Alikiba & Tommy Flavour - Huku (Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Music video by Alikiba & Tommy Flavour performing (Huku), Another Smash Love/Seduction Song, bringing together two talented acts Alikiba & Tommy flavour, with a a fusion of Bongo fleva & Pop music Huku talks of how a beatiful lady is given assurance of love and be at peace with everything that is happening, More of vibe and dance song, enjoy The music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Sessam.
Get it now Huku:ziiki.media/Hu...
Stream/Download:linktr.ee/Alikiba
Listen to Alikiba on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music: / alikiba
Boomplay: www.boomplay.c...
RUclips: / alikibaofficial
Spotify: open.spotify.c...
Connect with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Twitter: / officialalikiba
Snapchat: / officialalikiba
TikTok: / officialalikiba
Connect with Tommy Flavour on Social Media:
Instagram: / tommyflavour
Facebook: / iamtommyflavour
Twitter: / tommyflavour
Triller:triller.co/@to...
TikTok: / tommyflavourtz
+For More Information Booking Alikiba:
Contact:emailalikiba@gmail.com
©2023 Kings Music Records.All Rights Reserved.
#Alikiba #TommyFlavour #Huku
The reason why Ali Kiba is called King Kiba always getting better and ages like fine wine.....top hit
I totally agree with you
Absolutely true ❤🎉
❤😂😢😅
Ngoma za alikiba hunibamba sana siezi boeka big up!!!
Exactly Margy!
Alikiba umetixhaa Sanaa hii ngoma imeuuwa
Huu wimbo ni vibe
Am a Kenyan, Tanzanias are our neighbour but to be true Kwa rap tuko top but Kwa hizi ngoma zingine tumekubali Dunia mzima mko POA kabisa
Rap gani wakenya wako juu bro, ushaskiza hip-hop ya bongo wewe kwanza ma cypher, Kenyans we have a long way to go kimziki
King kiba definitely killed it❤🎉🎉🎉
Ali Kiba support toka kitambo, Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 sina pingamizi we ni gwiji
Huyu Mwamba #Kiba anajua mpaka anakera mjinga huyu😅😅😅😅😅
tulisema Ali Kiba ni mkenya fullstop😎😎❤❤❤❤ 🇰🇪 🇰🇪
The North only knows one King 😅
Kabisaaa💯
Huyu ni mkenya kamili
hahaha
Kabsaa❤❤❤
Siku zote mfalme ni mmoja tu nataka kuiambia tu dunia kuwa king kiba #Alikiba ndio msanii bora wa muda wote wa africa mashaliki keep up huku 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇨🇩🇷🇼🇿🇲lets go #Huku
Wewe mngojwa
@@samielvutsipa52 mnaumia sana mkiona mafanikio ya kingkiba hahahahaha poleni naroho zenu za chuki sisi team kiba hatuna mbambamba kula chuma ichooo
Bdud ruclips.net/video/LaRN3ufFKSY/видео.htmlsi=VeHLFoLmklwrKaIa
Kenyans Approve this statement.
@@litrackenkevin2729 umetisha mwamba huo ndio ujilani mwema
King is king like ya uzito kwa mfalme wa bongo fleva
Tulisema Alikiba Ni Mkenya Fullstop😎😎❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪
Wa congomani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩No One Like You My Only One King In Bongo Fleva Kam Unakubal Alikiba Na Tommy Flavour Weka Likes Jamani🎉🎉🎉❤❤❤
Wow nice one good job kwapamoja sana king Kiba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
" We Pisi ni kali hushindani na vikaragosi.. ooh ooh vikaragosi.. Usije ukamwaga mwenzio nitalost " 🔥
Alikiba Umependeza sana kwenye hii video, hongera mwanangu, @Alikiba ,nyimbo nzuri sana bro
Respect from tanzania
kuna style inapigwa apo na uyo boyz amevalia kama karao...nycc move
Ni hatare ❤
Mbayaaaaa
Hi nyimbo Ni kali kumamake😍
Kuma what😂😂😂
Hii ngoma naitafuta sana bwana, naisikia iki cheza kwa manyumba na magari ya watu sasa nashindwa kuu ulizia jina la mziki na muimbaji lakini leo naipata kwa bahati. It sounds SA kama hujui jina uta chakura ma amopiano huko ukitafuta HUKU. Ngoma kali killer wazimu
Kabisa kamanda ata mm niliitafuta sana😂😂
@danielmauma2727 😂😂😂😂
Kutoka Msumbiji pemba 🇲🇿🇲🇿🇹🇿 sucesso sempre Alikiba
I always wish to learn Swahili one day love from the land of the brave 🇳🇦 Namibia
Nakupenda-I love you
Lala salama-goodnight
Hujambo-Are you good
Thanks
I can teach you. If interested we can organise virtual private lessons
@@LovelanebI love this❤
We will teach you☺
I love the music💥💥💥💥💥
Hii wimbo ikona beats bana I can't stop listening to it
C'mon mnipe at least 200 likes
imefikaa,saa tuachie hapo ama😂😂
The voice duuuh your music is hot bro in kenya 🇰🇪 Always love Alikiba The king 🤴 wakenya wangu pika like tukisonga my people ❤❤❤❤❤🎉🎉
Yeah this Alikiba is the goat🎉
Una hofu na Monalisa na Aisha, wakati we ndo unanimaliza
Unanimaliza aah, we ndo unanifaana ni fire aah
Ooh wale vikaragosi oooh King Kiba👑
Hii nayo ni deadly, Nairobi magetoni tumeikubali🔥🔥
Nipeni liké zangu jameni ❤❤❤❤
Alikiba WE ni mwamba zaidi sioni mpozani wako
KING👑 and PRINCE wameshika HUKU na watagusa TRENDING🎉🎉🎉
LIKES KWA KINGS MUSIC
Kamanda Kiba ww ni mmoja tu. Huzeeki kwa ngoma kamanda. Big up. Mshukuru Mungu sana kwa uwezo huo.
Kingkiba never disappoints,much love from 254🙌
Sisi ni people tutasomana🔥🔥🔥 king 👑 kiba you kill it💪💪💪 big up bro tommy flavour hujawahi kukosea kabisa🙌🙌🙌 hii nyimbo ndo funga mwaka hii ngoma kila kona street inapigwa ni noma sana hii imeenda hit song🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Umenimaliza sana
On behalf of all Kenyans we admit that King kiba and diamond have made Tanzania top music producers in East Africa
Correction wakenya tunatambua King kiba musics... Diamond ni mwizi wa ngoma
kwani ulikuwa useme ukweli my friend
🤣🤣🤣🤣🤣@@JamaalMallo
Lazima ukweli 😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉 Nderemo za king kiba
Hawana shida za Ruto na kulipa ushuru
Diamond anabana up coming artist lazima feature
Huu? Mziki ni mtamu sana. Congratulations on alikiba and tommy flavour mziki mzuri mnaujuwa sana. ❤❤❤
Basi alivohama Kiba kwenda simba si nikajifanya kuhama team nikaenda wcb mweee hata sielewi😂😂 bora nirudi tu huku
This is what we craving for now the food is on table let eating HUKU
There is only one King 👑
King Kiba..Ali K for real. Big up Tommy Flavour and keep it up
Hii ni hit kali sana na inalalisha 2024 bila compe.Kaa unaamini hii ndio song on the ground piga like tukisonga wadau....
I salute you king Kiba Rock Star 4000 forever 💯💯💯💯
The UNDISPUTED King. Alikiba hajawahi kufata trend, anatengeneza trend yake mwenyewe. Katika enzi za amapiano he never sold out. In many years to come he will go down as a legend for being so damn unique.
Twayipenda sana hapa ndani Bujumbura Town .
Hundreds of artists in East Africa but this one is the best. Vocalist number 1 his music is so cool
Huku Alikiba 🎶🔥ametisha kinoma sana gonga like
Mmmm, vibe smart sana Alikiba na Flavour hamjadisapoint,naipenda sana🇰🇪🇰🇪
Lazima tushushe mtu kwenye matope na hiki kichupa Cha huku🔥🔥🔥🔥
"HUKU" Kenya 🇰🇪 tunaikubali 🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥
Kiba ❤❤❤❤❤
Jamming hard to this even though I don't understand the language and the lyric. Love from Ghana 🇬🇭
He is the king of BONGOFLEVA but u guts in west u knkw diamond platnumz only take yoyr time listen to him
Alikiba ft sarkodie - happy
Alikiba ft mayorkun-
Alikiba ft patoranking- bwana mdogo
Alikiba - seduce me
Huku, nishike from Kenya baby. More 🔥🔥🔥🔥🔥#KingKiba
I’m always the first person to watch the king unyama mwingi yanye anatuandaliaka kamauna unakubali hi video video movement ya kingkiba gonga like 👍 apa 🇨🇩🇺🇸 I can’t wait to you again in USA tour❤
This song is lit 🔥 it gives me modes even when I'm down
I have said several times ,KingKiba is the best star in East Africa❤
Nguvu nyingi toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪🔥🔥🔥🔥 2:20
Delivery 🔥💯.🎶🌍🌎!
Im here for the 1m mark in 1day lets gooooo🎉 love you king kiba from 🇰🇪
Alikiba ni wa 254 KENYA ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,shhhhhhhhh !!!!! International Artist
King Always Will Be A King. U kill Dem
If this would be a topic in high school, definitely this would have been "REPRODUCTIVE SYSTEM" Wenye wanaelewea wataelewa tu. Nice song
Ngoma Kali sana... 🔥
Dec 30/12/2024
Pure Song Make me To Replay It Again and Again
More love from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
#huku wapi nishike huku
Mimi pia shabiki wa damu damu na king yani ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good artists
Good song
Good voice
Huku🔥🔥🇹🇿
Team good music 4ever🔥🇹🇿✅️
😮
Love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
Good music over there.dancable in deed ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥the goat Kiba
Wimbo ime shika mbaya ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Oldest Rnb feat youngest Rnb nice banger guys from king music record
Waaaah.....the song is just amazing...#nishikehuku
It's A BLAST🎉🎉..... Suitable for A Come Back for the King!
Audio 💯
Video 💯
Location 💯
Melodies 💯
Creativity 💯
Kiba ni mmoja tu full stop
❤❤❤ hii ngoma iliweza King kiba bro I salute mwamba from 🇰🇪 mombasa nyali estate hii ngoma kwa room nkama alam
Uma curtida 💪volto assistir novamente a Música 🔥,🇲🇿
King kiba kwa kweli kiba tisho
Nazipenda sana ngoma za alikiba
Tommy flavour always on my ears 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪with the King Himself Alikiba you guys must rule this Kingdom 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mm na baba😊
Telemiso en pakwach po lomaiso an giwampien ..lokomon twei
Huku kwetu Kenya bado Tunaiskiza mpaka sahii ❤❤❤ npeeni likes zangu nifurahie #HUKU
We won full custody of k.kiba....proud fan
Mamayai
Team Kiba Oyee
Pia mimi hapa🎉❤
Ke shebelletse ke le Lesotho 🇱🇸🇱🇸🇱🇸💃💃💃💃💃💐❤️❤️❤️👌👌👌
É o Rey da música africana 💪💪💪💪💪💪
King's music para sempre, estamos no alto nível..👌
Jeud ruclips.net/video/LaRN3ufFKSY/видео.htmlsi=VeHLFoLmklwrKaIa
I agree👊👊
Much respect kwa ali. Anatambaa na vibe lolote aisee 🔥
I watching this song almost at 20times!!!❤
This is my favorite bangaaaa! Since it was released, now with the video it's just better 🔥🔥💯💯.
Hii ngoma ukiwa nakula vyombo ndo utaijua hii ngoma kua nikali sana na hakuna ngoma kali kama hii 2024
Mambo mbaya 🔥 🔥 presenting (Maokoto popote!!) KIBA always king of vocals
❤❤❤❤❤
SIJAWAHI PATA LIKE 100 kwa team kiba nipeni like kama wewe ni team kiba
Hahaha Bado Hujasemaaa Yan mpakaaa uchemeee....!! Mnjoo kwa Dplatnumz 🦁 utapata ata 100,000/
huu ujinga wakuomba omba likes mtawacha😇
Brother kiba umetishaaaaa😅
Alafu ukipata izo like wewe unanufaika na nini??
M sjaipenda
Alikiba the one and only true G.O.A.T from east African mad love from kenya
What a beautiful video
Good music 🔥
Lyrcs 💯
Naombeni like zakutosha wana kiba na hii tuopeleke number 1On trending itakua poa sana
Kings music forever King Kiba x Tommy Flavour👑
Yaaaasss....a gal from lakeside...#odhumo#kenya
Love from Burundi 🇧🇮
King Kiba never disappoints!! Love from “huku” 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Abarundi baraha munyereke love kuko ihangiro nugu Supporting Tz, hako barya banya Rwanda badusuzugura😒🎧🔥🔥🔥
Worldwide playlist 🔥🔥🔥 beutiful vocal and Sweet vibes…like here Africa
C'est très belle chanson courage alikiba 👑
Cheers to you The Mafik🥂
You did it....🔥🔥🔥🔥
So sweet from The King and his heir. Alafu nangoja tommy flavour uachilie video ya album yako ❤️.
This Combo haijawah kuamuacha mtu salama since Omukwano you guys your killing always hell to King👑 and Young King 🙌🙌
Kamashabiki wa alikiba ponyeza like. ❤ 2wepamoja sana
Audio 100%
Beat 100%
Melody 100%
Collaboration 100%
Video 100%
Kabisa ❤❤
@@ShaniBihoiki-lx9jl Kwenye uuu wimbo Tommy amepita vizuri sana,pongezi kwake
Kbsaaw
@@OnesmoMwipopo-co8dr Kafanya maajabu makubwa sana
Sure
Unyama mwingi, ngoma Kali sana 2024