Furaha isiyo kifani ilifanyika bonge la party, watoto uswahilini walibeba wali kwenye mashati.kama wakubali kuwa haya mashairi yalienda shule gonga likes zote za prof.
Siku chache zimebaki tumalize 2023 tuanze 2024 happy new year in advance wote mnaompenda professor jay tunamuombeya maisha marefu na Mungu amuvushe mwaka professor na kumponya kabisa 🎉🎉🎉
@@silaskamau364 skiza bwana kamau Hua wakati Kila mtu alikua Ni mkali usiulize wachuja nafaka wagosi wa Kaya,Daz baba,Johny walker,ngwea nk sio kama sasa Ni wasafi tu lakini mtu kuanza sema eti ahead of us time niku Andika maneno maana waona watu waandika tu sasa hio head of tym akiambiwa aseme hata hajui
Get well soon Kaka Joseph Haule. You are one of the greatest legends of East African Music. You have inspired many of today's popular artists in East Africa
Ilinipa Hela za kula maandaz na ice cream enzi izo ili goma limetoka,siku 5 tu Nlkuwa nmeshalikalili watu wanasema niwachanie then wananpa pesa,daaaah I was very young but nlikuwa na uwezo Wa kukalili nyimbo Kwa muda mchache Sana. Big up Kwa prof J.
Hii Ngoma ya my love... wueweeee...it's my reply always...I loved it bcs of him...love u jay.. this will always be my song always bcs of u.... NAKUPENDA JAY WANGU❤❤❤
This song really touches my bones whenever my ears land on it. It has a strongly concentrated message, nice beats and rhythm. The legend Prof Jay with the magician, Juma Nature💥Kenyan here🖐
Verse 1 - Professor Jay] Naamka asubuhi niko chwiri tena mapema Nautoa mkeka sakafuni kisha naukunja vema Nawaza nitakula nini mentali kisha naguna Naanza kujikongoja kichwa chini mikono nyuma Naelekea kilingeni nilikopaki mkokoteni Nasaga na rumba kimshazali nyie acheni Nawapa Hi machizi wananipa peace tunafurahi Tunapiga stori nyingi wallahi bila maslah Mara napata zali napeleka kago uswahili Wananipa buku mbili danga chee nazisunda chini Wakati natoka huku kijasho chembamba kikinitoka Nikaona toto ya nguvu nikajikuta nimeropoka “Dada habari samahani naomba niulize swali” Akajibu “maskini koma tafadhali hii ngoma aghali” “Ehee unajua dada-” “We vipi hebu nipishe!” “Dada mbona mkali?” “Wee kinyago, kubali yaishe” Nikasema inshallah sawa hiyo yote kwa sababu ya fukara Nisije nikakubaka nitupwe selo nikawe kafara Nikaachana nae sehemu za nyuma akizitingisha Nilikula kwa macho hadhi yangu haikuridhisha Nageuza mkokoteni nakuelekea maskani Nikawapa stori machizi wakanicheka ikawa utani Siku moja nililemaa maskani sikuwa na tenda Na nilikuwa nikitafakari ni vipi siku itakwenda Kumbe kuna gari ilikuja na kupaki karibu yangu Sikuweza kuisikia labda sababu ya njaa yangu Nilishtushwa ghafla na mlio mkali wa honi Nilipatwa na mshtuko na hofu kubwa moyoni Kuangalia pembeni ilikuwa imepaki Toyota Surf Kulikuwa na sura ngeni ya malaika akaomba tafu Nilisita kunyanyuka kwa sababu nilikuwa mchafu Na alitoa elfu kumi na alikuwa akitaka dafu Nilipokea hela alichotaka nilimletea, akakipokea Tabasamu zito akanitolea nilimpa chenji “Ohh no keep change, una mawazo mengi itakufariji weekend” Alikunywa maji ya dafu alitupa na kunikonyeza Niliganda kama nyamafu nikahisi alinibeza Alinipa busu la huba shavuni akanichombeza “I love You” akawasha gari akateleza [Chorus - Juma Nature] Zali la mentali limetokea wakati mimi nnjaa Nikapendwa na demu mkali Na kuwaacha watu wote wakinishangaa, katika mitaa [Verse 2 - Professor Jay] Zilipita siku mbili nikiwaza kilichotokea Nikawaza yule ni mtu au jini amenitokea Potelea mbali uchawi hauendi kwa mentali Narudi nanyonya napuliza mentali nakuwa shwari Nabeba rumbesa nakatiza Samora Avenue Mara kwa ghafla mbele yangu inapaki Toyota Mark II Ohh napata ghadhabu mara nyingi sipendi dharau Naifuata gari kuanza kupaka mara nahema juu juu Aah ni yule mrembo! “Maskini pole sana mzigo mbona mzito kweli utafika nao salama” Natabasamu “Oh nimeshazoea mama Na namshukuru Mwenyezi Mungu kwani hii ni kama karama” Anakuwa mnyonge anang’ata kucha anantazama Anaaza kulia anatoa lesso anainama Namwambia, “bibie ni mara ya pili tunaonana Na sidhani kama ni mbaya iwapo tukifahamiana” “Naitwa Vicky na miaka 22 Ni mtoto wa kipekee kwenye familia ya kitajiri” “Oh naitwa Jay ukiniita fukara haukosei Na naishi kwa nguvu za macho siku zenyewe hazisogei” Alishuka toka garini na kusema “Jay nakupenda” Akaruka kwangu mdomoni na kuanza kupata denda Nilichomoka kwake na kuanza kurudi nyuma “Tafadhali mpenzi Jay jamani nionee huruma Acha kubeba mizigo panda ndani kwa ile mchuna Twende Mbezi Beach kwangu upepo unapovuma” “Sikiliza Vicky napenda tuwe marafiki Lakini hadhi yako hutakiwi kuwa na mtu wa dhiki Hata wazazi wako naaamini hawataafiki Tajiri na tajiri, maskini sithaminiki Tafuta kibopa mwenzio ili usishushe hadhi yako Mimi sistahili hata kuwa kijakazi wako” “Tafadhali Jay usitamke maneno hayo Naomba unielewe haya machache niyasemayo Hadi huu wakati mimi nimekupenda kwa dhati Ukikubali niwe wako nitajiita mwenye bahati” “Nimeelewa Vicky naomba niwahishe mzigo Tajiri ni mkorofi anansubiri Migomigo Na kila nikichelewa mwenzako napata kipigo Nasaga na rumba jua na mvua kwa mpigo” Tuliongea mengi akanipa hela za matumizi Sikuwahi hata kuziona nilikuwa kama chizi Niliacha kubeba mizigo penzi letu likaota mizizi Watu wa uswahili wakasema natumia kizizi [Chorus - Juma Nature] Zali la mentali limetokea wakati mimi n’njaa Nikapendwa na demu mkali Na kuwaacha watu wote wakinishangaa, katika mitaa [Verse 2 - Professor Jay] Baada ya miezi mitano Vick alipata ujauzito Tulifurahi sana mambo yakawa mpwito mpwito Suala la kwenda kwa wazazi wake halikuwa zito Walifurahi sana kuniona tukafanya tambiko Walisema Jay maisha ya Vicky yapo chini yako Tumefurahi mmpendana kumlea ni jukumu lako Ilipangwa mikakati kamambe ya kufunga ndoa Watu hawakuamini ka mimi Vicky nitamuoa Ilifika siku ya siku mentali Jay ndani ya jumba Na Vicky ndani ya shela hakuna uchawi wala ndumba Tulishikana mikono ni nderemo na vifijo Tukafunga pingu za maisha kanisani bila ya fujo Furaha isiyo kifani lilifanyika bonge la party Watoto wa uswahili walibeba wali kwenye mashati (duh!) Zawadi zilizagaa, zilikuwa nyingi tena kemkem Baba mkwe alitupa Benz, kiwanda, nyumba na BM Acha zawadi nyingi kutoka kila sehemu Nilikumbuka nikacheka nilivyoteswa na wale mademu Mambo swadakta nipo na Vicky ndio my wife Kidume nang’aa wanajigonga shenzi type (shenzi type) Nilipokuwa arosto mlinikwepa kama ukoma Mambo juu ya mstari kunisalimu mnaona noma Sahivi napeta, nabadili gari full kipupwe Mlio nicheka wanataka ardhi ipasuke Naelekea kilingeni kuwapa dili machizi wangu Tena mara kwa mara siwezi kuwacha asili yangu Vicky ni Jay, Jay ni Vicky mustarehe Kutoka ndani ya dhiki sa kila siku sherehe [Chorus - Juma Nature] Zali la mentali limetokea wakati mimi nnjaa Nikapendwa na demu mkali Na kuwaacha watu wote wakinishangaa, katika mitaa
Kama unsisikiliza hii Ngoma 2024 gonga like ❤❤❤
❤
Mmm🎉
Ferooz ndo amefanya nmekuja kutafuta professor jay
Hatar
Kenya 254 tupo
Prof Jay unleashed his lyrical prowess on this one...2024 and am still here jamming 🔥 🔥
🎉🎉🙌
Mm hap
Flow Iko chonjo
The way Swahili is difficult to rap in..... makes it look easy
Nani bado anaangaria hii Ngoma 2024 kaka mm gonga like 🎉🎉
Bosi some time tunakumbuka ngoma kali za kitambo
Mimi red 😂
Aipiti day kaka
Hii ndio the real BONGO flavour with wazee wa bongo...yaani haitawai isha ladha vizazi na vizazi...naomba like 1000 za mheshimiwa professor J
Inamafundisho mhim sana
Of cauz
Kam kawa
Kali sana
Za,nn
Tokea Kenya,wewe ni Jembe Kubwa.Sijawahi pata comment wala like!!!!!!
kweli sana alex mumo
It's 20th February 2024, still fav song 💯 thanks Prof for this memorial hit song 🎉🙌
IM THERE WITH YOU 21/02/24
few days to 2023 and this jam still rocking,a generation of Tanzania musician were just a Gem. the flow in poetry showed real talent
Si aty nini
True
Rich Gang
Dv
@@joasyeliya P
Nani bado anaangalia hii ngoma 2023 kama mimi gonga like 👍 twende sawa
😈🔥⬅️🏃
Sisi hapa
April
April 2023
Tuko wengi
leo ni pasaka 2024 ngoma la kuishi nalo ❤😂🎉🎉🎉🎉🎉
Furaha isiyo kifani ilifanyika bonge la party, watoto uswahilini walibeba wali kwenye mashati.kama wakubali kuwa haya mashairi yalienda shule gonga likes zote za prof.
mwaka 2021 like hapa twende sawa . anaemjua vicky jaman anifahamishee.
Anaitwa nargis Mohammed
Tuko area, hii ngomaaa kali saaaana
Kuja nikupe namba yake
Kasha zeeka 🤣🤣🤣🤣🤣
Pamoja
Wale wa 2006 highschool leavers nipeni like zenu,hii Ngoma iliheat,Hadi sahii 2024
Quick recovery pofessa Jay❤
Siku chache zimebaki tumalize 2023 tuanze 2024 happy new year in advance wote mnaompenda professor jay tunamuombeya maisha marefu na Mungu amuvushe mwaka professor na kumponya kabisa 🎉🎉🎉
Wanawake wa hivi hawapo tena..vicky ndio alikuwa wa mwishi... here in 2024😢❤
Daaah kwa kwel hawapo 😂😂
Nipo mm hapa hamunioni 😂😂
Sasa hunioni mimi ndio j.... nichek nipat zali la mentali bas@mosewinnie8870
Sasa hunioni mimi ndio j.... nichek nipat zali la mentali bs @mosewinnie8870
Drum hizo😢😢@@mosewinnie8870
Kweli baba ni kajala etiiiiii...kongowe dada maua kwake❣️
Siku hizi mentali akipata zali anaitwa benten 😂😂😂 salute kwa Mheshimiwa Professor Jay bado tuangalia mziki mzuri 3.09.2018
😂😂😂
Ha ha ha ha ...
Eti benten....hahahahahahaha
😀😀😀😀😀 mbovu sina ally chilinga umenichechesha sana
😂😂😂😂😒😊
Kile chama cha wasoma comments Tanzania {UWAKOTA} embu tupieni like hapa niwatambue.
2024 tujuaneee kwa like 2 tu ❤😂😂😂
Ngomabomba sana. 3:34 you
Mi pascal malando
Prof Jay was ahead of time, the guy is a great poet, our generation will never see a great hip hop artist better than jay.
Oh please!! ... ahead of time?! everybody was hot in that tym
He has proved with time that he was a rare talent!
@@almeidhalu3238 some truth here. Bongo music was at its best then
@@silaskamau364 skiza bwana kamau Hua wakati Kila mtu alikua Ni mkali usiulize wachuja nafaka wagosi wa Kaya,Daz baba,Johny walker,ngwea nk sio kama sasa Ni wasafi tu lakini mtu kuanza sema eti ahead of us time niku Andika maneno maana waona watu waandika tu sasa hio head of tym akiambiwa aseme hata hajui
@@almeidhalu3238 I will say it again here for the record, Prof Jay was ahead of time and there is nothing you can do about it, its my opinion.
From Nairobi, Kenya.
This is a legendary and timeless track.
Professor Jay naye Juma Nature ni ma gwiji wa muziki wa kizazi kipya.
Big Jay!! As Jay jnr you always be ma legend when it comes to bongo music. ...2024 and still on ma top chat. Much respect from kenya 🇰🇪
This song reminds me when i met my wife in Uganda, we've now been married 12 years.
Zebede Zandale be
daaa broo umetishaaaa
Hongera Sana ssebo
wow Beautyful
Don Oldwell 2020, hope you are still together,
It's 2023. I still can't get over this jam. The bars. The flow. Eish! Memories 🔥
This track is a timeless gem. I pray that Prof gets well in health. 🇰🇪
Jamani hii ngoma ni kali na hakika haoto chuja 2024
Yaani nimeangalia hii ngoma tena baada ya kujua sauti ya kike inayosikika hapo ni kajala wee hatarii kajala shika maua yako🎉🎉🎉🎉🎉like jamn twende sawa
Masterpiece 2024 respect Prof na Sir Nature
Who's listening this beautiful song in 2020? 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
am here dude
Dude kaz hili
Me
NAIROBIWEST NIGGA IN THA HOUSE!
Patrick Paticool p
Wangapi ambao wanasikia kibao ichi 2019????
Alikula kwa, machooooo tu
Mm hapa leo hii trh 7.4.2019
فجر الروشدي pamoja sana.
Nipo hapa
Mm hapa
Mi ni Kijana mwimbaji new comer kwenye mziki wa congo Drc Nazipenda sana ngoma za bongo. Mniwekee like zangu hapa djamani😊😊
I remember watching this song at Channel 5 ... Oh my ... 2020 still feeling this. Music made to last 🇰🇪💯
Channel ngofo hahaha i miss those old days
Channel 5 was my favourite
It's now known as EATV
JUMA NATURE killed the hook man!And what a lyrical storyteller Proff JAY is!
Juma killed it,,,🙏🙏
Ooh yeah Story teller Jay is and will always be precise story teller
Storytelling at its best🙌🔥🔥🔥
Nani bado anaangalia hii ngoja 2024!! Kama mimi gonga like hapa
i am a camerounian and i like this song . used to hear it 10 years back when was a teenager and already loved . big up to you guys
🤛
Paul piya
U don't even understand Swahili 😂 why would u waste your time to listen to this song
@@gnarlyscouser470😂😂😂😂🤭
@@gnarlyscouser470comment ya kishamba kweli, wabongo sisi ni wapumbaf sana
Makes me flash back the days of EATV channel 5, Nairobi. Classic and nostalgic memories. 🇺🇸🇰🇪
surely this brings back such sweet memories
Nani kamuona diamond akicheka hpo
EATV was🔥🔥
Professor Jay is a lyrical giant, you make East Africa proud.
Juma Nature killed the hook 🔥 .Hit like for him too man!
Potelea mbali uchawi hauendi kwa mentali wangap bdo tunaskiza mziki huu mzuri 2018
mimi hhahhaha
Bado uko poa sana
Kazi nzuri
2019 faza bado unabamba 🔥
2019
I just love this song 2024 here in Kenya and still loving it many years after it's release,if you like it just like it
Kama unacheki ngoma hii 2021 weka like yako hap
pa1
Hyo ngoma noma sana
Nakubali
Mimi nacheki saa hivi na ni 2022!!jay alikua fayaaa
Niko hapa 2022
hii ni moja ya song yenye creativity kubwa sana
Jamani irudiliwe waweke prof ft kajala😂😂😂😂😂 mbwa sisi imetoboka siri kajala eshima kwako kwakutunza siri
2023❤....... This song will forever be there for our coming Generations..... Much respect.....
Hii ngoma haitachuja miaka 1000 wangapi watakubaliana na mimi ngonga like twende sawa .
Knoma noma
Aaaaahaaaaa naamka asubuhi na mapema naelekea mjengo😢😢😢God bless the work of our hand 🙏🙏🙏🙏
Get well soon Kaka Joseph Haule. You are one of the greatest legends of East African Music. You have inspired many of today's popular artists in East Africa
2022💖
Ilinipa Hela za kula maandaz na ice cream enzi izo ili goma limetoka,siku 5 tu Nlkuwa nmeshalikalili watu wanasema niwachanie then wananpa pesa,daaaah I was very young but nlikuwa na uwezo Wa kukalili nyimbo Kwa muda mchache Sana. Big up Kwa prof J.
Watu wa uswahilini wakasema natumia kizizi ....bar on bar 👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Watching from the Congo 🇨🇩
Much respect for the Prof Jay and the whole Bongo music. Love you my people
Who is listening to this in 2021🇰🇪🇰🇪
Am here
Here
Ngoma kali haizeeki
Together
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii Ngoma ya my love... wueweeee...it's my reply always...I loved it bcs of him...love u jay.. this will always be my song always bcs of u.... NAKUPENDA JAY WANGU❤❤❤
2040 if u came here know that this song is still a banger. We enjoyed it when it was released and forever it will remain a big tune
hatari mzee mida hii nasikliza hii ngoma nakubali xana gonga like kama tupo pamoja
Hiii song,,,I say iko nice bado iko na nguvu sanaaa......naipenda hainiboeshiiii.
Nani anaamini kuwa hii ngoma ni noma adi sasa 2024 agonge like zangu apo❤😅😅😊
Oh my👏....Professor Jay is a true swahili rapper💪{"watching from Africa in Kenya🇰🇪}HONGERA sana Tanzania🤝🙏
Am a Congolese 🇨🇩. I like this song. Respect to Profesor. Authentic song 🎵 Authentic flow
Heshima kwa Prof J p funk majani na watanzania bomba la hit.
East Africa iconic those days .we miss lyrics like this .big up professor and nature
This hit was made to last y lie. Hats off to the Legends Profesor jay and Sir Nature.
2021 still representing
Am here for authentic stuff only
What a composition i say
Together
🔥🔥🔥🔥 on
This is one in a million hit from one in a zillion poet singer, song writer & a public servant. ❤❤❤
Vikie ni jay,Jay ni viki mustaree.kitoka ndani ya dhiki saa kila siku ni sheree 🙆🏻prof.wee ni mnoma❤🔥🔥🔥🇰🇪
Naomba like km una watch this video in 2020
Tena Ndugu yangu Professor Jay katoka mbali sana ya Mola hayafahamiki na binadamu.
Tupo pamoja oldies the best👍
🇺🇸🇰🇪 moto sana
nakpa like na kamessage
I still watching this song , i remember when thay was out ,i was like 13 years old ,now it's 17 years ago . Damn
Mimi hapa 2024 hi 🔥🔥🔥🔥
2024 bado na enjoy hili dude
Unforgetable hit
We really rocked this jam!! How quick time flies. Bless you Prof.
Kama unaiangalia iiiii ngoma 2020 gonga like
Febr 2024 nimerudi apa kucheki hii ngoma aysee hawa jamaa mwanzo waliweza sana. . Saiv matusi tu. Nani mwingine bado anaichungulia hii ngoma.
This song really touches my bones whenever my ears land on it. It has a strongly concentrated message, nice beats and rhythm. The legend Prof Jay with the magician, Juma Nature💥Kenyan here🖐
Ebaanaaaa dahhhhhh imenikumbusha Mbali Kinoma respect mheshimiwa bado unaeleweka kitaaani
Utabaki juu mzee mbunge unaongoza watu na wanyama
Yani ndio leo nafahamu kuwa hiyo sauti ya demu kwenye hii Ngoma ni ya Kajala masanja, Duuh hongera zake Mama Paula
HILI ZALI TULIACHE TYU AISEE
SHIKAMOO MH.JOSEPH HAULE
2019 NAIANGALIA HII NGOMA
Joseph haule lead vocals, juma kassim a.k.a nature lead chorus and p funk was on the mixing board! They killed totally
100000%
Yu forget kajala
@@eidbakari7980 kajala masanja
Big up tena 2024
No artist in East Africa can do sick hooks like Juma Nature.. Love from +254 #2020
Feerooz
@@benjaminmangheni7506 yes always ferooz
Kidume nang'aa wanajigonga shenzi type (shenzi type) gonga like kama bado waicheck 2019
sijui kwann kajala akua msanii sauti yake iko 🔥 😍
tunao angalia hi ngoma 2024 tujuwane kwa like plzzzz
2024
Hello 2021!!!!! It's our tradition to comeback to this every once in a while big up Pf.🤜🏾🤛🏾
Nature alipigaaa bonge la Chorus. This is anthem. Peace.
“Ooh no keep change , unamawo mengi itakufariji weekend”
😂😂😂 sio Enzi za makufuri
hahaha
😂😂😂😂
Henric Pelegric Haaaaahaaaa
Prof Jay is such a story teller in his songs
ngoma haichuji asee,naangalia kama ngoma mpya vle, October 2024💪🏿💪🏿💪🏿💯
Verse 1 - Professor Jay]
Naamka asubuhi niko chwiri tena mapema
Nautoa mkeka sakafuni kisha naukunja vema
Nawaza nitakula nini mentali kisha naguna
Naanza kujikongoja kichwa chini mikono nyuma
Naelekea kilingeni nilikopaki mkokoteni
Nasaga na rumba kimshazali nyie acheni
Nawapa Hi machizi wananipa peace tunafurahi
Tunapiga stori nyingi wallahi bila maslah
Mara napata zali napeleka kago uswahili
Wananipa buku mbili danga chee nazisunda chini
Wakati natoka huku kijasho chembamba kikinitoka
Nikaona toto ya nguvu nikajikuta nimeropoka
“Dada habari samahani naomba niulize swali”
Akajibu “maskini koma tafadhali hii ngoma aghali”
“Ehee unajua dada-”
“We vipi hebu nipishe!”
“Dada mbona mkali?”
“Wee kinyago, kubali yaishe”
Nikasema inshallah sawa hiyo yote kwa sababu ya fukara
Nisije nikakubaka nitupwe selo nikawe kafara
Nikaachana nae sehemu za nyuma akizitingisha
Nilikula kwa macho hadhi yangu haikuridhisha
Nageuza mkokoteni nakuelekea maskani
Nikawapa stori machizi wakanicheka ikawa utani
Siku moja nililemaa maskani sikuwa na tenda
Na nilikuwa nikitafakari ni vipi siku itakwenda
Kumbe kuna gari ilikuja na kupaki karibu yangu
Sikuweza kuisikia labda sababu ya njaa yangu
Nilishtushwa ghafla na mlio mkali wa honi
Nilipatwa na mshtuko na hofu kubwa moyoni
Kuangalia pembeni ilikuwa imepaki Toyota Surf
Kulikuwa na sura ngeni ya malaika akaomba tafu
Nilisita kunyanyuka kwa sababu nilikuwa mchafu
Na alitoa elfu kumi na alikuwa akitaka dafu
Nilipokea hela alichotaka nilimletea, akakipokea
Tabasamu zito akanitolea nilimpa chenji
“Ohh no keep change, una mawazo mengi itakufariji weekend”
Alikunywa maji ya dafu alitupa na kunikonyeza
Niliganda kama nyamafu nikahisi alinibeza
Alinipa busu la huba shavuni akanichombeza
“I love You” akawasha gari akateleza
[Chorus - Juma Nature]
Zali la mentali limetokea wakati mimi nnjaa
Nikapendwa na demu mkali
Na kuwaacha watu wote wakinishangaa, katika mitaa
[Verse 2 - Professor Jay]
Zilipita siku mbili nikiwaza kilichotokea
Nikawaza yule ni mtu au jini amenitokea
Potelea mbali uchawi hauendi kwa mentali
Narudi nanyonya napuliza mentali nakuwa shwari
Nabeba rumbesa nakatiza Samora Avenue
Mara kwa ghafla mbele yangu inapaki Toyota Mark II
Ohh napata ghadhabu mara nyingi sipendi dharau
Naifuata gari kuanza kupaka mara nahema juu juu
Aah ni yule mrembo!
“Maskini pole sana mzigo mbona mzito kweli utafika nao salama”
Natabasamu “Oh nimeshazoea mama
Na namshukuru Mwenyezi Mungu kwani hii ni kama karama”
Anakuwa mnyonge anang’ata kucha anantazama
Anaaza kulia anatoa lesso anainama
Namwambia, “bibie ni mara ya pili tunaonana
Na sidhani kama ni mbaya iwapo tukifahamiana”
“Naitwa Vicky na miaka 22
Ni mtoto wa kipekee kwenye familia ya kitajiri”
“Oh naitwa Jay ukiniita fukara haukosei
Na naishi kwa nguvu za macho siku zenyewe hazisogei”
Alishuka toka garini na kusema “Jay nakupenda”
Akaruka kwangu mdomoni na kuanza kupata denda
Nilichomoka kwake na kuanza kurudi nyuma
“Tafadhali mpenzi Jay jamani nionee huruma
Acha kubeba mizigo panda ndani kwa ile mchuna
Twende Mbezi Beach kwangu upepo unapovuma”
“Sikiliza Vicky napenda tuwe marafiki
Lakini hadhi yako hutakiwi kuwa na mtu wa dhiki
Hata wazazi wako naaamini hawataafiki
Tajiri na tajiri, maskini sithaminiki
Tafuta kibopa mwenzio ili usishushe hadhi yako
Mimi sistahili hata kuwa kijakazi wako”
“Tafadhali Jay usitamke maneno hayo
Naomba unielewe haya machache niyasemayo
Hadi huu wakati mimi nimekupenda kwa dhati
Ukikubali niwe wako nitajiita mwenye bahati”
“Nimeelewa Vicky naomba niwahishe mzigo
Tajiri ni mkorofi anansubiri Migomigo
Na kila nikichelewa mwenzako napata kipigo
Nasaga na rumba jua na mvua kwa mpigo”
Tuliongea mengi akanipa hela za matumizi
Sikuwahi hata kuziona nilikuwa kama chizi
Niliacha kubeba mizigo penzi letu likaota mizizi
Watu wa uswahili wakasema natumia kizizi
[Chorus - Juma Nature]
Zali la mentali limetokea wakati mimi n’njaa
Nikapendwa na demu mkali
Na kuwaacha watu wote wakinishangaa, katika mitaa
[Verse 2 - Professor Jay]
Baada ya miezi mitano Vick alipata ujauzito
Tulifurahi sana mambo yakawa mpwito mpwito
Suala la kwenda kwa wazazi wake halikuwa zito
Walifurahi sana kuniona tukafanya tambiko
Walisema Jay maisha ya Vicky yapo chini yako
Tumefurahi mmpendana kumlea ni jukumu lako
Ilipangwa mikakati kamambe ya kufunga ndoa
Watu hawakuamini ka mimi Vicky nitamuoa
Ilifika siku ya siku mentali Jay ndani ya jumba
Na Vicky ndani ya shela hakuna uchawi wala ndumba
Tulishikana mikono ni nderemo na vifijo
Tukafunga pingu za maisha kanisani bila ya fujo
Furaha isiyo kifani lilifanyika bonge la party
Watoto wa uswahili walibeba wali kwenye mashati (duh!)
Zawadi zilizagaa, zilikuwa nyingi tena kemkem
Baba mkwe alitupa Benz, kiwanda, nyumba na BM
Acha zawadi nyingi kutoka kila sehemu
Nilikumbuka nikacheka nilivyoteswa na wale mademu
Mambo swadakta nipo na Vicky ndio my wife
Kidume nang’aa wanajigonga shenzi type (shenzi type)
Nilipokuwa arosto mlinikwepa kama ukoma
Mambo juu ya mstari kunisalimu mnaona noma
Sahivi napeta, nabadili gari full kipupwe
Mlio nicheka wanataka ardhi ipasuke
Naelekea kilingeni kuwapa dili machizi wangu
Tena mara kwa mara siwezi kuwacha asili yangu
Vicky ni Jay, Jay ni Vicky mustarehe
Kutoka ndani ya dhiki sa kila siku sherehe
[Chorus - Juma Nature]
Zali la mentali limetokea wakati mimi nnjaa
Nikapendwa na demu mkali
Na kuwaacha watu wote wakinishangaa, katika mitaa
Tupo wengi
Mamae, this was one of my favorite song in 2003, had to listen it all long day, J you actually killed it! Still listening it in Dec 2020
Crown 👑 fm hapa ni nyumbani
I fell in love with this song ever since i was like 7 yrs old now am 25 and still it remains in my heart
Ngoma Bado ya moto wale wa 2024 TU like apa
Professor Jay the Legend. Bongo Music haikuwa na mchanganyiko sio kama wa siku hizi kujisifu na hamna lolote. Huu Wimbo hauwezi Ishaa miaka 20 sasa
Nashukuru Mungu kuwa Producer wa hii Video nilivyokuwa Benchmark Productions.
MUSA SAKAR bgup
Old is Gold. .lilikua Bonge la wimbo. .when music was alive
Wale wanao angalia 2024 mwez 10 jay kapona na karud mungu ni mkubwa
Bonge la ngoma toka kwa profesa; the lyrical story teller mwenyewe!
Nani anaangalia hii 2024
Nipo naiangalia.... daa hili zali lilikua tamu
From the comments Kenyans 🇰🇪🇰🇪appreciating this talent than tanzanians.. Big up in 2023
2017 I don't understand Swahili lakini lazima niskize profesa jay everyday...nipe like tujuane social network
Who else still listening 🎧 to this beautiful song more love to pro jay 🇹🇿🇿🇲🇳🇦🇿🇦🇿🇼🌎💜💖
Kwamba sauti ya kike alihusika kajala, safi sana aliua kinyama
Kama umeiangalia 2024 gonga like❤