nilikua sina google ac lakini hii nyimbo imenifanya nifungue ili mradi nitoe maneno yang,hii nyimbo walah angeimba diamond au kiba ingekuwa ringtone kwenye radio za bongo sad kaimba timbulo watu watasema ya kawaida,ila for real tangia mwaka uanze hii ndo nyimbo inayogusa hadi ndani ya moyo kama umepitia haya mambo ya mapenzi,timbulo na baraka for real u kill it this song
nicasius nicholaus ,,temana nae no need to back again,,,,LeAnn akuache then akurdie kisa wimbo,,,,,!! akiondoka utamrudishaje?? au kutakuwa na wimbo mwngne????
Ila jaman kusema ukweli pamoja na mashauz yote ya baraka da prince ila jamaa anaimba sana mistar yake ndo inanikoshaga..ukimuweka na Timbulo ndo kabisa ngoma kali sana...Hit song
Hapana Baraka hapana Baraka sasa naweza kusema ndio umeamua kuonesha maufundi yako.sasa kwann kwenye wimbo huuu umenimaliza kabisa.Good music for gud artist well done Baraka na Timbulo
ngoma Kali sana tu lina ladha ya nyumbni kabisa hongera Sana #timbulo vs baraka da Prince. nimeipnda sana hyo nyimbo pia imenigusa na naipnda nyimbo . peace & love. God bless u all
Siwezi choka tazama hii nyimbo na kusikiliza,inanikumbusha mbali sana,niliachana na mpenzi wangu ambae mpaka Leo bado nampenda ila ashapata bwana mwingine,hii nyimbo ina ujumbe mkali sana inanifanya nakumbuka mbali sana,namkumbuka ila naomba anitunzie siri zangu
Immaculate Ndinda. They are not Kenyan. The artists Timbulo and Barakah the Prince are Tanzanian. There is a Kenyan guy (Otile Brown who appears in the video) but it is not his song and he is not even singing.
Immaculate Ndinda I do not need to google. Barakah the Prince and Timbulo are Tanzanians because I know them. They live in Tanzania although sometimes Barakah records some of his music in Kenya. The only Kenyan guy is Otile Brown. But this is not Otile's song, he only appeared in the video.
This song is just super amazing with a true message.Currently most people love each other but they ain't together.Takes me back to back olden days.I Love the song with all my heart.
Hii nyimbo inatoka ndio siku na mm mpenzi wangu nilie mpenda kunisalit na kuniambia tuachane kila napoisikiliza hua naumia sana asee daaaaah ni ngoma kali sana..
Mungu wabariki walio imba hii nyimb ila n uwarudish kweny njia ujumbe upo san n mavaz yko poa san kwnn leo wamekuwa ivo uchi kw kwnda mbele sapot nyingi sna dahhaha barak the price nkupndag bure ulikwwndag wap. 😧😢😢😢😘😙
Hii ngoma nilikuwa ndo nimetok kuachan na dem wangu baad ya yey kupata kazi kule kariakoo kwa wauza vipodoz mimi nikiwa kidato cha sita tukiwa na ndoto kibao zikayeyuka 🙌🙏🏾
Mwaka ambao ngoma ilikuwa released ni mwaka huo huo,miezi kadhaa nyima nilitoka kuachwa na mpenzi wangu Sarah na kupelekea kuyumba kwangu kitaaluma,nilikuwa naisikiliza sana ngoma hii kuliko kuconcentrate na masomo yangu..ni true story..2019 twende sawa
2024 Who Is Here With Me...Tuliye Kwa Pamoja 😂😂😂
👋👋👋👋
Niko apa
😭😭😭😭tulie kabisaa
😂😂😂alooo
Niko apaaaaaa
Its 2023 but listening to it feels like it's a brand new hit🔥
Ngoma Kali mnoo
It never dies 😘
P
Ivi yupo wapi timbulo kimya sana
2024 nimeirudia tena timbulo from Est African
Kama unaikubali hii nyimbo bado gonga like..
Bado iko fity sana
❤❤
kama umeirudia hii ngoma 2023 gonga like hapa tujuane
Tuko pamoja💪
usijaribu kunwekea ngoma hii hunkumbusha mbli sana na kunfanya ntoke apo kabisaaa
2024
Ady 2024
2024
nilikua sina google ac lakini hii nyimbo imenifanya nifungue ili mradi nitoe maneno yang,hii nyimbo walah angeimba diamond au kiba ingekuwa ringtone kwenye radio za bongo sad kaimba timbulo watu watasema ya kawaida,ila for real tangia mwaka uanze hii ndo nyimbo inayogusa hadi ndani ya moyo kama umepitia haya mambo ya mapenzi,timbulo na baraka for real u kill it this song
very true
Dah verry true nice song
fact bro!..hii ngoma timbulo kauaaa
amini yan
real
"Ukitaka nirudie ukiniona sifai nichunie
Ama vipi unipuuze ukiniona popote nipotezee" - TIMBULO 😭😭😭😭😭
😂😂😂😂😂ukiniona nipotezee aina aja tuaribiane mood
Pole @laurent 😅😅
Acha ubwege
Napenda hapo sana😢
*Kama uwepo wa OTILE BROWN kwenye hii ngoma umeugundua baada ya mda mrefu gonga like tuendelee kuinjoy good music*
nimegundua Leo ata
Nimegundua Leo tar13/12/2024
2023🥺🥺🥺who is here with me...tulie Kwa pamoja
😂😂😂😂
Mimi niko hapa December 22, 2023.....❤❤❤❤
26- 12- 2023 we still here
😂😂😂😂😂😂😂
2024
Saa 21:02Usiku, Siku Ya Jumapili Tarehe 19/03/2023, Hii Nyimbo Naangalia Muda huu Nyimbo Yangu Pendwa Siku Zoteeee🙌🙌🙌🙌😌
ukiona mtu anaiponda hii nyimbo ujue ukoo wao wote ni wachawi ,,big up timbulo#baraka ni nyimbo yenye hisia yani noma
#Dati Kazumari 😂😂😂😂
true story
big up kaka umetisha kinomanoma
Dati Kazumari 😂😂😂👏🏾
ngoma kali sana broz
Daah hii nyimbo ni hatari inaingia mpk kwny moyo hongera sn timbulo hongera sn Baraka mmefanya ki tu kizuri sn
Jmni naikubali hdi xaxa
hamezng
Aziz Gau ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Kama umeirudia Tena 2022 tujuane hao👇Kwa likes
Wacha kurundia my ringtone to phn
Yes
🎉🎉🎉
2024 nani mwingine ako hapa aki mapezi ya pewe sifa
Yani leo namuona otile humu😄😁duh
Aisee
Anyway old will forever be Gold
This masterpiece is beyond amazing 🙌🏽
Baraka ni mwanamziki mzur sana ila kwenye nyimbo zake anakurupukaga... well done baraka
Daaa gud up ma bro timbulo... ujumbe umefika
Justine Julius
kweli umeongea jamaa anajua lkn hajaipangi kwenye nyimbo zake
Tisha thana mmeuwa
Justine Julius acha majngu jmn anasauti nzuri pia anajua sn kimba kifupi nimkali
Justine Julius how 😥
I send this song to my x,she understand it more than my words niliyo kuwa nikimwambia,n we are back coz of this song,ime catch emotion zake big up
Ahmed Mohammed hahahahahaha congrats man.. what an achievement 😂😂😂😂
what an achievement😂😂
nicasius nicholaus ,,temana nae no need to back again,,,,LeAnn akuache then akurdie kisa wimbo,,,,,!! akiondoka utamrudishaje?? au kutakuwa na wimbo mwngne????
😂😂👌
sihusiki hapo aiseeee.....
"Basi moyo wangu nakupa zawad nenda nao"❤❤❤❤ Hiki kipande ndio kinafanya naupenda huu wimbo
Ii ngoma Kwa kweri sio POa ebu weka like kwanza tunayoicheki Ii kazi
Wow! Nani tena bado ako hapa 2020? Unanikumbusha good times with my late cuzo this was his favorite song waah! Still in my heart
Dah Leo ndo nimeona ukwel wa hii nyimbo my broo big up
Tamu sanaaaaaa!........
Mimi nipo naendelea mpk mwaka 30000
Sisi sote brother
@@leahthequeen363 ++
Q
kazi nzuri timbulo na baraka imetulia sana ujumbe umefika ..
safi sana
Wahid Ally
Ujumbe umefika
Wahid Ally. iiinyimbo naikubal sana
Ila jaman kusema ukweli pamoja na mashauz yote ya baraka da prince ila jamaa anaimba sana mistar yake ndo inanikoshaga..ukimuweka na Timbulo ndo kabisa ngoma kali sana...Hit song
Julius URONU kweli kabisa
mambo vp mzima we
Hapana Baraka hapana Baraka sasa naweza kusema ndio umeamua kuonesha maufundi yako.sasa kwann kwenye wimbo huuu umenimaliza kabisa.Good music for gud artist well done Baraka na Timbulo
2021 niko hapa, this song reminds me of my most crushed moments when everything was so obvious but I couldn't see
Moto sana🔥🔥🔥
Tupo
Baada ya heartbreak....Nimeiona hii ngoma ya maana na nimeilewa😢😢Dah! Shikamoo mapenzi 🙆
Daah noma sana mm nakumbuka ex wangu kipindi icho naenda chuo ananiwekea ringtone kwa simu yangu 😢😭😭😭
oh my this song is looking for..254 Kenya iko wapi likes za kwetu
Wimb mzuli sana
Naamini atakaeikataa ngoma hii atakuwa na asili ya uchawi sio bure
.......................................
Kazi nzuri sana mazee... 👏👏👏
Aisee mbona hizi nyimbo za Timbulo tamu sana alaf sizickii maredion kuzirusha dooh mnambania ziko juu hataree
Du!!!!!!! Nyimbo nzur, nimeipenda kwel
richard joseph
wayaaa
media hazipo fair kabisa
Khanifa Hanifa
2020 nan yupo na mm gonga like twende sawa
During #covid_19
Tupo wote ndugu
Iam here now💃💃💃
Nami cpo nyuma 2020
Barakah aliua sana
2022 and can't get enough of this song coz it's the Panadol I need sometimes
I love it too
am sorry Timbulo sikuwah kukuelewa... ila kupitia hii nyimbo nimekuelewa.
kazi nzur sna sna
noma sana 2018 still in it
😍😍😍😍 😭😭😭 niliyempenda hakujua thamani yangu ahsante kwa huu wimbo 😍😍
Aisha Hermis jaman aisha pole
Aisha Hermis njo Aisha 0743416315
Aisha Hermis pamoja Dada..
Come to me,i know how to care,bat im not yet meet da one i love.
Hata mm pia nilimpenda akaniona sifai
iko vizur sana, ujumbe mzito sana kwa mwenye akili,, congratulation for nice work Barakah & Timbulo
2024 bado twaskiza hii ngoma
Nan anae icheki kama mimi muda huu 2024
Mimi
mashoga ndo wanaopinga kila kitu, audio na video viko pouwa sana congrats to them
namkubal xn bro anajua
Otile brown bana mbona hukuimba..huu wimbo ungekuwa fire with most amazing voices na pia nyi nyote huwa 🔥
kumbe you know him ..
ABIYAH JANE WINNIE kabisa kenya damu nikose kumjua
+manal love kabisa + 254 to the fullest ..
Inatisha sana nyimbo yako #Timbulo # imepenya kwenye nafsi za watu all
ingoma inaninguxa san mm
Dah nyimbo tamu sanaa kila wakati naisikiliza sichoki
Daaah bonge La song japo n kitambo kidgo bt haichuji
Kama mm yaan hz ndio nyimbo znaeleweka hata kuckiliza mara 1000
We nenda usisahau 2019
Wow nice song
Kwa mara nyingine tena tujuane 2024
2020 whose watching....💯🥺💞
👍
Enzi izo bongo fleva ilikua ikiimba content
Nikifunga 2020
ngoma Kali sana tu lina ladha ya nyumbni kabisa hongera Sana #timbulo vs baraka da Prince. nimeipnda sana hyo nyimbo pia imenigusa na naipnda nyimbo .
peace & love.
God bless u all
nic voice da prince
Kareem Hassani 💒💒💒💒💒
Anaemkubali huyu jamaa like nyingi kwake jomoniii👍👍👍
Pamoja
👍👍👍👍👍
Poa
✌
huu wimbo ulivyotoka nilihis nimeimbiwa lkn big up sana nice song
Aiseee acha tyu
Hii nyimbo naikubali cn mapnz yanauma
Duuu hii ngoma inabamba sana
Dah nausikiliza huku nakunywa pombe ndo nazid kuchanganyikiwa machoz yananitoka😭
tulio ludia mwaka 2020 tujuwane hapa timburo baraka love song
Kama unaiangalia 2020 Like twende sawa wadau
2022 still watching
Siwezi choka tazama hii nyimbo na kusikiliza,inanikumbusha mbali sana,niliachana na mpenzi wangu ambae mpaka Leo bado nampenda ila ashapata bwana mwingine,hii nyimbo ina ujumbe mkali sana inanifanya nakumbuka mbali sana,namkumbuka ila naomba anitunzie siri zangu
Kweli kabisa tupo wote ata mi nakumbuka mbali ivo ivo
Pia mimi nakumbuka sana mpenzi wangu ingawa alipata bwana mpka yuko na watoto wawili ila bado nampenda😭😭
Timbulo nilikumic aisee broo asante san kk kwa hk kitu kzr big up sana
#samwel
samuel peter
nilimiss kusikia saut kaka,,,,nimefurah umekuja kivingine....ngoma nzur saanaaaaaaaaaa
bonge moja la jimbo mpaka naiona kama fupi hiv jinsi ilivyo tamu
mumetisha
Oyyyy timbulo umepoteza wap kaka mwalm
My best song enye nmeishi kutafuta n finally nmeipata
bonge la ngoma....wote mmefunika!! nyimbo Kali sana Aise.
2019 i can't stop playing this song if you believe it's 🔥 like this😍😜
Fireeeeeeeeeeeeee
I do
From +254 love it❤❤
Susan Njoroge
ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
2023..you still there?
Such a beautiful song. Am Kenyan but slowly falling in love with tanzanian songs. Big up
mum Wayne ..hawa wakenya bana.... its high time we sapot our own...big up kazi imetulia...I love it
Immaculate Ndinda. They are not Kenyan. The artists Timbulo and Barakah the Prince are Tanzanian. There is a Kenyan guy (Otile Brown who appears in the video) but it is not his song and he is not even singing.
Rapha Mganga mhhhhhh....they are Kenyans...ebu Google.
Immaculate Ndinda I do not need to google. Barakah the Prince and Timbulo are Tanzanians because I know them. They live in Tanzania although sometimes Barakah records some of his music in Kenya. The only Kenyan guy is Otile Brown. But this is not Otile's song, he only appeared in the video.
Rapha Mganga sawa mganga maji marefu! nimekuelewa
Bonge la ngoma haizeeki 2024 tunafunganayo
Wadhee nauliza tu Timbulo alipotelea wapi 😢
Kama unasikiliza 2020 gonga like twende sawa
This song is just super amazing with a true message.Currently most people love each other but they ain't together.Takes me back to back olden days.I Love the song with all my heart.
Hyu jamaa fundi yaan nyimbo sichoki kusikiliza noma aisee
Claudianus Mugasha kabisa nyimbo nzuri sana mie mwenyew siishi kuisikiliza
love storty for me
Hehehe
Hii nyimbo inatoka ndio siku na mm mpenzi wangu nilie mpenda kunisalit na kuniambia tuachane kila napoisikiliza hua naumia sana asee daaaaah ni ngoma kali sana..
Daaaah nakumbuka mbali sana iliwai nitoke hii stor niliumia sana huu wimbo ulikuwa unanifaliji
we nenda usisahau i love this song ukiona sifai unichunie wow
Renny Micha haswaaa
"NINAPO WAONA MASHOGA ZAKO NAMISS VITUKO NILIPOKUWA NAWE"😭😭 Nyimbo isiyo chuja #Timbulo #BarakaThePrince #Usisahau 🙌🙌🙌
Kabisa man, ina touch
Hata mwalimu wa mathe anaikubali sana hii ngoma ❤
Oya we vip janja umeludi kufundisha shuleni au
254 family like kama umeona mr otile brown kwenye hii video
Nilimuona but nilikua nadoubt
wimbo mtam sana ila ukisikia vizuri wimbo wa kassimu mganga -haiwezekani unaendana sana kwa bit zao
bas nakupa moyo wang. ninapo sikiya hiyi nyimbo natokwa na machoz nic song
Kama Mimi?
Kama umeumizwa na kuitafuta hii ngoma 2021 gusa like hapa tupoze maumivu!!
Baada ya kuachwa nimerud kujifarij kupitia wimbo huu
Baada ya kuachwa ndo ivo basi
😭
Tupo wengi had nimekonda kwa kwel mapenz nikifo tu
Mungu nipe mume mwema
Timbulo nakukubali sana nazikubali nyimbo zako yani wwe ni zaidi yasimba
Haki sijui nisemeje Asante kwa hii nyimbo baraka
for real am in love with this song I just recall my X. ......
Hopefully na yeye amekukumbuk.....
always
Brenda Mini 😂😂😂 hatari
Big up
It's good mamy miss u
song of the YEAR lol cant get enough of this tooooo muchhhh sweetness,,,,,dedication to my x,,,,
team 254 mko wapi
Huu wimbo unaendana na maisha yangu and that why i love it
Mungu wabariki walio imba hii nyimb ila n uwarudish kweny njia ujumbe upo san n mavaz yko poa san kwnn leo wamekuwa ivo uchi kw kwnda mbele sapot nyingi sna dahhaha barak the price nkupndag bure ulikwwndag wap. 😧😢😢😢😘😙
Kama upo baada ya kuwachwa njoo hapa 🤌🤌😂🥶
Daaaaah nice song kila mara naisikiliza,ilike it
Timbulo umerudi vinoma bro. pamoja na Baraka kisha kwenye video mmemwakilisha my bro Otile brown. penda sana hii ngoma.
Hii ngoma kali sanaaa ila kwasababu hawapo WCB haijafika mbali yaani bonge moja la ngoma sijawahi kuacha kuisikiliza
Yaani naona taswira ya wema wako ila siamini kwanini uliamua uende zako
kokoro hakuna kilichoimbwa ndani ni makelele u hii ngoma inaifunika vibaya mnooooooooo
Ramadhani Mkambala 😂😂😂
m h poa
kokoro na hii wpi na wpi
Ramadhani Mkambala
H
Kama umewahi kutendwa comment hapa huu wimbo ukuliwaze 2021 Ramadhan kareem 🙏
Inanikumbusha mdada aliniwacha kwa sababu ya mwingine
Hii nyimbo ilitoka wakati nafanya seacliff court dar es salaam ila nilitendwa na Time kiukweli nilikuwa sili coz nilikuwa Sina pesa
Poleeee
Asnte
Yep pole ilikuwaa 2017 nikikuwaa college hivoo hivoo demu akarun away reason it mone
Wooi nakufeel🥺
This song healed me from one narcissist... I walked away when I was fully determined not everything is meant to work.
Hii ngoma nilikuwa ndo nimetok kuachan na dem wangu baad ya yey kupata kazi kule kariakoo kwa wauza vipodoz mimi nikiwa kidato cha sita tukiwa na ndoto kibao zikayeyuka 🙌🙏🏾
I can't stop listening to baraka songs maneno kayapanga taratibu jamani
2019 ngoma bado inatikisa miamba ya akili yangu ...
My lovely nenda ila usisahau ..
jap mmeteman na ww ila mtunzie madhaif yang yan hii ngom kla nikiichek bad yanitoa chozi huwez aminnkweli usalit nishid
GABRIEL MUSHI
ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Up poa cn
GABRIEL MUSHI .😃
Hahaaa acha moyo usukume dam broo
Good artists, Good Song, Good Melody, lovely voice and outstanding performance by both of you.
Huu wimbo ila...2016 nlipigwa tukio, used to listen to this song nalia hadi napitiwa na usingizi...milima ndo haikutani,ipo siku😢💔
Nyimbo tamu sana,inanikumbusha mchumba wngu tulieachana jmn
bonge la ngoma hii ya nyumbani kabisa
Gud song
+florence leonard yap true dat
very good Mr Baraka good job
kama bado unaitazama 2019 piga like
book ten
ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Naikubali
iko poa sana
Og
naipenda xana hii nyimbo inanikumbuxha mbali xana
2024; ngoma Bado iko vizuri sana
"2024" nyimbo kali sana ya muda wote, mistari 🔥 Ni wimbo ambao auchoshi kila ukiutazama kiukwel ni wimbo bora sana💥
Basi moyo wng nitakupa zawadi baki naooo!!!!!!... Daa hapo timbulo ndo uliponikosha. Big up kazaa baba...,
Pazi Ramadhani salads
Mwaka ambao ngoma ilikuwa released ni mwaka huo huo,miezi kadhaa nyima nilitoka kuachwa na mpenzi wangu Sarah na kupelekea kuyumba kwangu kitaaluma,nilikuwa naisikiliza sana ngoma hii kuliko kuconcentrate na masomo yangu..ni true story..2019 twende sawa
Pole bro 😀😀😀 Ni naipe nda bure bure sichoki kuisikiliza vijana Hawa wako juu Sana ila wanabaniwa Sana
@@blacknature7637 asante kaka
Danakumbukambari sana
This song my favourite back 2017😭😭😭
Me too dear❤
Napenda nyimbo Safi iliojaa viswahili safi.hongera da prince
Jamani hii wimbo kali sana wangapi bado tuna huhangalia kama mm🔥🔥🔥🔥👈
Hii hapa kali sana, ladha bado yote , wapi likes zake hii 2020