Rayvanny - Unaibiwa ( Official Video music )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 3,1 тыс.

  • @STONEASH
    @STONEASH 11 месяцев назад +361

    wanao sikiliza hii ngoma. kwa mwaka wa 2024 wapo.wapi?

  • @ElisadCastory-ld1pf
    @ElisadCastory-ld1pf 8 месяцев назад +21

    Haka kangoma Vanyboy ungekaweka kingereza ni worldwide ❤❤❤April 2024

  • @kelvinkipchirchir3808
    @kelvinkipchirchir3808 8 месяцев назад +21

    Mtoto wa kiume huyu...any Kenyan here

    • @kandybeird5198
      @kandybeird5198 2 месяца назад

      Tuko 7yrs later bado mnaibiwa😂😂😂

    • @mulijosh3379
      @mulijosh3379 2 месяца назад

      Everyone here is a Kenyan

    • @MichaelKamau-w2z
      @MichaelKamau-w2z Месяц назад

      ​@@kandybeird5198tuko ndani Bado tunagongewa😂😂

  • @BadoMartense
    @BadoMartense 10 месяцев назад +78

    Rayvanny sito choka kukufuata, gongeni like leo 09/02/2024

  • @ChristineMaombi
    @ChristineMaombi 6 месяцев назад +3

    Jambo. Sisitunaishii Congo tunapigatena nyimbo zako tunafurai sana kabisa.mungu akuongezee vipaji

  • @rayshikeli1577
    @rayshikeli1577 4 года назад +1

    Weuweeee......akinipendea dimples kuna mwengine kampendea mguu......mameeee mapenzi yataniua🙌🙌🙌

  • @Joram255
    @Joram255 7 лет назад +79

    Hii nzr coz uliyo upload mda ule ilikuwa haina quality. Like kama umegundua hilo

  • @vokewesh2899
    @vokewesh2899 3 года назад +9

    Anajua kutumia lugha bana, awesome sana 🇰🇪 💥

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 5 лет назад +16

    *2020 here kama unaaamin huu mwaka HAUTAIBIWA dondosha dole lako tukipitaaaa👍👍🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪*

  • @AHMEDALI-rm3oh
    @AHMEDALI-rm3oh 7 лет назад +56

    From Djibouti 🇩🇯 i love Tanzanian 🇹🇿music #rayvanny #diamond #wasafi😀😀

  • @True-Ama
    @True-Ama 7 лет назад +17

    On my birthday ? 🎉🎉🎉🎉😂😊😊new song mob love ray❤️❤️❤️❤️

  • @doramuhando593
    @doramuhando593 7 лет назад +2

    Akila mihogo karoti hazi fanyi nini? Ray Vanny, you nailed it!

  • @Thewoods.
    @Thewoods. 7 лет назад +76

    WAKENYA WA LIKeS ZENU ... Big up tune

  • @jacobking3436
    @jacobking3436 7 лет назад +5

    Before 10k views niko Apa, Na Ka Kawaida Rayvanyy anatakiwa kufungwa. he murdered this one Again.

  • @tarshleysharon3842
    @tarshleysharon3842 2 года назад +55

    2022 and the song is still🔥🔥one of my favorites from rayvanny

  • @65alphonso
    @65alphonso 2 года назад +45

    I wish my mother (born in Tanzania) was alive to hear this interesting song. Hypnotic African rhythms, percussion & bass line. 👌

    • @nm_robert
      @nm_robert Год назад +1

      May her soul rest in eternal peace 🕊️

  • @Paul-et5ge
    @Paul-et5ge 3 года назад +15

    Married for ten years now and sadly this is a reality for many of us. Men are only loved if they provide. You can be the most loving sweetest husband but broke and you'll never be praised, respected or loved😪😪

    • @CarolyneWahito
      @CarolyneWahito 4 месяца назад

      Once a broke man gets rich he will definitely leave you for another woman. Apparently you won't be his type anymore..that's why ladies prefer money.

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 7 лет назад +1

    Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi baby me i like that na kukupamba kwenye simu..... real talk vanny

  • @marymwangi8943
    @marymwangi8943 4 года назад +185

    Namiss rayvanny wa zile nyakati nani nwingine piga like tujuane

  • @okwembaomuka3046
    @okwembaomuka3046 7 лет назад +80

    Napenda kazi yako rayvanny.........its always true life stories

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 3 года назад

    Nakupenda ww mwanaa
    Uishi maisha marefu ewe kijana mpole na mkariim. RAYVANY

  • @deepcworkshop7442
    @deepcworkshop7442 7 лет назад +8

    nyimbo haichoshi. mbaya zaidi ni pale mzee anapo pewa juices kwenye kidude cha kunyonyeshea watoto yani had shinda.

  • @annrazielah4575
    @annrazielah4575 2 года назад +67

    Listening this song ...hours to 2023 ...,,,,,

  • @stephenotieno4499
    @stephenotieno4499 5 лет назад +14

    Ngoma Kali. Rayvanny rudi huku ulipokuwa unatoa ngoma kali

  • @ledwineyoyibo1598
    @ledwineyoyibo1598 3 года назад +55

    I have no idea what this guy is saying half the times, but his voice is fire. I am a fan for life. Good job Ray!!!

    • @fifty6292
      @fifty6292 3 года назад +4

      I hope you understand for this one because you have subtitles man.

    • @dishonmwabashfano3627
      @dishonmwabashfano3627 3 года назад +2

      In this song, he is warning against Gold diggers... He is one of the greatest talents in Africa.

    • @sarahachieng8036
      @sarahachieng8036 3 года назад +1

      This song has subtitles for those who don't understand Swahili

    • @jairosamani4610
      @jairosamani4610 3 года назад

      @@dishonmwabashfano3627n

    • @kevinswaleh4283
      @kevinswaleh4283 3 года назад

      Translation is there stop being lazy of reading

  • @ianbosireobiye1268
    @ianbosireobiye1268 6 лет назад +76

    Mikono yangu nimeyainua
    Wimbo wako wa maana sana; nimecheka tu hadi mwisho😂umenipendeza sana
    Kazi safi kabisa kutoka+254 Kenya

  • @irenepulkol7967
    @irenepulkol7967 4 года назад +2

    kusema kweli hiii ndio wimbo wa kwanza nliskia ya Vanny miaka mitatu iliyopita

  • @faithnyabuto4334
    @faithnyabuto4334 22 дня назад +5

    Today 03/12/2024 I decided to spoil my self with all Rayvann's songs.....zinaslap ajabu ...kijana ametoka mbali

  • @othienokothieno1649
    @othienokothieno1649 3 года назад +36

    Its my joy seeing a boy I've mentored for years breaking barriers and daring unchartered Waters.

  • @florencewanjiru8751
    @florencewanjiru8751 9 месяцев назад +1

    My daily dose 🙌 🔥 🎧

  • @simonseyongwe
    @simonseyongwe 7 лет назад +4

    Video kali kinyama ase izo location balaa #vanBoy umetisha sana #WASAFIIIIIII

  • @erickkilonzo6748
    @erickkilonzo6748 7 лет назад +13

    I like the song mwaaaaaaaaaahhhhh WCB mmeweza kweli

  • @freadyjackson315
    @freadyjackson315 2 года назад +1

    Mkn zan ravnnyn ChuiiiNLM ogera zana Ravnnnyn ngoma kall zan nexti levo misic

  • @terrywatahi1203
    @terrywatahi1203 9 месяцев назад +3

    Them days..loves his old songs❤❤❤❤

  • @alfredkarani9654
    @alfredkarani9654 3 года назад +125

    It's 2021 and can't stop listening to this song... keep the fire 🔥🔥🔥 burning bro

    • @faithmish3797
      @faithmish3797 3 года назад +1

      ruclips.net/video/cNDQl84RcHk/видео.html

    • @dancankathurima5802
      @dancankathurima5802 3 года назад

      Still burning broh special thanths ti waasasfi from +254

  • @josephinearumba4366
    @josephinearumba4366 7 лет назад

    Revvany, watia wazimu kila naposkiza nyimbo zako kaka. All the way from kenya Nairobi south c. Anachuma mafaranga, misemo za kisogora umebobea kwa kweli

  • @janetkaranja8194
    @janetkaranja8194 7 лет назад +14

    namkubali vanny 100%...yaani hajawahi angusha wcb.... #unaibiwa is fireee.

  • @gervastweve8612
    @gervastweve8612 7 лет назад +12

    WCB FOR LIFEE ,
    . RAYVAN WEE NI FIREE
    WAKILISHA MBEYA BOY ,
    WA MBEYA LIKE HAPO
    👇

  • @Simikajos
    @Simikajos 10 месяцев назад +2

    Still a good master piece

  • @MsTshaa
    @MsTshaa 7 лет назад +11

    Who is here before 1mil views 🙋🏽🙋🏽🙋🏽.. Thank you for the translation for some of us who can't understand

  • @ItsLeonel
    @ItsLeonel 3 года назад +3

    Rayvanny imba na hii sauti. Kali sana

  • @allankimaro4327
    @allankimaro4327 2 года назад +1

    Nice song. Katika wasanii wangu bora wa bongo ni alikiba,jux na rayvanny

  • @jimmysalm3954
    @jimmysalm3954 7 лет назад +4

    Ujumbe mzito kwa makuma wezi wenye kuibia pesa wanaume bila mapenz toka moyoni kumaninazenu nyinyi bidada wez

    • @yasminmohd3962
      @yasminmohd3962 7 лет назад +1

      Kumanina mwenywe ww kwni n madada wote

  • @timmusumba5846
    @timmusumba5846 Год назад +7

    Rayvan flows so well in this song which has a lot of teachings!

  • @ismailhusienaliruicosta
    @ismailhusienaliruicosta Месяц назад +1

    Am Always Here couse
    I like this Song❤❤❤

  • @blessedgirl444
    @blessedgirl444 7 лет назад +4

    Aha wimbo mzuri na ujumbe mzuri pia lakini kiswahili cha Tanzania taaabu I say lakini pokea pongezi kutoka Kenya

  • @leoskyshop6694
    @leoskyshop6694 7 лет назад +16

    Hii iko sawa=Kenya

  • @alphonsitohmcreative1912
    @alphonsitohmcreative1912 6 лет назад +53

    My best #WCB Artist.....Nampenda bure jameni! kijana mdogo lakini mwenye maneno mazito😋😋😋!! dah, anakuacha ukitafakari jameni🤔🤔🤔🤔🤔 kama wamkubali dogo Ray nipe like hapa #RayVanny #Unaibiwa #UtapendewaKitambi

    • @axmedisaq0225
      @axmedisaq0225 5 лет назад

      بيبي سناب شات

    • @beritnyambura822
      @beritnyambura822 5 лет назад

      Vanny u r always ma best artist in east afrika,nyimbo zako zinamafunzo kali #254 kinzo

    • @beritnyambura822
      @beritnyambura822 5 лет назад

      Sauti tamu vanny

  • @diniyare4705
    @diniyare4705 7 лет назад +387

    Nyimbo kali ila leo ni birhday yangu nataka
    #likes 200 pekee

  • @jamespeter6101
    @jamespeter6101 7 лет назад +8

    Eeebwana mnyakyusa wa kwanza kupanda ndege mnyakyusa mwenzangu komaa iii ngoma atali

  • @celesteceleste8243
    @celesteceleste8243 6 лет назад

    Rayvanny mm hapo umesema yote hii ni dedication kwa wakenya wote mmnaibiwa

  • @BonfaceMunene-km7qo
    @BonfaceMunene-km7qo 6 месяцев назад +58

    Wenye tuko apa 2024 wapi like

  • @hellenorito4563
    @hellenorito4563 3 года назад +5

    Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi baby i like that,such a vibe to African wapi likes za 2021

  • @sifajackline2142
    @sifajackline2142 5 лет назад +2

    Huu kaka ana sauti ya mzuri sana napenda sauti yako l love this song Anyway Napenda hii Nyimbo love you so much bro Rayvanny keep it up Amazing ❤❤👍👍

  • @petermwami4423
    @petermwami4423 3 года назад +31

    If every gentleman could adhere to Rayvanny's advice from this song, I think we couldn't have the many cases of divorce experienced nowadays

  • @crjfamily5991
    @crjfamily5991 7 лет назад +103

    Nani Anakubali kama iyi video iko dope saaana 💓❤️

  • @moisemulele808
    @moisemulele808 11 месяцев назад +2

    This song never get old even I don't understand but i can't stop listening to this amazing song ....good luck bro

  • @charleslotara
    @charleslotara 6 лет назад +18

    The rise of Tanzanian music industry just astonishes me!

    • @bonniemzo
      @bonniemzo 11 месяцев назад

      the have always sung very well from zilizopendwa

  • @faridahwilliam3816
    @faridahwilliam3816 7 лет назад +5

    good boy, Naququbali my bro unaweza mno respect for you

  • @silviahgacheri3744
    @silviahgacheri3744 2 года назад +1

    I keep coming back here to watch this! kazi safi. usanii wa hali ya juu wala sio wimbo tu ila una ujumbe.
    Rayvanny💕😍

  • @widaro7066
    @widaro7066 6 лет назад +5

    Kenyan artists kujeni hapa haraka sana. Now this is content. Ndio kwa maana 99% of you mziki zenyu hazitawahii toka boda ya kenya

  • @saiddhore7976
    @saiddhore7976 10 месяцев назад +3

    Ngoma kali kaka alafu tuko jirani yangu wa mpezi Beach tuwende tuendelea ngoma kali kaaali respect bro

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 7 лет назад

    Ukipita na shati na moka lazma watashoboka ...this part vanny boy u nailed it

  • @edaqueennatalie2156
    @edaqueennatalie2156 7 лет назад +73

    Aki this song imefanya nikakosana with my neighbours coz I've bn playing it on repeat th whole day on a high volume😍😆

    • @algwiji
      @algwiji 7 лет назад +1

      Edaqueen Natalie inaruhusiwa haha

    • @lifeofkhalifamweda6358
      @lifeofkhalifamweda6358 7 лет назад +1

      hahahahah

    • @alice8005
      @alice8005 7 лет назад +1

      Kwani kunao wameibiwa wanapata kujihisi kama wanasutwa?😂😂😂😂

    • @edaqueennatalie2156
      @edaqueennatalie2156 7 лет назад +2

      Alice ng'ang'a Ni kama kunao that's why they're complaining coz this song inawahusu...Ama labda wao ndio wezi😂😂😂

    • @edaqueennatalie2156
      @edaqueennatalie2156 7 лет назад +1

      Harith Ali 😂👍

  • @Cubajo1234
    @Cubajo1234 6 лет назад +14

    I love this Song! Regards from Portugal 🇵🇹

  • @alidawood4065
    @alidawood4065 4 года назад

    Ray aki wimbo iko na mafunzo sana. Though pia ww umeninice aki c uvisit kenya oneday

  • @Helmuto
    @Helmuto 3 года назад +5

    Yes yes I know by now, have to visit Tanzania. Many greetings from your fan Helmut from Dortmund in Germany. I love your volcanic mizic zouk Afrikan. 💓💕💖❤🌹 Please stay healthy and take care. Would like to see and hear you life ❣🥰👌😊

  • @254shorttrendystories4
    @254shorttrendystories4 7 лет назад +28

    Masponsor finally can now shake their vitambi kwa dancefloor this song is dedicated to them,u never disappoint vannyboy👍

  • @LeslyKyvanakwa
    @LeslyKyvanakwa 11 месяцев назад +1

    Waouh,hongera sana kaka umeimba maneno leo ndo naelewa sasa😅😅😅

  • @miskiahmed8498
    @miskiahmed8498 7 лет назад +155

    I wish I could like this song million times.I love his voice and the way he is compossed.

  • @jonahthiga9117
    @jonahthiga9117 2 года назад +61

    Rayvanny's voice and word play is on another level he relates with real life

  • @smartwriter9815
    @smartwriter9815 6 лет назад +2

    This man just Rocks. True unaumbiwa . True fan 254.

  • @butrusjosephdut5963
    @butrusjosephdut5963 4 года назад +6

    wow man rayvanny your song is very beautiful may god continue bless you 🙏👏👊

  • @fanuelmduma9296
    @fanuelmduma9296 7 лет назад +10

    WCB NI MWISHO WW MATATIZO......!!!!
    UKIWA NA STESS ZAKO ANGALIA KAZI ZAO TU TIBA TOSHA...!!
    Unaibiwa Mazeeeee....!!!

    • @yasminmohd3962
      @yasminmohd3962 7 лет назад

      Raymond hawakutoshi wote uko fantastic

    • @tunumbakirungi8974
      @tunumbakirungi8974 7 лет назад

      Fanuel Mduma pesaa ndiokrak2 iraunatakiwa uwemakin 2uu namadada wakibongo ucjekuwibiwa

  • @sambadisplatform
    @sambadisplatform 9 месяцев назад +1

    I LOVE YOU REVANNY
    😭😢😢😭💓💓

  • @newtonhoidi6633
    @newtonhoidi6633 4 года назад +12

    He should continue making song like this..WANGAPI WAKO APA 2020

  • @erickjohn5209
    @erickjohn5209 7 лет назад +5

    Diamond simba kiba tembo kila wew ndio KING OF THE JUNGLE Gonga like kama unakubaliana Na mm

  • @jay-nyeye1900
    @jay-nyeye1900 4 года назад +1

    Isee big up sana broo yani ungeendelea kuimba hivi ingekua ni vizuri mana kwenye hii ngoma tumekwelewa sanaa

  • @stanleyroyle6152
    @stanleyroyle6152 5 лет назад +164

    I'm a Nigerian and I don't speak Kiswahili but I must say, "huu wimbo ni tamu sana"😂😂

  • @nasorohusein6172
    @nasorohusein6172 7 лет назад +192

    asiye penda kuibiwa gonga like mingiiiiii kwa van boy

  • @gorethmatondwa2923
    @gorethmatondwa2923 5 лет назад

    Hakuna wimbo una maudhui na fani kama huu east Africa nzima. Naupenda hatwaree

  • @nestorylutambi4105
    @nestorylutambi4105 5 лет назад +78

    Kama na ww unaendelea kuingalia hii ngoma Kwa huu mwaka 2019 naomba tujuwane kwa likes

  • @marymungala3898
    @marymungala3898 3 года назад +11

    I just love this guy n his song how I wish I can be playing it each n every minute

  • @dorothyxavery6178
    @dorothyxavery6178 4 года назад

    Kaka vany u real inspire me the way u work hard...asee y not me nitafanya juhudi nitoke nilipo bse of u...kweli watu wa mbeya tunavipaji

  • @fatimacombo765
    @fatimacombo765 3 года назад +4

    Très belle chanson . Rayvanny toujours aussi étonnant et charmant dans ses mélodies ❤❤❤❤❤❣❣❣💯💯💯💯👍👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏💝💝💝💝💖💖💖💖💖💋💋💋💋💋❤🧡💛💚💙💜🤎🙏🙏🙏

  • @mquare7406
    @mquare7406 2 года назад +4

    Kwa hii ngoma tuh rayvanny Nampa tuzo ya Dunia . Alicho kiimba Kiko kila mahali . Kila mtu anaibiwa mke bana. .

  • @Akhuya
    @Akhuya 10 месяцев назад +1

    Big fan from 🇸🇴

  • @EddyAshioyaChinedu
    @EddyAshioyaChinedu 7 лет назад +6

    Video safi kutoka wasafi. Kweli Naibiwa.

  • @tosina.sunday8420
    @tosina.sunday8420 7 лет назад +25

    Beautiful song with meaningful lyrics. You are blessed with a lovely voice. just have to add you to my favorite artists... Africa taking the lead. One love from naija boy. #ProudAfrican

  • @arafathabdallah
    @arafathabdallah Месяц назад

    Imenichukua miaka saba kuelewa hii nyimbo 🥲🤌

  • @harrisondzombo
    @harrisondzombo 2 года назад +8

    I love the song 😍💙❤️

  • @kimuyaf
    @kimuyaf Год назад +10

    Listening to this song in 2024 n still a hit 🎯

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678 4 года назад +1

    Nimekuwa nikisikiliza na kujadili kila neno kwenye wimbo huu. Na leo nina swali.
    *Hata Mangi anamwita sweetheart*
    Mkuu unamaanisha kuwa akina Mangi hawastahili, au huwa hawajali so hata waitwe hivyo kwao washajuwa wanaibiwa hivyo huwa hawajali.

    • @sabrinaiboma2444
      @sabrinaiboma2444 4 года назад

      Wagumu kuibiwa anaitwa sweetheart coz gym six park ila pesa hawatoi akina marioo waenda gym ili Madem wadate wao kutoa pesa kutoa noo wajikuta weye ndiyo wampa pesa . ..haibiwi mtu apa

  • @samiramohammed5606
    @samiramohammed5606 7 лет назад +4

    penda ujumbe na mahudhui ya nyimbo big up rayvanny

  • @Kaya.B10
    @Kaya.B10 7 лет назад +359

    Kama unamkubali rayvanny na unaipenda iyi ngoma gonga like apa🖒

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 года назад

    2021 tujuane na likes wanangu wa nguvu.... aisee rayvanny alitisha sana kwa hii ngoma 🙌🇶🇦

  • @aishakanana1947
    @aishakanana1947 7 лет назад +15

    nyimbo Kali. xana Vannyboy hujawai kukosea.unaibiwaa

  • @muramuzikamadhi1844
    @muramuzikamadhi1844 3 года назад +14

    i cant tell how many times i have played and listened to this song, in bedroom, car and office

  • @Bwele-Vhutali
    @Bwele-Vhutali 7 месяцев назад +1

    I started to hear this song in 04 may 2024❤️ until now it's my favourite song 🖤 it's a hit🔥🔥

  • @isaiahkatana1270
    @isaiahkatana1270 7 лет назад +47

    He became better then platnumz and Kiba and better then bahati and sauti soul all together big love from Mombasa Kenya

    • @papaacassava6722
      @papaacassava6722 6 лет назад

      katana official hahahahahahahahah

    • @morisshilewaikali4451
      @morisshilewaikali4451 6 лет назад

      muna weza sana

    • @egideasher1414
      @egideasher1414 6 лет назад

      katana official but not harmonize!

    • @angielaika9405
      @angielaika9405 5 лет назад

      And there's a big difference between then and than😂😂😂😂😂

    • @nantogmaadams3888
      @nantogmaadams3888 5 лет назад

      @@angielaika9405 yeah make u correct am because katana official don"t no dat der is a difference between then and than