Tommy Flavour feat Marioo - Nakuja (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2023
  • Music Video by Tommy Flavour featuring Marioo performing "Nakuja", (c) 2023 The Music Video was shot in Dar es Salaam,Tanzania, Directed by Azad Wastara.
    A song that tells a message about showing up to see your love, be it traffic or any obstacle he promises to show up and make sure they meet and have fun and enjoy to the fullest. This song is a party song filled with a love message.
    Stream/Download:linktr.ee/tommyflavour
    Stream "Nakuja"Click here:smartklix.com/Nakuja
    Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
    Listen to Tommy Flavour on Digital Streaming:
    Audiomack:audiomack.com/artist/tommyfla...
    Apple Music: / tommy-flavour
    Boomplay:www.boomplay.com/share/artist...
    RUclips: / @tommyflavourtz
    Spotify:open.spotify.com/artist/71Jz2...
    Follow Tommy Flavour on Social Media:
    Instagram: / tommyflavour
    Facebook: / iamtommyflavour
    Twitter: / tommyflavour
    Triller:triller.co/@tommyflavour
    TikTok: / tommyflavourtz
    Follow Marioo on Social Media:
    Instagram: / marioo_tz
    Facebook: / thisismarioo
    TikTok: / marioo_bad
    RUclips: / @mariooofficialmusic
    Written & Performed by: Tommy Flavour & Marioo
    +For More Information Booking Tommy Flavour:
    Contact: emailtommyflavour@gmail.com
    ©2023 Ziiki Media & Kings Music Records.All Rights Reserved.
    #TommyFlavour #Marioo #Nakuja
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 3,2 тыс.

  • @mohamedmussa3931
    @mohamedmussa3931 Год назад +75

    Wanaopenda good music gonga like hapa✅️ (Nakuja ni fire)

  • @ajentertainment9851
    @ajentertainment9851 Год назад +114

    Marioooo always on top the video is hot😍tommys voice pia imeblend mbaya...wakenya mnipee likes woiyeee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍

  • @idrissaomba8803
    @idrissaomba8803 Год назад +4

    Cawa cawa kama cawa

  • @princesszuuhzuuh5755
    @princesszuuhzuuh5755 Год назад +10

    Kila nikipita mtaani nasikia tu nakuja !! Nakuja!! Nakujaaa!! Baby nakujaaaaaa!!! Nikasema Wacha na mimi nije nione nakujaaaaaa nakujaaa 🤸🤸🤸🤸 bonge la gomaaaaa🤗

  • @ernestgreet4935
    @ernestgreet4935 Год назад +45

    Mziki mzuri sana huu Tommy flavour na Marioo 🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿💯💯💯

  • @kingmtetezi6670
    @kingmtetezi6670 Год назад +29

    What a movie🙌🙌🙌 Kali sana weka like twende sawa

  • @goraseck9922
    @goraseck9922 11 месяцев назад +10

    Senegalese Who loves tanzanians song and artists. Big up for Marioo and Tommy Flavour

  • @siliviahjerusa2963
    @siliviahjerusa2963 Год назад +14

    This is Sweet.. it's on fire 🔥🔥🔥
    More love ❤️❤️from 254 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    I love you all

  • @ernestgreet4935
    @ernestgreet4935 Год назад +16

    Ubunifu mzuri sana huu Tommy flavour na Marioo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @masterkeymuzik
    @masterkeymuzik Год назад +25

    Ikizama tunazama nayo na ikizuka vilevile tunazuka nayo 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @faithaaliofficialke381
    @faithaaliofficialke381 Год назад +40

    7 trending in Kenya 🇰🇪🇰🇪 let's keep it no. 1

  • @carloskalonje
    @carloskalonje Год назад +23

    That "nakuja baby nakuja" hits different maan😂😂😂🤦🏾‍♂️

  • @hamisiayoub3741
    @hamisiayoub3741 Год назад +42

    Ubunifu mkubwa sana umetumika hapa. Bonge moja la ngoma tommy umeuwa💪💪💪

  • @oscarclaine5878
    @oscarclaine5878 Год назад +27

    Like father like son na huy ndo young king.. ana mabalaa buku 🔥🔥🔥🔥

  • @hawedamakidzilo5725
    @hawedamakidzilo5725 Год назад +13

    Mario all the way.....💃😍😘 Never getting tired of the song..😍

  • @ngubimbangusi3665
    @ngubimbangusi3665 Год назад +3

    💪💪💪💪Tommy Flavour ft marioo nguvu ya dunia sana

  • @Chida
    @Chida Год назад +23

    1M soon nani yuko apa kuishuhudia ikiingia one million #TommyFlavour & #Marioo

  • @jastinimongi7656
    @jastinimongi7656 Год назад +17

    Sina cha kuongezea hapo move kali san 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @abuunguzo2452
    @abuunguzo2452 Год назад +1

    Kwa kazi hii mungu kwel mungu ibariki TANZANIA

  • @kismetsaimon7697
    @kismetsaimon7697 Год назад +6

    Nmependa hii video movie 🙌unyama sana

  • @emmanuelbarakajunior7482
    @emmanuelbarakajunior7482 Год назад +18

    Tommy mweny Fleva zake mjini🔥🔥🔥🔥

  • @ianwaithakamburu3152
    @ianwaithakamburu3152 Год назад +4

    Mad love from 🇰🇪💯% Muziki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sana. Wenzetu Apa waimba takataka, pombe, uhalifu, makahaba ndo wamejaa kwa nyimbo. Nyie uko 🇹🇿🇹🇿 ngoma safi, kiswahili sanifu bwanar. Ahh kongolee❤❤❤❤❤

  • @djcashwanakidiry9158
    @djcashwanakidiry9158 Год назад +1

    Duuh yani Nakuja Ni ya 🔥🔥🔥🔥 Saana King's music Big Up najiona 💪

  • @highlightboy255
    @highlightboy255 Год назад +8

    Let's go bro tumeipandishaaa

  • @wilisomwinyi5420
    @wilisomwinyi5420 Год назад +11

    Eebana eeeeh hili bonge la dude bonge la video bonge la ngoma all in all mumeitendea haki good job @tommy flavour @marioo 🙌🙌🙌🙌 nakuja ndo video yangu pendwa 2023❤❤❤❤ nakuja baby🏃🏃🏃baby nakuj🏃🏃🏃allow me baby nakuj🏃🏃🏃🏃 king's music🔥🔥🔥 king kiba @alikiba tunataka chupa kama hizi sasa mafans wa king's music❤❤❤❤❤🔥🔥🔥

  • @simonchacha5675
    @simonchacha5675 Год назад +24

    It's now obvious that if you want your music to have a place in today's market you should at least make sure you have marioo featured in your song 🎶🎶....what a gem that one 🔥🔥🔥much love from NAIROBI, KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @georgekemuma715
    @georgekemuma715 Год назад +274

    Love from Kenya this is what makes me proud of being east African 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 A BIG TUNE

  • @brendankatha8038
    @brendankatha8038 Год назад +17

    Kali Sana wakuu👏👏,much love from Messi kadenge 254🇰🇪🇰🇪💪

  • @jameskirunda6645
    @jameskirunda6645 Год назад +10

    marioo you the BOOM 💥 👏 🙌 👌 ❤️ THE REAL KING OF BONGO MUSIC 🎶 KARIBU 🇰🇪 🇰🇪

  • @georgevivian1324
    @georgevivian1324 Год назад +4

    Song tamu sana,,I always watch it a hundred times In a day....just keep it up

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 Год назад +4

    Mario katisha zaidi🎤🔥❤🎵🎶👐

  • @giladegrant9808
    @giladegrant9808 Год назад +26

    Ninaombi moja kwako Tommy kama comments unazisoma please jitahidi kuachia kazi kila mala video na audio viambatane na hata try kuwa mbunifu toa kazi zikiwa na dhumuni tofauti tofauti kuumizwa, really love, maisha ya mtaan na kadharika❤️👊
    King's Music For Life

  • @athumankiatu2610
    @athumankiatu2610 Год назад +15

    Tommy flavour mkali umeua kings music heshima yetu tunairudixha mikononi mwetu🔥🔥🔥🔥

  • @giladegrant9808
    @giladegrant9808 Год назад +6

    Can't stop watching this movie 1M loading 🙌🙌🙌

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 Год назад +6

    Safi sana 🙏🇨🇩🇨🇩🔥

  • @shiru_choppa7654
    @shiru_choppa7654 Год назад +21

    Mwijaku,Denzel,vido vidoxi wamecheza kama wao...movie kama movie everything in this song is perfect 👌👌🇰🇪

  • @fannyboy_tz2062
    @fannyboy_tz2062 Год назад +37

    Nakuja we go 🔥🔥✈️

  • @moshire6645
    @moshire6645 Год назад +8

    Much love from East Africa (Somalia🇸🇴)

  • @Sam_O_Official
    @Sam_O_Official Год назад +3

    Kali sana Marioo🙏🙏love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    100% message
    100% production
    100,%video realistic

  • @tumainiprtv553
    @tumainiprtv553 Год назад +17

    Seen by Tumaini pr Tv Nakuja bonge moja la ngoma 🔥🙌🏾

  • @djcashwanakidiry9158
    @djcashwanakidiry9158 Год назад +19

    Sisi ndo king's Music 🎶 Tommy flavour Umeuwa Mwanangu Nguvu Mo1 we love 🔥🔥🔥🔥 My brother 💪

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 Год назад +4

    Ila tommy mwaka huu ukienda hivi utatukamata sana kwani umeuanza vizuri na huu uwe mwenderezo wako##tommy flavour on fire🔥

  • @mastergamer9132
    @mastergamer9132 Год назад +3

    I love this song niliiskia tiktok Tommy keep up the good job of releasing this heartwarming songs😉😍🤩💞

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 Год назад +9

    Bonge moja la nyimbo na bongo moja la movie ,mmetisha nmependa ubunifu🔥👍

  • @ashirafkhamis1556
    @ashirafkhamis1556 Год назад +36

    mwijaku ndani ya gang kweli ni high creativity big up san bro Tommy...naombeni likes jamani tufurahie muziki mzuri kutoka Kings Music Records

  • @joss.nkilio.3537
    @joss.nkilio.3537 Год назад +3

    Bonge Moja la ngoma mtaani👏👏👏

  • @jasminetatiana254
    @jasminetatiana254 Год назад +7

    This song is on another level 🔥🔥🔥🔥this one nailed it....this song has been ringing in my ears the whole week....I had to do a TikTok challenge NAKUJA😘😘😘😘😘🇰🇪🇰🇪 Jasmine Tatiana chemoiywa

  • @silverypastore4097
    @silverypastore4097 Год назад +7

    Braazaaa tommy unastaili u young king🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Agape_jr
    @Agape_jr Год назад +10

    movie shooting,,,,,,, video ni kama filamu,,,,,,,big up KINGS MUSIC,,,,tunafurahia huku Kenya,,,,

  • @rutherick255
    @rutherick255 Год назад +2

    Dah kwel song kali... Video ndio mmeua kabisa big up kwenu😍😍😍

  • @AccountantAnnet-254by
    @AccountantAnnet-254by 9 дней назад +2

    Any kenyan lets gather❤ i love the message 🎶🎶

  • @stellamuthoni3452
    @stellamuthoni3452 Год назад +19

    Kenya hatupumui na mgoma hii motoo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yangasupport
    @yangasupport Год назад +37

    Like hapa watu wangu tunaependa nyimbo nzuri💛💚

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 Год назад +2

    Good 💓 Tommy Flavour 💞💞💞💞💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Matonye
    @Matonye Год назад +5

    Raising star with modern style ✨️

  • @Mollel69
    @Mollel69 Год назад +11

    Let's goooo really hustlers ✌️✌️

  • @alexgwaro6679
    @alexgwaro6679 Год назад +15

    Wakali wawili wakikutana kwa mbonge ya Ngoma inakuwa hatari sana...🔥nimeikubali🙏

  • @debbiegabriels3711
    @debbiegabriels3711 Год назад +2

    Naipenda hii nyimbo💕😊💕💕

  • @martinwaweru7982
    @martinwaweru7982 Год назад +3

    Is a big tune much love from Kenya 254 #Gistoff

  • @benardchacha_official
    @benardchacha_official Год назад +14

    Naikubali ngoma hii kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 Год назад +22

    Kings music mnatupa rahaa sie tunapenda hit song kama hizi ,kila kona Nakuja hatar sana🔥🔥💪

  • @onesmuskipeen2922
    @onesmuskipeen2922 Год назад +1

    Wimbo zote za Mario ni 🔥🔥🔥🔥🔥Mr shiiiiiii hiyo vibe noma

  • @ngubimbangusi3665
    @ngubimbangusi3665 Год назад +3

    King's music mambo matamu kila mdaa

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 Год назад +12

    Wow 🤩 tokea nizaliwe miaka 80 ilopita hii ndo movie yangu bora Mwinjaku ft video ni balaa 🔥🔥

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 Год назад +17

    Bonge la creativity Good Job mwijaku ametisha sana big up to bongo fleva Tommy good work Broo Mario keep shinning like star this is hit 🔥🔥🔥🔥Unyama humu ndani ni mwingi sana this is kind of video we need from bongo fleva kama movie kama drama iyo ndio maana alisia ya video sasa hiii ngoma nimeilewa sana 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @fabriceabega1727
    @fabriceabega1727 Год назад +1

    Good song Nakuja 🇧🇮🇰🇪🇷🇼🇹🇿🇺🇬

  • @kidistashenafi9342
    @kidistashenafi9342 Год назад +5

    I don't understand this music but love with this song ❤❤❤From Ethiopia 🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹

  • @eugendawilson1644
    @eugendawilson1644 Год назад +14

    Kubwa sana hii kwa mwendo huu tutaelewana taratibu 🔥🔥🔥

  • @jackgeorge1309
    @jackgeorge1309 Год назад +13

    Umemeeeee 💥💥💥💥

  • @killion9406
    @killion9406 Год назад +40

    Marioo will soon topple Diamond in East Africa. What a talent!!! 🔥🔥🔥🔥

  • @alideassomanecassimo6511
    @alideassomanecassimo6511 Год назад +2

    1M 🔥 Sio kazi dogo kama una kubari Tommy gonga Like 👍🏻 #Nakuja

  • @yeyemkulu8743
    @yeyemkulu8743 Год назад +5

    Motomoto kabisa, hi ni ubunifu wa hali ya juu napenda sana.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️

  • @baysadam235
    @baysadam235 Год назад +6

    Umeuwa sanaaa Mwanetu Tommy inshallah Mungu akujaze kheri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @jackayiemba6979
    @jackayiemba6979 Год назад +2

    Hii tumeikubali hata nikaanza kukuja mwenyewe. Ubunifu wa kimataifa

  • @DeejayClef
    @DeejayClef Год назад +3

    Beib nakuja (baby am coming) 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gedimlulo2520
    @gedimlulo2520 Год назад +23

    😁🙌🙌🙌🙌
    Tambala la kinyamwezi hatari...video fupi lkn imesheheni tafsiri ndefu sana ya maisha halisi ya hAPA duniani.....*kings for life*.

  • @stephanomwangoka2448
    @stephanomwangoka2448 Год назад +2

    Uhodari utafanya nilie wakini,,,,,,,,,,, 💞❤️❤️❤️❤️

  • @patriciabarasa741
    @patriciabarasa741 Год назад +9

    Wherever King Kiba is associated the song becomes a banger🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥@marioo @Tommy flavour this is excellent 🥰🥰🥰🥰

  • @quiet-b200
    @quiet-b200 Год назад +5

    Aisee nimependa mwijaku noma sana

  • @amyk3433
    @amyk3433 Год назад +9

    Guys on a serious note,, mpo na Talent🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nakuja is so far our family anthem from the day I played it at home💪💪👍👍👍😍😍 much love from Uganda 🇺🇬,,,

  • @patrickkedemi5328
    @patrickkedemi5328 Год назад +2

    Hii song ni mambo bad manze! 🇰🇪

  • @officialnyikarappa6160
    @officialnyikarappa6160 Год назад +6

    wamia 100 jmn tommy nakuja ft marioo nakuja❤❤

  • @flamesnomaki5743
    @flamesnomaki5743 Год назад +2

    brother mariooo unatisha sana ila wabongo tuu hawataki kukupaisha wanapenda kuishi maisha kwa kukariri

  • @edwinvita5383
    @edwinvita5383 Год назад +40

    Marioo hapoi🔥🔥 wapi likes za kutoka +254🇰🇪

  • @checheblessum8343
    @checheblessum8343 Год назад +24

    Tommy flavour waga nimkali sanaa,,, time yake itafika 2 mtaelewa ninacho kisema 2040 I was here to witness this and testify that this song was a hit by force 😎

  • @collinswambani8972
    @collinswambani8972 Год назад +12

    The next king 👑 tumpenguvu kijanawetu _its_collins.flavour😍😍😍

  • @omaribangu8331
    @omaribangu8331 Год назад +4

    Fresh kaka Tommy Flavour 💞💞

  • @moseschoore7587
    @moseschoore7587 Год назад +5

    Kings music is home, school and college for good music

  • @Princedavida
    @Princedavida Год назад +7

    This is a Banger. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌

  • @joselyneirankunda5212
    @joselyneirankunda5212 Год назад +6

    Love from Burundi 🇧🇮 all the way in Fizzo Fans Family and BantuBwoy Entertainment

  • @amanyacarlton8474
    @amanyacarlton8474 Год назад +12

    love this song from Uganda 🇺🇬🇺🇬

  • @iddke.2779
    @iddke.2779 Год назад +1

    Hits kama hits vitu kamili na nusu
    I love you guys Kings Music Record 🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪

  • @lanafelix8649
    @lanafelix8649 Год назад +45

    Nikamate nikamate
    Nikamatie nikamatie usinibwage
    Baby let me be romantic
    Hatujali we dont maind
    Navuta picha ulivyo teacher Tommy Flavour Kings music 🤴

    • @pizzaz4333
      @pizzaz4333 Год назад +1

      Verses za Young King ni 🔥🔥🔥

    • @alexalen6799
      @alexalen6799 Год назад +1

      Huyu jamaa hatari sana

  • @Rema_znz
    @Rema_znz Год назад +40

    Jamani hii nyimbo huku kwetu Zanzibar Kila kona nakuja sio zuwena Wala yatapita thanks you 💯🔥 Tommy Flavour÷Marioo

    • @yazidkarasu2497
      @yazidkarasu2497 Год назад

      acha uongo eti zenji kila Kona harafu umejiona ulivyo mjinga eti siyo zuwena Wala yatapita

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 Год назад +1

      @@yazidkarasu2497 sasa unambishia unaishi zenji wewe!!

    • @dulahshabani8159
      @dulahshabani8159 Год назад

      Huu ndio unazi

    • @yazidkarasu2497
      @yazidkarasu2497 Год назад

      @@bonnymakuke3153 we nae huna akili kwa hiyo katembea zenji yote ndo hiyo nyimbo kila Kona tuseme kila sehemu wanairudia tu hiyo nyimbo asbh mpk usk hakuna nyimbo za wasanii wengine harafu ukitaka kujua Hilo lipo kitimu why aseme sio zuwena Wala yatapita zenji nzima wanasikiliza nyimbo moja tu

    • @yazidkarasu2497
      @yazidkarasu2497 Год назад

      @@dulahshabani8159 kwa hiyo kwa akili yako hivi unaamini zenji nzima hakuna nyimbo za wasanii wengine

  • @lulumuganga8649
    @lulumuganga8649 6 месяцев назад +2

    Tommy this 2023 ur the best male artists bongo fleva...

  • @renatamwanji4720
    @renatamwanji4720 Год назад +2

    Mario you never dissapoint,welcome cucom again,we love you

  • @princehalawa_official7980
    @princehalawa_official7980 Год назад +39

    Kizuri kipewe haki yake hongereni sana kwa Team nzima iliyofanikisha video hii ❤

  • @jackmukundwa7856
    @jackmukundwa7856 Год назад +5

    Mnyamaaaaaaa eti mwijaku brother nina helaaaaa wee big up sana ma brothers nawakubali sana #Tommy na Mariooooo# 🥰

  • @yuzoboy1793
    @yuzoboy1793 Год назад +4

    Ngoma kali sana unyamamwingi

  • @marcelomatamura8358
    @marcelomatamura8358 Год назад +2

    Wow!!!
    I Like this song it's amazing, The video speak more about it.
    It's what We call creativity!!!
    Go forward Tommy!