Nuh Mziwanda ft Ali Kiba Jike Shupa Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @dlinecydoris8916
    @dlinecydoris8916 Месяц назад +63

    Walioko hapa baada ya kuona anavyo pambana jaman kuomba support 2024😢😢

  • @TaisonJr-o6b
    @TaisonJr-o6b 10 месяцев назад +58

    kama ume xikiliza mimbo huuh mwaka 2024 tujuwane

  • @especherathuman2693
    @especherathuman2693 Месяц назад +14

    Nimekuja hapa kumsaport haki nimeumia kumuona vile haki😢😢😢🎉

  • @evanskaino6400
    @evanskaino6400 2 месяца назад +9

    Upendo mwingi sana kutoka taifa tukufu la KENYA! Mafundi wa ngoma hawa

  • @sjk_phone_store
    @sjk_phone_store Месяц назад +17

    NIKO APA KUMSAPOTI MCHIZI NUUH KAMA NA WEWE NI HIVYO LIKE

  • @issasimon141
    @issasimon141 3 года назад +9

    Kumbe safari ya kichapo ilianzia huku bro Ally ndio alie tabiri ya bwana uchebe. Goes around come around baby

  • @boyangotz7311
    @boyangotz7311 Месяц назад +11

    Tulio kuja kwa ajili ya mwijaku kukataa kusapot 2juane 2024

  • @yohanamashauri7742
    @yohanamashauri7742 4 года назад +118

    Nan karud huku baada ya kuskiliza majibu ya nuh kuhusu shilole kupigwa nipate like hata kumi tu.

  • @Joseracalitto
    @Joseracalitto 9 месяцев назад +5

    Ngoma safsana hiii inatamba mpaka sahii🎉🎉🎉🎉 kazi safsana

  • @medardkihekaabel2601
    @medardkihekaabel2601 10 месяцев назад +83

    Tulioko hapa 2024 Chapa Like Chap😂

  • @koffianodichisesa238
    @koffianodichisesa238 4 года назад +3

    Baada yashilole kupigwa wangapi tumeludi kuonglia huuu wimbo

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx 3 месяца назад +2

    Ma handsome boy wawili kwenye ngoma moja,🫡🫡🫡

  • @kasimuyahaya4010
    @kasimuyahaya4010 4 года назад +26

    Kama umegundua video queen anafanana na shshi gusa like twende

  • @BenjaNickorous
    @BenjaNickorous Год назад +2

    Pamoja broo nuh wanawake wengine ata uwapendeje hawana shukrani

  • @LEZAHMBONGO
    @LEZAHMBONGO 10 месяцев назад +212

    Team 2024 tuko wapi naomba tu likes atakama 15k

  • @jean-de-dieu6502
    @jean-de-dieu6502 3 года назад +4

    King Kiba nakbar sana from burundi

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m Месяц назад +5

    Leo shilole hataki maendeleo yako pambana kaka unajua una sauti nzuri

  • @sallykanze
    @sallykanze 8 лет назад +59

    Hapa Nuh and Kiba mlicheza Wimbo mzuri sana naupenda sana

    • @petersifuma8997
      @petersifuma8997 7 лет назад

      yea..hapo n ukweli bt thiz guys look a like.....i cant easily differentiate them

    • @fesalali2386
      @fesalali2386 3 года назад

      Huu wibo unanipa maisha ya uzuni

  • @tysonmhagama4792
    @tysonmhagama4792 4 года назад +4

    Nyimbo kama wameiba jada noma sana

  • @Mocky-h3c
    @Mocky-h3c 8 лет назад +47

    mapenzi si ubondia, najikaza huku nateketea,bora nijivue nisijisumbue...........................lav this track sana big up Nuh n king Kiba

  • @mohammedseif1927
    @mohammedseif1927 6 лет назад +3

    Dah... hii ngoma cku zote cjaielewa ila sasa inaenda na maisha yng ...kwa sasa nimeilewa safy san

  • @WapoHao
    @WapoHao 4 месяца назад +2

    Hiii ngoma Kali Sana bado aichuji mbaka leo 2024

  • @IsayaTarakwa
    @IsayaTarakwa Месяц назад +7

    Jamni tumsupport kaka etu wakenya wasije wakaona anateseka maana mmh tutakwisha😅😅

  • @TheGalaxy2
    @TheGalaxy2 14 часов назад

    2025 is for yu brother 💯🗝️

  • @NeemaGwasma
    @NeemaGwasma 5 месяцев назад +4

    ❤❤❤ mimi kama mimi naupenda huu wimbo ila nuhu sijui kapotelea wapi😢😢😢

  • @teefahbaby352
    @teefahbaby352 6 лет назад +2

    cchok kuanglia mpnz co bondia at uwe mbabe wa dunia kw kupgan ukifk kwny mapnz utalia 2 bg up broo inaumaaa

  • @harrietmwanyae4778
    @harrietmwanyae4778 4 года назад +3

    Heeeeeeh kumbe shilole kaacha bonge la handsome ivi kheee 🏃‍♀️🏃‍♀️ tukutane kuleee Nuh mm si shupavu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abduljuma2147
    @abduljuma2147 3 года назад +2

    Alikiba kill the chorus Kama kawaida yake

  • @gaileenyalwala9108
    @gaileenyalwala9108 8 лет назад +226

    wale wa 254 kiba kwetu ndio uyo araaaaaaaaa

  • @karenthuranira6883
    @karenthuranira6883 8 лет назад +110

    This Nuh Mziwanda guy should release more songs. He has an amazing voice. As for Alikiba, I have no comments, just respect!

  • @meshacknyerere8286
    @meshacknyerere8286 2 года назад +3

    Niliyempenda alikuwa gaidi sana ikabidi nije kusikiliza na comparison nimejua kweli nilikuwa na JIKE SHUPA

  • @margaretwanjiru667
    @margaretwanjiru667 8 лет назад +2

    Anichanje chale mwili mazima nisimkumbuke hata jina yule hasidigaidi wa moyo wangu×2.....❤❤❤❤👍👍👍

  • @opentalkwithbrian9385
    @opentalkwithbrian9385 Год назад +13

    Lyrics are still fresh despite being 2023 kudos to the duo

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi Месяц назад +1

    Nyimbo nzuri sana naipenda

  • @joegicheru7740
    @joegicheru7740 8 лет назад +136

    mkenya any..eka present

  • @mariabasily115
    @mariabasily115 3 года назад +2

    Hii nyimbo ndio ilimfany bib angwen kumchukua king wangu

  • @pittmoh5625
    @pittmoh5625 8 лет назад +80

    Sasa jike shupa ni nini? Enyewe sisi walimu hawakumaliza kutufunza Kiswahili. LOVE from 254

    • @shylahnekesa6376
      @shylahnekesa6376 8 лет назад +7

      jike shupa n mwanamke ambaye hajatulia Kenya twawaita poko

    • @mwajumahassan5196
      @mwajumahassan5196 8 лет назад

      😃😃

    • @farhannurkey
      @farhannurkey 8 лет назад +4

      wakati wenu walimu waligoma mwaka mzima?

    • @lastdays6502
      @lastdays6502 8 лет назад +5

      cut this crap, Tz should keep their atomic words, coz i can't imagine using those words in a sentence in kenya. 'Jike shupa', mental institute asap.

    • @rehemaissa358
      @rehemaissa358 8 лет назад

      PITT MOH 😂😂

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 года назад +2

    Kwa wimbo huu means that Nuh alikuwa anapigwa na kuteswa

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 Год назад +53

    Kama umekuja kusikiliza hii nyimbo 2023 gonga like⚠️😜😜

  • @mickyplanmaker9053
    @mickyplanmaker9053 5 месяцев назад +1

    Nzuri Sana❤

  • @carolineingati880
    @carolineingati880 8 лет назад +258

    Haya mapenzi Basi
    mm niliyavulia Mpaka chupi wacha shati... Sahi Nko fiti no stress nasaka manoti tu.....

  • @SaidKibendera
    @SaidKibendera 7 месяцев назад +1

    Nimeludiiiiiii kwajilii yashishiiii kweli bwana jike shupaaaaa 😢😢😢

  • @ZenaSelemani-s6h
    @ZenaSelemani-s6h 6 месяцев назад +10

    Kama bado unasikiliza huu wimbo like hapa

  • @ruthakinyi5682
    @ruthakinyi5682 3 года назад +6

    Izo kofi si za kenya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏

  • @morinewanjiru763
    @morinewanjiru763 8 лет назад +26

    I love this.I'm a Kenyan but bongo done stole my heart

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 3 года назад +1

    Bora nijivue, Nisijisumbue 😎😎😎 #JIKESHUPA👌👌👌

  • @mr.valentine254
    @mr.valentine254 7 лет назад +6

    Pia mm nmeyavulia mapenzi shati, ila kwanza, King Kiba na Mziwanda nawavulia kofia...
    dopest music of all time

  • @walevelkastori3360
    @walevelkastori3360 5 лет назад +2

    Amakwer chakare dhahabu huu wimbo unanikumbusha mbali sana "haya mapenzi ssa nimeyavulia"

  • @furahagift4418
    @furahagift4418 8 лет назад +31

    king kiba nimemkubali sana we nuna tu,kitaani watu wamemkubali sana

  • @josephmwalimu143
    @josephmwalimu143 8 лет назад

    musiki uliokomaa i like thiss go go go kibaaa hawakuwezi if wanaweza wakawie miaka tatu na warudi kwa game hahahaha

  • @MwakaKidanga
    @MwakaKidanga 8 месяцев назад +6

    Basii 2024 si mwkaa wangu😢

  • @yusramchande6503
    @yusramchande6503 Месяц назад +1

    Nzurii sanaaas

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 7 лет назад +83

    watching from Qatar.loving it.King #Kiba you rock always nd 4ever.

  • @rajabumwanaupanga4430
    @rajabumwanaupanga4430 8 лет назад

    King kiba umetisha sanaa mwaka wako huuu huku kwenye group letu tunapiga kura usiku na mchana pamoja Sana king kiba nation......

  • @cree7576
    @cree7576 8 лет назад +267

    To be honest, kiba has the best vocals in Tanzania, and this hit is just toooo good wow, I realized those with good voices are not that popular in Tz but the noise makers and those who always jump all over the stage are called the best artists, kinda strange! Love love this music

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 8 лет назад +2

      shut up music is all about entertainment

    • @hopedop5831
      @hopedop5831 8 лет назад +5

      Dummy there's good vocals and just entertainment, if you think it's about entertainment why can't you go sing

    • @neemanicholaus5468
      @neemanicholaus5468 8 лет назад

      you see

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 8 лет назад

      Hope Dop what of people who sing hip hop who has vocal in hip hop?

    • @mkanakamkanaka8765
      @mkanakamkanaka8765 8 лет назад +1

      Malaika E

  • @bongelabwana1940
    @bongelabwana1940 4 года назад

    Jike shupa Kapigwa huko na Uchebe alikuwa anakuonea sana kakutana na kiboko yake Shenzi zake

  • @msolombogozitatu4289
    @msolombogozitatu4289 4 года назад +122

    2020 still enjoying the song

  • @JamesNyandwi
    @JamesNyandwi 3 месяца назад

    Nice song my brother

  • @isaacjackson7667
    @isaacjackson7667 3 года назад +3

    Jike shupa kumbe ni a katusanua jana

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 лет назад +1

    Pole sana #Nuhu wa ngu kaka jmn ndo hiv to na uzoeye dunia ndo kama hiv

  • @dannmburu
    @dannmburu 6 лет назад +15

    The way Alikiba does his segment is just superb.

  • @francismuchiri1504
    @francismuchiri1504 2 года назад +2

    Kali Sana 🔥

  • @lorrainewanjiru5393
    @lorrainewanjiru5393 8 лет назад +39

    When Ali Kiba gives you more reasons to love him

  • @emmanueltadayo2649
    @emmanueltadayo2649 6 лет назад +1

    ....kupendwa ni ajira na mimi sina vyeti... dah bro hii line hii

  • @ernestansu7529
    @ernestansu7529 3 года назад +30

    I’m Ghanaian based in Europe but i don’t know why I’m addicted to Tanzanian and Swahili songs even though i don’t understand the language, their artistes are just superb

  • @edamayulewajenes9394
    @edamayulewajenes9394 7 лет назад

    That kastyle dance kills me softly. ...mabaya kukufijia

  • @strongnana2226
    @strongnana2226 8 лет назад +4

    nimekubali..iko dope..keep it up guys💋💋💋king kiba live long..inauma kweli

    • @juliemaelo5204
      @juliemaelo5204 6 лет назад

      Wow....I'm always inlove with this song

  • @مشعلالعريمي-خ2ب
    @مشعلالعريمي-خ2ب 3 года назад

    🌹🌹🌹🌹❤️💥💥💥👏👏👏Mm mapenz sijavulia tu shat yani nimevua zote sitaki shida na mtoto wa mtu npo busy kusaka life song kali kinoma baba mlitisha mnoooooooo❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @nasrahkhaleedy7489
    @nasrahkhaleedy7489 4 года назад +202

    Kama bado unasikiliza 2020 Gonga like

  • @evalynelumumba2492
    @evalynelumumba2492 5 лет назад +2

    Aya mapenzi basi nimeyafulia Shati kupendwa ni ajira na mimi sina vyeti.ukweli mtupu still watching 2019

  • @malkiasepetu8615
    @malkiasepetu8615 8 лет назад +18

    U guyss ebu lets stop hating chhaaa!!! Yaani hii video ipo on point kila kitu nmepitia comments naona watu wanasema kuwa hawachezi sijui sasa mlikua mnataka wachezeje yaani nairudia rudia labda nione kasoro yet hakuna vdeo iko poa bana nawalivocheza inatosha mtu anaimba anaonesha na hisia sasa kucheza huko inahuu watacheza wakati wanaperfom live lkn this vdeo iko verry fine na wale wanaomdiss kiba mnaleta uteam mpk kwenye nyimbo ya nuh.. Kiba ucharacter alouvaa support aloionesha kumuinua Nuh inatosha sasa angecheza sanaa wote mngekua busy mnamtizama yeye remember ni nyimbo ya Nuh madirector Kiba wote wameona wafanye whats best kwa Nuh ili azid kukonga nyoyo za watu.. All N All this is the best Video Everrr.... 💪💪💪

  • @jamesprotas4267
    @jamesprotas4267 4 года назад

    Nipeleke kwa mganga duuh hatari sanaaa jike shupaaaaaaa

  • @thehappyfamily2072
    @thehappyfamily2072 8 лет назад +16

    hapa Kenya kiba tunakupenda

  • @AmraniRamadhani-o9g
    @AmraniRamadhani-o9g Месяц назад +2

    Kibaaa

  • @abdallahkibade3267
    @abdallahkibade3267 5 лет назад +3

    Kama vile namuona Nuh akipafom hii ngoma kwenye TAMASHA la KINGS 2019

  • @accessorizeit1187
    @accessorizeit1187 8 лет назад

    daah,access nasema kaka mziwanda wafanana Sana na king kiba..kama ndugu tu!

  • @sophiaabuukapanga1504
    @sophiaabuukapanga1504 5 лет назад +127

    Tukutane kwa like watu Wa 2019

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 3 года назад +2

    Kumbe ugomvi wa shilole na alkiba ulianzia huku🙈🙈🙈🙈🙈🙄🙄🙄 kawimbo katamu

  • @liliantanui5077
    @liliantanui5077 7 лет назад +3

    I mean who just won't love ALIKIBA lots of love for ypur music from Kenya your vocals are just increvidible

  • @mwanaishaalfan3145
    @mwanaishaalfan3145 3 года назад

    Mm pia niliyavulia sikati basiiii👏👏👏👏👏👏💯🔥🔥🔥🔥

  • @beatriceemmanuel6037
    @beatriceemmanuel6037 5 лет назад +48

    Mm nimefunga mwaka nahuu wimbo,,,2019 like zangu naomben

  • @alviarouben421
    @alviarouben421 4 года назад

    Woyoooooo 20 20 nyimbo ina heat upya oyooooooo....nani hatak

  • @abdallaameir3153
    @abdallaameir3153 3 года назад +4

    Huu ndio ungomvi wa kiba na shishi ulipoanzia

  • @bagujeawesome6982
    @bagujeawesome6982 8 лет назад

    Nuhu mwisho wa ubaya mwanzo wa mazuri keep it tight bro *kona Kijukuu

  • @vailethnyondo1608
    @vailethnyondo1608 5 лет назад +4

    Kiba w n kiboko ukamshaur nuhu atafute mdada anaye fanana na shilole kavaaa had mavaz ya stage ambayo alifanyaga shilole na kubak uchi duh mapenz ya kichujaaa Nouma

  • @Victor-i6m9t
    @Victor-i6m9t 7 дней назад

    Kipind hiyo wimbo unatoka nilikuwa kwenye mahusiano na Binti wa kikerewe . Ag

  • @mariamawadhi9620
    @mariamawadhi9620 8 лет назад +6

    nice one waaaow tamu sanaaa, ktk nyimbo zako zote Anza kuhesabu hii ndo nyimbo yako bora ndo kwanzaaa unaanza usibweteke. Hata kiakili unaonekana umekua Big Up

  • @fridahkawira4139
    @fridahkawira4139 6 лет назад +1

    wow aky semeni mm kunashwa na hi mambo,, nimeipenda sana imenimalisa sana but nitapata wangu

  • @rochelleolieba7114
    @rochelleolieba7114 8 лет назад +15

    Ali K will always be the Best,, Mmmmh Nice Song

  • @beattynjunge2377
    @beattynjunge2377 8 лет назад

    imgn hii song hunipatia uvumilivu sana kube kuna watu wengi hupitia mambo mengi sio mimi pekee,haiishi siku kama sijacheza hii ngoma zaidi ya mara tano

  • @georgettetiemele8220
    @georgettetiemele8220 6 лет назад +6

    TS ses musiciens tanzaniens ont la mm voix et tous chantent très bien. Bravo à vs. Depuis la cote d'Ivoire.

  • @hillsgate386
    @hillsgate386 8 лет назад

    Waaaaaaaaau! Kiba nmkuinulia mkono juu

  • @jamesmutisya7079
    @jamesmutisya7079 8 лет назад +4

    Mapezi kazi kweli, vyeti nazo ni hadimu

    • @sitibora4942
      @sitibora4942 8 лет назад +1

      James Mutisya 😁😁😁😁

  • @ivankulola5847
    @ivankulola5847 8 лет назад

    safi dogo, it reaches a time enough is enough.kimbia hiyo jike shupa.wasichana nzuri wamejaa

  • @viviankerich9890
    @viviankerich9890 5 лет назад +4

    Nimeamka nikikumbuka hii song... Wadau wa 019 nipeni likee

  • @nairobikenya7611
    @nairobikenya7611 5 лет назад +1

    Napenda huu wimbo waaah haya mapenzi nmevulia shirt

  • @veronicaminja2398
    @veronicaminja2398 4 года назад +66

    2020 ndo nimeimisi tens hii nyimbo kama unaangalia 2020 gonga like

  • @bintwakitanga4447
    @bintwakitanga4447 8 лет назад

    aaaaaa Inauma nilinawa mikono kupenda tena itabaki kuwa historia kwa sasa ni kusaka mahela

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 7 лет назад +5

    Very nice song sijaona kama hiyi siichoki naipenda mpaka basi

  • @tamarakhagali8148
    @tamarakhagali8148 8 лет назад

    Napenda bongo Na napenda muziki wa bongo sana..Ali Kiba,Diamond,Wema,Jokate, Aunty Ezekiel,Rayvanny Ni baadhii ya My Favorites..