Nay wamitego ft Diamond - Muziki gani {official video}

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @mishekmacharia3379
    @mishekmacharia3379 9 месяцев назад +428

    Kama umerudi hapa 2024, where is the like . 🇰🇪

  • @sharonmary7051
    @sharonmary7051 10 месяцев назад +167

    2024 nipeni likes jameni😢

  • @banditt_ke
    @banditt_ke 9 месяцев назад +59

    2024 huu ndo bongo tulikuwa tunaipenda🔥🔥🔥

  • @M2kudhalilikacode11
    @M2kudhalilikacode11 11 месяцев назад +166

    WALE WA 2024 GONGA LIKE TWENDE SAWA 😊😊😊

    • @JoseMagesa
      @JoseMagesa 9 месяцев назад

      Tuko pamoja maco boy ndani ya goms

  • @martinsjoaquimfernando
    @martinsjoaquimfernando Год назад +7

    Anatokea Mtu anasema diamond Ajui kuimba!

  • @jumambarouk
    @jumambarouk Год назад +150

    Kama umerudi kutazama huu wimbo 2023. Gonga like tujuane ❤

  • @SiskoManalayon
    @SiskoManalayon 2 месяца назад +16

    Na Simba asilinganishwe na wasanii wengine Tanzania bana🫡🪖🔥SIMBA LA MASIMBA 🦁#nipeni like 2024

  • @rukiangilla3113
    @rukiangilla3113 Месяц назад +5

    Nimerudi Leo 2024 naangalia hii nyimbo Leo imenikumbusha mbali sana

  • @annewanjiru7126
    @annewanjiru7126 3 года назад +129

    Kwa songs za diamond hii ndio song napenda sana zingine ni kupitia too but this love it so much much love from Kenya 🇰🇪 2021 still bado iko juu

  • @nabiichrisstv
    @nabiichrisstv 8 месяцев назад +4

    Kama umerudia kuangaria video hii Zaidi ya mala3 2024 gonga like apo Kaya kwendani hii Da

  • @donaldomuto
    @donaldomuto 7 месяцев назад +178

    kama diaso na kabuda wamekuleta uku from tiktok weka like guys😆😆😆😆

  • @martinonetv
    @martinonetv 2 года назад +515

    Kama umerudi kutama huu wimbo 2022. Gonga like tujuane ❤

  • @berdernyakio7165
    @berdernyakio7165 4 года назад +97

    At Corona Virus errors, team East Africa piga like hapo.

  • @ishmaelbmespoirhopenr4234
    @ishmaelbmespoirhopenr4234 3 года назад +677

    Nani anae sikiliza 2021, basi tujuane kwa like ⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️

  • @barretkimani270
    @barretkimani270 3 года назад +45

    🎶Hivi nyie ma mc mnachemba kitu gani,mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani 🎶... kwa wale hamkua mnarlewa lyrical chorud ya Diamond kwa huu wimbo nipeni likes🤔

    • @ktmediatv
      @ktmediatv 2 года назад +6

      Mnachoimba not mnachemba

  • @eliasbatoniking2839
    @eliasbatoniking2839 Год назад +162

    Kama ume angaliya iyi wimbo tena mu 2023 nipe like tujuwane

  • @Swahili14
    @Swahili14 2 года назад +13

    Ila tuache utani jamani Diamond's voice in his prime was unmatched 🙌 no wonder wanamchukia sana 🤣

  • @elizabethmuema8207
    @elizabethmuema8207 9 месяцев назад +7

    When diamond was diamond 😊

  • @engfelixgudheart3164
    @engfelixgudheart3164 6 месяцев назад +34

    Huu wimbo nmerudia huu mwaka 2024. Nmeicheza mara kama kumi hivi. Wapi like❤

  • @dullacityboy232
    @dullacityboy232 3 года назад +15

    Nan yupo na hii song nione like zenu kama mupo na huu mziki🇰🇪🇰🇪💯💯

  • @naomiwhite3832
    @naomiwhite3832 2 года назад +78

    Even 2023 I'll b here listening to this hit I love it wit ma soul specially Nay's part

  • @nickjeezy6331
    @nickjeezy6331 3 месяца назад +3

    Wasee wa Kenya 🇰🇪ebu nipeeni hizi malikes kaa zote...mnajua kenye namaanisha🤜🏾

  • @desmartboy5828
    @desmartboy5828 4 года назад +216

    Mm ndo wa mwisho 2020 kama yupo mwingine Kama mm like

  • @saidabdulkadirmjahid8255
    @saidabdulkadirmjahid8255 3 года назад +9

    Success is a process,jamaa alianza kimchezo mchezo now he is an international act 11 years of experience still hustling like a new act in the music THE LION OF AFRICA

  • @westonchibwete3006
    @westonchibwete3006 4 года назад +9

    Mamaeeee Hii nyimbo iliandikwaa kinyamaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @douglasomurwa8879
    @douglasomurwa8879 3 года назад +49

    I love Diamond songs, it's 8 years but it sounds like it came out yesterday.

  • @Official_Minor
    @Official_Minor 4 года назад +387

    kama umerud 2020 kuutazama huu wimbo gonga like

    • @sonnuba5150
      @sonnuba5150 4 года назад +4

      Bado ipo juu

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 4 года назад +3

      Hhhh Mara wema Mara zari Mara hamisa Mara tanasha...weuweeee

    • @Official_Minor
      @Official_Minor 4 года назад +1

      @@auntiemylee3157 HAHAHA Umeua mtoto mzuri

    • @bestmusic627
      @bestmusic627 4 года назад

      ngoma kali🔥🔥

    • @bestmusic627
      @bestmusic627 4 года назад

      ngoma kali🔥🔥

  • @barrackjunior6236
    @barrackjunior6236 3 года назад +160

    Kama umerudi 2021 kuutazama huu wimbo, gonga like tujuane❤

  • @abdinasirali3460
    @abdinasirali3460 4 года назад +96

    Tanzanian are the best kisiwahili speakers in Africa and I can’t wait to visit again last time I visited was 6years ago great people . Great country . Great food 🥘.

    • @michaeljgruppiii7257
      @michaeljgruppiii7257 2 года назад +1

      Kiswahili speakers’s first country is Democratic republic of Congo 🇨🇩

    • @all-victorious2156
      @all-victorious2156 2 года назад +2

      @@michaeljgruppiii7257 It's not informative as that of Tanzanians.

    • @tonygee5680
      @tonygee5680 Год назад +1

      I thought Mombasa people.

    • @calebkenei6917
      @calebkenei6917 Год назад +1

      Likewise mombasa people

    • @tonygee5680
      @tonygee5680 Год назад +1

      Ur wrong coastal people of Kenya especially Mombasa to lamu are the best speakers of Kiswahili. Then followed by Zanzibaris. The fact that as a whole, Tanzanian people speak Swahili more than English,doesn’t make them the best.

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 3 года назад +1

    Yani 🦁 akishirikishwa pia ni shida huamini fanya ziara wimbo wa Yope, Salma, kipi sijasikia na nyinginezo

  • @zeyad2i
    @zeyad2i 5 лет назад +249

    I remember listening to this song like crazy when I was in Kenya, big love to Kenya ❤️❤️

  • @kariekarian7026
    @kariekarian7026 2 года назад +47

    10 yrs later...still hits differently🔥🔥🔥

  • @bosiremwamba4018
    @bosiremwamba4018 9 месяцев назад +28

    Sisi wa 2025 tuko wapi

  • @KinanaMunene
    @KinanaMunene 9 месяцев назад

    Chanzo cha wakenya kusepa zao Dar.. T touch mtu wa nguvu akatupa na shirko media 254 2024 tupo site Kenya mzima

  • @aliciousdaqueen6385
    @aliciousdaqueen6385 9 лет назад +56

    Love u diamond and Nay wa mitego big up sana 💋💋💋
    Mi mti wenye matunda siogopi kupigwa mawe

  • @ViceAdmiralVasilyArkhipov
    @ViceAdmiralVasilyArkhipov 2 месяца назад +1

    Nay Wamitego is a legend for what he is doing in Tanzania 🇹🇿

  • @jumahumphrey3656
    @jumahumphrey3656 4 года назад +69

    Karantini ndo imenifanya nimefika huku🤗🤗

  • @gabrieludoto2685
    @gabrieludoto2685 Год назад +17

    My favorite song ever 😍 and today being TBD i must watch this song 😘😘 2023

  • @silvanusokumu8256
    @silvanusokumu8256 5 лет назад +25

    This was Diamond and Ney before the millions hit their accounts.... Muziki gani .... aaaaaahhh 2019 and I am still here

  • @erickmayani26namba79
    @erickmayani26namba79 2 года назад +2

    Zamani ulikuwa moto sana mbona sikuhizi unatuangucha sana dangote

  • @abdishakurissak2131
    @abdishakurissak2131 Год назад +17

    This song hit different ❤. Imagine it's 2023 and the song hit like it was released yesterday 😮❤❤

  • @sanchostylist...9719
    @sanchostylist...9719 2 года назад +252

    WALE WA MWAKA 2022 ONYESHA LIKES👍❤️

  • @muminahussein4779
    @muminahussein4779 8 лет назад +28

    Yeah we got Nay wamitego ni Kenya Meru!! For those who attended Diamond's event know that

  • @jokshtv
    @jokshtv 2 года назад +1

    Stop asking who's still here, Weren't leaving

  • @ireneulu3004
    @ireneulu3004 5 лет назад +88

    Hii ngoma ikitolewa sikua na smart phone but now i can access this in utube, let's all meet here pliz

  • @Ivan-pr9ry
    @Ivan-pr9ry 5 месяцев назад +10

    Kama ume Rudi hapa 2024 gongo likes zombie n'a nay

  • @zgambo9374
    @zgambo9374 2 года назад +30

    2023...and still the song Hits differently

  • @raquelnakeno1149
    @raquelnakeno1149 8 дней назад +2

    These were THE SONGS.

  • @straybullet2020
    @straybullet2020 Год назад +19

    2023, still hitting like a latest release 🙌nipe like ya mziki gani tukisonga😙

  • @ochielhabram7286
    @ochielhabram7286 2 года назад +3

    Ngoma Kali ata baada ya 9yrs big up Nay ft Diamond from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sir.Millben
    @sir.Millben 2 года назад +41

    Nostalgia....the good old days♥️♥️.....2022 anyone💯

  • @Me-rb5sp
    @Me-rb5sp 11 месяцев назад +28

    Tupo hapa wa 2024😂 like😂

  • @estinkiyaka3755
    @estinkiyaka3755 2 года назад +99

    2022 STILL LISTENING TO THIS MUSIC IN KENYA🔥🔥

  • @justinkb6693
    @justinkb6693 3 года назад +28

    TWO LEGEND STILL KICKING IT IN 2021 and maybe will still in 2022 if God wish live longer Both of use much love from #Australia

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 Год назад +47

    Many years ago,but the song still a banger in 2023🔥🔥🔥

  • @deniswangunyu8704
    @deniswangunyu8704 3 года назад +1

    Diamond n mti mwenye matunda ..na bado anakuliwa Hadi 2020 ..bad tune all the time

  • @kulatendaudi7671
    @kulatendaudi7671 2 года назад +8

    Wanangu ngoma ilikuwa kali sanaaa 2023 bdo tunakufanayo like tujuwane wa mwakahuu tulioutizama

  • @rukiyarashid9170
    @rukiyarashid9170 4 года назад +1

    Naona diamond anafaa kunilipa coz natumia pesa nyingi kununua data ya kisikiliza nyimbo zake😁.love from Lamu kenya

  • @hallothe4424
    @hallothe4424 2 года назад +14

    Missing Ney in the music industry...My all time favorite 💕👌

  • @mikemicky9103
    @mikemicky9103 11 месяцев назад

    na kama umerudi kutizama 2024. wewe ni mpenda muziki

  • @husseintima4243
    @husseintima4243 2 года назад +6

    Ney the sound is killing me best collabo ya Diamond 😘

  • @mohamedaden7610
    @mohamedaden7610 Год назад

    Miti wenye matunda haogopi kupigwa mawe big salute platinums

  • @donmuhammadmasoud7429
    @donmuhammadmasoud7429 3 года назад +33

    The long drives to the coast of kenya 🇰🇪 whenever I was entering mombasa I would repeat this song severally the swahili was awesome

  • @lynahasiko6454
    @lynahasiko6454 Год назад +1

    Mondi naomba mfanye colabo nyengine n a nei wa mitego😢hii kali sana❤❤❤❤2023

  • @babylissvayo5520
    @babylissvayo5520 6 лет назад +126

    My fellow Kenya's brothers are you guys still watching 2018 like me 💖💖💖💖💖💖💋💋💋💋💋👌

  • @barakamunga5265
    @barakamunga5265 Год назад

    Nimerudi hapa baada ya Salim Kikeke kusema hii ndio favorite yake🎉🔥💥

  • @vivianakinyi9143
    @vivianakinyi9143 7 лет назад +92

    This will NEVER get old for me

  • @brightojiambo5904
    @brightojiambo5904 2 года назад +25

    The fact that am here in 2022 tells how big tune this song is.

  • @fredrickosuka1308
    @fredrickosuka1308 4 года назад +7

    His message is very clear. love what you are doing and stay humble

  • @AngelJustine-h7w
    @AngelJustine-h7w Месяц назад +1

    Mwez wa kumi na moja nasikiliza nikiwa dodoma makole 😢😅❤

  • @andrewmellowboy4322
    @andrewmellowboy4322 11 лет назад +23

    congratulations for all the good job you have been doing guys. I really appreciate you improvement on East Africa music industry.

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 2 года назад

    Naamini Diamond platnumz na Ney wa mitego mkitoa homa kingine linaweza kuwa kubwa Afrika yote. Hebu andaeni collabo

  • @yvonnechepkemoi9433
    @yvonnechepkemoi9433 3 года назад +14

    Av always loved this song since I was in class three .l could see my sisters singing but couldn't understand but I kept on listening almost five times a day but am now okay ♥️.

  • @MohamedAwami-g8t
    @MohamedAwami-g8t 16 дней назад +1

    Jamni bongo za zaman mmm kama una sikiliza 2024 gonga like

  • @stewardkinyafu189
    @stewardkinyafu189 3 года назад +30

    2021 hiyoooo nani tupo pamoja kwa mastar naywamitego hpaaaa💔💔💕💖💖👁️‍🗨🤙🤙

  • @annabadru2352
    @annabadru2352 2 года назад

    Daaaaa tunaomba utupe raha tena
    Ngoma kali sn naependa sn please tunaomba Ngoma tena Ney na Simba 🙏🏽🙏🏽

  • @babaali482
    @babaali482 9 лет назад +20

    diamond uko fiti mwanangu nay wa mitega poa hapo endelea kazi yako ya chocolate na peremende

  • @rajablemah7217
    @rajablemah7217 2 года назад +8

    Aliekuja kuangalia baada ya diamond kutoga pua tujuane 2022

  • @julianacasmir6586
    @julianacasmir6586 11 лет назад +12

    oooh GOD,i love this song...i cant get tired listening to it......

  • @vincentligami2194
    @vincentligami2194 3 года назад +1

    HUYU NDIO DIAMOND TUMEZOEA SIO HUYU WA SIKU HIZI ANAPENDA KIKI TU

  • @davidochieng3197
    @davidochieng3197 2 года назад +6

    Consistency na Diamond ni kitu kimoja. Hits tu tangu enzi zile

  • @BraveMajaliwa-gf7ru
    @BraveMajaliwa-gf7ru 5 месяцев назад

    Huu wimbo diamond platnumz akiusikiliza mpaka anamkumbuka nay wamitego 😂😂😂big up diamond platnumz and nay

  • @rachealnjeri9809
    @rachealnjeri9809 Год назад +14

    2023 and still listening to this song 🔥🔥😍

  • @instituteofsuccessios5416
    @instituteofsuccessios5416 Год назад

    Kumbe idea aliitoa dullah planet ndio wakaandika mashairii Ila wao walikuwa na wimbo tofauti na huu.... Big up dullar planet.

  • @michaelndalo2843
    @michaelndalo2843 4 года назад +12

    The song is really nice. Its more like a comparison on good energy project management and otherwise. That is why you hear Diamond saying that,'...Namtunza kwa vazi na .......'-(Take care of her using clothes........) More like include the stakeholders of the project and also tell them of the benefits and importance.'Muhimu jukwaani wanapagawa'-On the podium make them become surprised(Inform the stakeholders of the importance and benefits) Then you hear Nay Wa Mitego say that ' Mganga wako-(Your medicineman)- Informed forecasting is one of the important aspects of energy propsepcting in addition to ethical practices and good policies

  • @bright_crow
    @bright_crow 13 дней назад +1

    Such a classic🎉
    Big up diamond❤

  • @kenyafarm9891
    @kenyafarm9891 4 года назад +5

    27/06/2020 nimekumbuka wimbo wangu nikiwa form one. 😍😍😍

  • @robbykofficial9901
    @robbykofficial9901 10 месяцев назад +1

    wimbo mtamu huu 💖.

  • @cozsheroyal.1043
    @cozsheroyal.1043 5 лет назад +37

    I am crushing on both of these men.The lyrics from both are lit.

  • @SIMBADANGOTE-jj3ip
    @SIMBADANGOTE-jj3ip 8 месяцев назад

    Miye nataka tena collaboration nyingine kama iyi itakuwa kali 17/4/2024

  • @AyanAli-fn3zp
    @AyanAli-fn3zp 8 лет назад +106

    i have been looking for this Song ..finally !!!its ma Fav

  • @daaadeee6072
    @daaadeee6072 2 года назад +7

    What a song am from Somalia 🇸🇴🔥🔥🔥

  • @billionaireemma
    @billionaireemma Месяц назад +3

    Like zote hapa 2025🎉

  • @evanceouma3049
    @evanceouma3049 3 года назад +6

    Today 13th Oct 2021 .... Here we still are we thank God. Diamond Hits....☑️🔥🔥🔥 Number one fun from 🇰🇪

  • @brendajumah8027
    @brendajumah8027 6 лет назад +12

    I just hope they'll do another Collabo. Till now I still love this song, issa CHUNE

  • @djgolf254
    @djgolf254 Год назад

    Gengetone NAIROBI KENYA.

  • @joycemwikali260
    @joycemwikali260 2 года назад +3

    Niko hapa after mondi ametoboa pua wakati hapa alisema "michezo yenu kutoboa pua" 😂😂 waiii its like alisahau

  • @gladysndunge
    @gladysndunge 2 года назад +1

    Wueh mnavaa manguo za dada zengu zinawabana mapaja😂😂 mondi ata chance ya kujibu hukupewa

    • @gladysndunge
      @gladysndunge 2 года назад

      mondi ulibaki tu Kwa "hayo matusi bwana"😂😂😂

  • @debrafaizafaiza1707
    @debrafaizafaiza1707 2 года назад +10

    2022 here i come I first heard this song when I was in class 6 but now I'm in university my love from Kenya ❤️💯

    • @malvinbreel6895
      @malvinbreel6895 2 года назад

      Chill. Ulimaliza high school mwaka gani?

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 2 года назад +2

    Mara wema mara JoJo ma penny mara misa mara Dona mara zari mara zuchu mara Alya 😱