▶ Ommy Dimpoz Ft Ali Kiba - Nai Nai (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 1,8 тыс.

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 10 месяцев назад +394

    Waliokuja kuutazama Tena huu wimbo baada ya kumsikiliza Omy amimtania Ali Kiba jinsi alivyoomba “in my mind” badala ya “on my mind” tujuane tafadhali

  • @rhodeskip
    @rhodeskip 10 месяцев назад +14

    From Kenya, I came here after listening to Ommy Dimpoz roast on Ali Kiba about the lyrics.

  • @khadijahaji5108
    @khadijahaji5108 Год назад +201

    TBT who's here in 2024❤

  • @JamesMeshack-y8
    @JamesMeshack-y8 11 месяцев назад +42

    Tupo 2024 lakini Ngoma bado ina radha kama imetoka Leo❤️❤️❤️❤️

    • @Elsie-t3z
      @Elsie-t3z 4 месяца назад

      walai

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 4 месяца назад

      Na huyo ndo kiba aka kibakuli king forever

  • @carolmuli8237
    @carolmuli8237 2 года назад +328

    2023 here we come with the same song 😤always in mymind never gets old .gong like tukingia 2023 nayo

  • @SmilingHotDog-eb3jp
    @SmilingHotDog-eb3jp Год назад +383

    2024 mko wapi!!

  • @wilsonmwamuramwamura1953
    @wilsonmwamuramwamura1953 10 месяцев назад +7

    2024 tuko apa nai nai omy ft kiba ilikuwa motoooo🔥🔥🔥 inzi izooooo❤️💯

  • @Hannah-hi5oh
    @Hannah-hi5oh 8 месяцев назад +31

    Aki king tiziana ndio ametuma nitafute hii wimbo pinga like kama tiziana ametuma u tafute huu wimbo

  • @kennedygeorge9393
    @kennedygeorge9393 5 лет назад +382

    Kama mpaka sasa bado unaiangalia hii ngoma gonga like

  • @FaridaGerald-r6s
    @FaridaGerald-r6s 10 месяцев назад +38

    Mko wapi baada ya kusikia story baada ya kifunguriwa crown fm 2024

  • @torneycc
    @torneycc 11 месяцев назад +7

    This one deserved to be global❤ it's an anthem

  • @jayblaq2548
    @jayblaq2548 Год назад +40

    Man Ali kiba killed this chorus...what a guy...I'll always be King Kiba fan...🎉

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 11 месяцев назад +10

    Kitambo ndio nanza jua mapenzi😂😅❤❤❤

  • @Parkalex-x
    @Parkalex-x 10 месяцев назад +13

    Tunao angalaia sababu ya always in my mind tujuane hapa😅🤣

  • @fahadykabuhaya8994
    @fahadykabuhaya8994 5 лет назад +4

    Uyu ndo ommy nae mpnda wa mziki mzuli ommy na kiba end kingis music

  • @ChristopheYamuremye-fn8fq
    @ChristopheYamuremye-fn8fq 10 месяцев назад +83

    Nani kakuja kusikia kama kweli alikiba amesema in my mind gonga like

    • @Riziki358
      @Riziki358 10 месяцев назад +1

      Confirmed 😂

  • @JeremiahOkoth
    @JeremiahOkoth Год назад +14

    The King of choruses! Ali Kiba is a treasure! 2023 still my favourite Bongo song!

  • @chegehumprey
    @chegehumprey 10 месяцев назад +2

    🔥🔥🔥tbt kali sana

  • @NeystaCollins
    @NeystaCollins Год назад +35

    2024 still the song is 🔥

  • @BadoMartense
    @BadoMartense Год назад +2

    Pozzi kwa pozzi🔥🔥🇹🇿

  • @manolemania4553
    @manolemania4553 5 лет назад +256

    2020 tuko p1 gonga like hapa

  • @Official_starboyoffset
    @Official_starboyoffset Год назад +38

    We heading to 2024 and this masterpiece is amazing.❤

  • @irenewilliam3957
    @irenewilliam3957 6 лет назад +8

    Mpaka leo bado naipenda hii nyimbo daaaa 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @SameèrKulwa
    @SameèrKulwa 10 месяцев назад +9

    Twenden wote 2024 likes

  • @ahazirubeni4053
    @ahazirubeni4053 5 лет назад +505

    Kamaumeitazama hiinyimbo mwaka 2020 gonga like tujuane

  • @rukiamwakinyo5324
    @rukiamwakinyo5324 4 года назад +1

    King Kiba na Ommy dimpoz urafiki wenu uendelee mpaka kufa aise 💪

  • @marycrispine383
    @marycrispine383 5 лет назад +235

    2020 who still watching gonga like yako hapo

  • @Omondi_Tv254
    @Omondi_Tv254 5 месяцев назад +8

    How many agree that king kiba killed that hook 1000%

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 10 месяцев назад +6

    Km umerudi kuitazama hii ngoma baada ya show ya crown 👑 ya TV 📺 tujuane

  • @emilynanjala6622
    @emilynanjala6622 3 года назад +2

    Wow siwezi sahau hii nyimbo💝

  • @K25795
    @K25795 4 года назад +8

    KAMA NAWE UNGALI UNAANGALIA NAI NAI MPAKA TUNA GONGA ONE MILLION NGONGA LIKE HAPAA

  • @EnockMark13
    @EnockMark13 3 месяца назад +6

    Once again I had to revisit 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪...the song is a viiiibe

  • @jumakigwe7658
    @jumakigwe7658 5 лет назад +12

    This song never gets old......gonga lyk👍👍👍kama unaagree na mimi🙋🙋

  • @Vincent-gp4jo
    @Vincent-gp4jo Год назад +1

    moto fire ngoma ni kali mahaba tuu mbona msinipe like kama imeweza why ? why ?

  • @suzanamalaki5814
    @suzanamalaki5814 6 лет назад +122

    Nyimbo akishakua king kiba sahau io nyimbo kuzeeka itadumu milele aseee ni fireeeeeeeee

  • @RobertMvula07
    @RobertMvula07 10 месяцев назад +3

    Love this song from zambia ❤❤

  • @carolynewanjiru4662
    @carolynewanjiru4662 2 года назад +9

    Nani amevisit apa Tena 2023💃💃💃💃💃🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kingwamarada3451
    @kingwamarada3451 4 года назад +1

    How many say ommy dimpoz is the prettiest man in tanzania

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 10 месяцев назад +4

    King Ally salehe kiba 👑👑👑👑👑👑👑❤❤❤❤❤

  • @Fatumanabahani
    @Fatumanabahani 3 дня назад

    Hii nyimbo imenipa jina Asante sana kinainai hapa❤

  • @MARYKARICHA
    @MARYKARICHA Месяц назад +8

    Team 2025 here we are

  • @tonga6267
    @tonga6267 11 месяцев назад +4

    2024 this song inafika kwa bone marrow ❤

  • @chandengao8795
    @chandengao8795 7 лет назад +33

    Dimpoz is too creative hiyo style ya kugongagonga ulimi hakuna anayepiga hiyo kitu jamaa anaweza ila shida nyota

  • @istahilress3435
    @istahilress3435 11 месяцев назад +6

    2024 still vibing with this song ❤ ali kiba and ommy ❤

  • @KaylaJuma
    @KaylaJuma Год назад +43

    Kam umeitizam hii ngoma 2024 gonga like apa chin wanangu wa 2012😂😂😂❤❤❤

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 10 месяцев назад +19

    Gonga like hapa kama umeongeza views kwa hii ngoma kutokana na utani wa Ommydimpoz kwa Alikiba

  • @MercyMusangi-qj2os
    @MercyMusangi-qj2os Год назад +8

    2024 Jan 16th still the same song the vibe in this song will always be 🔥

  • @lwizamgaya3278
    @lwizamgaya3278 2 года назад

    2012 ulinifanya nitapata mimba clubs thank ommy dimpo ndo mtoto peke nilienae sasa kila jambo na sabb🙏🙏🙏🙏

  • @tulizochanimbaga9352
    @tulizochanimbaga9352 10 месяцев назад +4

    Nimekuja kusikiliza in my mind

  • @esthernjoki3179
    @esthernjoki3179 11 месяцев назад +2

    Nai nai 🔥🔥🔥

  • @vatoytk
    @vatoytk 5 лет назад +56

    Wanaocheck hii ngoma hadi 2020 gonga like tujuane😂😂😂🔥🔥🔥🔥

  • @michaelmusso5380
    @michaelmusso5380 3 года назад

    Ommy na Aly ni kama ndugu kabsa mnaimba vizuri sana mkiwa pamoja

  • @Caromartial
    @Caromartial 5 лет назад +255

    😍😍2019 stil on🔥kma unawatch gonga like ukipitaga

  • @muniratamani4357
    @muniratamani4357 4 года назад

    Tujuane tuliokuja RUclips baada ya ommy kupost ♥️♥️♥️

  • @goodlightTv10
    @goodlightTv10 11 месяцев назад +14

    2024 but still vibing to this great tune

  • @NicoleLubaha
    @NicoleLubaha 2 месяца назад +1

    Wenye tumekam 2024 kwa TBT from Diamond Dimpoz Alikiba Dully sykes Like as we move❤

  • @murikiranjunge348
    @murikiranjunge348 Год назад +22

    I have always been in love with this song.Heard it playing at a gym in Harrow,North West of London and had to come here to relive the memories of this beautiful song.

  • @sylvanosalumu5840
    @sylvanosalumu5840 5 месяцев назад +1

    Kiba alimleta Ommy kwenye ramani ya muziki wa Bongo kupitia hiki kichupa.

  • @naledinalz4523
    @naledinalz4523 5 лет назад +7

    Am I the only South African loving this song?😍

  • @yustomwaisomania2587
    @yustomwaisomania2587 Год назад +1

    Nipo hapa mwaka huu 2023 naangalia ngoma hiii huku nikiungojea 2024❤❤❤🎉

  • @njokisynaida5504
    @njokisynaida5504 Месяц назад +8

    1 ST JANUARY 2025 02:16 PM WHO'S HERE WITH ME ❤❤❤😍😍😘😘

  • @ZAGAKENYA
    @ZAGAKENYA Год назад +1

    Hii song INATAKA ukiwa beach ama kwa ferry , ocean 🌊 breeze wueh hits different, till grave my fav song 😭🌺🌺🌺 #ZagaKenya

  • @rehmadamian8020
    @rehmadamian8020 5 лет назад +304

    2019 March nani yuko na me gonga like twende sawa

  • @loudno0bKE
    @loudno0bKE 2 года назад +1

    nai nai, ukinipa sikatai, nakupenda sana you're always in my mind

  • @YOUNG.BOSS.ZAWADI_MWITA
    @YOUNG.BOSS.ZAWADI_MWITA 4 года назад +34

    Ali Kiba is so humble and so happy in this video. Amazing.

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 4 года назад

    Daah yaan kuna nymbo zinakumbusha mbali sanaa😩😩😩 siku zinakwenda

  • @Official_starboyoffset
    @Official_starboyoffset Год назад +6

    2023 love this song it never gets old love from 🇰🇪

  • @Farajakazina-lw7dh
    @Farajakazina-lw7dh 6 месяцев назад +2

    Kazi nzur sana ❤

  • @stephenvenancee7131
    @stephenvenancee7131 11 месяцев назад +22

    2024 where our likes?

  • @AhmedSalah-ri3es
    @AhmedSalah-ri3es 4 года назад

    Dah king hata ukavaa gunia unatokelezea huana mambo mengy uko juu olwys king of Africa

  • @hamisikambona8763
    @hamisikambona8763 4 месяца назад +4

    Tunaotazama hii ngoma 2024 gonga like

  • @pesapejobintiyenjoroge.5219
    @pesapejobintiyenjoroge.5219 8 месяцев назад

    Finally i got it 💞💕,,am here because of Tizian and i hv been looking for this song. # Anthem ya Tizian 🔥🔥🔥🔥 sana

  • @jamillahnaviona1595
    @jamillahnaviona1595 5 лет назад +99

    Wa kwanza 2020 like twende sawa

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 10 месяцев назад +1

    Ilikuwaga hit moja ya kibabe sana kiukweli hii ngoma😊

  • @verkagia4979
    @verkagia4979 5 лет назад +4

    I can't get enough of this song but alikiba has always been my favorite East Africa artist tangu nikiwa mdogo

  • @PatrickRichlimu
    @PatrickRichlimu 3 месяца назад +1

    Daa lakin kiba anajua sana mpaka annajua tena

  • @ameknews2315
    @ameknews2315 5 лет назад +12

    Actuly king is the person who have ability to ensure all people enjoy king kiba yooo upo in the sky

  • @LouisKatunda
    @LouisKatunda Месяц назад

    Ngoma haichuji hii aiseee 🙌🔥

  • @jgm254
    @jgm254 2 года назад +86

    Before my cousin got into an accident this was his best song whenever he was driving. Rest in peace cousin missing you big. 😢

  • @radicalljinari3863
    @radicalljinari3863 2 года назад

    Asanti sana Willy M Tuva ulikuwa waniburudisha sana kwa hii ngoma kipindi sikua na simu

  • @Minzatz
    @Minzatz Год назад +3

    2023 nakusikiliza ngoma tamu ❤🎉🎉

  • @rahmah6635
    @rahmah6635 Год назад

    Akiy hii ngoma naipenda sana❤ from 🇰🇪

  • @Thomaslenine
    @Thomaslenine 4 года назад +4

    Nani ajifariji na nainai kwa uyu wakati mgumu wa dunia na ili janga la corona virus Kama mimi

  • @benmichaels3175
    @benmichaels3175 Год назад

    the video vixen for me🥰🥰na palipo mfalme kiba hapaharibiki jambo. Big up Ommy

  • @dekingsforealdee9147
    @dekingsforealdee9147 Год назад +3

    Nimefika kwa mara nyingine!Gonga like hapa!

  • @musamgulila577
    @musamgulila577 3 года назад

    Mbona ommy dimpoz kumbe zaman alikuwa mweusi ....dunia inaenda kas

  • @shanikale651
    @shanikale651 5 лет назад +14

    20th December 2019 nani Ana watch kama mimi... mziki mzuri hauchuji jamaniiii...ma super handsome hao😘

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 4 года назад

      💅💅💅💅💅💅💅✋✋✋🙏🙏🙏🙏

  • @786schopetamiston9
    @786schopetamiston9 4 года назад

    Nyie baada ya wajumbe kunitenda week 2 Sasa nimeona nije nijipuzie stress ..jaman why.....why.....yaani dunia hii🙆2020 Niko nakumbuka vibe ommy ur the best

  • @epifaniakavishe9282
    @epifaniakavishe9282 10 месяцев назад +3

    Niko apa kuhakiki in my mind haaaahhaaa😅😅😅😅😅😅

  • @hamisjuma4175
    @hamisjuma4175 4 года назад

    kiba yebaba ommy wako juuuuuuuuu 😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥🎧🎧🎧🎤🎤🇹🇿

  • @youngmeekmilly3511
    @youngmeekmilly3511 3 года назад +253

    2022 I'm still listening 🎧 to This hit Song🔥🔥Shout out to Ommy&Alikiba💯🔥

  • @mbarakahmed3305
    @mbarakahmed3305 3 года назад

    Jaribu kupiga ngoma hini club then uwone watu watacheza or no. Old is gold always sahi tunaimba na beat za ki south Africa

  • @simonpeterofficial.2332
    @simonpeterofficial.2332 10 месяцев назад +6

    Wangapi wamerudi kurudia makosa ya king kiba kutoka Kwa utani WA ommy dimpoz @crownfm😂😂😂

  • @ReghieMurugi
    @ReghieMurugi 10 месяцев назад

    Kwani ii Ngoma hainanga lyrics,have been searching for it sipati

  • @faithmutiso2411
    @faithmutiso2411 6 месяцев назад +7

    My favorite since form three 2012...show some love❤️❤️...july 2024

  • @nassoromelele7339
    @nassoromelele7339 11 месяцев назад +2

    masterpiece 🔥

  • @GeorginaMmboshia
    @GeorginaMmboshia Год назад +3

    These song will never get old stil hit 2024 1:01

  • @AbduliSheshe
    @AbduliSheshe 4 месяца назад

    ILA OMMY ALIKUWA SMART SINCE KITAMBO, ILA TYU NDO ALIKUWA HAJAJIPATA

  • @aligee1751
    @aligee1751 5 лет назад +6

    Nyimbo zaawawwjama zinaishii milele😂😂😂

  • @therock7257
    @therock7257 2 года назад +2

    From America we get some old memories this banger