Ali Kiba feat Mr. Mim - Hadithi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • www.eastafrican... ~ Bongo Flava Video from Tanzania in East Africa, For More Videos Please Check Out EastAfricanTube
    Listen to Bongo Radio LIVE at tinyurl.com/Bo...
    Visit our website at www.bongoradio...
    Download our Bongo Radio Android App for LIVE Streaming at tinyurl.com/bo...
    Download our Bongo Radio iPhone App for LIVE Streaming at tinyurl.com/bo...
    "The True Size of Africa" T-Shirts buy at www.amazon.com...
    "The True Size of Africa" Sweatshirts buy at www.amazon.com...
    "Mama Africa Love" Tshirts buy at www.amazon.com...
    "Hope is the Message" T-Shirts buy at www.amazon.com...
    "Keep Life Simple" Tshirts buy at www.amazon.com...
    Bongo Radio Tshirts buy at www.amazon.com...
    Bongo Radio Sweatshirts buy here www.amazon.com...
    *PLEASE SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL*

Комментарии • 982

  • @Bitika-wo7cg
    @Bitika-wo7cg 10 месяцев назад +148

    Tunaotazama tena 2024 naomba like Tafadhali

  • @AfricanFilmProductionALEX
    @AfricanFilmProductionALEX Год назад +39

    Kiba nakuuomba ssana uirudie hii ngoma itolee RIMMIX tafadhari sana... huu moto ni balaa mpaka tunaenda 2024 😢😢

    • @johnmarleymarley-b4t
      @johnmarleymarley-b4t 3 месяца назад +1

      Kiba ikitokea ukairemix naomba unishilikishe by black Johnson musoma moja ❤❤❤❤❤

  • @cvpchakwalevideoproduction2943
    @cvpchakwalevideoproduction2943 Год назад +95

    kuna muda anaiskiliza hii 2024 jaman bas like au comment hapa chini

  • @leahgakuo2890
    @leahgakuo2890 Год назад +34

    Am inlove with this song,2024 fam 🎉

  • @kiningabinking1285
    @kiningabinking1285 5 лет назад +39

    It's very nice guys😍😍😍😍 Utafikiri himetoka jana tu😍😍😍😍 kam unaamini ngonga like twende sawa.

  • @MussaHaruna-j8i
    @MussaHaruna-j8i 25 дней назад +1

    Khalfan mapinda kaka mwenyez mungu akulaze mahali pema pepon uko ulipo.nyimbo naikumbuka nipo kwako unatupokea mwanza air port 2011.ipo cku tutaonana kaka

  • @nzisabiranadine2644
    @nzisabiranadine2644 6 лет назад +59

    Jamani Alikiba hii song kila nikiiskia lazima kunamambo flani nitayakumbuka yalionitokea kwenye maisha yangu😭😭😭ilikuwa nihuzuni kwangu.kila nikitaka kuyakumbuka lazima nitafute huu mziki niuskilize

  • @westcijosh
    @westcijosh 2 года назад +3

    Alikiba bro hii ni moja ya ngoma kubwa kutoka kwako na itaishi milele .I reminisce man😢

  • @Salamasalym
    @Salamasalym Год назад +32

    2024 gonga like naipenda hii song

  • @janjaz
    @janjaz 4 месяца назад +2

    kumbe huyu mwamba alifanya colabo za majuu akiwa mdogo hivi, nowonder akiona wengine wakifanya collabo na watu w majuu kwake anaona ni vitu za kawaida bt kwa wengine wanaona basi ndio wamefika, Ali is the king..kule alisha tinga kitamboooooo

  • @Dejy_Arto88
    @Dejy_Arto88 7 месяцев назад +16

    Wale wakuanzia miaka 1988 Tujuane kwa koment like
    Tujue hii ngoma ilitoka mwaka gani😅

  • @MansourAlly-qm5dl
    @MansourAlly-qm5dl 4 месяца назад +2

    KIBA AISEE ILI GOMA ULIINGIA NA UBUNIFU MKUBW SANA, ALICHUKUA KIPANDE CHA KIHINDI KUTOKA KWA MAREHEMU MZEE MOHD RAFI KONGOLE KWAKE KING KIBA 👏👏

  • @trippleleizer2361
    @trippleleizer2361 8 месяцев назад +6

    2024 na bado iko moto 🎉 Respect to the only King 💯🙌 #love from 🇰🇪

  • @Graeyouze
    @Graeyouze 14 лет назад +18

    nina imani wapenzi wa sanaa na itikadi ya mwelekeyo kwa washika dau ,hapa nimeinamisha 'HADITHI !!! ALI KIBA shukrani sana inshallah mwenyezi mungu akuzidishiye!!!

  • @erastosolomon4554
    @erastosolomon4554 7 лет назад +210

    Anaejiita simba wakati huo bado ndiyo kwaanza ananyonya 😀😀😀😀😀big up King👑 Kiba. Listening 2017

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 9 лет назад +63

    uliniambia unanipenda sanaaa nikusaidie, roho yako inadunda ukinionaa nikuhurumiee. ha ha ha ha hatarii sana hii hadithi

  • @glody01
    @glody01 2 месяца назад +12

    who’s here 2024 king 👑 😊

    • @peacemuluka6177
      @peacemuluka6177 2 месяца назад

      December 11th 2024 all the way from Zambia

  • @ramachikoza6253
    @ramachikoza6253 Год назад +12

    2023 here I come,great work Mr Kiba. Watching from margin of coastal region of Kenya 🇰🇪 (Mombasa)

  • @ellysafy8870
    @ellysafy8870 5 лет назад +6

    Waona angalia huh wimbo mpaka like hapa tujuane # team kiba

  • @lyzekeyz328
    @lyzekeyz328 3 года назад +2

    Kumbe kiba nae alikuwa loverboy ezi zake keep burning bro nitakufagilia till last minute

  • @michaeljonathan5016
    @michaeljonathan5016 5 лет назад +7

    Enzi hizo hii ngoma ipo hit mondi sizani kama alikua hata kwenye ramani hapo ndipo utaamini kuwa kiba ni king..we love u brother

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 5 лет назад +8

    Diamond anasema huu ndio wimbo wake Bora wa muda wote

  • @KhadijaKhadija-mk6jf
    @KhadijaKhadija-mk6jf 6 лет назад +83

    Siach kukushabikia my brother Aliy 👌👌👍👆😘😘

  • @allankimaro4327
    @allankimaro4327 Год назад +11

    Alikiba is more than a legend...... A living legend.......

  • @fredinandonde3292
    @fredinandonde3292 6 лет назад +39

    Nani anaangalia hii 2019? Like hapa

  • @tabithandungu9680
    @tabithandungu9680 2 года назад +23

    I'll never get tired of this song,,💯

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 8 лет назад +73

    kama kupenda ni dhambi me basii, narudi kwa mola niombe radhii

  • @peterjosephmjaka
    @peterjosephmjaka 4 месяца назад +1

    Mfalme wa bongo fleva ni mmoja tuh KING 👑 KIBA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 10-10-2024 na kuendelea tutazidi kusapoti king WETU

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 7 лет назад +71

    dah......we ndio king kiba.umetisha nice song

  • @nzisabiranadine2644
    @nzisabiranadine2644 6 лет назад +13

    Wewe ni king of bongo fleva hao wengine kwa upande wangu siwafahamu

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 3 месяца назад +1

    Hii ngoma niya kitambo sana nkiwa kijana mdogo.nlianza kuiskiza 2007 sai nko 31yrs

  • @rabimoise8315
    @rabimoise8315 9 лет назад +5

    Zarau na matusi yote nilivumilia, wakiwemo marafiki wote wakishuhudia. Heshima ya mapenzi pale pale japo hujaridhia... Ali the Best.

  • @deebrown7908
    @deebrown7908 6 лет назад +19

    Tujuane basi
    Like kama bado unaichek ngoma hiyi

  • @justuswill5537
    @justuswill5537 5 лет назад +5

    Walikupata kwa game na hawatakuweza wapi king kiba fans

  • @fredricklorot2817
    @fredricklorot2817 3 года назад +11

    I breaked into tears 2015
    Hii ni ile ngoma moto inakupa motisha
    2021 bado tunasikia

  • @mohammadmboya2034
    @mohammadmboya2034 Год назад +8

    The living legend 2023 and still listening this amazing song from king

  • @chrissunday9857
    @chrissunday9857 11 лет назад +205

    Ali Kiba is better than Diamond because of this song...PERIOD.....!!!!

    • @adamhashimu4462
      @adamhashimu4462 6 лет назад +2

      true

    • @zaiiomary8970
      @zaiiomary8970 5 лет назад +3

      Mim.nampenda mpka 2019 and 2050

    • @gardgrady7500
      @gardgrady7500 5 лет назад +2

      Ali k 4real

    • @husseinmachozi2848
      @husseinmachozi2848 4 года назад +1

      How abt nowadays ?

    • @gabrielobote8145
      @gabrielobote8145 4 года назад +3

      @@husseinmachozi2848 diamond anafanya biashara si mziki that's why anazidi alikiba hela .Ali naye anazidi mondi kuimba mziki wake unajiuza kwa ajili ya mvuto c yeye anauuza hiyo ndo tofauti ya Ali na mondi mm nawapenda wote kwenye maswala ya burudani

  • @jesca0601
    @jesca0601 9 лет назад +20

    so sweet ally! maneno wayapanga sawia kabisa dr

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 лет назад +2

    mm ctak kuomba like ya mtu yeyote ila kubali au ukatae huyu ndo mfalme wa bongo fleva. king#

  • @nabadiyonolol7170
    @nabadiyonolol7170 6 лет назад +240

    Alikiba batter than diamond who is watching 2019....

  • @aishan.d6745
    @aishan.d6745 10 лет назад +56

    Nakupenda Ali....this reminds me of an old love hadithi tamu...kuwaste time

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 5 лет назад +81

    eti simba mm nipo nacheki apa kitu toka miaka hiyo Leo 2019 mwezi 4 kitu bado kipya uyo ndiyo king atabaki kuwa juu kama pielee konk fayaaa.

    • @dogoshazzy7032
      @dogoshazzy7032 5 лет назад +1

      Elia Richard ata mm nakubali huyu jama mpaka kufa

    • @emmanuelchacha6718
      @emmanuelchacha6718 5 лет назад +2

      Ngoma ni kali ila ishu kiba haimbi tena aina hii ya muziki na ndio anapokosea sana maana ametoka kwa laini hii kwa kasi kubwaa.

    • @jamesmarumbo6820
      @jamesmarumbo6820 10 месяцев назад

      Acha nafiki ili goma ni mwaka 2010

  • @emanuelelias2082
    @emanuelelias2082 2 года назад +1

    Hii niya kwetu wenyewe pure bongo fleva. Huyu jamaa pekeyake ndiye alie bakia kuupigania muziki wetu wengine wanaimba miziki ya inchi zingine ilimladi wawe kwenye trend, much respect my big brother Ali

  • @terrykamura9302
    @terrykamura9302 Год назад +8

    I've never heard this one am falling in love again with kiba❤

  • @violetnyarangi7062
    @violetnyarangi7062 3 месяца назад

    Asee...iko vizuri bado hii hapa 2024

  • @laylarashid4899
    @laylarashid4899 7 лет назад +18

    nc song, always ur de one king kiba ,mond kacheze mbali aiseee!!!!!!!!!!!!

  • @deborasauli3054
    @deborasauli3054 4 года назад +1

    Penda sana King kiba huy anae jiit ximba akatoe mikos kwanga ❣️❣️ King kiba 4 lil

  • @dwacts17apologetics54
    @dwacts17apologetics54 4 года назад +14

    This dudes music stands firm against the test of time,most of his hit don’t lose flavors for dayZ.

  • @ibrahimatulo7945
    @ibrahimatulo7945 4 года назад +1

    Ali k Mambo mbaya toka kitambo. Nakutambua ndo maana nakushabikia. My role model

  • @jumagabriel3168
    @jumagabriel3168 4 года назад +5

    "...this is Ali ....Ali Kibaaa "
    You are always the best one bro.

  • @issamuhando2847
    @issamuhando2847 3 года назад +2

    Bonge la ngoma king anajua bhana 🔥🔥

  • @AlanKimaro
    @AlanKimaro 2 месяца назад

    My favourite artist wa mda wote Alikiba..........❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @josephedward6766
    @josephedward6766 9 лет назад +8

    braza kaka aise.......penda sana mzic yako iko levo moja matata sana lyk zat...

  • @khamissaid3222
    @khamissaid3222 6 месяцев назад +1

    Wale wa 2070s hii inawahusu..❤kingkiba from 🇰🇪🇰🇪

  • @linetattogo355
    @linetattogo355 Год назад +7

    His voice always makes me wanna cry out of happiness

  • @MbalasaJRMwakabalile
    @MbalasaJRMwakabalile Месяц назад

    Kiba ni bishoo toka mond anajitafuta kiba on🔥🔥

  • @shamimbbyghtt6937
    @shamimbbyghtt6937 9 лет назад +11

    masha'allah kibaa...napenda sanaa hii ngoma....

  • @dominiquemwananghongo6304
    @dominiquemwananghongo6304 Год назад

    Much love from Congo 🇨🇩 2023✌️

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 5 лет назад +10

    Kama uko hapa baada ya diamond kuimba hili dudee kali nambie like 🔥🔥januar 2020

  • @suleamber7252
    @suleamber7252 5 лет назад +3

    Yaaani hapa hakuna cha simba wala yanga kingkiba unauagaaa saanaaa you're a Gold brother

  • @jumajuniorcomedian4746
    @jumajuniorcomedian4746 3 месяца назад +13

    2024 November mko wapi

  • @SaleemSaleem-oz5xx
    @SaleemSaleem-oz5xx 6 лет назад +3

    Unasifa zote za kuitwa msanii,kioo cha jamii and king of afrika.cnachakuzungumza niishie apo

  • @michaelgishi6475
    @michaelgishi6475 5 лет назад +46

    Kama umeamua kuipiga upya hii ngoma baada ya diamond kuikubali like twende sawa 2020

  • @kibeeriksen9556
    @kibeeriksen9556 Месяц назад

    I love this song coz it was sang a day after my birthday..my G ali❤

  • @MultiVickylicious
    @MultiVickylicious 13 лет назад +11

    Ali Kiba is da best in swahili music,love him love him

  • @jackycharles6419
    @jackycharles6419 10 месяцев назад +2

    Mapenzi yanatesa sana 😢😢

  • @ibrahjoel7283
    @ibrahjoel7283 5 лет назад +8

    Kiukweli m nimemc alikiba huyuuuu,,,,,,,, still listening In 2020

  • @litiemamorrison
    @litiemamorrison 11 месяцев назад

    2024 stll a hit🔥 much love from kenya 🇰🇪

  • @bettykaswii1510
    @bettykaswii1510 3 года назад +10

    Ngoma Moto Hadi waleo jamani....likes 2021 hapaaaa😘😘

  • @mohammedybushiri6070
    @mohammedybushiri6070 3 года назад

    You still on top. We ni wa pekee kiba

  • @arafahassan8391
    @arafahassan8391 5 лет назад +115

    Kama 2019 tupo pamoja gonga like hapa.

  • @islammwatoa2990
    @islammwatoa2990 7 лет назад +1

    dah huyu jamaa hawamuezi bc tu jamaa tangu zama hizo media hazina nguvu mpka ss yupo na Anatoa hit tu salute sana king kiba

  • @kaizarsalum530
    @kaizarsalum530 4 года назад +6

    Kama unaangalia 2020 like tujuane! Kings music

  • @eusebiaurassa3417
    @eusebiaurassa3417 7 месяцев назад

    Nimeisikia ikipigwa sehemu kwa mbaaali nikaikimbilia chapu, hii ngoma bado nikali hadi Leo hii 2024🎉

  • @lilyapple7102
    @lilyapple7102 9 лет назад +56

    forever Ali Kiba nice song.

  • @zakariamachibula488
    @zakariamachibula488 4 года назад +1

    Kiba sifanye utalatibu hizi ngoma za zamani aziweke kwenye akaunt yake kwahivi kufaidisha tu mengne

  • @donaldmwamswelo7664
    @donaldmwamswelo7664 6 лет назад +22

    Daaah kiba apana 2019.. Bado hii ngoma inanikill🔥💡

  • @hamedmohammed8912
    @hamedmohammed8912 4 года назад +2

    no1 like king in TZ. anaebisha mchawi

  • @fundimaloti6192
    @fundimaloti6192 6 лет назад +9

    listen 2019 good music bado yamoto sana hizi mashine hapa kiba ulituliza matako gonga like kama unakubali

  • @OtondiOkondo
    @OtondiOkondo Месяц назад +1

    20 years Bado nko kwa kingi nan Ako na mimi

  • @isdorysimon3313
    @isdorysimon3313 3 года назад +15

    This song dah, 2021 still can't get enough, mad tune 🙌

  • @thelatestvideos6266
    @thelatestvideos6266 4 года назад

    Kwamba alikiba hajui kuimba😂 Woiii Diamond anajua biashara ila kwenye kipaji Kiba yupo mbali sana asee

  • @mkitotv7621
    @mkitotv7621 5 лет назад +32

    2020 like kwa kiba

  • @abdallajuma8211
    @abdallajuma8211 8 месяцев назад

    The best song of all time in Tanzania 2024

  • @chisecomedytz6695
    @chisecomedytz6695 3 года назад +3

    The one and only king of music of africa

  • @emanueljaphet5232
    @emanueljaphet5232 4 года назад +1

    Daa king kiba Anajua san uyu jamaa

  • @Maryammsemo-hf3ur
    @Maryammsemo-hf3ur Год назад +10

    Back again in 2023,,alikiba is monster ❤️🙌

  • @guycalifat4426
    @guycalifat4426 4 года назад +1

    2020 ivi kunaweny bado mnaskiliz kama mm mzki mzr unaishi sio yule wa week moja umezima

  • @barawafilms7658
    @barawafilms7658 5 лет назад +6

    Alikiba always is the best who's watching with me 2020 king kiba

  • @iam__amigo
    @iam__amigo 5 лет назад +2

    Kama unaangalia baada ya shobo za mondii gonga li LIKE Likubwaa

  • @kizitochiluba5847
    @kizitochiluba5847 Год назад +29

    2023 and still rocking, ALIK is a Raw talent.

  • @Simpleswag254
    @Simpleswag254 Год назад

    Muache aitwe king af ao wengine masimba na machui..team kiba ❤❤

  • @loreengonzaleck1977
    @loreengonzaleck1977 8 лет назад +30

    i love this song to death even after 100 years if i will be still existing i won't get tired to listen to it

  • @julzd2020
    @julzd2020 9 месяцев назад

    The defination of a masterpiece
    Love this song

  • @Mr_Leo0418
    @Mr_Leo0418 5 лет назад +3

    Mh! I think no one like you King-Kiba

  • @elisharaphael8680
    @elisharaphael8680 Год назад

    Ngoma kali na ikipigwa popote pale bado inabamba mnoo, king 👑🙌 bado ni Hit 2023

  • @mauriceekirapa2516
    @mauriceekirapa2516 7 лет назад +9

    Dope,love from Kenya...

  • @godfreynyoni1159
    @godfreynyoni1159 2 года назад +1

    Diamond kipind icho mimba Ali we ni king

  • @rayaracheal5990
    @rayaracheal5990 Год назад +4

    Who's here in 2024❤ king kiba

  • @jofreybanzoo9340
    @jofreybanzoo9340 3 года назад

    Mm bhana kwa kwa king cjawah ona upungufu Kama ni mthian bas ni 💯