Alikiba - Mshumaa (Official Music Video)
HTML-код
- Опубликовано: 25 дек 2024
- Music video by Alikiba Performing Mshumaa (Official Video). ©2019 exclusively licensed from Kings Music Records.
Get it now in All Digital Platforms.
►Smart Link URL: ffm.to/nmwnrd7
►Spotify: open.spotify.c...
►iTunes: / mshumaa-single
►Apple Music: / mshumaa-single
►Deezer: www.deezer.com...
►Tidal: listen.tidal.c...
►Mdundo: mdundo.com/son...
►Napster: us.napster.com...
►BoomplayMusic: www.boomplaymu...
►GooglePlay: play.google.co...
Connect with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Audiomack:audiomack.com/...
Twitter: / officialalikiba
TikTok:vm.tiktok.com/...
+For More Information Booking Alikiba:
Contact:emailalikiba@gmail.com
Manager:Aidancharlie1@gmail.com
►Alikiba (My Everything) - ffm.to/mo4kwoy
►Alikiba (Far Away) - song.link/i/15...
#Alikiba #Mshumaa
©2019 Kings Music Records.All Rights Reserved.
aiseeeeee kiba ww ni Dingii embuuu FanYa ku like twende pamokooo
Waseme nini wasiseme,,watoe ngoma kali wasitoe,,walete ngoma zao kila siku wasilete,,,mimi team kiba kwa moyo wangu wote,, napenda ngoma zako kiba kila ninapo sikiza,,milele shabiki wako,,, napenda mziki mzuri,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,,nipeni likes basi mashabiki wa king kiba
Desmond Deiziee woyoooooo
Desmond Deiziee na mm pia kk
Desmond Deiziee nakuunga mkono team kba mwenzangu
Same here with kiba forever and ever
tupo pamoja nakuunga mkono only king kiba for life
Hata ngoma sina
Presha sina
Ugonjwa sina
Jina lako ninalo
Mistari mitamu unaweza kula nayo wali wallah
Team kiba usipite bila kulike please let's support our brother king himself 😍😍
Urali was vina na mizani
😃fundiiii hakoseagiiiii
N hahahaha
Sio wali tu, hata ugali wa dona unashuka bila shida
Elisha Gabriel alikba
Tuendelee kuangalia ngoma hiz 3 1:Dodo 2: Umkwano 3: mshuma nk let us to support our king
Yeap that true
Sasaiv Luna ya NNE so hot
Nani asiyekubali hii kazi, safiiiii sana..... jamani nipeni likes nimfikishie Kiba,,,,Kenya Twakupenda Sanaaaaaaa
hannington munene saana King n wetu
Yebaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wataumia sana
Umejitahid ila daimond baba lao
Kingi kiba nakukubali
King Kiba 10000000%%%%
Huu wimbo unaweza ombea Msamaha mahakani na ukasemehewa
Hatakama unataka mkopo bank unapata ukienda na song hili kiba hatariiiiii
🤣🤣🤣🤣Na wapenda jamni et kuombea mkopo
🤣🤣🤣🤣🤣 hatariiiii
Wacha mkopo 2 ...hata ukienda kulenga mawe police hawakushiki
Hahahahahaa umenichekesha kinyamaaa daaah ila mshumaaa kiba kauaaaa
Ebwana eeeh!! Bonge 1la ngoma anaye mkubali KING KIBA astuke na like zake kipande iki👌👌
Tupoooo
Noma sana 2zdixhe dua kibao na support kubwa maana Alikiba is Talented mazee kamaunamkubali Ali gonga like hapa
Ali yo yo yo yoooo! Nakumisiiiiiiiii..
Hakuna msanii kama King. Embu like 100 kutoka Kenya & Tz
💯% from 001 Kenya 🇰🇪. Alikiba is unique. One of the best if not the best in Africa 👏❤👑
DonMooGroupTV s
Konde booooy mamaeeee
Nice everything a lyk it ❤️❤️❤️❤️ big up
@@mr.jknglongoi1713 subscribe tafadhali 👉 ruclips.net/p/PLbXGKr_U_fNFyNMp4zUioCTkF4FdRlaxU
Nice song, hapo nakumiss nimelia sana adi nime miss marehemu mtoto wangu, nipeni like kama kumi tu 👍
Pole'jomon
Pole jmn
Pole sana
@@andrevdheuvel4340 pole xn huyu ndie msanii anaetufundixha na kutufariji
dadaa
no team tusapot mziki mzur hii ngoma ni kaliiii salute
dondosha like 😘
Nakubali jmn nilala nimezinduka saiz ooh wimb mzuri
Ngoma Kali Kama unajua unajua 2
King for real na hatujidai pita na like yako bila woga jameni
King Kiba!🇳🇬 Nigeria loves your music.
❤️❤️❤️❤️
🤗
Ygffghyj nh ra et San
Good
Ruki Wt
Hii ndio ngoma ya taifa mshumaa km tuko pamoja gonga like
Sijawahi comment ila leo imenibidi tu tena nina furaha sana YANGA imeshinda kugeuka huku nako kumekucha ALI KIBA pia ameshinda🤣🤣🤣👍👍👍km anawe umefurahishwa km mm twende sawa.
Mi zaid
Nakubali mjombaa hanaga uswahili wa tandare anafanya kitu sweet
bonge la ngoma mamake
Toa uyanga hapaa wewe
Khadija khadija Dada tulikuwa tunaandamana kumtetea kiba Leo umeona matunda Dada? ametoa tamko rasmi kuhusu kusaidia watu waingie kwenye sanaa kuferi while sio kufeli maisha akaona haitoshi akasema atatembea mikoa yote ya tz na zenji kwa ajili ya kusaidia watu kupima magonjwa na dawa bure hapo hapo . haishia hp akasema anamtambulisha Rasmi msanii Mpya kwenye lebo yako akasema hpn lazima mashabiki wake atupe kitu moyo unapenda sauti ya kutowa nyoka pangoni ikaaza kulalamika hahahahahahaha hatari lakin salama.
Amina asante kwa kumtia stress mwanzo ndo umemfanya azidi kuwa mkali zaidi over tramp
Hahahaaa
Ule ugonjwa ulioniacha nao, Bado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo, Yamebaki jina
Hospitali oooh, Za dunia nzima
Nimezunguka kote, Wamepima majibu hakuna
Hata ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo
Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza (Ungeniacha hata na mshumaa)
Alioo iyooo...
Nakumiss...
Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena
Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh
Labda nikukumbushe, Nilipokuvisha pete
Ulisema machache, Hauniachi mpaka nife
Maana ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo
Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu…
Pg up brother umeiwez 🥰🥰🥰🥰💖💖💖❤️❤️❤️💞💞😋😋💪💪
Good
Mmmh
Ngoma nimeicheki a million times ila upande wa views haziligani kabisa...na kama comments zinakutia moyo basi achia like ya#kingkiba apo🔥🔥
Justus Ngwambu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
Mamamamamamamaammamamamamamamamamamamamamamammaamamamma..........we jamaa ukimya wako sio wa kitoto heshima kwako king👑👑👑👑👑👑👑👑👑🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 #TanzanianMaleArtistBongoFlava_AllTheTime💪🐐🐐🐐🐐🐐
Kabisa
"Uwepo wako ndɔ wangu uzima" Kiba 4real.
Kesh
I luv this song it's great..piga like tukisonga in 2023
King hujawahi kukoseaga do!! Fanya kama unalike tuone mshumaaaa
Sayuni Sayuni 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥
Hataree
Alie guswa na wimbo mpaka anaishiwa maneno tujuane kwa like
Tupooooo
His songs really feels
Dianarose Massawe 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nooooma
King ni king hakuna baba lao labda mama lao this is my best song 2019.team kiba oyee!
Nakubaliana na Ww 100%
P
Hapo sawa beat kwnz
Enjoy
I love his music wooo Alikiba
Jamaa ni Genius kwenye muziki.
Bonge la genius yupo tofaut sana
02 on trending.😃😃 wapi Konde Gang? Mpo 03.☺☺
"Ali yo yoyooo. Nakumisiiiiiiiii"
Waue baba. Nataka like 1M
Baba Lao 01 trending #Simba😂😂😂
Zitfk
@@aliboikerfitness1794 🖕🖕🖕😂😂😂
@@aliboikerfitness1794 babalao😂😂😂😂😂
NIMEKUBALI KING 🤴
ni king 👑 tu ameuwa sana dunia nzima
gonga like zenu hapa twende pamoja 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥
Nakukubali nakupenda 😘😘😘😘😘🤩👍😍😍😍😍
Helene Esperance Arusi asante my sister happy 😃🙏🙏🙏
Kauwa Sana kwenye Tatiriri tiriraa
Huyo ndio kiba bwana
Asante sana alikiba kwanyimbo tam sana
Nani kasema Mkenya haezi pata like toka tz🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wow diz da song man
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
unapata
No Kenyan or Tanzanian we are here as kiba nation but of course I take pride in being a Kenyan
David Jairus 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍👍👍👍👍👍
m1
Nyimbo zako ata naeza skiza na mzazi, alikiba wewe ni true kabisa....much 💘 fro m 🇰🇪
Jamn nina mwaka wa tatu sijapata like ngoma kali🔥🔥🔥🔥
Kabisa
Mfalme karudishiwa penseli yake jmn
🔥🔥🔥🇺🇸
Hot song🔥🔥🔥🔥🔥
#mshumaa
official j clever 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Duuh I'm Speechless ngoma Kali kinoma. Unasikiliza popote ukiwa na yeyote. Ngoma haina rika. Kwanzia mdogo mpaka kizee, mjane, anaenza kupenda, aliyetendwa, aliyemmic mpenzi wake wote inawagusa. King unajua mpaka noma
🎶🎶🎤💯👏
Atarii Sanaaa
Moto hii
Kweli kabisa
tukiwambia king amazing voice
hata ngoma sina
Pressure sina
Ugonjwa sina
jina lako ni nalo
Bryl Sam 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Favourite song from the king 👑. 2024 and after who is here 😢
Am here 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲♥️♥️♥️♥️
Hii ni mara ya 11 narudia hii nyimbo kama nawe umeirudia like apa tujuanae ngoma ni 🔥🔥🔥 saanaa
Oyooooooooo kazi wanayo kiba fanya kazi majungu kwao
ajamanisha majungu kama mondi kaimba uwalisia ulivo
Sijufany makosa kuchagua,, kumamaee alikiba anajua kaah
toka Jana niko you tube nafurahia muziki mzuri jamani kama kuna mafund mmmmh alli Salehe kiba nifundiiiiii
@@obecksimkwai9544 sasa unamsifu au umemtukana
Tunao mkubari kiba mambo ni fire gonga like twende sawa
Apo kama kawa
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🙏
Radha,faraja na elimu ya wimbo hupatikana katika maabara ya taaluma ya alikiba pekeeee💕💕💕💕💕💕👔👔👔🧠🧠🧠🧠🧠🧠🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻mungu akubaliki #kingisking
Hujakosea
Hahahaha nikwel
Bonho
Haswa
@@amissislywachako1772 pamoja ndg
Who is watching like me now...I love my KING
Amkeni amkeni bana uwiiiiiii kiba umejua kinifurahisha wallah bonge la ngoma love more
Asha chambuso Assalaaamu alaykum,sheeed islaamiyyaa naomba usngalie na usubscribe
Asha chambuso Assalaaamu alaykum.naomba uangalie nasheed ya kiislamu kisha subscribe ruclips.net/video/ZM0ZkQje2cU/видео.html
Asha chambuso 💣💣💣💣💣👌
Hatariii
Kiba ❤️ asante saanaa kwa nyimbo twamuu wallah umenisuuza nafsi yangu mieee team Kiba twendeni sawaaa jamaan❤️❤️❤️❤️♥️🌹🌹🌹
Kabisa
Iqraa Buhet si nimepona Mafua baada ya kusikiliza huu wimbo
@@naomiallan2745 😂😂😂katuokoa team kiba
Munaoludia ludia Ngoma ya mshuma Tujuane Apo kwenye👍👍👍👍
✌️✌️✌️
Penda sana iyo nyimbo
Hivi tulikubaliana kuwa hii ndio tunaenda nayo @2024? Weka like hapa kama unaitazama hii..
Kama umeona ally kaenda afu ikabidi arudi kufunga mlango🤣 like zenu plz kitu mshumaa yan bonge langoma💥💥💥
Hahahaahaha nmeiona
Fatma fetty 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥
Kacheza na hisia humu balaa
King king king king king kibaaaaaaaa like zenu kwa niaba ya mfalme Kibaa,yee babaa
Kama alivyo sema king lazima awe na wafuasi wake wa kumsikiliza sasa mm ni mfuasi wake namsikiliza wewe je?kama unamsikiliza gonga like hapa!!!!
Seif Shaaban Assalaaamu alaykum,sheeed islaamiyyaa naomba usngalie na usubscribe
kalii
Leo tarehe 08_07_2024 nasikiriza ebu nipeni like zenu😂😂
Na ndio birthday yangu hiyo ❤
Yeeeh baba
King vs moko genius.
Kama umeipenda nipe like zakutosha.
Ali yooooooh
Asante babalao
hahah yaan wametoa kitu hatar
KING KIBA NDIO MWALIMU WA MUSIC TZ WENGINE MIKELELE TU!!!
idany Sedrc yebabaaaaa
🔥🔥🔥
idany Sedrc kumbe na ww umeona eeeh😍😍😍
Ukwl jamaa yupo poa sana
Ujakosea wengine wababaishaji tu
Alikiba fans let's gather here tuwashe mshumaa🔥🔥🔥
@albert5350 imenifikia hhhhhhh😁😁😁
Insta Fun254 as usually
Mie hapa nawakilisha WaKenya !!!
Ali wetu sote
Sina cha kusema umetisha mfalme na malkia wetu Hamisa,,Bigup kiba ngoma imebamba,mlioiona #1Trending gonga LIKE kama zote
Yebaaaaba kitu nilisema mimi natoka nschini ya rwanda lakini nilisema sitakufa kabula sijakutana na kikingi kiba nimwambiye yakwamba napendezwa nanyimbo zake nasikiya kuliya alikiba tena # alikiba nakupenda kwelili
Gatsinzi Lava boy
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Iko poa
Njoo Bongo, @KingKiba hana maringo wala nyodo!
Unsuporttable, Unstopable, take like from Mozambique, Aly yule yule
Fazila A. Saide 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@dogoshazzy7032 halifanyii haki jina lake ndomana anazaraulika
I love ali kiba. Ali for life this man has durable music yenye aishi
Bibi sikia hiyo wimbo vle Iko n.a. machungu Rudi kwa boy chilld
Tunaoendelea kuludi hapa 2024 tujuane hapa
Nisha weka tayari
This song is timeless
Kwa ngoma kali kama hii mnaninyimaje like wadau? Achane mambo yenu aisee gonga likes za kutosha.
L
Kama unashinda RUclips kwa ajili ya King kiba gonga like twende sawa
Navryraqiumu Adamu Tuko wengi Mwamba
@@karimissa763 Kama kawaida blood tulisongeshe
yay muziki mzuri
Navryraqiumu Adamu 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🇹🇿👆
Hahahaha we duru haha
Alikiba king kiba wewe ndo👑👑👑👑haswa
Wazee wa kutoa nyimbo kama kampuni ya tecno mpoooooooo
Emmanuel george Manjano nangi 😂😂
@@theafricanprincevivecongo8632 😆😆😆😆
254 tunasema Mziki mtamu sana.KIBAA✌
Kama na ww huaga unackiliza nyimbo za diamond & Ali kiba Tafadhari weka like yako hapa!! #No Team...Good Music Actvist✌
Yes
Here we Go,Music fan #Levels
Jamani tim kings music nami naitaji like 600 tunao mkubal ali
🔥🔥🔥🔥🔥
Hii Nyimbo ni tiba ya vichomi, msongo wa mawazo ya aina yoyote hata uwe umevurugwa na stress za maisha Dude hil kutoka kwa Mwenye mziki wake #Kingkiba #officialAlikiba
#KingsmusicforGoodMoment dondosha japo like tu ili twende sawa kama una fikra kama zangu.
Haha kabsa
Kizazi sana king kiba
Uyo mzee Baba
Huyu ndo 🌟 nchini nampenda Sana jamani anayajulia Sana wapi team yebabaaaaaaaaaaaa
@@beatricemakulu4137 safiii Chuma iyo mshumaa
Don't know the language but he will always be my number one of all artists.
Mziki mzuri unaishi nice song nice Melody nice vocal no one like you king kiba unstoppable the one and only 🚴
@@Palomamuriith92 shidaaa
Nipo America Sijui Kiswahili Ila Hii Ngoma Ni 🔥🔥🔥
Wale wezi wa Penseli wacha waendelee Na Singeli zao
Assalaaamu alaykum.naomba uangalie nasheed ya kiislamu kisha subscribe ruclips.net/video/ZM0ZkQje2cU/видео.html
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumbe hapo umeandika kiameric jmn dunia ina mambo hii
Kimarekani nimeandika
@@husnathmaulidi8708 siunajua vijana weng hawana kaz wanajua hum kweny social media pakutokea hata akitoka mbinguni hakuna atakaemsjudia🙉
@@dickonlinetv4354 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 mambo noma saaaana
THE BEST THREE MINUTES EVER..... SOOO SWEET... WAPI LIKES ZANGU
Pitia hapa pia ruclips.net/video/1Y77empb_J8/видео.html
Bigboy dante 👑
Bigboy dante ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Nakupend kiba nyimbozako zina nitow sitres
Te
Came to re check it in 2024😢
Tutaonana tena mungu akipanga 😢😊
Team mondi Hiii ngoma tumeipokea vizuri🙌🙌🙌
Nataka like 10 tuu
Jamani naomba like mana nimeiludia Mara 20
Hii goma toka Jana usiku naitizama had sasa huyu mfalume noma sana sarut kwa king of music tz and African
@@samwelcharles8464 🎤👏
Kiba nimependa hii,Aya team kiba tupige support kwa king, likes apa👇👇
ata ngoma sina
wakwanza mimi
Anajua kiba
I love this guy's beats .not noisy just enjoyable the swahili comes out clean.he deserves more likes.
He knows how to do his stuffs cleanly, one of my favorites
@@CarLos-tl4lw mmmmmmm
I agree
King of tz yebabaaaaaaaa
He is the reason why I still visit bongo music
The King❤️.... Likes za Kenya😃
Kama zotee
Wasenge (wasafi)
Wafalme(yooo)
Maad love
Tia dole kuashiria King bado #Alikiba
Hommo Sapiens
🔥🔥🔥🔥🔥
Wamefosi bifu mseleleko eeeee tumewakwepaaaa , wamebaki masononekoo eeee tumewakwepaaa hahahah! Hata wakiungana hawatuwezi, matusi kututukana hawatuwezi kkkk Baba lao no 1 Danga LA Taifa the Big one baba lao
Wasenge nyinyi
Sasa aimbe mwingine matuc utoe wewe dah watu wengine mnaitaji kuombewa maana ujinga umejaa
@@musabunoge108 nimechekaaaaaaa
Mtusapoti basi kwa like wana Team kiba toka Congo 243
We are enjoying the sweetness of the song🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Nipe LIKE kama uchoki kuangalia ngoma ya king Kiba
Mutalemwa Egid 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🔥🇹🇿👆
@@dogoshazzy7032 mshumaaaa umewakaaaaaa king huwa anatupatia kitu roho inapenda
You no1
Noma sana
This song is sweet,nimerudia mara mia sitosheki walai.
Na mm naikubari sana
Poa mimi
Ikiwa huu wimbo umekuguza gonga like tukisonga.....
#mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #mshumaa #alikiba #alikiaba #alikiba #alikiba #alikiba #alikiba
Umetisha king
Ugonjwa uloniacha nao bado sijapona ooooh ally ww wanipa rahaa miee ya dunia
Kama umeamka asubuh ukaichek tena hii ngoma gonga like comment nimeamka nayo....!!!
If you wake up morning then watched this song like here
Here we are
Aye
Hiii ndo nyimbo asa babalao ndo nn, aliyesikia nakumiciiiiii gonga like😍😍😍😍
@@catherinecosmas9878 nigoma lakin huyu mwamba anafeli sehemu moja, biti hill linaruhusu kucheza lkin halitendei haki
No tatto.. No earrings... No haircut styles.... Still best TZ artist.....
Much love to the guy (all the way from south African)
True that's why I like him just simple boy
No much exaggerated outfit,,,ever decent...he gives this field another face,,,my all favourite artist,,
Forever my favorite 💓#TeamKingKiba#
ruclips.net/channel/UChdTOF81--6mi2a1-qhmVbw
He lives true to his Islam religion.
Hautumii nguvu nyingi you're very talented you're the one and only king of bongo flavor balaa lako wanalijua wanakusikiliza hata magethoni kwao
Meonaeeee
Kba acha 2 ww noma
I really feel this words alikiba aliuandika huu wimbo akiwa anamaanisha maneno..wapi likes apa jameni.this is the African king
Ngoma kali sana we like kama 20 itapendeza
Kali haswaaa
Yani nimekupenda bule yani hii nyimbo nzuli Sana
na coment nakup
Yebabaaaaaa
From congo 🇨🇩
Give likes
parfait witangila yebabaaaaaaaa
Legend
@@bennyboy9847 yebabaaa
Mambo ni fire🔥🔥🔥🔥
@@justinasende461 yebaba raha mpaka kucheee
Silali hapa mzee
This guy his real king of bongo
🔥🔥🔥🔥
Mwenye mziki wake, watahangaika sana hapa mwisho. Naweza sikiliza mziki huu nikiwa na mama baba bila was was
Alikiba 🔥🔥🔥🔥🔥🙌 may.. Gonga like
Kama unaamini ngoma hii ni kali sana kuliko ya Domo gonga like twende sawa🌟🌟🌟 yeeeeebaba
Nomaaaaaaaa
Hakuna kazi hapa😂😂😂
Kilaza ww mbona kawaida sana ndo nyie mnatengeneza mabifu kumsifu king bila kufananisha upande mngine hamuwez
mmeanza
Kwelii
You will always remain to be the best,,
Wanzala Isaiah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Km umeuangalia huu wimbo zaidi ya mara mbili twende kazi⏯⏏⏭
Am naturally in Love with Ali😍
His voice calms me down
Me too 😢😊
sijawah kupata like hata ck nipen n mm bas hzo LIKE
Nomaaaaas
😂😂😂😂😂😂😂
Hivi huyu kiba alishawahi kuwa mwalimu wa kiswahili nini maana siyo kwa mistari bando ndio linaisha utamu wa wimbo hauishi 100%
kama unajua maana ya muziki mzuri huwezi acha kumpenda huyu fundi anastahili kabisa King kiba
@@nurdinsaid4137 live kabisa
Nurdin Said 👍👍👍👍👍👍👍👍👍🇹🇿👆
@@dogoshazzy7032 yeebaba
😂😂🙌
Ulisema machache, huniachi mpaka nife ”...na Leo uko pekeako...dondosha like kama u are still missing him/her😘😘🙈
yeebaba
Justina Damiane au sio💪
Love from 254
SanaA tuu kiba
mercietha irah noma sana huyu jamaaa
I love it how he strives to maintain decency in Bongo music. I can watch this with my parents without feeling shameful. Some I wouldn't mention are hectic and a shame...
Sina pressure yakusikiliza hi nyimbo. Mnasemaje fans wa King 👑 Kiba gonga like tujuwane kama wewe ni fans wa king kiba
Kweli
@@mahijakipingu111 tupo
Real kiba
Kawaida
nuru mberwa Assalaaamu alaykum,sheeed islaamiyyaa naomba usngalie na usubscribe
My favorite Bongo musician.. We need more of this.. Twaomba ngoma nyingi zaidi
Tujitahid kusikiliza kwa sana ili apate views za kutosha zitampa moyo wa kutoa nyimbo ingine😍
Nimerudia rudia Mara nyingi nyingi daaaah!!
Kibaa leading tena,na,tens na tens yooo!
Wapi team Ali Kiba ya gulf 🙋♀️ na represent UAE Abu Dhabi outta 🇰🇪
Tupooooo
Nilikuwa nasubiria kwa ham sana yeeee babaaaaa
Bahrain nawakilisha +254
Iko pw sana
Napeda nyimbo zako alikiba
King kiba, uishi milele, waace wa domowe, umaharufu wako ita baki kuwa juu, king kibaaaaaaa, sauti yako ina penya huku Congo kabisa, king's musics forever,
John Amani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤤🔥
Who is cutting onions?Amina please come back home..King is here for you..Rudi nyumbani Amina.😭😭😭😭😭
Same here I think he dedicated to her
Did they part ways kwani??
@@Vivienne-Vee she is at Mombasa..Separated few months back...
@@joanlukalo87 he mentioned her somewhere..
Never heard of that.. waa😭
Ali yoooo😍😍