Marioo - Unanchekesha (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 2,7 тыс.

  • @MariooOfficialMusic
    @MariooOfficialMusic  Месяц назад +411

    THANKS FOR YOUR LOVE 💙
    Nambie Dakika ya ngapi Imekuvutia Zaidi..!!?

  • @Nestor.V8.SR1
    @Nestor.V8.SR1 Месяц назад +150

    Sijawai Pata likes hapa kutoka Burundi 🇧🇮 tujuane respect mario🎉❤

    • @salamandasaidmnalipa
      @salamandasaidmnalipa Месяц назад +3

      Amin wanangu ❤❤❤❤😂

    • @Nestor.V8.SR1
      @Nestor.V8.SR1 Месяц назад +2

      @salamandasaidmnalipa sana bro

    • @Zechapro96
      @Zechapro96 Месяц назад +1

      www.youtube.com/@Zechapro96

    • @AmidaRichard
      @AmidaRichard 25 дней назад

      KAKA KUMBE UPO RAFIKI YANGU I CAN HELP YOU I LOVE YOU ME ZUU ❤❤❤❤❤❤

    • @SHADRACKFRIEDRICH
      @SHADRACKFRIEDRICH 22 дня назад

      @@salamandasaidmnalipa

  • @Ombwori_11
    @Ombwori_11 Месяц назад +79

    0:53 Kenya 🇰🇪🇰🇪 Sean MMG🙌🏾🙌🏾🔥💪🏾💪🏾

  • @mizoboytz
    @mizoboytz Месяц назад +31

    MUNGU AKAWALINDE NA KUWATUNZA WOTE MLIOTIZAMA VIDEO HII gonga like yako kwa ISHALAAH ya amen.

  • @raphaelbundi2315
    @raphaelbundi2315 Месяц назад +35

    Kama nawe Mario kakuchekesha na kukushangaza kwa hii hit gonna like❤❤

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 Месяц назад +43

    Marioo wew ndo King kwasasa watake wasitaki unaburuza sna mwamba

    • @Nabaro
      @Nabaro Месяц назад +2

      Naomba sapoti yako

    • @Zechapro96
      @Zechapro96 Месяц назад +1

      ​@@Nabaro www.youtube.com/@Zechapro96

    • @Zechapro96
      @Zechapro96 Месяц назад +1

      ​@@Nabarowewe nimesha kufanyia

  • @luvingakahise5728
    @luvingakahise5728 Месяц назад +20

    Am not gonna lie. This is one of the best videos have never seen. Just wow. What a video Marioo. Keep it up brother.
    🎉

  • @MajimbiTz
    @MajimbiTz Месяц назад +99

    WA MWISHO LEO JAMAN🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    ILA UNAESOMA HII COMMENT MUNGU AKUZIDISHIE RIZIKI ZAKO NA AKUPE MAISHA MAREFU AMEEN🙏🙏🙏🙏

    • @Nabaro
      @Nabaro Месяц назад +2

      Naomba sapoti yako

    • @MajimbiTz
      @MajimbiTz Месяц назад +2

      @@Nabaro ya nini

    • @Nabaro
      @Nabaro Месяц назад +3

      @MajimbiTz unisapoti muziki wangu

    • @MajimbiTz
      @MajimbiTz Месяц назад +1

      @@Nabaro sawa

    • @josephmakonga3201
      @josephmakonga3201 Месяц назад +1

      Amen

  • @DaudiMbatia-k3e
    @DaudiMbatia-k3e Месяц назад +29

    Another hit from bad mwaga makopa ma bad woteeeee

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah 28 дней назад +1

    Marioo kwenye nyimbo za kuchezeka yupo vizuri yaaan mimi alivotoa ile Mama Amina nikajua atakuja kusukbua na kweli kwa sasa ndio mkali wa nyimbo za klabu

  • @mrithitv4423
    @mrithitv4423 Месяц назад +393

    Nimesubiri sana like kuliko video bssi nipeni 😂😂

  • @godlistenloy981
    @godlistenloy981 Месяц назад +13

    Oy hii noma,,, inabidi MONDI ajipange sana maana KIBA kakubali 🔥

  • @Jk_rules_
    @Jk_rules_ Месяц назад +17

    Hatari sana TOTOBAD,,,TheGodson Album ije sasa🔥🔥🔥🔥

    • @MariooOfficialMusic
      @MariooOfficialMusic  Месяц назад +2

      VERY SOON MTAPATA CHAKULA KIZURI

    • @BraackmaneTz
      @BraackmaneTz 26 дней назад +1

      Kazi zuli sana 🎉🎉

    • @Jk_rules_
      @Jk_rules_ 26 дней назад +1

      @@MariooOfficialMusic Album Kaliiiiii Totobad🔥🔥🔥Sober yanigusa sana.

  • @ArafatKimathi
    @ArafatKimathi Месяц назад +14

    Kama sio Sean mmg kutokea kwa ngoma aingeenda Mahali Sean the Goat 🇰🇪🇰🇪

    • @Zechapro96
      @Zechapro96 Месяц назад +1

      Nakuomba sapiti
      www.youtube.com/@Zechapro96

    • @LidyaJoctan
      @LidyaJoctan Месяц назад +1

      acha usenge ww Sasa uyo Sean mmg tumemjua kupitia marioo Ngoma za toto bad znatoboa 🎉🎉🎉

    • @RasheedKing-bn1xn
      @RasheedKing-bn1xn 8 дней назад

      😂 unanichekesha we fala...

  • @florenceflorinhojr1701
    @florenceflorinhojr1701 Месяц назад +11

    Baaaadddddd 💥💥💥🙌🏽🙌🏽👏🏼✊🏽✊🏽💪🏼🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️😊

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 Месяц назад +11

    Unanichekesha by marioo bad nation ni balaa kinoma 🔥🔥🔥❤🙌

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ Месяц назад +32

    Kama una mkubali Badi na nishabiki wake wa damu damu najua huwezi pita bila ku like naomba like zangu hapa ❤

    • @Nabaro
      @Nabaro Месяц назад

      Naomba sapoti yako

    • @humbleshoal
      @humbleshoal Месяц назад

      Wanatoaje hzo like ili nikupe?

  • @MosesGodrick-si3qn
    @MosesGodrick-si3qn Месяц назад +13

    7 min to go we can't wait from USA

  • @willynkya
    @willynkya Месяц назад +9

    JOMA the director of this video KILLED IT!!!!!GOOD JOB

  • @messatz255
    @messatz255 Месяц назад +7

    KING OF THAT GENERATION ,THATS BULD ME TO COME TO TAKE MY GENERATION OF MIRACLE GENERATION ❤🎉

  • @Breezynolly
    @Breezynolly Месяц назад +13

    NO 1 ON TRENDING FOR MUSIC VIDEOS ❤

  • @kaymarto3354
    @kaymarto3354 Месяц назад +3

    The only Ugandan who loves Marioo's music...super stuff

  • @JamesKalenga-r3b
    @JamesKalenga-r3b Месяц назад +99

    Who else saw Sean mmg🔥🔥😁 0:54

  • @juliuschitune2060
    @juliuschitune2060 Месяц назад +4

    Mnatoa hit song nzuriii mnakuja kutoa manyimbooo ya chekechea ayaaaaa

  • @Gave8888
    @Gave8888 Месяц назад +5

    Respect the work marioo has done budget imewekwa

  • @MrUhakikaTz
    @MrUhakikaTz Месяц назад +23

    Mr Bad hujawah niangusha kaka jmn like zang wapi Leo ❤😅 🇹🇿

  • @WizzyTz-ev3mm
    @WizzyTz-ev3mm Месяц назад +71

    Kama umekubali hii video kama Mimi gonga like apa

    • @Nabaro
      @Nabaro Месяц назад

      Naomba sapoti yako

    • @strongdady350
      @strongdady350 25 дней назад +1

      Asantenamiminipopamojanawewe❤

  • @Jonathanabedinego
    @Jonathanabedinego Месяц назад +6

    Mimi na subiri ALBUM tu Ila uu wimbo sijui kubali Na Mario una UIMBAJI WAKO MZURI UIMBAJI Tena mzuri zaidi

  • @barakablackwell5846
    @barakablackwell5846 Месяц назад +6

    kila time narudi kucheki kama imefika number 1 on trending 🔥🔥🔥🔥

  • @picaxo194
    @picaxo194 Месяц назад +12

    Huu unyama kaufanya joma humu ni konyoooooooo 🙌🙌🙌🙌

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu Месяц назад +14

    pole kariakooo 😢😢 daima tuta wakumbuka

  • @alibee2543
    @alibee2543 Месяц назад +10

    Wakenya Tunaomkubali Marioo Wekeni Likes 100 za Fasta🇰🇪💯✅

    • @Nabaro
      @Nabaro Месяц назад

      Naomba sapoti

    • @Nabaro
      @Nabaro Месяц назад

      Naomba sapoti yako

    • @FatmaRashid-p3i
      @FatmaRashid-p3i Месяц назад

      Sana tena namkubali marioo❤❤

  • @alhoodtech634
    @alhoodtech634 Месяц назад +15

    JOMA gone hard on this one

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 Месяц назад +1

    From the best , lyrics nd video damn is banger 🔥🔥🇹🇿

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp Месяц назад +11

    Nakubali mwamba sana nice music unyama ni mwingi sana🎉🎉🎉🎉

  • @paulmutailuka2417
    @paulmutailuka2417 Месяц назад +33

    Omary hili chupa umeuaaaa like za wakenya wenzangu 💯❤️ 🇰🇪

    • @Tome254
      @Tome254 3 дня назад

      Sean mmg in the building

  • @blaqsunny8604
    @blaqsunny8604 Месяц назад +5

    Video kikali wanangu wa bad nation tufikishe views 1m kila baada ya siku moja🤝

  • @AnordMbelwa
    @AnordMbelwa Месяц назад +37

    Jaman tunao mkubali marioo niome like zenu

  • @MesharkOchari-l2i
    @MesharkOchari-l2i Месяц назад +1

    Aminia mwnangu,good work!!keep it up

  • @chachabatekila7556
    @chachabatekila7556 Месяц назад +3

    Depuis la 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tu es ma préférée zuchu ❤ malgré je connais pas la langue je vous aimes fort ♥️❤️🇨🇩😊

    • @Zechapro96
      @Zechapro96 Месяц назад +1

      Nakuomba sapiti
      www.youtube.com/@Zechapro96

  • @RadaboyVampire
    @RadaboyVampire Месяц назад +5

    Bad star unanchekesha unamomba mungu nani anatumia waganga

  • @SonJozeey
    @SonJozeey Месяц назад +14

    KENYAN LIKE THERE

  • @djcutright5730
    @djcutright5730 Месяц назад +7

    The director for me
    🎥🔥🔥🔥

  • @majystar-en9il
    @majystar-en9il Месяц назад +2

    Hay my brother big p sana badtion nakubal sana kaka one day yes na mimi nitakuwa kama kako omary A.k mariooo toto bad meneger wa badtion 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JunoLay-Tz
    @JunoLay-Tz Месяц назад +16

    TUNAO MKUBALI MARIOO NA MUZIKI WAKE DONDOSHA LIKE❤❤ HAPA NIWAONE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @JunoLay-Tz
      @JunoLay-Tz Месяц назад +2

      Binafsi Namkubari tangu aingie kwenye game❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @chechecomedy
      @chechecomedy Месяц назад +2

      Hakika marioo Ninoma apewe maua yake❤❤❤❤

    • @junokizzyoficial
      @junokizzyoficial Месяц назад +2

      🎉🎉🎉🎉🎉noma sana ❤❤❤

    • @junokizzyoficial
      @junokizzyoficial Месяц назад +1

      ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @chechecomedy
      @chechecomedy Месяц назад +1

      Bad nation 4forlife❤

  • @FaustinLubunge-hl9jr
    @FaustinLubunge-hl9jr Месяц назад +7

    Jamani ilo beat la mwanzo kwanza tu! Balaaa

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi Месяц назад +18

    Nakubalisana 🎉🎉🎉😂😂 from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @Zechapro96
      @Zechapro96 Месяц назад +1

      Nakuomba sapiti
      www.youtube.com/@Zechapro96

    • @Zechapro96
      @Zechapro96 Месяц назад +1

      Nakuomba sapiti
      www.youtube.com/@Zechapro96

  • @Vul_lucci
    @Vul_lucci Месяц назад +7

    Aloooohh Tenaaaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @HezronMaina-n6t
    @HezronMaina-n6t Месяц назад +1

    Top notch vediography...hiyo ndiyo creativity 🎉

  • @DONFILMS9375
    @DONFILMS9375 Месяц назад +9

    DIRECTOR KENNY ONGEZA UBUNIFU LASIVO HUYU JOMA UTAKUTUPA NAKWAMBIA

  • @Taryngolle-ij2tb
    @Taryngolle-ij2tb Месяц назад +14

    Watanzania tujuane tulike hapa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Doreen-s7k
    @Doreen-s7k Месяц назад +5

    Nan kama badie❤❤❤

  • @salomegeorge7027
    @salomegeorge7027 28 дней назад +2

    Big up.to Mario..kama umerudia rudia mara mia twende nalo😊😊😊😊

  • @FrankKasyupa
    @FrankKasyupa Месяц назад +2

    Video ya mwaka hiapa sasaa🙌🙌🙌 umeua sana bro

  • @JuxJux-ef4ho
    @JuxJux-ef4ho 22 дня назад +3

    Jamani macho yngu ama namuona sean mmg 🎉🎉🎉😂😂😂😂nipeno like safazalii ...wapi Kenyan

  • @khuliz
    @khuliz Месяц назад +4

    Song Kali video Kali u deserve a Grammy 🔥🔥🔥

  • @RamadhaniNorbet
    @RamadhaniNorbet Месяц назад +55

    toka nianze kufwatilia mziki hii video hata diamond hajawahi kutoa kabisa ani,, oya umeua

    • @philipotieno9996
      @philipotieno9996 Месяц назад +2

      Achaa wewe haujui 😅😅

    • @official_de_wa_jongo.4440
      @official_de_wa_jongo.4440 Месяц назад +1

      Alafu ndani ya Dar pande mbili posta na bigbrother namaanisha shekilango kiwanda cha kanga

    • @DouglasMassop
      @DouglasMassop Месяц назад +3

      Diamond ndo kipimo cha kujipimia uzito wa music kwa kila msanii lazma umtaje . Ndomana atazidi kua namba moja 😂😂😂

    • @misanamohamedi8438
      @misanamohamedi8438 Месяц назад

      unasema nini?simba uyu uyu ama mwingine

    • @mdasaboi
      @mdasaboi Месяц назад

      ...kaangalie #hallelujah na Morgan heritage

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t Месяц назад +5

    Mim wala sina shida kaka Nasubil tu muda ufike Me nipo Oman ikifka saa 9 mchan uku uko bongo itakua saa8 mchan sasa cjui inakuaje apo ila nasubil mdaa tu Nakukubal sana kaka Omary 🎉

  • @FloraMbwette
    @FloraMbwette Месяц назад +1

    Nmejikuta vibe limerudi upyaaaaa kwa hii ngoma 🔥🔥

  • @janeymhando
    @janeymhando Месяц назад +1

    Director wa hili dude apewe maua yake jmn❤❤🎉🎉

  • @LevinaTemu
    @LevinaTemu Месяц назад +3

    Hatari hio nyimbo Mario apewe maua yake

  • @Themoneychaser
    @Themoneychaser Месяц назад +5

    Thanks king for the package kazi safi mno

  • @AusmanikambaleJks
    @AusmanikambaleJks Месяц назад +5

    Master of bongo respect 🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩

  • @NbCharles-c6u
    @NbCharles-c6u Месяц назад

    Thanks bro bad nation iyi kali❤🎉

  • @SabinaCharles-m4s
    @SabinaCharles-m4s 28 дней назад +2

    Nymbo hadi lahaaaaa

  • @VenasAbdallah
    @VenasAbdallah Месяц назад +9

    Wa Kwanza hapa kutoka Burundi BUJUMBURA likes zangu jamani mwenzenu hapa Leo Siku yangu yaku zaliwa likes zangu jamani alooooooooh badman badnation 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇮🇸🇮🇸🇮🇸🇮🇸🇦🇺🇦🇺🇦🇺🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇵🇾🇵🇾🇵🇾🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇯🇵🇯🇵🌍🌍🌍

  • @JosefjemsiNgosha-lw5nf
    @JosefjemsiNgosha-lw5nf Месяц назад +5

    Kikubwa hujawahi kutoa koma mbovu👊👊👊🇰🇪

  • @MaurineSemu
    @MaurineSemu Месяц назад +6

    Nyieeeee nan kaangalia mar 10 hii video😂😂😂🎉🎉🎉

  • @KashBoy-zo4du
    @KashBoy-zo4du Месяц назад +1

    Kichupa kikalii sana my brother marioo 🎉🎉🎉

  • @richmond-BLN
    @richmond-BLN Месяц назад +2

    Good song i like it🔥🔥 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @El_vinc1
    @El_vinc1 Месяц назад +4

    Inakubalika🎉🎉

  • @Play-KenyanMusic
    @Play-KenyanMusic Месяц назад +8

    Likes za WAKENYA❤❤🇰🇪

  • @alikibaOfficial
    @alikibaOfficial Месяц назад +10

    KALI BAD

    • @dandydeprince
      @dandydeprince Месяц назад

      King kama king

    • @JunoLay-Tz
      @JunoLay-Tz Месяц назад +2

      King 👑 Kama king 👑❤❤❤

    • @chechecomedy
      @chechecomedy Месяц назад +1

      ​@@JunoLay-Tz❤❤

    • @dailyuplift-on
      @dailyuplift-on Месяц назад

      Kibaa piga miziki na marioo 🔥 nyimbo zenu za abbah ni nzuri zote tumezimisi

    • @JunoLay-Tz
      @JunoLay-Tz Месяц назад +1

      @@alikibaOfficial nimependa ulicho kifanya kariakoo

  • @EmeryHakizimana-dl4oq
    @EmeryHakizimana-dl4oq 24 дня назад

    Good job tunaomba video ya njozi ukiwa na Element,tunaomba Tena video ya happiness ukishilikishwa na Kenny sol🙏

  • @PrinceRhuhuneZihindula
    @PrinceRhuhuneZihindula 27 дней назад

    Brother napenda sana Kazi zako 🎉❤❤❤❤

  • @Black-sound24
    @Black-sound24 Месяц назад +3

    Kichupa kina movement kalii 🎉🎉❤❤

  • @visualcreativestudios
    @visualcreativestudios Месяц назад +4

    oya jamaa huyu director k*** hatari sana 100% cfull creativity

  • @DJ_Trez
    @DJ_Trez Месяц назад +3

    Marioo ni balaa kinoma aisee💥💥

  • @florianmaguru8172
    @florianmaguru8172 9 часов назад

    Nikileta wakanguuuu msimcheekeee🎉🎉🎉

  • @james.mwaniki
    @james.mwaniki Месяц назад +1

    Every scene is wild.. Mad visuals by JOMA🔥💯

  • @ianngota
    @ianngota Месяц назад +13

    s2kizzy ni wembe!!!!!

  • @DavidBeCome
    @DavidBeCome Месяц назад +5

    Watu wa Burundi 🇧🇮🇧🇮 wako apa gonga like 🎉🎉😂😂😂

  • @BloodCity-v9z
    @BloodCity-v9z Месяц назад +2

    Issa mjanjaa hapa

  • @kayblack2025
    @kayblack2025 Месяц назад +1

    KAY BLACK Tz ✊🇨🇩
    Marioo wewe Noma my brother 🔥🔥🔥

  • @SalumSimai-p5y
    @SalumSimai-p5y Месяц назад

    Umetishaaa broo💥

  • @hosamskallyskally9880
    @hosamskallyskally9880 Месяц назад +4

    Im wait 🎉

  • @VishKhan-u8e
    @VishKhan-u8e Месяц назад +3

    ❤❤❤ nmependa

  • @CLAM_VEVO255
    @CLAM_VEVO255 Месяц назад +5

    Weka like 👍😋

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire Месяц назад +2

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @kijanayaaput8940
    @kijanayaaput8940 Месяц назад +1

    So good, this sound❤🙌🔥💪

  • @CleophaceDarstan-ur5jo
    @CleophaceDarstan-ur5jo Месяц назад +3

    Ni moto tuuuu kaliii

  • @Wabasheleabedi
    @Wabasheleabedi Месяц назад +5

    Me wabashele ❣️

  • @KeflineYohana
    @KeflineYohana Месяц назад +3

    Nzuri sanaaa

  • @abdallaameir3153
    @abdallaameir3153 Месяц назад

    Wakenya hawaelewi kiswahili ila nyimbo za bongo fleva wanazielewa na kuziimba fresh tu

  • @albinerodesperado7856
    @albinerodesperado7856 Месяц назад +8

    DAAAAAH VIDEO BAYAAA SANNAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @juliuschitune2060
    @juliuschitune2060 Месяц назад +6

    Li nyimbooo ganiii hiliiiii ufalaaaa mtuuuu wasaniii wa bongoo bnaaaaa wasenge wasengeee tuu

  • @Godfreykaimenyi
    @Godfreykaimenyi Месяц назад +4

    Uyo n nani ana number akue mzungu🤤🤤someone to continue the lyrics

    • @Gloriarespiki
      @Gloriarespiki Месяц назад

      Cio hivyo ni oya nani ana namba ya koii mzungu😂😂😂😂

  • @B_salomon
    @B_salomon Месяц назад +1

    My brother Marioo this song is really good 👍✌️

  • @EliahNgei
    @EliahNgei Месяц назад +1

    Nimeona msanii wetu sean mmg bna😮❤❤

  • @IconiqW
    @IconiqW Месяц назад +5

    Kama umeona Sean MMG Gonga like ❤❤