Kamaa umerudi kusikiliza mziki huu wa belle 9 ili kumtakia marehemu AGNES pumziko jema la milele dondosha like tuungane leaders club kuuwaga mwilii wake dah dunia njia RIP masogange
2022 still listening i fell in love with this song coz of my late boyfriend i miss him so much, by this time he was also trying to thrive in the music industry .rest in peace Francis aka ANELKA. It was us against the world
Pumzika kwa aman Dada yetu kipenz cha watu hapa tz na Africa masharik kwa ujumla tunakuombe kwa mungu asitazame dhambi zako bal atizame mazur yako.Amina.
aiseee jamn mpaka machoz yananitoka kwa jins nilivyo upenda huu wimbo na jins niavyo ona masogange ayupo tena molla mulazee mahali pema pepon ameeen daaah
😥😥😥😥 R.I.p Agns ....2018).j kweli wote niwapitaji Apa duniani jamni Jana tulikua wote tn tukifulay lkn Leo umeondoka jmn kama tondo. Eee Mungu Naomba huilize roho yake mahali pema peni mtanzania mwenzetu tulimpenda lkn ww Umempenda zaidi Aminaaa. kama kweli umejifunza kitu kupitia hili tukio kua duniani wote niwapitaji bc gonga like yako Apa. Amen
Naikumbuka sana kama jana mwaka wa 2009 bado nipo kidato nilipoisikia hii nyimbo kwa mara ya kwanza. Ila leo mwanadada #Masogange kaaga dunia. Inauma sana ila ni mapenzi yake Mola. RIP Agness 'Masogange'
kam huwa unaangalia comment za nyimbo zako , na maanisha b9,kwa upande wangu nimemic radha ya sauti kama hii, bdo ujachuja broo. come up again , never give up, we miss u.
I miss my first boyfriend when i listen to this song it use to be his favourite, most of the time he would dedicate this to me ,oooh no time flies so fast #REST IN PEACE ANELKA 😥😥😥😥 i loved you but God loved you more wish you were here people were aganist our love but didn't stop loving each other. Love you
Belle 9 my favorite. Man when I start making it, he will be the first artist I would like to work with. Ubarikiwe ndugu, you got them vocals man. U might not have the connection but u are still the best in TZ.
maisha ni safari ndefu daah msiba wa Dada etu masogange kumenifanya niludi kutazama huu. wimbo tunakuombea mungu akuepushe Na adhabu ya moto ni huzuni imetutawala dada yetu pumzika kww amani R.I.P
Duuuu belle9 yakupaswa hii singo iludiwe yaan namanisha mix iwepo kwa ajili ya dadatu masogange,kama kwer unampenda fanya singo ya kumuenzi masogange broo
Kama bado unaskiliza huu wimbo 2024 gonga like
Niko hapa Arif najua we ni shabiki sana ya belle mwanetu ni fundi sana wa music
Msanii mwenye Kipaji Kikubwa katika sauti lakini Mfumo wa Muziki wa Tz umemzuia kutoboa, Belle 9, Bado nasikiliza hii mwaka huu 2024 !!
Kamabado unaisikilizahii Ngoma adileo 2024 gonga like tukopa1 wazee👊
👊
Noma sana belle 9 fundi
Tupo na hizi ngoma sako kwa bako mpaka tuage dunia
👊
Nimeutafuta wimbo huuuuu
2024 wapi likes baana
Kamaa umerudi kusikiliza mziki huu wa belle 9 ili kumtakia marehemu AGNES pumziko jema la milele dondosha like tuungane leaders club kuuwaga mwilii wake dah dunia njia RIP masogange
😢
Bwana ametwaa bwana ametoa jn la bwan lihimidiwe
Amen
Dan Milliano fredo Chlorinez l
Lala salama Aggy
Tunao skiza tujuane hapa RIP masogange😢
Kama umerudi kuutizama 2024 gonna like hapa tujuane....imma dulla marangu kilema
Nothing lasts forever jaman
Nikosaje....more love to Belle 9
@@rombianboy big up sana kipenz tuko pmoja
@@flova7022 salute sana kwako
Life has an end😢
Kama unasikiliza ngoma hii 2024 gonga like tuone
😊 yani nikajiona nilisikiliza 😂
2018 R.I.P masogange .😭😭 nimerudi kutazama baada kusikia umetuaga. Sote njia yetu dada. Gonga like kama umeguswa na msiba huu
rip ag
Poa
2024 nous sommes toujours ici Rest in peace Agnes Masogange😢 all the way from Congo 🇨🇩
R.I.P @Agnes
R.T.P dada yetu
Nmefanya hivi nkiomboleza ndani kwangu, rest in peace dear Masogange!
R.I.P
Jamani bado camini kabisa
Ndimi Amon
Yap
Hii Ngoma ilikuwaga Kali sana na nilikuwa nakubali vibaya sana
Kama bado wamkumbuka masogange kama mimi gonga like
2022 still listening i fell in love with this song coz of my late boyfriend i miss him so much, by this time he was also trying to thrive in the music industry .rest in peace Francis aka ANELKA. It was us against the world
What happened to him?
Pole my sister
weeeee he is breathing
henzi za real bongo fleva
May he keep on resting In Peace ❤
Pumzika kwa aman Dada yetu kipenz cha watu hapa tz na Africa masharik kwa ujumla tunakuombe kwa mungu asitazame dhambi zako bal atizame mazur yako.Amina.
Siwezi kuisahau hii. Ilinifanya niwache shule kidogo badaye ndio nikarudi
Uyu ndo wimbo ume nifany nimjuwe uyu msichana😢😢😢😢😢😭😭😭 Oooh Masogange 😢😢
kwa heri Agnesy
😭😭😭😭😭😭
S .R. P
R.I.P Masogange i still love Belle9 music thanks bro bringing this beautiful lady to limelight GOD BLESS
Daaah inakumbusha Niko tarasa la 4 Niko na kidem nakupenda naogopa kukiambia
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 To Tanzania 🇹🇿 remember my childhood On This Song Forever 🥰 RipMasogange
Pumuzika salama dada kipenzi chetu, tulikupenda lakini mola kakupenda zaidi.innah! laillah! laillah! rajuhn.
Kama umesoma Kwa page ya wasafi kuwa kuna wimbo wa belle9 inaitwa masogange ukakuja kuona then unamuona marehemu Kwa video hit like and day R. I. P
2009 form three ,mshikamano sec school,igurusi mbarali mbeya..inanikumbusha mbali sana
skuizi nyimbo za mapenzi hazipo,tumebaki na sweet memories n this song is one of them R.I.P big bro
Piano tupu ata ladha ya ngoma hakuna
Sou moçambicana, essa música marcou a minha infância 🇲🇿
Aundi
Igualmente
aiseee jamn mpaka machoz yananitoka kwa jins nilivyo upenda huu wimbo na jins niavyo ona masogange ayupo tena molla mulazee mahali pema pepon ameeen daaah
I loove this song...Reminds me of my times in Mombasa...Nostalgia at its best. Guys lets increase its views to millions.
Chochote wtakacho kwambia usiwasikilize endapo ukiwasikiliza moyo wangu utaumiza😊❤
Pole sana bro Belle 9.Dada yetu Masogange tutammis !!
Aise kama na ww umeiludia hii ngoma ngonga like plse🙏
Rest in peace Agnes Masogange
RWANDA5 TV punzika kwa amn
Belle 9 ni legendary kwel bongo flavor umetoka nayo mbali sana!!
Jamani nakumbuka mbali.Leo 2020
Nakukubali sana bell9 Mungu akufanyie wepesi siku moja nisikie umavuka mbali zaidi salute kwako mwamba....imma dulla marangu kilema kilimanjaro
siku hizi beat za kinageria zimetuaalibia wasanii wetu zamani walikuwa wakali sana
KWELII!! HUU WIMBO ULIKUWA SHEEEDAH!
uko wapi kaka huskk
RIP
Kweli kabisaa
We mkalii
Yes!!ilipamba vilivyo sema now umepotea mkali katika game.
jaman kla nkiona huu wimbo nakuona Aggy Wang R. I. P my nitakkumbuka daima
pole bele9 sote njia moja nalia sana nikisikiliza hii ngoma ...tusijisahau mungu yupo
😥😥😥😥 R.I.p Agns ....2018).j kweli wote niwapitaji Apa duniani jamni Jana tulikua wote tn tukifulay lkn Leo umeondoka jmn kama tondo. Eee Mungu Naomba huilize roho yake mahali pema peni mtanzania mwenzetu tulimpenda lkn ww Umempenda zaidi Aminaaa. kama kweli umejifunza kitu kupitia hili tukio kua duniani wote niwapitaji bc gonga like yako Apa. Amen
this jamz inanikumbusha mbali..KCO massive hapo finlays
Naikumbuka sana kama jana mwaka wa 2009 bado nipo kidato nilipoisikia hii nyimbo kwa mara ya kwanza. Ila leo mwanadada #Masogange kaaga dunia. Inauma sana ila ni mapenzi yake Mola. RIP Agness 'Masogange'
Ulikua poa sana huu wimbo bahna daaah mungu ampumzishe kwa amani masogange
naumia sana kifo cha masogange lala mahali pema dadayetu.
😭😭😭😭😭
❤❤i'm still listening to this
fell in love with this song,almost eight years and it still sounds deep,repose en paix aggy,may God judge you with mercy
This song made me fall in love,,,,,,,,again,,,,,😊
nimeangalia tena huu wimbo kwa Ajili yako hili jina lilianzia hapa masogange rest in peace Aggy 😨😨😨😥😥😥😥😤😤😤😤😤😢😢😢😭😭😭😭mungu mkali jama 20/04/2018
Yani acha tu inasikitisha 😭😭😭
kam huwa unaangalia comment za nyimbo zako , na maanisha b9,kwa upande wangu nimemic radha ya sauti kama hii, bdo ujachuja broo.
come up again , never give up, we miss u.
Rip aggy masogange😿😿😚😪
Hakuna videoqueen nilikuwa namkubari na anashep na mvuto kama masogange mungu amlazepema peponi amiina.
2024 na leo ni TBT 15agust nimerejea tena kutazama hii ngoma kali🔥🔥 kama bado unakubali kuwa hii ni ngoma kali like hapa🙌🙌🙌
Agness hakika mungu alikuleta kwasababu duniani na umeondoka mbali na masogange. Tuta kukumbuka daima.
Masogange kumbe anafanana na mtoto wake jamani like Kama unaiangalia hii ngoma 2023
Masogange angekua mbaka leo dahh angekua wamoto sana 😢😢😢
I miss my first boyfriend when i listen to this song it use to be his favourite, most of the time he would dedicate this to me ,oooh no time flies so fast #REST IN PEACE ANELKA 😥😥😥😥 i loved you but God loved you more wish you were here people were aganist our love but didn't stop loving each other. Love you
What killed her ,I watch and I cry RIP
R.I.P masogange. Mbele yako nyuma yetu, pumzika kwa amani. Ni njia yetu sote!
Belle 9 my favorite. Man when I start making it, he will be the first artist I would like to work with. Ubarikiwe ndugu, you got them vocals man. U might not have the connection but u are still the best in TZ.
James Maring namkumbuka bele9 shoo yake ya kwanza ilikua uzinduzi jengo LA Air tel
James Maring kweli mungu anamakusud yake
Kweli kbs
Minakupendaka Sana niko mkongomani jikaze nitakuonaa te?'rafiiki
😭😭😭😭 hakika dunia tunapita natunapo enda n sehem ambayo hatuijui
Daaah ngoma Kali
All tym favourite song....inanikumbusha mbali...shine on your way Agnes
i can repeat dz song even a 1000 times ur dope my dear sauti yako iko swafi.
This masterpiece reminds me of alot of good old memories 😤 some friends that i lost some that I don’t even know where they are.. Rip masogange
Nipo hapa kwa kumbukumbu ya masogange 2020 who is with me,,rip my sister😭,,we shall meet again😭
Du lakwanza ni pole sana Bella kwa majozi makubwa japo pia sisi inauma ila kwako imezidi ,mungu ailaze roho yake masogange maari pema peponi
Omg!I can't believe m still here...2023❤🎉Funzo kwa wanadada wadogo
Big up broo hata hauchuji huu wimbo
Dah naskiza hii nyimbo huku machozi yanitoka, yani inanihuzunisha kweli, R.I.P agness masogange always tutakukumbuka dada.
Nafisa Mohamad 😰😰😰😰😰
i was in uganda and i remember this song Rip
maisha ni safari ndefu daah msiba wa Dada etu masogange kumenifanya niludi kutazama huu. wimbo tunakuombea mungu akuepushe Na adhabu ya moto ni huzuni imetutawala dada yetu pumzika kww amani R.I.P
Timeless. My favorite I swear❤ RIP Masogange
lala salama Aggy... mungu kakupenda zaidi....shine shine shine shine😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
who's still listening to this masterpiece in 2023 mark your register here
Mapenzi yanautesa moyo wee
Hatari sana 2023
2018 from KENYA with love. This song reminds me when I was young n naive n inlove.
Belle nine uliendaga wapiii jamani😢😢
Who still listening this song in 2018 with me......😍😍😍
0481797312 Bonnere am here...
RIP agnes
0481797312 Bonnere me
tusalisana jaman
the vixen was buried today
daaah kumbe tokea zamani ana wowowo lilikuwepo eti... rest in peace mama
kifo cha masogange kimenileta mpaka uku😥😥😥😥😥😥😥😥😥
2018 watch
Jovina Bunyomyo 😢😰😰
ww ach t
r.i.p Agnes
@@esterhasan524 rip aggy
rest in peace masongange😭😭😭😭😭
Mungu alilaze hilo tako la masogange mahali pema...halitatokea tako kma hilo..
RIP masongange......its sad to die that young...
Tuzidi kumuombea Mwenyenzi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburii
One timeless song.. beat and lyrics on point and unique.🔥🔥🔥👌🏿.. RIP Masogange...
Il a déjà mourri?? Or died belle nine?
kazi ya mola aina makosa we umetangulia ss tupo nyuma mungu akulaze pema peponu
Pumzika kwa amani Agnes 😢😢😢😢😢😢😢 mungu aku weke mahali pema peponi dada
Nila Stephen pumzika kwaaman masagange mungu akueke mahali pema
Daah kikweli nmeeamini sasa dadangu haupo tena mbele yako nyuma yetu mungu ailaze moyo wako mahali pema
I’m still listening to this song here we go 2024🔥🔥🔥
Kama unaisikiliza 2024 December 29 gonga like
masogange ndio hvy umetutoroka kimy kmy my
Cesy Rashid Nataman kulia mim nan aje kunibembeleza jaman
Cesy Rashid nishida masogange daaah
Nimemaliza form 4 hyo ndo ngoma ikatoka, ilikua ya moto sna❤❤❤
In 2019 still listening to masogange 💞💞💞💞💞💞
Hii ngoma naikubali sana sana ongera sana mzee baba
Masogange still my favorite 2019🇰🇪
I used to like the song until now I still do🙏😍❤❤2023 June here we go . Mungu amlinde Agnes Masogange popote alipo
inalilah waina lilahi lajiun mola ailae roho ya malehem mahala pema peponi
Bint Alhwamer mola gani?
amen
Duuuu belle9 yakupaswa hii singo iludiwe yaan namanisha mix iwepo kwa ajili ya dadatu masogange,kama kwer unampenda fanya singo ya kumuenzi masogange broo
My classmate, Dennis Marwa,Taranganya boys sang this song to my girlfriend and that's how I lost a love 💔
😂😂when was that I was there 2008-2011 ikerege ndo hom
Sorry😂😂
Daaa,,, pumzika kwa amani Dada Agnes Gerald waya
umenifanya niiangalie tena hii ngoma Agnes jaman R. I. P Masogange Mavumbini tutarudi
Daaaaah.....kitaamboooosaaana iyooo nakumbuka mbal aiseee... adi leo 14/3/2024 goma bado kali ❤
Lala pema Agnes,you made me come back here
Purity Mumbi
Me too jamani
R l p masogange pumzika kwa amn dada yetu kipenzi
Hii ngoma nlikua form 1 nlikua naimbia mtoto mmoja adi leo banger