DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY - ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 авг 2017
  • Diamond Platnumz latest song "Hallelujah" ► bit.ly/2x02yYg
    Send 'Skiza 8540075' to 811 (Safaricom). The Song features all WCB WASAFI Artists including Diamond Platnumz , Rayvanny , Harmonize , Mbosso ,Lavalava , Queen Darleen and Rich Mavoko.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 16 тыс.

  • @concude
    @concude Год назад +1300

    2023 any Kenyan in the house?

  • @spartachize122
    @spartachize122 3 месяца назад +271

    Wale wa 2024 mko wapi? Gonga like🎉

  • @maboiller381
    @maboiller381 4 месяца назад +105

    This song will never lose taste❤ any Kenyan in the building 2024❤❤❤

    • @khamismussa3070
      @khamismussa3070 2 месяца назад +1

      😂😂😂❤

    • @StephenRonny
      @StephenRonny Месяц назад +1

      @@khamismussa3070 still in 2024❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥

  • @HamisiChipotele-fl8xo
    @HamisiChipotele-fl8xo Месяц назад +20

    Nipo hapa 2024. Jamani mbona nyie mnapata likes, mi sipati. Angali wote tunampenda muziki mizuri "zama za zamani" 🎶🎵🎵🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @josephndirangu5953
    @josephndirangu5953 2 месяца назад +63

    Wah aki hii wimbo is always great. Kama uko huku April 2024 piga like. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @violetmaganda7164
    @violetmaganda7164 3 года назад +1382

    2021 any kenyan in the house

  • @badboi-ou5cs
    @badboi-ou5cs 22 дня назад +11

    Nani anaisikiliza wimbo hui 2024?

  • @user-vd4cv9dy1m
    @user-vd4cv9dy1m 22 дня назад +14

    2024 mko wapi 🥰🥰

  • @loise4467
    @loise4467 Год назад +95

    2023 still on fire

  • @DoctorEvarist
    @DoctorEvarist Год назад +36

    My favorite song Until now 2023🔥
    I wish mngerudi tena na kuungana kama ivi mfanye makuu zaidi 🔥🔥🔥

  • @255kl
    @255kl Год назад +77

    I'm here once again 2023✔️, A lot has happened and changing but honestly I really miss the vibes of old wasafi ,ooh maa men konde boy😭,mavoko😭,vanny boe 😭, quuen 😭 .. the era is coming to an end ❗,, thank you platinumz for the gifts of vanny boe and konde boy always make people enjoying,, really the street will never forget your beautiful heart for the music industry of Tanzania and Africa thank you again again and again,for those who watching this bung in 2050 this guys was phenomenal genius on their Prime's🔥🔥🙌 and now is our legends 🔥💪

    • @najmaallysaid-mz2wc
      @najmaallysaid-mz2wc Год назад

      This iz de meaning of love

    • @nyegesssimon6953
      @nyegesssimon6953 Год назад

      H see BCGy? The deer switch getting1a gym into ⁹f

    • @estherkamoko7254
      @estherkamoko7254 10 месяцев назад

      I miss them too,I wish they can forgive each other and continue giving us hits, life is too short not to forgive each other

  • @maryonyango8102
    @maryonyango8102 Месяц назад +6

    2024 gonga like jamani❤❤

  • @kizitokasulamo9167
    @kizitokasulamo9167 6 лет назад +116

    yan hii imewashika watu pabaya yan Hadi wanasiasa walijipanga kuiuwa Lakin wap kilicho pangwa na Mungu binadam hata mfanyaje mtafeli to WCB is my team congrats to you broo Diamond

    • @zachariadidas9387
      @zachariadidas9387 6 лет назад +1

      Ngoma kari saana

    • @kadzomulewa3838
      @kadzomulewa3838 6 лет назад

      Kizito Kasulamo ndaniiiiiiiiiiii

    • @ebidonychanga2975
      @ebidonychanga2975 6 лет назад

      inabd yule jamaa akapmwe mkojo..

    • @ishimweaisha4032
      @ishimweaisha4032 6 лет назад +1

      Kirico pangwa namungu hakuna naye weza gupanguwa Maduro mupo mume yiwona hiyo ZIRIPENDWA

    • @ishimweaisha4032
      @ishimweaisha4032 6 лет назад +1

      Silva Platnumz umesema nirudiye guhangaria nazidi kuyiwona zuri zayidi paka nimeyiceza inagoma zurisana

  • @rashidimkunjila8096
    @rashidimkunjila8096 3 года назад +233

    Kama umeiangalia hii 2021 gonga like basi👍

  • @ellynassari608
    @ellynassari608 Месяц назад +6

    mimi sio shabiki wa izi nyimbo ila nlipenda sana wasani wetu kukaa pamoja na kufanya kazi pamoja huuu wimbo naupenda

  • @francispaul5806
    @francispaul5806 3 месяца назад +39

    Tupo wangapi humu? kama sipo peke yangu hebu gonga like hapa

  • @Yummycuisine269_230
    @Yummycuisine269_230 2 года назад +77

    I miss the Diamond Platnumz & Harmonize duo
    That was a strong duo😪

  • @enockgeraldgerald9490
    @enockgeraldgerald9490 6 лет назад +30

    diamond kk una maaadui wengi had wanasiasa hvyo kuwa makin bhna .......wanaokuonea wivu n wengi sana we n mti wenye matunda hvy kila mtyu hukuchukia ww hata yesu alisalitiwa na walewale marafiki hvy kuwa makin

    • @mussamasanja3406
      @mussamasanja3406 6 лет назад +2

      Kama kichwa kinaumw njoo wcb Panadol zautosha

  • @devicfediriko9975
    @devicfediriko9975 Год назад +105

    5years still can't get enough of this song, who agree💯💥

    • @bosibori23
      @bosibori23 Год назад

      Truee🥳it still hits❤

    • @alexmwendwa5446
      @alexmwendwa5446 Год назад

      Nataman muungane tena

    • @maureenmashayo7401
      @maureenmashayo7401 9 месяцев назад

      ​@@alexmwendwa5446 true that team was fire I wish warudiane

    • @odestamabibo455
      @odestamabibo455 3 месяца назад

      Will someone translate to English the meaning of the song

  • @lowasasabaya3606
    @lowasasabaya3606 Год назад +5

    Hawa wote walikua wasanii wa diamond

  • @naomimavura7305
    @naomimavura7305 3 года назад +93

    Wa 2021.......who is watching with me 2021?

  • @janetkaranja8194
    @janetkaranja8194 6 лет назад +78

    mimi kwanza nitacomment ata kabla sijaiwatch kwasababu nina uhakika wcb are the best... #zilipendwa...let me watch now in a repeat mode.

  • @AliceBellanie
    @AliceBellanie 3 месяца назад +10

    We miss the old wasafi days😭

  • @PatientUseni
    @PatientUseni Месяц назад +2

    Muko wapi sasa iyi 2024? Mume poteya

  • @blessingsfredi4666
    @blessingsfredi4666 3 года назад +290

    Kama bado unaangalia hii ngoma 2021 ngonga like hapa tujuane

  • @noelkasele
    @noelkasele 4 года назад +30

    Weka like kama na ww uliikubali na unaendendelea kuitazama hii chemistry

  • @BILLIONAIRE_KINGKONG
    @BILLIONAIRE_KINGKONG Год назад +52

    Nimerudi kusikiliza hii nyimbo siku ya valentine 🤣🤣🤣 leo 2023 piga like ukiingia kuwatch picha

  • @sammymbaluka4632
    @sammymbaluka4632 Месяц назад +8

    2024 Kenyans mko wapi

  • @julietkatakanya5524
    @julietkatakanya5524 6 лет назад +58

    From USA 🇺🇸 Uganda 🇺🇬 I love you guys your very talented and handsome, you make Africa proud

  • @simonngaira6655
    @simonngaira6655 6 лет назад +22

    Mondi, Vani na Richi, Zilipendwa imeweza Nairobi vbaya wasee. Twaikubali shughli yenu alumu manguli. Waache wawaige tuu.

  • @dommyiehbb2575
    @dommyiehbb2575 5 месяцев назад +3

    2024 and still watching...mko wapi?

  • @USWAHILINI-TV
    @USWAHILINI-TV Год назад +10

    On trending again 🙌 nipeni like za zuwena

  • @raychalkamunyu8958
    @raychalkamunyu8958 5 лет назад +644

    Tanzania
    Kenya
    Uganda
    Rwanda
    Burundi
    Proudly east African....

    • @philipotuachientusikilizes5459
      @philipotuachientusikilizes5459 5 лет назад +3

      wcb song

    • @geraldetta9002
      @geraldetta9002 5 лет назад +4

      Love the beautiful rythm as far central africa

    • @fatumangoni317
      @fatumangoni317 5 лет назад +11

      I am from Uganda but my accents with Kenyan is 💯% the same there’s no difference. But I do missed home so much looking forward in 2020 I’m so excited I just can’t wait 😊❤️🇺🇬🇰🇪

    • @xxxxbabe1424
      @xxxxbabe1424 5 лет назад +8

      You forgot somalia hun

    • @heshima9
      @heshima9 5 лет назад +8

      East Africa has pretty women na haturingi :-)

  • @kubumaizer4411
    @kubumaizer4411 6 лет назад +20

    Nna imani mungu atazidi kuwapa ubunifu zaidi Ili sisi mashabiki tuzidi kuongeza nguvu ya kunyanyua Chama letu WCB kwa mikono miwili Bila kinyongo hii iko moto

  • @onestartz
    @onestartz 3 месяца назад +5

    March 2024 nimeikumbuka hii ilitisha saana

  • @emmanuelbentil3825
    @emmanuelbentil3825 Год назад +5

    Fovrite good song am in Ghana 🇬🇭🇬🇭 but am really love this song

  • @Heart2Heart132
    @Heart2Heart132 6 лет назад +120

    Rich Mavoko is so underrated! Such a great talent to the music industry

  • @yakubsaid7856
    @yakubsaid7856 6 лет назад +50

    Nkikuita Plutnumz nahs kma nkushusha thamani acha nkuit SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.. nothing like u brther....

  • @Kgb6045
    @Kgb6045 Год назад +17

    As diamond fans we need to see him with his boy harmonize again cause their collaboration is 🔥🔥ever and ever

  • @laurentchandi4254
    @laurentchandi4254 2 месяца назад +16

    Anyone in 2024?

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 4 года назад +355

    *Who is here 2020 like me thumb up👍👍🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪*

  • @rdcongoproduction8796
    @rdcongoproduction8796 6 лет назад +33

    Diamond platnumz ulituwaidi utatowa ngoma ft wcb nzima naleo umetowa ahsante sana towa ngoma na wewe ngoma zako zote huaga zinapendwa nakukubali
    Sana tu**Diamond Diamond simba**

  • @HIPHILRDC
    @HIPHILRDC 14 дней назад +1

    Wa Congo muko wapiiii. Izo nii zaa zamani saa ya wa Pépé Kalé❤

  • @nicky1x250
    @nicky1x250 Год назад +8

    Mpira na Pele..... emotional 😭😭😭😭😭😭

  • @reywanjiru2875
    @reywanjiru2875 6 лет назад +37

    kitu nomaaaaa, +254 wapi likes, za wcb

  • @assshakersshow9360
    @assshakersshow9360 6 лет назад +42

    Aisee mimi ni mjapani na huku kwetyu neti haishiki ila hawa jamaa ni creative Ile mbaya. .Lazima nijifunze kiswahili Saivi ....pamoja sana WCB.

    • @mariamlugoye1926
      @mariamlugoye1926 6 лет назад +7

      +Binacr Makeja eti timu Tembo juu nyie mbona mnapenda kumpa kiba sifa zakijinga wakati hakuna cha maana alicho kiimba yaan hata huyo kiba aimbe vipi hawezi kumfikia Diamond kwa sasa mondi yuko juu nyie endeleeni kumpa sifa zakijinga kiba sisi huku tunasema ZILIPENDWA safi sanaaaaa team wasafi

    • @sammabula7359
      @sammabula7359 6 лет назад +1

      hahaha umetisha kinoma

    • @mpamilamihayoo3256
      @mpamilamihayoo3256 6 лет назад +1

      +Mariam Lugoye Nyimbo ni mbovu kazi kutaja majina ya watu

    • @magrethzabrone9225
      @magrethzabrone9225 6 лет назад

      👏

  • @emmanuelalade9433
    @emmanuelalade9433 Год назад +5

    I guess I'm Diamond's top fan from West Africa (Ghana, to be precise)

  • @shamairahali
    @shamairahali Год назад +5

    Cheers to everyone who is still enjoying the hit in 2022

  • @hellenmpapale8019
    @hellenmpapale8019 3 года назад +85

    Kenya na Tanzania bado marafiki na mashemeji I'm from Kenya 🇰🇪🇰🇪 njoo mtubebe tena tunawapenda sana

  • @mohamedsaid1187
    @mohamedsaid1187 6 лет назад +42

    Mamamamayanguuuuu bonge moja yangoma Mimi team kiba ila kwahiii umeuwaaaaaaa kariiiisanaa

    • @issahassan4146
      @issahassan4146 6 лет назад +1

      Mohamed Said ukweli ndo huo tuamie huku huku

  • @DianaNasimiyu-df2ht
    @DianaNasimiyu-df2ht Месяц назад +5

    You are a Kenyan and still watching the song in this year 2024
    Please don't pass without a like ❤❤

  • @bikamspace.
    @bikamspace. Год назад +1

    I still find Harminizes part great more and more. Kama bado uko huku 2023 hit the like...

  • @yolandachigwada8548
    @yolandachigwada8548 4 года назад +80

    I'm a Zimbabwean but I'm proud of you Diamond keep up the standard.

  • @alfanifaraji
    @alfanifaraji 3 года назад +40

    Wangapi tukotunaitizama2021?🇷🇼🇹🇿🇹🇿 Tunataka rmx watoe panya☹️☹️☹️

  • @jeanprinvil7449
    @jeanprinvil7449 Год назад +6

    I'm from Haïti but I love this music

  • @mdharamuddie8514
    @mdharamuddie8514 2 года назад +8

    Harmonize's part is the best for me. Both in singing and act...😅🤣😂
    I love all the artists for sure, don't get me wrong.

  • @revocatusrwakagera3742
    @revocatusrwakagera3742 6 лет назад +22

    Sina cha kusema zaidi ya kusema WCB nawaelewa sana

  • @crjfamily5991
    @crjfamily5991 6 лет назад +35

    Nani Anakubali kama iyi Wimbo itafikisha 10M in one week ❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯 WCB for life

    • @shedi_m2413
      @shedi_m2413 6 лет назад +2

      mmi

    • @nuruali2057
      @nuruali2057 6 лет назад +2

      Mimi🙋

    • @athumanikitambulio5544
      @athumanikitambulio5544 6 лет назад

      Grace Ngoyi kwel kabxa

    • @anjunurdin2763
      @anjunurdin2763 6 лет назад

      Grace Ngoyi WCB.mmeharibu ngoma yenu imevuja.mngesubiri kwanza hii ya Ali asingepata viwers hao.nyie ndio mmempa ushindi.hii imetokea kukuangausha wewe.walikua wanatafuta jinsi ya kukuangasha.imeonekana kama wewe mgomvi.why kiba katoa nawe utoe.unajifanga mjuaji.ndio maana.sikwangoma hii ya Ali kupata viewrs hao.unapenda sifa.kujifanya unahuruuma.unajaza watu46.wanini.haikusaidii chochote.utasaidia wangapi.uliowasaidia wanatosha.sasa basi fanya maisha yako.mwisho.nikufirisika.unaonekana mista misifa.lkn kweli siumeyaona

  • @aimableoseyaeric
    @aimableoseyaeric 2 месяца назад +7

    Walio rudi tena hapa leo wagonge like hapa twende pamoja
    2024❤

  • @beenhambe8474
    @beenhambe8474 8 месяцев назад +11

    its october 2023 and the song still hits different❤❤❤❤the beats,the outfit,the lyrics❤❤soo amazing

  • @charlesndungu4849
    @charlesndungu4849 6 лет назад +36

    1. Million viewers Nigerians you already know East Africa is the big thing

    • @HassanMohamed-iu8hf
      @HassanMohamed-iu8hf 6 лет назад +5

      Wcb ndio kiboko yao kiba ww una safiria nyota ya simba kama c mondi ww ugekua ushapotea kitambo san mshkuru san mondi ww

    • @moham.279
      @moham.279 6 лет назад +5

      Charles Ndungu, Stop being childish. Why bringing Nigeria into this?

    • @swalehedibwa6650
      @swalehedibwa6650 6 лет назад

      Hassan Mohamed ndio abar ya mjin WCB

    • @ednahkudzaimatamba204
      @ednahkudzaimatamba204 6 лет назад

      I despperately wat this song is all abt pliz

    • @charlesndungu4849
      @charlesndungu4849 6 лет назад +1

      Ednah Kudzai Matamba they are recalling the early days.. They love that last days so they are praising early times how people used to love the Dem days.. Zilipendwa means they were loved

  • @priyankanoves431
    @priyankanoves431 6 лет назад +23

    Yaaan naipenda WCB kuliko hata ninavyompenda bwana angu aisee mmeuwa WCB 4 life kipusaaaa ni zilipendwaa

  • @Schofieldwashington
    @Schofieldwashington 2 года назад +1

    Nmefika Tanzania 🇹🇿 na nikakumbuka Kuna hii vaibu✌️harmonize🔥🔥🔥

  • @omalladavid6
    @omalladavid6 5 месяцев назад +15

    2024 anyone 😂

  • @olivermwangombe2337
    @olivermwangombe2337 6 лет назад +41

    who is here for 3M views by the end of today....................WCB from day one...keep it lock...Team.kikiba bado ndogo sana he he he he +254

  • @preferencefeza9348
    @preferencefeza9348 6 лет назад +61

    This man is new Michael Jackson from Africa I love this song into my bones congratulations guys we welcome you in United States of America.$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$

    • @paulasianway213
      @paulasianway213 5 лет назад

      Michael j zilipendwa..meaning Michael is past

  • @DSZTV-kn2oh
    @DSZTV-kn2oh 2 месяца назад +5

    2024 wp gonga like

  • @kennahtv4147
    @kennahtv4147 Год назад +4

    Likes from Kenya 🇰🇪

  • @princenaahjumalsina2687
    @princenaahjumalsina2687 6 лет назад +136

    Ukizungumzia ushindani ktk mziki na mziki ni biashara hapa ndo jibu huja.. Napenda ushindani huu.. Yaani jiwe baada ya jiwe kubwa ni kuwa mashabiki wanapata kitu wanapenda.. I like it.. Seduce me ya Ally kiba ni kali kwa level zake na Zilipendwa ya WCB ni kali kwa level zake.. Sema naona vitu vya msingi sana katika biashara hii ya muziki.. Ni kuwa biashara inataka ubunifu wa hali ya juu sana.. Ndo kitu naona kinafanywa na hawa WCB.. Hakuna hata shabiki aliyetegemea kama watatoa nyimbo ya dizaini hii...#NAPENDA NINACHOKIONA#USHINDANI UWE WA KULETA MAFANIKIO NA POSITIVE IMPACTS NA SI MATUSI NA KUKUZA MATABAKA.. #WATU WAKESHE STUDIO USIKU KUCHA SISI TUBURUDIKE NA WAO WAINGIZE PESA... NA SI MATUSI..
    Shout out ot you Ali Kiba and WCB crew Keep grindin and keep moving guys....
    M OUT.......! +255762759........7

  • @silverestor
    @silverestor 2 года назад +180

    It's November 23. I just found this music video. I'm 64 year old white American who thinks Diamond is one of the greatest entertainers in the world today. I have no idea what they are singing, but I had a smile on my face from beginning to end.

    • @zaitunjumakeji4120
      @zaitunjumakeji4120 2 года назад +3

      Good on 👍👍

    • @theatd1052
      @theatd1052 2 года назад +1

      He is

    • @chepkoechkatam3664
      @chepkoechkatam3664 2 года назад +5

      Yeah he is, it's just a song listing lots of behaviors and acts that aren't admirable should be left in the past

    • @marykaheti5522
      @marykaheti5522 2 года назад +2

      Hi,i can do the translation if you dont mind.im from kenya

    • @marykaheti5522
      @marykaheti5522 2 года назад +2

      My husband is also Timothy but died on November7 last year

  • @meddy-wi8qb
    @meddy-wi8qb Год назад +1

    Now #61 on trending OMG after 4yr imagine hug my comment I will come back again 🔔🔔🔔

  • @chepkwony2251
    @chepkwony2251 11 месяцев назад +7

    Like kama bado unaamini huu wimbo ni moto wa kuotea mbali🇰🇪🇹🇿

  • @omarymsenguzi9001
    @omarymsenguzi9001 6 лет назад +65

    kazaneni jamaniiii, we gonna over take soon. Kama wewe ni team WCB for life gonga like.

  • @toshafidele5881
    @toshafidele5881 6 лет назад +40

    Mpe tano Mr diamond wasafi record ngoma mpya Hiyo zilipendwa 👍👍👍👍👍💛💛💛💛💃💃💃🙋🙋kata mwili dah! Mpe subscribe zake

  • @nazymarthamusah5354
    @nazymarthamusah5354 Год назад +1

    Enzi hizo zilipenda mond na wanewe this days 🤸God pananisha hawa watu

  • @mlongomlongo6680
    @mlongomlongo6680 Год назад +15

    2023 nimerundi kuangalia kma umerundi kma mm like zangu jamani

  • @kizzyngavatula9656
    @kizzyngavatula9656 6 лет назад +47

    Mungu wangu mara ya kumi hoi naitazama

    • @carloskatana35
      @carloskatana35 6 лет назад +7

      wcb mooore fire Kali kama kawa

    • @paulpatrick1964
      @paulpatrick1964 6 лет назад +4

      uwiiiiiiiiiiiiii mmeuwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @davidphares5316
      @davidphares5316 6 лет назад +1

      kizzy ngavatula mi mara 20 naitazama

  • @angeldinammary516
    @angeldinammary516 6 лет назад +29

    Zilipendwa😘😘😘
    Zuwena natmpata wap
    Zuwena wa zile nyakati❤❤

  • @sharonchriz2849
    @sharonchriz2849 Год назад +5

    For the love of this song ♥️wapi likes za 2022 as we end 👍💞💞✨

  • @mashutv7433
    @mashutv7433 Год назад +3

    Ww mwenye utaona Ii comment 2050 unitafute mm ni Mzee bana unipatie kakituu banaa

  • @bongovibe1427
    @bongovibe1427 6 лет назад +32

    WCB LABEL BIG UP 👊👊👊👊

    • @sarahlucas8067
      @sarahlucas8067 6 лет назад +5

      Wcb kiboko lao sana penda mno hahaaa

  • @AHMEDALI-rm3oh
    @AHMEDALI-rm3oh 6 лет назад +99

    I love Tanzanian music & diamond platnumz from DJIBOUTI 🇩🇯

  • @LemburisKivuyo
    @LemburisKivuyo Год назад +22

    One of my favorite music, the tone, the melody, the beats, the pitch, the rhythm, the tempo, the harmony, the message, the delivery language, the play and show all make every one fall in love with this wonderful production from Diamond Platnumz

  • @ocenricky4860
    @ocenricky4860 Год назад +8

    I really can't get enough of this song ❤️❤️❤️❤️❤️😭😭😭😭
    Too much love from your neighbor Uganda ❤️

  • @nyemogolden2815
    @nyemogolden2815 6 лет назад +46

    Nothing to say walah! you guys mmelaaniwaa Na music mamaqe.... Mond punguza speed utatuua

  • @edwinsemwenda6637
    @edwinsemwenda6637 6 лет назад +33

    Ebwanaaa eee nimekuelewa mzee baba
    Bonge la song mmelitendea haki
    #Zilipendwa_wakuache_watu_na_mziki_wao

  • @klinsmannosei8378
    @klinsmannosei8378 11 месяцев назад +6

    I don’t even understand the language but I always listen to it ….pls next time add subtitle in English ❤️🇬🇭🇬🇭🇬🇭

  • @AmoschumbaExclusive
    @AmoschumbaExclusive Год назад +1

    Kenyans here❤❤❤❤❤

  • @jammrungu561
    @jammrungu561 6 лет назад +83

    Ukitoka Tanzania nchi nyingine ya Aman ni WCB,sijut kuish ndan WCB

  • @richierich1890
    @richierich1890 6 лет назад +247

    Hii ngoma inaweza kunifanya niende kula diamond karanga geitin kwa kiba

    • @innocentsunga7767
      @innocentsunga7767 6 лет назад +4

      hahaha kjana utafunguliwa ng'ang'a. waulize shilawadu wanaijua roho ya cendela iko vp

    • @almatrashid1812
      @almatrashid1812 6 лет назад +1

      Richie rich hahahahahaha huna akili

    • @almatrashid1812
      @almatrashid1812 6 лет назад +2

      Richie rich hahahahahaha huna akili

    • @geofreysanga589
      @geofreysanga589 6 лет назад +1

      Richie rich ha ha ha ha

    • @yustermaseke7898
      @yustermaseke7898 6 лет назад +3

      😂😂😂😂ntakulipia mm kala box zma

  • @ephraimofficialytb8833
    @ephraimofficialytb8833 2 года назад +97

    I just realized how much our music (Congolese music) has impacted everywhere in Africa 🥺❤🇨🇩🇹🇿

    • @jewajua-tv
      @jewajua-tv Год назад +5

      Haa haa, Congolese music are also zilipendwa

    • @allenmaa7064
      @allenmaa7064 8 месяцев назад +1

      We are the same people. You are saying how your music made your cousin happy, yet in the same home we were raised and we have have had the same joys, tears and happiness.

    • @AmonJoe
      @AmonJoe 6 месяцев назад

      ​​@@jewajua-tv😂the irony in ur comment. Only few will understand

  • @venancendimila3363
    @venancendimila3363 6 лет назад +17

    Diamond Platnumz remains the best for music in tanzania. Tuacheni ushabiki wa kinafiki. Kwanza alivyoimba seduce me ni too underground.

  • @georgekatwiga733
    @georgekatwiga733 6 лет назад +27

    Nyimbooo Ya Mwaka Daaaaaadeq

  • @hutheinplat5881
    @hutheinplat5881 Год назад +1

    Jamani wangapi tumemmis Rich mavoco wa WCB

  • @vera-wr8ze
    @vera-wr8ze 4 месяца назад +4

    2024 anyone watching

  • @fareedijuma7067
    @fareedijuma7067 6 лет назад +33

    nimenyoosha mikono juu wcb ni fire Bonge LA ngoma salute

  • @bhzofficial
    @bhzofficial 6 лет назад +27

    Kama unapenda wcb gonga like wcb is my life

  • @johnnelmannanjelo8107
    @johnnelmannanjelo8107 Год назад +14

    2023 still in the house 2022 zilipendwa

  • @evodykalala509
    @evodykalala509 Год назад +2

    2024 Any tanzanian in the nyumba

  • @muslimahafiz2740
    @muslimahafiz2740 5 лет назад +290

    I'm Nigerian but lawwwwwd....I love Swahili so much!