najaribu kutafakari hicho kingereza kinachotoka mdomoni baada ya mtu kulewa lakin sipatii majibu nabaki kucheka tu. respect to you Ochu sheggy for your creativity.
Mwaka 2013 nikiwa kidato Cha pili, katka ukumbi mmoja Morogoro kwa jina nmeusahau...tulienda kuangalia maigizo ya vitabu vya darasan..( three suitors one husband na watoto wa mama ntilie...ndipo nliusikia huu wimbo kwa mara ya kwanza...Ochu akiigiza kama chairman😅..tena akiwa na design hiyo hiyo ya uvaaj😅😅😅...ilinifanya nikaelewa sana vitabu hivyo.. salute kwako na Wote mlioshiriki..."Old is Gold"
2024 nani ako hapa kuskiza huu wimbo mob love to the muimbii
nimooooooooooooooooooooooooooooooo
Mimiiiiii
mim😂
Huu mda naucheki 😂😂🥰🥰❤️❤️🔥
Am here today what a nice song
2023 here I come listening more than one times, and the song was released ten years ago 😍😍😍 amazing full of lessons to the society
😂😂
It's more than 10yrs
@@jothamekisouke2326 yeah
🇹🇿💯💯
My favorite song
Angalia jinsi gani watu wakilewa wanavyoongea kiingereza kwa jeuri
bro big up , na omba lyrics
Kaz saf sana.. hv huyo mtu wa tangaa msambaa
Yaani nimecheka hdi Bas niagizie pombe uone
Hadi 2020 naipenda bro siurud kwenye game bro
for sure big brother, all in all the song sounds good, what a beautiful beat!
Naupenda huu wimbo sana,hii ndo ilikuwa kawaida ya baba yangu pombe ikimkolea tu anaanza kingereza 😂😂😂
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Genius dad
😂😂😂 kila kitu kinaleta kumbkumbu
Kama baba yangu au baba yetu ni mmoja 🤣🤣🤣🤣
Kama unaukubali huu wimbo kama mimi...naomba like hapo chini
Bedon Dickson ok
Pia ata mm ninamkubali
Kinoma yan
Safiiii sana
@@AliShabani-p7w
anaesikiza huu wimbo 2024 mwezi wa 7 tar 15 agonge like
😅😅
😂😂😂tupo mpk mwez wa 8
Mwezi wa 10 2024
2024 still a masterpiece really love this song🎉❤❤
Who is here in 2021. Much love from Kenya 🇰🇪
Here with you 🇰🇪
Me 2
This song still a hit.
Tupo ndani.....
Just discovered this song today and I must say it's a Hit
Huu wimbo unaweza banaa. Duhhh
Moja ya nyimbo zangu bora za bongoFleva! Naupenda saaana!!
Tunaoangalia huuwimbo 2023 tugongelaike hao ochu mwamba mwenyewe
ochu kila nikisikiliza hii song nakumbuka mbali big up mungu akusimamie ktk kaz zako
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
Everlasting masterpiece
Well said brother
Yeah that's Sure
Dah!!! Umri umekwenda kumbe, good song nice memory 2022
Naupendaa sanaaa😂
mwaka uhu tupo mbona sia mini kama tuna siki liza wote nawa penda sana mwaka huu 2021
I had this song from tik tok and come right away I need to know the artist,8 years later the song hit😛😛
Kbx
Hii nyimbo ili hit Kenya 🇰🇪 mpk nikafikiri Hawa wawili niwakenya 🙌😂🔥🔥
It has taken me 9 years to discover this masterpiece. Watching the first time in 2022
Ngoma Imeweza
I have listened to this song uncountable times! I really love it
Me too
❤❤ tulikuja huku baada ya kuona inabamba tena tiktok like
Nimesikia kwa KP na zebbu 😂😂😂😂
yani nikisikilizaga huu wimbo nachekaga sana ila sisikilizi nikiwa na mke wangu maana anasemaga bado wewe hapo wamekuchana ukweli kabisaa 🥰🥰🥰🥰
Well composed music of African tune, this is an exciting music of all the time.
Hata Mimi nikilewa nakipiga vizur kingereza 2021
naikubal i nyimbo kuliko muke wang
Anayesikiliza huu wimbo leo tarehe 29 mwezi 9 mwaka 2024
sihishiwi hamu kuutazama huu wimbo that is good job Ochu
Mfumo jike na mfumo dume
Wow I love this song very much..well arranged..keep it up..lots of love from Kenya East Africa..
I remember where I come from thanks GOD
Mm nauwelewa kabisa
So this song has become a hit 8years later,just landed from TikTok
Mbona kama mchawi we na I anakuwa kweli
Ikr I was wondering
Nani yuko nami 2021 🤗🤗🤗🤗🤗
Jmn inanikumbusha mbali sanaa😢😢😢
tiktok doing wonders, Yani this song is 9yrs old!!!
God's time is the best!!
it's your time to shine
This song make me feel good and teach me something in life don't give up imgm this song released 10yrs ago na ndo imeheat now GOD manze
❤❤❤❤na penda huhu wimbo sana ni nzuri kwa kila kitu, mélodie na maneno mazuri tu , huyu mwamba alie imba huhu wimbo yuko wapi jamani❤❤❤❤❤
These are the kind of songs we need to hear hizi za sikuizi weeeh
Huyu bingwaa kapotelea wapi iseee long time sana
Am Listening 🎧 dis fav song in 2024 ...Life is full of surprise 😊
2020 anyone pigs like kama zote jmn
katika mda wao kila kitu kwenye huu wimbo ulikua bora, ndo nautazama hapa 2024
Dah hii nymbo inanikumbusha mbali god bless your job
Yaan hizo nyimbo Kali siyo sahv matusi 😂
Mei 2024 still watching Kingereza, nimeandika baada ya kulewa kumbe kweli ukilewa kingereza kinaongeleka vizuri tu 😂
24/4/2022 here after seeing this challenge on my all time TikToker mummie Francie's page ❤️❤️
Love from kenya
Sameeeeee
Mziki Nzuri sana like Napa chini
Tulio angalia 2024 tup hapaa
Ukilewa kila kabila utaongea😂😂💪
Kabisa
😂😂😂😂
Bado inafanya vizuri saaana hasa masikioni mwangu
2023 bado tupo hapa
I'm here today 19/7/2021. This song was lit♨
Ulijua kuupiga na kuuimba huu wimbo naupenda sana2023
Omg this song is a hit after all these years ,nice song I've never heard of it even this artist I've never knew him Lol
Namim namkubaI san kwr
A very simple and beautiful song, I love the creativity
Entertaining, educative, relevant in every aspect.
Duh maisha yanaenda kasi Sana natamani siku zilud nyuma
great work,,,, great song much love from 254
Tutungieni nyingine, nawapenda ochu
Wondering why are these people not famous. One of my best song
2021 bado nacheka tu😂😂😂
Aplishet sana Ochu, nakukubali sana brother
Kama unasikilza huu wimbo tar28,8,2024 tujuane kwa like
HUYU JAMAA NAMKUBALI SANA NIPO TAYARI KULIPIA STUDIO AACHIE NGOMA NYINGINE 2025
Jamaa alijitahid xan me naukubali xan
Hii verse ya kwanza ni ya moto sana wameua kinoma noma 2024
Daaaaa,,, nakumbka mbaliiiiii,,,,
Aiseee ,,, npo skuliiiii jemen daaa
najaribu kutafakari hicho kingereza kinachotoka mdomoni baada ya mtu kulewa lakin sipatii majibu nabaki kucheka tu.
respect to you Ochu sheggy for your creativity.
Nakubaliiiiiiii Kaka hujawahi kuferi
Wenye tumetoka tiktok after kuona challenge tujuane
I ma here watching after just listening it from an upcoming artist known as mizzboy,who else is here after listening it from mizz boy??
2023 🎉naupenda huu wimbo sana
Tulio urudia huu wimbo 2024 hembu njooni hapa tulike
tiktok brought me here for the first time n am loving this🔥🔥🔥🔥🔥
Sure me too❤️
Huu wimbo naupenda sana naomba upigwe ktk radio zote
Love from Tanzania, this makes my days as I listen and watch to this fantabulous song
nafurah sana nkckia huu wimbo very nice aseeee
The kind of music we want....but actually kuipata ni ngumu
Huyo mrembo aneth nimemwelewa kaka ochu
Tuliorudi 2021 tujuane🔥🔥
Wimbo mzuri sana sijui huyu Kijana kapotelea wapi
Much love from Kenya 🇰🇪, love this song still in 2022
Sema haka kanyimbo ulikabamba sana mwananzengo.. mpk leo 2023 kamoto
Me mwenyewe Bila pombe kiingereza Hakiji kabisa yani....
Mtokambali aisee nmeuelewa I like dis song
@@happynesselly1628 naikbal
2023 mpo wapi
Tuliongalia 2021 tujuane
Ngoja nilewe nita kuonesha 😅😅😅
Bado nasikiza nikiwa Somalia napenda sana hii ngoma😂
Bado naishi nayo coz have a beauriful yf a like as Aneth mwnya wake na rangi yake jamaniii.
Finding this nice piece in 2022 🔥🔥🔥
2021 naanzia hapa 😀😀😀
2023/06/25
Still watching
wimbo mzuri sana hata mimi nimeuona leo 11/02/2023...kazi nzuri sana kwa wasanii
When I listen to this song I remember to my late grandfather who was liquor slave.every when he drunk he used to speak much English
You taking my memories back while I was still staying in the village! This used to be my best tunes #OldDaysMemories
Mimi nimeangalia na kusikiliza leo tr1 wa9 2024
Old songs are vibes...who is here 2023🔥🔥🔥
Tuko wengi .. the song is 🔥🔥🔥
Mwaka 2013 nikiwa kidato Cha pili, katka ukumbi mmoja Morogoro kwa jina nmeusahau...tulienda kuangalia maigizo ya vitabu vya darasan..( three suitors one husband na watoto wa mama ntilie...ndipo nliusikia huu wimbo kwa mara ya kwanza...Ochu akiigiza kama chairman😅..tena akiwa na design hiyo hiyo ya uvaaj😅😅😅...ilinifanya nikaelewa sana vitabu hivyo.. salute kwako na Wote mlioshiriki..."Old is Gold"
Good kwanza video inauhalixia kinyama
Duh kwa kweli sikujua kama Mr T ndio kahusika kuproduce hii ngoma 🙏🙏🙏 Salute kwake
Proud to ochu for the great song