RAYVANNY - QUEEN DARLEEN FT RAYVANNY - KIJUSO (OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 4,5 тыс.

  • @Magrethclement-zx2kl
    @Magrethclement-zx2kl 4 месяца назад +57

    wangapi bado tunachapa hii ngoma 2024

  • @personcriticalthinking7162
    @personcriticalthinking7162 3 года назад +7

    Rayvanny akiachana na wanawake arudi kama hapa, hakuna mwenye atamshinda walai. Waimba vizuri sana na queen darleen.

  • @Hassan-ci2kl
    @Hassan-ci2kl 6 месяцев назад +306

    Kama 2024 unawatch hii ngoma plz like🎉❤❤😊

    • @zai363
      @zai363 6 месяцев назад +3

      here

    • @uwaseyvonne-y2r
      @uwaseyvonne-y2r 5 месяцев назад +2

      aaaaaaah mukonakaz😂😂🥰🥰✌️✌️✌️😜

    • @Abdullahicafi9
      @Abdullahicafi9 4 месяца назад +1

      15 /8 /2024 😂😂😂

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp 4 месяца назад

      @@Abdullahicafi9 18/08/2024

    • @KyaloSusan
      @KyaloSusan 4 месяца назад

      Sai ndio nawatch

  • @Unstoppable254
    @Unstoppable254 Месяц назад +5

    Mwenye amerudi kutazama ngoma za kitambo 2024 piga like

  • @shyguy4446
    @shyguy4446 7 лет назад +81

    wasaaafi.. wakiona uchafu hawakawii kuja kusafisha... waelewa mmeelewa.. WCB BABY

  • @rajabually8659
    @rajabually8659 5 месяцев назад +59

    Gongo like wale wa 2024❤

  • @sophiaismail9278
    @sophiaismail9278 7 лет назад +26

    Daaah! bonge la Video asanteni.. 🎶🎶nimepanda dau mkataba nimekata tena nyang'au ndo ukome kunifuata... mihio cheza yao2 jaman🎶🎶😂😂💃💃💃

  • @SixtusShirima
    @SixtusShirima 5 месяцев назад +60

    Huu ni mwaka wetu bana2024 kama upo huku like hapaa

  • @patiencenalisi4104
    @patiencenalisi4104 2 года назад +5

    This song reminds me far weeeeeeh

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 Год назад +28

    2023 bado hii ngoma ilikuwa fire sana.Queen rudi tena kama hivi

  • @dee2483
    @dee2483 3 года назад +49

    We miss you queen🇰🇪🇰🇪 bring back more vibes like these🙌

  • @DeeWeche
    @DeeWeche 4 месяца назад +12

    Here in September 2024! Kwenye pochi, wanja na tissue 😂😂
    I miss Queen

  • @annewetungumusuya1676
    @annewetungumusuya1676 7 лет назад +258

    Unaringa una nn kijuso vijimeno kama jini.😀😀😀😀😀Rayvanny u killed it.Kenyans in Dubai mark register here.Bonge la Ngoma

  • @mikemissedcall9606
    @mikemissedcall9606 6 лет назад +37

    From +254 kama wazidi kuipenda nyimbo huu, wapi likes....

  • @corneliusmusonye4390
    @corneliusmusonye4390 7 лет назад +15

    ..naona unasahau nyuzi zako nilikata.. ' Kali Sana... Rayvanny next big star.. more love .. all the way from Kenya... Queen Darlin big up..

    • @lucaschacha2241
      @lucaschacha2241 7 лет назад

      Cornelius musonye kali sana bro,keep it up

  • @nsabikwainternationo5906
    @nsabikwainternationo5906 2 года назад +4

    Most trading songs are from Tanzania
    am the big fun for you guys #zambia

  • @maxzitatu1617
    @maxzitatu1617 7 лет назад +82

    Nilichogundua, Rayvanny ana Sauti Nzuri Kushinda Queen Darlin..

  • @IsmailRashid-g9e
    @IsmailRashid-g9e Месяц назад +12

    Wangapi wanachapa hii Ngoma plz like

  • @emiliareimann
    @emiliareimann 3 года назад +20

    Hey, Tanzanians, you compete with Nigerians in order to win my heart! Can't decide who's better yet. Probably I will cheat from time to time with both of you;) BTW you are doing great job. Wasafi rocks!

  • @RomaMichael-ei6di
    @RomaMichael-ei6di Год назад +1

    Sichokagi kuiskiliza hii corabollation kwnza haichoshi na haichuji pia, big up kwenu Ray &darlee🔥💯🙏🙏

  • @delickmutembei2315
    @delickmutembei2315 2 года назад +170

    2022 this song has still maintained that genuine truth.. Bigup guys

  • @eunicelimanye942
    @eunicelimanye942 2 года назад +51

    The creativity,the vocals 👌👌 golden voices

  • @Mixingvibe26
    @Mixingvibe26 7 лет назад +44

    Wimbo mzuri sana kila dakika naucheki. Hongera sana kwa Van boy and QueenD

  • @hemedjuma9340
    @hemedjuma9340 4 года назад +3

    Qween darlin uko poa na rayvanny bby bby wampenda nn ? hhh mzuri sindio ana sauti yuko seariuo sikama ww rayvaany qween darlin nimekupena na ujasiri una haki ya kuiimba keep rayvanny ww pia sijasema nihuimbi vizuri pia ukompoa lkn kuwa kama qween darlin upyuko na proud kuwa mwenye proud💪💜💓💔💕💖❤💗💙💘💚💛💝💞💟👌👊👏👏👏👏👏keep up all of you i love

  • @bakaalabdi2136
    @bakaalabdi2136 3 года назад +48

    Love this song. 𝐟𝐫𝐨𝐦 𝐒𝐨𝐦𝐚𝐥𝐢𝐚🇸🇴🇸🇴

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 7 лет назад +8

    Kazi nzuri .....kisonyo tu cha Queen Dareen kinenikosha....

  • @dickensakelo7088
    @dickensakelo7088 7 лет назад +17

    tayari washakaaa na ma video ambayo hayaeleweki #kijuso no 1 trending mamaeee #WCBfamily

  • @YusuphSondas
    @YusuphSondas 4 месяца назад +4

    Leo bad ykuktn n dem wang wazmn akniosh zarau nikaikmbk hii ngom nipen like zang

  • @tiffanytee2952
    @tiffanytee2952 4 года назад +74

    This song remains to be my best even after 3yrs❣️❣️❣️😍

  • @jenifferkiruki1695
    @jenifferkiruki1695 6 лет назад +32

    The insults on this song are out of the world 😀😁😂..love this song

  • @janembatia2066
    @janembatia2066 5 лет назад +38

    Kenya mna comment wangwan keep up.

  • @gidiohkeen3530
    @gidiohkeen3530 3 года назад

    Vijimeno kama gaucho... Haikufaa.... Hiyo ni kuingilia maumbile ya mchezaji bora duniani.....!!. Wimbo NakupendA ila hiyo part haipendezi... Yule gaucho ana deserve respect sana!!

  • @joannewairimu8137
    @joannewairimu8137 2 года назад +60

    After 5years this songs is a daily vibe🎧🎧🎧🎵2022

  • @richiewisepage9356
    @richiewisepage9356 2 года назад +9

    Ghanaians 🇬🇭 love you Rayvanny

  • @bahaticlaire4906
    @bahaticlaire4906 3 года назад +31

    Anaye mkubali ravyanny like🇺🇸🇺🇸

  • @sarahramazani1061
    @sarahramazani1061 2 года назад +3

    I love you rayvanni i'm congolese RD.congo nakupenda sana

  • @zihambare327
    @zihambare327 4 года назад +109

    Oo you stranger who is going to read this may your parents live for 1000 years💝💝 amiin

  • @queenmangowi7584
    @queenmangowi7584 7 лет назад +36

    Amjawah nianguxha team ushidi team maujuzi nawaelewa sanaaaaa #wcb kazi juu ya kazi afu mnafanya kazi zinazoeleweka yan ata MTU ukiangalia uchoki unarudia kila SAA #ilovethisgame

  • @minaniherman4497
    @minaniherman4497 2 года назад +9

    Guys this song deserves 100M viewers pls let's go

  • @JeremieHakizimana-l6u
    @JeremieHakizimana-l6u 20 дней назад

    Nyimbonzuri nduguyangu mimi Niko Bujumbura nakufata 100

  • @SaintAloha
    @SaintAloha 7 лет назад +182

    Kama Si Rayvanny ..MUGACHERERE ingekuwa kelele tu
    Kama Si Rayvanny KIJUSO ingekuwa kelele tu
    Kama Si Rayvanny SALOME ingekosa Ladha inayofaa
    Uyu Kijana ni Super talented

    • @kennymmari
      @kennymmari 7 лет назад

      OG Micki 🙌🙌🙌🙌

    • @dickensakelo7088
      @dickensakelo7088 7 лет назад

      OG Micki uyo rayvanny n msanii wa #B...... ako

    • @alphoncembilinyi3960
      @alphoncembilinyi3960 7 лет назад +6

      inaitwa Team work.
      you never know.
      unaweza kuta kijuso yenyewe wametunga rich mavoko na harmonize.
      rayvanny na queen wameimba.
      diamond kafanya mpango wa pesa na izo style za kucheza na mambo ya apa ja pale.
      maboss wameplay part ya kusambaza na kuipenyeza we all don know.
      ila wapongezwe.
      wcb are well organized

    • @librahjoe9130
      @librahjoe9130 7 лет назад +6

      +Alphonce Mbilinyi sure kabisa unachosema maana kuna style humo naziona diamond katia mkono wake hyo ya kuchezesha miguu ya hao madada na queen darling

    • @angelinahott5903
      @angelinahott5903 7 лет назад +3

      nice song

  • @herbertmkanda7276
    @herbertmkanda7276 Год назад +8

    Why am I only knowing this song today....2 very great talents. Killed it all from video to song. Lots of love from zambia 🇿🇲 ❤️. 2023

  • @wickytv20
    @wickytv20 2 года назад +524

    who still listen to this song today

  • @tonnynewton254
    @tonnynewton254 9 месяцев назад +31

    Rewatched it in 2024

  • @shefaliyusuf4358
    @shefaliyusuf4358 7 лет назад +69

    finnally the wait is over😍😍😍😍

    • @rispahandenyi4562
      @rispahandenyi4562 7 лет назад +1

      Shefali Yusuf hahahaha

    • @dinokabika4481
      @dinokabika4481 7 лет назад

      dogo amejitaidi kabisa.maana wanawake wengi.wakimpata anaye pesa huwa wanasau wa penzi wao wazamani.

    • @deeqdacad142
      @deeqdacad142 6 лет назад

      Falastin

  • @doricasmwenya8949
    @doricasmwenya8949 6 лет назад +12

    Kiswahili kiswahili kiko high class bwana...hey just enjoying myself ooh!!!

  • @annetynekesa271
    @annetynekesa271 7 лет назад +6

    am in love with this song,sauti na kila kitu is wow,,,,,,,vijimeno Kama jini woiiii😀😀😀😀,I just love the song,big up guys, watching from Kenya💓💓💓

  • @faithaunga2485
    @faithaunga2485 2 года назад +12

    The only song which can heal someone from a break up, it is a hit song 🔥🔥🔥🔥👌👌👌2022

  • @mummyvibes5767
    @mummyvibes5767 3 года назад +211

    Yaaani 2021 and am here I loooove this sooooong ❤️💯💯

  • @kelvin_papaa_ya_warembo8313
    @kelvin_papaa_ya_warembo8313 7 лет назад +6

    hanskana kazi nzuri sana,,WCB nyoko sana wamekuja na upepo kweny mshumaa wa Aje Remix😀😀😀

  • @joyijomoh7065
    @joyijomoh7065 6 лет назад +89

    Am from Nigeria but I luv Tanzania songs 😍😍😍😍

    • @asomahevans
      @asomahevans 5 лет назад +4

      myslef am from ghana but i listen to them all day

    • @saumujumaa9674
      @saumujumaa9674 5 лет назад +5

      Alhamdulilah ok you lv Tanzania thnx

    • @vanessahastings8022
      @vanessahastings8022 3 года назад +4

      I am also Tanzanian and I like Nigerian songs lol

    • @jackieirungu2798
      @jackieirungu2798 2 года назад

      Aai do you speak swahili

  • @kenogola3392
    @kenogola3392 7 месяцев назад +2

    8yrs down the line,, but the truth ata kijuso alikuwa mrembo ju ya warembo

  • @hassanovajunior3006
    @hassanovajunior3006 7 лет назад +11

    #Wcb the winning team sijutii kuwa die hard fan wenu kabisa yaani mnanikosha sana

  • @alliceallice8937
    @alliceallice8937 5 лет назад +11

    Uyu mwanamuke nijasili kwali nakubali we dada kama nawee umemukubali nip linke kama!!100

  • @janenyambaso8064
    @janenyambaso8064 3 года назад +53

    I thought i had forgotten the lyrics but here i am jamming to this😂💥💥😂

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 года назад +2

    Leke.back in Chui🐅🐅 pambana NLM🐅 RAVNNYN Chuiii 🐅🐅 kuninall

  • @mwaipajajosephfadhili_mwai5988
    @mwaipajajosephfadhili_mwai5988 7 лет назад +13

    Ahsantee kaz juu ya kza hatubabaishi sieee#wcb for life

  • @josephnganga6387
    @josephnganga6387 4 года назад +420

    This song hits me after a breakup.... I've just healed😂😂😂.......it's lit💥...Rayvanny thanks for healing my heart❤😂😂😂

    • @josephnganga6387
      @josephnganga6387 4 года назад +9

      Watu waaangushe likes kwa wingi👍😂😂

    • @elsieleon8202
      @elsieleon8202 4 года назад +2

      😅 😅 😅

    • @nuuxsheekh6371
      @nuuxsheekh6371 4 года назад +1

      Hhhhhhhhhhhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😎🤣🤣🤣🤣🤣

    • @hawaali3517
      @hawaali3517 4 года назад

      Hdrg💜

    • @phillohmusya8013
      @phillohmusya8013 4 года назад +1

      @@josephnganga6387 ivo ndo uenda

  • @doc.s.b5813
    @doc.s.b5813 7 лет назад +79

    Ati huwelewi kiswahili na unacoment ati ngoma Kali sana kujibeba mtaacha ..... ndugu turushie vibao kama hivi tumekukubali Kenya vibao zko 100%

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 9 месяцев назад +1

    Hakika huo ni utunzi, nakukubali sana kutoka DRC 🇨🇩

  • @ablieptouray326
    @ablieptouray326 6 лет назад +90

    I'm in love with Tanzanian music❤
    Even i don't understand what they say-:)
    Love from Gambia❣

    • @queensadoqueensado2114
      @queensadoqueensado2114 5 лет назад +1

      abliep touray
      Unaringa kitu Gani

    • @boykaabass4525
      @boykaabass4525 4 года назад

      ' No u ooh p

    • @SimbaM2kufu
      @SimbaM2kufu Год назад

      I love Gambian music man. Especially O'boy. I listen to all his songs. I'm from Tanzania.

  • @EM-wp6zs
    @EM-wp6zs 3 года назад +26

    Someone should teach me Swahili
    Big Up Team Tanzania 🇹🇿 .[Your Music is Gold]
    From Zimbabwe 🇿🇼

    • @iddykisome3126
      @iddykisome3126 2 года назад

      I can let's begin by greeting habari yako means how are you

    • @EM-wp6zs
      @EM-wp6zs 2 года назад

      @@iddykisome3126 so how do I respond to that ?

    • @iddykisome3126
      @iddykisome3126 2 года назад

      Just only you have to say nzuri and this greeting doesn't care any period whenever day or night

    • @iddykisome3126
      @iddykisome3126 2 года назад

      And remember if you are greeting more than one person (plural) you have to say habari zenu they Will respond the same nzuri

    • @EM-wp6zs
      @EM-wp6zs 2 года назад

      @@iddykisome3126thank you 🙏🏾🙏🏾

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 лет назад +467

    *Kama upo hapa tena mwaka wa 2020 dondosha dole lako hapa tukisongaa👍👍🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪*

  • @twobackshariiftwobackshari1274
    @twobackshariiftwobackshari1274 2 года назад +4

    THE REAL DIAMOND 💎WE WISH YOU ALL THE BEST 💞🦋

  • @rabbithare381
    @rabbithare381 5 лет назад +34

    This is one kid I respect! Very beautiful voice, lyrics and rhythm..... If he keeps it up I assure him one he's gonna hit the world charts..... Thanks you

  • @DennisKathurima
    @DennisKathurima 7 лет назад +31

    Nakujua vizuri toka unavaa mabwanga
    Wakati unanuka moshi...
    Then she kills it
    Dume zima tantalantala instagram inahu
    Wakati kwenu kula kulala huchangii hata kitunguu (whole man boosting on Instagram yet at ur home u eat and sleep without contributing even an onion)
    What kind of Swahili are we taught in Kenya, If I had a TZ teacher I'd have appreciated the language more

    • @genezre
      @genezre 6 лет назад +3

      Dennis Kathurima all this time I've been finding it funny. Then you just killed it! 🤣🤣🤣🤣
      Good God! That Swahili needs an updated kamusi.

    • @ogolapaul4355
      @ogolapaul4355 6 лет назад

      couldn't agree more

    • @joanchishiba5381
      @joanchishiba5381 6 лет назад +2

      These people can insult

    • @asmaydjghsaleh342
      @asmaydjghsaleh342 6 лет назад

      Hahaha

    • @haki617
      @haki617 4 года назад

      @Dennis Kathurima
      😂😂😂😂😂

  • @abdallahburhani3487
    @abdallahburhani3487 7 лет назад +24

    Bonge ya video imetulia hanscana salute kwako unajua kuna watu utimu hatuna ila ukiongea ukweli unaonekana unautimu wasafi wanajua wawapatie nn mashabiki wao hongeren sana lkn nashangaa kuona msanii unataka kupasua anga za juu halaf unafanya ktu sio poa nmeona vdeo moja leo imetoka amna ktu kwa kwel na ndio maana tunasema wasafi wapo kikaz zaid

    • @sarahrashidirashid9384
      @sarahrashidirashid9384 7 лет назад +3

      kwakweli najuwa aid mnabowa duhh Cio kwajiwe ilo

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 7 лет назад +1

      Dullah Sebo aisee #Hanscana sio mtu mzuri kabisa yaani hapa kauwa kiukweli yupo juu sana much respect kwake

    • @najmasaid4515
      @najmasaid4515 7 лет назад

      ahh

    • @ali_ford
      @ali_ford 7 лет назад +1

      hana ishuuu video haina hadhi msimpe utimu wala nini

    • @gashawbetweni3078
      @gashawbetweni3078 7 лет назад +5

      LOVE THIS SONG

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 года назад +1

    Nexti levo misici rayvanny Chuiii 🐅🐅❤❤❤❤❤❤❤🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎵🎵🎵🐅🐅

  • @lazarusmalanga2365
    @lazarusmalanga2365 7 лет назад +6

    out all TZ song this was nailed flawlessly, big up Ray Vanny, you have the best rimming scheme of all time

  • @abdullahiilikethis1407
    @abdullahiilikethis1407 7 лет назад +6

    representing Kenya
    video kali

  • @allqua5402
    @allqua5402 3 года назад +5

    Who is still watching upto now,bigup be blessed always 😘😀😀😀😀😀Ravy

  • @gibsonwakhanu5495
    @gibsonwakhanu5495 3 года назад +1

    Tzs version of thrash talking.. Huyo jamaa amevalia blue at the beginning. Still my favorite song

  • @rajabually8659
    @rajabually8659 2 года назад +16

    This song remains to be my best even after four years ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @machariawanjiru8104
    @machariawanjiru8104 7 лет назад +11

    officially in love with Rayvanny. never get tired of listening to this guy. Maggie from Kenya here.

  • @agatonnyjohn6695
    @agatonnyjohn6695 7 лет назад +9

    hatuna maneno ya kwenye kanga kazi juu ya kazii yani bampa 2 bampaa

  • @patiencemghendi5603
    @patiencemghendi5603 4 года назад +1

    Tuko wangapi ambao still tuna appreciate hii ngoma..iliweza mbaya

  • @hervekoffi4149
    @hervekoffi4149 5 лет назад +10

    Je suis de la Côte d’Ivoire j’aime bien tes chansons champion courage bye-bye

  • @neneabtidoon
    @neneabtidoon 5 лет назад +525

    Wax somali ah o meshan ku so dhumay majiran miyaa like ku so dhaqso🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴❤

  • @garnetins3184
    @garnetins3184 7 лет назад +10

    Honestly this talent is way ahead of Kenyan artists

  • @bobanjuma66
    @bobanjuma66 4 года назад +3

    njo fist time Queen unafanya vizuri

  • @nancykabibi431
    @nancykabibi431 7 лет назад +120

    nimekubali kazi safi kijana
    +254 piteni hapa niwahesabu

  • @chumbasuleyman9668
    @chumbasuleyman9668 7 месяцев назад +42

    Iam back here 2024 wapi likes ❤❤❤❤

  • @sajoville5094
    @sajoville5094 7 лет назад +265

    Damn... 🔥🔥🔥.... am speecheless.... kwanza salute kwa WCB management.... you guys mko on top.... lets keep goin... Bongo flavour to the world.. what else can we say.... wat a dope video..... Blessed WCB... Mbeyanish Boy RayVanny i see u hommie... appreciate that.... lets keep watchin good music... #HawatowezaHaters

  • @mgenitsuma8141
    @mgenitsuma8141 4 года назад +1

    Queen darling nakupndraaa xnaaa I wish one dey tukaonana napnda song zko😘💯👌

  • @bitabosixbert4843
    @bitabosixbert4843 7 лет назад +5

    daaaah ...video kalii kisengeee..mmeuaaa wanyamaaa.......
    ....wcb .. for...life

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 6 лет назад +5

    Ndo leo naisikiliza vizuri hii nyimbo. Nzuri sana na mashairi yameendana na mazuri. Wanavyojibizana so wonderful. Very nice kama sabahalkheri mpenzi. Very nice song

  • @joharhemed2568
    @joharhemed2568 4 года назад +17

    Qween darleen i love u wanaume wafaa wafayiwe hivyo

  • @faithmusembi7687
    @faithmusembi7687 5 лет назад

    Funga bakuli mbele yangu wee mshamba nakujua vizuri toka unavaa mabwaga ..woii Aki kiswa .. watching 2020

  • @devotherdargobert8158
    @devotherdargobert8158 7 лет назад +31

    kweli kuna tofauti kati ya maziwa na maji na kuna tofauti kati ya nyuki na asali au sukari ilio muhimu kuliko chumvi , hili ni pigo la mwanzo wa mwaka kutoka WCB na kama tunataka kufananisha basi kuna tofauti ya biashara na sifa pia

  • @ivybrown958
    @ivybrown958 7 лет назад +33

    dopest wasafi never dissapoints congrats👏👏👏💜

  • @janetnjeri4540
    @janetnjeri4540 7 лет назад +113

    l love the video and audio too it's so cool.I would give more than 100% thumbs up.keep it cool Rayvanny. mob love from Kenya

  • @yayafredericdiallo9443
    @yayafredericdiallo9443 4 года назад +3

    Je t'aime bien Rayvanny🙏🏾.
    🇨🇮🇫🇷

  • @naturalbeauty7417
    @naturalbeauty7417 4 года назад +29

    2020......and more I am still here FOR this SONG 💜💜

  • @jbdebbielish8483
    @jbdebbielish8483 7 лет назад +8

    King of Bongo....
    Nice one
    Watching from Saudi Arabia.......
    Mko juwest sanar huyo dame waooo
    254reloading

  • @jumabazaraystunar3285
    @jumabazaraystunar3285 7 лет назад +12

    I can still listen all the way from California 🔥🔥🤘🏿🤞🏾

  • @nicholasshaka5798
    @nicholasshaka5798 2 года назад +3

    I'm here 2020 . Who ever thought rayvany would come this far

  • @swabramufida1232
    @swabramufida1232 2 года назад +6

    2022 bt still on bongo songs ain't going nowhere 👊

  • @Len2415
    @Len2415 2 года назад +23

    I was born in Zambia but my roots are from Tanzania...don't understand much Swahili and it pains me ...I'm always drawn to Tanzanian songs no Matter what.much love

  • @chrisbreezy3019
    @chrisbreezy3019 5 лет назад +11

    Um Ethiopian 🇪🇹. From south Africa it's so amazing

  • @fatumaali1997
    @fatumaali1997 4 года назад +3

    Kama uko hapa on happy new year ya 2021 ❤️❤️❤️