UTU video was shot at Horombo Hut in Kilimanjaro, a beautiful place locted in Kilimanjaro Mountain 🇹🇿 (3700Metres above the Sea Level), Lake Duluti in Arusha city, and Fun Retreat Hotels !
My favorite song! “ Niliforce kujificha kule kumbe Chaka langu ni hapa Sasa napewa amani Mapenzi yasiyo na mipaka Ananikanda huku mabegani Ananishika na hapa Masage mgongoni Yananilevya makopa Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tama nazizuia Oh my love…”
Alikiba is king on Africa Na Ulimwengu mzima, hu Muziki wa UTU unafanya vizuri Tanzania Na uku Mozambique pia. Alikiba ONLY ONE KING unafanya vizuri sana
Only King forever umeniliza sana bro wewe ndo mtu pekee unaenifanya niipende nchiyangu Tz najivunia kua nautaifa🇹🇿 mmoja nawewe 😭😭😭nalia kwautamu wa wimbo nasauti nzuri
(1)Best Album of the Year (ONLY ONE 👑 KING) (2)Best MALE Artist Of The Year (ALIKIBA) (3)Best Song Of The Year (OYA OYA-ALIKIBA) (4)Best Song-writer For Always (ALIKIBA) (5)Best International song COLLABORATION Of The Year(Songi Songi Remix)Featuring ALIKIBA Na Hizi Ni Tuzo Kutoka Kwa Shabiki wako
Alikiba anadeserve kila faida ya Keki la taifa hili..umepambana sana na mziki wetu Bro still kuna watu hawataki kuonyesha respect..Shoutout kwa Harmonize na plz kubali kuimba hii ngoma kwenye wedding day yake😂😊We love you KING 👑
Ahsante sana Alikiba kwa kutuletea video ya wimbo huu, nyimbo yangu bora kabisa ya mwaka jana and probably this year too. Nikupongeze kwa kutangaza vivutio vyetu vya ndani, nimefurahia uzalendo wako. Keep it up Ali K, and thank you once again
Ninachoupenda huu wimbo unaweza kumwiimbia mtu yoyote 🥰🥰Asante kingkiba unafanya vitu vyenye ukubwa na ubora kwa kila asikilizae na atazamae be blessed 💞🤴
Yooooo! You're sweet like pipi mamaa I can fight I can kill someone For you Because am in danger zone (oh no) This feeling feeling that am feeling It's too much I see future, life with you is so brighter Nakupenda sana, you know that I'll die for you Ooh sweet heart, life with you is so sweeter Nakupenda sana, you know that Nakupenda sana, you know that Yeah Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tamaa nazizuia Oh my love Natupa maelfu kwa mamia In this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God Na umebarikiwa Utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Ohooo Siku zote maumivu maumivu Yapo kutufunza Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza Huko nyuma hukumu Hukumu zilisha nikumba Na mateso kung'ang'ania Pendo usipopendwa Niliforce kujificha kule kumbe Chaka langu ni hapa Sasa napewa amani Mapenzi yasiyo na mipaka Ananikanda huku mabegani Ananishika na hapa Masage mgongoni Yananilevya makopa Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tama nazizuia Oh my love Natupa maelfu kwa mamia In this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God Na umebarikiwa Utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Oooh Aaaah Namuona yeye (Analia ninapougua) Aaaah Namuona yeye (Akikesha ananiombea dua) Aaaah Namuona yeye (Analia ninapougua) Aaaah Namuona yeye (Akikesha ananiombea dua)
This song is also a very huge message to our African ladies .. kuweni na UTU na UTULIVU we African men tunakutana na mengi sana in thia world ni jukumu lako ewe mwanamke unaesoma hii comment kua mfano bora na sio kufata mikumbo! A great Woman is always appreciated ( kwa mwenye KUJIELEWA ) as well as a great Man
Keep on moving king! Ni uchawi tu ndio kitu anachokushinda Diamond,kwenye suala la mziki ata akeshe uchi akuezi mwamba, you are the only 1king in this industry,
Amina tafadhali Alikiba kuliko diamond je ungepata kama diamond ungefanya je mtu hajieshimu kabisaaaa na ana watoto wadogo lakini werevu sanaaaa tiffah na nillan anawafundisha nini zari anavumilia sanaaaa
Since 8yrs King kiba was my crush 😍 and now am 25 he's still my crush wel done 🤴 👑 May Allah grant you safety and favour,,your is mature and moving ❤ 💖
Nyimbo nyingi ni nyimbo ambazo hakuna massage kali, hakuna ujumbe, hakuna elimu, nyimbo za klabu, nyimbo ambazo huwezi kamwe kutazama kama familia. Lakini Kiba analeta bidhaa au wimbo, hata kama familia tunaweza kuufuata na huwa tunapata ujumbe mzito hapo. Asante sana Kiba 🙏🙏🙏🧘
Kabisaa yuko poa ninaweza kuweka ata nyimbo zake kwenye simu yangu siyo haya makelele ya klabuni,bar,kasino na magenge ya wahuni wanayotuimbia hawa ndugu zetu
My best lines😍 nilifosi kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa, sasa napewa amani mapenzi yaso na mipaka ananiganda huku mabegani ananishika na hapa, masaji mgongoni yananilevya makopa.... OMG i love that part. King keep bringing more❤️❤️❤️
Ici chez nous au Congo RDC , nous connaissons bien que Alikiba est le meilleur de Bongo , plus que tout le monde à l'est Afrique ! Félicitation au meilleur Artiste de l'année kingkiba
Ihave repeated this UTU video many times: romantic participants, romantic environments and romantic vocal.. Alikiba is really a king of East African Music.
One thing about this singer is that he never disappoints. Keep singing, my dear. I'm following you from the Ivory Coast 🇨🇮. God bless and protect you and everybody reading this comment now.
Definition of good music..... We can't call it street anthem,a bang, neither a hit,but A good and beautiful music.... Watu wa December 2022 hadi januari 2023 wacha like tuki songa
Great song Alikiba. Tanzanian Music is gradually taking Over Africa and That’s good for the Culture. One Africa , one people. This is pure love from Ghana 🇬🇭. It’s the West African King 👑 J.A
Kiba yupo vizuri aiseee ,,,hili song nimeisikia Leo kwa dala Dala hapa Nairobi Kenya aiseee moto wa gesi ,,,,mziki umesimama aswaaaaa ,,,kiba na harmonize wapi vizuri aiseeee
Ali kiba is one among the best musicians in Africa He is so real with his life The video is way to much 🔥🔥 Mandhari poa Great content Oyaaa He is surely the KING
The 'UTU' song tune and vedio are so serene and soothing. I'm the reason why My agal toto loves this song from the moment she heard this song playing in my playlist. Its too sensational. Alikiba always delivers even if he's not pregnant. 🇰🇪 🇰🇪 #UTU #KING👑
I sing this song during my Mariage ceremonies and after a short period, my wife passed away after giving me one Child😭😭😭😭😭 I am leaving this comment here so that even after 20years, My Son Chris_Jr should pass here and knows really how far i was in love with her Mother, and how am ready to fight for his life (Chris' life) for recognition of that love💗💝😭😭😭😭
Pole sana ndugu kila jambo lina maana yake katika haya maisha tunaishi katika matumaini na kumwamini aliye juu tafadhari uwe na maisha yenye faraja na furaha tele wew pamoja na mwanao Chris
A blessed artist whom we were given by God as a gift. Please Africa and World at large let's respect King, he brought to strength us from different challenges...Believe or not Alikiba deserves a unique respect for his good work.
One thing I love about King kiba is his uniqueness🥳..he always do his work smart and in every song he always has a message behind it 😍😍 ,my best song so far Cheers🥂.
UTU video was shot at Horombo Hut in Kilimanjaro, a beautiful place locted in Kilimanjaro Mountain 🇹🇿 (3700Metres above the Sea Level), Lake Duluti in Arusha city, and Fun Retreat Hotels !
We just keep watching and listening that's beautiful voice and video good idea bro
yes babaaaa huna mbaya BOSS KUBWA kingkiba Mfalme wa watu na wanyama wooote anaekupinga Ajiuweeeeee🔥 mzigo niwa 🔥
Nilijua China mkuu 😂
❤️🔥❤️🔥💜🧡🧡❤️❤️❤️
Should be toppest video of this month
Big up sana kwake director 👍🏾👍🏾
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza 🎶❤👑
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
Moto kama 🔥
My favorite song!
“ Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tama nazizuia
Oh my love…”
Wimbo wa Taifa... Moja ya Nyimbo itakayoishi milele.. Hongera bro kwa utunzi mzuri wa nyimbo hii
Good
Yani huu wimbo hujawahi nichosha kuusikiliza mpk ssa 👑👏👏👏👏👏👏
Alikiba is king on Africa Na Ulimwengu mzima, hu Muziki wa UTU unafanya vizuri Tanzania Na uku Mozambique pia. Alikiba ONLY ONE KING unafanya vizuri sana
Tatizo ana utu
Only King forever umeniliza sana bro wewe ndo mtu pekee unaenifanya niipende nchiyangu Tz najivunia kua nautaifa🇹🇿 mmoja nawewe 😭😭😭nalia kwautamu wa wimbo nasauti nzuri
(1)Best Album of the Year (ONLY ONE 👑 KING)
(2)Best MALE Artist Of The Year (ALIKIBA)
(3)Best Song Of The Year (OYA OYA-ALIKIBA)
(4)Best Song-writer For Always (ALIKIBA)
(5)Best International song COLLABORATION Of The Year(Songi Songi Remix)Featuring ALIKIBA
Na Hizi Ni Tuzo Kutoka Kwa Shabiki wako
Kabisaa
Kwenye uandishi toa japo mimi ni shabiki wake
Best song ndombolo kaka
😍😍😍😍
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
Oyooooooo ye Baba ndo msanii nnae mkubali,hmn kipya zaidi ya Alikiba
The ever-green Alikiba never disappoints great song huku Kenya tunakutambua
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
Alikiba anadeserve kila faida ya Keki la taifa hili..umepambana sana na mziki wetu Bro still kuna watu hawataki kuonyesha respect..Shoutout kwa Harmonize na plz kubali kuimba hii ngoma kwenye wedding day yake😂😊We love you KING 👑
ruclips.net/video/rZG8h-J8ud8/видео.html
King Kiba, the unstoppable full package, the son of Africa. Watanzania wana bahati sana na wamebarikiwa kuwa naye
Team 2023 wenye bado tuko apa tukiskiza King kiba 😃 😊 😀 😄 the greatest of all times
Your Nigeria fans 🇳🇬🇳🇬🇳🇬 love your music,keep it moving.
King 👑 umetisha sana Allah akupe maisha marefu tuzidi kupata mziki mzuli Only one King imeonekan🙏👑👊
Ahsante sana Alikiba kwa kutuletea video ya wimbo huu, nyimbo yangu bora kabisa ya mwaka jana and probably this year too. Nikupongeze kwa kutangaza vivutio vyetu vya ndani, nimefurahia uzalendo wako. Keep it up Ali K, and thank you once again
Mashalaah alikiba nyimbo zake tulivu kabisa mungu amzidishie mashalah
Ninachoupenda huu wimbo unaweza kumwiimbia mtu yoyote 🥰🥰Asante kingkiba unafanya vitu vyenye ukubwa na ubora kwa kila asikilizae na atazamae be blessed 💞🤴
Yaan tena unamuimbia bila kusita na ataenjoy ti
Kweeli jaman nataman ni mdedicat mamy
That’s true and 🔥
True
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
Mziki mzuri unajitangaza wenyewe Bonge moja la Ngoma Aswa kwa kipindi hiki cha VALENTINE ❤❤❤💖💖💖
Best Album,best Song,best voice...ooooh!!!. my God..My Professional TZ Musical..
Nyimbo imetrend miezi 9 mpaka sasa toka imetoka duuh 👐👏👏💕
Wimbo sio nyimbo
Til now 2024 mwezi wa 7 ipo on trending no 54😂😂😂😂😂😂 another record
Hizi ndo nyimbo za watu waliopevuka akili...utabaki kuwa mfalme broo japo.
Wimbo huu unashiba bila kula na unalewa bila kunywa..❤
Unaangalia hata wakiwepo wazaz
Love from Burundi 🇧🇮🥱😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥chupa limekaa vizur
ruclips.net/video/rZG8h-J8ud8/видео.html
Ibintu namafi 🥰🥰🥰
Yooooo!
You're sweet like pipi mamaa
I can fight
I can kill someone
For you
Because am in danger zone (oh no)
This feeling feeling that am feeling
It's too much
I see future, life with you is so brighter
Nakupenda sana, you know that
I'll die for you
Ooh sweet heart, life with you is so sweeter
Nakupenda sana, you know that
Nakupenda sana, you know that
Yeah
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tamaa nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Ohooo
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tama nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Oooh
Aaaah
Namuona yeye
(Analia ninapougua)
Aaaah
Namuona yeye
(Akikesha ananiombea dua)
Aaaah
Namuona yeye
(Analia ninapougua)
Aaaah
Namuona yeye
(Akikesha ananiombea dua)
Wow ❤ the king of bongo did it again 👏 much love ❤ 👏 ❤ utu ni kitu cha maana maishani
This song is also a very huge message to our African ladies .. kuweni na UTU na UTULIVU we African men tunakutana na mengi sana in thia world ni jukumu lako ewe mwanamke unaesoma hii comment kua mfano bora na sio kufata mikumbo! A great Woman is always appreciated ( kwa mwenye KUJIELEWA ) as well as a great Man
😂😂😂
Safi 💕
Exactly 💯 on point umegonga ndipo
Tanzania is good climates good artists so I very proud of my country
my all time favourite song and artist ..i cant get enough of this song ..kama kuna wimbo alikiba umeiba ni hii ya utu
Wimbo ume tulia kama Paradise, UTU to the world ✨♥️🥰
ruclips.net/video/rZG8h-J8ud8/видео.html
umetish kak💖💖💖💖
Kiba never dissappoints tangu enzi za cinderella .....much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo mzuri afu bila matusi, big up sana kaka ally you never disappoint since day one🤗🤗🤗
Napesi yo mbote king
Keep on moving king! Ni uchawi tu ndio kitu anachokushinda Diamond,kwenye suala la mziki ata akeshe uchi akuezi mwamba, you are the only 1king in this industry,
Umetisha😄
We need them all dear no need to compare every one is best on herself
I am a tanzania who live in Rwanda,ila nikiskia nyimbo za kiba najihisi nimerudi nyumbani.love u guys
Harusi ya Nandy &Billnass imenirudisha huku...Congratulations King you are the best..
Amina tafadhali Alikiba kuliko diamond je ungepata kama diamond ungefanya je mtu hajieshimu kabisaaaa na ana watoto wadogo lakini werevu sanaaaa tiffah na nillan anawafundisha nini zari anavumilia sanaaaa
Ila huu wimbo utaishi sana kizazi na vizazi watakuja kuickiliza na kuikubali sana ishi sana #utu wetu #alikiba #kingkiba👑
Umesemaaaaa💜
Mziki mzuri
Mziki mtamu
Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮💯
Nyieeee hii nyimboo bado ni ya motooooo
Ukiskia Kiba tunaongelea mambo ya Hit Nakubali sanaa big brother kutuletea vtu vizuri Inshallah 🇲🇿🇲🇿
Rwanda 🇷🇼 tunakupenda sana Kiba tres jolie chanson💫🥰❤
Hata kama sielewi sana kiswahili, hii ngoma iko fiti sana, much love from Ukraine 🇺🇦
Wewe si uko hapo Githurai.. 🤣
Shout out kwa wanawake wote waliobarikiwa Utu na utulivu
nakupenda bure Ali....keep the fire 🔥 burning 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Alikiba is the best in EA,best song of the Year,best Album of the year
Dssx ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
Rafiki yangu kakubali wimbo huu upigwe kwenye harusi yake ingawa ni Mlokole😊😊
KingKiba unakonga mioyo ya watu wengi kwa mziki mzuri.
#OnlyOneKing
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
King Kiba making movess... I love this one💥💥💥
Na Alikiba umebarikiwa na usanii na utulivu....for many years still shining not easy bro
Ali kiba's competitor's are not yet Born. Clean Music, Cool and such a vibe. Much love from Kenya💯💯💯
ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html EU up
Not even in American I am telling this guy is just an alien 👽
Since 8yrs King kiba was my crush 😍 and now am 25 he's still my crush wel done 🤴 👑 May Allah grant you safety and favour,,your is mature and moving ❤ 💖
Kenyans in the house..whenever I hear king kibas' voice it reminds me of my old days..10years ago big up KING
ruclips.net/video/4LRJoKWgT9U/видео.html
Vle bado August 2024 bado na View hili song like here ❤❤❤ maua yake kwa king kiba the boss
Une belle image monsieur tu mérite d'être le roi dela musique Tanzanien je te fais un coup de chapeau
Ce vrai 🔥🔥
Natural 👌 não streme rei é único utu Ngoma Kali saana salute King kiba yebabaaaaa 🇲🇿🔥🔥🔥🔥🎼
Umefika wakati wa kutoa sanamu iliyo wekwa pale posta tuweke sanamu y ALLY KIBA bira kupingwa
Nyimbo nyingi ni nyimbo ambazo hakuna massage kali, hakuna ujumbe, hakuna elimu, nyimbo za klabu, nyimbo ambazo huwezi kamwe kutazama kama familia. Lakini Kiba analeta bidhaa au wimbo, hata kama familia tunaweza kuufuata na huwa tunapata ujumbe mzito hapo. Asante sana Kiba 🙏🙏🙏🧘
Zako ziko wapi mkubwa
Kabisaa yuko poa ninaweza kuweka ata nyimbo zake kwenye simu yangu siyo haya makelele ya klabuni,bar,kasino na magenge ya wahuni wanayotuimbia hawa ndugu zetu
@@Ombeniemanuege-tg7gj
Powa sana amekuwa akitufurahisha tangu aanze kuimba muziki mzuri
@@ninnysheshi6214
Sio kila mtu ameitwa kuimba kwa sababu kila mtu ana wito wake na hiyo huleta wema kwa utofauti wa ulimwengu.
Hakika wew ni king kbs❤❤❤❤from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
This guy's vocals is Unmatched in the whole East Africa.King of Bongo #🇹🇿TZ to the world.
Am yvng trayson upcoming rapper kindly support me please 🙏
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
Eeeiish!!!!...fire!!!
🙌🙌
The best video
Alikiba: The Real Sign of Bongo Flava 💚
254🇰🇪 tunam feel ka yote. Kazi inajiuza yenyewe hakuna kelele buda
My best lines😍 nilifosi kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa, sasa napewa amani mapenzi yaso na mipaka ananiganda huku mabegani ananishika na hapa, masaji mgongoni yananilevya makopa.... OMG i love that part. King keep bringing more❤️❤️❤️
🙏❤️😍😘
Nice song
No.9 trending for music....lets take it to no.1💃🥰It deserves it
Ici chez nous au Congo RDC , nous connaissons bien que Alikiba est le meilleur de Bongo , plus que tout le monde à l'est Afrique ! Félicitation au meilleur Artiste de l'année kingkiba
ruclips.net/video/InYTBtY0CfA/видео.html
@@kgchippy il est le meilleur kingkiba
Nilifosi kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa🫡🤗
Diamond is a talented musician, but Ali Kiba is the King of Music in East and Central Africa. Ogopa.
Ihave repeated this UTU video many times: romantic participants, romantic environments and romantic vocal.. Alikiba is really a king of East African Music.
Finally ❤️❤️ favorite song
Nyimbo kali sana hii utu
Kings music for life 🔥🔥
ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html EU
King once again gives us the reason and confirmation why he is indeed king. Love respect from 254.
No bongo singer can sing and touch my heart like you Ali K more love from 254 Kenya🇰🇪
Achana na hii fake English, listen to Mbosso to understand true love language ya lugha yenye ma'ana na ladha!
Acha kumchocha
Mfalme wa wafalme wote wa mziki, nikitaka ku sikiliza mziki lazima nitie mziki wa king 👑 kiba sio wale wa fujo, akuna zaidi yako bro ❤️❤️❤️💪🏽 from 🇨🇩
The view,song,backgrounds,and only two people enjoying each other’s company the best feeling in the world
Ujv ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html
Moto hadi
Am yvng trayson upcoming rapper kindly support me please 🙏
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
Utu ruclips.net/video/c8BuvXcKTuA/видео.html
This is basically how music should speak to the world. Such a perfection from the king💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💞💞
Xx ruclips.net/video/HLqvhu8vj98/видео.html
Kama wewe ni team mond au konde lakini umekuja kwa KING kufata mziki mzuri like hapa tujuane
Utanimalizia bando kiba duuu
Lakin kwahiki chombo wacha nitembe tu huku huku king ni king kiba tu
🤣
Nimekuja kuangalia utopolo
@@queeniris575 💥
Tokoos 🇨🇩❣️❤️
King kiba Salutations depuis les îles comores 🇰🇲 🇰🇲🇰🇲🇰🇲
ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html EU up
I like ❤️❤️❤️🙏🙏👍
Ngasivanou vatrou depuis Tanzanie 😂😂
@@nanounakib2943 🤣 salam a toi apvo ngazipvira dje yiho
One thing about this singer is that he never disappoints. Keep singing, my dear. I'm following you from the Ivory Coast 🇨🇮. God bless and protect you and everybody reading this comment now.
ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html DDT ti
Ametisha
Ishiiiiiiiii I like it ur comment 🙏🏿🤘🏾🤘🏾🔥🔥
Saf mkubwa
Ametishaa
This video is well-made. Everything about it resonates with the theme of the song. The lady is beautiful.
Definition of good music..... We can't call it street anthem,a bang, neither a hit,but A good and beautiful music....
Watu wa December 2022 hadi januari 2023 wacha like tuki songa
Great song Alikiba. Tanzanian Music is gradually taking Over Africa and That’s good for the Culture. One Africa , one people. This is pure love from Ghana 🇬🇭. It’s the West African King 👑 J.A
Wimbo wa Dunia,video ya Dunia mwanamziki wa Dunia ,kama sio Ali bac ni Nani mwingine? King kiba to the world
Hakunaaaa
Hakuna kabisa
Hayupo Kaka ali
What a lovely singing !
Congratulations to you Mister Alikiba from Ivory coast 🇨🇮🇨🇮🇨🇮
Reach out to my channel! Dope music waiting to be discovered.
Kiba yupo vizuri aiseee ,,,hili song nimeisikia Leo kwa dala Dala hapa Nairobi Kenya aiseee moto wa gesi ,,,,mziki umesimama aswaaaaa ,,,kiba na harmonize wapi vizuri aiseeee
Un song sublime, une voix rossignol, l'image qui s'adapte à tout niveau de vue
Ali kiba is one among the best musicians in Africa
He is so real with his life
The video is way to much 🔥🔥
Mandhari poa
Great content
Oyaaa He is surely the KING
The 'UTU' song tune and vedio are so serene and soothing. I'm the reason why My agal toto loves this song from the moment she heard this song playing in my playlist. Its too sensational. Alikiba always delivers even if he's not pregnant.
🇰🇪 🇰🇪
#UTU
#KING👑
😀😀😀😂😂
ruclips.net/video/J_jrSbVq1Vw/видео.html uga afro revmix
I love alikiba hapendi kuvaa nyororo mingi ..halafu Hana tattoo....Hana hzi Pete za mashetu
This song makes me feel the real love whenever I play it...the king will always lead
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
ruclips.net/video/bTPLSxKrEZM/видео.html
UTU is a song which expresses someone's feeling's towards his or her lover💜💜💜 big up to you kingkiba
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nilifosi kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa
Only one king in this universe
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
Nudity 0%
Beats 100%
Vocal 100%
Talent 100
Assessment 100%
Enjoy the good music from the only King kiba 1k likes za wakenya 🔥🔥🔥🔥🔥
Mmmmwaaaa💋
Alkiba mi nimurundi nakubari sana uko mkali sana
Iko mwaaaaah 🥰🥰🥰
son is healthy
thats true alikiba is morally upright and he is truelly talented
I sing this song during my Mariage ceremonies and after a short period, my wife passed away after giving me one Child😭😭😭😭😭 I am leaving this comment here so that even after 20years, My Son Chris_Jr should pass here and knows really how far i was in love with her Mother, and how am ready to fight for his life (Chris' life) for recognition of that love💗💝😭😭😭😭
Pole sana ndugu kila jambo lina maana yake katika haya maisha tunaishi katika matumaini na kumwamini aliye juu tafadhari uwe na maisha yenye faraja na furaha tele wew pamoja na mwanao Chris
Pole sana 😢
Pole sana brother 🥺
Sorry dear 😟❤
🫂
One my favorite song ever, sweet song, sweet vocal, professional Melody. Once King always King💚
Video kali baba
Umeuwa kaka mkubwa video kali sana
There is Only One King in Bongo Music industry❤️
ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html riu up
A blessed artist whom we were given by God as a gift. Please Africa and World at large let's respect King, he brought to strength us from different challenges...Believe or not Alikiba deserves a unique respect for his good work.
....yes !
But there is only ONE king, don't you agree? The name is Jesus! One king- the Chirst 😇❤😉❤❤❤
He never disappointed
Honestly truly
❤❤❤❤napenda san huu wimbo
The one and only king we have in east africa congrats & keep going 🥰#more love from 🇰🇼
Alikiba is noway regardless you love him or not!
Is only One artist who's the fave of eastafrica and africa generally!
Regardless what💪💕👏
Fire!
One thing I love about King kiba is his uniqueness🥳..he always do his work smart and in every song he always has a message behind it 😍😍 ,my best song so far Cheers🥂.
ruclips.net/video/jIKtN6WUSe8/видео.html di fo hi
ruclips.net/video/0lqtvWUvIgo/видео.html
J’aime tout simplement…❤️ from 🇨🇩
This is beautiful scenery that I didn't expect to be in Tanzania