who else is her before one million views ....+254 and +974 tuko ndani ndani ndaaaaani kabisa ....love the music I can't get enough of it ....God bless you abundantly mob love .
Kenyans twasupport Kazi za wenzetu wabongo sana. Almost all comments ni kutoka Kenya.Mbona sjaona comments from Uganda. Wakenya tusichoke kuwapa support wenzetu. Like kama umeZeZeTa🇰🇳🇰🇪
waaaaaa waaaaaa waaaaa how i love this guy, he never disappoints me at all, this music is bomb bana, just another hit. atee!! uko radhi ufunge nile mimi, ama uwe taulo au kanga laini .......... jamani wewee una makusudi
Yeyote angiaye mwaka hu wa 2024 asisahu kiniachia likes zangu. From Congo Lubumbashi 🇨🇩
❤❤❤❤❤❤
Yote
Zote
Very nice mkuu thanks
Iyo debe iko fiti kuruka 254 rep 🇰🇪
Wanaoingalia hii ngoma mwaka 2024 gonga like tujuane
❤❤❤❤
@@Bekita-nz7bq 💐💐💐💐💐
Tupoo ila Now vany anznguaaa some timeee
Wanaoingalia hii ngoma mwaka 2024 gonga like tujuane💥💥💥💥💥
Watching from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😂❤❤
Listening the song nikiwa Dubai.
Nipo apo
À ah al 2:17 2:22 2:22 @@kennedygachomo559
Who Els here 2024❤ Gonga Like 🎉🎉
Hii Ngoma anatosh baba. Cheka na Ray vanny 😅😅😅😂😂😊😊❤❤❤
OMG!!Ray,uko juu mpenzi.Nakupenda sana,natamani ungekuwa wangu.Ningeshkuru sana,km unampenda Rayvanny gonga like hapa
Love this song big up vany boy kama unasklza ii song na uko kenya kama mm na unapenda vany boy gonga like tukiendanga 💪🏾💪🏾
Vojlov
Msukumo wako unatoka wapi? Nashindwa kuelewa ni jinsi gani siuchukii wimbo huu, bado uko moyoni mwangu.🇨🇩
who else is her before one million views ....+254 and +974 tuko ndani ndani ndaaaaani kabisa ....love the music I can't get enough of it ....God bless you abundantly mob love .
Phyllis Gathee njoo tuangalie sote+974
Wiz Jamil Mimi huyu hapa
Phyllis Gathee tupo pamoja....nicheck watsapp +974 66294781
*****
Hersi Adan waacha ufisi sio kila mtu anataka kuwa na New friends wengine wake za watu napita tuu
Nice I Like it 👍Mashallah 🤗🤗🇰🇪
Kenyan's are you with Rayvany?🤗🤗😙🇰🇪
Why not the best of them all
Yaaa we are with him
2022 bado tu zezeta
@@frida.k.mwangire exactly ,,zezeta 🔥🔥congratz to Vannyboy ~~one who never disappointz
@@carolinekangai4887 🔥🔥🔥🔥🔥
Rayvany anataka ahonge funguo ya boss🤣🤣 huu wimbo ndo nauelewa mwaka huu 2024
Kenyans twasupport Kazi za wenzetu wabongo sana.
Almost all comments ni kutoka Kenya.Mbona sjaona comments from Uganda.
Wakenya tusichoke kuwapa support wenzetu.
Like kama umeZeZeTa🇰🇳🇰🇪
Nyimbo kal,video kali ,wcb wakali.....aliyependa sehemu aliyoonyeshwa mondi kam mm like iusike bac.
"Niko radhi nifunge ule wewe" I like the sentence all the way from Belgium
Nice
Rayvanny alwais killing it....zezeta is one in a million#big up wasafi....nani amependa izo lyrics kama mimi?
Stephen Kennedy Kyalo shhhhhhhhh
nice one
You tube
Tamu sana
What zezeta means??? Can t find on google, is it my love?
kutoka Mars planet...da!!! Dunian mnatisha kimziki especially Tanzania....
Baizo Boy: nilishangaa jana sijakuonaga comment yako bt now umeibuka as usual. kula mzik mzr
Jut asante xana mkali kWa support ya wasanii wetuuuu
ha ha ha!
Monica Charles 7nice
iko poa sana
Wanaume wa Kenya volume iko sawa?
Mko radhi mfunge ili wale wachumba wenu? 🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂
Ati nini? Hiyo jaribu kwingine.
Wkp
MAmbo
nipe uwo niziki
Acha nisikilize kwa mara ya ishirini, Mimi zeezeta zezeta
very beautiful song
Baraka Athanas
+jamali matihasi ae
nice song
mi. hapa
Nailewa Sana hii nyimbo sijawahi kuchoka kuisikiliza nipo nayo 2021 Kama tupo pamoja gonga like za rayvanny za kutosha
I love this song
Bb bbñm
Jamani kusema ukwel music uko boa toka musumbij nampula tunapenta 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿💚💛🧡🤲
P
25Désactiver 2006
Mimi ni raia wa Guinea lakini siwezi kuondoa bongo flava tangu nianze kuwasikiliza watanzania 🇬🇳🇹🇿❤
Mwenye anawatch sai 2 November 2024,,,piga like
Nipo
nipo apa
Oh my G this song is a hit natamani sana ningekuwa najua kiswahili niilewe hapa naelewa beat tu kudadadek naomba mtu anitafsirie kwa kipare
Hahahahaha
hahahahahhahahah
Jaza like!!!
Happy New Year! 2021 nani ameanza na Zezeta? ♥️ from 254.
0759881924
SellingSelina
@@charlesgmwinuka6269 mambo
Mimi
Video
thumbs up baba Jaydan the song is sooo sweet mwenye ameikubali ka mimi anipee kidole
Pretty Angel 💯✔✔
Pretty Angel iko sawa sana
Sarah Nafula pamoja sana dear
Pretty Angel Zezeta
Shika funguo gari ya bosi wangu 🎉😮😊😊 likes za Ray from Kenya 254 huu mwaka 2024❤
halooo zezeta....shika funguo gari la boss wangu.....heri nifunge ule wewe lol zezeta kweli.....
Mony Qtee
hizi videos niko poa
Perry Benson
Nextilevo misic Chuiii ravnnyn pambana buro NLM
Rayvanny oyimba brother. Fantastic voice. Asante sana ndugu keep up.woooooow
Rayvanny you're so talented my brother, the grammy you won you really deserved it. i love every song you compose.
Rayvanny
Thank you so weet rayvanny CHUI pambana achana na watu waogee mabaya na ravnnyn
wimbo ulivyo mzuri kila siku nausikizs hauishi hamu kama na ww bado unaskiza gonga like yako tujuane nikitambo
Hapa nausikiliza
Nataka kuusikiliza tena
Uko vizuri kijana
Uko poa
I fall in love with this song i represent my country +254 raivany hii song iko juu sana
Terian Akis
Terian Akiss nice sana
Terian Akida mm nimekua zezeta kwa baby wangu
Terian Akiss he he kiss
j'aime bien 😚🤗👍👍
Ray you never disappoints .big love from 254#wakenya mpooo
jamani nani kaunyooshea huu wimbo mkono kama mimi 🙌🙌🙌
zezeta iko sawa....inavuma
raymond yuko juu
Habiba Rajabu aaaaaaaaunajiamini
Habiba Rajabu 💪💪💪💪💪💪
Sanaaaa tu
2022 hear some likes for rayvanny 💙
❤️🇰🇪.
kwer umejitaid kwandik wimbo hat wazeh wanakupend endrra kutup ngom 😅😅❤❤
Namuona boss Diamond kwa video 🔥🔥🔥 hii nyimbo Rayvan ulitulia
Wangapi tuna iangalia 2024 october😢😢😢😂🎉
Wangap tunao angalia hii nyimbo mwaka 2024 mwez wa 11
I looked for this song for 4 years because I didn't understand Swahili to tell friends that this was the song I had been looking for. God bless you!
Awa1
@@reiyanisaidi7819 svp explique
I felt you. This was my only love 😘 song. En true love I ever got 2017 - 2018 💯💯❤️
Wangapi wanapenda wanaume mazezeta kama raivani alivo imba kwenye wimbo wake👆👆kama na wewe mmoja wapo tujuane basi😘😘😘😘😘
Rayvan he's the best drop your like in here
Kenyans tupeni likes hapa... Notification gang.. Vanny on it again.
TheUnconditional GuyTv Tuko ndaniiiii
+Becky Beto I second you.. ndani ndaaaaaaani yaani ndani soo soo 😊
you are cool Rayvann,Umeimba reality broo keep it up,imeninice vinoma
+lydia mureithi wasafi mnafanya vyema xana
Im The One napenda sana
Who ever is watching this song in 2070 just know kenya we loved Ryvanny so much am Braiden I wrote this in 2022
seriously ,,,waah!!!how I love this guy ako romantic,, songs zake zinanibeleka kwingine ,,,rayvanny keep going unapendwa sana
Representing +254 hii wapi wanangu kutoka Kenya tule burudani #ZEZETA🔥🔥💯💯💥💥
Rayvanny song writing skills is on another level..anapenda kutumia analogy sana kwa every sentence .. that's very unique of him
wanaosikiliza 2024 tujuane kwa comment
kiifaaraangaa niibeebee kamaa mweewe
yuko radhi yeye agunge dem ale
waaaaaa waaaaaa waaaaa how i love this guy, he never disappoints me at all, this music is bomb bana, just another hit. atee!! uko radhi ufunge nile mimi, ama uwe taulo au kanga laini .......... jamani wewee una makusudi
Beatrice Kadenge natamani awe wangu
🤩
Anzi hizo rayvany alivyokua artist ❤ saiz kawa mwanamuziki😄😄🤣
zezeta imeweza sana Tibim;;;;;;;;;;;;;;;;;; watching day and night I wish ningalikua na kipaji cha kuimba hongera @Ray
hongera rayvanny ngoma nzuri
This song is a version from rarvyann
2020 who's listening 🔥🔥🔥
With this pandemic only thing to do love you vanny boy
1254
no one 😂😂😂😂
@@lukekorir6534
Ll
POA
Chui hii bado kali baba....
hapa Nrb sjawaipata wa kukupinga isee......
Leke.back in Chui 🐅🐅pambana NLM🐅 RAVNNYN Chuiii 🐅🐅🐅🐅🐅😂😂😂😂😂
Mistari za Rayvanny ziko juu ama aje wase ?😂😂❤️much love from USA
Sophia Joy nishida
OFCOURSE ametoka mbali Love from Jersey city, New Jersey USA 🇺🇸 +254 tuko 💪🏿 🇰🇪
💜🇺🇸
Sophia Joy kaliii
😢😢❤
I love his choice of word n above all a perfect voice...niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu..uwe simu chumbani unalia hata nikikubeeb ....
woooow,Sauti unayo kaka. ..This is my new jam,someone give me bread please😅😅
Nahamia Bongo mimi!!! Kwaheri Kenya😀 😃 😄 😁 😆 😅 😂
Sheelah Belgian/Kenyan Gal karbu
Karib dear
Wachaaaaaa weeeeee🤣🤣🤣🤣
Sheelah Belgian kalibu my
Karibu
Who is here 2024?❤
Zezeta 2019 bado ww ni zezeta kubali kama ni kweli
Yeah
Mashallah!
i'm from sénégalese🇸🇳 Vive Africa❤❤❤❤
Kenya tunampenda huyu Kaka
Nigeria 🇳🇬 Boi here ! Nigeria = everything about music but I still feel this brother from Tanzania 🇹🇿
One of my best Rayvany's songs.....I don't understand the language but I really love his music❣❣❣😍😍
Mashallah...., napenda Rayvanny wanimaliza na huu wimbo mistari kali kali ..., am in love
This song still remains my favorite❤️❤️❤️🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Sure ❤️🇰🇪.
Absolutely bby....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
van boy......cwez elezea ninavyokupenda chalii yangu......nakuelewa kinyama arifuu......zezeta imebamba kwa side yangu joh
Ndo nangalia apa 2021 nipo zangu msumbij.
All the best Vanny boy...you will make it with God's help.
Rayvanny Talent yako ni ya juu sana. Wimbo mzuri sana
254 ⛳ niwe duka LA vipodozi nikuvutie kwa kila kitu.... Zezeta!!!! 🔥 🔥
iko poa saana.nimeipenda mpaka inanokosha ku roho yangu duhhh.niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu.
imma mtaki anasema rayvan 100% babu chumbani uwe cm nikikubipu unalia.
IT REALLY FEEL SWEET WHEN YOU BECOME THE FIFTH VIEWER FROM YOUR FAVOURITE ARTIST.
wimbo inanifurahisha Sana kaka I like you 🎶🎶🎶🎶music for you 👌👌👌okay so 👍👍👍👍👍beautiful boy salamu kwako inatoka 🗽🗽🗽🗽🗽America hey 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
The analogy! This is truly a work of art.
I love ❤️
Nifanye kucha kama ukiwashwa mi nikukune ☺️☺️
Kwako zezeta zezeta...
walaiiiiiiii mgoma zote zke Ray zapendeza na hamna maneno machafu kama ngoma zote za Ray zapendeza eka like usipitwe ndugu
Nexti levo misi❤❤c ravnnyn Chuiii 🐅🐅🎵🎵🎵🎶🎶🎙🎙🎙🎙🎙🎙❤❤❤
nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu......................i keep playing it again and again lv it.
Diamond and Rayvanny songs are always pitched to the right level!
Manayngu
WicliffeMusyoka
@assumptah mutinda I can get a eeetytertyyt reet etet tI can 4ytyyytyytttttttr
Hii ngoma inanishika Asante Rayvann nakukumbuka 2018
Am a Ugandan but I love Tanzanian music 💯💯💯💯 Nashikuru sana
Nashikuru vp tenha babuuu
@@saydmaggidjr4229 hajui kiswahili mwenzio
This is a prove I'm getting old 6 yrs ago it was a hit song now TBT
Nimekukubali vanboy mpaka gari yabosi wako naikubali sanaaaaaa
Noma sana... number 8 kulike na 56 kuview... wakenya mmpo 💪💪
hujawahi koseaga #VannyBoy mwaka huu kama nawaona vile mtaa wapili walivyofurisha mashavu ka mapaka ya sokoni
Hassanova junior; umeonah eeh, maana haya mambo.c ya level hii
Jut sana tu yani kata mti panda mti hadi waiyone 2017 chungu
Hassanova junior duhhh mbavu zanguu
Mariam Abdallah hahahahah
Hassanova junior year
Sura nzuri,sauti tamu,hapa mwanangu Shaban uko really Handsome
When I find true love I always come back here to remind myself of lonely day and night❤️✌️💪
sawa brother tunaona matunda mazuri ya WCB na pia kutua kitu kizuri hivi
RESPECT ALL WCB
who's here before 1 billion views???
me
Hii ngoma ni nomaaa
Azizu Azion everyone
😂😂😂😂✋
Azizu Azion noma hii kali
2022 nimerudi hapa kama tupo pamoja shusha like yako👍
waaaaa Aki huyu harmonize anamaliza ,,,,eti amezezeta Sana,,,,noma Sana...
De la France , j'adore ta musique , I love your Music
iko juu sanaa, 2naipenda sanaa,Jodham frm Meru county
Here in 2024 Aiyo liza astahili heshima❤sio tu kusifu waimbaji the producer was good
ray you the real king of Africa...............................hao wengine ni kelele tu
jardon sonco kweli hakuna pingamizi
Ray vanny yupo juuu %
jardon sonco reily
hey there go ahead Ryv
Katika nyimbo zote za Rayvanny huu ndio no1 kwangu, haunichoshi kuusikiliza, hapa nilipo nipo kwenye repeat mode😝😝
Ray van anajua sana. Mimi kwangu nampaga no1
Kuzezeta utazezeta usipochunga, ila siku hizi hayapo ya kuzezetesha! Nice song though, big up Ray!
kama uko ndaaaaani ndaaani like this comment team kenya👌