Nyimbo inanikumbusha mdogo wangu jimmy tulikuwa tukinywa pamoja kwa furaha na amani ,,kuna jini mkata kamba kapita katuvuruga hatuongei tena hata kupigiana simu ,,inaniuma sanaa.
Nimegundua kityu hakuna nyimbo ya zamani ila ngoja upatwe na shida utaona kama ni wimbo mpya,leo tarehe 9/9 /2023 naisikiliza hii ngoma mazito yamenikuta nataka kulewa kweli kweli much love for singer 🎙️🎙️🌹
Sasa huyu mondi wa sasa hivi ni mwanamke mgani anaweza mpa heartbreak moja kali mpaka atufanyie angalau ngoma moja tu kama hii hapa... Nipe like kama unakubaliana nami.
Sikiliza nikwambie Mond, laiti kama hii ngoma ndo ungeitoa mwaka huu amini kwamba ingekuwa hit balaa. Nani anakudanganya kuwa ukiimba hivi hautatoboa kimataifa?? Daaah hii ngoma inanikumbusha mbali sana
Kumbe mjinga Ni Mimi ninayetunza wenzangu wanachukua...sitawahi sahau hiki kipande. There's a time when this song could sing throughout the night and never got enough of it...
HAKUNA MSANII MBUNIFU SANA NCHINI TANZANIA KAMA HUYU DIAMOND PLATNUMZ(SIMBA) UKIITAZAMA HII NGOMA NDIO UTANIELEWA NAMAANISHA NIN NA SIO HII TYU ILA NYIMBO ZAKE NYINGI HUWA ABOI MASHABIKI
Mie kwa mapenzi maskini nikamvisha na pete kwa kumuoa kukata vilimilimi vya wazushi wanafiki wanaomponda... kumbe mwenzangu na mimi ni bure tu najisumbua sisi tuko kama 20 mabuzi ving'asti wengine anawahonga
I keep playing this song over and over again. Although I am a Ghanaian and I don't understand Swahili, I tried using a language translator to understand the lyrics of this song and all other songs by Diamond. My love for his songs is unbreakable. Thumbs up to Mr. Nasibu Abdul Juma. ❤️💫😊
This song is all about heartbreak 💔 situation when diamonds beautiful wife caught cheating her husband diamond platinums and he decided to be drunkard to forget that shits!,
Diamond came a long way huyu jamaa ndio GOAT.....huu wimbo niliupenda nikiwa chalii baada ya kukua nimejikuta kwenye this situation ya nataka kulewa😂😂😂
The song talk about heart break..the guy bought flowers to surprise his girlfi only to find in bed with another man..so the guy resorted to drinking...he says that anytime he thinks about the lady he wanna get drunk...thanks for appreciating our music
Kaka mondi.East African and Africa icon in general .zile enzi .2021 still one of my favorite.😹😹😹ati Hbaba kadai ngoma ilikua ya kwake .acha Tu nicheke basi 😹😹😹.piteni na likes ya mondi
This song is very special to me I remember whenever we use to fight with my boyfriend he use to send me this song now that he's dead whever I hear it I cry 😭.
Diamond you are the definition of talent !!! I don't know how many times I have replayed this song!!!!! Your vocals are sick and the VIDEO is 👌🏼👌🏼👌🏼I love ur moves Love from zim!!!!
2024 tujuane kwa like hapaa 🙌🙌🙌💥
Who listened on 2024
Me🎉
I'm here
If you are listening to this in 2073 you are wise .. 😅
😅😅😅😅😅
Nyimbo inanikumbusha mdogo wangu jimmy tulikuwa tukinywa pamoja kwa furaha na amani ,,kuna jini mkata kamba kapita katuvuruga hatuongei tena hata kupigiana simu ,,inaniuma sanaa.
Nimegundua kityu hakuna nyimbo ya zamani ila ngoja upatwe na shida utaona kama ni wimbo mpya,leo tarehe 9/9 /2023 naisikiliza hii ngoma mazito yamenikuta nataka kulewa kweli kweli much love for singer 🎙️🎙️🌹
Tunaotizama wimbo huu 2021 nawaombea dua mwenyezi mungu awazidishie maishani 🙏🙏🙏❤️❤️😍
Amin ya Rabeel Amin Wajina wangu. Na wewe Mola akupe kila lenye kheri katika maisha yako.
Amen
Amna
@@kelvydebruyne1406 🙏🙏
tupo hapa
Ninani akutazama hii Ngoma 2024?
Ngoma nzuri sana 🇿🇲🇹🇿
Mimi leo nipo❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪 niko kwa klabu, mapenzi yamenizidia nikaamua niutazame huu wimbo wake Simba...asante Lion. Mapenzi tabu! Mi nataka kulewa tu...
Sasa huyu mondi wa sasa hivi ni mwanamke mgani anaweza mpa heartbreak moja kali mpaka atufanyie angalau ngoma moja tu kama hii hapa... Nipe like kama unakubaliana nami.
Wema,, zali na jokate ndio wanawake waliofanya tupate mziki mzuri wa mapenzi kutoka kwa mondi
@@victoryjohn4179 fact ..maana jamaa alikuaga noma sana enz izo nyimbo banger to banger
Hasa Mondi ana mtima wa chuma, hata kwa heartbreak jamaa anaimba wimbo wa upendo . @diamondPlatinumz tunataka wimbo kama huu 2024😢
Kumbe mjinga ni mimi ninaitunza wenzangu wanachukua oooh mapenzi___ ... Love you from USA 🇺🇸
Ukweli kabisa
😂😂😂
Kama hujawai gongwa na stress huezi elewa huu wimbo,life is too short...enjoy if u can.wenye tunaeelewa 2019 gonga like
We need someone to heartbreak Diamond again I miss this type of songs.
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😳😳😳😳😃😃😃😂😂😂
Morning heartbreaker
Sikiliza nikwambie Mond, laiti kama hii ngoma ndo ungeitoa mwaka huu amini kwamba ingekuwa hit balaa.
Nani anakudanganya kuwa ukiimba hivi hautatoboa kimataifa?? Daaah hii ngoma inanikumbusha mbali sana
Kama bado unasikiza hii ngoma 2023💜💜 mungu awe nawe mahitaji ya roho yako yatimie
Tupooooooo
aaamin. na ninakutakia kila la heri katika mipango zako
Mimi hapa naomba mungu anipe yule atanipenda
Bampa tu Bampa
@@marleygrafix7381 celewi
Twende sawa anae angalia hii nyimbo 2020 like zenu jamani
tupo pamojaaaaa
Tupo
tupoooo
Acha usenge hiz like we zinakusaidia nini
Safi
Ooooh mapenz yalinfanya nlie Kama mtt 😭😭😭😭 love this song no one like you diamond Nyange
Naikubali sana hii Ngoma ubarikiwe brather mond
Una watch hii song ukiwa wap na hii pandemic mimi nko Kenya
Kumbe mjinga Ni Mimi ninayetunza wenzangu wanachukua...sitawahi sahau hiki kipande. There's a time when this song could sing throughout the night and never got enough of it...
You were done wrong with love😢
Heartbreak
Nimejikuta tuu nakuja hapa kusikiliza hii ngoma mwaka huu.. ninamengi nyamenijaa moyon❤❤❤
This guy has put Tanzania on world map, respect him✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊
Not just Tz but East Africa and and Africa .
HAKUNA MSANII MBUNIFU SANA
NCHINI TANZANIA KAMA HUYU
DIAMOND PLATNUMZ(SIMBA)
UKIITAZAMA HII NGOMA NDIO UTANIELEWA NAMAANISHA NIN
NA SIO HII TYU ILA NYIMBO ZAKE NYINGI HUWA ABOI MASHABIKI
JoE MziwandA kweli kabisa
Hii ngoma nikali sana sana sana....
True
Kwa kumkubali Mr blue akaiga tilalila mwisho
Ni kweli. Mbunifu, Mjanja sana
Diamond akirudia kuimba na hii design East Africa itafurahi
Hii ngoma kali sana ktk ngoma za Mondi hii mimi naishi nayo sana na naielewa kukiko kazi zake zote huwezi amini
Bonge moja la ngoma, laiti kama lingetoka miaka hii ya social medias basi lingekuwa hit.
Mpaka 2019 tupo mzee, c unajua ngoma za uyu my mjomba kila kukicha kama mpya
Ambao bado tunaiangalia hii 2019 like hapa
Judith Willium xio pw
Tupo
Yes
Wew mbn una jina Kam langu ad ubin jmn🙄🙄🙄 ukute ad sura zetu sawa
Naomb no ako
Mie kwa mapenzi maskini nikamvisha na pete kwa kumuoa kukata vilimilimi vya wazushi wanafiki wanaomponda... kumbe mwenzangu na mimi ni bure tu najisumbua sisi tuko kama 20 mabuzi ving'asti wengine anawahonga
diamond ni another level
When bongo was bongo
I keep playing this song over and over again. Although I am a Ghanaian and I don't understand Swahili, I tried using a language translator to understand the lyrics of this song and all other songs by Diamond. My love for his songs is unbreakable. Thumbs up to Mr. Nasibu Abdul Juma. ❤️💫😊
It's hart broken 💔 song that he sang for his ex girlfriend @wemasepetu.
Inbox , I can translate it for you, you will appreciate it more.
Acha uwongo ww upo hapahapa kwa mama
This song is all about heartbreak 💔 situation when diamonds beautiful wife caught cheating her husband diamond platinums and he decided to be drunkard to forget that shits!,
You are a Kenyan
Kama bado unatazama ngoma hii October 2019 gonga like apa
97,,am here.
Kitambo sana
na bado sana mm kuisahau hii ngoma dadekiiii
Mi 2020
April 2024
anaomba kwa hisia,mno Mnaongalia mpaka 2021 tufahamiane ,So kawaida kwa Utamu wa nyimbo 🍺
Who is still listen 2024?
I'm
Farouk
Uko wapi,bro kambarage wa kipindi kwa habasi,wimbo wako huu hapa,it was 2013 ,I miss those time😢
Diamond came a long way huyu jamaa ndio GOAT.....huu wimbo niliupenda nikiwa chalii baada ya kukua nimejikuta kwenye this situation ya nataka kulewa😂😂😂
Kama unaicheki hii ngoma mpaka leo 2019 gonga like hapa tujuane
Kma kawaida
Pamoko sana
daaaah
2020
ben msuya like
Kontawa yupo kwenye hii video🤗🤗🤗
Diamond come back to your normal songs like this ones plz
Simba wetu tunakupenda sana leo nataka kulewa ilipedwa iyi nyimbo from 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 2021
Hili Goma Haliishi Utamu Kwangu Tunaingia 2021 Lkn Bado nalipenda Vibaya Sana
Tujijue Like Hapa
Kama unaamini ifikapo 2022 kwa mapenzi ya mungu utaitazama tena like hapa
Nakbali Sana Ahsante Mungu
Tunamashiku Maulana
kwa neema za mungu tuko hapa 2022
Niko hapa😊
2023 now
2023 still in ❤❤❤😅😅😅
Hani hiwimbo bado ni moto 💥💥 piga like basi
Hii Ngoma aichoshi jmn 💎🇹🇿
2019 i still come back to watch this.from Namibia im inspired.soon i'll have the World listen to my voice.
Laivu
Son
Simba vs yanga
0
The ii
l
l
This is where i discovered Diamond music..up until today. Cheers Naseeb!
Them days
I salute this guy so highly...I'm from kenya and so proud to be an African because of this guy.. Diamond you never disappoint.
Sema hili jamaa tulipeni heshima yake na tulitunze sana hatutapata jingine la kuutoa muziki wetu matopeni ivo😊
Salut
🖖 @diamondPlatinums am still obsessed with his music up to this day.
Please someone remind Diamond this is the reason why we loved him so much and please tell him to come back to his roots 😭😭🙏
yeah
Growth is inevitable baba
After hearing this song when I was in Kenya, I play this song everywhere now! 😍😍
Welcome back my sister..
The song talk about heart break..the guy bought flowers to surprise his girlfi only to find in bed with another man..so the guy resorted to drinking...he says that anytime he thinks about the lady he wanna get drunk...thanks for appreciating our music
@@shioshoMuddy then that my story bro,,and she was kenyan from kakamega
I'm hire2023 welcome to ma heart
kama uliwaelewa sana wale wazee3 waliokuwa wanageuka
pamoja nyuma na kusema
LEWAAAAAAAAA............
GONGA LIKE TUJUANE
Haaaaaa haaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
👊
😂😂😂😂
Uko Makin sana
Tupo pamoja hadi 2023 diamond God bless you najivunia Tanzania kwasababu yako ❤❤❤❤❤❤
It 2023 suffering from heartbreak nataka kulewa nataka kulewa Thankyou diamond for this song 😭
Tunao utazame wimbo huu 2021 tujuane kwa like hapo Chini ⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
My best song
Nakubaliiii
Best song
Tupo
Representing 254
Hello everyone watching in 2024😊
Niwe wekou reu 😂
Hellooo
Hy
Hello
Umevunjwa roho😅😅
Who is heartbroken and come to listen to this,yet don't drink?
Even I can understand swhili but I feel 😢
Me here
Haaaa
nakubari xana
Yap
Kiukweli unakipaji since day one nakubaki sana kazi zamo zote
NAN KAMA DIAMOND AFRICA NZIMA ??? HAKUNA NAKWAMBIA HAKUNA ANGALIA HII NGOMA UTAKUBALI!!!
Happy New year 2022
Who ever watches this 2072 just know Its 50 years of Music Transformation
This was a Great Hit
Anither Big brain here...this song will outlive us!
Wimbo wetu pendwa mpaka mwaka huu 2023 tujuane
I miss old diamond 😢😢
Nipee likes za 2024 baada ya zuchu kufanyiwa ile tamaduni😂😂😂😂😂
Beautiful old days 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 my high school playlist
2020 january 02 .....
dondosha like hapo chin twende sawa
Asante nakuelewa sana
Wale Na konde gang wote zamani walikuwa wcb 😂😂
The best song ever from Diamond love from Rwanda even now
Kaka mondi.East African and Africa icon in general .zile enzi .2021 still one of my favorite.😹😹😹ati Hbaba kadai ngoma ilikua ya kwake .acha Tu nicheke basi 😹😹😹.piteni na likes ya mondi
Dah.!! Jamani hii 2021 Mnaniruhusu niendelee kuiangalia hii video ?
Kama unasikiza huu wimbo 2023 just like hii ngomo❤
2019 kama wamini God alibariki daimond mpaka kanajita simba nipe like
He deserves it mahn...waah..the struggles was real
Harmonise anakuja kasi nae sopoa ko kaza but mjuba
Who's here listening to East Africa's King of Pop 2019?!
ukiwa nafuraha unaenjoy muziki ila ukiwa na huzuni ndo unauelewa
Who is that legend listing to this hit song 2025
This is the first song which made me love diamond.
this song never get old...2023 and still loving it
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
2024
Everlasting masterpiece🎉❤
Wewe mmakondeeee mbwa njoo muone simba huku alivo kutengezea maisha
Watu maishani hutoka mbali Naye ndio kielelezo changu, you can always make it.
Since day one and he will remain number one proof you bro🙏🏾🙏🏾🫡🫡🔥🔥🔥
One thing i like about his songs is that they are based on true life situations.
which gal did that to diamond
+the kenyan chic wema sepetu
+Melvin Nadal lol
that true and it makes me broken hearted
Big up man
This song is very special to me I remember whenever we use to fight with my boyfriend he use to send me this song now that he's dead whever I hear it I cry 😭.
Pole Sana Amall
Ooh so sorry
Hugs mummy
my heartfelt condolences
Diamond you are the definition of talent !!! I don't know how many times I have replayed this song!!!!! Your vocals are sick and the VIDEO is 👌🏼👌🏼👌🏼I love ur moves
Love from zim!!!!
His voice is like songbird
He can make fantastic whistle notes too😍😍😭😭💎
aki hii wimbo huwa tamu tamu ikiwekwa mkilewa akii
Now zuwena gat the same ryme but this lyrics out of this world 😋
*WHAT A MASTERPIECE!* 😭😭😭😍😍😍💃🇹🇿👏💎
AFRICAN-MICHAEL JACKSON🦁 PERIOD❗❗❗
Aaaaaaaaii
Lol mj was still African
👊👊
Basi tu mondi, ila sanamu lako ilibidi liwepo, ili vizazi vijavyo vijue alikuwepo simba la masimba dangote 2024
Enyewe those days🍸🍸🍾..kweli tym flies
I prefer this Diamond than the current one
Walai same, Leo nimeamka na wimbo zake za kitambo and i can feel them
same case here in kenya....i like the diamond in this song...
David Safari mimi wote wasasa na wazamani sawa tu kwangu, ukiinama eneka jibebe utamapata wapi namba moja
😂😂😂😂ankwa chizi sku hizi ...oa
True
Kama unaichek hii Ngoma 2019 Gonga like Twende sawa
2020
Tunaotazama huu.wimbo 2023 tujuane kwa like hapo chini..💙
2024 in the house 🏠🏡😂😂😂
H baba anaweza kutunga hivi😀😀😀
Mondi ni fund tang kitambo 😊
2021 still sounding good..I don't understand the lyrics but in love with the song.. Much love all the way from Zimbabwe
It's too bad you don't understand the lyrics, will make it 100 times better
Dont mind it's all about heartbreak
@@sonnyqueen018 ooh thank you
i can from Ethiopia but I love this song and I love Tanzania people 😚😚😚😍😍😍❤❤❤ my boy friend from Tanzania 💏
well come
Karibu...
One love
SimbA noma saana atali🦁🦁💷💷🇲🇿
He is still the king of east Africa in music
Ramadaam kariim from all of Muslim
🇸🇴🇸🇴🙏🙏