Zuchu - Nyumba Ndogo (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 8 тыс.

  • @kevokofficial5830
    @kevokofficial5830 8 месяцев назад +71

    2024 tumo humu ndani❤❤
    Dah!!! Huyu zuchu kamwe hanichoshi. Zuchu nakupenda ❤
    Kenyans in the building

  • @Werema3760
    @Werema3760 3 года назад +76

    Jaman huyu dada atatuuwa she is the next level! Video ya kwanza tu trending no one! Na hii tena! Now trending #one both Tanzania and kenya wew mtoto mmmh!

    • @magiehermess9949
      @magiehermess9949 3 года назад +1

      Ata Mimi naona hivyo

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 года назад

      Eti Alikiba ameshapanda kwenye 1 on trend?, Naomba jibu please.

    • @Werema3760
      @Werema3760 3 года назад

      @@Manumbu1 andika no one on trending ni zuchu, two ni mr flever ft mond and three ni kamata ya mond! Japo next huwenda kamata ikaingia on trending no one!

  • @mabassam8044
    @mabassam8044 3 года назад +75

    Nyumba ndogo naona ikivunja record ya sukari within a month.. nyumba ndogo hoyeeee🔥🔥🔥

  • @Skoki_dramaqueen
    @Skoki_dramaqueen 8 месяцев назад +44

    😂😂😂😂i love this song i swear.... Wale wa ooo achana na chali yangu nyoko nyoko 😅😅😅this song is for you
    2024❤️💪🤣

  • @guddenhazard6686
    @guddenhazard6686 3 года назад +80

    Huu wimbo una tatizo moja tu, UNAISHA 🔥🔥

  • @mombasainfinity
    @mombasainfinity 3 года назад +112

    Nyimbo ilijulikana ata kabla video itoke 😂😂😂
    Team Zucho for life
    💯❤️❤️❤️

  • @rhodaobura5139
    @rhodaobura5139 3 года назад +153

    Si kwa ubaya, I'm from Kenya 🇰🇪but kwangu Zuchu is the best🔥🔥🔥🔥🔥East African Girl❤️👌

  • @leskyatas6708
    @leskyatas6708 2 года назад +2

    Mambo Sister wangu Zuchu Mtu wa Kigali nitwa Rahma nakupenda sana tu namkubali saana♥️🇷🇼😘🥰👋

  • @Yusuf-ry5jv
    @Yusuf-ry5jv 3 года назад +494

    Weeeee zuchu uyooooo nyumba ndogo kenya tuko ndani nipe likes wanangu 🇰🇪🇰🇪 wcb for life 🔥🔥🔥

  • @denicensimeki4390
    @denicensimeki4390 3 года назад +70

    Wangapi walitamani video isiishe💥👍🇹🇿

  • @pierrebigirindavyi4378
    @pierrebigirindavyi4378 3 года назад +266

    This Zuch is on fire! Kama wewe ti team bora WCB, gonga like basi

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 года назад

      Eti Alikiba ameshapanda kwenye 1 on trend?, Naomba jibu please.

    • @mikestalone8211
      @mikestalone8211 2 года назад

      @@Manumbu1 ....how can I get enclosed to the this video

    • @karinganganga3514
      @karinganganga3514 2 года назад

      Such is going to be the the next nicki Minaj of Kenya 🇰🇪 👍🏻😻😻😻😻😻

    • @JacklineAshiali-g1v
      @JacklineAshiali-g1v Месяц назад

      Pôle emploi je vous remercie par ailleurs je ne sais si tu peux le faire en sorte de I could give to you tomorrow goodnight and sweet you are a successful moment I say I say I love to you tomorrow goodnight 😢😮😮😮😢😢🎉😂😂😂❤❤😂😅😅😅

  • @PatrickHabiriza-xe1sh
    @PatrickHabiriza-xe1sh 9 месяцев назад +2

    Nyumba ndogo, huu mziki umenifanya kuwa nabidii zaidi yakuziangaliya nyimbo za tz @Zuchu❤️

  • @saudahosman7885
    @saudahosman7885 3 года назад +45

    Oman trending number 8 zuchu ni noma halafu zote zipo trending🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @noelamadadi5731
    @noelamadadi5731 3 года назад +52

    Natokea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪,nimepiga hapa kambi kiasi, on repeat mode, 💃💃💃👌👌👌🔥🔥🔥.

  • @irenemayalla9152
    @irenemayalla9152 3 года назад +41

    Sama nyumbandogo zitatambaa🙄🙆‍♀️ oky all in all kijigoma kitaaam kwakweli🥰🥰🥰😋💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾🔥🔥🔥🔥

  • @EstherMulindwa-fp3ml
    @EstherMulindwa-fp3ml 5 месяцев назад +35

    Nani sijamtaja aje acheze n'a Mimi 2024❤❤❤ zungusha❤😂

  • @DogoCharlie
    @DogoCharlie 3 года назад +2663

    Baaaasss Kichupa kimedondoka sasa Kenyans in the building🇰🇪🇰🇪

  • @ganakoluxurylodge7663
    @ganakoluxurylodge7663 3 года назад +37

    MNYONGE MYONGENI NA HAKI YAKE MPENI....WCB WASAFI WAKO JUUUUUUU......SINA UBAYA JAMENI.......

    • @cupvery2502
      @cupvery2502 3 года назад +1

      ruclips.net/video/VGLR0YVxyXkh/видео.htmlh

  • @eliusmureh943
    @eliusmureh943 3 года назад +39

    This video is the definition of perfect 🔥🔥🔥. Any Kenyans around? Au mmeenda kuambia serikali iwapee kazi😂😂😂.

    • @Swahili14
      @Swahili14 3 года назад

      KENYANS you gonna kill me 😂😂😂🤣🥰🙌🇹🇿

    • @othmanhaji1504
      @othmanhaji1504 3 года назад +1

      @@Swahili14 n

    • @lizmwende6343
      @lizmwende6343 3 года назад

      Ambia serikali ikupee kazi ..hata kama ni ya kufagia barabara

    • @SangoSwedi-x3z
      @SangoSwedi-x3z 4 месяца назад

      V​@@Swahili14

  • @kimuyu
    @kimuyu Год назад +6

    My son is 1 year 3 months and I kid you not. He sings or attempts to sing along. He has not even uttered "mama". But he knows how and when to scream at 2:37. 😅😅

  • @bugenimanadavid8853
    @bugenimanadavid8853 3 года назад +19

    Nyabisindu remera, Rwanda shia 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @vincentonyango9801
    @vincentonyango9801 3 года назад +141

    Zuchu always on top,she's taking over Africa...kazi nzuri sana Nairobi Kenya tunakupenda sana

  • @innocentadolf7284
    @innocentadolf7284 3 года назад +134

    Team WCB tujuane tulipeleke goma namba 1 trending 🎶🎵🎶

  • @dieynabasow2490
    @dieynabasow2490 2 года назад +16

    Sénégal 🇸🇳 love you zuchu come in Sénégal to concert. On t’aime beaucoup 😘😘😘

  • @panchovalentino5922
    @panchovalentino5922 3 года назад +29

    Zuchu zichune hatare sana bonge ya Video 👏👏👏🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥💯💯💯

  • @Okayafilm
    @Okayafilm 3 года назад +49

    Kwà soko la East Africa kwasasa Zuchu ndo kalishika. Wait maajabu ya trending alikiba na Diamond watatolewa na huyu Demu🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆

    • @arqamkhamis1383
      @arqamkhamis1383 3 года назад +3

      Nduguangu yangu namimi nimeliwaza sana hilo

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 года назад

      Eti Alikiba ameshapanda kwenye 1 on trend?, Naomba jibu please.

    • @mohamedijafary2174
      @mohamedijafary2174 3 года назад

      True

    • @rashidjoseph2624
      @rashidjoseph2624 3 года назад

      Na hat hvy wameshindwa kumtoa namb moja ile video lyrics wiki tatu bado yupo yeye

    • @maryannemwangi168
      @maryannemwangi168 3 года назад

      Ukovery correct

  • @njaikelvin41
    @njaikelvin41 3 года назад +42

    One of the reasons I watch this song it's because of that dramatic woman in red. Yule mwenye kuzungusha matiti kama vijiboli. I love. Hivi nauliza nani anamjua? Piga like kama unampenda pia.

  • @beautifullyMade2024
    @beautifullyMade2024 2 года назад +57

    My son is barely five years and knows almost all her songs.... regardless of the place as quiet as he is Zuchu's song can not just pass like that....he sings and dance along.....Zuchu is loved

  • @kinyamal8201
    @kinyamal8201 3 года назад +143

    Na venye ni mhumble, no beef with anybody just competing with her own goals.😊😊😊 Zuchu is another level.

    • @Directortomwillz
      @Directortomwillz 3 года назад

      ruclips.net/video/i7K382iylqY/видео.html

    • @b.3845
      @b.3845 3 года назад +9

      They tried to force beef between her and yule baby mama wa Kenya Eti sijui spanish language imeibiwa🤣 Lakini Zuchu wetu hapendi ugomvi😌! That is why God keeps blessing her. When others are looking for beef, she’s focused on her career purely and constantly feeding us with hits! Raha sana kuwa shabiki ya Zuchu jamani 😌😌🥰🥰

    • @kinyamal8201
      @kinyamal8201 3 года назад +2

      @@b.3845 😂😂😂as if yeye ndo alicreate spanish language, kuna mwingine anasema Mondi kamuibia Kamata ety idea ilikuwa yake,😂😂Watu wana mambo.

    • @kinyamal8201
      @kinyamal8201 3 года назад +1

      Sorry not idea, anasema the song Kamata Mondi amecopy wimbo wake unaoitwa nikune.

    • @b.3845
      @b.3845 3 года назад +3

      @@kinyamal8201Yaani diamond ni ngazi they need to mention him so that they get clout. 😂

  • @Fredw6
    @Fredw6 3 года назад +64

    Ati siku hizi ku share ma bwana 🤣🤣🤣🤣🤣 naskiza huu wimbo kutoka CONGO 🇨🇩 nawapenda watanzania wote 🥰🥰🥰

  • @ramadhanimkomeni9515
    @ramadhanimkomeni9515 3 года назад +36

    Kuna zuchuu wengii Sana'a kwenye mwilii mmoja wa official zuchuu zuchuu beyonce,, zuchuu mpembaa na zuchuu mswahiliiiii tena wa buzaah

  • @SefuSonia
    @SefuSonia 2 месяца назад +2

    Ndo kashakuwa mke wa mondi🎉🎉🎉🎉🎉. Zuchu hukwepeshi😂😂😂❤❤❤nakupenda bure

  • @tunda_tiziana
    @tunda_tiziana 3 года назад +158

    Zuchu una maksuuuudi! Daaah! Wadau nipeni likes za 254 and 255 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @presenternathan9490
    @presenternathan9490 3 года назад +259

    Im from kenya 🇰🇪na nakubali Zuchu is the best East Africa female artists.Nipe likes aki

    • @nellytenai242
      @nellytenai242 3 года назад +4

      🤣🤣🤣 unataka kufanyia nini likes

    • @santorez2
      @santorez2 3 года назад +13

      Mambo ya Zuchu achia watanzania, wewe ambia serikali ikutafutie kazi.

    • @nara3837
      @nara3837 3 года назад

      😍😍😍

    • @kushykhery
      @kushykhery 3 года назад +1

      Naje Ssaru?

    • @lamayanibahati6496
      @lamayanibahati6496 3 года назад +2

      Uko vizur sana. Zuchu. 🇹🇿

  • @bkaymakeups1725
    @bkaymakeups1725 3 года назад +72

    ZUCHU ANOTHER LEVEL NAKUPENDA WANGU OWWWW, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️MWEZI MPYA NA FIRE MAMA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 года назад

      Eti Alikiba ameshapanda kwenye 1 on trend?, Naomba jibu please.

    • @bkaymakeups1725
      @bkaymakeups1725 3 года назад

      @@Manumbu1 just follow up.....

  • @mandovapicture
    @mandovapicture 26 дней назад

    Daah 2024 nimerudia tena kusikiliza huu wimbo ni moto Respect kwa Muandishi wa huu wimbo #Tamimu

  • @mariahninger4490
    @mariahninger4490 3 года назад +37

    You never disappoint my love. Keep doing ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️😍💞Kenya..wapi like za nyumba ndogo wote.naomba tujuane kwa likes hapa..

  • @joanne-kagendo
    @joanne-kagendo 3 года назад +17

    Ukiona tumependa zuchu ata kua wetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @olaismoses5186
      @olaismoses5186 3 года назад +3

      🤣🤣🤣najua wakenya hamjawai shindwaa sema tutawapea manzee kwani mbaya akiwa na nnchi mbilii

    • @hellenkighenda2090
      @hellenkighenda2090 3 года назад +3

      Hya

  • @leahabubakar7171
    @leahabubakar7171 3 года назад +75

    wale tulio.angalia Zaid ya mala moja mikono juuu🙌

  • @mutoniannet7933
    @mutoniannet7933 Год назад +11

    This beb will kill me one day I swear she's so stubborn and funny love you zuchu much love from Uganda 🇺🇬 ❤

  • @petermuya8870
    @petermuya8870 3 года назад +80

    Likes za zuchu kutoka Kenya 🇰🇪 zinadrop apa 💙💙⭐🌟

    • @teddysdomain
      @teddysdomain 3 года назад

      ruclips.net/video/liEBMb9-sqA/видео.html

  • @tumsifunyange3822
    @tumsifunyange3822 3 года назад +33

    Bonge la ngoma bonge la video. Congratulations Zuchu. WCB team. Wap like zangu jamani🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @b.3845
    @b.3845 3 года назад +65

    Yaani raha sana kuwa shabiki ya Zuchu. She keeps making us proud. She will never entertain beef hata mkiforce beef na yeye 🤣😜 she chooses to focus on her music. And she has no baby daddy drama no relationship drama Yaani ZERO distractions. That’s why she’s doing well. Keep it up Zuchu. We are happy to support a wise girl like you.

  • @almasinillan
    @almasinillan 9 месяцев назад +438

    2024 WHO'S HERE 😅😅😅

    • @Mlasidunia
      @Mlasidunia 9 месяцев назад +15

      🎉🎉

    • @jenny-sg5lu
      @jenny-sg5lu 9 месяцев назад +8

      Me everyday😅

    • @EmmaculateEngefu
      @EmmaculateEngefu 8 месяцев назад +4

      Me😅😅😅😅😅

    • @bantkmaca5756
      @bantkmaca5756 8 месяцев назад +4

      Niko hapa😂😂😂🇰🇪🇰🇪

    • @Sur-v9s
      @Sur-v9s 8 месяцев назад +4

      Nipo apa😂😂😂

  • @albertandole3711
    @albertandole3711 3 года назад +106

    The real African Princess.WCB 4 life.Hatubanduki ng'ooooooo.254 Kenya tuned.

    • @farooqali1300
      @farooqali1300 3 года назад +1

      fireeeeeeeeeeee, i watched 20 times

    • @albertandole3711
      @albertandole3711 3 года назад

      @@farooqali1300 And still not enough hahahaaa

  • @moyahviptamuz8461
    @moyahviptamuz8461 3 года назад +23

    Moja safi sana.Jeshi unakibarua.....Nipewe likes za zuchu wenzangu tens samahani SINA UBAYA NA JESHI🤣🤣🤣🤣

  • @dianajeremiah3180
    @dianajeremiah3180 3 года назад +18

    Zuchu we kiboko Cha msuna,umemchapa mmakonde hadi kachanganyikiwa

  • @reaganpatrick3323
    @reaganpatrick3323 2 года назад +1

    Really she meant it real to diamond's wife by then now it has come true Asante kwa wimbo mzili💪

  • @officialsymo2686
    @officialsymo2686 3 года назад +139

    Hivi sasa Zuchu ametambua kwamba utamu wa nyimbo ni densi... learning from Simba mwenyewe...wapi hizo likes za wakenya na Tz🤍

  • @Linetkalendi
    @Linetkalendi 3 года назад +76

    Tamu kenya 🇰🇪representing

  • @annadaniel6427
    @annadaniel6427 3 года назад +21

    Mke mkubwa pole na samahani Mimi Nani Mimi ndo make mwenzio Tena nyumba ndogo💃💃👌👌👌

  • @Helmuto
    @Helmuto 2 года назад +17

    Vielen Dank und dies ist das schönste, was ich je an Mizic Africanic hören und sehen durfte, Zuchu, ich hoffe, ich darf Euch einmal in Tanzania besuchen. Ich liebe Euch 💖💖💖💖💖😎👍

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 3 года назад +53

    Tulioirudia kuitazama zaidi ya Mara 3 tujuane😌😌🔥🔥🔥. #nyumbaNdogo

  • @daktarithepriest3948
    @daktarithepriest3948 3 года назад +26

    zuchu hana ubaya kamwe!!!!, jitambulishe AKA, NYUMBA NDOgo

  • @untouchboymsafi1788
    @untouchboymsafi1788 3 года назад +46

    Popote wasanii wa wcb mlipo nami nipo, staacha kushabikia muziki mzuri, na muziki mzuri unatokea WCB tu 🔥🔥 Kama hutaki susa😜

  • @timothyturunya7085
    @timothyturunya7085 2 года назад +31

    Zuchu: Her voice is angelic, and the dancers too are on point!

  • @willmeenaghalib4876
    @willmeenaghalib4876 3 года назад +17

    First here❤ wapi nduru ya nyumba ndogo🤣🤣🤣🤣

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 3 года назад +17

    No1 trend in tanzania 🔥🔥🔥🔥zuchu mtamu kama sukari ❤️❤️❤️🇧🇮

  • @work4lifenews276
    @work4lifenews276 3 года назад +30

    Wa kwanza ku comments🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @rehema2018
      @rehema2018 3 года назад +1

      Mcongo mwenzangu mwana mboka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 года назад

      Eti Alikiba ameshapanda kwenye 1 on trend?, Naomba jibu please.

  • @philipgala7199
    @philipgala7199 2 года назад +1

    zuchu yuko katika kiwango tofauti sasa! kila kitu ni cha kipekee kuanzia uchezaji hadi mwisho, 😎😎😎😎

  • @sophieatieno5148
    @sophieatieno5148 3 года назад +51

    Zuchu baby❤❤ 🙌🙌🙌 yaani I never imagined a song about a second wife could make me this happy 😂😂 hii video ni kali sana, balaa kwanza hizo outfit za dance na moves zenyewe. Drama za kina Amber Ray summarized into 4 minutes 😂😂 . Huu wimbo ni addictive

    • @thelujisumayah8956
      @thelujisumayah8956 3 года назад

      Haki

    • @leylaodembasuya5023
      @leylaodembasuya5023 3 года назад

      Nc

    • @maishayakipepeo7309
      @maishayakipepeo7309 3 года назад +2

      Halafu I died when I saw the face of the real wife (nyumba kubwa) when the gate opened and their car blocked by nyumba ndogo mob... nyumba kubwa’s facial expression took me down🤣🤣🤣 it’s a shame, I am suppose to feel for her but with this song....🤣🤣🤣 nawww!!... I was in tears with glee. Zuchu you are a beast .

    • @sophieatieno5148
      @sophieatieno5148 3 года назад

      @@maishayakipepeo7309 I knowww 😂😂😂 this video was well thought of

    • @aishasalumu9311
      @aishasalumu9311 2 года назад

      Y

  • @chunagirl5744
    @chunagirl5744 3 года назад +29

    Naomben like za zuchu🔥🔥 angalau leo tyu

  • @chekatucomed9141
    @chekatucomed9141 3 года назад +26

    Amkeni kumekucha kumekucha kumekucha #nyumbandogo ✅

    • @Jesus_Saves_Believers
      @Jesus_Saves_Believers 5 месяцев назад

      Je, unajua kwamba Mungu anakupenda? Yesu Kristo ni Mungu na ni Mwana wa Mungu. Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na kufufuka tena. Kila amwaminiye Bwana Yesu Kristo atapata uzima wa milele. Mwamini Yesu Kristo kwa uzima wa milele Mbinguni! Yohana 14:6

    • @BluefinSolutions-w3q
      @BluefinSolutions-w3q 3 месяца назад

      ilove you zuchu ,mung akuongoze sana ❤️💗

  • @dianarose9262
    @dianarose9262 2 года назад +2

    Mm na mkubali sana Zuchu nimsanii ambaye ana vaibu la hatari sanaaa

  • @philipshabaan4708
    @philipshabaan4708 3 года назад +26

    From the land of Matoke the song and video has been well received 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 3 года назад +48

    Wapi upendo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki 🇹🇿🇧🇮🇸🇸🇺🇬🇰🇪🇷🇼 ?

    • @AaAa-tf7sl
      @AaAa-tf7sl 3 года назад

      Kenya 🇰🇪

    • @Myright888
      @Myright888 3 года назад

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @wyclife4296
    @wyclife4296 3 года назад +134

    Aki Watanzania si tuwapatie Willy Paul,Bahati na wasanii wote wa Gengeton mtupatie Zuchu plizzzzzzzzzz

  • @JosephineKathomi-g9s
    @JosephineKathomi-g9s Год назад +2

    Akuna wimbo imeni furaisha kama ii kama mimi hapa mwenye niko
    singo siji jaj mama ❤❤❤maisha ni tamu ❤❤❤❤

  • @jonster7973
    @jonster7973 3 года назад +52

    Anaitwa queen zuchu nipe like kwa. Zuchureeeee mwakanj tunachukua. BET😁😁😁

    • @aishaabubakary3271
      @aishaabubakary3271 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣au cyo

    • @jonster7973
      @jonster7973 3 года назад

      @@aishaabubakary3271 ndio ndio 😁

    • @aishaabubakary3271
      @aishaabubakary3271 3 года назад

      @@jonster7973 haya bhn

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 года назад

      Eti Alikiba ameshapanda kwenye 1 on trend?, Naomba jibu please.

    • @jonster7973
      @jonster7973 3 года назад

      @@Manumbu1 nyooo aringe😁😁 trending ni za WCB. Meisho

  • @benardmwakilasa3969
    @benardmwakilasa3969 3 года назад +17

    Nilichojifunza kwenye comments ni kwamba Wakenya wanapenda na wanazikubali nyimbo zetu Watanzania..

  • @santozdavido7843
    @santozdavido7843 3 года назад +240

    When you talk about WCB it's all about full package of entertainment...long live Wasafi🙏🙏🙏

  • @Felister776
    @Felister776 Год назад +135

    Kwani 2024 nasikiliza pekee yak kama kunawengine like tujuane 😂❤❤

  • @Rity-kimz
    @Rity-kimz 3 года назад +26

    This is pure talent 👏 you’re the queen of bongo ,, wengine ni mchezo tu kwenye mziki 😁💗

  • @elvirakaganda3807
    @elvirakaganda3807 3 года назад +28

    Another one from Tanzania 🇹🇿🇹🇿 Watajua hawajui🤣🤣🤣🤣 Singeli to the world🌎🙌🏾🙌🏾

  • @ezekielofficial2151
    @ezekielofficial2151 3 года назад +34

    Kama umeiyona nyumba ndongo like hapa

  • @ericgitemi234
    @ericgitemi234 3 года назад +4

    2.25... hizo manyonyo zinazungushwa... Wahhhh 😭😭

  • @kicheko4980
    @kicheko4980 3 года назад +82

    Zuchu is so creative she just made two videos in one look at the first part she tells the whole story and the second part she comes with brilliant dance moves with the outfits damn what a talent. I cannot wait for the BTS because in the most of her BTS I have seen her coming with the ideas. What a talent may you keep up the good work.

  • @jumannemfaume
    @jumannemfaume 3 года назад +33

    I love the way unavyotoa Competition kwa legendaries na vile umeweza kuwavuruga vuruga wote you are the really Queen

  • @sumastarmedia3939
    @sumastarmedia3939 3 года назад +62

    MAMAE BALAAAAAAAAAAAAAAA🔥🔥 gonga like kwa (TEAM WCB)

    • @alexaiddan979
      @alexaiddan979 3 года назад

      Oyaa simbaa baba laoo ilaa kule kwetu kamatia viwas 100000 wamepunguzwa

    • @elvistosha6779
      @elvistosha6779 3 года назад

      ruclips.net/video/fDBuLC3ccK4/видео.html

  • @marianakapeller4699
    @marianakapeller4699 2 года назад +9

    Tanzania to the world, Zuchu you go Girl, we love you

  • @limtrixydully8542
    @limtrixydully8542 3 года назад +19

    Female vision of diamond platnamz😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 nipate like zake hapo bas

  • @sharleenoyondi2498
    @sharleenoyondi2498 3 года назад +15

    Zuchu hits my heart hii ulitoa wapi....naipenda kwa songs zako zote

  • @sophierajos2778
    @sophierajos2778 3 года назад +19

    Oh my god this is one of my favorite music from bow one. I lobe the acting the music and everything. Zuchu if you gonna see this. You're the best

  • @annambaye2657
    @annambaye2657 2 года назад +18

    Je suis sènègalais mais j écoute chaque jour les chansons de zuchu ❤️❤️❤️❤️

  • @brendachemutai8422
    @brendachemutai8422 3 года назад +101

    Real housewives of Syokimau
    Well represented😂😂

    • @chichim4929
      @chichim4929 3 года назад +2

      Just what i was thinking!!😂😂

    • @djkeila7604
      @djkeila7604 3 года назад

      That one brought me here 🤣🤣

  • @meshackkibusia7290
    @meshackkibusia7290 3 года назад +120

    I love the song,the creativity and the moves is on exemplary level..,likes from uganda 🇺🇬🇺🇬 and Kenya 🇰🇪🇰🇪 jamani

    • @fionahkimanzi4171
      @fionahkimanzi4171 3 года назад +1

      Ggetfgdue21heh😎😎😝🤩🤩😂🙃🥰😅😇🤑🤠🥳🤬🦴🦷🏄‍♂️

  • @Michellejerotichkeino
    @Michellejerotichkeino 3 года назад +21

    Wangetoa collabo na Amber Ray anyway wakenya tuko ndani kama kawa🥰💯💯

  • @francisoloo4448
    @francisoloo4448 2 месяца назад +1

    Nyumba ndogo the joy of most marriages...

  • @chepkemboimercy7684
    @chepkemboimercy7684 3 года назад +163

    Wakenya tuko hapa juu ta the Syokimau wives🤣😂😂

  • @stannslousmusau8099
    @stannslousmusau8099 3 года назад +54

    Singeli loaded in kenya, WCB never disappoints

    • @lilianwatitwa7195
      @lilianwatitwa7195 3 года назад

      I like Zuchu but not this song coz it promotes polygamy.

    • @bijumafundi1737
      @bijumafundi1737 3 года назад +1

      @@lilianwatitwa7195 😂😂😂 polygamy Ni Sunnah kwa dini ukizingatia zuchu ni muslim!!! Ni uchunguu tu kuolelewa mke mwenzio 👏👏

    • @siamaabeid2197
      @siamaabeid2197 3 года назад +1

      🔥🔥💯💯

    • @aliyahkhamis7472
      @aliyahkhamis7472 3 года назад +1

      @@lilianwatitwa7195 African culture

    • @briankenyan1799
      @briankenyan1799 3 года назад

      @@lilianwatitwa7195 njoo uwe wangu wapekee

  • @elimondmbamba3020
    @elimondmbamba3020 3 года назад +20

    Zuchu nyumba ndg asnt tz eee bwn najivunia kuwa na aifa nzuli 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @philipmendy2494
    @philipmendy2494 2 года назад +5

    My sister I don't know you but your music touch,s my heart may you keep going high an higher 🙏

    • @OlgaAmboulou
      @OlgaAmboulou 5 месяцев назад

      AMEN AMEN AMEN ooooh 🙏

  • @excellentalexis2644
    @excellentalexis2644 3 года назад +29

    🌈Zuchu bado Mkali🏆, huu dada Noma!🥇🎙🎧🚥🦄

  • @juniormgema2524
    @juniormgema2524 3 года назад +16

    Tujuane tuliotaarifiwa na zuchu instagram kuwa vidio sasa tayari, tukakimbilia youtube gonga like za kutosha raha sivyo shemeji yenu ameniambia nisipofikisha like 10 hanipi na kichina💃💃💃💃 mchezo wa kichina zungusha kiuno chako😂

  • @Kasweetie_254
    @Kasweetie_254 3 года назад +30

    Zuchu amewapa side chiqs vichwa sasa goat wives wataimbiwa hii mpaka watii 🤣😂😂😂🔥🔥🔥

    • @madamedaty8545
      @madamedaty8545 3 года назад +1

      Tumekuwa hatuna raha 😪😪😪 nasisi atuimbie

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 года назад

      @@madamedaty8545 🤣🤣😋tumeimbiwa na menina🤣

  • @sportybob4777
    @sportybob4777 2 года назад +1

    Wazi Zuchu #kenyamemesfinder hapa kukupa support 24/7 keep up the good work

  • @milbetatelo5816
    @milbetatelo5816 3 года назад +158

    Leo nimefika likes 100🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nephersisa5447
    @nephersisa5447 3 года назад +14

    when ur raised around a taarab goddess this what u become superstar kwa dna na bidii ahhaa zuchu ur perfect

  • @elizabethhenry9901
    @elizabethhenry9901 3 года назад +36

    Video kali sana 🥰❤️👑

  • @estheroyondi9307
    @estheroyondi9307 3 года назад +2

    Adija kopa na mama dangote ndio mother in law's haha aki zuchu iko bieng sana