Alikiba feat Marioo - Sumu (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Music Video by Alikiba featuring Marioo performing "Sumu" a swahili word meaning poison, it’s a vibe song with a message, talking about how awful and sinful to have relationships with people who are married but also a message to people who don’t fulfill there duties in paying debts hence advice to stay away from married people !! It’s an (Amapiano) song that has a pure Bongo fleva touch. enjoy this beautiful tune, The music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Kenny.
    Get it now Sumu:smartklix.com/...
    Stream/Download:linktr.ee/Alikiba
    Listen to Alikiba on Digital Streaming:
    Audiomack: audiomack.com/...
    Apple Music: / alikiba
    Boomplay: www.boomplay.c...
    RUclips: / alikibaofficial
    Spotify: open.spotify.c...
    Connect with Alikiba on Social Media:
    Instagram: / officialalikiba
    Facebook: / officialalikiba
    Twitter: / officialalikiba
    Snapchat: / officialalikiba
    TikTok: / officialalikiba
    Connect with Marioo on Social Media:
    Instagram: / marioo_tz
    Facebook: / thisismarioo
    Twitter: / kingbad_
    +For More Information Booking Alikiba:
    Contact:emailalikiba@gmail.com
    ©2023 Kings Music Records.All Rights Reserved.
    #Alikiba #Marioo #Sumu

Комментарии • 14 тыс.

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv Год назад +767

    Ohoo, Huu ni moto uliokosa mzimaji Ahsante King Kiba na Toto Bad Marioo, Hakika wimbo Mkali na Video ya kwenda mbeleeee, Ebu naomba likes za kutosha tuwape Nguvu hawa Watu💥💥💥💥💥👍👍👍👉📸🙏

  • @godwinhuka7223
    @godwinhuka7223 Год назад +146

    Kaka mziki wako ni wa pekee, sijawahi kusikia unaimba matusi wala nyimbo za ovyo. You are a true artist, nakupa Maua yako

    • @Onlinet_tv
      @Onlinet_tv Год назад +1

      Sisisjsh

    • @issaathumani7610
      @issaathumani7610 Год назад +1

      Tumkabidhi maua yake Mwamba huwa hahitaji kiki nyingi.Jiwe moja tu....pita kule...

    • @MerinaMakuka
      @MerinaMakuka Год назад

      Mwamba

    • @oscarkhadil195
      @oscarkhadil195 Месяц назад

      Noma sana uwezi bokaa only Kenyans will understand 😅

  • @HabshyKombo
    @HabshyKombo Год назад +12

    Au sio One Day yes 2takutannaa 2 king baba lao hawatoshiy

  • @graystevens939
    @graystevens939 Год назад +9

    Dah!nyimbo kali aisee🎉🎉🎉wachanikachukue tarumbeta yani nimedata. Nanywa chai na straw vile wimbo huu unanidatisha sielewi hii kama chai ama kinywaji😂😂 wacha nikawaonyeshe majirani pia nawao wafurahie. Shukrani zangu kwa wasanii hawa wa bongo!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hassanabdul7011
    @hassanabdul7011 Год назад +62

    Kwangu hii ngoma ni on trending No:1 hakuna nyingine...
    Nipeni like zangu jamani twende sawa.

  • @J_Gembo1
    @J_Gembo1 Год назад +120

    Hutumii nguvu nyingi sana kuelewa huu wimbo afu hauchoshi kusikilza amna tusi na umeeleweka unaweza sikilza umekaa na wazazi King 🤴 Kiba kama umeweka Repeat mode gonga like hapa.

  • @joctanmazengo7505
    @joctanmazengo7505 Год назад +31

    Alikiba ndiyo msanii namba moja Tanzania na Africa mashariki na kati.hii ngoma imeenda ni vibe na Tamu na ni konshaz kweli kweli.kauwa

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa Год назад +4

    Oza makasi yaya king

  • @Chida
    @Chida Год назад +189

    Nina furaha kiwatangazia ya kwamba wimbo wetu "SUMU" umepatanisha wanandoa waliokaa mwaka mzima na mzozo. #KingKiba #Marioo 🔥 🔥 🔥

  • @Rickdoss
    @Rickdoss Год назад +49

    Mimi kama mkenya , napenda huu nyimbo sana, nimepiga dance na kufurahia sana. Asante Alikiba

  • @davidbabu1
    @davidbabu1 Год назад +36

    Wametumia sabuni hapa maanake hi kazi ni SAFI sana.Asante kiba n Mario.Stars for generations 🇰🇪 🇺🇸

  • @MsKihiu
    @MsKihiu Год назад +10

    king KIBA...always good music ..and Marioo...big up..wale walisema hutoboi..leo wako wapi

  • @AbuuMassawe-ku5pw
    @AbuuMassawe-ku5pw Год назад +57

    Mimi ni mtumishi nakupa baraka zangu marioo na ally huu wimbo utawatoa vijana wafanyao uzizi na wake za watu ,god my blessings

  • @EmmanuelKitogo
    @EmmanuelKitogo Год назад +14

    Alikiba safi unaweza kuimba kila aina ya wimbo ❤ sasa dogo kamaliza kabisa daahaaaaaaaaaaaaaa hatari❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Chida
    @Chida Год назад +41

    Ndugu yangu kaowa leo uku kwa mahali ya wimbo wetu #SUMU na wazazi wameridhia❤❤❤

  • @fahdahmed1382
    @fahdahmed1382 Год назад +10

    Kaka kiba hauzeeki kisura kimwili wala sauti. Mungu aendelee kukulinda. Collabo with mario is on fire. I lets all give a knee to the crowned East African King Kibaaaaaa.

  • @khatibumasudi
    @khatibumasudi Год назад +11

    from Mombasa u kill it brother am proud of you nyimbo ni elimu kuelimishiana nyimbo ni mapenz nyimbo ni ndugu.

  • @hbasifiwehb3244
    @hbasifiwehb3244 Год назад +35

    Hii Ngoma iko Moto Sana...
    Najua nimechelewa nipeni like ..💥💥

  • @alfylegit9573
    @alfylegit9573 Год назад +92

    Wanaopenda Mziki Safi Wanapenda King Kiba. Much Love From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @abdulhamid9593
      @abdulhamid9593 Год назад

      🔥🔥

    • @kassimdrake9527
      @kassimdrake9527 Год назад

      Hakun mkenya chiz akawa kwa huyu mzee wakeny sisi wote ni🦁😂😂

    • @alfylegit9573
      @alfylegit9573 Год назад

      @@kassimdrake9527 ndio Maana nimesema Wanaopenda Mziki Safi. Sio kelele 😂😂😂😂🖐️

  • @acklandkitaa566
    @acklandkitaa566 Год назад +3

    Sio poa dah king kiba....marioo kati duuuuuuu wapite kule waliosema hutoboi

  • @muitocalmoso5323
    @muitocalmoso5323 Год назад +48

    Tunao rudia hii ngoma hadi leo tujuane hapaaaaa ☝️

  • @Yushimelody
    @Yushimelody Год назад +16

    Number two on trending tukaze tufike namba one watu wangu wa kings music..sumu...

  • @thomaskombe2430
    @thomaskombe2430 Год назад +46

    Tim Kiba wenzangu Leo tumepoa Sana... Let's push this masterpiece to the top

  • @JoyceBakari-z9k
    @JoyceBakari-z9k Год назад +12

    Saf sana kiba,nyimbo zako,zinaujumbe nzuri pia unajheshim

  • @Gbthy_self7970
    @Gbthy_self7970 Год назад +19

    Niwewe king wa kweli Ali kiba na bongo yenyewe, nakubali kutoka 🇷🇼

  • @baysadam235
    @baysadam235 Год назад +16

    Chuma ni cha nguvu snaaa Unyama kama wote King kiba Ameamua Mwaka huuu vyuma ni vingi🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿

  • @Chida
    @Chida Год назад +18

    Mtu anaejitambua anajua mziki mzuri na makelele. #SUMU ni mziki na nusu. #KingKiba ft #Marioo

  • @michaelmutua3607
    @michaelmutua3607 Год назад +15

    3:53 🎶Mi nachojua Pesa karatasi🎶 👌🏽🙌🏽 Classic Tune...Wise Words 👌🏽

  • @meddy__gold
    @meddy__gold Год назад +24

    Tuna anza kuuwa mmoja mmoja na sumu trend namba moja tunakaa apo 🙌🏻🔥🔥🔥

  • @PGcreative287
    @PGcreative287 Год назад +1547

    How Alikiba has remained relevant over these years is a mystery, Truly he is a King.
    1000 likes to the King gather here.

  • @collinskenya3630
    @collinskenya3630 Год назад +74

    Nimefika kuchelewa,,Nyimbo nzuri... Kenya 🇰🇪 locked .Hii Collabo ni sumu ya utamu .📯💪💪

  • @dancunojijooyieko1122
    @dancunojijooyieko1122 7 месяцев назад +93

    This song is currently driving revolution in Kenya 🇰🇪

  • @sihamfareed5145
    @sihamfareed5145 Год назад +25

    This song is amazing
    Both Alikiba and Mariooo have strong vocals
    Kwanza hapo kwa “aaaaaaahhhhhhh” jamaniii roho yangu
    We need another collabo ambayo si amapiano
    Just vocals and mahadhiiiii❤❤❤❤❤❤

  • @hadijashaban9357
    @hadijashaban9357 Год назад +19

    Dully unaonaje ngoma hio 💯💯

  • @syllvynce1035
    @syllvynce1035 Год назад +22

    What a beautiful song from the one and only King Kiba ft Marioo...this is so fresh.
    Tamuuuuuuuuuu tena sana.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SakkieFoster-r9g
    @SakkieFoster-r9g Месяц назад +1

    Oa Kiba iyi wimbo tutayipenda paka mwisho safi kabisa mkewamutu nisumu Aosio

  • @taigarmeds
    @taigarmeds Год назад +41

    Alikiba remains the greatest Bongo artist of this era. More love from Ke🇰🇪🇰🇪

  • @barakamarwa1915
    @barakamarwa1915 Год назад +12

    Ngoma tamu saana big respect for King kiba, marioo na woote mlishiliki.Mzigo mzuri uta kaa on trending kwa mda mrefu

  • @kitanimuna6362
    @kitanimuna6362 Год назад +40

    jamani hii ngoma iko vizuri sana na inaelimisha pia ina vibe zuri mno......❤ aminia sana kiba forever...🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤗🤗

    • @zaitunwambui
      @zaitunwambui Год назад

      Finally my wish came true 😇😇..love the banger 💯💯💯

  • @AbdoulIdris-w7s
    @AbdoulIdris-w7s Год назад +17

    Ali kiba, ali kiba, ali kiba mmekuita mara tatu zee this hujatudisaoint let go to the 2024 oyaaa na likafe jituuuu

  • @stevepila9549
    @stevepila9549 Год назад +12

    Mziki mzuri sana huu,tunaomba King uendelee kutoa ngoma kama hizi

  • @hafsayusuph7806
    @hafsayusuph7806 Год назад +16

    Ali Kiba will always be Ali Kiba king 🤴 himself no one like him.Mario always on top

  • @slowdns3694
    @slowdns3694 Год назад +408

    We need more musicians like ali kiba and Marioo in the music industry

  • @alunga.B
    @alunga.B Год назад +9

    Sisi so milimaaaa...Tutakutanaaa🤝

  • @HEXAGON792
    @HEXAGON792 Год назад +128

    King KIBA is a true African legend.This collabo with Marioo is Incredible.

  • @GeorgeOtieno-ob6ke
    @GeorgeOtieno-ob6ke Год назад +13

    This is the only amapiano beat with a message in it.
    Hii tutaskiza adi watukuu wa wajukuu.
    Very unique vibe.

  • @MsigwaMbugi-ye8nq
    @MsigwaMbugi-ye8nq Год назад +21

    Nimekua wa kwanza. Nipeni likes zangu... Jamani sijawahi kupata likes 💥💥💥💥💥

  • @EsterAssenga-qm7bd
    @EsterAssenga-qm7bd Год назад +2

    My brother's king kiba and Marioo that song is so good and great and many people loves your song continue with your musician and my God bless you more than more

  • @sylimicglivetv4141
    @sylimicglivetv4141 Год назад +33

    King vs marioo, classic and clear sound, music with full enjoyment, maneno yanaeleweka vyema kbsa, elimu yakutosha❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @Wanaharakati
      @Wanaharakati Год назад

      ruclips.net/video/2ApvlC1If1c/видео.html

  • @StyleitWithLewinDixon86
    @StyleitWithLewinDixon86 Год назад +40

    Moto kama Mandamano ya Kenya 🎉

    • @AliciaLiz-nw9he
      @AliciaLiz-nw9he Год назад +1

      😂😂😂😂😂😂 exactly ya wheelbarrow Ruto

    • @junewambua5365
      @junewambua5365 8 месяцев назад +1

      😹😹😹💔🎉😹

  • @okellorichard3985
    @okellorichard3985 Год назад +23

    I have never listened to a song and left me speechless as this. This song I cant even have words to describe. Just the best.

  • @igonation5671
    @igonation5671 Год назад +1

    Igo nation nimm alikiba kazasana Hadi diamond akubali kusalenda japo namimi naimamba namihukunakaza mwanzo mwishoo

  • @justinesanga12
    @justinesanga12 Год назад +14

    I like the beat. bongo flavor style. melody. combo. content. entertainment. I see talent.... Jambo la mtu Kaa mbali.

  • @Chida
    @Chida Год назад +62

    HATULALI hadi 1M itimie apa TeamKiba wa ukweli gonna LIKE 👍

  • @lukekagose568
    @lukekagose568 Год назад +315

    Alikiba only produces generational masterpieces, Protect ALIKIBA at all cost 🇰🇪

  • @JohOyiaya
    @JohOyiaya Год назад +11

    Abaah...is on the beat...na wazito wawili King 👑 will always remain as the King 👑.

  • @Ngubimbangusi-gl9gh
    @Ngubimbangusi-gl9gh Год назад +64

    I'm congolaise 🇨🇩 but I'm living in malawi 🇲🇼 my name's ngubi mbangusi AKA Zulu boy official.
    100% nice video
    100% best melody
    100% best director
    100%best song of the year

  • @MR.T490
    @MR.T490 Год назад +17

    wazeee wamo.... vijana wamo..... this song will keep trending it has got inner powerfull message which no one talks about..keep it brighting..

  • @francisr.nyanganyi6646
    @francisr.nyanganyi6646 Год назад +85

    Wow ! This is legendary. "Thou shalt not covet thy neighbor's wife" ✅

  • @Grandycastro
    @Grandycastro Год назад +5

    napenda kazi ya ali kiba sana,zaidi marioo
    inatia moyo sana

  • @alibachirofficial3939
    @alibachirofficial3939 Год назад +17

    This guy still proving how king he is
    Salute kiba

  • @ndoyeelhadji1655
    @ndoyeelhadji1655 Год назад +10

    From Sénégal 🇸🇳🇸🇳🇸🇳🫶Big respect 🫡 alikiba making africa so light

  • @Ibraahmsese-by5bt
    @Ibraahmsese-by5bt Год назад +17

    Team kiba atufagilii trend tnachotaka ngoma tu.

  • @SleepyBreakingWaves-nt9cq
    @SleepyBreakingWaves-nt9cq Год назад +4

    Shukurani sana kwa bwana king kina and marioo hii ni bigger achievement for all world ❤❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @emmanuelyaa98
    @emmanuelyaa98 Год назад +66

    The message has been received correctly. teenager's should stop indulging in unnecessary problems. Congratulations kiba for further educating our generation.
    Apa 254 tunakuombea uishi 1m yrs

    • @thechampion6397
      @thechampion6397 10 месяцев назад

      Punguza kizungu kwenye nyimbo za kiswahili

  • @austinewarekhwa6161
    @austinewarekhwa6161 Год назад +11

    siezi wadanganya hii ngoma ni nomaaaaaaa!!!!!! on loop 12 times now

  • @laurencelucas3931
    @laurencelucas3931 Год назад +10

    Audio imeandaliwa na producer namba 1 wa mziki ABBA process na mixing kufanywa na namba moja kwa mixing the mix killer, video sasa director number 1 si mwingine ni Kenny, alafu wafalme wawili ndani yà beat weeeeeeeè, keep it up Kings

  • @kelvinmwendwa5696
    @kelvinmwendwa5696 Год назад +11

    Mapenzi inarun Dunia now sumu noma sana

  • @DallyDalton
    @DallyDalton Год назад +35

    I trust Ali kiba &marioo they never dissappoint, big banger congratulations 🎉👏

  • @boysondeniclousTv
    @boysondeniclousTv Год назад +54

    There are few amapiano songs in Tz which delivers a direct message, and this it's all about. What they spit is real. Congrats for a good music

  • @maguetomfalme5815
    @maguetomfalme5815 Год назад +23

    Bongo piano na king kauwa sana kama umeipenda hii ngoma mpeni like zake king forever king
    From🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @jilamamaduka267
    @jilamamaduka267 Год назад +22

    Gabo, Abbah, Ali kiba , Kenny na Mario wote kwa pamoja .....u know wat ? U have killed it

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles 4 месяца назад

      Gabo kanichekesha gym 😂😂😂😂

  • @BalletoEdger
    @BalletoEdger Год назад +14

    My best male singer from tz...Kenya. Twakupenda ❤❤ love you #king kiba

  • @Djibril_Rwa
    @Djibril_Rwa Год назад +165

    Love from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼alikiba never disappointed 🔥🔥East African music to the world 🌎🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @JOHN-RAY
      @JOHN-RAY Год назад +2

      Mmmmh ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉king

    • @youngmousa6739
      @youngmousa6739 Год назад

      ​@@JOHN-RAY😮😮😮

  • @mumenguvuze2093
    @mumenguvuze2093 Год назад +17

    Wow .... from the days of Mac muga , cinderella .... way back 2004 mpaka sasa ... My generation .... tunakaribia 50 yrs and boss unatu represent , I bet this one will last a lifetime ... LEGEND ... oNLY MUSIC LOVERS WILL UNDERSTAND

  • @lawrenceaseh1636
    @lawrenceaseh1636 Год назад +2

    Wapi likes za video grapherand the director. Tz you're on another level when it come to production

  • @berryxmsanii
    @berryxmsanii Год назад +13

    Aliyechokoza king kiba kwamba siyo king ako wapi ampee salute,Likes za king kiba zikuje tafadhali❤❤❤

  • @muthonimaina1696
    @muthonimaina1696 Год назад +11

    Yaaani wa Tanzania Kimziki nimekubali….such bangers daah navyo mpenda MARIOO balaaa Kiba 🔉🔉🔉

  • @abdullahiadan4388
    @abdullahiadan4388 Год назад +79

    Legend is back on his feet
    This is definitely a hit 🤙
    Ali kiba is a legend
    “Si ni people” tutakutana 💯🙌🏽

  • @JamaalMallo
    @JamaalMallo Год назад +1

    This now is music wachana na porojo za wasafi ngoma Iko na the same beat and flow... diamond Ngoma zake redeems

  • @husseinadam4847
    @husseinadam4847 Год назад +13

    King kiba ni moto🔥 wakuotea mbali.. akiamua kuangusha dude ni Noma sanaaa

  • @Jordan-o8q
    @Jordan-o8q Год назад +84

    Big shout out to the creatives who made this such a legendary place 👑👑🐐🐐🇿🇲🇿🇲🇹🇿🇹🇿

  • @suzzannemark4545
    @suzzannemark4545 Год назад +126

    Alikiba is the King 👑 of East Africa. As a Kenyan 🇰🇪, I approve this as a dope banger. Marioo understood the ASSIGNMENT period. 💕💐💐🌹🎺🎺🎼🎼🎻🎻🎹🎹🎶🎶🎷🎷

  • @EzekieliBakari
    @EzekieliBakari 5 месяцев назад +1

    Kazi nzur sana mario hapo umepiga mwingi kaka na brthr kiba ndo usiseme hakik nawaona mbali sana

  • @victorliyosi8023
    @victorliyosi8023 Год назад +22

    This year alone Alikiba ameosha Diamond hands down.Hit after hit .🇰🇪

    • @Mohaa4309
      @Mohaa4309 Год назад

      Una akili kweli ww, amemuosha wapi,... #𝐒𝐮𝐦𝐮 𝐕𝐬 𝐄𝐧𝐣𝐨𝐲

    • @derickkahamba5572
      @derickkahamba5572 Год назад

      @@Mohaa4309 Mahaba

    • @victorliyosi8023
      @victorliyosi8023 Год назад +1

      ​@@Mohaa4309ilikua matusi tena .😂😂

    • @adamhashimu4462
      @adamhashimu4462 Год назад

      Jamani tuache masihara na utimu hii nyimbo kali, bonge la hit,ila Kiba fundi,ngoma naiskilza haish utamu respect King of bongofleva 🔥

    • @tonymbaya9403
      @tonymbaya9403 Год назад

      ​@@Mohaa4309Sumu

  • @kelosi_mapesa
    @kelosi_mapesa Год назад +78

    Kama wew ni team king kiba gonga like hapa tukae namba 1 pale juu

    • @Ai_news2023
      @Ai_news2023 Год назад +1

      😊😊😊😊😊😊😊 get,

  • @Jania-o5x
    @Jania-o5x Год назад +31

    Im from Amsterdam and Guinee Conakry but i love
    King Kiba music
    And all the team members ❤❤❤
    King kiba always smiling ❤🙏👌🏽

  • @queensaida-Ke
    @queensaida-Ke Год назад +2

    This music is just superstacious heavy message to men in that sector😜men you know what I mean most people involve in having things /items that has already been bought too bad vitu vya wenyewe mwache kabisa#Kiba#Marioo wapi heko yenu👏👏👏👏

  • @Chida
    @Chida Год назад +20

    TeamKiba blood fans twende apa tumpe #KingKiba maua yake ya kutosha #SUMU #Marioo noooma😊

  • @tailoredcontent7557
    @tailoredcontent7557 Год назад +343

    I'm not a prophet but I know this song will be a hit for many years to come. Hit like if you agree!

  • @ianniks9761
    @ianniks9761 Год назад +11

    I'm loving this new bongo sound, very different and always produces bangers. Put Alikiba on it and it becomes golden.

  • @MargaretAdala-de9vn
    @MargaretAdala-de9vn Год назад +12

    The real simba wengine ni viigizo....much love from +254

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 Год назад +41

    This is the big hit 🔥 for now,the melody ,the vocal and beat on point, Kiba is super talented is very flexible can sing any kind of music,the video is bombastic ❤

  • @hb_064
    @hb_064 Год назад +21

    Who else agrees with me that, #KING HIMSELF
    Anabonga Message Kwa Ngoma Zake? Mikono Juu Aisee....

  • @jumarama110
    @jumarama110 Год назад +31

    Kibaaa...sema imewaka sana .,show some love... Nipeni likes km vp ..from Kenya🔥🔥🔥

  • @nipashevlogtv
    @nipashevlogtv Год назад +12

    Ali kiba is the king 👑 👌 much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🙏❤️ ngoma noma sana💯

  • @owenmedard3451
    @owenmedard3451 Год назад +120

    Kama umeangalia huu wimbo zaid ya mara moja naomba like yako❤

  • @djafarikim6639
    @djafarikim6639 Год назад +110

    Waliosema hatuwezi amapiano kaeni mbali, team Kiba naitaji likes zenu

  • @kilingojunior97
    @kilingojunior97 Год назад +60

    Huu wimbo nauona kama dear ulianza kidogo Ila baadae ukaja kuwa mkubwa sana huu wimbo unaenda mbali kama unakubali like hapa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sarahmasanganjira2421
    @sarahmasanganjira2421 Год назад +1

    Brother huu wimbo umeniba funzo sana keep it up my brothers