Z Anto | Kisiwa Cha Malavidavi | Official Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Buy it from iTunes: geo.itunes.app...
    Song: Kisiwa Cha Malavidavi | Artist: Z Anto
    #ZAnto #KisiwaChaMalavidavi
    Digital promotion by Ziiki Media!!
    Subscribe us for unlimited entertainment
    / mziikitube
    Like us on Facebook
    / mziiki
    Follow us on Twitter
    / mziiki
    Follow us on Instagram
    / mziiki

Комментарии • 3,1 тыс.

  • @MosesKiruki
    @MosesKiruki Год назад +218

    Kama unasikiliza hii Ngoma 2024 like

  • @hassangabriel5971
    @hassangabriel5971 Год назад +599

    Ambao wana penda huu wimbo 2024 gongeni like hapa tujuwane❤❤❤

  • @PaschalAnitha-nv4oy
    @PaschalAnitha-nv4oy 11 месяцев назад +123

    Wimbo wangu bora kila mwaka,like hapa 2024

  • @JumahPeter
    @JumahPeter Год назад +267

    Ambao wanasikiliza huu wimbo 2024 gonga like

  • @RahmaQueen-sp9gh
    @RahmaQueen-sp9gh Месяц назад +114

    Those who are here listening this song January 2025 mnipeeni likes 🎉

    • @jumazevick5143
      @jumazevick5143 Месяц назад +6

      How old are you 😂?
      Aki this song hunimaliza sana. Am happy kupata watu wanaiskiza until now😂

    • @DorcasBaraza
      @DorcasBaraza 17 дней назад

      ​@@jumazevick5143 tuko wengi 😅😅

    • @kleinmwalili5962
      @kleinmwalili5962 9 дней назад

      ​@@jumazevick5143 im 24 na naskiza huu wimbo daily. from 🇰🇪

    • @abrahamlagat2560
      @abrahamlagat2560 6 дней назад +1

      Here ❤

  • @DavidDjuma-ni8vx
    @DavidDjuma-ni8vx Год назад +116

    Mimi hadi 2024 tujuane wengine kama bado mpo❤❤

  • @Mikez26
    @Mikez26 Год назад +108

    2024 wakina nani Bado wapo hapa ???❤

  • @jray3456
    @jray3456 Год назад +393

    2023 & this song never gets old ❤️😍

  • @aileenlema2282
    @aileenlema2282 2 года назад +559

    Ambao bado tunasikiliza huu Wimbo 2023 gonga like hapa tujuane💪💪💪

    • @JennyCharles-pn7si
      @JennyCharles-pn7si Год назад +2

      Nipo

    • @annanangu1832
      @annanangu1832 Год назад +1

      Nice song

    • @Fanis0tenyo
      @Fanis0tenyo Год назад +2

      Hii hatuwezi iachilia bits ni noma joo

    • @FurahaJustine
      @FurahaJustine Год назад

      Tupo

    • @alvinedavid4680
      @alvinedavid4680 Год назад +5

      Mimi Niko I really love the message kana flow ❤😊😊 sikuizi akuna wasanii wakutoa wimbo Kali kama awa Wana mziki wa TBT mko wapi🎤🎤🎤🎤

  • @MwasKim-l9p
    @MwasKim-l9p Год назад +34

    2024 mwaka ukiwa mpya na bado twa skiza mnipe like☺️i love this song

  • @Officialyoungking3k
    @Officialyoungking3k Год назад +45

    Who is stil listening to this song 2024

  • @MahuriNguruweTakaTaka
    @MahuriNguruweTakaTaka Год назад +41

    April 2023 this song is still a vibe....Tanzanians you're great people. Watching from 254 🇰🇪

  • @elizabethmwanake8121
    @elizabethmwanake8121 6 лет назад +493

    Nyimbo za zaman ni tamu kuliko za kisasa ukweli +254

  • @MrSavage22
    @MrSavage22 6 лет назад +1273

    Daaah Kama Kuna anaecheki ngoma hii 2019 twende pamoja

  • @MichaelJefwaChai
    @MichaelJefwaChai 6 месяцев назад +29

    July 2024..ila Z alikua msanii mkali sana..huu wimbo kilasiku nkiuskiza unakua mpya...nipeni like wangwana

  • @ababagfx
    @ababagfx 3 года назад +151

    I feel blessed that i grew up in the era of good music. Love from 254🇰🇪

    • @bentaandeyo7966
      @bentaandeyo7966 2 года назад +1

      This song hits so different,I love it 2022

  • @officialteflon5971
    @officialteflon5971 Год назад +53

    2024 and still jammin' to this hit song Z is legendary✅💯

  • @WINSLETOUMA-bd7lt
    @WINSLETOUMA-bd7lt Год назад +582

    Those who are are still listening to this song in 2024 February

  • @margaretmugo2235
    @margaretmugo2235 3 года назад +519

    This song is on another level 🥰🥰🥰,,2022 January still listening to this great jam🔥⚡🔥⚡🔥

  • @davidwaiganjo5343
    @davidwaiganjo5343 7 лет назад +176

    Z anto twakuhitaji tena kwenye game kwa kuwa naamini bado unaweza

  • @Statehela-t9t
    @Statehela-t9t 6 месяцев назад +15

    Wale wanasikiza this song untill August 2024 🎉🎉❤

  • @veeyfanny4955
    @veeyfanny4955 5 лет назад +359

    Z Ant!!!!!! Kama kuna mwenye ako pamoja Na Mimi 2019_2020 adondoshe like and comment hapa

  • @happyritte5014
    @happyritte5014 5 лет назад +273

    Kama na ww ni muhenga gonga like twende zetu

  • @ashakijana1273
    @ashakijana1273 2 года назад +8

    Hawa wasanii wa bongo walizama wapi jamani? Nyimbo za ujumbe mzuri kama hizi hazipo Tena.

  • @athmanali2377
    @athmanali2377 5 лет назад +952

    Asante Z Anton kwa mziki mzuri... Wapi likes za 2020

  • @stevenbigabo5607
    @stevenbigabo5607 3 года назад +138

    Dear future generations 2050.
    Am writing this in 2022 just to let you know that this was a hit song during our time back then in 2015 and up to now. We are still listening to it.💯

  • @judymunyi6493
    @judymunyi6493 10 месяцев назад +19

    March 2024 nani tuko hapa

    • @MejaBoy
      @MejaBoy 9 месяцев назад

      😮😢🎉😊❤

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 9 месяцев назад +14

    Mziki ya Zamani Zitaishi Mpaka Miaka ya 10001 ❤❤❤❤😂

  • @mercynduta4614
    @mercynduta4614 3 года назад +104

    Oh I loved this song, it reminds me of my 1st boyfriend, now the father of my son, when we used to dedicate songs through a letter,🤣🤣🤣, time flies, 2months to close 2021

    • @marris_kadi
      @marris_kadi 3 года назад +6

      Oh I feel you. Same situation. Just not my babydaddy yet😂

  • @PaulNtakiyimana
    @PaulNtakiyimana 4 месяца назад +2

    Jaman mbna uliacha kuimba wimbo kama hzi kwli na BDO we still kusikiliza Ngoma zako kwasababu zilikua tamu kwli 2024 ❤❤❤

  • @billyotieno7058
    @billyotieno7058 2 года назад +79

    There's nothing in this world that's sweeter when you listen to music that creates that nostalgic mood. It hits differently 🤠

  • @chebetkirwa4379
    @chebetkirwa4379 7 месяцев назад +9

    Nko hapa sababu ya kenyan prince,😂😂anapenda hii song sana, 2024 july

  • @LexiZM
    @LexiZM Год назад +7

    Ninasikiliza huu wimbo 2024

  • @benjaminmwanga2244
    @benjaminmwanga2244 2 года назад +83

    The lyrical prowess portrayed in this jam is on another level. The song never gets old....much respect 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @sherifaali7268
      @sherifaali7268 Год назад +1

      Much respect for who? This is Tanzanian music

    • @Noooonat-o5s
      @Noooonat-o5s Год назад +4

      @@sherifaali7268 Calm down,Ameweka bendera ya kenya kuoyesha kwamba yy ni mkenya ila anaikubali ngoma Usimjie juu mkenya wawatu 😂

    • @bonifacemwangi8517
      @bonifacemwangi8517 Год назад

      ​@@sherifaali7268usikue mjinga

  • @hodabakshibrahim9082
    @hodabakshibrahim9082 Год назад +19

    This is not only a song , this is a lesson to all young generations out there. Starehe zinamaliza malengo

  • @ZuhuraSaidi-xd9vs
    @ZuhuraSaidi-xd9vs Год назад

    Napenda kweli nyimbo zake zinanikumbusha sikonga namatumbus ez izo Niko lasaba uku mtwara wilaya nanyumbu

  • @AymiieG
    @AymiieG 8 лет назад +143

    Best song ever!
    Colombia present here ! ♥

  • @annejackline7352
    @annejackline7352 Год назад +6

    2024 Feb 12 where did this magic voice go?

  • @fadhilisimiyu7362
    @fadhilisimiyu7362 Год назад +1

    2024 back at it.....
    .last year gave me a practical experience of what Z Anto meant

  • @eunicekwamboka9073
    @eunicekwamboka9073 4 года назад +178

    Still listening to this song 2021
    Show Love to this amazing people walikua wanaimba vizuri🇰🇪🇰🇪

  • @Monixnyambuw
    @Monixnyambuw Год назад +10

    2024 na bado huu wimbo ni my favourite ❤❤❤.....long live kisiwa cha malavidavi❤❤❤

  • @winniemurugi20
    @winniemurugi20 Год назад

    Uje kwenye kisiwa cha malavidavi❤ njoo tupeane mapenzi.

  • @joshuakyalo5397
    @joshuakyalo5397 3 года назад +44

    I remember that girl who used to sing this song for me during our KCSE exams . I miss you so much stellah 😪

  • @mwetamsada2139
    @mwetamsada2139 6 лет назад +55

    yani we acha tu nomaaa mko wp wasanii wa zamani

  • @KijanaCollih_255
    @KijanaCollih_255 Год назад +2

    Kitambo Z alikuwa Fundi sana

  • @yegondennis4824
    @yegondennis4824 5 лет назад +73

    Nani anafurahia hii ngoma tamu pia oct 2019...nipeni likes

  • @anastasiairungu8768
    @anastasiairungu8768 3 года назад +292

    Still in 2022...the song is still my vibe 💞💞.a like for anyone who feels and agrees with me 😍😊

  • @Murithigerrishon
    @Murithigerrishon 12 дней назад +3

    Listeners around East Africa 2025 weka ✅

  • @huromwangi6163
    @huromwangi6163 2 года назад +16

    Reminds me the early days of Mzazi Willy M Tuva on radio citizen , when we didn't have electricity in most Kenyan villages, we used to re charge batteries 🔋 using Sun

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 2 года назад

      Kulikuwa na wale wa KETAU Express pia...guy nmewasahau majina haki ata Station nmeiwasahau

  • @dorahakiru5239
    @dorahakiru5239 3 месяца назад +15

    Wenye wanasikiza hii song october gonga 2024 like

  • @josephsimba3007
    @josephsimba3007 2 года назад +1

    Zamani mulikuwa muna tisha kweli 🇨🇩 Tanzanie Ila sasa😏😏😏

    • @erycah
      @erycah 2 года назад

      Mbona bado tunatisha☺️😂

  • @paulgadi406
    @paulgadi406 6 лет назад +73

    Bdo inatamba kama upo unaichek sai show love for only one👉👍

  • @josephsiriwa718
    @josephsiriwa718 7 лет назад +267

    jamani nyimbo za zamani Kali sana kiukweli

  • @EdwardBoniphace-c4l
    @EdwardBoniphace-c4l 3 месяца назад +1

    Ngoma Kali sana, wakina mond, wakasome hawajui kumba yaani.arudi school,

  • @asmartissa120
    @asmartissa120 6 лет назад +949

    kama bado unaangalia iih ngoma mpaka now 2018 to 2019 angusha like and comment

  • @nellyrobi6
    @nellyrobi6 7 месяцев назад +28

    This is song is still a hit.Who is here in 2024 July?

    • @gracemwansa7059
      @gracemwansa7059 6 месяцев назад +1

      I love this song ❤..but I don't the full meaning...I'm from Zambia..

  • @frezianaraymond9083
    @frezianaraymond9083 Год назад +1

    Jamani wako wapi hawa wanaume jamani maana Sio HAWA DIAMOND NA HARMONAIZA WANAWAZA CHUCHU NA MATAKO TU ✌️✌️✌️

  • @melymakungu2742
    @melymakungu2742 4 года назад +4

    Tamu kama lugha ya kiswahili. Ndio maana nyimbo za Swahili ni tamu sana kama mapenzi ya kweli...ugomvi kwa ndoa ni lazima...msahama ndio dawa...hakuna asiye na doa..sisi sote ni binadamu kama adamu na hawa walio tenda dhambi...Kama bado unasikiza hii ngoma 2020 wapi like.

  • @bugumbadeus9174
    @bugumbadeus9174 5 лет назад +35

    Ambaye had mwez huu anaichek hii ngoma lyk chin

  • @dorineajello3032
    @dorineajello3032 3 месяца назад +2

    Kama wewe bado uko mzima weka like hapa na tushukuru mungu

  • @nasonkalonga8038
    @nasonkalonga8038 6 лет назад +59

    I feel swihili is mother language for Africa. Love language and music

  • @safinawincheslaus1392
    @safinawincheslaus1392 5 лет назад +8

    Naupenda huu wimbo ndio ujana umeanza daahh mtto mbichi duuuuu anayesikiliza huu wimb September 2019 like

  • @FaithOchieng-t3k
    @FaithOchieng-t3k 4 месяца назад +2

    Am always in love with old school music than current ones,,,those behind me were are you,,,,

  • @kelvinmunene7547
    @kelvinmunene7547 5 лет назад +54

    Huu wimbo nitausikiliza hadi maisha yangu 🤔 yote utanikumbushaga aliyekuwa mpenzi wangu nliempenda Sana ...duuh💕 zaina.......😂🤣

    • @zadyaramadhan6806
      @zadyaramadhan6806 5 лет назад +2

      Nimejikuta namm nimecheka pole mwe

    • @maryamali8585
      @maryamali8585 5 лет назад

      pole sana

    • @kelvinmunene7547
      @kelvinmunene7547 5 лет назад

      @@zadyaramadhan6806 nishapoa lkn ni ukweli

    • @kelvinmunene7547
      @kelvinmunene7547 5 лет назад

      @@maryamali8585 nishapoa

    • @bettymwasa1079
      @bettymwasa1079 5 лет назад

      Ndo umtafute hata salamu na unamtumia wimbo wa kufungulia mwaka 2020 wa upendo wa yesu unakuzunguka 😂

  • @eunifergee5910
    @eunifergee5910 Год назад +23

    Its amazing how I remember this song word by word even with the years... 2023

  • @deniscontinho7803
    @deniscontinho7803 Год назад +1

    Unanikubusha Bali Sana Asante kwa song

  • @janewangui6318
    @janewangui6318 4 года назад +215

    2021 and the song is still a hit from +254❣️❣️💕🇰🇪

  • @lynnatteagan7328
    @lynnatteagan7328 5 лет назад +7

    This song will never get old ,love it so much,kama unanisapoti ngonga like

  • @kanyeshahigirimana5686
    @kanyeshahigirimana5686 Год назад +2

    Kila nikiusikiliza wimbo huu ninamkumbuka sana 😢 marehemu dada yangu Eunice
    kwa moments zote tulizokua tunazipitia pamoja kama familia
    huwa naumia sana ila ndio ivo tena mipango ya Mungu
    tangu 28.06.2016 till today 29.05.2023
    My dear lovely sister Eunice ❤
    continue resting in internal peace
    8years old without your presence in our family
    We miss you!

  • @kingandreemmanuel7908
    @kingandreemmanuel7908 5 лет назад +5

    Jmn ....daaaah amaniii sanaaa..
    2020.....20400000.....maishaa marefu Sana'a kama umezaliwaa upyaa flaniii nice

  • @demumajid8191
    @demumajid8191 5 лет назад +113

    Ngoma Kali sana 2019 mko

  • @Cynthia-nw8kg
    @Cynthia-nw8kg Месяц назад +1

    Ngoma hii😢jaman ata ikifika mwaka 3000❤❤itabaki burudani naikumbuka bado mdogo hadi sasa nai penda sanaaa maana sasa ndio nimejuwa maana yake 😢sikupend my ex😭😭umeizilumu furaha yangu 😢😢

  • @EmmanuelSamuel-mt2md
    @EmmanuelSamuel-mt2md 3 месяца назад +3

    Ambo tunasikiliza huu wimbo 2024 wapi like ❤❤

  • @jacklinevalentine1649
    @jacklinevalentine1649 4 года назад +7

    Zanto mkali kweli kama bado unaenjoy hii song this yr 2020 nipe like

  • @OrdenFire
    @OrdenFire Месяц назад +1

    Tunaingia 2025 lakini ngoma bado inabamba thanks z anto

  • @juniormchaga1657
    @juniormchaga1657 5 лет назад +490

    2020 Bd iko vzr gnga like kama unaielewa pia

  • @gotad8810
    @gotad8810 5 лет назад +91

    Jaman walee wanao cheki hi ngoma mwenzi hu juni twnd xawa

  • @hukukenya25432
    @hukukenya25432 5 месяцев назад +2

    My mentor kenyan prince ,, love's this piece ❤❤

  • @queentermuthoni3904
    @queentermuthoni3904 4 года назад +141

    Just came here after my ex husband dedicated this to me today ..after 10yrs of separation...I dont know why am crying 😭😭😭😭

  • @ndullubahati8112
    @ndullubahati8112 6 лет назад +127

    2019.....2020.....2021,nakuendelea

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 8 месяцев назад +2

    We don't search for old song we search for old memories.
    What a masterpiece ❤

  • @jeraldjelemia4673
    @jeraldjelemia4673 5 лет назад +160

    Anaye icheki 2019 Kama mimi aache like Hapa aiseee❤❤❤❤😬

  • @moseswanjala7155
    @moseswanjala7155 Год назад +14

    My all time high school music till now 2023 still in my playlist...much love for Kenya like as we appreciate this big music 🔥🔥🔥🥰

  • @CalebRotich-bd1lh
    @CalebRotich-bd1lh Месяц назад +2

    Closing the year 2024 with this masterpiece

  • @naftalmosioma2273
    @naftalmosioma2273 4 года назад +7

    Takes me back in the days. This night, I am so nostalgic. Mziki uliokuwa kama shairi. Gone are the good old days. Sad!

  • @MbalasaJRMwakabalile
    @MbalasaJRMwakabalile 27 дней назад +57

    Who is here 2025

  • @davidezekiel9786
    @davidezekiel9786 6 месяцев назад +1

    Ngoma nipo nasoma kabisa ya msingi nakumbuka mbali kuna Dem nilikua nampenda sana

  • @orestimgogo4382
    @orestimgogo4382 Год назад +7

    Kama unaamini huu wimbo hauwezi kuchuja maskion mwako gonga like hapa 2023

  • @davieskamanda6622
    @davieskamanda6622 3 года назад +13

    This was the golden age of bongo flavor. Today's music cannot compare

  • @IDANawile-s4t
    @IDANawile-s4t 2 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉enzi zetu na bado zataba🎉

  • @Africa_unite
    @Africa_unite 3 года назад +28

    still listening to this even 2021, wen bongo was real,,, nipe likes za z anto za 2021 if you're listening to this too

  • @mtungujaraj2174
    @mtungujaraj2174 4 года назад +10

    Ngoma Bado ipo on fire gonga like Kama unamkubali z anto 2020

  • @Bigboyuno1
    @Bigboyuno1 Год назад +1

    Ngoma hizi bado zinahit mbaya🔥🔥🔥...Yani mambo shwari...

  • @bonfacemark9048
    @bonfacemark9048 2 года назад +6

    I loved t bongo since those days but now its 2022 . All of us must admit that Kenya is the market for most of the music in Africa

  • @musajafeti6364
    @musajafeti6364 5 лет назад +8

    Daaa hi ngoma inanikumbusha,mbali sn kuna mtu bd anaicheki hii ngoma hii 2019 September ngonga like hap

  • @StahimiliNgata-q5m
    @StahimiliNgata-q5m Год назад +2

    Huyu ni kaka ake na jay merod wamebarikiwa saut hongera kwao

  • @faustinekarabani7641
    @faustinekarabani7641 4 года назад +10

    Naipenda sana hii ngoma siwezi kukaa siku tatu bila kuisikiliza....nani yuko na mimi 2021???

  • @BukuruJean-l8l
    @BukuruJean-l8l 23 дня назад +4

    Huu wimbo nili usikiaga nikiwa na myaka 12 ivi Nina 20 nani ana sikia 2025

  • @paulchacha8611
    @paulchacha8611 Год назад +1

    Ngoma zenye mistari na jumbe tele tele..kama bado unaskia huu mziki n kali kwako nipe like plz❤

  • @aaazanengqigo4184
    @aaazanengqigo4184 Год назад +5

    I’m from South Africa. I had this song from my two neighbours who were from Burundi 8 years ago and I have never stopped loving it.
    One of the songs I will play when I’m getting married.
    Much love
    Boa😅😅