Nduku ,kaka na ,madada ni mwaka mpya 2023 mwezi wa pili tarehe 13 saa 9.35pm...Hii nyimbo naisikiliza na kwa kweli natamani nyimbo zenyee ujumbe kwa Jamie.#FOREVER AND EVER KALAJEREMIAH NTAKUTAMBUA
Vizuri sana kaka jeremaya! Wakati mwingine watu ni wengi wanaotendewa mambo mazuri sana tena wakiokolewa kutoka ktk maisha ya chini kabisa, lakini badae husahau kabisa walilowasaidia.
Nimetafuta hiki kibao kwa muda.. Lakini kwa sasa nashukuru sana maanake technolojia imeniwezesha... Asante #bongohiphop.. Dj AD Mafuvu... Nakufagilia sana huku +254 kenya... Holla!
Kama unaangalia hii song 2024 gonga like hapa, Bonge moja la songi linafundisha sana
💫✌️👊🎉
Daah umetoka nduki kama filibet nduki
Bado Ngoma mbichi
Oyeee
Kenya +254 🙌 🙌
Kama unaangalia hii song 2023 gonga like hapa 😍
Mungu ni mwema,kama upo hapa sasa hivi june 2023 gonga 👍 ❤
2023 Still sounding fresh in my vains
Hili goma ni hatar,Ugopaa still hit 2024,2025,2026 nakuendelea,kama ishakukut hii kitu like
Nduku ,kaka na ,madada ni mwaka mpya 2023 mwezi wa pili tarehe 13 saa 9.35pm...Hii nyimbo naisikiliza na kwa kweli natamani nyimbo zenyee ujumbe kwa Jamie.#FOREVER AND EVER KALAJEREMIAH NTAKUTAMBUA
umetisha
kama nawewe umeirudia hii ngoma 2019 gonga like twende sawa
Antony Mchina tupo hatupoi
Kali
Sana
@@andasonimichael3050 imetisha ngoma hiyo
Still 2021 bado narudia kuona
Kama umerudi 2021 gonga like
is 2023 and the song is still dope
😂✊
😂😂😂😂
Ngoma kali lakini siipati itunes nawezaje ipata hii wazee
"Acha mbwe-mbwe bin't hii dunia maisha hayaendi hivyo, utaumia"
2na kukumbuka baba
Nimerudi Tena 2023 😥
Kala rudiii alakati ziliishia WAP baba magu kashakufa Rudi uimbe kuo hit kabisa
Naitamaza hii ngoma now November 04-2019 kama Nawe upo like twende zetu 2020
2020
Kama umeiludia kuangalia kama mm mwaka 2022 gonga like za kutosha
Aaa mna kazi poa sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤
05 March 2023 still listening this masterpiece
Kama umerudia hii ngoma 2023 😊gonna like
2020/01/12= nani yupo hapa baada ya kutendwa ndo tunaikumbuka hii ngoma ndo faraja yetu
Baada ya kumpenda sana nimemweka vizuri leo kaenda nimeukumbuka mziki huu nikabidi niusikilize 19/06/2020
Kama bado unaangaliya hii? Nyimbo 2023 basi gonga like hapa twende mbele ❤❤
naipendaga kila mwaka iiih 😍😍😍😘😍😘😍😘😍😍😘😍😘
Wale mnaoshinda youtube msisahau kupitia na ngoma kali kama hizi kuwapa support wasanii wetu
Ney kiboko
Wasajo nzur
@@eliudramale5075 kweli
Jjk
Walitisha sana aisee
Jamani tulio rudia2023 mwezi 12 tujuane naomba like😢
kala jeremiah ni moto wa kuotea mbali!
2023 but still hit on 🔥🔥🔥
mob love hadi leo.Kenya tunaskiza
Heee banaa ayo makavu kweli
Who's still watching 2018
mehu
Sadick D_knuckle mimi
07160 60 666 natafuta mchumba
2019
Ngoma kali
Dah nime angalia tena 12.3.2023 ni ngoma kali sana
uyu mjamaa kala ni mkali East Africa yote
NaaaNaaaaaaNaaaNaaaaaaaaNaaaNaaaaaaNaaaNaaaaaaaaaàaa
Anakwama wap ss
Tatizo nyota
Huy jamaa ni balaaaa an
Hello my phone and I'm
Mnatisha sana kwauzoefu wangu Ney akishirikishwa nilazima matokeo yawe mazuri sana mkojuu mnatiiiiiisha kinona ujumbe mzuri umefika
Anajikojorea
Nimechekea sana hapa
kala mkari
mary mbwinga mnk
Kala
Oyooooooooooooooooooo Ney umeuaaaaaaaa daaaah hawa jamaaa hadi nasisimka
nura hamis uhakika
Rudiii humuu kaka 15/03/2023 nimewatch tenaa .kaziii inaishiiiiii hii
Kwanza nikuurize shemeji umeshawai penda na yure ebwana bonge ra ngoma
Wimbo mzuri una mafunzo kweli, natokea kenya naomba tu lyrics za huu wimbo Kala.
Wimbo mkali Sana
Nazipenda sana na kukubalii nyimbo za kala Jeremiah,,,big up ma nigga unaweza sana
Wimbo poa
Powa sana
Kama kanyimbo kana kugusa mpaka unajicheka kama mimi gonga like twende pamoja
Good work, good ideas, good dream's,good thinking, Tanzanian musician here we go, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎧🎧🎧
well done kala ilikuwa mzuka kwenye EATV friday night Live ulipo chana freestyle na Baba Kaila..... eddy from mombasa
Asante ney kwa mashushu duuuuu wimbo una message nzuri nimeupenda
ayaaaa! inaendelea lin....? umetisha, true boy katisha....chorus ndo usipime...bonge la video, kibongobongo tu...haina haja ya kwenda sauzi!
love song mmetisha tunaitaji ngoma nyingine mshilikine
2023 still fire
Nani anacheki hii 2023kuja like hapa
Kama hili goma lilutoka ukiwa bado unasoma kama mim naomba like
Nilikupeleka saluni na bichwa lako 🙈🙈
Huu wimbo nita ukisikiliza kila mwaka kila mwezi kila wiki sjawai kuuchoka
It's 31 August 2021
Listening all the way from ""DENMARK"" this song is still ""HOT..""
Nimekumbuka mbali saana well done @Kala, @Mo en @ney wa mitego
🔥🔥
2024 nabado hii Ngoma uko live👍
Siku zote nikiangalia nyimbo hii huwa namuwazia mtu aliyeolewa na ndugu yake na Mr nay maana shemeji ana chamba kuliko mume
U rock kala jeremiah...great fan of uas
Paulina Mkama
Vizuri sana kaka jeremaya! Wakati mwingine watu ni wengi wanaotendewa mambo mazuri sana tena wakiokolewa kutoka ktk maisha ya chini kabisa, lakini badae husahau kabisa walilowasaidia.
Ngoma kama hizi huwa zinanifanya niendelee kuzurula kila siku kuangalia RUclips🤗
Nikakupeleka salon ukaset nywele na bichwa lakoo salute kala
Kali Sana Kaka , ww ni noma unaweza sana
Anaye jua jina la hiki kipande
Kosa gan nimefanya..... Anaimba huyo jamaa mwengine
Mo music
Wanaoangalia mpaka Leo 2023 tujuane kwa like
Bado nzur tu na zinatamba💝💝💝
2024 mwezi wa6 trh24 naangalia ❤❤❤❤
Kosa gani ndo naawazaaa every time Avery night, kipi kilo fanya mpaka u goo sekelaa sekeaaa
Kala jeremaa kirelelen 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
Kali sana walahi. Nimeikubali 100% From Kenya ❤
Nakupenda sana Kala nakutongilye
Nimetafuta hiki kibao kwa muda.. Lakini kwa sasa nashukuru sana maanake technolojia imeniwezesha... Asante #bongohiphop.. Dj AD Mafuvu... Nakufagilia sana huku +254 kenya... Holla!
nice song aiseee. Ney mkuu.....
Hatar babu ngoma ni fire
be back kala!! we miss massagemusic from you
Kila nikiusikia huu wimbo nnapata kitu kipya... Kala unajuaga tuu🤛🏾🤛🏾
umetisha kala j &trueboooooy!
Courage papa mnawez kwl kwl
hahaha wimbo Huu Ni Balaaaa
Wangapi tunatizama hii ngoma 2021 like tafadhali jamani
Huyu ni ney wamitengo kweli gonga ❤ kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie kiekiekiekie
Mo Miaka 100000000 Nakukubarii Umen Ulia hik kipande
upo mbele sana kakaa wataelewa 2
wimbo huu umenigusa
Mandela Hamisi
Wakishindwa kuelewa basi
Very good song,, i real appreciate you,, big up
Uko vizuri kaka
Ney hi ngoma aliuaaaa
Kama umekuja hapa 2023 nipe like🎉
2024 nackiza hii kaz asee🔥🔥🔥
Always your songs are best broo
Huu ndo mziki wa bongo sasa na sio amapiano
Pablo yuko wapi siku hizi? huyu ni Director wangu wa miaka yote,
Kama umerdia ingoma 2023. Gonga like
2020 like zenu tujuane
Ulikuja umepauka huna hataa mia nampaa poleee aliyekuoa kauziwa mbuz kwenye juniaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeimic aisee❤❤❤
Da noma sana yeyote 2019? Like twende sawa
Sema ney alichana balaaa
Dah! Ney kaachiwa sekunde kadhaa tu katukana balaa, hahaaa
Ngoma tamu Sana joo
Nay forever master of hip hop
🤣🤣ila ney khaaaa ety anajifanya yupo busy
More congrats Mr for this song
Hii Nyimbo Ipo Vzuli Sana
Kama upo 2023 bc like
gonga like km na we umesikia alipopewa pole aliyeoa kuuziwa mbuz kwenye gunia maana awez kuacha tabia yke ya kujikojolea,
Tupo 2019
Hii ndio ngoma uni kumbusha mama yangu
2024 nipo hapaa 😢
big up🙌🏻bro kala jeremiah🤝💯💯
Ngoma Kali xaaan
Aliemloga mo music mungu anakuona @momusic