Diamond Platnumz Ft Rayvanny - Iyena (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 13 тыс.

  • @margaretwambui-yd6rb
    @margaretwambui-yd6rb 9 месяцев назад +48

    naitazama hii wimbo 2024 ndo kugundua kumbe pia zuchu kawepo....enzi hizo hata ckua namjua

  • @marthahmartha3728
    @marthahmartha3728 6 лет назад +28

    Oh God make the way hawa watu warudiane,na shetani wa kuharibu ndoa za watu na mkemea ashidwe kwa jina la yesu,and I know somebody is there laughing kwa sababu hii ndoa ilisambaratika ili aweze kumuoa zari,na mwingine pia aweze kuolewa na diamond ,hizo ni locusts na zikemea kwa jina la yesu.

  • @RAMAPROMUSIC
    @RAMAPROMUSIC 6 лет назад +51

    Chibu ume semwa sana ila leo ni wewe Simba tanzania 🇹🇿

  • @mohammedNgijie
    @mohammedNgijie Год назад +32

    Aki Wewe @Diamond🙌 2024❤️‍🔥

  • @merryjonasani3452
    @merryjonasani3452 6 лет назад +22

    Yani nimefurahi saaaaaaaaaaana kumuona zari jamani kaka diamond umefanya vizuri sana tena itapendezaaa sana siku ukija kuoa umuoe zari yani nitafurahi sana

  • @bibiejumaa6850
    @bibiejumaa6850 6 лет назад +23

    Wewe zari msiri sana ilo shera ulivaa tukasema umeolewa na mwanaume mwingine kupemba ulitoka kwenye shutng ongera sana ujavujisha hii ngoma ingekua video Qween mbongo angekua ameshavujisha saluti WCB unajua mpaka mnakela

  • @aminaa3284
    @aminaa3284 2 года назад +4

    Leo ndonimeona viziri iyi video kumbe zuchu karikuwa ndani kazuri kenyewe maashallah 😍

  • @issahally7012
    @issahally7012 6 лет назад +27

    wasafii mnajua kutuloga jaman aaah WCB♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨♨kama na wewe umeielewa weka dole gumbaaa hapaaaa

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 лет назад

      Issah Ally bonyeza picha hii yangu kushoto kwako kisha bonyeza neno subscribe ili uone kitu ambacho diamond kafanya behind the scene

  • @brobox
    @brobox 6 лет назад +293

    Kwa niaba ya Cartels wote wa kutangatanga hapa kenya...ngependa kusema huu wimbo ni kali🇰🇪🇰🇪🔥

  • @hanselwhiteside2962
    @hanselwhiteside2962 6 лет назад +25

    Muzee Mond nyimbo zako zinatibu magonjwa sugu, roho mbaya, umasikini, minuno sugu, wanaohara kwa kunywa sijui nini Faya, na vidudu mtu vyote... Inabidi serikali ikiishiwa dawa inunue maspika na album yako tu wagonjwa wote watapona ila watagoma kurudi nyumbani kwa utamu wa ngoma zako

  • @hananabdi4153
    @hananabdi4153 2 года назад +9

    Nani kameona zuchu hapa 😊rvny anapoimba..weka like bana

  • @gulwetv8801
    @gulwetv8801 6 лет назад +50

    Hii ngoma kama una kesi mahakamani mheshimiwa hakimu akisikiliza anaweza zifutilia mbali kesi mauaji

  • @ditricknyamika1361
    @ditricknyamika1361 6 лет назад +56

    Wakenya mko wap leteni like zenu hapa team WCB Mko wap mambo ni hvi🔥🔥🔥🔥 Mkinga ambaye sina duka😂😂😂

  • @ngwenaentertainment1429
    @ngwenaentertainment1429 6 лет назад +63

    Maisha ya Diamond ni kama ya wanasiasa wa Kenya Hayatabiriki, acheni abaki kuwa simba tu au sio??? from 254

  • @AdelaSamuel-o3t
    @AdelaSamuel-o3t 10 месяцев назад +114

    Wale 2024 February tunao endelea kusikiliza huu wimbo GONGA LIKE HAPA

    • @IradukundaGloria-jt3jp
      @IradukundaGloria-jt3jp 10 месяцев назад

      Me in 20k24

    • @SamKibet-r5r
      @SamKibet-r5r 9 месяцев назад

      Till siku ya kyamah hii song itakuwa hit kubwa wanangu

    • @mamytey8279
      @mamytey8279 9 месяцев назад

      Apo zuchu hajategemea asa kama atakuja kuwa mpnz wa diamond

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 6 лет назад +32

    Zari 👌👌👌👌👏👏👏👏 nyonga hapo kama umefurahi kama mimi

    • @omaryhabibu8725
      @omaryhabibu8725 6 лет назад

      Tunaomba warudiane wanapendeza sana kupita madem wote wamond

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 6 лет назад

      Omary Habibu k abisaa wana pendeza

  • @abdulimlula8205
    @abdulimlula8205 6 лет назад +50

    Hakika mondi na team yako itakuja bakia historia ya taifa miaka na miaka maana sio kwa vibao vikali kama ivi duuuuuh
    kama umeirudia hii nyimbo mara kumi kama mimi angusha like hapa.

  • @shabanimdugi6813
    @shabanimdugi6813 6 лет назад +41

    HAKUNAGA KAMA SIMBA BONGO UMESABABISHA HARMONIZE, RAYVANY, NA LAVA LAVA KUWAJUA NA UNAISHI NAO KAMA NDUGU BIG UP=KAMA UNAMKUBALI SIMBA GONGA LIKE👆👆👆 TWENDE SAWA

    • @erickhaule8680
      @erickhaule8680 6 лет назад

      Shabani Mdugi hanaga ubaguzi Mimi team kiba ila namkubali sana huyu jamaa

  • @Wambuilyn
    @Wambuilyn Год назад +6

    I'm here after watching the blended family❤ kumbe zuchu amekuwa kwa picture all along

  • @mbarakaahmed778
    @mbarakaahmed778 6 лет назад +77

    rasmi Leo nimehama kuanzia Leo mm team mondi ,,,uvumilivu umenishnda wadau,,,,team mondi mpo tyr kunipokea,,,kulle kwenye mvumo wa raddy citaki tena

    • @michaeljackson9647
      @michaeljackson9647 6 лет назад

      hahahahahahahaha tisha sana aiseeeee karibu team Wcb Wasafi

    • @jbbachuba7291
      @jbbachuba7291 6 лет назад +1

      karib me toka nije wasaf sijawai kupata azabu zaid ya furaha tu

    • @mbarakaahmed778
      @mbarakaahmed778 6 лет назад

      +Michael Jackson hahaaaaaaaa atary tupu ukwely nmesita mda mrefu illa moyo hautak

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 6 лет назад

      Mbaraka Ahmed kalbu WCB,

    • @kantugeorge5369
      @kantugeorge5369 6 лет назад

      Hatukutaki tunajitosheleza

  • @halimambwego7706
    @halimambwego7706 6 лет назад +25

    Hii vedeo kama kweli mlikuwa na matafaruku wkt mlisha record hii vedeo kuitoa lazima ikutie uchungu....kwa upande mwingine yaweza kuwa umeitoa ktk maelewano yani mshasuruhisha na kuweka mambo sawa kwa kweli ukiituzama kwenye furaha unaenjoy zaidi kuliko kuitazama kwenye karaha...natumai mko sawa sasa...vedeo nzuri sana na nyimbo pia imebamba kinomanoma...ila ukiwa umeachana sizani kama hii vedeo ingeruka kwa hewa.....nice job

    • @hamimumlindwa3244
      @hamimumlindwa3244 6 лет назад +1

      halima mbwego hii ngoma ninaeza kurudia kufunga ndoa Na Mke wangu kwa Mara ya pili

    • @halimambwego7706
      @halimambwego7706 6 лет назад

      Hamimu Mlindwa hahaha changamoto

  • @DebruyneDyhard
    @DebruyneDyhard 6 лет назад +20

    Yii wimbo iko nambari moja kwenye countdown za radiyo hapa Kampala jje ndiyo zari ana meremeta

  • @faithjemo2416
    @faithjemo2416 Год назад +2

    Who else saw zuchu, who knew they'll be together with Dai at this moment😂😂😂

  • @nancynsekela3770
    @nancynsekela3770 6 лет назад +92

    Zari and Diamond look so good together , I miss this couple jamani. Look at them how cute .. I curse you limobeto na vimacho vyako kama Mwizi... Fyiiiiiu

  • @arianajoan7332
    @arianajoan7332 6 лет назад +94

    Am team zarimond forever🙌🙌🙌🙌

  • @vanekemunto78
    @vanekemunto78 5 лет назад +143

    Ni wangapi wangependa diamond warudiane na Zari inua mikono juu tujue tuko wangapi

  • @cliffdinho
    @cliffdinho 2 года назад +4

    This's the Only video that features all WCB artists -Harmonize -Rayvanny -RichMavoko -Mbosso -Zuchu -QueenDarlin -LavaLava & the Boss himself Platnumz 🦁

  • @mariamhaidarijamali806
    @mariamhaidarijamali806 6 лет назад +29

    .Nakubali mwenye nyumba kaja ndani hongera sana wenye wivu wajinyonge❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @johntarimo8889
      @johntarimo8889 6 лет назад +1

      Luv dic collabo

    • @topestamohammed3538
      @topestamohammed3538 6 лет назад +1

      MARIAM HAIDARI JAMALI she is stupid to go back to this young boy he is still walking today she is laughing tomorrow she will be crying on Instagram.

    • @keziahmyself4296
      @keziahmyself4296 6 лет назад +1

      Topesta Mohammed lol that video was made while they were still together

    • @mwikalizawadi9481
      @mwikalizawadi9481 6 лет назад +1

      MARIAM HAIDARI JAMALI kabisa umesema ukweli dadangu am watching from Lebanon Beirut l like it

  • @barbieshan4637
    @barbieshan4637 3 года назад +22

    Niko hapa after diamond kumnunulia zawadi za mother's day the boss lady 🇺🇬🥺😍✌🕊

  • @dicksonisakwe3063
    @dicksonisakwe3063 6 лет назад +40

    Kwa kwel,,,nisiwe tu mnafiki, hata kama ni "team pinzan" ila kwa hii mmenifunga mdomo! Ntaanzaje sa kudislike kwa mfano! Kutoka upinzani naona aibu hakyanani loh!! Video imeniumbua!! Sema acha tu nikomae huku huku, coz bila ss tucngepata vizur kama hiv!
    Acha nikaipitie Mvumo wa rad ya boss wang, hata cjui inaendeleaje na hali mamae!!

  • @DerickKigahe
    @DerickKigahe 10 месяцев назад +549

    Tunaoangalia hh nymb 2024 gonga like ❤

  • @shiphramurugi6492
    @shiphramurugi6492 6 лет назад +60

    Best thing I have seen this year... May God restore this family... Team Zari all the waay!

    • @olivelikwaya785
      @olivelikwaya785 6 лет назад +1

      Shiphra Murugi love me some Zari 💃🏾💃🏾💃🏾

  • @sakinahfruit3193
    @sakinahfruit3193 6 лет назад +33

    The video is dope 👌love from🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼RWANDA stay blessed

  • @jmkihoro7000
    @jmkihoro7000 6 лет назад +84

    Very nice song. Zari and diamond deserve to be together for life. The couple fit each other after all no one is totally perfect. Mr and Mrs Chibu Oiye!

  • @jombamanship2789
    @jombamanship2789 Год назад +2

    idont have aword about you diamond iam from south Africa cape town ❤❤❤❤❤❤

  • @lindahbaiby4140
    @lindahbaiby4140 4 месяца назад +35

    Am from tiff birthday today,lemme tell u maina the way zari and diamond was enjoying this song that's why am here,mnipee likes kama pia mmeona

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 6 лет назад +68

    Wimbo mtamu balaa hiyo vedeo sasa daah hadi machozi nipe like za Zarithebosslady+Mama Dangote😍😍😍😍👌👌

  • @maltarpeddy
    @maltarpeddy 6 лет назад +118

    No matter how many women diamond flirt with- Zari will always be his number 1. He truly misses this woman. No one be like you Zarina.

    • @aginsschindorichuwa4214
      @aginsschindorichuwa4214 6 лет назад

      Maltar Pedro nice sana kaka

    • @francismukuha9571
      @francismukuha9571 6 лет назад +11

      hahaha
      why would he flirt with other women if he has a number 1

    • @hellygeorge7147
      @hellygeorge7147 6 лет назад +6

      Maltar Pedro so a man flirt, sleep with a other women but there is a woman that he truly loves? Really?. If you at your age you believe such nonsense then you are a goat!!

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 лет назад

      Francis Mukuha he's so greedy thats the problm

    • @maltarpeddy
      @maltarpeddy 6 лет назад +6

      People are all up in their feelings here. This is my opinion if you don’t like it pass...if you feel you want to be pity-party go ahead.

  • @Davie353
    @Davie353 11 месяцев назад +3

    Mwanamke usafiiiiiiiiiiii damn rayvan killed it

  • @daniellahudgens4737
    @daniellahudgens4737 6 лет назад +37

    Zari is a blessing indeed😊980k views in 18hr💃🔥👰#IYENA

    • @blessedbeyond5722
      @blessedbeyond5722 6 лет назад +2

      Daniella hudgens am watching cause of her, just her

    • @gamstferdinand1494
      @gamstferdinand1494 6 лет назад

      Someone pulled a chioma on us and got some views Someone pulled Zari on us and .... you already know the game

  • @picsandvidstv1348
    @picsandvidstv1348 6 лет назад +34

    #9trending huku Qatar...watu wa Diaspora wenye mnajua 500k views Ni zenyu inua mikono juu!

    • @picsandvidstv1348
      @picsandvidstv1348 6 лет назад

      Jamali Muzzo No problem I will definitely do that.

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 6 лет назад +1

      Princess Joy ,so princess you mean your from Qatar ,bt the Swahili part you wrote it seems your from Kenya ,

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 6 лет назад +1

      Princess Joy any ways let's keep supporting ,Diamond coz the talent talks it self ,the song is lit 100%,

    • @picsandvidstv1348
      @picsandvidstv1348 6 лет назад

      Yes I'm Kenyan,BT I'm in Qatar at the moment!

    • @hoseanobocka4533
      @hoseanobocka4533 6 лет назад +1

      Princess Joy OK, so what I guessed is true ,nice now how can i get u in WhatsApp ,so as we talk more ,you know Diamond fans are forever ,ncheki kwa messenger as Nobocka hosea

  • @rashidilubunga6977
    @rashidilubunga6977 6 лет назад +125

    Kama ume kubali Diamond na zari ilikua kiki ya wimbo huhu na kuamini bado ndoa ipo gonga like chini wahi twende pamoja ✅✅✅🔥🔥🔥🔥

  • @damarisobonyo677
    @damarisobonyo677 3 года назад

    Imani yangu ni kuwa siku moja warudiane tu.

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 5 лет назад +272

    Diamond ulitupa mbao...kwa Zari she's was the best out of the rest

  • @gathonidival6216
    @gathonidival6216 4 года назад +75

    Rayvanny makes Swahili sound so sweet I sear!! Cheeeeei Watu wa kurudi hapa 2020 because this video was killer!

    • @samuelmbatha3182
      @samuelmbatha3182 4 года назад

      BUSINESS OPPORTUNITY!!
      🔑Do you want to be A millionaire??
      🔑Do you want Financial/Time Freedom?
      🔑Do you want to achieve your Dreams?
      🔑Work part-time/Full Time
      🔑Earn Millions of Money.
      Am Mr. Samuel Mbatha.
      I love the Song tooo and here I have an opportunity, That has Changed peoples Lives to Greatness.
      I know it's All our Desires to Live a Luxurious life.
      Don't ignore, WhatsApp me via +254759874629 or Email :sambathan6@gmail.com
      I share the opportunity with you.
      Regards:Samuel Mbatha
      Thank you

    • @samuelmbatha3182
      @samuelmbatha3182 4 года назад

      BUSINESS OPPORTUNITY!!
      🔑Do you want to be A millionaire??
      🔑Do you want Financial/Time Freedom?
      🔑Do you want to achieve your Dreams?
      🔑Work part-time/Full Time
      🔑Earn Millions of Money.
      Am Mr. Samuel Mbatha.
      I love the Song tooo and here I have an opportunity, That has Changed peoples Lives to Greatness.
      I know it's All our Desires to Live a Luxurious life.
      Don't ignore, WhatsApp me via +254759874629 or Email :sambathan6@gmail.com
      I share the opportunity with you.
      Regards:Samuel Mbatha
      Thank you

  • @munandimarion8203
    @munandimarion8203 6 лет назад +33

    Queen Zari,, you so pretty in tiffah's voice😍😍😍😍you are giving life to this video😘😘😘😘😘

  • @NurulineMichael
    @NurulineMichael 6 месяцев назад +3

    Baada ya kuona wake za diamond walioimbiwa nyimbo nzuri nikaamua nirudi kweny hii nyimboo team zari gather here❤

  • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
    @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 лет назад +86

    Hii ngoma isipofikisha views milion moja ndani ya masaa 24 lazima ninywe sumu nife.

    • @simoninzumi2888
      @simoninzumi2888 6 лет назад +2

      Unavyopenda matonge hivyo Utaanzaje kunywa sumu wewe

    • @emmanuelmmbasu7905
      @emmanuelmmbasu7905 6 лет назад +1

      Kunywa sumu ufe ,tutaja kukuzika

    • @balo_tixer9
      @balo_tixer9 6 лет назад +1

      wee Choko Dokoo...unasahau mungu unaleta sefaa za Kisengee watombwaa Mkuuundu!nini? Weee Mkali wa Masengee Wote
      Duniani... umejisahau jamii inakucheck unaanza kuleta Shombo...

    • @nadhlfasalmazena7444
      @nadhlfasalmazena7444 6 лет назад +1

      Simoni Nzumi namshangaa

    • @abdullahmpemba
      @abdullahmpemba 6 лет назад

      mkali wenu sumu ninayo usihangaike kununua

  • @joemziwanda1061
    @joemziwanda1061 6 лет назад +34

    Diamond Ndio Mziki Wenyewe Hii Ngoma Tyu Ipo Hivi Je Wakioana Itakuwaje Aiseee Yaani Iko Poa Poa Poa Huyu Ndio King Of The African Kwa Sasa Ukikubaliana Na Mimi Mziwanda Gonga Like 👇👇

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 лет назад

      JoE MziwandA timu flani wanaangalia views kwa jicho moja huku roho zinawadunda ukisikia mvumo wa radi ndio huu

  • @kathukumimiteu9161
    @kathukumimiteu9161 6 лет назад +22

    Dee n zee were the only African power couple...hakutakua na wengine kama wao...

  • @jeanius2024
    @jeanius2024 2 года назад +14

    zuchu was in the video , wow took her more than 3 years to debut , but once she did she has become , the Queen, Wasafi kali sana !

  • @osooabina
    @osooabina 6 лет назад +22

    [Verse 1: Diamond Platnumz]
    Hhhhmm!
    Ah! Leo Chereko chereko
    Mwanenu nimekuwa
    Zile kuringa mideko itapungua
    Ahsante mama ulinifunza nkajua
    Baba kasema kuomba mwiko
    Raha ya chumvi kununua
    Tena si kwa nazi
    Si hirizi za waganga
    Kwa baraka za baba na mama
    Tu na dua
    Waambie paparazi
    Pingamizi wenye viranga
    Waliosema hayawi hayawi yamekuwa
    Ooooh! Oh!
    [Chorus : DIamond Platnumz]
    Iyena Iyena
    Iyena Iyena
    Iyena Iyena
    Kwaheri tutaonana
    Iyena Iyena (Aah ooh)
    Iyena Iyena (Aah Iyeena)
    Iyena Iyena
    Ntawakumbuka sana
    [Verse 2 : Diamond Platnumz]
    Ooh! Ndoa baraka
    Ukipata ushukuru
    Maana wanayoililia ni wengi sana
    Kwetu talaka
    Kuitoa ni kufuru
    Nimefunzwa vumilia
    Niushinde ujana
    Ili kesho mahususi
    Kusudi wasinong'one
    Embu nichumu niringe washushuke
    Na hii pete ya harusi
    Nakuvisha waone
    Wakale sumu
    Wavimbe wapasuke
    [Bridge : Diamond Platnumz & Rayvanny]
    Eeh!
    Ati nashika nanga
    Nteke nsichomoke ndani (Anameremeta)
    Futa namba wablock vimada wa zamani (Anameremeta)
    Sio vijembe vya kanga waziwazi mambo hadharani (Anameremeta)
    Waliopanga mwenye nyumba kaja ndani (Anameremeta)
    [Chorus : DIamond Platnumz]
    Iyena Iyena (Aah iyoyo)
    Iyena Iyena (Aah Eeeh)
    Iyena Iyena
    Kwaheri tutaonana (Oh! Kwaheri Baba Mama)
    Iyena Iyena (Iyeeena)
    Iyena Iyena (Aah Eeh)
    Iyena Iyena
    Ntawakumbuka sana
    [Verse 3 : Rayvanny]
    Imefika tamati
    Tulisubiri kitambo
    Leo samaki
    Kanasa kwenye chambo
    Pongezi kwa kamati
    Yanavutia mapambo
    Napata picha safi
    Litanikoma bundle
    Mwanamke usafi
    Gaga kulisugua
    Mume akirudi sharti
    Viatu kumvua
    Kitandani marashi
    Massage kumchua
    Kisha anza sayansi
    Viuno kutengua
    Mambo ya kuzima taa
    Si mahaba ni kuwanga
    Washa japo ka mshumaa
    Mumeo aone shanga
    [Bridge : Rayvanny]
    Eeeeh!
    Makeup kinanda
    Kaka suit kama mbunge (Anameremeta)
    Mulo changa muda kujipooza na punje (Anameremeta)
    Momo ndani Shivo amekuja na Fumbwe (Anameremeta)
    Kula chanda ukishiba ruksa kafunge (Anameremeta)
    [Chorus : DIamond Platnumz]
    Iyena Iyena (Aah iyeee)
    Iyena Iyena (Aah iyoyo)
    Iyena Iyena
    Kwaheri tutaonana (Eh! Kwaheri Baba Mama)
    Iyena Iyena (Iyeee)
    Iyena Iyena (Hhhmm)
    Iyena Iyena
    Ntawakumbuka sana
    [Outro : Diamond Platnumz & Rayvanny]
    Saa nataka kusasambua (Sasambu)
    Me nasasambua (Sasambu)
    Aby Dad nasasambua mimi (Sasambu)
    Sasambua!
    Tuone
    Mguu moja juu (Sasambu)
    Usishushe chini (Sasambu)
    Cheza jitazame (Sasambu)
    Sasambua!
    Tuone
    Aisha kimobitel (Sasambu)
    Nipe za baloteli (Sasambu)
    Nyonga kibaiskeli (Sasambu)
    Sasambua!
    Tuone
    Akaa kama unashika ukuta (Sasambu)
    Ifanye unashusha (Sasambu)
    Taratibu zungusha (Sasambu)
    Sasambua
    Tuone
    Sasambu! Sasambu! Sasambu!
    Sasambua!
    Tuone
    Kama unawasha bajaji (Sasambu)
    Imwagie na maji (Sasambu)
    Tuwakomeshe vizazi (Sasambu)
    Sasambua!
    Tuone

  • @Tour_Guid
    @Tour_Guid 4 года назад +256

    I wasting my time listing to America song when my African brother and sister are giving me lovely songs ,greeting from Nigeria

  • @bintysalimchigwe4579
    @bintysalimchigwe4579 6 лет назад +50

    Rayvanny nimependa hicho kipande ulichoimba ety kuzima taa ni uwanga, nani anaikubali hii ngoma gonga like hapa

  • @emmaashanghala8629
    @emmaashanghala8629 2 года назад +1

    Grace Mwangi,only the distance, I am saying I and you watching 👀 together, what you said is what I mean here in Namibia 🇳🇦, Raymond Rayvanny aka suits, he finished the ceremony. I 'm speechless, I love ❤ this song 🎵. Aunty Emma from Namibia 🇳🇦

  • @paulmdende130
    @paulmdende130 6 лет назад +25

    Zar shemela wa taifaaaaah babaaaaake

  • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
    @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 лет назад +124

    Kwa moyo wangu nimeamua kuachan na team kiba sas mim kwaajil ya hii ngoma nimekuwa mwana WCB nipikeen jamn

    • @esterpromy3183
      @esterpromy3183 6 лет назад +1

      karibuuu

    • @mwanaidimohamedi5119
      @mwanaidimohamedi5119 6 лет назад +1

      Waoh karibuuu

    • @marywanjiru9531
      @marywanjiru9531 6 лет назад +3

      Am so happy kumuona zarina waaaah iwe hivyo sasa

    • @faithaction2505
      @faithaction2505 6 лет назад

      mkali wenu original please subscribe acha ujinga bila kutaja kuna kiba huez pata like au

    • @faithaction2505
      @faithaction2505 6 лет назад

      Rasha Shooshoo huna point umeanza kutukana wcb kwann wajinga ivo,, uyu Jamaa pita kwwnye nyimbo za dai Toka kitambo anamkubal Leo anasema atoke team kiba

  • @254shorttrendystories4
    @254shorttrendystories4 6 лет назад +88

    Mie sitadanganya nimetazama kibao cha huu mziki,,videyo kali kuliko maji mnazi yaani mimi mkenya 🇰🇪 lakini kutazama kiswahili kikabadilika sasa mimi ni mwana tanzania..ebu wakenya na watanzania wasela wangu wote mbonyeze kidude cha likey kama mmenikubali😂😂👊🏾

    • @rehema2018
      @rehema2018 5 лет назад

      Prince Wakanda
      Kidude cha like uwiiii😂🇹🇿😂😂😂

    • @marwamaswi892
      @marwamaswi892 3 года назад

      Saf sana

    • @noblechild5652
      @noblechild5652 3 года назад

      🤣🤣🤣Usjali broo. Pia Tanzania ni kwetu 🤣🤣 coz twawapenda sana jinsi tupendavyo ngoma zao🥰

  • @lavinekamuye222
    @lavinekamuye222 2 года назад

    Nani aliwai fikiria the two would break up and the song will go silent...yaaani diamond hii ndo Ngoma niliskia na kuview thousand times you guys were a perfect match zuchu n mtoto kwako alaaaaa

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 6 лет назад +29

    Oooiih my dear diamond rejea kamama watoto film imetuliza saana unavyo pendeza ukiwa na zari na Tifa nillay kwani mnachomoza noor kwenu ya mchana nausiku mnangara

  • @wilymsumary6263
    @wilymsumary6263 6 лет назад +52

    Yani hii ngoma leo kalibia mx50 yan sichok daimod anajua jamani simbaaaaaaaasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasas

    • @tracynelima907
      @tracynelima907 6 лет назад

      Simba

    • @hadijaselemankidunda1516
      @hadijaselemankidunda1516 6 лет назад

      Wily Msumary 😀😀😀😀utachizika ww mm nimeunguza mboga ya daku halafu usiku huu imagine

    • @Ndiboul
      @Ndiboul 6 лет назад

      Wily Msumary ruclips.net/video/qFyiPqRZ-kk/видео.html

    • @salimhamis5637
      @salimhamis5637 6 лет назад

      Naomba nitumie 0759377747

  • @malikamontana3466
    @malikamontana3466 6 лет назад +25

    Diamond 💎platnumz u killed it with your wifey zari... 😍😍😍😍we luv ❤😘the song 🎶🎤Awesome👏✊👍

  • @brothermo9343
    @brothermo9343 Год назад +12

    Team zima ya WCB my family kama umemiss kuiona hiyo team ikiwa pamoja goga like 2023

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 6 лет назад +89

    namba #01 on trending mwezi mzima kama unakubaliana Na mm gonga like👍👍👍👍👍👍🔥🔥🔥

  • @Eliabennet
    @Eliabennet 6 лет назад +94

    Zari killed it

  • @julikeys
    @julikeys 6 лет назад +104

    Team Zari boss lady ❤️😍❤️

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 6 лет назад

      julia lukambo bonyeza picha hii yangu kushoto kwako kisha bonyeza neno subscribe ili uone kitu ambacho diamond kafanya behind the scene

    • @barakakimaro5135
      @barakakimaro5135 6 лет назад

      julia lukambo wimbo mtamu mpaka nahis kukojoa

    • @barakakimaro5135
      @barakakimaro5135 6 лет назад

      wimbo mtamu mpaka nahis kukojoa

    • @juliofogna1294
      @juliofogna1294 4 года назад

      @@jaydon3361 nô ipplpkolllllkjjpl

    • @juliofogna1294
      @juliofogna1294 4 года назад

      @@barakakimaro5135 porque

  • @gladyskhandasy2668
    @gladyskhandasy2668 2 года назад +6

    I just spotted my queen zuchu... now she's full in the house 😍

  • @supremelyricschannel1563
    @supremelyricschannel1563 6 лет назад +67

    The video is soo dope💜🔥🔥🔥😍.. I miss this couple..Zari is soo pretty too💯💯

  • @esthermueni7274
    @esthermueni7274 6 лет назад +366

    Hamisa hamisa hamisa how many times have I called you ? Kufaaaaaaa ...team zari from Kenya ,uganda , tanzania and all the way to south africa pitieni apa muweke vidole kwa kulike ...aki nimelia kwa furaha

  • @mussakiseto5504
    @mussakiseto5504 6 лет назад +31

    Nilijua tu kama mvumo wa radi itapitwa kabla ya wiki 😂😂😂 kama na ww unaamini gonga like twende sawa 👊👊👊

  • @richdadsgrandson
    @richdadsgrandson 7 месяцев назад +1

    This is one of the best of this gang ❤❤
    More love to the forgotten MBONGO VIBES

  • @afdaa946
    @afdaa946 6 лет назад +22

    Leo Mond umeniacha kinywa wazi dah!! Yaan cna usemi kila cku ua I don't drop ma comment bt leo upo juu baba go marry that lady acha pang'ang'a mzee baba

  • @moureenmbuu1985
    @moureenmbuu1985 6 лет назад +34

    Nairobi imekubalika

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 6 лет назад +44

    Chibu wewe ni shidaaaa 👌💞

  • @blackmansaduuri1122
    @blackmansaduuri1122 3 года назад +2

    🥰😍🥰😍🥰KWETU TANZANIA PEKEE, HAKUNA MAHALI POPOTE KAMA NYAMBANI, 😍😍😍 AFRIKA KWA MILELE!😍😘😘

  • @Biggames44
    @Biggames44 8 месяцев назад +22

    For the 1% people who are reading this GOD loves you. I hope you achieve your goals. Have a great day and stay safe😊

  • @fbr5113
    @fbr5113 6 лет назад +46

    ZARI NDIO NYOTA YAKO YA MAFANIKIO, HAYO MANUNGAYEMBE MENGINE YATATKUTIA MIKOSI NA KUKUCHUNA TU BURE. ANGALIA NA HADHI YAKO, HUYO ZARI NDIO YUKO KIMATAIFA NA ANAKUFAA SANA NA MNAPENDEZA NA WALE WATOTO WENU

    • @nattinatti6308
      @nattinatti6308 6 лет назад

      Potezea Wazushi shuhudia mwenyewe kweli kabisaaa,yaan hii video mpk imeniuma,kiukweli wanapendezana sana

    • @elizabethmaombie5178
      @elizabethmaombie5178 4 года назад

      Nice video

  • @falldia3476
    @falldia3476 4 года назад +29

    Everybody was happy here like kama you remember this time zari n'a mond sio kama tanasha n'a mond yiko vibaya Hana furaha kama zamani

    • @patriciahkiio9692
      @patriciahkiio9692 4 года назад

      Yap hadi mondi amekua hata na roho mbaya na sura dio kwanza usiseme

    • @gsmtzinfogsm8601
      @gsmtzinfogsm8601 4 года назад

      Hakika walinyata acheni Jamani Zari na nyota inang'ara lakini kifyamba ni mdogo amesinyaa ndio manana Mondi kamfanyia visa ili asepe

  • @danielmacharia9603
    @danielmacharia9603 4 месяца назад

    Kaa si wakenya diamond platinum hangeenda international sisi ndo wengi huku 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mwangigrace6030
    @mwangigrace6030 2 года назад +238

    After watching young, famous and African, , ..am here again to watch this amazing song..zari and Diamond.

  • @tashalindqvist7455
    @tashalindqvist7455 6 лет назад +71

    DIAMOND IS MISSING ZARI ALOT!😎

    • @flexxmarto3150
      @flexxmarto3150 6 лет назад +1

      Tasha LINDQVIST ,,, true

    • @naominduta716
      @naominduta716 6 лет назад +1

      Tasha LINDQVIST you can say that again

    • @blackandblackandblac
      @blackandblackandblac 6 лет назад +1

      Tasha LINDQVIST DONT UNDERESTIMATE ZARI AND DIAMONDPLATNUMZ THEY KNOW DOUBTERS WILL TALK🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣CHECK OUT ZEE WEDDING FINGER HAS SHE EVER TAKEN THE RING OUT OF HER WEDDING FINGER ???

    • @blackandblackandblac
      @blackandblackandblac 6 лет назад +2

      Tasha LINDQVIST HOW CAN HE MISS SOMEONE WHO HAVE NEVER BEEN AWAY FROM EACH OTHER...

    • @tashalindqvist7455
      @tashalindqvist7455 6 лет назад

      chapo - I donot knw if she has taken her ring off, all I knw and heard zari in an interview saying “ worst betrayal ever “ and she dumped him on Valentines day. she quoted this too “ I cldnot continue reading a book that I knew how it wld end “( WHAT SHLD I THK THEN,👉🏽 Zari got hurt of course and moved on).😬
      Zari is a ugandan like me( strong and beautiful women.)💃🏽and we donot tolerate men betraying us. ☝🏾
      O.b.s I also saw a live of Diamond and Mabeto after Zari leaving so am sure she left.😎 Today, I got surprised when I saw this video and wondered 🧐. I got confused 🤷🏽‍♀️ honestly and thgt “ Does Diamond care abt Women’s feelings?” 🙊 releasing this video when staying with Mobeto is a qstn mark too?!🙄
      AM NOT UNDER ESTIMATING LIKE U SAID BUT what is going on?! REASON WHY I CONCLUDED “Diamond misses Zari but he is with Mobeto.🙉
      “ WHAT A TRIANGLE “.😳
      # Ugandan women qualities that will make u never forget them are:-👆🏽( Smart brains 🧠, Strong 💪🏽 , Independent (emotionality and financially)🤑and Beautiful 💃🏽 .

  • @indhocashaq9918
    @indhocashaq9918 6 лет назад +258

    Omg i love Diamond❤ Really i dont understand what he say but we are all africa Love Tansania ❤ from somalia🇸🇴

    • @CoachYusuphMagige
      @CoachYusuphMagige 6 лет назад +9

      Mohamed Issa we love you too brother am Yussouf from Tanzania.

    • @indhocashaq9918
      @indhocashaq9918 6 лет назад +4

      yusuph magige thx bro One Love

    • @abdishakuromar9542
      @abdishakuromar9542 6 лет назад +2

      Mohamed Issa bro somali carab ayay sheganeaay mantana tanzania ayaad sheganosaa see waye miyaad soo ogaten inaad africab tihiin

    • @indhocashaq9918
      @indhocashaq9918 6 лет назад +2

      Abdishakuur Omar Mohamed abti waxaaan nahay malaha adaaa carab isku haysteee idiot

    • @danielkileo3240
      @danielkileo3240 6 лет назад +1

      Mohamed Issa much respect brother

  • @hillarymwole7875
    @hillarymwole7875 2 года назад +2

    this boy! Rayvannny

  • @64aaa
    @64aaa 6 лет назад +257

    Wasafi wote leo nipeni like za Nasseb Simbaaa na Bi Zarina. Ni 🔥🔥🔥🔥👌💞🇹🇿🇺🇬🇰🇪

    • @winfridasebastian81
      @winfridasebastian81 6 лет назад +1

      oyoooo wapangaj mwny nyumba yake kalud kwa kax hakuna cha hamixa wala wema kauzen nyago mbele

    • @emmanueljacob9062
      @emmanueljacob9062 6 лет назад

      Abdiilah Awaf wcb

    • @64aaa
      @64aaa 6 лет назад

      emmanuel jacob pamoja bro 💪

    • @surujajwie4768
      @surujajwie4768 3 года назад

      😂😂😂😂wef tz so ugada

    • @nshimiyeTewinazucHu
      @nshimiyeTewinazucHu 6 месяцев назад

      Wasafl wote Leo ripening like manasseh simbaaana Bizarina, Ni

  • @kingalwaysking3042
    @kingalwaysking3042 6 лет назад +133

    If you think diomond platnumz songs are👌👌💞💟Hit like this😍😍

    • @faunahk9517
      @faunahk9517 6 лет назад

      😂😂😂😂 I really pity boy child ringtone hapa hakuna hope ma friend tafuta mluhya achana na bibi ya mwezio

    • @piicod9182
      @piicod9182 6 лет назад +1

      Who is Diomond?😂😂😂😂

    • @piicod9182
      @piicod9182 6 лет назад

      forget the song ,am worried about your English bro😂😂😂

    • @piicod9182
      @piicod9182 6 лет назад

      forget about the song,am worried about your English bro😂😂😂

    • @kingalwaysking3042
      @kingalwaysking3042 6 лет назад

      Patrick Eseme 😂😂😂😂can you teach english crezy man

  • @davidnayee8213
    @davidnayee8213 6 лет назад +21

    My fellow south Sudanese let pray for peace in our young nation, and may God bring our leaders into common sense and rescue our displace People. And may he also empower the mediators who are sacrificing for peace in our nation.

  • @veronyprotus5984
    @veronyprotus5984 2 года назад +7

    Zuchu should think thrice not twice 😂

  • @husseinremmy8102
    @husseinremmy8102 6 лет назад +40

    anae kubali diamond platnumz ni msanii mkubwa duniani weka like

  • @zazathequeen9035
    @zazathequeen9035 6 лет назад +31

    Watching from London...Okay Diamond, make up your mind now....🤨😀
    Anyway, I love all your songs and appreciate the translation 👏🏾 ❤️

  • @billwizzy9239
    @billwizzy9239 6 лет назад +25

    Huyo Ni Diamond Platinum Chibu D Chibu Dee 3BD 3 Mond bin Laden Toto La Kimanyema Ukipenda Unaweza Muita SIMBAAAA Like Twende Sawaaa 🦁🔥

  • @Mula-e6f
    @Mula-e6f Год назад +1

    My love 💗 Dimond

  • @margeysmarvin7273
    @margeysmarvin7273 6 лет назад +169

    Mambo ya kuzima taa si mahaba ni kuwanga....
    washa japo ka mishumaa mmeo aone shanga...
    NAPENDAAAAAA

  • @annyk1400
    @annyk1400 4 года назад +278

    WHO ELSE IS STILL HERE TO CELEBRITY THE RETURN BACK OF DEE & ZEE WITH THIER CUTE CHILDREN😍😍😍😍😍👏👏🙏

    • @swafiyahthanny2408
      @swafiyahthanny2408 4 года назад +3

      Duuuh😂😂😂

    • @neemachangawa885
      @neemachangawa885 4 года назад +3

      Hahaha

    • @samuelmbatha3182
      @samuelmbatha3182 4 года назад +1

      BUSINESS OPPORTUNITY!!
      🔑Do you want to be A millionaire??
      🔑Do you want Financial/Time Freedom?
      🔑Do you want to achieve your Dreams?
      🔑Work part-time/Full Time
      🔑Earn Millions of Money.
      Am Mr. Samuel Mbatha.
      I love the Song tooo and here I have an opportunity, That has Changed peoples Lives to Greatness.
      I know it's All our Desires to Live a Luxurious life.
      Don't ignore, WhatsApp me via +254759874629 or Email :sambathan6@gmail.com
      I share the opportunity with you.
      Regards:Samuel Mbatha
      Thank you

    • @millicentnyaboke5415
      @millicentnyaboke5415 3 года назад

      Mad

  • @fortuhokahtaresh5149
    @fortuhokahtaresh5149 4 года назад +25

    Diamond na Zar mlipendeza sana couple yenu ilitikisa Africa nzima

    • @Amosi-ji3gy
      @Amosi-ji3gy 4 года назад

      Hiyo ngoja huwa ntaku ndo niliingilia kwenye harusi yangu acha bwana hyena noma mpaka leo

  • @BlueprintForex-1
    @BlueprintForex-1 3 года назад +2

    🗣️mmmmhh aleo chereko chereko mwalimu mummekua.................mom loved you guys♥️still litening

  • @najjembalilian5765
    @najjembalilian5765 4 года назад +273

    Who is here praying for their reunion after this event of zari coming back to Tanzania to coparent with diamond.

    • @deborahzabron5739
      @deborahzabron5739 4 года назад +1

      😍😍😍

    • @juliusdagret4693
      @juliusdagret4693 4 года назад +1

      me i just cant wait

    • @samuelmbatha3182
      @samuelmbatha3182 4 года назад +1

      BUSINESS OPPORTUNITY!!
      🔑Do you want to be A millionaire??
      🔑Do you want Financial/Time Freedom?
      🔑Do you want to achieve your Dreams?
      🔑Work part-time/Full Time
      🔑Earn Millions of Money.
      Am Mr. Samuel Mbatha.
      I love the Song tooo and here I have an opportunity, That has Changed peoples Lives to Greatness.
      I know it's All our Desires to Live a Luxurious life.
      Don't ignore, WhatsApp me via +254759874629 or Email :sambathan6@gmail.com
      I share the opportunity with you.
      Regards:Samuel Mbatha
      Thank you

    • @mazghatriyassirmazght7944
      @mazghatriyassirmazght7944 3 года назад +1

      @@deborahzabron5739 yassirmazght

    • @vannygal883
      @vannygal883 3 года назад

      These people were meant to be but they don't know 😕😕😕

  • @annkitonga6621
    @annkitonga6621 6 лет назад +27

    A million views already lols less than 24hrs zari kiboko Yao🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃😍😍😍

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 6 лет назад +177

    Kama umeona ZARI ndo kaipendezesha hii harusi weka dole hapa.

  • @brutusmashile5072
    @brutusmashile5072 4 месяца назад +7

    The day i visit Tanzania i want to get a restaurant and request that they play me this song repeatedly ....Sa Sa Mbua....Sasa Mbua

  • @bidimkaribidi7523
    @bidimkaribidi7523 6 лет назад +24

    Huyu ndio Simbaaa hanaga makosa madogo madogo, sio yule mwingine hatujui anaimba bolingi si bolingo kifupi haeleweki amebakia kubebwa na clouds promo nyingi mziki mbovu
    kama unakubaliana na mm gonga like

    • @ismailchivihi7094
      @ismailchivihi7094 6 лет назад

      kimsasha kasim h

    • @Storizetu
      @Storizetu 6 лет назад

      kimsasha kasim yaani...wanavombeba jamaa hata sielewi,muziki si ndo huu