Kikubwa nilichojifunza ni kuwa,ktk dunia uciangalie watu watasema nn hvyo inakupasa upige moyo konde kwa mapito yote na pia nimependa sana the way mlivyovaa uhusika wa wimbo hakika mmeutendea haki! Mmetupasa hamasa wanandoa kumbe kufanya kitu kwa pamoja inawezekana cha msingi tujue kuwa muda wa kazi ni kazi hvyo imenijenga sanaa!! Na pia ukifanya kazi na mwenza wako kuna uhuru fulani unakuwa nao na ndo maana nyimbo imebamba sanaa!!Mungu awape kibali cha maisha ya ndoa milele by Monica
Hii couple itafika mbali sana sio kwa hayo mapenz mnayo oenesha kwa kila mtu anae wazunguka nimepnda sana mnavyo ishi na huyo mdada mungu awajaliee maisha marefu
Jinsi ambavyo mmeweza kupangilia mashairi ya historia yenu ya mahusiano. Huba lenu lilisakamwa na vihoja vingi vya walimwengu ila mkachagua kuziba masikio na kufikia hatua njema ya ndoa. Mandhari ya video hakika imezingatiwa vyema, ikiambatana na beat, sound zimetulia kinoma noma, mwisho mitupio ni unyama sana. Na mpo kulisongesha huba lenu🥰 MY TOTORIMI💫
Kitu nlichokipenda you guys mmechangamka mnafuraha ,na billnass ashajimaliza tayar na mahabaa teleee mungu aendelee kuwasimamia Kwa kwel hakuna kinachoshindikanaaaa ❤🎉
Kwa Mara ya Kwanza mlikutana mwaka 2016 katika studio za THT Na kazi yenu ya sanaa ndio iliyowakutanisha....kupitia hapo uhusiano ukaanza kukua😊🥳 bilnass alifunguka zaid siku mliyokuwa mnaenda tour...kwenye hiyo video nimependa mandhari😍😍😍
tumepata tena couple nzuri ya wasanii hakika hii combination nzuri kama ya Nahreel na Aika msituangushe ndoa Zina changamoto lakini hakuna mahali hapa Duniani hakuna changamoto ila zinatofautiana tuu love u guys mnaifanya Bongo flavor kuvutia zaidi ❤️❤️❤️❤️
Nandy) na Bill Nass mlikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2010, mkiwa katika chuo cha muziki cha Tanzania House of Talent (THT) huko Dar es Salaam. Wote mlikuwa wanafunzi wa muziki kwenye chuo hicho, na ndiko mlipoanza kujenga urafiki wenu, ambao baadaye ulipelekea kuwa na uhusiano wa kimapenzi na ushirikiano wa kazi za muziki. 8
NANDY FESTIVAL ILIANZA MWAKA GANI NA MKOA GANI
2019 kigoma
Ilianza mwaka 2021 mkoa wa kigoma
2021
2021 kigoma ndio ilianza
INandy festival ilianza mwaka 2017 Mkoa wa Dodoma
Tunaofurahi kuwaona wanandoa hawa tujuane❤na kama umeona Nenga kaua sana humu tujuane
❤❤❤❤❤
Nakubali San ombilangu naomba zamana najua Tunga nakuomba shida wakunihik naomba jama
Narudi na hit tena, nikiachana na wewe mapenzi sirudii tena@Billnass🔥 🙌
Nimekubali sana hii I say.Tamu sana keep winning together. 254 in
Kikubwa nilichojifunza ni kuwa,ktk dunia uciangalie watu watasema nn hvyo inakupasa upige moyo konde kwa mapito yote na pia nimependa sana the way mlivyovaa uhusika wa wimbo hakika mmeutendea haki! Mmetupasa hamasa wanandoa kumbe kufanya kitu kwa pamoja inawezekana cha msingi tujue kuwa muda wa kazi ni kazi hvyo imenijenga sanaa!! Na pia ukifanya kazi na mwenza wako kuna uhuru fulani unakuwa nao na ndo maana nyimbo imebamba sanaa!!Mungu awape kibali cha maisha ya ndoa milele by Monica
Yeah❤❤❤❤❤❤❤to you monica umeandika kitu muhimu kwa maisha ya binadamu👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍💎💎💍💍🥰🥰😘
Mumenamke .....❤❤love kwawingii❤❤kama unapenda this couple dondosha like❤❤❤
I really love this couple
Mon couple préféré 🇨🇩🇨🇩 ngoma kali sana mpaka naona wivu
Nyote mko sawa kila mtu aliimba kwa hisia zake Well done 🤲🤲🤲🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯🔥🔥
🎉🎉🎉
Hongereni Sana kwa kupiga hatua nawatakia furaha na baraka ktk ndo yenu, nawapenda sana
Melody ya sauti iko powa na mazingira yakuvutia.
Sauti nyororo lake Nandy😍nalipenda❤
Kama na wewe unalipenda sauti lake Nandy weka like kwenye comment 😉
Naisikiliza hiii nyimbo machozi yananitoka😢 mapenzi ni matamu sana ukimpata wa kuendana nae mungu awabariki nandy na billnass mmejua kunifurahisha❤
Kwanini Mna tupahofu kubwa wapenda naho 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 sijuwi mna nihelewa🎉🎉🎉🎉🎉
Huu wimbo wa mwaka big up 2024 number one song ✨✨billnass umeua na Nandy🔥🔥
Kabisa leo mumenipa nguvu za kupambana jamaniiii pendashana my dear songa mbele penzi linoge🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri,mtamuuuu,hongereni bb na bwana
Hii halwa bana ❤❤❤ mungu awape maisha marefu. Na mimi muniombee pia niweze kuwasikiliza
ASANTEEE
@@OfficialNandy mimi sina mengi ya kwangu duah ruu tuu 🤲🤲 mungu awaepushe na mengi kwenye hii dunia inshallah
Salute from Kenya 🇰🇪❤️.
mtoto mchele mchele
Me nawependa tn wakiimba pamoja lazima nyimbo iwe nzuri❤❤❤❤
Nimependa mume na mke kuona mmeimba wote na kushuti wote mungu awabariki sana 🙏🙏🙏🙏🇧🇼🇧🇼🇧🇼🇧🇼
Hii couple itafika mbali sana sio kwa hayo mapenz mnayo oenesha kwa kila mtu anae wazunguka nimepnda sana mnavyo ishi na huyo mdada mungu awajaliee maisha marefu
Mungu atawapa Amen!!!!❤❤❤ by rose
Duh hii Ngoma Kali ya mwaka colabo bomba,yaani Nandi na Bilnass mmetisha
Kam Unamkubali Nenga Gonga Likes Hapa Ngoma Kali Hii🔥🔥🔥🔥
Sana Dada nakaka wamewezawameweza tena
Raha sana nenga ka tesa ka tesa 🥰🥰
Wimbo mzuri saaaaaaaaaaaaaaana 💌
Jinsi ambavyo mmeweza kupangilia mashairi ya historia yenu ya mahusiano.
Huba lenu lilisakamwa na vihoja vingi vya walimwengu ila mkachagua kuziba masikio na kufikia hatua njema ya ndoa.
Mandhari ya video hakika imezingatiwa vyema, ikiambatana na beat, sound zimetulia kinoma noma, mwisho mitupio ni unyama sana.
Na mpo kulisongesha huba lenu🥰 MY TOTORIMI💫
❤❤❤ mke namume inapendeza
Wow mashallah na mjengo wenu nafurahi sana kuwaona pamoja❤❤❤
Kama unamkubali nandy gonga like apa
Naku kumbali nandy unajuwa 2:01
Kali
❤❤
Best of this year. Best couple mpaka wengine wanajimada 🇿🇦
LIKE 1 KAMA UNAMPENDA MUNGU
Kitu nlichokipenda you guys mmechangamka mnafuraha ,na billnass ashajimaliza tayar na mahabaa teleee mungu aendelee kuwasimamia Kwa kwel hakuna kinachoshindikanaaaa ❤🎉
Wimbo huu nimeupenda kwa sababu unafaa kwa wapendanao❤️🙌🏽walio dumu na kuaminiana
Ucsahau wanandoa harari kabisa❤❤
Confidence ya memo na pia inaonyesha ni jinsi gan unamthamini memo your good boss lady I proud of you
HII SONG NI YA MOTO🔥 SANA BIG-UP SANA AFRICAN PRINCESS 👸🏽🥰YANANOGA MAPENZI 🌹❤️
Mungu awalinde milele
Kwa Mara ya Kwanza mlikutana mwaka 2016 katika studio za THT Na kazi yenu ya sanaa ndio iliyowakutanisha....kupitia hapo uhusiano ukaanza kukua😊🥳 bilnass alifunguka zaid siku mliyokuwa mnaenda tour...kwenye hiyo video nimependa mandhari😍😍😍
Goma kali kazi nzuri billnass na mrs bilnass . Nawapenda 😍😍
NIAMBIE NINI UMEPENDA KWENYE WIMBO HUU
Mumeo billnas kaua sana kwenye kionjoo.... 2:32 2:33 2:34
Wimbo upo fire couple iliyotulia kbx❤
Kila kitu😁😁🥰😘
Saut yko bby❤
Mashairi yamenivutia sana very fascinating and interesting song❤️❤️
Kama umesikiliza zaidi ya mara moja gonga like hapa❤️
2020
Sumbawanga na walipanda dongo janja, bilinass,whozu,barnaba! Nakumbuka mvua ilinyesha kubwa sana dah!
Wimbo umenoga mahaba upendo Kama wote nawapenda Sana muishi miaka mingi nizidi kuwafuraia jamn💕🥰
Nandy festival ilianza mwaka 2019 tamasha la kwanza lilifanyika katika mkoa wa songea Tanzania
Oooooh jamn jamn kati yanyimbo zang bora mwaka huuu nahiii imo nipen sas like zang fasta
Like wapi wazee dah ngoma tamuu ii
Chef ndo mm hapooo,hatar San hii ngomaaa
Ii nayo ni Moto kama pasi.Mnafanya ni tamani kupenda mtu ya ukweli❤️❤️❤️❤️🤭🤭🤭🇰🇪🇰🇪🇰🇪😉❣️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Titititi! Inabamba vinoma🔥🔥🔥
Mashallah ♥️ mwapendezana sana....nawapenda bureee
Shabiki wa Nenga like hapa
My totoriiiiim My totoriiin❤❤❤❤
Mnapendeza sana Mungu awalinde na kuwapa neema daima
Haki Mungu awape nguvu na endele ku waprotect,manake walimwengu hawapendii,nandy wewe ni queen sio princess tena, African queen ❤❤❤
❤️❤️ wahoooooo ibweeee ibweeee mmeweza ❤️❤️❤️❤️ bila vita
Aloooooh haya nyi wanyama pori kusanyikeni turudi nyumbani 🔥🔥🔥🔥
Nmesubiri hii nyimbo mpk nlitaka kulia🤸🤸🤸✅✅😍😍❤️❤️ but nice Song cc
Ovyo
Ngoma Kali sana aseee heshima kwenu😘😘😘😘😘mandhar mazur mavaz mazur, Beat Kali nyie wenyewe wakal mmependeza mbayaa mpaka nawaonea wivu hakii...Mungu awalinde😘😘🙏🙏Ndoa tamu ee naona Bilnas shavu linazd kitoka😃
Kama umefuraia nyimbo yapamoja kati ya bilinass na nandy gonga like ap🎉🎉🎉🎉
Hivi hizo like huwa mnazikula au
Nenga katesaa sana 👌🏾hata wakoge madawa hawakufkii hapendi pesa ana nipenda tu ❤️🔥❤️🔥😌
alie rudia huu wimbo zaidi ya mara2 naomba aweke like kwenye hii comment🙌🏻😘
Hii ni moto number 25 kuview from Kenya
Yaani hizi namba ni fire 🔥 NANDERA MFINANGA na harmonies kazi mzuri ❤❤❤
Top ten hii ngoma lazima iwe 1 tulio ikubali like jaman
💯💯💯💯bigUP xn nice couple
na mungu awabarik xn
Mkondo umeuchukua,karibuni kuzaa mengi...piga hizi collabo mingi,next tupe from nigeria dada..nfurahia zako miziki
Kazi safii mkenya mwenzetu
tumepata tena couple nzuri ya wasanii hakika hii combination nzuri kama ya Nahreel na Aika msituangushe ndoa Zina changamoto lakini hakuna mahali hapa Duniani hakuna changamoto ila zinatofautiana tuu love u guys mnaifanya Bongo flavor kuvutia zaidi ❤️❤️❤️❤️
Mimi ni shabiki mkubwa wa couple hii toka zamani ❤❤❤
Weeeeeh nyumba kama nyumba🎉🎉🎉🎉chupa limeamka na chai❤
Nandy festival ilianza mwaka 2019 mkoa wa dar es salaam na lengo ni kukuza na kuonyesha vipaji vya muziki kutoka Tanzania.
Ngoma Kali all in all mambo mazuriii
Kama unaikubali hii couple ya power gonga like hapa❤😊
Sauti nyororo tena tamu kama asali, dah..!!❤️ & 👌
kpnz.!! i jxt love the positive energy ur emitting...🔥🔥 . itoshekusema unajuaaa jmn
Mimi nakupenda tu Nandy MUNGU AKUBARIKI SANA
MUNGU naomba Tunza hii ndoa ❤❤
Macho ya ya wabaya yasiwaone..
Amen Yarrabb
@@SamsungA03core-tz7sz Ameen
Amen!!!❤❤❤
Wapi lyks za wakenya jameni f u agree with me tht THC song z 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
This is true love
Pitia account yngu
GOOD
Waoooooo kaz nzur
I LOVE YOU NANDY AND BILLNASS, NAOMBA MDUM KATIKA NDOA YENU PLZ❤❤❤❤❤
Hamna baya mkifa amuwoziiiiiiiiiiiiii watot wa kinondon oyeeeeeeee
Hapo princess umewakomesha .❤❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪
Nice one 🎉 Congo 🇨🇩 tukutane apa
Nipeni likes za hawa couples❤🔥🇹🇿🇳🇬🇰🇪
Asante
@@OfficialNandynandy kula makopa kutoka kwa big fan Wako ❤️❤️❤️❤️❤️💕💕💕💕💕
Ivi izi Like uwa zina wanufaisha nn kwenye maisha
Mara ya kwanza kabisa @nandy & @billnass mlikutana katika chuo cha biashara CBE Dar es salaam mwaka 2016
Kay Black 🇹🇿🎶 👽 Kali mwanangu 🔥🔥🔥
haya sasa Team nandy tupo hapa
Amazing vocals, Great sounds & smooth rhythm.Love ❤ from Kenya. Masterpiece. 👏
Wadogo zangu wanapendana, Bilinandi juuu juu kabisa
Nandy Wangu❤❤❤
This is what we call music❤❤ We like tano za zombie🙏 from mombasa coast
❤❤❤❤🎉🎉 congrats nawapendaaa
Kiufupi tu meuwa on repeat 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Hongera NANDERA EA QUEEN
Nandy festival ilianza mwaka 2019
Mkoani kigoma🎉
Yani iyi nyimbo 🎙️ nayipenda sn t kl❤️❤️km Kuna ungine ana penda iyinyimbo like apa tujuwane 😍😍pls
hii ndio nyimbo yangu ya mwaka.... nakupemda nandy
Hey Nandy,.napenda vile love yenu iko strong,God bless your family!
Nimependa kila kitu from video and the setting,beautiful!
You nailed it guys👌👑❤️👏
Love is sweet ❤
Kazi safi #S2kizzy #Nandy#Billnass
Woyoooooo 🎉🎉🎉🎉🎉
Waoo penda sana nandy A .K. A mama naya❤❤
Nandy) na Bill Nass mlikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2010, mkiwa katika chuo cha muziki cha Tanzania House of Talent (THT) huko Dar es Salaam. Wote mlikuwa wanafunzi wa muziki kwenye chuo hicho, na ndiko mlipoanza kujenga urafiki wenu, ambao baadaye ulipelekea kuwa na uhusiano wa kimapenzi na ushirikiano wa kazi za muziki.
8
😅umelipwa
Mmekutana katika chuo cha CBE
❤❤❤daah jaman hii ngoma kubwa saana na wameshine kinoma❤❤❤❤
Nandy wow good job Moto zaidi 🔥 is me popo Williams Kenya 🇰🇪
Perfect combination @NandyQuteBee....🌹💥💯ft Billnass mzee mnyama👊🏾💯.. apo huu wimbo nimeurudia kama mara 14 na bdo sirithiki😂😂😂😂😂 BigFan from +254🇰🇪
Chakwanza nyimbo nilikua sijaisikiliza kumlazi pili mmejiachia Sana aisee hii ni Zaidi ya bugana mmeua Sana video qaliii pia haichoshi❤❤❤
Tia like kama ili ngoma unalikubali !
Nimekosa laki 2 naomba tu furaha yngu nikuona mpo pamoja na Mungu anawasimamia katika shughuli zenu na maisha yenu❤
Nyumbn nzur San inaujumbe mzur honger sana ❤❤