Timbulo - Domo Langu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 874

  • @husseinkihame9542
    @husseinkihame9542 10 месяцев назад +129

    Niko mwenyewe nasikiliza 2024 ..gonga like kama tupo wote mwaka hui

  • @LeahMunogera-r6h
    @LeahMunogera-r6h 10 месяцев назад +67

    Nipo pekeyangu Nina sikiliza nyimbo mwaka 2024

  • @PiusbasilioHenriques
    @PiusbasilioHenriques 11 месяцев назад +54

    Nipo pekeyangu Nina sikilizar nyimbo mwaka 2024

  • @NDIKUMANAMariam-v4c
    @NDIKUMANAMariam-v4c 8 месяцев назад +34

    Tupo wangapi tumeskiliza mwaka 2024😊

  • @FattyDapetty-tj9vr
    @FattyDapetty-tj9vr 10 месяцев назад +39

    Aya tunaotizama mwaka 2024 tujuane❤❤❤

  • @neemarobina6682
    @neemarobina6682 Год назад +83

    Nipo pekee yangu kuskiliza mwaka huu 2023

  • @Linahmgimba
    @Linahmgimba 10 месяцев назад +30

    Hii Ngoma namkubali sanaaa Niko nayo 2024👍

  • @mduduemmanuel4585
    @mduduemmanuel4585 4 года назад +193

    Hii ngoma ilikuwa Kali kinyamaaa! Wanaoungana na Mimi like zenu.

  • @macrinamulima5729
    @macrinamulima5729 5 лет назад +123

    Wimbo huu unanikumbusha mdogo wangu alikuwa anaupenda sana, dah R.I.P mdogo wangu, now n 2019

  • @smkrabiot2319
    @smkrabiot2319 9 месяцев назад +5

    2024 naskiliza ngoma kutokea yokohama japan 🙌

    • @JoyceSengo
      @JoyceSengo 8 дней назад

      Uongo😅😅😅 kidding

  • @Nanahibrahim72
    @Nanahibrahim72 3 года назад +67

    2021 sizani Kama na kosa 😘in love with this song

  • @stephanieruti2292
    @stephanieruti2292 5 лет назад +5

    Napenda sana vile ume imba iyi wimbo ina nifanya na fikiriya mbali sana napenda wehimbo zako sana tena sana cz ulijitaidi sana kama ume muku bali naomba upige like yako apa nakupenda bure tu sana

  • @ziggyjustine6052
    @ziggyjustine6052 9 месяцев назад +12

    Tulokuja hapa baada ya alikiba kumtaja, kuwaangalia kama wamefanana Gonga LIKE tufahamiane.

  • @fredmatijilo3554
    @fredmatijilo3554 5 лет назад +65

    Nawe kama unaisiki ngomaaa iiiii mbaka 24 -9-2019 gonga like yako tujuane

    • @bashiriramadhani3892
      @bashiriramadhani3892 3 года назад

      Kweli inanikumbusha kipindi hicho ila kweli wasanii walikua wakiimba reality

  • @rechoKisimba
    @rechoKisimba 3 месяца назад +1

    Uhuu mwaka ni mimi mwenyewa too do nasikiya mwimbo ila nimeipenda kinoma yani unajuwa kuimba pokey mauwa yangu❤❤🎉🎉🎉😢😢

  • @murswardabdallah2369
    @murswardabdallah2369 4 года назад +17

    Nani anasikiliza wimbo huu 2020 bonge la ngoma, inanirudisha mpaka mwaka 2011

  • @SupremeCryptos
    @SupremeCryptos 2 года назад +16

    hakna kitu kunanipa hisia Kali na kunikumbusha mbali kama huu wimbo
    this was a true definition of art & melody 🇹🇿❤️

  • @AshaMbaraka-pv3zf
    @AshaMbaraka-pv3zf 24 дня назад +1

    Ngoma zilikua hazina matusi mnaskiliza nyumba nzima mbele ya wazazi ❤❤🎉2024 nipeni likes zenu

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 2 месяца назад +1

    ❤❤❤❤Nani amerudia hii nyimbo mwaka 2024

  • @jacquelinefungo8971
    @jacquelinefungo8971 8 лет назад +60

    every tym navosikilizaa dis song... namkumbuka sanaa mylate dady..........

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 4 года назад +20

    Tunao Ukumbuka mpaka sasa Tujuwane 😭😭☺☺☺☺ichupa Ili nitamanishaga Mapenzi haki ❤❤❤😊😊😊😊😊😊nakupenDa Timbulo wangu

  • @ackshuba8679
    @ackshuba8679 7 лет назад +198

    teamTimbulo
    hii ngoma kila nikiichek namkumbuka mshikaji Wang Yasin enzi hizo tukiwa singida

  • @theatlastz67
    @theatlastz67 Год назад +1

    Nilikuwaga form one kipindi goma hili linatoka , alfu nilikuwaga namuelewa dadamkuu pale kixkul. Nikawa Domo zito kama timbulo nataman ingekuwa ndo sahv 2023 . Likes

  • @nurdeennurdinho199
    @nurdeennurdinho199 4 года назад +13

    mpaka leo bado naukubari huu wimbo kama nawe ni miongoni acha like yako hala big up bro timbulo

  • @cellinetarimo871
    @cellinetarimo871 5 лет назад +54

    2/5/2019...kama bado mpo like hapooooo thatha...nakumbuka kipindi hicho naanza kujua mapenzii 😂 😂

  • @LizzyMajule
    @LizzyMajule 17 дней назад +4

    8/12/2024 Naisikiliza jaman❤

  • @faidhakibayanga3047
    @faidhakibayanga3047 5 лет назад +3

    Duuh huu wimbo unanikumbusha wakat nipo form2 kila nikitoka shule kuna kaka alikuwa anafanya kaz studio bas kila nikipita alikuwa anauweka sanaa huu wimbo kumbe alikuwa ananipenda ila alikuwa anaogopa kuniambia

  • @philipmastory
    @philipmastory 9 месяцев назад +9

    Story ya Alikiba imenileta hapa. Timbulo mungu anakuona

  • @issahabunu197
    @issahabunu197 3 года назад +5

    Dah uko wapi Zawadi...tulikuwa tunaimba huu wimbo kwenye viazi vya dada Asha(RIP), 😞😞😞

  • @abdullahsayyed5031
    @abdullahsayyed5031 6 лет назад +63

    2009 when I listen this song i remember my first love ❤️

  • @colmanmwero7473
    @colmanmwero7473 Месяц назад

    Na huyu jamaa alienda wapi sasa🎉🎉🎉

  • @ramzy5280
    @ramzy5280 5 лет назад +340

    Kama bado tupo 2019 gonga like 👇👇👇

  • @goodmusic7430
    @goodmusic7430 11 месяцев назад +5

    Nipo hapa 2024

  • @robertmomanyi3859
    @robertmomanyi3859 4 года назад +4

    napenda saaaana mziki wako timbulo, Mungu aibariki kazi ya mikono yako daima

  • @godfreymajoa4100
    @godfreymajoa4100 4 года назад

    Huu wimbo bhana alikua ananiekea babangu mdogo nikifeli tu kes domo langu zito najisikia ovyo kesho sifeli bt mungu akupumzishe Mahali Pema pepon daima ntakukumbuka baba yangu rafiki yangu kipenzi

    • @GracieTyno
      @GracieTyno 4 месяца назад

      😂😂😂😂

  • @dativagabriel672
    @dativagabriel672 5 лет назад +2

    jamaniii mliopo hapa kwa timbulo kama mimi naomba uwepo wenuuu😘😘😘😘😘

  • @ashahahahahatwendenikwetut3826
    @ashahahahahatwendenikwetut3826 3 года назад

    Kipindi hicho nipo tandale kwa mtogole, nakumbuka timbulo pia alikua anaishi huko huko,daah maisha haya

  • @lightnesswilfred2064
    @lightnesswilfred2064 3 года назад +33

    It’s 2021 and I’m here for this 😍😩😩

  • @alawyjr4741
    @alawyjr4741 7 лет назад +4

    hii ngoma niliipenda ad nkapewa jina la timbulo kipindi iko niko o level.

  • @detox_music2232
    @detox_music2232 5 лет назад +187

    Wangap tuna watching 2020 gonga like hapa tujuane

  • @mikidadimickiboy134
    @mikidadimickiboy134 5 лет назад +1

    domo langu zitooo iweje mwenye bahati kuwa na upendoooooooo Mwenzinu bad naliaaaaaaaaaaa

  • @nadhifarei9357
    @nadhifarei9357 3 года назад

    Higoma inikumbusha bali sn kipindi sukuli dhuuuuu namukumba rafiki yangu mungu ampunzishikwaamni

  • @PyramidSupply-mx1oe
    @PyramidSupply-mx1oe 11 месяцев назад +2

    Kazi nzuri ❤❤❤ 2024 live

  • @morlovzeboy4926
    @morlovzeboy4926 6 лет назад +45

    Dadeq ili goma lnanikumbusha shule Kun manz nlikua namkubal kumweleza sas hahaha matanga nlishia kula kw macho 🤭🤭

  • @JuliethRogasian
    @JuliethRogasian 7 месяцев назад

    Jmn naomba kuuliza huyu msanii yupo wapi mn hii nyimbo ni nzuri ila mwenyewe yupo wapi

  • @deniszabron7647
    @deniszabron7647 4 года назад +1

    Basi bhna hadi leo ukiwa huwez kutongoza wanakuita Timbulo😂😂😂

  • @ZahraMtoi-j7c
    @ZahraMtoi-j7c Месяц назад +1

    Alifanya kazi nzuri japo alikuwa mdogo

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka Год назад +1

    Unaonaadje kama angeitolea remix Kwa kiond hichi na wasanii wa kizazi kpya😂😂 wazo tu jaman

  • @mankajoseph2005
    @mankajoseph2005 5 лет назад +240

    2019 Nipo Peke Yangu

  • @zuhurahassan2198
    @zuhurahassan2198 7 лет назад +43

    ayse naiyona tena 25/1/2018 inanikumbusha enzi izo

    • @anisetnyaki750
      @anisetnyaki750 6 лет назад

      Zuhura Hassan Aaaaaaaaaaaaaaaa Wapi Zuhura

  • @androiddaimond6811
    @androiddaimond6811 6 лет назад +6

    Mzuri sana nakumbuka ulitoka nikiwa shule ya msingi 2009 ndo niliujua da.

  • @RaphaëlKalombo-o9r
    @RaphaëlKalombo-o9r Месяц назад

    Nakumbuka utoto wangu na iyi nyimbo😢😢😢

  • @mikahezron1662
    @mikahezron1662 10 месяцев назад

    Nakumbuka mbali sana 2013 nikiwa kidato Cha 2. Daaaah😅

  • @esterelias8189
    @esterelias8189 4 года назад +1

    Jmn kaenda wapi huyu yuko vizuri sana.

  • @Thegts915
    @Thegts915 2 года назад

    Siwezi kupita bila sijaa cha magnificent yangu. Daah achaniseme tu iyi ilikuwa zaidiya moto Enzi zile bado nimekuwa dogo ilanietokeaga kuipenda

  • @zuu__95
    @zuu__95 5 лет назад +1

    Domo lako zege kumwambia kweli unashindwa 💃💃💃💃💃💃💃💃 enzi zetu

  • @emmanuelmakora8500
    @emmanuelmakora8500 3 года назад

    inaumaa xn pale unapokuwa una mpenda mutu alafu unashindwa kumutamukia ♥️♥️

  • @pendoabel-q7e
    @pendoabel-q7e 2 месяца назад

    waliokuwa wanatupa nyimbo tamu saiv wamepotea, lakini bado tupo pamoja

  • @eddyeddlay8769
    @eddyeddlay8769 6 лет назад +1

    Nyimbo nzuri kamwe haichuji.....bdo ni hit song kwang

  • @georgejohnson2685
    @georgejohnson2685 4 года назад +1

    2020 corona year lakini nyimbo kama hizi zinarudisha akili nyuma kidogo tunakumbuka tulikotoka. ..tuko nani mwaka huu kusikiliza??

  • @TabiaNchimbi
    @TabiaNchimbi Год назад

    Jamn 😢😢😢nyimbo yang pendwa nikiachwa😢😢😢mnapotelea wapi jamn

    • @GracieTyno
      @GracieTyno 4 месяца назад

      😂😂😂😂

  • @Aniajuma
    @Aniajuma Год назад +1

    my love song nikiwa nimeanza utundu kuna kaka nilikua nampenda hatl

  • @stanleymashanya3160
    @stanleymashanya3160 3 года назад

    Namkumbuka dem wangu Lucy jaman dah kabl ya kutombana hii nyimbo lazima tuiskize

  • @loyapaulo712
    @loyapaulo712 5 месяцев назад

    Sidhani kamaninakosa moyowangu wanisumbua, domolangu zito kukwambia kweli nashindwa.

  • @evodimrina3892
    @evodimrina3892 8 дней назад

    Hili biti🙌🙌🙌Nizaidi ya la tetema

  • @HawaMwaipopo-dt3tn
    @HawaMwaipopo-dt3tn Год назад

    Huuuu wimbo rafiki yangu BARAKA MWAKISALE alikuwa anaupenda balass

  • @josemrema
    @josemrema Год назад +1

    2023 gonga like......hii nyimbo nilikua napitia maumivu ya mapenz, maumivu ya kunyanyaswa kwenye kaz coz udogo nao ulikua unachangia😥😥😥

  • @amanimasunga7252
    @amanimasunga7252 4 года назад

    Hii ngoma ctasahau Niko o-level with ma best friend felsta aiseee ilitufanya tutandikwe bakora za kutosha ctosahau kisa cha huu wimbo

  • @livingantonyassenga9017
    @livingantonyassenga9017 3 года назад +10

    Kitambo sana Hadi leoo hii2022 naikubali sana hii nhoma

  • @faithblessedmwai9342
    @faithblessedmwai9342 7 лет назад +17

    I love this song....even after this long i haven't watched it....

  • @zawadikilua3886
    @zawadikilua3886 3 года назад

    Hii nyimbo haizeeki ukiwa unafukuzia au kunamtu unampenda halafu hajui kwamba unampenda inaitwa haichachi 2021 na n.k

  • @musammsumari7221
    @musammsumari7221 6 лет назад

    da! hii ngoma kam unajua maisha yang ndio man ukaimba pgp san timbulo

  • @joycepeter1994
    @joycepeter1994 4 года назад

    Yan jmn nymboo za zamn nzurii sioo sahv jeje cjuh hamna ktyu😘😘

  • @RebbyEddy
    @RebbyEddy Месяц назад +5

    Mnao skiliza 2024 like zenu apaa

  • @jacobjuma954
    @jacobjuma954 2 года назад

    Hii ilikuwa kama 2010 hivi nilikuwa nina dem wangu mrembo nlikuwa nampenda sana nikimwimbia hii wimbo

  • @DenisDonat-lg4gh
    @DenisDonat-lg4gh 2 месяца назад +1

    Kutoka 2009 moja
    Mpaka 2024 mwezi wa 10 mungu ni mwema
    Gonga like twende sawa

  • @himidimbaruku9762
    @himidimbaruku9762 6 лет назад +3

    Duuuuhhhh nakutaka enz za uhuru arts group From kigom a

  • @dorkasmshinga9503
    @dorkasmshinga9503 6 лет назад +1

    Jamani nakupendaga tu jamani kila nyimbo zako unazo zitoa nazimendaga sana yaaaaaaaaaaani sana

  • @mwanahamisnsillah7800
    @mwanahamisnsillah7800 2 года назад +3

    Huu wimbo 😭😭😭unanikumbusha mbali

  • @ErickJordan-d6w
    @ErickJordan-d6w Год назад

    Nyimbo ambayo sijawah choka sikiliza kila siki yan.❤❤❤❤

  • @MahamudGandani-so1mj
    @MahamudGandani-so1mj Год назад

    Kweli inanikumbusha mbali...nice song

  • @FatumaDzango
    @FatumaDzango Месяц назад +2

    Listening 🎧 in November 17 2024🎉🎉lit

  • @mwanjammassa8563
    @mwanjammassa8563 Год назад

    Hilikuwa ngoma nzito sana. Mpaka Sasa inanifariji

  • @samuelemmanuel4771
    @samuelemmanuel4771 3 года назад

    Thx song ilikua alarm,,, ilikua ukiusikia2 ujue ni saa 8:pm bada la video from nguruka

  • @hamadjuma902
    @hamadjuma902 6 лет назад +1

    Hii Ngoma haijawah kuchukua kwenye moyo wangu naipenda sana

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 5 лет назад +1

    Duuuu,,,nakumbukaaa mbaliii enzi hzooo nkiwa skuli daaaa,,,,,2019,,

  • @mwanahawajumannealipoteaki5570
    @mwanahawajumannealipoteaki5570 6 лет назад

    songi special kwa madomo zege wote enzi hizoooo linafurahisha

  • @عبداللهالبلوي-غ2ل
    @عبداللهالبلوي-غ2ل 5 лет назад

    Hindiyo 🎷 music Yakuskia mpaka mtu Una Feelings Kubaki unaskia Asante Kwamziki mzuri mpaka sasa 2019 Ninao

  • @NiyukuriNeymar
    @NiyukuriNeymar Год назад

    Ngoma hiyii inanikumbusha mbali Nilikua natembeza kalanga

  • @savanny_music
    @savanny_music 9 месяцев назад +1

    Alikiba ndo amenilete hapa baada ya kumtaja Timbulo 😂😂😂😂

  • @juniolobat5412
    @juniolobat5412 5 лет назад +4

    Kama unaangaalia ii ngoma 2020 gonga lik zako apa

  • @lucynjiku6546
    @lucynjiku6546 4 года назад +1

    Dah humwimbo naukubali sana ubarikiwe sana timbulo

  • @youngprophertmc6711
    @youngprophertmc6711 6 лет назад +6

    Nakumbka dem wAngu wa kwanza kupitia hii ngoma

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 9 месяцев назад +1

    Ila kweli timbulo anafanana na alikiba ila timbulo sema king anakupenda

  • @esterpromy2385
    @esterpromy2385 7 лет назад +37

    Kila cku nautazama mzuri sana

  • @FungoAmon-mb3sb
    @FungoAmon-mb3sb 25 дней назад +1

    Ubunifu mkubwa sana, 2024 bado ya moto

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE Месяц назад

    Niishie kusema wote walio mahiri wa Muziki wa Bongofleva hawapewi nafasi kwenye MEDIA ila nyimbo zao zitaishi milele wanaobebwa zao za msimu tu

  • @ZulfaJuma-yv2vg
    @ZulfaJuma-yv2vg 2 месяца назад

    Jaman timbulo ukowapi tupengoma 2024 bas

  • @peterjosephmjaka
    @peterjosephmjaka Месяц назад +1

    Na hapa hipo November 13th 2024🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jescamushi3142
    @jescamushi3142 2 месяца назад

    Leo tarehe 18/10/2024 bado nausikilizaa, like zenu jaman team Timbuloooo❤❤❤