Mimi hapa siko any team. Nampenda Kiba sana na nampenda Mond kwa sana pia. wote wananipa burudani sawa.wote wakali. sasa nyinyi mliojipa timu ati sijui team kiba Tim Mondi najua mwajichocha tu ilhali ngoma ya king k ama mond platinumz ikitoka mwazienjoy zote.
Guys mmepata taarifa kuwa ile tuzo ya mtvema iliyokuwa na utata tayari mtvema wameshasema mshindi ni alikiba!! Am happy for him, it is a big step guys, let us wish him the best of luck!! Tumpongezeni alikiba na mashabiki wake wa +254 ,tz, na Africa nzima kwa kumpigia kura,, mashabiki ambao wanampenda Sana msanii wao kwa kila hali!!! Our best African act alikiba, congrats bro!!!hardworking inalipa If this doesn't make you happy ama hauko interested probably ni none of ur bussines
Alikiba🔥🔥🔥🔥🔥Imeandikwa kila mtu na mlaba wakeNa we ndio roho yangu mi nataka utokeAlichonipa mungu mimi unakijuaSina haja ya kujitotunua nikaumiaIle saa aloliacha babu unaikumbuka nililiuza jana ili tupate pesaKwanza uvae upendeze na tabasamu lakoUhai kwangu mimi kwenye upini wakoMshahara bado mashaka kazini sijalipwaUkizika nalo leo singoji keshoWewe ndo raha yangu mi ndo raha yakoManeja wa Roho yangu Kajiandae 🎧🙉🙉🙉🙉🎧
I can't stop listening to Alikiba's part of the song. He's singing so well 😍😍. Alikiba you never disappoint . Lots of love from Kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kibaaaaa king kiba hata msemw nini,the best in EA. Hata wimbo wa kiba uwe na 1m views na wengine 10m haijalishi cha msingi kwangu ni kulinganisha message ya wimbo nami najua Kiba hana wa kulinganishwa naye. #Teamkiba Weka tick tukisonga wabaki tu wakiogea
comments 1000+, we love you Alikiba, for what your doing is so great, forget about awards mate...Do more, don't sleep Ali, Go Asia, Egypt , China & Hong Kong, Dubai, Go far make more dollars and awards will follow you!
A Voice that is unparalleled,Ali Kiba proves that talent is the only thing needed to be successful. Great songs and great lyrics for a phenomenal voice. Mark register for King Kiba hapa!! 😀😀
I have been listening to Ali Kiba since 07 when he released Cinderella . I have been a fan of Bongo music and my two cents on who is better between Diamond and Ali Kiba I have to say Diamond put Tanzania on the map. But, Ali Kiba is the best in my opinion. Great song on repeat every time!!
🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕yoooeeeww king kibaaa uko viziuri mashaAllah tabarakallah neema'tullah awesome Hadi rahaa Sana Mombasa inakupenda sana kaka yetu salute Kwa wingi kwako🇰🇪🇰🇪🇰🇪binnah beibee coast mombasani one love bruh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
A very touching song. The first time I played this song to my wife i made her sit down as i danced for her. She now cant get enough of it. Now she makes me dance for her every evening after work. What a song. I love it. big up Dimpoz and the King himself Ali Kiba. #Wonderful #KenyaLoveYou
Kiukweli Kiba uko vzr sana, tunakupenda wazalendo wenzako tunakukubali sana coz Ni kaka ambaye uko ki peke yako na hakuna wa kusogea kwenye nafasi yako, ngoma Kali sana💯💯💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ali Kiba wewe ni mwanamuziki mzuri saana.. nakushauri kama unafahamu kifaransa au ujifunze kifaransa na uanze kuimba nyimbo kwa lugha hiyo ya kifaransa na kushirikiana na wanamuziki wa Africa wanaotokea nchi zinazozungumza kifaransa kwa hakika utaongeza wigo wa soko la muziki wako
Tuko 2024 lakini hii ngoma hawezi kutoka kwa akili zawatu ngoma moja ya kiba nisawa umri wa mtu wa miaka 💯
Hili goma tena 2024 aiseee tamuuu sana
2024 tupo hapa tena. Gongeni like jaman.
Nan bado anaskiliza huu wimbo 2024 like apa
Nayo nayo 2024 gonga like
Nani bado anaskiliza juu wimboo 2024 pia like na comment 🇷🇼🇷🇼🤌🥳💪
Me 🇷🇼🇩🇪
.me
Me
me
Me
In my wedding, this song will b on repeat till when ,,,,,, the neighbors will know it🥰😍
Wasanii wa nguvu kutoka tanzania nawapenda sana
2024 June nimerudi kusikiliza the best music and the best collab from Alikiba and Ommy Dimpoz. Nyimbo iko sawa 🔥🔥
Huyu vixen naye hunimaliza😢😢
Nani bado anasikiliza huu wimbo 2024 piga like tukisonga 2025
😂😂twende
Tuko wapa
Vile have missed my girl oooh my
2024 tunasonga nayo kama upo na mimi like hapo
Mimi hapa siko any team. Nampenda Kiba sana na nampenda Mond kwa sana pia. wote wananipa burudani sawa.wote wakali. sasa nyinyi mliojipa timu ati sijui team kiba Tim Mondi najua mwajichocha tu ilhali ngoma ya king k ama mond platinumz ikitoka mwazienjoy zote.
Miriam Joseph's tuko pamaoja
U r right ma dia gd 4 u
Miriam Joseph's hapo dada nakungaa mkono
staminate. omydipz
staminate. omydipz
Guys mmepata taarifa kuwa ile tuzo ya mtvema iliyokuwa na utata tayari mtvema wameshasema mshindi ni alikiba!! Am happy for him, it is a big step guys, let us wish him the best of luck!! Tumpongezeni alikiba na mashabiki wake wa +254 ,tz, na Africa nzima kwa kumpigia kura,, mashabiki ambao wanampenda Sana msanii wao kwa kila hali!!! Our best African act alikiba, congrats bro!!!hardworking inalipa If this doesn't make you happy ama hauko interested probably ni none of ur bussines
nipe link i verify that..lazma king awe king
Aria Renalda x za AEE SEE POW OPPOSITE EKPrpepwllppdoddodizjsjdsmmkkkrekeieheeeeesxdsss allzzxddseqq
Mimi nilimwambia ajiandae 2020 bado namsubiri 2025 thats love 😢 kiba fill loved from Kenya ❤❤
Nan bado Yuko na vibe ya hii song 2024
Mimi bado napenda alikiba
Ommy sikuhizi ni kufuatana na diamond na kuacha kuimba such amaizing music🎉🎉🎉
2023 and this song still tops my playlist! What a collaboration 🔥🔥
We here
Pamojaa
Still fresh to me 🥰
🔥🔥
Tupo site kata simu
Alikiba🔥🔥🔥🔥🔥Imeandikwa kila mtu na mlaba wakeNa we ndio roho yangu mi nataka utokeAlichonipa mungu mimi unakijuaSina haja ya kujitotunua nikaumiaIle saa aloliacha babu unaikumbuka nililiuza jana ili tupate pesaKwanza uvae upendeze na tabasamu lakoUhai kwangu mimi kwenye upini wakoMshahara bado mashaka kazini sijalipwaUkizika nalo leo singoji keshoWewe ndo raha yangu mi ndo raha yakoManeja wa Roho yangu Kajiandae 🎧🙉🙉🙉🙉🎧
shida
Barakat HD The kinda ndoho kenhu omhu eyamwiporu shidaaa yeneyo tz one bhange bashindekeja doho gote bakiba mavoko na blue
lary nathans ujiandae ujiandae andae !!
lary nathans kiba kauza saa ili mradi mtoto atoke vzr...king kiba
I can't stop listening to Alikiba's part of the song. He's singing so well 😍😍. Alikiba you never disappoint . Lots of love from Kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Anything he touches turns into gold
Ni 2023 lakini hii wimbo bado naipenda Winnie from Mombasa
super heandsome ommy ft ali ( Guinée conakry, Sénégal, Tanzanie ) love you
2024 anyone??😊
I am here April
I am here ✋️ 🤗 April 19th 2024
Here
🔥🔥
Am here
Hii nyimbo unanikumbusha mbali sana Sito acha kuisikiliza
It's 2023 and this song is still running in my veins 😊😊
, 2020 nani tuko pamjaaa likes team kibaa
January 17 2019 who is here....Ali k always my crush😍😍 ommy too u guys are the best...love from 254
Me too
Bonge la ngoma kiba ni danger kauza ad saa
😃😃😃😃😃😃😃
Mwalongo Julian
Nani bado anasikiliza huu wimbo 2022, still sounds nice and fresh
Tupo Mpendwa😊😊
mm hapa asee😮
Bigtune
👎👎
Nipo hapa sibanduki
Nani bado anaskiza huu wimbo 2023 piga like tukisonga
MIMI HAPA
2024
24
2024
2024
Kama adi leo unaangalia ihi ngoma gonga like apa twende sawaaaaaaaa2019
Hatar hiyooo
Alikiba songs still hits till now,,he will still b the king,,,from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kibaaaaa king kiba hata msemw nini,the best in EA. Hata wimbo wa kiba uwe na 1m views na wengine 10m haijalishi cha msingi kwangu ni kulinganisha message ya wimbo
nami najua Kiba hana wa kulinganishwa naye. #Teamkiba
Weka tick tukisonga wabaki tu wakiogea
Juliana Makau Aswaaaa
Juliana Makau kweli
♥
ni kwel views wengi haina maana kua wewe ni msanii mzr kuliko
Fact brother message ndo muhimu mtu wa kujielewa ataskiza ujumbe wasiojielewa wataskiskiza kelele 2#team Kiba forever
comments 1000+, we love you Alikiba, for what your doing is so great, forget about awards mate...Do more, don't sleep Ali, Go Asia, Egypt , China & Hong Kong, Dubai, Go far make more dollars and awards will follow you!
jafari thanks
JAFAR RAJAB good
Kweli
JAFAR RAJAB and Australia we really need him as well
JAFAR RAJAB Amen...sure God will take him to far places bcoz he's a very humble n kind guy
Mwanamfalme na MFALME MWENYEWE! King has NEVER DISAPPOINTED US!
A Voice that is unparalleled,Ali Kiba proves that talent is the only thing needed to be successful. Great songs and great lyrics for a phenomenal voice.
Mark register for King Kiba hapa!! 😀😀
naweza kuangalia hii nyimbo mwaka mzima, kwa kweli ni mziki mzuri
Wimbo wangu pendwa ❤❤❤❤❤ 2023
Amazing!!! Alikiba na Ommy Dimpoz ni wana-star wenye heshima, ngoma yenu tamu tu kwa sana
I love you all.
Wonderful composer..the song smooths my heart en my soul...I love kiba en dimmpoz
Siku zinavyozid kwenda ndivyo King anaonekana mpya🎶👑💃💙🔥💯#KingsMusic#KingKiba2021July!
hapo sawa ommy na kiba big up from kenya watching from jordan
amnah leilah aliloh am also watching from jordan naipenda
amnah leilah aliloh iko uoandw gani dadangu
kila la kheri
nyc song from ommydimpoz&officialalikiba
Hind abu alfelat niko jordan amman
Mshahara...bado..mashakaaa....kaziniiiiii...sijalipwaaaaaaaa......dah...kweli..kajiandaeee
Mimi kwasababu namkubali King kiba 🎉🎉🎉.
bonge la ngoma haliwez fananishwa na ngololo ngololo mmetisha kiba na pozi kwa pozi
jamani the song so sweet
hauishi utamu.unapoisha unakuacha na kiu ya kuskiza tena.kiba very special voice hakuna duniani
Alikiba is the best bongo artist. I have listen to him over years.
Watching it from Bahrain
king kiba and ommy dimpoz nice one
Alikiba ni mtu hatar sana (good music and video is dope congratulations ommydimpoz we love you soo much)
Asante sana king kiba 🎄🎁🥇🎹🎧🎵 pia hommy good sana bro
Tanzania is a country rich in natural resources, such as gold, diamonds, tanzanite, nickel, uranium , natural gas and Ali Kiba
hahahhahahhaa.... noma sana bob ....
Max Jonas umetisha 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
hahahaaaaaaa.... tell 'em
Jonas umeuaaaa
Max Jonas Kiba is best!
watching this all the way from New York bigup sana Ommy welcome back.
2024 still going strong kunatu vile hii ngoma uniturn on ❤❤❤❤
Wanaopenda mziki mzuri hands up . Respect from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
🙋♂️🙋♂️🙋♂️🙋♂️🙋♂️
TAARIFA MUHIMU #KINGKIBA AMESHINDA #MTVEMA BEST AFRICAN ACT
Tiktok imenileta huku, first time to hear this song
hii nyukilia weapon's aihishi hamu kila sekunde wataman tuu husikie sauti yakasuku king kiba
Ona ee
hatare
kila ukikaa unaitamani uiangalie daa
Salehe Mkala noma than a
Nampenda Ommy and Kiba...exceptional musicians....
22/2020 October nimerudi hapa baada ya kuona 50 Cent anaicheza hii ngoma ktk gari yake kingdimpoz🔥🔥#kajiandae
Big up Alikiba safii sana
you make me go crazy with excitement listening to your songs.👍👍👍👍👍
there is only 1 king and its him #Kingkiba MUCH love from Nairobi 👍
2019 nasikiliza wimbo huu
2023tuko hapa naipenda sana hii ngoma
Alikaba you so lovly man,pop it to the world,grt hit watching frm +254
I have been listening to Ali Kiba since 07 when he released Cinderella . I have been a fan of Bongo music and my two cents on who is better between Diamond and Ali Kiba I have to say Diamond put Tanzania on the map. But, Ali Kiba is the best in my opinion. Great song on repeat every time!!
🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕yoooeeeww king kibaaa uko viziuri mashaAllah tabarakallah neema'tullah awesome Hadi rahaa Sana Mombasa inakupenda sana kaka yetu salute Kwa wingi kwako🇰🇪🇰🇪🇰🇪binnah beibee coast mombasani one love bruh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thus song is on repeat.
Love it so much.
Love from London.
One Love to all my African Brothers and Sister.
Thenk youa ali kiba
Growing up, Congo, South Africa and Kenya dominated in the music scene...now it's Naija and TZ! LOVE IT! Keep it up my brothers and sisters.
Ali K....Manze...It's 2021 but hii nyimbo na beats bado ni "Top-notch"
Keep doing Ali K. Style ..
Shout out from Dal. Tx.
Ali kiba uje mozambiqui
Kiba sio was spot spot apendagi ujinga ujinga
alichonipa Mungu mimi nakijua...sina haja ya kujitutumua nikaumua...mpenzi wangu kajiandae upendezee
artemis neoy this dude kiba z too natural,Allah ambariki
artemis neoy more than natural dia......God bess him abi
muko vzur
artemis neoy that's my favourite part. ...I can listen to it over and over
safi
Kama bado unapenda wimbo huu 2020 nipe👍
Anything with alikiba is nice. one love africa. From Ethiopia❤️
madada sita
nimeirudia malanyingi hajawai kunikinai hii ngoma tamuuuu
Hanan Jm 2gather
Adisababa
This is the BEST service of music I’ve ever got from Alikiba. Supeeeerb!!
Ommy Dimpoz cracked it all over ...
Still loving it from kenya ... beautiful sound
A very touching song. The first time I played this song to my wife i made her sit down as i danced for her. She now cant get enough of it. Now she makes me dance for her every evening after work. What a song. I love it. big up Dimpoz and the King himself Ali Kiba. #Wonderful #KenyaLoveYou
Luos love
Garissa massive twakupenda king 👑 Kiba
wale wa 2023 mnafeli wapi ngoma inanikumbusha mbali enzi nafukuzia pc na mwanga wa sigala 🙊🙊
KING KIBA 😍😍 me reading all these comments while am watching this song ..not just once
My favourite musicians ever love kiba n ommy big up guys
These song is still best wenye mna unlike cjui mko na shida gane best song ever🔥🔥🔥🔥
Ommy Dimpoz has never dissapointed me. I love all his songs & all the songs he is featured in.
Anyone 2025
I am here January 2025
🖐️
😊
😂😂 here
Am here January 25th😅
Kiba ni fundi WA Ngoma👏👏👏👏👏👏👏👏👏,he may never release music as we fans desire but once he releases music,it can be played for decades to come👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
Kiba we ndiye king wa music
The winner of Mtv ema's African act of the year. Kenyan appreciates your win. Diamond trailing already
Nasikiliza sn huu wimbo
all the way from Kenya love this song Ali kiba keep up teaching our celebrates kiswahili even me have a need of knowing kiswahili.
nomasana
Emily Ngendo lessons zinaanzia na mshumaa now trending in kenya
12/02/2019......and i still get goosebumps nikisiliza hii nyimbo
Kiba anavyojipigia back vocal aisee 👐👐
since day one I loved Ommy ,that Kenyan gal u talked of is here!king Kiba all along was listening to us good voice buh my eyes on Ommy 😍😍😍
So far best combination of vocals n great beat. big up Ali K for real n big boy Ommy dimpoz....ya'll makin us proud
Kiukweli Kiba uko vzr sana, tunakupenda wazalendo wenzako tunakukubali sana coz Ni kaka ambaye uko ki peke yako na hakuna wa kusogea kwenye nafasi yako, ngoma Kali sana💯💯💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Naposikiza hii nyimbo chozi la penzi linanidondoka,nkitamani kurudia rudia,king Kiba for life.Gonga like yake tukienda
Tanzanian's are magical oooh God ..good music n lots of cute ladies 😍
2024 😢😂❤
Time has flown I'm nolonger 20/21 years young anymore....
Am #Uganda and i love both #Diamond n #Alikiba
Ali Kiba wewe ni mwanamuziki mzuri saana.. nakushauri kama unafahamu kifaransa au ujifunze kifaransa na uanze kuimba nyimbo kwa lugha hiyo ya kifaransa na kushirikiana na wanamuziki wa Africa wanaotokea nchi zinazozungumza kifaransa kwa hakika utaongeza wigo wa soko la muziki wako
Abdulrahim Chotta acha azidi kutoa darasa la kiswahili kwanza mpaka kieleweke. France baadae
Sana ngoma iko hit sana
keshatoa aje na ametumia kifaransa
Abd
Tunataka kufanya Swahili Kua lugha ya Afrika
Alikiba😑♥️❣️I just love you...king of bongo.....we ndo simba....I salute u
Alikiba nimkali sana !!! huuuumm eti vunja kabati kidogo !! Ali sucrée des femmes dans le monde
amida Innocent hiyo lugha ya mwishoni nimeipenda
amida Innocent French unajua pia Tu est intelligente. Que Dieu vous bénisse.
badugu mimi sijuwi English ila najuwa French tu nikisema English yani haitakaa sawa kama French ! so I try to speak English but it's still not good
Mimi naomba nifundishwe french
umesoma kwa programs za kingereza