Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 1,9 тыс.

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 2 месяца назад +88

    Uimbaji wa harmonize wa kwenda na beat , ndo kitu ambacho ibrah anakifanya anatembea na beat mule mulee ndmana anauwa sanaaaa

    • @MudiSaidi-s6y
      @MudiSaidi-s6y 9 дней назад +1

      Ni kweli dogo Ibrah ameua na anakwenda na Beat

  • @jairuskipchumba8019
    @jairuskipchumba8019 Месяц назад +18

    Mistari imeenda shule na ujumbe mzuri , hustler wote mungu awafungulie njia kwa Kila jambo mnalofanya.

  • @luckyboy_ke
    @luckyboy_ke 2 месяца назад +101

    ibraaah intro amemaliza kabla hajaanza Oyaaa!!Oyaaah!Kama nimetoloka milembeeee🙌🙌🙌🙌

  • @EricGkFBM
    @EricGkFBM Месяц назад +38

    Huu mtoto Chinga boy from Konde Gang kauwaa sanaa🎉🎉kanifanya nipende hii song from🇿🇦🇿🇦🇿🇦

    • @JohnsonMaduu
      @JohnsonMaduu 5 дней назад

      Even me Johnson from +255 eti kama nimetoka mirembe ibraah kauwa

  • @HamadiShabani-j7n
    @HamadiShabani-j7n 2 месяца назад +203

    OYAAA HILI NGOMA KUMAMAKEE SIO POWA HAFU HUYO IBRAAA MAMAE KAWAFUNIKA WOTEE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @AffectionateChess-mh5cz
      @AffectionateChess-mh5cz 2 месяца назад +1

      Sio kwer ww hebu kaskilize og yke wee 😂

    • @HamadiShabani-j7n
      @HamadiShabani-j7n 2 месяца назад +12

      @@AffectionateChess-mh5cz OG yake Haina uandishi bobu Ngoma yote hii ibrah kaandika kuliko yeyote angalia jinzi midondoko yake alivyo dondoka angalia jinzi alivyo badilika badilika kwenye kwenye hiyo ves yake

    • @Amidaqueen-p9l
      @Amidaqueen-p9l Месяц назад +6

      @@AffectionateChess-mh5czibrah kauwa kuliko wote umu

    • @Kushgang-cr4pv
      @Kushgang-cr4pv Месяц назад +7

      wote wameua ila ibra katixha zaid

    • @FatumaMohamed-t4c
      @FatumaMohamed-t4c Месяц назад +2

      Nikweli kafunika

  • @saimadobland-nr5nf
    @saimadobland-nr5nf 14 дней назад +14

    Oy duuh anae amin kama Tanzania akuna dj wakumfikia mushizo kwakazi hiii like ap

  • @DanielMrema-e3t
    @DanielMrema-e3t 2 месяца назад +174

    Kwel chinga katoloka milembe maan anamotoo huyu mtoto

  • @moiseladislas2716
    @moiseladislas2716 12 дней назад +9

    Alafu kuna jitokeza mjinga Fulani kutoka kenya ana fosi bifu na mwamba 💪🏾. Huna baya kaka mkubwa 🦁 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @NorrenAchando-c9v
    @NorrenAchando-c9v 20 дней назад +9

    Naipenda from Kenya , likes zikam

  • @KuchumaAlfredMakesi
    @KuchumaAlfredMakesi Месяц назад +20

    Sicheki na wowote
    Naulinda wangu moyo
    Wengine viroboti
    Hawawezi kunifolo
    Wivuuu wivuu

  • @ImKudor
    @ImKudor 2 месяца назад +188

    Wanaomkubal mushizo gonga like apah

  • @asiaasia1069
    @asiaasia1069 13 дней назад +16

    Ibrah popote alipo akamatwe apigwe mpaka aseme aliwaza nini kutoa hii ngoma😂😂😂 ameweza sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @THEFACTTVCHANNEL-b2x
    @THEFACTTVCHANNEL-b2x 2 месяца назад +65

    Limetoroka milembe ❤❤❤ chinga anawaburuza wezake mmm ibraah vipi wewe

  • @frankmwancha965
    @frankmwancha965 Месяц назад +15

    Kenya tunamkubali Ibraah, dogo ametesa walai🔥🔥🔥🔥🔥

  • @remmiyrabsoni4306
    @remmiyrabsoni4306 2 месяца назад +211

    Chinga kama nimetoloka milembeeee🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅

  • @mosestrendingospel
    @mosestrendingospel Месяц назад +8

    Aise watu ktk nchi hii wanajua mziki mzuri

  • @GyaviraLaurean-x8b
    @GyaviraLaurean-x8b 2 месяца назад +745

    Waliojua Ibra kaua kabla hawajaskiliza nyimbo mpaka mwishoooo

  • @martinialibertpastori2656
    @martinialibertpastori2656 27 дней назад +1

    Safi sana hii nyimbo nairudia mara mia huwezi amini tangia asubuhi nasikiliza yaani hapo kwenye kuhoga moyo na fingo ndio hatarii dj hongera

  • @SadmOfficial
    @SadmOfficial 2 месяца назад +190

    From kilifi Kenya🇰🇪🇰🇪😀😀 mnipee likes zangu

  • @claudshuya3243
    @claudshuya3243 Месяц назад +2

    Mjukuu wa Diamond ila Mungu akiamua kukubless anabless kila mahari nyimbo imesumbua nihatari waoooooo

  • @youngzubelyzubely2288
    @youngzubelyzubely2288 2 месяца назад +32

    Remix ya kibabe... isimame trading top kabisa🎉

  • @Barakey
    @Barakey 13 дней назад +3

    Yes ibraah apo safi kabisa, wapimbi wote wa fwate hiyo ngoma nakusapoti ku toka DRC ni mimi barakey comedy ❤❤

  • @ramadhanimwijage7677
    @ramadhanimwijage7677 2 месяца назад +6

    Nakupa marejesho kausha damu! Baddest 47 killed it!

    • @JohnsonMaduu
      @JohnsonMaduu 5 дней назад

      Marejesho kausha dam😂😂😂 for the

  • @Salamajamshi
    @Salamajamshi Месяц назад +10

    ili goma unaeza licheza usiku kucha na usikinai yaani ni🎉🎉 fire

  • @OfficialRunnyBoy_0
    @OfficialRunnyBoy_0 2 месяца назад +323

    Oya unatisha mwanetu❤ kama una mku bali ibraah🎉Gonga. Like hapo

  • @DifourKanzo
    @DifourKanzo 7 дней назад +1

    Duuu hiii nyimbo ni nzuli kiujumla wamejua kuukosha moyo wangu nalushiaga mala 100000

  • @Georgevasco-ld8be
    @Georgevasco-ld8be 2 месяца назад +525

    Tulio kuja kumwangalia ibra a.k.a Chinga like hapa 👍🏾

  • @ClintonHinzano
    @ClintonHinzano Месяц назад +4

    Producer uko sw kbxa ni mependa vibe ya bit pluse chino toka tanzania nenda naijeria hiyo ndio inch itakayo kupea mpenyo nyimbo zako zifike duniani ju ushaliteka soko la east africa big up my young bro .

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 2 месяца назад +24

    Love ❤from Kenya 😍🇰🇪👋....Chingaaaaaaaaa💯🔥

  • @anthonymhagama168
    @anthonymhagama168 Месяц назад +2

    Baddest mwamba kabisa ametisha sana, Ngoma imetoka kelelee nyingi yeye kaja flow ya low Fulani hivi kitu kimesimana lkn kwa wanaojua mziki

  • @ambrose-exclusive-hunterst353
    @ambrose-exclusive-hunterst353 2 месяца назад +386

    Watu wa chinga boy twende kazi hapana like kama zote

  • @mutheumwangi5745
    @mutheumwangi5745 7 дней назад

    Ibraah! Wimbo wote alimo ndani mtamu. Heko. Learning the dance styles that don't involve kitingisha kiuno as usual.

  • @anicetnahayo2483
    @anicetnahayo2483 2 месяца назад +5

    Nime ipenda hii singeli, na isikiliza kutoka Burundi 🇧🇮. Mshukuru kisweta ame kupromoti nimeona nyimbo hii kwasababu yake.

    • @OmanOman-bx5du
      @OmanOman-bx5du Месяц назад

      Nikweli ata mmi nimeona kwa kisweeta

  • @Makulucecamboko
    @Makulucecamboko 14 дней назад +2

    Nyimbo kali sana , kusah kautendea Haki vizuri sana ongera sana Dogo

  • @Akili820
    @Akili820 2 месяца назад +540

    Mwenye kumkubali ibraah acha like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️

  • @officialjaylow.254
    @officialjaylow.254 8 дней назад +2

    Wee #chinga mwanang wa geng geng unatisha ,,,,much love en support from 🇰🇪#001

  • @HalifaImwenga
    @HalifaImwenga 2 месяца назад +7

    Bless sana mdogo'angu Jay Combat mungu one day mungu atabless tu

  • @costantiushubert1932
    @costantiushubert1932 2 месяца назад +1

    Hizi ndo singeli zinazoweza tupeleka international. Very classic🎉🎉

  • @ExauceKikyo
    @ExauceKikyo 21 день назад +3

    Ibraaaah wewe mukali unanjuwa alafu nakuchauri ndunguyangu usitoke konde gege bomboclaaaa📢

  • @dgetrudengingo7457
    @dgetrudengingo7457 3 дня назад +1

    Best music of the year, hongereni sana

  • @chadsolace
    @chadsolace 2 месяца назад +7

    Ibraah inakitu sema bdo hatujamzingatia tu ila huyu broda ni fireeee wanangu wa gang gang

  • @danreckgodfrey4663
    @danreckgodfrey4663 3 дня назад

    Uchawi mtupu kwenye hiii ngoma kiukweliiii. Kama una roho ya kimungu utaonatu

  • @kapinda
    @kapinda Месяц назад +5

    KONDE GANG mnatuwakilisha vizuri kUSINI

  • @FranklinsRoosevelt
    @FranklinsRoosevelt Месяц назад +2

    Chinga nakukubal sana, ktk vijana wa level zako hamna anaekufikia

  • @vishalsharma-wd7gy
    @vishalsharma-wd7gy 2 месяца назад +4

    Oyaaaaa we noma combat bila kuchoka kimbiza kitaa mpak wasem kafa pakaaa.......mamaeeeeeeeeeeeee

  • @MohamedMohamedally
    @MohamedMohamedally 6 часов назад +1

    kama una mkubali Ibrah gonga likes zako 🎉🎉🎉

  • @NelsonLazaro-s8f
    @NelsonLazaro-s8f Месяц назад +4

    Daaaaah ibraah kauwaaa sana wanangu xjawai mpinga uyo kakaa 🙏🙏🙏👆

  • @rehemasalim2720
    @rehemasalim2720 13 дней назад +1

    Oya Konde gang nkinki 🔥, we Mushizo utawauwa...

  • @JustinFundo
    @JustinFundo Месяц назад +64

    Kutoka burundi, wanao mkubali ibra nipe likes hapa❤

  • @EdgarEdward-d1n
    @EdgarEdward-d1n Месяц назад +2

    Huyu dogo Ibra anajua sana nampa miaka 3 mbele bonge la msanii bongoo❤❤❤

  • @Inocentignas-g9c
    @Inocentignas-g9c Месяц назад +44

    Wanao mkubali jay combat like apa

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 8 дней назад

    Wuvuuu ❤❤❤❤❤❤safi sana mdogoangu songa songa ubarikiewe sana god bless you boy

  • @sammasumbimvula
    @sammasumbimvula 2 месяца назад +93

    Wanangu wa gang gang gongs like hapa🔥💪👊

  • @augustinemligo1191
    @augustinemligo1191 13 дней назад +1

    Ibraaaaaaaa hatali sana nakuhonga Figo nikupe na moyo 🔥hahaaaaa🔥🔥🔥🙌

  • @issahvevo9430
    @issahvevo9430 Месяц назад +10

    ❤❤❤ Wakati wa mungu chupa waliyokufungia imepasuka 🎉🎉🎉 bigap familia

  • @Chemijoc414Zephaniah-n9h
    @Chemijoc414Zephaniah-n9h 18 дней назад +2

    More love to this banger❤❤
    But, mmetuangusha kdg
    I'm just waiting to ma SIMBA at this end of december

  • @SalumHassan-ig7jv
    @SalumHassan-ig7jv 2 месяца назад +38

    Hakuna mmakonde mshamba 😂😂❤❤🎉

  • @IbrahimuShabani-i6u
    @IbrahimuShabani-i6u День назад

    Oy man never give up, focus unaweza , cha msing juhud tuu

  • @MarickMohamed
    @MarickMohamed 2 месяца назад +30

    Iyo bit ni hatari kama afro bit vile ila sio gonga like kama umeikubal

  • @fredymlay5106
    @fredymlay5106 Месяц назад +2

    Chino Kama chino umezingua sana Ngoma Kali sana sema umepoteza ladha coz umetugawa marafiki wa marioo tuliekujua kupitia yeye

  • @JenivaAbel
    @JenivaAbel Месяц назад +4

    Wivuuuuuu😊😊😊ibrah wangu weweeeeeeeee😂😂 umetoloka milembee

  • @hemedindunguru5021
    @hemedindunguru5021 Месяц назад

    Salute kwako Kaka mkubwa watoto wa miaka ya 2000 sasa watajua kua zamani kulikuwa na madini tuletee ngoma ya jay Mo ft kiroboto

  • @rahimstreka8991
    @rahimstreka8991 2 месяца назад +10

    Oyaa Wanangu Wa Gang Gang🙌 CHINGAAAAAA🔥🔥🔥

  • @sketchbabu
    @sketchbabu Месяц назад

    Team nzima kali mno. Colabo ya Ibraah, Mushizo, Baddest 47 na Jay Combat ni hatari sana huu ndo wimbo wa mwaka 2024 officially. Hio bass line NOMAAA.

  • @EsterEmmanuel-k8i
    @EsterEmmanuel-k8i 2 месяца назад +205

    Tuliotoka TikTok kwa ajil ya ibraah gonga like apa

  • @azontooxford2527
    @azontooxford2527 Месяц назад

    Video imekuwa na wanaume tu. Kwa vile ujumbe halisi wa wimbo ni kwa mpenzi, alitakiwa awepo video queen

  • @fredyndenga
    @fredyndenga Месяц назад +5

    Watoto wa Mabibo org. 2024
    Sengeri kali sana hii

  • @IssaMkali-k6y
    @IssaMkali-k6y 29 дней назад

    mi sicheki na yoyote,naulinda wangu moyooo,hatar sana hii ngoma sina cha kusema,ila ni hatar sana,sicheki mimi

  • @NorezzyTZ
    @NorezzyTZ 2 месяца назад +22

    Ukitaka kujua Ili goma Kali weka bufa yako sound mpaka mwisho🙌🏽🙌🏽🙆

    • @davidsalikoki6319
      @davidsalikoki6319 2 месяца назад +1

      Mwenyenyumba nae kaja tunaskiiiza wote😂😂

    • @sketchbabu
      @sketchbabu 2 месяца назад

      @@davidsalikoki6319 🤣😂🤣nomaa

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 месяца назад +2

      @@davidsalikoki6319unataka sasa nihamishwe ila jpili nakiwasha mornng kabisa km ni notes nipewe manina😂😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Месяц назад

      😂😂😂

  • @scofieldalimasi7046
    @scofieldalimasi7046 Месяц назад +1

    Ndakuonga figo nikupe na moyo kina mwanzo kina
    Mwisho ibraah mda wake wafika sasa🎉🎉🎉

  • @MwanakherKhalifa
    @MwanakherKhalifa 2 месяца назад +119

    Ibrah umeua umeweza bila vita like apa kama na ww upo pamoja na mimi❤❤

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 Месяц назад +1

    Oya siwavunjii heshima lkn naweza sema hii ndio ngoma kali ya singeli 🙌🙌

  • @Manswabu
    @Manswabu 2 месяца назад +104

    Kama ww konde gang like here

  • @lifestyles828
    @lifestyles828 Месяц назад +2

    Nakupa na marejesho kaushadamuuuu😮 danciiiii

  • @BakariPongwa-q1x
    @BakariPongwa-q1x Месяц назад +20

    Ibra mtu hatari sana mdogowangu kazi mikazoooooooo

  • @lusajosanga5184
    @lusajosanga5184 Месяц назад

    Hakuna cha comasava wala domo kwisha hii ndio moro town kipaji jay combat💪🏻

  • @FaimaSadick
    @FaimaSadick 12 дней назад +5

    Ila sauti ya baddest 🫦🔥🔥💯

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 Месяц назад

    Noma Sana Kwa hawa miamba mwili ya muziki Afrika Mashariki J&F👍👍👍💪💪💪🙏🙏🙏🙏

  • @chax255
    @chax255 Месяц назад +3

    Zama kali sana kwa muziki wa bongo na zaidi kwa singeli.

  • @AthanasAmati
    @AthanasAmati Месяц назад

    Ibra respect kaka umeuwa vibaya sana..umewafunika balaa

  • @SwaumChawage
    @SwaumChawage Месяц назад +3

    Weeeee mushizoooo utawauaaa 😂😂😂😂KAFA PAKA KAZIKWA NYAU sio pow yaan IBRA ''sio daada2 ntakupa NKE WANGU😅😅😅

  • @MicheelleDeus
    @MicheelleDeus 25 дней назад

    Hongela Mungu Akutangulie kwa kipaji hicho kizd zaid❤❤

  • @MalakiKitomari-sx2gw
    @MalakiKitomari-sx2gw 16 дней назад +3

    Nyimbo mzuri san hii ndo tunakula nayo krisimas bila shida

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 Месяц назад

    Hakika vya kale ni dhahabu, Mafundi wa muziki mzuri ndo hawa sasa👍👍👍💪💪

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 2 месяца назад +10

    Katika hii ngoma Ibraah kaua sana kama una mkubali gonga like hapa ❤

  • @haggaiwandera96
    @haggaiwandera96 Месяц назад +1

    Ibraah njo Nairobi Kenya tunakukubal bro pamoja Na mtu mzima konde❤️❤️❤️

  • @m___ck799
    @m___ck799 2 месяца назад +4

    This song is 🔥🔥 Kafa paka kazikwa Nyau😂 genious

  • @JoshuaMaliva-k9w
    @JoshuaMaliva-k9w 7 дней назад

    Nyie brother unakipaji Sana voice Kali mungu akutangulie ndugu yangu joker apa💯💯🤞🤞

  • @MNYARUBAKERY
    @MNYARUBAKERY Месяц назад +9

    Ibra kill on this all in all wote wamepita vizuri japo original yake sijaisikia

  • @isakajacob3758
    @isakajacob3758 24 дня назад

    Sawa mkuu😢😢, yanapitaa tu... Tutalipiza na sisi.... Mpaka mpotee kwenye dira😊😊

  • @AziziHamisi-b1d
    @AziziHamisi-b1d 2 месяца назад +4

    Huyu ibra nyie hatar katokea mile mbe aswa ibra ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AlexWilliam-co8vx
    @AlexWilliam-co8vx Месяц назад

    Mwenye wivu ajinyonge hongera sana kaka yangu nà mungu akupe haja ya moyo wako

  • @JamesReuben-gt8up
    @JamesReuben-gt8up 2 месяца назад +5

    We mushizo Utawaua like zote kwa mushizo

  • @AsintaPhales
    @AsintaPhales 23 дня назад

    Xix ndo waretulio barikiwa god can breathe your job❤👍👍🙏🙏🙏

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 2 месяца назад +6

    Wivu remix ni hatariii 🔥🔥🔥💪

  • @JulianGifty-z1u
    @JulianGifty-z1u 27 дней назад

    Perfect jamanii unaimbaa vizurii ngomaa kalii saana

  • @KelvinKapsara
    @KelvinKapsara Месяц назад +3

    Daah hii ngoma views inakimbia Sana wapi like ya Kenya champee wa pipe 😍😂😂😂

  • @PurityMutave-b1y
    @PurityMutave-b1y 6 дней назад +2

    If you have connection with it, just know its real.
    We say you never know the heaviness in it until u feel it striking. Love is a scam and nobody hurt me😂😂😂

  • @MasanjaSamweli-b3r
    @MasanjaSamweli-b3r Месяц назад +4

    Ibrah katisha sana kama unakubaliana na mim nipe like

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 28 дней назад

    Wivuuu.... ime fuse Singeli na amapiano flani 🔥 🔥