Thank you for listening to Kwangwaru ♥ I welcome you to listen to my brand new album "Visit Bongo". Listen to Visit Bongo on this Link: ruclips.net/p/PLCPw4Yltn5M4qba8MAtuJkpQkQftWA3sI
Yassssssss , this song is everything , I love my first country Kenya 🇰🇪 but Kenyan musicians amkeni mwaya ,toeni nta kwenye sikio na mtupe mziki kama hizi , I love my second country Tanzania 🇹🇿 more when it comes to music comparisons, yaani lazima nitingize kiuno nikiuskia nyimbo zao na huu Wimbo, inanishika 🎶💃🏽 🗣#press replay 🎶
DIAMOND WE WANT ANOTHER COLLABO WITH HARMONIZE ,,, MSIWE NA UNAFIKI WA UKWELI,,,PLEASE,,,IF U SUPPORT THIS NIPE LIKE,, still loving this masterpiece in 2022
Born A Legend yafa tukomae kiakili hapa watu wa comment kuhusu uzuri wa hii ngoma wewe uko out of topic mambo ya kiba kila mtu ana wakati wake wakufanya kazi yeye ameona huu ndo wakati mwafaka kupata jiko, useless comment
Hapa kazi kwenda mbele. Kiba kashatoa mkono.🙋 Watu wanawasha moto kila baada ya mwezi. Hatusubiri wimbo kwa mwaka mara moja. Hapa kazi kwenda mbele #WCB 🔙🔛🔝🔥✔💯✔🙉🎵🎧
As a Nigerian, I have started learning Swahili! We need to adopt Swahili as the Official language of Africa. I can never get enough of Tanzanian songs. We love you Tanzania from Nigeria 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
As a certified Kenyan, I concur. I hear and communicate fluently in Swahili and I agree that Swahili is beautiful language Also, can I say that west African languages that have gb together are so beautiful to me. As in I don't know what gbese means but that's some beautiful shit. LoL. We don't talk like that in east Africa
boss harmonize chunga sana ngoma zako na mondi ndo zimebamba sans sa cjui utaimba na nani tena ila dunia uliyoenda inakazi kwel chunga kuna kina marioo wanapiga kazi angalia usije ukawa unatembea na mabodyguard ty
The heaviest project to have been undertaken by harmonise in presence of Africa's precious stone diamond platinums. Taratibu tutafika 100m+ views. Zambia 🇿🇲🇿🇲 signs for being present.
Kairo Ent Music midundo ya umakini mziki bila jasho maneno yaliyomo ndani ya kwangaruu kunamo messege Kali, wasoelewa hawatapata yaliyomo ndani ya teleza kama nyoka
Grew up not knowing our maternal family,,we just knew they are in Tanzania,,,in 2012 I started the search,,by God's grace I found them in 2016,,the whole of 2017 I saved up to go meet them physically,,,from Nairobi to Dar...these songs dominated the whole journey,,and thats how I fell in love with bongo music,,,Wajomba wangu,,nawapenda sana...much love from Kenya
I'm in love with 2:18-2:21 minutes ... Weka mate niteleze kama nyoka pangoni...@diamondplatnumz you'll kill me with your moves. Teamwasafi from Kenya 🇰🇪 twasema ni 🔥🔥🔥.. Let's give it five stars⭐⭐⭐⭐⭐
Thank you for listening to Kwangwaru ♥
I welcome you to listen to my brand new album "Visit Bongo".
Listen to Visit Bongo on this Link: ruclips.net/p/PLCPw4Yltn5M4qba8MAtuJkpQkQftWA3sI
It's been one of my favorites ❤❤
Bgp mondi na harmonize weka tofauti zenu pembeni ili goma Kali mlipiga mwingi mnoooo.
Visit Bongo 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@dope_is_me2783 tz
Je suis âgée mais je vous adore avec votre musique si rythme je danse avec vous bravo😂❤
Nimerudi, nani ako huku 2024 gonga like 😂
Bro nipp😅
18,5,2024
Gai 😜 nipo hapa
tuko
Tupoo😂
Mbona hii ngoma nkama inatrend kwa mioyo yetu 2024😄
huezi elewa adi
Uhakikaa💪💪
I feel the same
Ilifaa kutoka huu mwaka ila ilirauka😂😂😂
Bana joh😢😅😅
2024 tuko wangap tunaoskiliza hi ngoma
Nipo!
Tuko wawili basi
@@gilbertkabambanyatuko 3
We are here still watching
I'm here... June 😅
Lakinii si ata nyi mmeona vile Simba ni hatari🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️
Anyone amekuja hapa baada kuona diamond na harmonize wamepatana😅??
Mimi hapa
😂
Llllĺlll0llllllllllllllllllĺlĺllĺlĺllllĺlĺlllĺlĺlllĺlllĺlllllllllllĺlĺllĺllĺllllllllllllllllllllllĺllllllĺlĺlĺllĺllĺlllĺĺlĺllĺĺĺlĺlĺlllllllllllllllllllllĺĺllĺĺlĺllllĺĺllllllĺllllĺlllllllllllllllllllllllĺlĺllĺllllllllllllllllllllllllllllllĺlllllllllllll@@SAIDbensaïd-c9r
Kevoo jr😂
@@HabimanaFrancais-f2kwhat
Can we all agree hii wimbo ilitesa 💯🇰🇪❤️
A
Nilimjua harmonize kupitia hi ngoma
Ilikuwah anthem ya 2018
Mpka sahiv japo ni kimy kimy😂😂😂
Ohh yesss, inateza hadi sai❤️💃💃💃
Aliyemuona rayvany 🔥🔥 like hapa
Kwangwaru is on fire🔥🔥🔥🔥🔥
atareeeee
Na lavalava pia
sao amy nmemwona kwa umbali
💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃🙌💃💃💃💃💃💃💃🙌💃💃💃💃💃🙌
Mbosso pia
Dunia nzima tuko hapa 2024
😂😂😂 just felt like going back to this anthem,,hii nayo ilitesa
Wangapi wanaona jinsi Diamond anadance jameni!!!!
me
Reinhard Otieno
Reinhard Otieno that dance kills me for real I need to know the name
Ooh my god this is old dance
I like this guy big up bro
Mkenya anayetazama ngoma kali sana ka hii sema hii
kevin wafula Kwanini tuseme hii??
I love the song but the background dancers. 👎
Yassssssss , this song is everything , I love my first country Kenya 🇰🇪 but Kenyan musicians amkeni mwaya ,toeni nta kwenye sikio na mtupe mziki kama hizi , I love my second country Tanzania 🇹🇿 more when it comes to music comparisons, yaani lazima nitingize kiuno nikiuskia nyimbo zao na huu Wimbo, inanishika 🎶💃🏽 🗣#press replay 🎶
we love you too Kenyans
We do love our country #254 the likes of otile brown we need more
Waooo gud
I like it if you listen to it in 2024, greetings from Colombia 🇨🇴❤️
Ukitaka kupona musongo wa mawazo(stress) kubali kuwa shabiki wa simbaaaaa mwenye wcb na bongo flavor yake!!!!🎶🎵🎶🎵💜💜💜💪💪🦁🦁🦁.
Wapi wa Kenyans hapa in 2023😂❤
♥♥
😂 Ndaani❤️❤️
Zambian still listening to this amazing song in 2023❤😅
Am from mauritius island...Love this music Nevers end❤❤🎉🎉🎉
Hapa
👍😍 DIAMOND haki wajulikana sana sababu mimi niko QATAR Lakini watu kutoka ',PHILIPPINE ? huwa wacheza hii mziki ? Tuwape like wenzetu
keel kijana
Hii Sio nyimbo ya diamond ni ya harmonize
Wapi ndugu zangu wa tz 2024like back guys much love from Kenya ❤
From Sierra leone 🇸🇱🇸🇱🇸🇱🇸🇱
West Africa sending love east African music
Kondegang for everybody
ambao tutakua tunaangalia hii video tarehe 26/4
Best African song ever...who else agrees
Who is here in 2024. Nakumbuka this song ilitoka nikiwa form 1 and it was the anthem everywhere ❤❤❤❤
we are here joh🤣🤣
😁
Wangapi wamekuja 2023 hapa ku watch tena hata kama hamnifaham piga 2 like 2kisonga🇹🇿🇵🇰🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Niko hapa After 100 million Views Mombasa tuko Mbele pamoja
Mwenzetu kwenu huko tayari imefika 2023 😂
Ihhhjjkiikkikkkķghhhhy
Iiiiiioòppi
From🇺🇬 Uganda 🇺🇬 still enjoying it
100M views 🙌🫶 this song was a big tune, still a big tune and will always be a big tune
very big aseee
The dance has it all
Diamond alicheza poa sana huu wimbo
True or true 🔥🔥
I second that
Kama bado unaiceki 2024 tupia ❤🎉
The truth is that 'Tokea hii nyimbo imetoka kila siku lazima ipigwe katika ma baa mbalimbali humu Zambia 'big up to you brothers especially Chibu
Upo zambia
💝💝💝😘😘😘 Haiti
Please I am from Haiti. I need to learn my grandmother language. Africa my roots.
@@vadeleyval8194 😍😍😍😘😘😘💝💖💌💚💛❣️💝💝💝💝💖💓👌
DIAMOND WE WANT ANOTHER COLLABO WITH HARMONIZE ,,, MSIWE NA UNAFIKI WA UKWELI,,,PLEASE,,,IF U SUPPORT THIS NIPE LIKE,, still loving this masterpiece in 2022
Wow
Ikiwa unasema sanamu ichongwe kama alivyopendekeza mbunge gonga like hapa.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wakenya wapi likes za 2024
#Kiba kaenda kuoa Mombasani watu wanaachia #Vimondo 🔥🔥
#WCB 🔙🔛🔝🔥🔥💯✔
Mwaka Wao Huu. #WatanyookaTuu 🔥🔥🔥
Born A Legend hahaaaaa
+Onesmo Wenseslaus mambo ni 🔥🔥🔥🔥😆😂
Born A Legend yafa tukomae kiakili hapa watu wa comment kuhusu uzuri wa hii ngoma wewe uko out of topic mambo ya kiba kila mtu ana wakati wake wakufanya kazi yeye ameona huu ndo wakati mwafaka kupata jiko, useless comment
+Fauz Ishmael #TeamMondi km utanuna pasukaaa!!!!!!! 🔥🔙🔝🔛🎵🎧
Kacheze chakacha harusini ww 😆😂😝
Hapa kazi kwenda mbele.
Kiba kashatoa mkono.🙋
Watu wanawasha moto kila baada ya mwezi. Hatusubiri wimbo kwa mwaka mara moja. Hapa kazi kwenda mbele #WCB 🔙🔛🔝🔥✔💯✔🙉🎵🎧
Ukweli Usemwe Wabongo wako mbele sana Kiupande Wa Muziki Kushinda Kenya😍😍😍😍Nice Hit
Lilliprettie Kasupuu je kiki zakuonyeshe machupi pia wakombele
halima Juma hahaha wacha tu
Lilliprettie Kasupuu true
halima Juma umeielewa halimaa
hruclips.net/video/Q9EdFLeiACM/видео.html
style za kucheza za Diamond na mavazi yake havijaniacha salama,big up WASAFI.
Hatari sana hii ngoma
Masen Kaitaba umejuaje aseeh!!!!me huyu muhuni celew ty hayo mavaz na hzo style aseeh!!!kwel mkubw n mkubwa ty!!!
Masen Kaitaba k
Kwa kweli bro anatisha
Yaaani ni hatari
Much love from #drccongo🇨🇩 wapi wacongomani tunaotizama kwangwaru mwaka 2024❤
As a Nigerian, I have started learning Swahili! We need to adopt Swahili as the Official language of Africa.
I can never get enough of Tanzanian songs.
We love you Tanzania from Nigeria 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬
💣✨ Swahili is so sweet men 🔥👐🏻
Seriously am also learning it as a Ugandan 😍
As a certified Kenyan, I concur. I hear and communicate fluently in Swahili and I agree that Swahili is beautiful language
Also, can I say that west African languages that have gb together are so beautiful to me. As in I don't know what gbese means but that's some beautiful shit. LoL. We don't talk like that in east Africa
Facts
No I’ll keep my language thank you 🤣
From haiti, but good job mister Diamond...mw renmen mizik u yo anpil ...you are number one...
Dieury Louissius did I get
Dieury Louissius by one of its
Hakuna club Kenya nishai enda ikakosa kucheza hii ngoma...it will never get old
Anais and 14
Today you please food farm.2389 Pepin of Ichigan for the Wyoming
Not
James Nesbitt itahit miaka Na mikaka
💔💔💔💔
Nani amefika uku 2024 ❤❤❤
sahihi tuh kama wewe
boss harmonize chunga sana ngoma zako na mondi ndo zimebamba sans sa cjui utaimba na nani tena
ila dunia uliyoenda inakazi kwel chunga kuna kina marioo wanapiga kazi angalia usije ukawa unatembea na mabodyguard ty
Vicent Mayanda mwaka wa ngapi tangu aanze mziki na kila ngoma kali.
Muombe mungu akupe uhai, ogopa mtu anaye jua
Tell him
Back in the day when THESE BOYS USED TO DO REAL JUSTICE TO MUSIC!! WAS A HIT, WILL ALWAYS BE A HIT!🔥🔥🔥🔥
Yan moto👌 juu ya moto💪
now we know who’s the real hitmaker #Konde he keeps delivering
Listening from Ghana 🇬🇭 Diamond my fav thumps up👌
hata kama 2024 lakini Sitochoka kuskiliza huyu wimbo 🙌
just 2 hrs la😅😅ter after you have commented nipo hapa
🐘🐘🐘
JAMAICANS 🇯🇲 in the House 🙌🏿🙌🏿 , HOME And ABOARD
#VIVA AFRICA!!
Did they play this in Jamaica?
[Verse 1: Harmonize]
Hmm
I wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama, niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba
Masanja Joti usiwe mbali nami
Hmm
My darling, I need you love, oh
Uwe nami haki ya Mungu nakupenda
Nobody can show you love, oh
Usiwaamini ukishawapa wanakwenda
[Pre-Chorus: Harmonize]
Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (iyelewi)
Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni (iyelewi)
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)
[Chorus: Harmonize]
Oh, baby
Asa dansi nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oh, baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
[Verse 2: Diamond Platnumz]
Aaagah
Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
'Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa
Nikumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu ni wa makuti
Usinijie na kibiriti (hasa we')
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti (hasa we')
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti (hasa we')
Ili asiniingie shetani
Nawe nikaja kukucheati
[Pre-Chorus: Diamond Platnumz]
Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (iyelewi)
Weka mate niteleze
Kama nyoka pangoni (iyelewi)
[Chorus: Diamond Platnumz & Harmonize]
Oh, baby
Asa dansi kidogo (kwa ngwaru)
Oh, wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oh, baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
[Verse 3: Diamond Platnumz & Harmonize]
Aaagah!
'Nataka kucheza chura na ingali umesimama
Aah, inama inama
Asa waonyeshe
Aah, inama inama
Unachezaje
Aah, inama inama
Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama
Aah, inama inama
Ebu waonyeshe
Aah, inama inama
Unachotaje
Aah, inama inama
Unataka kupiga deki wima umesimama
Aah, inama inama
Ebu tuonyeshe
Aah, inama inama
Unapigaje
Aah, inama inama
Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana
Aah, inama inama
Ebu tuonyeshe
Aah, inama inama
Unalengaje
Aah, inama inama
[Outro: Diamond Platnumz]
Wasafi Record
Oya, wanangu wa kigogo (aah, inama)
Nipe za Mose Iyobo (aah, inama)
Vunja vunja kidogo (aah, inama)
Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)
Part ya diamond ya chorus sio wa bami jo ni wa banwe choo
ni mkali sana
bella awes nice
Rose nderi wabanwe choo yamaanishaje
DiamondPlatnumzTz pia wewe
Tanzanian are very great, and excellent quality in music, we love guys from Kenya 🇰🇪👏
I like u
U ar representing Zambia🇿🇲
I so much love Tanzanian. Much from India ❤❤❤❤❤❤ But I'm a Nigerian
You love we na nani😂😂
@@visionhdmovies 🤣🤣🤣🤣🤣mbona unashout🤣🤣🤣
2024 ni mwaka wa kufosi
Wakenya kwangwaru inatuua jameni wapi like 👍👍👍
big up 2 kwangwaru
Best song evet
sawasawa
tupo lydia
Nice
kama kuna mzanzibar hapa alafu anakubali hii kazi naomba agonge like wasafi 4 life
Kwangwaru
Hii ngoma ni shida kuliko ya mvumo wa. Radi ya alikiba kama ni kweli acha like yako hapa
Luta Swedy hii ngoma huwez linganisha na uchafu wa kiba ,mana ina mda imetoka lkn haichuji ,
Hosea Nobocka hahahaha umeona jha
Wangapi tuko hapa 2024
Tuko
Wapenzi wa harmonize mpo wapi..hii aliweza kwa Sana..
tupo ndani
Cephalo Msanii
✋✋✋
WCB FANS TV salamu ziwafikie
Love ❤️ from Nigeria 🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. RIP Dr John Pombe M. a rare gem, u did well for Tanzania 🇹🇿
Kondegang for everybody
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤝🤝🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏
St
Tanzania loves Nigeria
Krr
100M for Harmonize 🔥🔥🔥🔥This Never Gets Old
ruclips.net/video/2BkN40V20wc/видео.html
Mshukuruni diamond platnumz effect
@@selemanikinyonyi7163 Waapi
2024 ❤❤❤ kupiga deki kama umesimama jamani ❤❤❤Kwangwaru😂
Kama kweli unaamini huu ni wimbo bora wa mwaka Africa gonga like
Xkou 6=5968!555!5"
@@jacklineatieno3815 kwangu zotee
Jjikkkkjjd
I like this song!
It's 2022 and the song still sounds brand new 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍😌😌😌
👌
👌
True
Sweet
💯❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The heaviest project to have been undertaken by harmonise in presence of Africa's precious stone diamond platinums. Taratibu tutafika 100m+ views. Zambia 🇿🇲🇿🇲 signs for being present.
KONDE BOY
Ishafikaaa
Tena 104
Sijui kama itatokea ngoma kali kama hii mwaka 2024 nimepita tena kusikiliza
Hakuna ngoma Kali kama ii kwaiiii mwaka , pengine waki imba tena wao harmonize ft diamond
Awwww diamond spoke my language. "Wabami Jo ololufe mi" meaning come and dance with me my lover. Proud to be Nigerian.
I didn't realize it...I thought the rascal was making that sh@t up!!!😁😁😁😁
Damnnn!! Thanks for the translation👍! All this time I was wondering where he got that line from coz it's not kiswahili! Is that ibo/igbo?
😂🙌🤝
If you are viewing this from kenya 254 nipe like my country men and women
Straight outta 254
hruclips.net/video/Q9EdFLeiACM/видео.html
Present
Brilliant!
Alpha
kabla ya 1mil...
GONGA LIKE HAPA.
Kairo Ent Music midundo ya umakini mziki bila jasho maneno yaliyomo ndani ya kwangaruu kunamo messege Kali, wasoelewa hawatapata yaliyomo ndani ya teleza kama nyoka
Asee Diamond na Harmonize mnabidi mpatane Kidogo asee ili tupate Nyimbo kama Mbili za maana kutoka kwenu afu muendelee na Ugomvi tena🤪🤪
😂😂
Leo wamepatana tayali
Diamond dances so smoothly that he amkes you forget there are people in the video too. The guy just steals every scene. Damn!
Diamond Platniuzm one love from Somalia 🇸🇴❤️💯
2022 and am still here, enjoying this masterpiece🔥♥️
Yes
2024 after wako pamoja ❤❤❤❤❤
I come from Ghana I can't stop watching this video
Surely this world would be a very miserable place without Africa and african. I tell you this I'm from Madagascar ! Warm hug !
Yeees
ruclips.net/channel/UCZOYMBwXHbyzZ2qw73EzUzA
@@nivandalulaxy9376 ģg5ģģģģģgģgģģggggggggggggggg5ggggggg5g5ggggggà!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Grew up not knowing our maternal family,,we just knew they are in Tanzania,,,in 2012 I started the search,,by God's grace I found them in 2016,,the whole of 2017 I saved up to go meet them physically,,,from Nairobi to Dar...these songs dominated the whole journey,,and thats how I fell in love with bongo music,,,Wajomba wangu,,nawapenda sana...much love from Kenya
Still watching kwangwaru 2024
Swahili is a beautiful language
Africa to the world..
Swahili to the world....
East africa to the world....
🇹🇿🇰🇪🇺🇬🌍🌍🌍🌍
Very sweet
isnot good at all
@@ovicyber510 WHY???
Asikundanganye MTU,Wanaigeria waliishanga kitabo.mziki uliachiwa EastAfrica..Kama ni king Diamond ako...Rapper khaligraph ako...Sema iyeeeee
charles Ndungu hapo umekusa penyewe
Iyeeeeeeeh
charles Ndungu nigeria wachumba tu
Iyeeees
ruclips.net/video/jDFQWblmBe4/видео.html
Back to those days ilivuma East Africa nzima
Am i the only one nimenotice kenyans wamependa hii than anyone else😊
Monicah Kariuki wao
Kenyans love bongo flava . good
+Gannie Ernnie you watch your odd mouth I'm Kenyan and I'm not loving bongo
otieno enda skiza kanungo
Am watching a hundred times .......
Nigerian here but beginning to think am from Tanzania. i so much love the music. proud to be African
Pamoja
That boy Diamond Platnumz is the Kobe Bryant of African music.
Harmonize is a pure genius.
🇭🇹 🇹🇿
I see Kobe, I like
No, lebron is far better than kobe
I love 💘 your songs.Keep on singing Diamon Plantnuz. Naira mama London
For real
ruclips.net/channel/UCZOYMBwXHbyzZ2qw73EzUzA
I want to marry you
Lydia. I want to marry someone like you
Wale tunaosikiliza hadi hii 2024 tujuane🔥🔥
Niko hapa
These guys make you fall in love with Swahili language as a Ugandan I appreciate
Africa's got the Best music in the world, Yeah i said it!! Salute all the way from South Africa.
Yes👍from east africa
Who else want this chemistry to unit again together.... It was awesome
Kama uko nasikiliza hi nyimbo leo nipeni like zangu hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
我在台灣😊
This guys announces Tanzania 🇹🇿 around the world 🌎 watching from The Democratic Republic of Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️❤️
Preference bahati bukuku
madalena Mulilo 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Music is a universal language my bro isn't it.?big love from 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴
🎼🎤🎻 Lyrics 🎼🎤🎻
[Intro]
Iyoo Lizer
[Verse 1: Harmonize]
Hmm
I wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama, niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba
Masanja Joti usiwe mbali nami
Hmm
My darling, I need you love, oh
Uwe nami haki ya Mungu nakupenda
Nobody can show you love, oh
Usiwaamini ukishawapa wanakwenda
[Pre-Chorus: Harmonize]
Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (iyelewi)
Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni (iyelewi)
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)
[Chorus: Harmonize]
Oh, baby
Asa dansi nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oh, baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
[Verse 2: Diamond Platnumz]
Aaagah
Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
'Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa
Nikumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu ni wa makuti
Usinijie na kibiriti (hasa we')
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti (hasa we')
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti (hasa we')
Ili asiniingie shetani
Nawe nikaja kukucheati
[Pre-Chorus: Diamond Platnumz]
Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (iyelewi)
Weka mate niteleze
Kama nyoka pangoni (iyelewi)
[Chorus: Diamond Platnumz & Harmonize]
Oh, baby
Asa dansi kidogo (kwa ngwaru)
Oh, wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oh, baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
[Verse 3: Diamond Platnumz & Harmonize]
Aaagah!
'Nataka kucheza chura na ingali umesimama
Aah, inama inama
Asa waonyeshe
Aah, inama inama
Unachezaje
Aah, inama inama
Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama
Aah, inama inama
Ebu waonyeshe
Aah, inama inama
Unachotaje
Aah, inama inama
Unataka kupiga deki wima umesimama
Aah, inama inama
Ebu tuonyeshe
Aah, inama inama
Unapigaje
Aah, inama inama
Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana
Aah, inama inama
Ebu tuonyeshe
Aah, inama inama
Unalengaje
Aah, inama inama
[Outro: Diamond Platnumz]
Wasafi Record
Oya, wanangu wa kigogo (aah, inama)
Nipe za Mose Iyobo (aah, inama)
Vunja vunja kidogo (aah, inama)
Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)
Love it like it
Marwan Ali the hero is here 😂😂
Marwan Ali inbox me the lyrics on my messenger please
Missed call
uparemiwa ni kusemaje ?
Joyce Kungu come on top, you know that when you having a sex some girls like On top style😅😅(kuparamiwa) that's it OMG!!!
oh ok
Kuna wakenya hapa 2024😂
Mimi huyu kupitia tew
I got married 2 weeks ago and this was our entrance song 😘😘🔥😁 🇨🇩
Congrats dia
Congratulations, wishing you and your husband a good married life and prosperity
Congratulations 💐💐👍 dear sister,I wish you all the best and a happy future
Uongo
@@nicholasmutua8660mbona wasema uongo ?? Kwani wamjua huyu dame ??
two legends .this two should put their differences aside and give us another banger!!who else is watching this again in 2022?
Together ✌🏻
@@joebaben9593 🙃
Me.
Same here
Eh ...shit happens
This remains to be the biggest hit and collabo in Wasafi 💯🔥🔥🔥🔥🔥
Anyone Amekuja hapa baada ya kuona diamond performing kwa Geary at Tiffahs birthday party like my comment
Me omg😢😢😢😢
Lyrics
Iyoo Lizer
[Verse 1: Harmonize]
Hmm
I wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama, niwe fundi wa kuigiza ka' Kanumba
Masanja Joti usiwe mbali nami
Hmm
My darling, I need you love, oh
Uwe nami haki ya Mungu nakupenda
Nobody can show you love, oh
Usiwaamini ukishawapa wanakwenda
[Pre-Chorus: Harmonize]
Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (iyelewi)
Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni (iyelewi)
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)
[Chorus: Harmonize]
Oh, baby
Asa dansi nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oh, baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
Verse 2: Diamond Platnumz]
Aaagah
Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
'Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa
Nikumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu ni wa makuti
Usinijie na kibiriti (hasa we')
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti (hasa we')
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti (hasa we')
Ili asiniingie shetani
Nawe nikaja kukucheati
[Pre-Chorus: Diamond Platnumz]
Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (iyelewi)
Weka mate niteleze
Kama nyoka pangoni (iyelewi)
[Chorus: Diamond Platnumz & Harmonize]
Oh, baby
Asa dansi kidogo (kwa ngwaru)
Oh, wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oh, baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)
[Verse 3: Diamond Platnumz & Harmonize]
Aaagah!
'Nataka kucheza chura na ingali umesimama
Aah, inama inama
Asa waonyeshe
Aah, inama inama
Unachezaje
Aah, inama inama
Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama
Aah, inama inama
Ebu waonyeshe
Aah, inama inama
Unachotaje
Aah, inama inama
Unataka kupiga deki wima umesimama
Aah, inama inama
Ebu tuonyeshe
Aah, inama inama
Unapigaje
Aah, inama inama
Si unataka vya pool table sa' mbona unajibana
Aah, inama inama
Ebu tuonyeshe
Aah, inama inama
Unalengaje
Aah, inama inama
Mohamed thanks lov
In English then
Wawo best
Wooooooo
in English please, really like this from Malawi
I’m not an African but i love this so much. I heard this song ages ago, I lost this song somehow. Now again found this 🥲
Welcome to the continental
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Welcome back❤
Same goes here as well
I'm in love with 2:18-2:21 minutes ... Weka mate niteleze kama nyoka pangoni...@diamondplatnumz you'll kill me with your moves. Teamwasafi from Kenya 🇰🇪 twasema ni 🔥🔥🔥.. Let's give it five stars⭐⭐⭐⭐⭐
How many views are there in your phone for this song? For the past 3 hours the views have not been changing...
Im stuck at Weka mate niteleze...oohh this boy from tandale will kill me one day
"basi jilegeze, nikubebe mgongoni..." That ✔️
izo moves n kazi safi..🔥 🔥 🔥. team 254 .watching from nairobi
Lissa Karitu I was reading the comments to see if anyone heard that..my mind is so clean though😀😀
Nakuja Tena 2024 kuitazama hakika walikutana manguli humu😂😂😂😂😅😅
Hii ngoma imefanya nikosane na demu wangu... Nlikuwa nimpeleke out....harmonize mmeniharibia hivo siedi popote #Kwangaru
charles Ndungu #Pole my dear
charles Ndungu 😂😂😂😂nimecheka asee
charles Ndungu 👍
😂😂😂hio kali,pole
charles Ndungu kuja mm nkupeleke😂😂😂😂😂
who noted diamond swaggz are more fire
MTU huyu hatar sana anajua
Kiwanis Netanyahu
Fact
If only these two men can come together and resolve on their differences then the whole world shall recognise bongo music
Bana
BONGO MSONJO NDO MM SSA ILEWE BANA❤
Anayesikiliza hii ngoma muda huu 2024 agonge like hapa
Team +254 piga like hii nimeikubali kwangaru
I’m from Haïti 🇭🇹 like this song
Together brother
Hii ngoma imenichizisha. Cant stop listening to it.
Carol Njeri
I am with you
Carol Njeri 😂😂😂
ni ngoma kali sana,,,,,endelea kuchizi
hongera sana Harmonize nyimbo hii aaaa heèe so ya nchi hiiiiiiiiiiiiiuii👑🤓👍.