Alikiba mahaba song, Valentine's day ,mahaba tu yametuchosha, mfalme Asante sisi wengine mahaba mh tuwaachie mwenyewe tu" gonga like kwa ajili ya alikiba au mfalme na usipite pila like yako hapa💘💘💘💘💘
Mfalme wa mziki Alikiba. Wewe ni mfalme wa siku zote. Tangu 2006 na fuata nyimbo zako, kuanziya Cinderella, una juwa mziki. Congo 🇨🇩 twa kupenda sana. Tu es une grande star, un génie de la musique. Wewe ni Okapi de wa mziki, ya kwamba hauna mpinzani na haupatikani ingine fasi ulimwenguni.
Huyu King Kiba Allah azidi kumueka Inshaallah zile hisia kwenye nyimbo zake nazipata sio mchezo jamani ..... Big up King Kiba big up Yogo Beats big up Kings Music Record at large we love your music guys 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪👑👑👑👑
Alikiba ndie iconic in Tanzania 🇹🇿 there’s no one like him. Diamond Platinumz hana sauti. Alikiba ni yule alie imba wimbo wa Sindelela. Sauti za gharama ndio hizi 👌👍👍👍👍
Anaimba vzr but upaswi kila mara kumlinganisha na Mond kama umpendi Mond achana na naye utaumia bure 24 hours but hata watazamaji laki5 mmeshindwa kufikisha sisi tunampenda Mond but huwa tunamsupport pia kiba na hatumlinganishi na hatukosowi kazi zake coz pamoja na sauti ubunifu kwenye video ni mdogo yani bado sana.
Yep king kiba anasaut nzuri na anaimba vizuri But nextime don’t compare alikiba na diamond Ukiamua kusifia kitu kizuri kisifie bila bila kutaja kile unachohisi hakifai Hata wewe usiwai jifananisha na mtu mwingine hatakama unajua wewe ni mmwema Yeye yuko hivi na vile baki mstari Wako Sio kwa ubaya Na ili Ujue kitu kizuri na kibaya lazima kuwe na tofauti ya kuvitofautisha
Sijui ni mapema sanaaa au ndio ukweli kuwa hii nyimbo itasumbua zaidi ya #UTU 🙌 ..... Heshima kubwa kwa Yogo Bests anajua kumpa MFALME kile kilicho bora zaidi. ..... Song Of The Year 👏
MIMI MBOVU SANA WA JAMBO LILE PIA KAMA ALIKIBA VP WEWE MWENZANGU KAMA NAWEWE MBOVU WA MABINTI WENYE VIFUNDO GONGA LIKE YAKO HAPA CHINI. Afu tubaki tunaamini MAHABA sikuhizi hakuna.
The good thing with Kenyans 🇰🇪 🇰🇪 they love n appreciate good things 🔥🔥despite where from. We Don't hate. Thumbs 👍🏾 up to AliKiba the King and Kenyans 🇰🇪 for being real n supportive
Ally kiba kwanini wewe siyo mtu ambae unatumia galama kidogo kwenye video mbovu location mbove nyimbo zuri utayarishaji siyo mamenager wako hawakushauri khaaa badilika bwana .
Forever a king 👑👑👑👑 more love from Kenya..... Nimfundi sana wa jambo lile." 🥒 I like the way unatumia mafumbo kwa watoto...... Song Haina matusi unlike other artists....
Kwa niaba ya wafanya kazi wenzangu,, na viongozi wangu pamoja na familia yangu na mwenye nyumba wangu tunatumia nafasi hii kusema hakuna mfalme mwingine zaid ally 🔥🔥🔥🔥🔥
Good music Ali K. Been your fan since the days of Cinderella. Decent music that can be listened to by all, that means maturity. Keep going Ali Kiba, listening to this at Kilimani Nairobi.Kuna mwengine anatoa ngoma chafu chafu, siwezitaja jina lake. There is no day Ali Kiba can disappoint, you won't hear drama and his name in one sentense
Watching from Qatar 🙏🙏❤️ Huu wimbo naskiza volume ikiwa full manze 🥰🥰🥰 it's hot 🔥🥵🔥🔥 can't get enough of it manze 🥰🥰🥰 king Kiba again 🔥💙 SIKUIZI AKUNA MAHABA 💔💔😭
🤴🏻🤴🏻🤴🏻🤴🏻🤴🏻 I’ll stay 🤴🏻all time Utunzi wa nyimbo 100% Beat ya wimbo 100% Sauti ulio imba 100% Mixing 100% Feels kwangu mxikilizaji 100% Location 100% Uvaaji wa muhuxika 100%
the king is here
Unajua mpaka unakera🙌
Video lini king
@@dr_gainstz soon
@@issadinabdullahi259 Shukran sana
Video lini King wa afrika 🔥🔥
Alikiba mahaba song,
Valentine's day ,mahaba tu yametuchosha, mfalme Asante sisi wengine mahaba mh tuwaachie mwenyewe tu" gonga like kwa ajili ya alikiba au mfalme na usipite pila like yako hapa💘💘💘💘💘
Finaly my song is out Mziki mzuri sana, nimerudisha mara 10 makofi sana kwa 🤴 kiba watch always to 🇺🇸 love from congo 🇨🇩 +🇰🇪 = 🇹🇿
Mfalme wa mziki Alikiba. Wewe ni mfalme wa siku zote. Tangu 2006 na fuata nyimbo zako, kuanziya Cinderella, una juwa mziki. Congo 🇨🇩 twa kupenda sana. Tu es une grande star, un génie de la musique. Wewe ni Okapi de wa mziki, ya kwamba hauna mpinzani na haupatikani ingine fasi ulimwenguni.
Hilojimbo hiliiiii nomaaaaaa
Kenya tunakupenda king kiba
🇰🇪🇰🇪♥️♥️🔥🔥♥️♥️🇰🇪🇰🇪
Huyu King Kiba Allah azidi kumueka Inshaallah zile hisia kwenye nyimbo zake nazipata sio mchezo jamani ..... Big up King Kiba big up Yogo Beats big up Kings Music Record at large we love your music guys 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪👑👑👑👑
#kingkiba
Mahaba
Alikiba ndie iconic in Tanzania 🇹🇿 there’s no one like him.
Diamond Platinumz hana sauti.
Alikiba ni yule alie imba wimbo wa Sindelela.
Sauti za gharama ndio hizi 👌👍👍👍👍
Anaimba vzr but upaswi kila mara kumlinganisha na Mond kama umpendi Mond achana na naye utaumia bure 24 hours but hata watazamaji laki5 mmeshindwa kufikisha sisi tunampenda Mond but huwa tunamsupport pia kiba na hatumlinganishi na hatukosowi kazi zake coz pamoja na sauti ubunifu kwenye video ni mdogo yani bado sana.
Yep king kiba anasaut nzuri na anaimba vizuri
But nextime don’t compare alikiba na diamond
Ukiamua kusifia kitu kizuri kisifie bila bila kutaja kile unachohisi hakifai
Hata wewe usiwai jifananisha na mtu mwingine hatakama unajua wewe ni mmwema Yeye yuko hivi na vile baki mstari Wako Sio kwa ubaya
Na ili Ujue kitu kizuri na kibaya lazima kuwe na tofauti ya kuvitofautisha
Alf Tofautisha
Biashara na starehe my dear 😅😅😅😅😅
Unaimba bro ila angalia nyakat na ubadikike
ruclips.net/video/a_kl2n3mT8U/видео.html
Angalieni hii
Asantee kwa wimbo mzur..MAHABA.. kupata tuzo ya wimbo bora TMA
King kiba East Africa coolest artist...like ili tupatie huu Wimborne heshima
King km king ajawai kosea ata kwa siku na km unakubaliana na mm gonga. Like ngoma itasumbua sana ii
Utulivu mzuri uliotumika kwenye nyimbo hii hongere sana king 👑
Uwalisia huu wimbo ni wimbo ambao nimependa sana hongera sana
Jamaa ana jua sana
Anajua mno
Yooooo king 👑👑👑👑 kiba
Fundi kama fundi😂😂😂
much love from Kenya East Africa na Africa nzima. ALI KIBA IS A LEGEND!!!!!! MAADUI WAMEZE WEMBE
❤❤ 🇰🇪
❤❤❤
Sijui ni mapema sanaaa au ndio ukweli kuwa hii nyimbo itasumbua zaidi ya #UTU 🙌 ..... Heshima kubwa kwa Yogo Bests anajua kumpa MFALME kile kilicho bora zaidi. ..... Song Of The Year 👏
Huyu kiba wamuache tuuu mziki tamuuuu
Kweli maana yogo kapamba moto
Big up king mziki wako tangu niwe mdogo nimekuwa nikisikiliza ,your number one king mziki mzuri na mafunzo barikiwa alikiba💕
Nimetokwa machozi Aki hiyi ngoma hinagusa kwenyi moyo wangu 😭😭😭😢😢💔💔🥰🥰🥰🥰🥰
Uchungu wa kulia daily mapenzi yalinifanya nisile sina kumbu kumbu ulinikosha........Mwenzako mi nilikufa nimefufuka ☺️☺️🙌
Fresh from heartbreak 💔.... Thank you kingkiba♥️♥️♥️ Siku zote nakuheshimu...
I repeat again you're not the best, you're the greatest
#king_kiba
Follow you from Burundi 🇧🇮
''....ni neema ukiwa unahema, mapenzi yanachosha yanafuja raha.Nafsi yangu inasema bora nimpende tu aliyenizaa...''
Bora, umpende aliekuzaa tu ujawai, kukosea
Jamani mungu akusaidie
@@kanini9197 Amen
This song melts my heart all day, ❤️❤️❤️
talent at its best. No scandals jst good music. Love from nakuru kenya
Wow......nice song king kiba you're fan from kenya
Alikiba never disappoint 🌎😍....nipewe likes jameni za wenye awana mahaba..
MIMI MBOVU SANA WA JAMBO LILE PIA KAMA ALIKIBA VP WEWE MWENZANGU KAMA NAWEWE MBOVU WA MABINTI WENYE VIFUNDO GONGA LIKE YAKO HAPA CHINI. Afu tubaki tunaamini MAHABA sikuhizi hakuna.
This is what we call an example of being a Gentleman
Wengine wanasumbuliwa na utoto na ulimbukeni
Mwanangu wa kariakoo🔥🔥🔥
Umenena
The voice,melody and message are on point,you are so talented King KIBA ❤🔥❤🔥
The good thing with Kenyans 🇰🇪 🇰🇪 they love n appreciate good things 🔥🔥despite where from.
We Don't hate. Thumbs 👍🏾 up to AliKiba the King and Kenyans 🇰🇪 for being real n supportive
Here we are and loving the song ...manze king alikiba ni goals 😍 🙌 👏
🤴 👑
Mfalme
Its east africa, togeather as one 🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Waliyo kuja kisha mahaba kuwa nyimbo Bora ya mwaka katika tuzo za tma tu juwane❤🇨🇩
2023 NATIONAL ANTHEM🔥
Hii ngoma inaekuhit vibaya saana next year💣
Kabixa
#kingkiba
Can’t get enough of this song🥰… mapenzi siku hizi imekuwa ngumu kliko life manze😭😭😭…… wapi like zangu jameni😭💔
Lion can't kill a king 👑
I like this song very very nice
The moment you realise you are the only one who can only love yourself more
Boa música, boa melodia e boa mensagem... Mozambique tunakusikiliza sana.
Kigoma boy uko sawa,Mungu aendelee kukuinua.
King Kiba tayari Congo 🇨🇩 vraiment très belle chanson j'adore kiba
Love from Kenya...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥king of East and central Africa 💪💪💪❤️❤️❤️
#kingkiba
Hiindio jiwe la mwaka huu 2023 nimekubali 10 M kwa myezi mi3💪💪💪💪 ni kama utu🔥🔥🔥🔥
Huyu ndugu anakipaji na anajielewa ata ukiangalia wafwasi wake pia ni watu wanajielewa keep it up kiba
amazing❤❤ tunaringa Sana hapa Kenya tunapopakuliwa vitu fresh kama hizi Moto Moto keep going Ali we are proud of you
❤❤❤ I love this song ,I’m from Congo 🇨🇩 💪🏾💪🏾💪🏾
Ally kiba kwanini wewe siyo mtu ambae unatumia galama kidogo kwenye video mbovu location mbove nyimbo zuri utayarishaji siyo mamenager wako hawakushauri khaaa badilika bwana .
Bonge moja la ujumbe, huyu ndiye msanii wangu wa mda hote king kiba Music wako unaish moyon mwangu,hii nd maana ya msanii mkubwa Big Up Mybrother
Alikiba - Mahaba (video cover)
ruclips.net/video/jJjYCXRBMqY/видео.html
Tumeshachukua tuzo 2024
Tangu huu wimbo uwekwe RUclips mimi niko hapa kwa mara ya mia tano sasa, yaani nimeskiza mpaka nahisi sitosheki nao. Mzuri sana huu. Big up king kiba🥳
Nikiweka bando cha kwanza ni wimbo huu hata mara 10.wakiamua kufurahisha tunafurahi.
😂😂😂😂ati mara miatano😅
Sichoki kuangalia huu wimboo
I'm also addicted,😍😍😍😍😍😍
Mi ndo kwanzaa nimekuja Leo.nimepitwa lol
Mahaba best song now after UTU.... hit after hit ❤️❤️❤️
NAOMBENI MNIPE LIKES YA KAKA ANGU ALIKIBA KWA KAZI NZURII👊
Why lie, he is the REAL KING of Bongo Music. Nice instrumental, Brilliant message full of maturity. I love the his songs.
Vocals on top!beat on top! Lyrics on top, this is what we call classic music.., King you're unstoppable#kingforever
King noma nainjoi mkali
If you believe this guy is a LEGEND an talented artist hit a like...AK you're the best..watching it more than ten times a day
Pambana zidi kufanya mazuri king 👑 Kiba Tunaitaji nyingine hit song kama hii mfalme 🇨🇩🇰🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪
King
MUNGU amekuwezesha Ali kwenye hii nyimbo ni bora Sana nina amini kuwa zitakuja bora zaidi ya hii nyimbo
He’s the king forever,, I’m from USA 🇺🇸
King him self 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mambo ni moto
King Kiba....never disappoints....more than 15yrs down the line and still strong ❤️❤️❤️❤️❤️🤟🤟🤟🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sikiliza kwanza bit uwezi choka ata ukiwa na safari ya wiki nzima, penda sana🥰❤️❤️❤️❤️❤️❤️🧡
@@wellneemawelle5774 huyu jamaa ndio mwalimu wa real Bongo
Alikiba - Mahaba (video cover)
ruclips.net/video/jJjYCXRBMqY/видео.html
And he still sings sensible songs❤
Jamni alikiba na kuku bali sanaa uhu wimbo ❤❤❤❤💘
Forever a king 👑👑👑👑 more love from Kenya..... Nimfundi sana wa jambo lile." 🥒 I like the way unatumia mafumbo kwa watoto...... Song Haina matusi unlike other artists....
Utamu iko hapa!!!! ... Kwanza ukiwa Na someone in mind.... GAD DAMIT!!!
Number one song in Eastern Africa right now 🔥🙌
Love from Burundi 🇧🇮♥️
Kama unamkubali King
Gonga liké zako hapa
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
This guy deserves the flowers🌸🌺🥀🥀 while he can still smell them
Hii nyimbo imepigwa mwingi sna imagine adi india watu wanaimba na hawajui maana yake ni gn lyrics wamezi crum noma
King 👑 kibaa sings for generations... Relevance 💯🔥, pure talent 💯🔥 vocals 🔥💯 💯+254... Nataka hizo likes za king kibaa hapa
actually hii ngomaaa Mr kibaa ume uwaa aky,big up Sana 👍👍👍
ruclips.net/video/a_kl2n3mT8U/видео.html tazama hii
Omg this guy is good 🥰🥰🥰🥰
Nice
True dhat
Kwa niaba ya wafanya kazi wenzangu,, na viongozi wangu pamoja na familia yangu na mwenye nyumba wangu tunatumia nafasi hii kusema hakuna mfalme mwingine zaid ally 🔥🔥🔥🔥🔥
Wew ndio ckio lng gd blz u kwa kujuwa thamn ya kibaaaa
Very nice song nakupenda Bure Alikiba❤❤❤
You are amazing 🎉🎉🎉
Hakuna kabisaa
For sure I salute this guy
Wow nice song ❤😍
Naupenda sana huu wimbo,kila siku lazima niusikilize, Hongera King ❤❤❤❤❤
Number one song in Africa 🔥🔥🔥🔥🔥
This song is hot 🔥. The love of good music , sweet melodies. You the real king of melodies.
Your music will live on, cz its timelesst...This is a banger and the video 🔥🔥🔥.
So committed to his singing style... always hungry for his new song.
Salute Yogo!🙌🔥
Salute Keny guitar!🙌🔥 mmeupiga mwingi yaan melody iko on point🎶❤ Gonga like kwa niaba yao twende sambamba team Kiba🎶
King king king
Vocals 100
Beat 100
Creating 100
Poetry 100
Feels 100
Vibe 100
Dress code 100
Nude 0%🔥🔥🔥✌️
I jxt fall withe voice 💕💕💕, king bongo is here
Make up 1000%
🤛🤜💯🫂
Alikiba - Mahaba (video cover)
ruclips.net/video/jJjYCXRBMqY/видео.html
28/05/24 ni neema kama unahema.. East Africa hatilii daily 🇰🇪 🇹🇿 🇺🇬 🇷🇼 🇩🇯 likes zote hapa
The King will always be the King 👑❤️
Ukweli mtupu kabisa, tuna penda sisi wimbo wamafunzo. Sauti ya miwujiza kila la kheri KingKiba. ❤️❤️❤️
so true...🥰🥰...Songs sang in the version of facts and reality....Congrats Alikiba😘😘😘😘
Ujumbe pure bila madowido keep moving men
Unanga competition you don't need mapupa, or kashifa kushina just born talented
Ali kiba is the Great of all times bongo artist.. where vocals meet content and quality.
the song is good and i love its lesson plus message good job
Nimefurahi kusikia wimbo huu,,@king kiba
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.. I can't get enough of this song.
Sending ❤️❤️❤️ from🇰🇪🇰🇪
Kz nzuri broo
Alikiba hajawahi kutu disappoint Wa Tanzania gonga like kwa goma kali la mwaka 2023
👐🙏:-*
🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦nimegonga
Kiba wetu
@@reginanicolaus1505 absolutely 👏👏👏👏much love 💕 of Alikiba
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰
King 👑
Just landed here after watching some lyrics from tiktok. I can listen this song a 1000 times, it's a hit meeeen. Much ❤ from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good music Ali K. Been your fan since the days of Cinderella. Decent music that can be listened to by all, that means maturity. Keep going Ali Kiba, listening to this at Kilimani Nairobi.Kuna mwengine anatoa ngoma chafu chafu, siwezitaja jina lake. There is no day Ali Kiba can disappoint, you won't hear drama and his name in one sentense
This song is golden 👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑
Island Groove come your way with the lovely sounds of Africa heartbeats 🌿🎵🔥
Nice song 🎧 my favourite 😻
My real name is Mahaba and i'm happy to find a song in my name . thank u dear.
Your name means romance
That feeling wow❤
Lovely
National anthem for the broken hearts 💔. God bless Africa.
Wow❤🎉
😂😂sure
Kenyans we won't mind having king kiba as our own. Huyu jamaa ni legit💪 kazi safi
Anaitwa Ali Kiba Omondi
Watching from Qatar 🙏🙏❤️ Huu wimbo naskiza volume ikiwa full manze 🥰🥰🥰 it's hot 🔥🥵🔥🔥 can't get enough of it manze 🥰🥰🥰 king Kiba again 🔥💙 SIKUIZI AKUNA MAHABA 💔💔😭
Uhuru day, tare 9 Dec.2024 ,wangap mko hapa kusikiliza hili song??
From Cinderella to Mahaba. 15 years of King Kiba.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rwanda 🇷🇼 Rwanda 🇷🇼
🤴🏻🤴🏻🤴🏻🤴🏻🤴🏻 I’ll stay 🤴🏻all time
Utunzi wa nyimbo 100%
Beat ya wimbo 100%
Sauti ulio imba 100%
Mixing 100%
Feels kwangu mxikilizaji 100%
Location 100%
Uvaaji wa muhuxika 100%
Yeah
Mia qwa mia
Ni fire
King 👑 is back 🔙 .....congratulations Ali for good music in worldwide
🔥🔥
Baba king unatuwakilisha vizuliii kigoma na tz
#kingkiba
Upwiru
Great music, i didn't even understand that language but the melody and the flow, everything is topnotch. Big respect from Nigeria
The king is back on 🔥,,, 🔥 mahaba running it all over,,,,much respect to kiba
The King has given an official order! The song must spread! this is the biggest vibe in bongo this year!!!
Can’t get enough of this song!!… unbelievable how he creates sweet melodies effortlessly!! 🔥
You know when something is on point it brings about some goosebumps..... yeah this is it ❤❤❤❤
I can't skip listening to this masterpiece, Kenyans I wanna see you here 🇰🇪 🇹🇿 🇺🇬 🇷🇼 🇧🇮 🇨🇩 🇨🇬 🇸🇩
254 🥂
#kingkiba
King 👑👑👑
Wow
Alikiba is the King of all times ,muziki wake Huwa umetulia lakini wenye maneno mazito jamani ,💪🔥,,We love♥️ you from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakuku bari arikiba we nom
It's Him Again King 🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
My GOAT pale Tz🇰🇪💪....nakutambua brazzah