Abdu Kiba Feat Nay and Neiba || Uyoo Sio Demu || Official HD Video

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 1,5 тыс.

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 7 месяцев назад +43

    Ngoma hii kweli kweli naikumbuka sana kwa demu nilikuwa naye. Demu sooo, bado June 2024 naiskiza. Na wewe kama hivo gonga like. Love from Burundi. Nay apa amenikaza sana

  • @serekamwita-c5
    @serekamwita-c5 8 месяцев назад +283

    ambao bado tupo hapa 2024 tujuane kwa like 👍 👌 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nyiqatonyiqa7114
    @nyiqatonyiqa7114 2 года назад +58

    Hii ngoma Bado yachana Hadi Leo,.. kama umeisikiza mara kumi na simu battery low nipe like Mchizi wangu...

  • @craigjosef4796
    @craigjosef4796 Месяц назад +43

    2025 kama waitazama hii hit song ngonga like hapa

  • @godfreyamos477
    @godfreyamos477 2 года назад +99

    Kama bado unaipenda hii ngoma unaagali gonga like😍😍

    • @crstinaa
      @crstinaa 2 года назад

      Ngoma bado lakubalika tena kwa sanaa

  • @jovinmashauri5394
    @jovinmashauri5394 9 месяцев назад +5

    kakudanganya osterbay wakati anakaa manzese afu we mwenyewe unafuraha.....usimwamini hii...🔥

  • @nadeenblouch3257
    @nadeenblouch3257 Год назад +26

    Nimejikut tu sina lakusem nilipo pitia comment zenu 🥰🥰🥰iyi song sio yakitoto nawambia like zenu basi😪😪😪

  • @nadhifagabriel
    @nadhifagabriel Год назад +142

    Ambaooo tunasikiliza hiiii ngom 2023 like zanguu jmni ❤❤❤❤❤❤

    • @HarunaRamadhan-vk6yy
      @HarunaRamadhan-vk6yy 10 месяцев назад +1

      ❤ Mwambaa Uyooo Pamoko Sana

    • @sundaysanchez640
      @sundaysanchez640 8 месяцев назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤​@@HarunaRamadhan-vk6yy

    • @mwanritumsifueli7768
      @mwanritumsifueli7768 7 месяцев назад +2

      Nikosawa❤❤❤❤❤❤❤

  • @NickodemusLucas
    @NickodemusLucas Год назад +147

    Its 2024 we still rockin with this Vybe 🎉🎉🎉🎉

  • @MartinWainaina-g4d
    @MartinWainaina-g4d 28 дней назад +25

    Wale wa 2025 mko wapi

  • @uziamsimbe4700
    @uziamsimbe4700 7 лет назад +173

    kiba family mnajua sio siri...
    like my comment kama bdo unawatch this song till now

  • @frankstaminatz4266
    @frankstaminatz4266 5 лет назад +81

    Kwa hii ngoma wahuni walitisha gonga like twende gud 2019 December

  • @mtoto_wa_kiba79mo_fayatz76
    @mtoto_wa_kiba79mo_fayatz76 6 лет назад +544

    Ndani ya 2018/=2019 ukiwatch hili Dude...nbinyie hapo nkupe zako...Gonga Like

  • @alexandermumo4535
    @alexandermumo4535 2 года назад +118

    2023 and still I can't get iff the heavy bass boom in this music. I love everything about it 💕

    • @joycemasawe382
      @joycemasawe382 Год назад +2

      5

    • @joycemasawe382
      @joycemasawe382 Год назад

      5

    • @joycemasawe382
      @joycemasawe382 Год назад

      5

    • @TheNdaki
      @TheNdaki Год назад +2

      Hili Goma Usipime ukiskizaa katika speaker la #JBL 🔊

    • @sindennismesota9071
      @sindennismesota9071 Год назад

      ​@@joycemasawe3821😊😊😊😊😊😊11111qq1111111111qqqqqqqqqqqqqqq😊qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq😊

  • @georgeelnico4784
    @georgeelnico4784 5 лет назад +295

    kama unaamini Neyba ndo alitisha kwenye hii ngoma like please 2020

  • @dizzonofficial2600
    @dizzonofficial2600 7 месяцев назад +81

    Leo nmerudi tena june 18 mwaka 2024 weka comment kama umeumizwa na umepata penzi jipya 😂😂😂

  • @RachelBugengo-zb3zy
    @RachelBugengo-zb3zy Год назад +61

    2024 gather here 🎉😊

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 2 года назад +89

    "We don't search for old songs"
    "We search for gold memories"🎶🎶
    2022✨🎇
    Everlasting masterpiece

    • @solomonkitonka6904
      @solomonkitonka6904 2 года назад +1

      Am here

    • @selemaniiddy3296
      @selemaniiddy3296 2 года назад +1

      @@solomonkitonka6904 😜😜😜😜😜😜m677😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😥l

  • @cloudinhoabdi868
    @cloudinhoabdi868 Год назад +13

    I remember playing this song all the way from Nairobi to Kitale back in those days. Still a hit now in 2023. Love it

  • @remigiusmwageni6274
    @remigiusmwageni6274 5 лет назад +64

    Ninakupenda sana mchizi wangu wangu ndio maana nakwambia 2020 nani mwingine anakubaliana namimi

  • @anisasaid4552
    @anisasaid4552 7 лет назад +122

    Yani nikikusikiliza kama na msikiliza ali kiba yani mnajuasana kiba family

  • @zuberyrashidi9951
    @zuberyrashidi9951 3 года назад +124

    Tunaenda nalo hd 2021 goma bado linalipa like kama zote 🔥🔥

  • @bruhankuhunguru4810
    @bruhankuhunguru4810 11 месяцев назад +4

    The way Neiba sang this song was amazing at all. He had classic tune

  • @Norbert_Assenga
    @Norbert_Assenga 4 года назад +96

    Kama unachek hii ngoma July 2020 baada ya corona gonga like apa tule mziki mzuuri 💯...

  • @ezekielnyitambe.9316
    @ezekielnyitambe.9316 5 лет назад +77

    2030 siku Kama hii ntakua hapa Mungu akijalia 😇😇

    • @mamuurama5828
      @mamuurama5828 3 года назад

      Amiin

    • @zaruomary6509
      @zaruomary6509 3 года назад

      Inshallah

    • @enginierthalion-kid4998
      @enginierthalion-kid4998 Год назад +2

      Io siku ikifika unshtue please. Ukiona sreply basi ujue karash... Nawe pia nikiona hunshtui pia ntajua karash😁😁😁

    • @maniofficialtz9936
      @maniofficialtz9936 Год назад +3

      leo tupo 2024 bado miak mingap broh 🙏🙏🙏

    • @aminaathuman4919
      @aminaathuman4919 11 месяцев назад

      @@enginierthalion-kid4998 🤣🤣🤣🤣🤣ujuwe khalas

  • @MichaelJefwaChai
    @MichaelJefwaChai 6 месяцев назад +14

    Kama Bado una enjoy hii Ngoma July 2024 gonga like

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 6 лет назад +65

    ukitaka kujua ili dude alikuachi salama weka kwny bufa uone shoo Lake dadeki 2019 nalitizma apa ney true BOY shidaa sana

  • @ebraniacosmosy2072
    @ebraniacosmosy2072 4 месяца назад +1

    Hongera sn kwa aliyenyonga hii ngoma pa1 na hawa raia watatu... bonge la ngoma 2024 bado nalilisikiliza

  • @Mandingomkenya
    @Mandingomkenya 6 лет назад +6

    Daaah ili dude stil liko vzuri bt amini usiamini since then nlifagilia Neyba
    Mwanzo neyba alienda wapi mm fan wake sanaa

  • @flinchclassic1726
    @flinchclassic1726 3 года назад +5

    Alafu mbona msingemchukua neiba kings music ..? Kuliza tu anajua sana jamaa 2021 inatesa tu

  • @georgekinabo68
    @georgekinabo68 6 лет назад +37

    Nadhan mashabk wa Arsenal hapo wamevmba vchwa sio pw.
    Weka like yako ya nguvu hapa kama bado unaichek ngoma

  • @skulfees5453
    @skulfees5453 2 года назад +9

    2023 bado ni wicked tune love from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @MTALIITV
    @MTALIITV 6 лет назад +160

    uyu Neiba anajua sanaa🔥🔥🔥mpaka Leo....nimemuelewa....yuko wapi huyu jamaaaa????anajua mpaka ywakera😂😂😂

    • @gracemyinga3683
      @gracemyinga3683 5 лет назад +1

      MTALII TV hata mimi nimemuelewa

    • @yustochitema8201
      @yustochitema8201 5 лет назад +4

      Neiba anajua sana ila bahati hana na kwenye maisha muombe Mungu vitu vyote lakini usisahau kumuomba bahati

    • @frankmiraco9844
      @frankmiraco9844 5 лет назад +3

      @@yustochitema8201 huna akili mungu humpa mtu kwa wakati wake usiongee ujinga mungu hamnyimi mtu bahati

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 5 лет назад +1

      MTALII FOREAL neyba mashine mm namkubali 100000℅.

    • @dianadayana4661
      @dianadayana4661 4 года назад

      Me at sijui huyu jamaa noma asee

  • @MubayaSelemani
    @MubayaSelemani 7 месяцев назад +2

    Mnanikumbusha mbali sana guys Neiba na nay wametisha kwenye hii song Mpaka Raha

  • @eugineokite1296
    @eugineokite1296 3 года назад +37

    Who else still listening throwback 🎵🎶songs,very motivational

  • @victorchampion1513
    @victorchampion1513 4 года назад +1

    2020, namwona NEYBA mzee wa PENZI KISU KIKALI,, pia namwona MR NAY, wa mungu yuko api, PIA nmwona Abdul Kiba ambaye alishindwa kufunga penalti mbili ktk mechi ya SAMA-KIBA, kama umenielewa, gonga like hapo chini .

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 года назад +19

    Huyu *NEYBA* ni kisanga na robo aiseee kamsikilizeni kwenye ngoma ya *Amirado ft ney wa mitego & neyba-nimechoka* mtasadiki ninachowaambia
    Wale wa 2020 Gonga like tukamchague magufuli tena 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FauzaFauza-d2h
    @FauzaFauza-d2h 7 месяцев назад +8

    Ambao tumekumbuka kusiliza goma hili jul 5 tujuane nimekumbuka mabali Sana daah like ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rizymolleljr7086
    @rizymolleljr7086 5 лет назад +90

    Ndani ya 2019-2020 ukiwatch hii ngoma like and comment twende Sawa

  • @gfshbxbbx7640
    @gfshbxbbx7640 4 года назад +1

    Nafunga mwaka na nyimbo zangu za kale kila nyimbo ya abukib inahistorya kwenye maisha yangu kutoka oman 2020:12:10

  • @longishoabediningori4618
    @longishoabediningori4618 6 лет назад +159

    my favourite song forever 2019/ 2020 if your like me men just like..like mistake ❤

  • @masalumasunga8969
    @masalumasunga8969 5 лет назад +11

    Huyu ndio abdukiba sasaaa....who else is with me 7/12/2019

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 5 лет назад +18

    Msinicheke zamani kipindi anaanza kuimba nilikua najua ni mapacha na Ally kiba nilikua nawagomea wenzangu😄😄

  • @frankbenard4662
    @frankbenard4662 5 лет назад +2

    Hii ngoma ilileta ma bishoo sana kipindi hicho Niko kidato cha pili mwanza sec daahh!!! Tulikuwa tunacheza hii ngoma basi mademu kujigonga big up sana neyba

  • @zennamdachi4387
    @zennamdachi4387 Год назад +5

    Ambao tuko hapo kufunga mwaka ns nyimbo za kale tujuwane 2023😊27,j3

  • @Pierejr
    @Pierejr 2 года назад +85

    Until now 2022 my favorite song since childhood 🔥🔥🔥osterbay kumbe manzese

    • @neybachmghalu
      @neybachmghalu 2 года назад +1

      bonge la hit badoo ,,,💯✔️

    • @princeprince2452
      @princeprince2452 2 года назад

      Chek ya shidonna prince..pia hio tamuu
      ruclips.net/video/15DU_4uF0c4/видео.html

    • @hamadimwachotea1730
      @hamadimwachotea1730 2 года назад +1

      mziki mzuri haujifichi kweli

    • @shida4433
      @shida4433 2 года назад +1

      Shida

    • @frankjoel5249
      @frankjoel5249 2 года назад +1

      N now im still listening 😂😅😂

  • @mjombayai6888
    @mjombayai6888 6 лет назад +17

    Ngoma kali sana jitahidi mwanangu utafika mbali sana Mungu ni mwema,

  • @denisdeus
    @denisdeus 2 года назад +1

    Neyber na abdu wamshikur nay japo iyo kwa buku iliikosesha tuzo hii Ngoma ,,,,,,2010 ilikua inachukua tuzo akapewa ommydiponz ,,kwa nyimbo ya nainai Ila abdu alitisha Sana mpka kesho

  • @djnduli931
    @djnduli931 9 лет назад +51

    Huyo sio demu ni demu wa kitaa huyo huyo sio demu ni demu wa masela

  • @TabuSese
    @TabuSese Год назад +2

    Ambao tuko 2024 na bado tunaisikiliza hii ngoma

    • @saidmsuche5446
      @saidmsuche5446 10 месяцев назад

      Kwani Neiba alipotelea wapi aisee watoe collabo nyengine na Abdu kiba na ney

  • @moricusmodest2881
    @moricusmodest2881 6 лет назад +13

    Kiukweli naupenda sana huu wimbo tangia nikiwa sekondari hadi mpaka sasa nikiwa chuo kikuu;! " I know huwezi laumu kumpenda yule; alisema mtoto mdogo na bado yuko shule;!

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Год назад +8

    Turolud uku 2024 tujuane kw like za kutosha aisee bc tu nakumbuka mbali xna enzi hizo tupo kwenye mkesha wa MWENGE balaa mkwaju bado wa moto aiseeeeeeee tia like z kutosha s mchezo muziki mnene cd ndogo

  • @denniskamau7602
    @denniskamau7602 Год назад +7

    This song is a trend on TikTok, I thought it was a new banger 😂😂 kumbe it's a tbt banger🎉

  • @suleimanmohammedali2502
    @suleimanmohammedali2502 Год назад +4

    Mazuuu ndio alicheza,,,big up niggaz 😎 still watching 2023

  • @elizampole4366
    @elizampole4366 6 лет назад +32

    kuna vitu nakumbk vingivingi sana ..nikisikiliza hii nyimbo .

  • @yustochitema8201
    @yustochitema8201 5 лет назад +1

    Moja ya nyimbo iliyofanya poa sana miaka takribani 7 iliyopita lakini bado iko vizuri sana,hongera sana Abdul kiba.

  • @OliviaWtiness
    @OliviaWtiness 9 месяцев назад +3

    Tunaoisikiliza ngoma hii 2024 na tunaiona kali like apa😂😂😂😂

  • @innocentdeshayo1330
    @innocentdeshayo1330 3 года назад +54

    It's 2021 and still listening beautiful voice ......who is with me here

  • @ShamsaDavid
    @ShamsaDavid 3 месяца назад +4

    Gonga like kama unamkubali kiba

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 2 года назад +3

    Wah the internet doesn't forget! What a tbt..Neiba, Abdukiba and Nay Wa Mitego🔥🔥🔥

  • @rashidisanju9628
    @rashidisanju9628 2 года назад +4

    Kama na wewe uliona baada ya kuposti insta ukaja gonga like hapa tupo pamojaaa

  • @dorinetarus
    @dorinetarus 11 месяцев назад +1

    the song is a true story marafiki s chote kingaacho n dhahabu usimpe moyo usije kaliaa

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 5 лет назад +112

    Kama na w unachek hii ngoma 2020 weka like yko

  • @rahabujohn2691
    @rahabujohn2691 4 года назад +1

    Huu Naupenda sana zaidi ya sana.huyu mwimbaji mwenyewe ananivutia sana big up Abdul Kiba

  • @hamzahussein4493
    @hamzahussein4493 6 лет назад +15

    who's watching today 2019? this song is classic. Huyu Neyba kapotelea wapi?

  • @alterboyafrica
    @alterboyafrica 2 года назад +1

    Ni mbinu IPi hii wasanii wa kitambo walitumia ngoma zao haziishi ladha jamani?Tamu Hadi kisogoni🙌🔥

    • @viviangaspar216
      @viviangaspar216 2 года назад

      Yan acha tu .....had raha

    • @bayohnews3599
      @bayohnews3599 Месяц назад

      zinakukumbusha za hizo ndo maana unaona kal . japo kwl n kali.

  • @sambuchingoro6988
    @sambuchingoro6988 5 лет назад +78

    2019 bado nacheki hii ngoma, kama na ww gonga like.

  • @quilalaselemanesaidesaide9729
    @quilalaselemanesaidesaide9729 2 года назад +4

    Son kali sana, vipi 2023 gonga likes kama tupo pamoja.

  • @mutheukaylee
    @mutheukaylee Год назад +6

    2023 bongo music forever ❤🇰🇪🇹🇿

  • @josephchalatv8318
    @josephchalatv8318 2 года назад

    Bingwa wa viduku bingwa wa vigodoro ata huku kwetu wapo sana ase nimekuwa najionea mwenyewe big up ney saiv ndo nimemwelewa ney na mwanzoni nilipo kuwa cjui nilimwelewa sana abdu kiba ila saiv najionea na nimeelewa sana ney alivo kuwa akiimba hapa all in all big upp wimbo huu mzur unamafunzo sana hasa kwa sisi vijana wa kisasa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏♥️

  • @patricjunior3134
    @patricjunior3134 6 лет назад +27

    Kama hii ngoma inakugusa Kama my gonga like tujuane 2019

  • @lisajackson5867
    @lisajackson5867 4 года назад

    nawakumbuka sana ndgu zangu now ni marehemu walikua wanaupenda huu wimbo uko api judy msungu and dada yako ester msungu dunia hii daah nimelia kwa machozi

  • @bonikitonganihatarisana2870
    @bonikitonganihatarisana2870 6 лет назад +4

    kiukweli wimbo huu unagusa maisha yangu wakati na mwanadada mmoja du!!!

  • @mohamoudkasim3356
    @mohamoudkasim3356 2 месяца назад +1

    Nilikuwa naomba mtafute nyinbo ya neyba inayoitwa ahadi ya kweli ukiipenda urudi unipe like yangu

  • @josephabel7654
    @josephabel7654 4 года назад +5

    Neyba namkubali sana nyimbo zake akuchi kunakucha na uje ngoma kali sana

  • @evansdaniel8076
    @evansdaniel8076 4 года назад +1

    Kam unaamini iingoma ndio ngoma bora ya muda wote ya abdu like apa

  • @rosemary_rosee
    @rosemary_rosee 23 дня назад +7

    Tuliopo hapa 2025😂

    • @MarcusBerry-n2q
      @MarcusBerry-n2q 17 дней назад

      😂😂

    • @Big_Hits_Music
      @Big_Hits_Music 8 дней назад

      Best song forever always for me seen as new hit ov all time ❤❤😅😅

  • @festoluoga4352
    @festoluoga4352 4 года назад +2

    Hatari sana nina history nahii ngomaa daah jamani hizii ndo zilikuwaga songs kalii🙏💥💥

  • @jamesgerald7192
    @jamesgerald7192 6 лет назад +38

    2019, tupo?? like APA.

  • @Moisesmoceya
    @Moisesmoceya 6 месяцев назад +1

    Bado ni Hit song 2024🔥🎉❤

  • @fundileani1007
    @fundileani1007 2 года назад +6

    I remember this song 🇰🇪🇰🇪
    Big respect to Abdul kiba

    • @ayshajeffa7343
      @ayshajeffa7343 Год назад

      Pamoja ndugu yangu

    • @NdamoGeorge
      @NdamoGeorge 7 месяцев назад

      Kviijggghiugggghyhhghhuuyyuiuggyuutriirifduwwfhkjg dtihftfiugggyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

  • @happinessmichael817
    @happinessmichael817 4 года назад

    hvii Abdul kiba utakuja kutoa nyimbo nzurii zaidii ya hii kwelii.....hata iifikie tu hii

  • @jaymespapah8393
    @jaymespapah8393 7 лет назад +29

    Ngoma imeenda skuli,,bado naipenda 254

  • @mumyally5901
    @mumyally5901 4 года назад +1

    Abdul kiba hapa alikua hajaingiwa na upepo wa kusulisuli alikua yuaja kwa kasi kimziki ,jiziki safi sana

  • @bossman8592
    @bossman8592 6 лет назад +10

    I love this song. Abdul Kina.. ur the Best.. love song always bro

  • @nyunyaboy9523
    @nyunyaboy9523 Год назад +2

    Now 2023 ..abduukiba neiba na ney hamtokuja kuimba nyimbo Kamahii🙌

  • @arafakassela5398
    @arafakassela5398 4 года назад +3

    Wangap bd tunaikubali nyimbo hii mwaka huu ikiwa Leo 16/2/2021

  • @bouffdaddy4383
    @bouffdaddy4383 11 месяцев назад +2

    2024 at midnight am still awake to listen to this on a Friday night ❤

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 лет назад +44

    Nipen like nyingi hili dude

  • @koffianodi9453
    @koffianodi9453 24 дня назад

    Ebwanae mziki mzuri haujifichi Ngoma tamu mpaka Kesho 2025💯

  • @Dannywonderz
    @Dannywonderz Год назад +5

    2024 still listening ❤❤😊

  • @blackwalkerscrew_zanzibar
    @blackwalkerscrew_zanzibar 4 года назад +1

    hiii nyimbo atowe tena kwa kumshirikisha mboso itakaa poa
    Abdu Kiba Feat Nay , Neiba na mboso hapo itakaa poa sana
    au munaonaje

  • @youngmoney5093
    @youngmoney5093 7 месяцев назад +4

    ambao tupo hapa 2024 tujuane july❤

  • @meddyiddiy782
    @meddyiddiy782 2 года назад

    Nakubali Sana mumeua vaibu namshukuru mungu neyba amerudi kwenye game ishallah mungu amufanyie wepesi namkubali Sana

  • @immamassasi7941
    @immamassasi7941 9 лет назад +19

    neiba anaweza huyo jamaaa

  • @frankndebile-mw9mu
    @frankndebile-mw9mu Год назад

    Ngoma za zamani zilikua na kijiujumbe frani ivi Kwa ndani ila ngoma za saiz Zimejaa na matusi tu ila hii ngoma myaka 100000 inaishi tu❤❤❤

  • @dr.gregorynganamba1916
    @dr.gregorynganamba1916 6 лет назад +31

    nani yuko na hii ngoma 2018????????

  • @abditari
    @abditari Год назад +1

    king studio inakufaa abdul achana na wcb

  • @youngmaster5244
    @youngmaster5244 5 лет назад +10

    31 December 2019 12 pm upo na ww u afunga nayo mwaka gonga like

  • @paul1985ization
    @paul1985ization Год назад +1

    Hii combination ni mwisho wa matatizo. Safi sana.