Belle 9 - Amerudi (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии •

  • @onericamedia
    @onericamedia 8 месяцев назад +10

    When bongo fleva is alive hakuna cha kiki ni mziki mzuri tu here we are 2024

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah Год назад +22

    “Japo sikua really kwa penzi lako ila nilikuita my love “ WHEN MUSIC WAS REALLY ANYONE 2023??

  • @MaishaNgige-zx2dh
    @MaishaNgige-zx2dh 8 месяцев назад +7

    Bdo tuko on 2024 belle bdo waskizwa

  • @simaovascomalido6801
    @simaovascomalido6801 Год назад +7

    Bado Nitaipenda 2023, in Maputo ciy. South of Mozambique

  • @macvoice3522
    @macvoice3522 9 месяцев назад +16

    Siri ninayo tulikua wapenzi wapi wale wa 2024 ❤❤

  • @mzurzamzam1877
    @mzurzamzam1877 Год назад +33

    Wale ambao bado tuna taradad na nyimbo #2023 weka hizo like hapa wajuba..👉🇹🇷turkiye

  • @anthonykamaukuria
    @anthonykamaukuria 2 года назад +29

    Kama wamkubali belle9 kuwa msanii mwenyewe mashairi mazuri weka like.huyu ni legend #2022

  • @nicholasmukhwana7268
    @nicholasmukhwana7268 3 года назад +19

    One of the best vocalists kuwahi kutokea huku Africa!

  • @alimikabo2572
    @alimikabo2572 5 лет назад +21

    Belle 9.
    Salute bro ktk Vipaji vya Muziki tulivojaaliwa Nchini mwetu Bac nawe umo.
    But sijui nani kakuzimia Nyota yako.
    Songs zako zitaishi milele.

  • @jacklinewilliam-ip8gk
    @jacklinewilliam-ip8gk 27 дней назад +1

    Duuh what a song😢😢 naupenda mpaka nashindwa kuelezea hisia zangu, mziki mzuri ulikuwa zamaniii ❤❤❤ 2024

  • @wollefernando1257
    @wollefernando1257 Год назад +4

    I still listen 2023 inanikumbusha mbali sana hii ngoma. CONGOLE Belle9

  • @anthonykamaukuria
    @anthonykamaukuria 3 года назад +14

    Ibaki kuwa siri mimi na wewe kama tulikuwa wapenzi..#2021 like you belle9 mkali wa mashairi tz

  • @Bongo-qk1um
    @Bongo-qk1um 4 месяца назад +13

    Tulikuja hapa baada ya ngoma kupiga Simba day ubaya ubwela 2024

  • @kdramaedits47
    @kdramaedits47 11 месяцев назад +72

    who is here 2024

  • @JoshuaJohnBruno
    @JoshuaJohnBruno 4 месяца назад +6

    Simba day imetukumbusha mziki mzur❤❤

  • @SolisticeKanuve
    @SolisticeKanuve 9 месяцев назад +5

    Basi nataka muniambie kama bell9 yuko wapi kwa myaka hii maana hasikiki tena, niko drc butembo town❤❤❤

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy 11 месяцев назад +9

    2024 naigia huku nalia najuta yote nime fanya kwako😢

  • @osykiz4673
    @osykiz4673 4 года назад +54

    Gonga like kama bado unasikiliza hii ngoma 2020

  • @rogathemassong1788
    @rogathemassong1788 4 месяца назад +4

    From City without ocean
    2024 simba day baada ya kibu kurudi❤

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 года назад +3

    Bell 9 nakukubali sana tangu kitambo hicho

    • @SolisticeKanuve
      @SolisticeKanuve 9 месяцев назад

      Bell9 yupo sasa yangu mwaka 2015 alikua akianjisha biyashara n'a mpaka sasa ni mfanya biyashara maarufu sana😂😂😂

  • @Lilmonker-rg5qw
    @Lilmonker-rg5qw 2 месяца назад

    Tar 10 Mwezi 11 Mwaka 2024. Salute. From Dar es salam Tanzania.

  • @AZARDMOVIES
    @AZARDMOVIES 4 месяца назад +4

    Baada ya kibu kurudi imebidi nije kusikiliza vzr 2024 @simbaday 🎉

  • @user-suleiman71
    @user-suleiman71 Месяц назад

    King of chorus Belle 9 hajawahi kufeli
    Here we Go 2024🎉

  • @anthonykamaukuria
    @anthonykamaukuria Год назад +1

    Inabaki kuwa ngoma nzuri na yenye mashairi bomba#2023

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 4 года назад +6

    Kila lenye mwanzo lina mwisho, belle umepotea😩😩

  • @mania6317
    @mania6317 3 года назад +91

    When music was real. 2021 anybody?

  • @mulondakiyomarodriguerodri7261
    @mulondakiyomarodriguerodri7261 2 месяца назад

    niko Goma Drc congo bell 9 muimbaji bora umepotea kwenye muziki 2024 tuko tena 🎉🎉

  • @colopizomrichory9918
    @colopizomrichory9918 Год назад +2

    I had my bet more on this guy breaking thru than Diamond..sumu ya mapenzi song and etc..big fan Kenya 🏁🇰🇪

  • @nestostephano7480
    @nestostephano7480 2 года назад +5

    I really love this song....20/05/22 ....nimeskiliza mara6

  • @fatumaally7872
    @fatumaally7872 3 года назад +3

    Mapenzi yalintesa back enzi za hii ngoma dem anasema ana mtu wak wa mda ko me nimuache daaah maish kwl yanakwenda

  • @charlesanyirenda2721
    @charlesanyirenda2721 4 года назад +36

    Kama unangaria ngoma hii 2021 gonga apa

    • @abuusamwel7286
      @abuusamwel7286 3 года назад +1

      Hatariiiii

    • @djbonfigkby
      @djbonfigkby 3 года назад

      @@abuusamwel7286 😂 HIYO unangaria yake 🦝😂

  • @meshack3266
    @meshack3266 3 года назад

    Da hii nyimbo inagusa maisha yangu kabisa mpenzi wangu ambae ndo mke wangu kwa Sasa baada ya kuludi nikakwambia nilie kua nae kwa mda uo kua ameludiii

    • @aidamwakalinga6182
      @aidamwakalinga6182 3 года назад +1

      Hua inauma sana. Shida wanaume huwa mnashindwa kuongea ukweli. Mkishapata mlichokuwa mnataka ndipo mnasema amerudi. So painful... Unajua mtu huna malengo nae unampotezea muda tu. Mbingu mtaisikia tu wazee

    • @meshack3266
      @meshack3266 3 года назад

      @@aidamwakalinga6182 acha tu Mambo Aya same time ayanaujanja inabidi tu iwe ivyo

  • @jeneskidau6279
    @jeneskidau6279 4 года назад +52

    2020 I still watching AMERUDI by great BELLE 9

  • @ondeyojeremiah4960
    @ondeyojeremiah4960 8 месяцев назад +2

    Some of us we are here becoz of our childhood memories ,,,good feelings ever hamwezi elewa😊

  • @EmmanuelAlphaxard-i2c
    @EmmanuelAlphaxard-i2c 8 месяцев назад

    Mpaka leoo huu wimbo nakusikiliza respect sana belle 9🙏🙏🙏

    • @westcijosh
      @westcijosh 8 месяцев назад

      Wimbo unaishi huu

  • @masibosvlogmasibos9738
    @masibosvlogmasibos9738 4 года назад +7

    Huu ndio mziki broo 🔥🔥🔥😍👌❤️💃

  • @emanuelumallyaemanuelimall6832
    @emanuelumallyaemanuelimall6832 4 года назад +2

    naipenda sana hi ngoma haiwezi kupita siku 3 bila kuisikiliza

  • @johnscriber4702
    @johnscriber4702 3 года назад +13

    Whoever did the acoustic strings at the end.BIG UP

  • @Davidthestardavidthestar
    @Davidthestardavidthestar 4 месяца назад +1

    Baada ya simba day nime rudi tena 😂😂 tulio rudi tujuane 2024

  • @YusuphSuguti
    @YusuphSuguti 9 месяцев назад +3

    2024 likes hapa

  • @alinotiamurisalamba751
    @alinotiamurisalamba751 3 года назад

    Mungu azndi kukupa huwai Kaka yani na kuku Bali sana wewe na Kaka mkubwa Alikiba mimi ni mkongo Niko tanzania mkibizi

  • @therencewatara1770
    @therencewatara1770 2 года назад

    Nipo Burundi ndayumvilije mala 6 maana wimbo huu mzuri sana mwiza cane mu kirundi

  • @ingabirelydie9700
    @ingabirelydie9700 3 года назад +1

    Ndagukunda Belle 9 kutoka Rwanda

  • @citizenlive3468
    @citizenlive3468 4 года назад +2

    Belle 9 nakutambua bro unaweza kwa bongo flavor

  • @Chadulystreika
    @Chadulystreika Месяц назад +1

    2024 mzki mzuli Bado nakusikiliza 🎉

  • @samwelwaithera1427
    @samwelwaithera1427 2 месяца назад

    2024 still dope song.we miss this kind of songs belle 9

  • @boazmwashemele4937
    @boazmwashemele4937 3 года назад

    Kweli umempoteza jembe lako masigange mungu akupe nguvu dogo nakukubari Sana

  • @ibrahamkalu9069
    @ibrahamkalu9069 4 года назад +18

    2020 bado tuko fans wa B9 wa mziki mzuri

  • @Grace-Kagendo
    @Grace-Kagendo 4 года назад +18

    Those days , take me back😍

  • @neemamkami2029
    @neemamkami2029 4 года назад +6

    Belle upo wapi mbona hatusikii ngoma zako 🙄🙄🙄

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 2 года назад +3

    Amerudi Until now 2022🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇹🇿

  • @godfreynditi3279
    @godfreynditi3279 4 года назад +2

    Hakika ulikuwa unaachia ngoma kali

  • @DULLAHMASTER
    @DULLAHMASTER 4 года назад +8

    2020 amerudiii hiii ngoma inanikumbusha skuliii

  • @isakaramadhani613
    @isakaramadhani613 3 года назад +1

    Tunaendelea kuichek had ,huu mwak21 gong like twend xw

  • @ondaricyrus8747
    @ondaricyrus8747 Год назад

    My uncle kusikiza hizo song sa bell9 alifanya nikawa fan mkubwa sana

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 Год назад

    Bora ibaki kuwa siri nawee........🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @youngking3560
    @youngking3560 2 года назад

    Sijawahi kuichoka hii ngoma aiseee

  • @titussarkai2740
    @titussarkai2740 2 года назад +1

    Who needs to go back to his old lover whom you did bad things to him plz you this master piece of love ❤ and I will be OK for you ❤

  • @FulgenceNduwayo
    @FulgenceNduwayo 6 месяцев назад

    Heshima kwako baba, bado na leo inanijaa kichwani

  • @jumalucas2565
    @jumalucas2565 4 года назад +10

    The best artist,only being underrated,I appreciate your work.

  • @jamesfissoo5403
    @jamesfissoo5403 5 лет назад +4

    Goma Kali kinoma hadi Leo big up bro

  • @wesleyidah1401
    @wesleyidah1401 5 лет назад +52

    Who else still here 2020

  • @gupsonsoleil1284
    @gupsonsoleil1284 2 года назад +1

    Atuta tshoka kusikia Ngoma zako kama unakubali asthiya like Yako from congo drc !!!

    • @SolisticeKanuve
      @SolisticeKanuve 9 месяцев назад

      Ndiyo ndugu yangu hatutachoka, apa niko DRC butembo

  • @lupandesimukindje8170
    @lupandesimukindje8170 Год назад +2

    May 2023 are you there ? This song will never get old

  • @aaronkibet6924
    @aaronkibet6924 2 года назад +7

    This song will last forever like mothers love💯2022

  • @ashagichero3067
    @ashagichero3067 Год назад +1

    2023aah

  • @judithzawadi6614
    @judithzawadi6614 2 года назад +3

    2022 April still listening 🎧 to this sweetest song @ Bell 9~big up sana ...Who is here🙋 enjoying this song surely

  • @mustafamatembe5058
    @mustafamatembe5058 2 месяца назад

    Nice and unforgettable collabo ,Tunda man ft spark

  • @salehabdul437
    @salehabdul437 2 года назад +8

    Today he is performing live in TABORA ✅✅

  • @Kasereka-qk5jl
    @Kasereka-qk5jl 9 месяцев назад

    Ndakumbuka zamani kidogo

  • @ahmadally7383
    @ahmadally7383 Год назад

    Dah ngoma Kali kuanzia beats mpaka lyrics

  • @EraFilimoni
    @EraFilimoni 4 месяца назад +2

    Nimeitafuta baada ya kibu kuludi

  • @hilintmelick3818
    @hilintmelick3818 2 года назад

    Goma Kali kinyama nimeikubali inanikumbusha mbali

  • @kyalohenry5654
    @kyalohenry5654 Год назад +1

    2023 🔥 bado

  • @rashidfunditonton3225
    @rashidfunditonton3225 2 года назад

    Vijana awa wamekwenda wapi kwenye mziki wa bongo
    Leo Kuna kuwa sijuwi wsafi watu wenyewe wa bovu kuimba awajuwi

  • @marksamuel8210
    @marksamuel8210 Год назад +1

    My favorite bongo song 2023

  • @Kabi_47
    @Kabi_47 Год назад

    Watoto wadogooo watuache kidogo wakongwe tuburudike dah kama utani vile uzee huu hapa❤🔥🔥🔥🥹🥹

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 2 года назад

    Daah nakumbuka hii nyimbo kipind hicho daaaaah jmn miaka unaenda jmn 2022 twende kaz

  • @zaqiamhando8571
    @zaqiamhando8571 3 года назад +3

    Dada angu alienda kufanya kaz saudia alivyorud boyfriend wake ameoa... wakarudiana wakawa wanachepuka 🤣 hii ndo nymbo yao nlpokuwa naenda kwao likizo

  • @dicksonmapesa9630
    @dicksonmapesa9630 Год назад +4

    2023 mko wapi😉😉

  • @isaacnewkaboy9132
    @isaacnewkaboy9132 4 года назад +6

    End of 2020 still watching... King of chorus on his time

  • @NusrathyAlwatany-xt2xo
    @NusrathyAlwatany-xt2xo 5 месяцев назад

    Jaman belle tisa tisa anajuaaaa

  • @raphaelnzuyu2980
    @raphaelnzuyu2980 Год назад

    Nakukubali broo

  • @eliasijonasi6259
    @eliasijonasi6259 3 года назад

    Dahaaa belle 9 fundi wa wamziki

  • @taifaonenation101
    @taifaonenation101 5 лет назад +18

    This will never get old

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 Год назад +1

    23/3/2023 here we go 🔥🔥 good work Belle 9 🇰🇪

  • @janeymhando
    @janeymhando 2 года назад +3

    Im caught into that situation..!😢 He's back.!

  • @nobertnkuba
    @nobertnkuba 3 года назад +11

    2021 still yo songs r uptodate!! Yo great Belle 🙌

  • @yatamsiwedi9706
    @yatamsiwedi9706 4 года назад +4

    Atamimi ninamuwombeya aludikama zaman nyimbozakezota nazikubali sana

  • @Donrugi
    @Donrugi 3 года назад +11

    2021 baada ya kusikiliza kazi ya super women wasafi ft diamond, madee, rayvanny, jux, mbosso, belle 9, Joel lwaga, baba levo, Dullah makabila, G nako, lava lava,

  • @ahmedabdalla1954
    @ahmedabdalla1954 2 года назад +2

    Here we are like kitambo,when feelings were expressed by good music.......

  • @حسن-ح7م1ق
    @حسن-ح7م1ق Год назад +5

    Who is here in 2023

  • @benardofulo2731
    @benardofulo2731 2 года назад

    Tz kuna talanta c machezo eeeish!

  • @OphoroTube
    @OphoroTube 3 года назад +3

    Wa 2022 tujuane

  • @Tibrah96
    @Tibrah96 7 месяцев назад

    NEVER GET OLD THIS ONE

  • @joycemwigulu8100
    @joycemwigulu8100 3 года назад +10

    Living music 2021 still dope

  • @bennysanga2873
    @bennysanga2873 4 года назад +2

    Zamani mlikuwa mnajuwa kuimba ila sahivi hakuna kitu #amerudi #belle9

  • @nyabutiwalter4955
    @nyabutiwalter4955 10 месяцев назад

    🎉🎉 real bongo

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 месяца назад

    Hii video umefanyia oman 😊😊😊😊mbona mazingira fulan kama....

  • @zlfamz3540
    @zlfamz3540 3 года назад

    Hii nyimbo yanikumbusha mbal my first boy