahhah kabisaaa

    • @Sankara477
      @Sankara477 4 года назад

      @@deodatusmarcus7078 ruclips.net/video/Af6CRRJsYuM/видео.html

    • @fatmahassan9312
      @fatmahassan9312 4 года назад +1

      Kwa kweli chupi la zamaaan

    • @sadamuabdul6610
      @sadamuabdul6610 4 года назад

      @@fatmahassan9312 hahahahaaaa

  • @milkahkerubo2251
    @milkahkerubo2251 4 года назад +24

    Mim mahali imenipamba ni hapo anasema anaenda kufua hadi na simu vanny boy love u from 254🇰🇪🇰🇪

    • @medlyewoi
      @medlyewoi 4 года назад +1

      Milkah Kerubo ruclips.net/video/FwsF_k8trgs/видео.html

    • @abdullkadir9374
      @abdullkadir9374 4 года назад +1

      Hd sim tunfuw skuiz

  • @fedrickeliezer5521
    @fedrickeliezer5521 4 года назад +51

    Nyakyusa boe representing how talented nyakyusa we are, kyala mnunu ..... like zenu mbeya people

  • @Helmuto
    @Helmuto 3 года назад +37

    Modern african power mizic cinema, bongofleva, Singeli, Tanzanian earth quake, many greetings from your fan Helmut from Dortmund in Germany 💖👌😎 Thank you Rayvanny 😍

  • @hassansaid8260
    @hassansaid8260 4 года назад +13

    Ata Draft Linavyumba Lakini Havipangishwi 😂😂🙌 hii team kubwa sana 🔥🔥

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 4 года назад +26

    Kafananisha mswaki 😆😆😆
    Nani kashakutana na Miss Buza?
    👇👇 like hapo chizi kama singeri unaikubali 👍

  • @ellykatule39
    @ellykatule39 4 года назад +16

    kelele ya kwanza kwa miss akeeeeh🔥🔥🔥🔥💥💥weeeeeeeh weeeeeeh🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥💥💥💥

  • @HelenKerubo-xt8gz
    @HelenKerubo-xt8gz 13 дней назад +1

    Bado jan 2025 nimefika hapa someone kiss my comment i will come back to watch vision 2030❤❤❤❤

  • @albanbros6705
    @albanbros6705 4 года назад +80

    I like the way our neighbors like our music.Pamoja sana watu wetu wa nguvu wa +254.Sisi pia tunawapenda sana watu wenu i.e sautisol,Khali,Otile,Bahati wanaweza sana hao watu.

  • @kulwachacha5110
    @kulwachacha5110 4 года назад +113

    Bonge la ngoma dondosha LIKE Kama umemuona miss buza na sifa zakeeee #anapita nalooo#

  • @sallyraidan6867
    @sallyraidan6867 4 года назад +12

    Waungwana Naisi sijachelewa Sanaaa..... Like kwa Vanny Akeeeeeeeeeeee......weweeeeeeeeee #Voice BuzaGal

  • @samsonnzioki2491
    @samsonnzioki2491 7 месяцев назад +19

    Am from Kenya but napenda nyimbo zake rayvanny wapi likes wakenya ❤❤❤❤❤❤

  • @piogithinji405
    @piogithinji405 4 года назад +59

    2:18
    Kelele ya Kwanza kwa misi yake:WEEE
    Kelele ya pili kwa misi yake: WEEE, WEEE
    Kelele ya tatu kwa misi yake: WEEE, WEEE, WEWEEE🔥🔥🔥
    Wimbo mzuri Vannyboy

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +272

    Hivi hii tabia yakusoma comments itaisha lini jaman😂😂. Good music vanny boi ❤🌹

  • @way9tv821
    @way9tv821 4 года назад +191

    Kama na ww unakubali vanny boi anapita na bitii lolotee like za chuiiiiiiiiiii🐯🐯🐯🇹🇿🇹🇿proud of you

  • @lizzymusyoka216
    @lizzymusyoka216 4 года назад +12

    Motooooooooo.....Can’t get enough of this ....mwenye anarudia kuitazama gonga like....

  • @mfaumeally1862
    @mfaumeally1862 4 года назад +112

    Nairobi wa Kenya 🇰🇪 wenzangu like na comments hapa, ngoma kali

  • @emmanuelkb366
    @emmanuelkb366 4 года назад +35

    Aiseee #Rayvanny wewe ni nyokoooooo, unajua hadi una keraaaaaa, umemnyooosha makabilaaaa hapa na gomsi😎 kama na wewe umeliona hilo ngonga like twende sawa.

  • @freretoms5119
    @freretoms5119 4 года назад +66

    Nawapata 💯/💯 nikiwa mujini Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 wa Congo gnga link zako apa twende Sawa Na song za ndugu zetu wa TZ🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @freretoms5119
      @freretoms5119 4 года назад

      @Asdan 4rever ok nime ifatiliya vizuri sana Brother good job

    • @medlyewoi
      @medlyewoi 4 года назад

      Frère TOM'S ruclips.net/video/FwsF_k8trgs/видео.html

    • @johnarmango5937
      @johnarmango5937 2 года назад

      Pm]@@freretoms5119 loo

  • @rukiaomary4380
    @rukiaomary4380 4 года назад +25

    bonge ra nyimbo❣️ mama chogo kelele ya kwanza kwamisi eke weee😂😍

  • @jumannesaidi2917
    @jumannesaidi2917 4 года назад +7

    Mis buza weee mamamaaaaaaa anafua mpaka walety 😁😁😁😁😁😁namswakijee unafua?!!!

  • @joycewangui5933
    @joycewangui5933 4 года назад +69

    Dera mpya, chupi la zamani 😂😂😂😂jamani Miss buzza😂😂😂😂Rayvanny my crush🙈

  • @felixrizikizze1868
    @felixrizikizze1868 4 года назад +429

    ngoma Kali, mm ni shabiki wa rayvanny kutoka Kenya, Kama ww pia ni shabiki wa rayvanny kutoka Kenya chapa like hapa, tujuaneni hapa

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 года назад +2

    Thank you so weet rayvanny CHUI pambana achana na watu waogee mabaya na ravnnyn

  • @vicentkinyunyu6598
    @vicentkinyunyu6598 4 года назад +13

    Ngoma kali..... twende pamoja hapa😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

    • @marymassawe9709
      @marymassawe9709 4 года назад

      We mkali kaka.Nimecheka sana.

    • @vicentkinyunyu6598
      @vicentkinyunyu6598 4 года назад

      @@marymassawe9709 hhhahaa😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fatmamacharia3593
    @fatmamacharia3593 4 года назад +137

    Team WCB never disappoint us
    Like za
    Team Tanzania 🇹🇿
    Team Kenya 🇰🇪
    Team Uganda 🇺🇬
    Team Somalia 🇸🇴
    Team Saudi Arabia 🇸🇦

    • @abdulqadirhusseinmalik489
      @abdulqadirhusseinmalik489 4 года назад +2

      Team Kenya🇰🇪

    • @musakaphu4581
      @musakaphu4581 4 года назад +1

      Saudi kumbe E.A vile

    • @djohn5621
      @djohn5621 4 года назад +1

      North America

    • @peacetalent8614
      @peacetalent8614 4 года назад +1

      Njoo na uku ila Usisaau ku SUBSCRIBE na kushare Link
      ruclips.net/video/cRo_mnWDQG8/видео.html

    • @johnsonartabou6581
      @johnsonartabou6581 4 года назад +1

      Bruh umesahau Team Burundi 🇧🇮 🇹🇿 🇺🇬 🇦🇺

  • @fridahwangui4017
    @fridahwangui4017 4 года назад +40

    Rayvanny unachekesha baada ya kulilisha na -naogopa!😂 True artist and pure talent💯 Kenya in the house. Tanzania mmeweza😍😉

  • @Servedithot
    @Servedithot 3 года назад +4

    Hahahaha Rayvanny is so funny man looolll eti ana dera jipya chupi la zamani hahahaha nimecheke kisenge yaani Hahahaha mziki mzuri ndugu zangu big up Dulla Makabila na Rayvanny

  • @marcidah7302
    @marcidah7302 4 года назад +29

    Music fest yenyewe! Loved the energy engaged!!🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @medlyewoi
      @medlyewoi 4 года назад

      Marc Idah ruclips.net/video/FwsF_k8trgs/видео.html

  • @andrewchomba7072
    @andrewchomba7072 4 года назад +105

    Tujuane wakwanza ngoma hyo GONGA LIKE CHINIII

    • @alilantez_music
      @alilantez_music 4 года назад +1

      ruclips.net/video/0sxwal5XWQM/видео.html.... tafadhali subscribe

    • @kennedyopatta
      @kennedyopatta 4 года назад +3

      Baba hapa umeweza, salute

    • @Sankara477
      @Sankara477 4 года назад

      @@kennedyopatta ruclips.net/video/Af6CRRJsYuM/видео.html

  • @nelliengugi5546
    @nelliengugi5546 11 месяцев назад +108

    2024 am still here nipewe like za Ms buza 😂😂

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 4 года назад +15

    Well done. Huu ni mziki wetu wenyewe Watanzania. Saaaaaaaafi

  • @reubenmediatv212
    @reubenmediatv212 4 года назад +13

    Miguu juu ning'inia kama popo💪

  • @begaca
    @begaca 4 года назад +173

    Rayvanny Umetisha PAKA sio POA wapi LIKE ZA RAYVANNY Na Dulla.....
    👺👺👺👺👺👺👺💬💬💬💬💬💬

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 4 года назад +6

    ❤👍🐆🐆🐆🐆
    #Korosho amekwama wapi jmn mbn trending 1&2 hayupo???

  • @hemedjuma9340
    @hemedjuma9340 4 года назад +1

    Mr buza wamuibia rayvanny msawaki wachekesha rayvanny keep goin g mpaka mwishoni utampata qween darlin kama kweli unaujuzi kama qween darlin💖💞💟👍👏sijafurahia kama ww uko nyuma i am not proud of you rayvanny bby bby 👍👏sina furaha kwasababu huja kuwa first

  • @jecintaadhiambo8090
    @jecintaadhiambo8090 4 года назад +50

    Nakufa haki ukiwa +254🇰🇪🇰🇪 umeguzwa gonga like

  • @Selfcareeeeee
    @Selfcareeeeee 4 года назад +31

    😂😂😂😂😂the first part of the song gat me dead 😂😂😂😂😭😭namuonea huruma chali wa huyu dada kweli

    • @alilantez_music
      @alilantez_music 4 года назад

      ruclips.net/video/0sxwal5XWQM/видео.html..... tafadhali subscribe

  • @FRIDAHPENDO
    @FRIDAHPENDO 2 года назад +89

    Who is here still in 2022 🖐️🖐️much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @pendojeremiah9111
    @pendojeremiah9111 3 года назад +1

    Hatariii sio.mpz wa singelii Ila vannyboy umeua 🔥🔥🔥🔥🙌

  • @habaclassichb1081
    @habaclassichb1081 4 года назад +10

    Wcb 4 life tujuane jmn kam unamkubali rayvan gonga👍

  • @shadracktoo2978
    @shadracktoo2978 4 года назад +35

    🤣🤣🤣 huyo mrembo anataka kupita na wallet na simu ama ni kufua.....huyo ni Corona...let's show Ry love na likes

    • @medlyewoi
      @medlyewoi 4 года назад

      shadrack too ruclips.net/video/FwsF_k8trgs/видео.html

    • @brayolamtigandi4173
      @brayolamtigandi4173 4 года назад +1

      Geto anazima taa vipele mapajani😂😂😂😂

  • @bhzofficial
    @bhzofficial 4 года назад +27

    Number one wa kenya tujuane apa like

    • @alilantez_music
      @alilantez_music 4 года назад

      ruclips.net/video/0sxwal5XWQM/видео.html... tafadhali subscribe

  • @razackpaulo679
    @razackpaulo679 3 года назад +1

    Nimekuja tena kuitizama hiii goma, broo rey komaaa naw upo next level music #wcb ni shuleimara itumie hyo elimu achana nahao machawa baba levo komaaaa utatoboa

  • @anniembithe694
    @anniembithe694 4 года назад +16

    Like.....like....yaani huu wimbo wafurahisha sana napenda tu rayvanny na dulla toeni nyengine karibuni,,,,kazi nzuri

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 года назад +25

    Mtoto anachuchumia Dullah makabila Mungu anakuona😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🏃‍♀️WANAUME WALIVYOCHEZA NMEPENDA😅🏃‍♀️

    • @medlyewoi
      @medlyewoi 4 года назад

      Zenna Kailo ruclips.net/video/FwsF_k8trgs/видео.html

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 4 года назад +21

    First here from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥👌👌

    • @alilantez_music
      @alilantez_music 4 года назад

      ruclips.net/video/0sxwal5XWQM/видео.html.... tafadhali subscribe

  • @chikarayleigh4534
    @chikarayleigh4534 3 года назад +26

    West Africans should represent here. Nice song

  • @edgarmlawa9065
    @edgarmlawa9065 4 года назад +16

    😂😂😂 Rayvanny hpo mwisho kachekesha balaa 😂😂🔥🔥

  • @isihakatozzo5959
    @isihakatozzo5959 4 года назад +78

    I think SINGELI going to be an icon of Tanzania music world wide soon!

    • @Ibratz255
      @Ibratz255 4 года назад +1

      affiliate.iqoption.com/redir/?aff=154228
      Download application hii ubadilishe maisha yako kwa kujipatia kipato mtandaoni. Kwa msaada nicheki #0679345914

    • @aminajuma5360
      @aminajuma5360 3 года назад

      Hujmb

  • @irambonaericwamakamba6659
    @irambonaericwamakamba6659 4 года назад +8

    Hahaha😂😂😂 anatisha miss buza nakuamini #Rayvanny I'm from #Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 года назад +1

      Welcome Tz!😍🙏

    • @irambonaericwamakamba6659
      @irambonaericwamakamba6659 4 года назад +2

      @@iammusic3404 one day i'll come 🇹🇿🇹🇿 lakini kigoma kwenye 10 ya #Diamondplatnumz nilikuwepo

  • @dellkissmuhindomukumbwa9500
    @dellkissmuhindomukumbwa9500 3 года назад +4

    Miss buza iko uku Congo beni

    • @Ruti209
      @Ruti209 Месяц назад

      😂😂😂😂

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 года назад +8

    2021 mpo mnao sikiliza hii ngoma kama mie tujuane 🇶🇦

  • @qamartv6385
    @qamartv6385 4 года назад +14

    Jameni Singeli for Life 🔥🔥🔥

  • @hassanmapenzi6188
    @hassanmapenzi6188 4 года назад +41

    Kama uko hapa hadi ifike 1million view nipee like

  • @كاامااحج
    @كاامااحج 4 года назад +2

    Duhh Yani nimeitafuta niangalie kama kweli miss buza anasem kwel kumbe wamesemwa Sana duhh Kali San hii

  • @jejojaek2860
    @jejojaek2860 4 года назад +36

    Vanny on fire 🔥🔥. Gonga Like for miss buzza

    • @charleskimenjo254
      @charleskimenjo254 4 года назад +2

      Vile namjua Revanny hii ngoma Iko chini Sana. Sijaipenda hata Doti moja

    • @medlyewoi
      @medlyewoi 4 года назад

      Jejo Jaek ruclips.net/video/FwsF_k8trgs/видео.html

    • @patrickmwangolela317
      @patrickmwangolela317 4 года назад

      Xaw

  • @awadhmzimbiry6100
    @awadhmzimbiry6100 4 года назад +25

    Kama we nishabikii namba moja wa rayvanny angusha like tujuanee

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 4 года назад +14

    Duu nakubali wasafi mnapokezana trending on RUclips 🔥WCB🔥

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 года назад +3

      Afu kale kasenge kanajicompare nasimba wkt had kna mbosso wanampoteza

  • @halimalikutu3790
    @halimalikutu3790 4 года назад +1

    Me kila siku naangalia rey vanii noma mguu wa mtoto anaupaka asali kweli balaa

  • @iammusic3404
    @iammusic3404 4 года назад +110

    Huu mwaka kande boy ataomba poo mamae!😂😂😂
    Like kwa #WCB
    WAPI MISS BUZA WEWEEEE!👌

    • @nicholasandrew7599
      @nicholasandrew7599 4 года назад +1

      THE LAST AIRBENDER kweli sio pow wasafi wamepania,

    • @medlyewoi
      @medlyewoi 4 года назад

      THE LAST AIRBENDER ruclips.net/video/FwsF_k8trgs/видео.html

    • @fredytitus8194
      @fredytitus8194 4 года назад +4

      Unaongea nini wewe, inamaana hujaona mawe anayotoa Konde Boy au ubishi tu

    • @daimually4865
      @daimually4865 4 года назад +1

      Hapana jamani watoto wa mond apana chezea

    • @hapynesscharless6052
      @hapynesscharless6052 4 года назад +1

      Mmm

  • @faidaramazani3468
    @faidaramazani3468 4 года назад +63

    Mimi wa kwanza leo naombeni Like kama unamkaubali Rayvanny 💃

    • @alilantez_music
      @alilantez_music 4 года назад

      Tafadhali subscribe

    • @Sankara477
      @Sankara477 4 года назад

      @@alilantez_music ruclips.net/video/Af6CRRJsYuM/видео.html

  • @nurathhassan7323
    @nurathhassan7323 4 года назад +23

    Nawapenda sana.....hawa watyu jomon......naomben like zenu km mnawakubal hawa watyu jomon😍😍😍😍😍

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 4 года назад

    Halafu wapo miss Buza kweli yaani kule Uswazi wapo tu, ikipigwa baikoko hawakawii kuibuka, hamna shughuli yoyote ambayo hawahudhurii, iwe kwa kualikwa au la, watakuja tu.

  • @noblechild5652
    @noblechild5652 3 года назад +44

    Kweli nikisema napenda Watanzania ntakuwa nmekosa wapiii jaman 🤣🤣 waTz likes zenu please

  • @harounabduly3364
    @harounabduly3364 4 года назад +13

    Kazi ya kueleweka, iko poa thanna!!🤙🤙

  • @joelycharz6490
    @joelycharz6490 4 года назад +52

    Kama unamkubali rayvany Gonga like hapa👍

    • @alilantez_music
      @alilantez_music 4 года назад

      ruclips.net/video/0sxwal5XWQM/видео.html.... tafadhali subscribe

  • @luhmajo
    @luhmajo 25 дней назад

    nimerudi kuskiza hii ngoma, juu haya yamenifanyikia ya ukweli kimaisha.

  • @hotspotkenya5971
    @hotspotkenya5971 4 года назад +29

    😂😂😂😂😂 iyo wig iko vipi kwani yapea mtu corona,,,,,,, wassup 1st Kenyan here

    • @scripturetz1056
      @scripturetz1056 4 года назад

      ruclips.net/video/tSNDDWpVADM/видео.html

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 4 года назад +10

    Nlkuwa nakisubiri hiki kichupa kitoke hatimayet.... Msiishie kuangalia video tu mje Buza mumuone kabisa sasa na huyo Miss mwenyewe.. Buza kwa Lulenge, Buza Kanisani,Buza Tanesco, Buza Sigara, Buza Cape Town

  • @tjvuri4475
    @tjvuri4475 4 года назад +11

    Kama unaamini kua wasafi wanaweza singeli gonga like twende sawa

  • @maryirigo5261
    @maryirigo5261 3 года назад +4

    Uweeeeh not late though.vanny kenyans loves you.nikiwa hapo.2021 💕🔥🔥🇰🇪🇯🇲

  • @ramadhanijuma8348
    @ramadhanijuma8348 4 года назад +7

    😂😂😂 Eti anaenda kufua adi waleti duh kweli miss buza 🔥🔥

  • @bintykigan6236
    @bintykigan6236 4 года назад +45

    Ngoma nkali Sana nimeipenda Sana nime like Nika share Nisha comment Nishawapa watu likes Sasa bado mm munipe jamani from Kenya 001 kama kawa

    • @scripturetz1056
      @scripturetz1056 4 года назад

      ruclips.net/video/tSNDDWpVADM/видео.html

  • @aralonearafa4909
    @aralonearafa4909 4 года назад +7

    Kama umerejea kuangalia huu miusic gonga like hapa

  • @orekumadumba6240
    @orekumadumba6240 4 года назад +1

    Tz tuko hapa pande za nyanda zajuu kusini mbeya city mdogo wetu huyu wahapa tauni mbeya hongera sana daa zuuu kelele yakwaza kwa mis wakeee noma kweli WCB daima mbele nyuma mwiko

  • @erickodhiambo6125
    @erickodhiambo6125 4 года назад +8

    Noma! 🇰🇪 🇰🇪 Imewakilishwa....

  • @ommykhan1748
    @ommykhan1748 4 года назад +22

    Chuii nakukubali kuliko like za comment hapa... 🔥🔥🔥

  • @sinqokim6739
    @sinqokim6739 4 года назад +28

    Love from South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @ssergentdullah1327
    @ssergentdullah1327 4 года назад +1

    Somo yangu Dullah makabila namkubali sana tu. shout out kutoka switzerland. endeleza singeli babaaa!!!

  • @michaelnzowa1106
    @michaelnzowa1106 4 года назад +62

    Watu wa green city gonga like twende sawa😁

  • @teahalim1645
    @teahalim1645 4 года назад +52

    Uyo dogo aliekunja suruhali anacheza vizuri

  • @agneswilson908
    @agneswilson908 4 года назад +6

    Kaka nilisema sikubali mpaka iwe kwenye no 1 trending 💃💃💃💃👯‍♀️👯‍♀️👯‍♀️👯‍♀️ piga kelele kwa kaka Ray🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 года назад

      Kande boy tupa kule now!!!💪

  • @samueljoel5728
    @samueljoel5728 4 года назад +1

    Buza ana dera mpya lakini chupi ni ya zamani....kali sana walae