Kumbe inawezekana kufanya mziki mtamu na unaopendwa bila kuwadhalilisha mama na dada zetu na Bila kututajia viungo vya mwili #back to our radical roots #Tanzania with traditions #thanksOfficialAlikiba
Riziki yake huwezi kuizuia kivyovyote ..mtoaji mungu ...roho mbaya na wivu haisaidii kitu .. punguza views sio mwisho wa kuwika ..atawika tu ..kiba highhhh💪💪
Jamani hiiii ndo sifa ya mfalme lazima awe na sifa ya kuongoza watu hadi wanyama wakali kama vile chui simba na nk ili raia wake tubaki salama unajua paka akitoka panya hujaribu kutawala pindi paka akirudi panya wote hukimbia saizi mfalme amerudi simba chui na mamba zimeenda wapi? Au wanasubiri tena mfalme asfiri ili watawalle? Jamani king we kimbiza nachokupendea huna kwere na mtu wala hutumii nguvu saaaaaana na bado kidogo tu king music tutamchukua hadi zari na wema tufanye nao kolabo
Alikiba wew ndie radio yetu bila wew hatupati good music One love kwako kaz ya kikubwa hii watoto wakae pembeni 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tanzania tunakupenda bure Ujio huu lazima Waaungane tena kukukimbiza
Nilikuwa sins smartphone for six months and more but for this song firstly I was heard on car radio kwa muda huo huo ni kachange kwa direction mpaka kariakooo kuchukua device yangu ili nimcheki king
Alikiba brother angu. Yanaongelewa mengi sana ila naomba nikuambie kitu. Kila wakati mshukuru Mungu kwa kukubariki kipaji na azidi kukubariki. Watu wanakupenda sana. Usiache kuswali Brother. We really love your special music career and yourself. Unanifunza mengi kwenye maisha. Be blessed.
Habari Ni kwamba nyimbo ya dodo ndo Ina verw nying like nyingi comment nyingi yaan mpaka ipatikane habari ya moto itakayotazamwa mala nyingi na kulike kwa Sana ndo dodo litashuka tofauti na hapo hahaha dodo halidondoki ng'o mpak mwezi uishe tunavunja recodi ya dunia
Am from +254🇰🇪🇰🇪lakini mimi ni team kiba ndani, ile inani chosha , spatangi likes atakama ni nne ya tano ni yangu nyimbo iko 👌👌👌👌👌👌👌👌haizeeki atakama tuko na so hot
it's sad how the modern world doesn't support talent but listen when we mean talent , we mean alikiba. This guy knows what he does thats why he doesn't compete with anybody. He is on the different level, Alikiba you are thing king.
To be honestly Alkiba is real talented artist in Africa it is Melody sound hit the heart... If you believe in magic of music ...give like...real alikiba your are not a business man your gifted artist... Your music will stay in this world forever.. Thanks a lot
"UTU" ni kitu muhimu sana katika maisha. "JEALOUSY" wont make us Successed in life. If things are "SO HOT" has "POWERHORSE " that will "SEDUCE" you to listen to good music. Wewe "WASHA" moto kama mziki mnene umekupa sike ya ku "SALUTE" . You just "GIMME DAT" Usikimbie MVUMO WA RADI maana good music I vibe along with my pals who are *FAR AWAY*. Mwambie AJE kwenye hata kama hana HAPPY kuna Dodo
Alikiba 4 really, Nyimbo mzuri xn na km unakubali weka like yko, na km umezoea kubishana ruksa kupita
Tujuane ❤, Nani anasikiliza ngoma iyi mwaka huu wa 2024
Fatuma abdallah
larrymichealz
I INCLUDED
Mimi apa
Kumbe inawezekana kufanya mziki mtamu na unaopendwa bila kuwadhalilisha mama na dada zetu na Bila kututajia viungo vya mwili
#back to our radical roots
#Tanzania with traditions
#thanksOfficialAlikiba
Kabisa 🔥🔥🔥
James Kasekele #kingkiba
Dodo
James Kasekele true
Kama umeskiliza wimbo huu mwaka 2024 gonga like apo...
xxxxx x
Naitaji like 20 jaman kama DODO KALI
Kama umeona 1 trending shusha like twende sawa
All the way from Ghana am here for African king
One like for me wl
Thanks for the love kiba is kinda version of John dumelo
tenx
ruclips.net/video/DTXzkpZT4uQ/видео.html
I'm from Ghana and i support Alikiba
@@nanaamagh5098 keep it up
Ngoma hii Kila mwaka nasikiliza zaidi mara 20 # asnteh Sanaa alikiba
This is my 1st nimepata much like in ma life 300likes leo nitalala na viatu kweri *king* *kiba* amenifulahisha saaana
Hatar
✌✌✌✌💥💥👈
Ata silali nilikua nangoja sana
Sirari leo na mimi kweri
Halali mtu tunataka 1m mpka kieleweke
Riziki yake huwezi kuizuia kivyovyote ..mtoaji mungu ...roho mbaya na wivu haisaidii kitu .. punguza views sio mwisho wa kuwika ..atawika tu ..kiba highhhh💪💪
Yep binadamu wanajisahau
@@abdulbanza4652chuki na ubinafsi
Ukiingia free public media jamaaa wamempost king king kasema msijali
@@tamadunination4351 yea nimeona
Kweli kabisa mrembo nasi tuko nyuma yake kulipigania dodo letu
Huku Congo Tunasema Ni Muziki Muzuri.....Those who believe 1 on Trending Mwezi Muzima Like Please....
Nop
Iko powa san😘😘😘😘
ruclips.net/video/lF1frdRRGJI/видео.html
Kiba je t'aime depuis DRC....poleni sana Magufuli ame acha Africa nzima na uchungu.
King Kiba the only artist playing true bongo fleva music. Wengine walipoteza mwelekeo na nyimbo za matusi
Nicholas Kyalo upo sahihi bro sio matusi2 wakaamua kuimba naija fleva
Fact💪
Fact
Very true
Nani kaimba matusi lini kivipi
Narudia tuuuh sichoki hata kidogo ladha kama yoteeee gonga malike bhana yakutoshaaaa
Team kiba nimewaletea mchongo piga pesa mtandaoni kupitia hapa
affiliate.iqoption.com/redir/?aff=154228
Kwa maelekezo zaidi #0679345914
Amkeniiiiii
wew ali you have a suitable ability of providing song
Uko wapi man
A billion people in the world but will always choose you Kingkiba
Sanaaa
8 on trending in the 254
Ohooooo
Kindly assist to share the video
Jamani hiiii ndo sifa ya mfalme lazima awe na sifa ya kuongoza watu hadi wanyama wakali kama vile chui simba na nk ili raia wake tubaki salama unajua paka akitoka panya hujaribu kutawala pindi paka akirudi panya wote hukimbia saizi mfalme amerudi simba chui na mamba zimeenda wapi? Au wanasubiri tena mfalme asfiri ili watawalle? Jamani king we kimbiza nachokupendea huna kwere na mtu wala hutumii nguvu saaaaaana na bado kidogo tu king music tutamchukua hadi zari na wema tufanye nao kolabo
Yan sijawah ichoka hi ngoma. Kama tupo wote 2021 tujuwane💝💝💝💝💝
Hi
Me
🖐️🖐️
all the way in 2024
G o a t 🔥🔥🔥 tungo zisizo na matusi, wapi like za watanzania💪
𝙲𝚑𝚊𝚖𝚊 𝚌𝚑𝚊 𝚠𝚊𝚐𝚘𝚗𝚐𝚊 𝚕𝚒𝚔𝚎 𝚝𝚞𝚙𝚒𝚊 𝚕𝚒𝚔𝚎 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚝𝚞𝚠𝚎𝚗𝚍𝚎 𝚜𝚊𝚠𝚊
Hakika💯💯💯
@Asdan 4rever *pamoja sana*
Oswago from Kenya my favorite bongo singer king kiba Tz mnipe likes jameni love you guys ♥♥♥
We love you too our neighbor
What I like the most about Alikiba's music ni kwamba hatumi lugha chafu. Nyimbo zake zipo every age friendly. Maisha marefu King Kiba.
Yani unaskiza na watu wa rika zote,no matusi .
@@berthaaugustino7666 m.
Concordo plenamente contigo
WA kenya gonga like 🇰🇪🇰🇪good job thumbs up 👍👍👍👍👍
Kila kitu kipo ON POINT uko vizuri jamaaa tusiokuwa na team tunainjoi muziki wote tu either awe kiba au Mond poa poa tuuuu👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kizazi sana.
Kabisaa
Umeona eeh hatuna tim sie tupo kote kote 🚶🚶🚶
Kabisa
Akili ni excellent
Alikiba wew ndie radio yetu bila wew hatupati good music
One love kwako kaz ya kikubwa hii watoto wakae pembeni 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tanzania tunakupenda bure
Ujio huu lazima Waaungane tena kukukimbiza
Hahaha
Acha unafiki
Kwa ujio upi?😁😁😁 ww jamaa hebu tutolee upuuzi
Ujio mbovu ever
John Jackson 😀😀😀 umenishinda tabia
kiba is a very humble guy than platinumz ,hana maringooo ,jameni wa kenya wenzangu nipeneeee likes hadi kumi
U.uumgumhhyh
Mjjj
True
Alkiba my favourite Bongo artist, Hananga maringo, always humble to earth
iwe chikala why talking about platinumz, if you are a fan of kiba just be not like his humble than the king #diamondplatnumz
Can't stop listening to this song.. Wapi likes za Alikiba
King mwenyewe karibu Kenya after corona is over💕🦀🙈
Nilikuwa sins smartphone for six months and more but for this song firstly I was heard on car radio kwa muda huo huo ni kachange kwa direction mpaka kariakooo kuchukua device yangu ili nimcheki king
😊😂😂😂😂
Kama JPM aliikubali hii ngoma,,,, then mi ni nani niwemnafik hapa??? R.I.P raisi wetu walahi😭😭
Pole sasa 😩😩
Shabik LA vampire
☹️☹️☹️
😂
#alikiba w ni mkali nakubali tena endelea kuachia song like this cz ni nzuli tena nipo #Burundi 🇧🇮🇧🇮 ime #Hit gonga like kama unamkubali 👍👍
Ali kiba saf sana
Namukubali saana tu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🔥🔥🔥🔥
🇧🇮🇧🇮
Alikiba arashoboye
Alikiba brother angu. Yanaongelewa mengi sana ila naomba nikuambie kitu. Kila wakati mshukuru Mungu kwa kukubariki kipaji na azidi kukubariki. Watu wanakupenda sana. Usiache kuswali Brother. We really love your special music career and yourself. Unanifunza mengi kwenye maisha. Be blessed.
🙏🙏🙏🙏🔥
Yes swala mpango mzima
umeongea ukwel
Yeeeeeeababahhhh
Kama umeelewa mafumbo aliyo tumia alikiba mwanzo mwisho gonga like chini hapo
Sema Alkiba ni msanii wa kipekee kua Tanzania mtu mwenye tafrani tirion au bilion kwel ni King
Alikiba anatisha san kama mnamuelew mfalme wetu bongo naomb like kam 1000 hapo
Sana tu
Hana majaabu king ki
No naked
No nasty
Full love
Respect king
Ah wewe hili ni bonge la dude king😘
Much love😍😍
Its depend wid song content and also kiba aimbi global bali local yan target ni east west ikfkaa bonus europee ujue jah kabress
🥰😍😍😍
Elia Godlove hahah true
Tena mwaka huu DODO lazima lilete matuzo kama yaleeeeeee ya Aje Kama una amini gonga leki Kama zote apo 😚😚😚
Yeeeebaba
kama uko apa 2024 gonga like
Yani tamu
Jamani tunendelea na dodo naomba like japo 7
Kuanzia 10k tunatrend no1 mpk leo 3M tuna trend no1 like kwa wingi team kiba!!!!!!
Waoo good
Wozaaaaaaaaaa
@@amiriramadhan7753 yeebaba
Habari Ni kwamba nyimbo ya dodo ndo Ina verw nying like nyingi comment nyingi yaan mpaka ipatikane habari ya moto itakayotazamwa mala nyingi na kulike kwa Sana ndo dodo litashuka tofauti na hapo hahaha dodo halidondoki ng'o mpak mwezi uishe tunavunja recodi ya dunia
@@jeccaonline7755 hahhaahaha majiran wana hahaha kulishusha Dodo
Lets make this song go viral ... Wenye wivu wajinyonge respect from kenya
Dela Gatta that’s right
Uyu ndo king mbele ya makin'g juu ya makin'g mzk umetulia
king music 4rever,,,kila nikiingia youtube wimbo huu ni ma breakfast....gonga like twende sawa
👌👌👌👌👌
@@hidayaking3383 yaani Mimi Kila baada ya lisaa naipiga.
Nani kama king kiba🙆♀️
Bonge la songi😍😍❤❤
Hayupo
Hakunaaaaa
Hayupo labda mungu akimchukua huenda atatokea
Japo huwa anakaa muda mrefu ila akitoa ngoma ni noma
Mimi nataka likes 20 tu kwa kiba,
ruclips.net/video/qDH-C67Xl_o/видео.html
Zimepita
Ndo raha ya fans wa king kiba ,
Na bado ipo no 1 on trends 🙏🙏
@@samiramadenge953 nmefurahi
Nikweli kabisa tunasubiliaga ujui atakuletea kitu gani ili dodo limenoga atawakilitingisa alitadondoka big up hamisa and kiba
Uzuri nyimbo zako kiba watu tunaangalia familia nzima sio za yule mhuni anaimba hovyo kabisa hongera the only king
Jamani kwa Yule Alie download nyinbo hii lakin bado anakuja kuangalia RUclips gonga like hapo
🤣🤣🤣🤣🤣😂
Kabisa🔥🔥🔥
muddy EasyVEVO aaah u funny 😄
muddy EasyVEVO tuta view sana na bado tuliidownload
safisana nyimbo dodo ninoma sana damond akasome alikiba saruti zote baba tim kiba mm
Yule mtoto Tommy nae sumu sanaaaa
Sanaaaa ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Oya Wana Amna kulala tunairudisha hii 1M ucku huu,,
Good
💪
Dominick Jailos naomba niunge kwa group LA team kiba 0715858682
Lakini jamani hii ngoma kiba alijitahidi sana, hebu tuzidi kumpa like japo kidogo tu 👇👇👇👇
Nasema hiviii
.
FUNDI NI MMOJA TU WENGINE WOTE WANASUBIRI SANAAAAA
🙌🙌🙌👌🙌🙌👌💪💪💪💪
@@samiramadenge953 bibie samira napenda energy yako
King Kiba Himself. All protocols observed.
Ok
Alikiba
sijachelewa sana nipeni like za King 👑👑 from 🇿🇲 🇿🇲🇿🇲
Wimbo Bora mda wote
Akiiiiiii kama we fans wa kiba kweli weka like yako apa tupate burudani 🙌🙌🙌
This melody have never happened before the best musician in the world
Guud
Unstoppable
They hacked the views it was having 3.2 million in 4 days but by hacked again is number one trending
Next big wedding song
Tafadhari subscribe channel yetu kwa habari kem kem
Am from +254🇰🇪🇰🇪lakini mimi ni team kiba ndani, ile inani chosha , spatangi likes atakama ni nne ya tano ni yangu nyimbo iko 👌👌👌👌👌👌👌👌haizeeki atakama tuko na so hot
Anajuaa
ruclips.net/video/P62hkZtS5SM/видео.html
Show ya Kiba Kigoma 🔥🔥🔥
Kiba ilike ur song dodo👴👴👴😸💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
@@privannikolaus7773 it
@@POGMESSITV bnb
Ambaye mpaka leo Ana dele hands up
the only thing left , is to sing for the king because he has done it for us guys. King kiba this song is everything, we owe you love and support .
For sure..!
Hiv ni kweli hii kwenye king music. Kumeingia dosari ruclips.net/video/s6YdnyTMhck/видео.html
Kumekucha uku mondi kanunua ndinga ya bei mbaya. Tazama hapa ruclips.net/video/Yoz1qWtX_JY/видео.html
1M one day ago alieona hyo kitu tujuane kwa like nyingiiiiiiii
Hussein Abdony jana wmetushushia views..... Leo hapa ingakuw zai ya M na nusu....
hata mm niliona
King kiba himself wengine ishi kuigiza c kuimba........ team kiba for life
Oyaaa kama upo unaichek dodo mda huu ,ngonga like tujuane
Walorudia nyimbo hii zaidi ya mala moja gonga like tujuane tm kiba juuuuuuuuuuuuuuuuuu
Ngoma za King huwa naziskia na kuzirudia kila muda yani hadi siwezi nikahesabu kwa kweli King anatisha anajuwa
Tupo humu
Ali kiba,Ali kiba,Ali kiba kweli unamuheshimu mwanamke nyimbo kali hakuna lugha mbovu nice song.
Hussally Kiba kwa Mapishi matamu ruclips.net/video/OMkTzjmx2UM/видео.html naomba subscribe tafadhali
I love the song and the video too it shows how Ali kiba respect women the video is good anybody can watch, nice work #kingkiba #Dodo #mobeto
Siku zote kiba huwa nakuelewa sana
Nahitaji like kazaa jaman
P1 xn hakka kiba bigpu xn
@@sethyjohn9730
ruclips.net/video/i8TKNyICUzA/видео.html
OMG 😳 😳 😳
we kwel k unaomba like kwa mwanaume mwenzio hacha usenge
Kipusaaa
Jamani tusisahau tommy piya konde anapinania namba moja tusilikubali ilo
Mobetto na Kiba wow Kenyans like 😚😚😚😚😙
anae Amini keho asubui dodo inafka views milion 4,gonga like hapa
1million again... Tufike 2m in 2days now, team kiba let's goooooooooooo
Edit this message pls
Sijawahi fikisha like 15 jmn All wewe fire 🔥 more 🔥
Poleee
Chukia hyo si umezitaka
Nigaie
@@rahama6679 king
Mbaya sana gunyimbo hugo
Nani anasikiliza hii nyimbo 2024? Weka like hapa kama unaitazama hii nyimbo..
Play this song
Yani akikisha ifike 15M before siku siku hizi za karibu, Kama umekubali sema yebaba
Yee baba
yee baba
👑
MRISHO ELOMBELO yeee babaa
Yebaba
Ally kiba, jaribu kumfundisha Diamond namna ya kuimba mziki mzuri na mtamu kama huu! Hajui maana ya Legendary🙏🙏
Umenenaaaa
true #dodo
Kibuyu Masumbuko kkkk
Kibuyu Masumbuko qwl kbsa
Nimekujubal kaka
NOW THIS IS THE GUY ONE LOVE FROM UGANDA
KIBA FOR REAL
KIBA FOR LIFE
THE KING HIMSELF
LEGEND
👑 never retire 👑 💪
nakukalibisha kutazama video yangu mpya tazama na kusubscribe🤝
ruclips.net/video/IztM1MYX3H0/видео.html
Who's back here in 2024? 😊
My all time crush since the days of "Wajua" with queen Darlin... Always winning King Kiba
goma lipo poa heshema kwake mfarume wa mziki bongo bado naendelea kuitažama
Number 1@@dullahstarfodi2057
All the way from Nigeria...How Many likes for me.
Yoo much love 🔥🔥🔥
Kiba yupo vixuri
Classic Comics27 me too am a Nigeria
@@timiaregbe4767 ohhh cool
Classic Comics27 yeah
ametisha sana kiba like kama umemuelewa kiba kwenye dodo
Mmh ongera xan kiba nyimbo nzuriiiiiii xaaaaaanaaaaaa
No
Mobeto kumbe dodo
ALIO GUNDUA VIEWS WA ALIKIBA KUSHUKA AGONGE LIKE HAPA ILIKUWA 999k sasa ivi ni 777 leo ndio nimeona hiyo
Kuna #kijiniMondi 🦍🦍🦍 kinakula viewers.
Nurudin Iddy jamani mm sielewa
Kabisa yan
Ilikua 1m
@@mbimbo1059 😂😂😂🤣🤣
Tunaitafuta m5 kama tuko pamoja like hapa twende sawa
Tunaendea m 6
@@salmasoso9839 tuendeleeni
Again the veiws are reducing but we shall not stop watching good music Team Alikiba hit alike ❤❤
Imagine it was 1.1 and now it has dropped to 1mili but all in all God is watching over
Ahmed Farah I was also wondering day 1 one million day2 150k but the song is lit
Still no1
Seriously this is sad
@@periskalusa6716 pain
Much love ❤️ from Liberia 🇱🇷 west Africa
Team kiba tujuwa neba nausipite bila like apa nyimbo kalisana 🔥🔥🔥
Yani mm navyo sikia rahaa love king
PAMOJA LISANGI
Hello,nakuomba sana like n Subscribe apa kwangu👇
ruclips.net/video/5oYjsty_Tmk/видео.html
Ubarikiwe🙏🏾
💯💯 💯 king love u
@@lelomellowtz sawa Kuna Nini uko
Tunaopta kila baada ya muda kuchek dodo likiendelea kukaa number one gonga like
Gladness Kawanga
Tupo
👍👍👍👍👍👆
Tuirudishe 1 on trends
Team kiba naomba like jamn maana Leo ntalala kwaamani
Wimbo wa kawaida ila.
samson nkandi huu mkali wew
@@expert5898 Hata wewe wakawaida
Jaman mimi nailudia ngoma 2021.mwezi wa pili na sina hata likes na ni fan mkubwa wa king😭
Rechonamiiro
Nice song, i do not understand the language, please what language is this, i so much love the song ❤😀
hi
@@donbaker2984 kiswahili
alhabsi
Ae
Still number 1 on trending naomba likes za team kiba
Delvin Denis
🔥🔥🔥
👍👍👍👍👍
Hatari
Pure Talent shout out To king Kiba my somali Folks show some love to the east African King.
nice
Gwan
“If you wait for the mango fruits to fall, you'd be wasting your time while others are learning how to climb the tree” Alikiba you are the king👑
Muzika250 sure
ruclips.net/video/s6YdnyTMhck/видео.html subscribe naona wakipata notification wanasubscribe back kama walivyo nifanyia mimi
SURE
Yeeeh🎯🎯😁😁🍋🍋
Forever he is
All the way from Brazil it's remain only 3 day to celebrate New year 2021 I'm here to listen gud sounds from African King kiba
today the king has dressed like aking enjoying his throne
who's has repeated this song just to feel that mama mobopa mama mobopa mama mobopa part🙏🙏🙏
Me😄😄😄
Though ata sijui inamaanisha nini
Alfred Wangoko watch behind the scene it’s out ruclips.net/video/l6HJ5zztzFU/видео.html
ruclips.net/video/eoj-u6za_Y0/видео.html
Alfred Wangoko me 💋
it's sad how the modern world doesn't support talent but listen when we mean talent , we mean alikiba. This guy knows what he does thats why he doesn't compete with anybody. He is on the different level, Alikiba you are thing king.
absolutely true,Ali Kiba very talented
He is on the mars
Very true
He supposed to live far from this world, no one can be compared to him, the talent he got is out of this world.
@@arizinamussa6006 what is he singing about? translate please
Team Kiba tuivunje rekodi Ifike 20 million views 3 months
Lets do that ... Me I go for 100 views a day
We can kwani nini si nikuview tu tupo machooooooo
Kweliiii
Then iyo kitu ni kweli imwtokea king music
Kwa faida ya nani?
Alikiba mimi na wichi Mozambique mimi nakupenda sana!
👍👍👍👍
Yani nimerudi kuangalia dodo naomba mmnipe like za dodo plz
Yarhoo Janet
Umepata🔥
Nice
Ya nipo pamoja na wewe
Yarhoo Janet au cyo
Elimu Athuman yap
DODO INAWEKA RECORD NYINGINE YA KUTREND MWEZI MZIMA
🔥🔥
To be honestly Alkiba is real talented artist in Africa it is Melody sound hit the heart... If you believe in magic of music ...give like...real alikiba your are not a business man your gifted artist... Your music will stay in this world forever.. Thanks a lot
This Man never disappoint
Sure
Respec en appreciates ming ming boi
Sure
This is an Artist who when quit Music I quit listening too
"UTU" ni kitu muhimu sana katika maisha. "JEALOUSY" wont make us Successed in life. If things are "SO HOT" has "POWERHORSE " that will "SEDUCE" you to listen to good music. Wewe "WASHA" moto kama mziki mnene umekupa sike ya ku "SALUTE" .
You just "GIMME DAT" Usikimbie MVUMO WA RADI maana good music I vibe along with my pals who are *FAR AWAY*.
Mwambie AJE kwenye hata kama hana HAPPY kuna Dodo
I can't stop watching this song until we get 1.million so msijali sana team kiba 4 life
We are here free wi-Fi ata msijali
It was already near 1ml. They reduce views. Shame on them... Ali Kiba for LIFE 🇹🇿🎤🎶🎵💯🔛🔥🔥🔥🔥
L saw it but dont worry chema kitabak kua chema 😍😍😍goodnit
Yaaa hata king wetu mwenyewe nimeona jamaa wa free public media Tanzania wamepost king akisema but kasema tusijali
Tuta panda tu
Stay at home, enjoy Dodo. Salute The king himself 🇹🇿🇰🇪 one love.
KWELI MAHAMUDU
Hello,nakuomba sana like n Subscribe apa kwangu👇
ruclips.net/video/5oYjsty_Tmk/видео.html
Ubarikiwe🙏🏾
King kiba umeua sana pamoja na hamisa mobeto big up sana penda nyie
King kiba one love
Jamani huu ndio wimbo Wa taifa mwaka huu watapata tabu Sana mwaka huu kazi wanayo
That's is my best atstis musician . alikiba
Good luck my broooooo
Bd Tunasikiliz Hili Bonge La Ngoma Mpak 2090🎉🎉🎉🎉