Dully Sykes - Hunifahamu (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • #DullySykes #Hunifahamu #SlideDigital
    Dully Sykes Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    Follow Dully Sykes on:
    / princedullysykes
    / dully_sykes
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz

Комментарии • 169

  • @felistianlaurian391
    @felistianlaurian391 Месяц назад +28

    still hit song 2025 gonga like hapo.. kwa biti ya double B

  • @nicholousalex5108
    @nicholousalex5108 11 месяцев назад +57

    Still hit 2024-------- wangap tupo had ssa

  • @DaudiChanika
    @DaudiChanika 17 дней назад +2

    dulli we ni mtu wa mana kabisa 2025

  • @SwaleheMosha-d8p
    @SwaleheMosha-d8p 6 месяцев назад +29

    Watoto wa2024 wakae palee watusibiri kidogo huku mambo ni moto gonga like twende pmoja...imma dulla marangu kilema

  • @molovemusic9257
    @molovemusic9257 Месяц назад +3

    Niliwah zingiziwaa mimba na mdada ambaye hata sikuwahi kuishi nae ilikuwa kesy kubwa Sana but hii nyimbo ilinifariji sanaaa thank you Dully like hapa kama u asikiliza December 30 2024

  • @douglasmichael7494
    @douglasmichael7494 10 месяцев назад +12

    Dully hii ngoma ulituliza sana akili kaka
    Now its 2024🎉

    • @japalablack1588
      @japalablack1588 10 месяцев назад

      When dully was dully.
      Bongo five program

  • @blackcoffee6756
    @blackcoffee6756 Год назад +88

    2024 still in love with this masterpiece

  • @tajithecreator411
    @tajithecreator411 11 месяцев назад +17

    2024 !
    This song brought a memory!

  • @LashidyAthuman-lv3kz
    @LashidyAthuman-lv3kz Год назад +14

    Hunifaham iweje leo unipakazie 2023

  • @desirekubwimana9049
    @desirekubwimana9049 Год назад +21

    2024 kutokea Burundi hunifahamu

  • @jonasebuela8975
    @jonasebuela8975 3 месяца назад +5

    Nakumbuka mbali sana nikiwa mkimbizi lugufu kigoma ila kwa sasa na hishi Indianapolis Indiana USA

  • @saadkhantechstudio4782
    @saadkhantechstudio4782 10 месяцев назад +15

    hii ngoma dully sykes anaitoa katoka kupigwa tukio singida na dem mmoja shombe shombe alimsingizia dully kambakaa😢 na dully alighair shoo yake alloooohhh n kitambooo mnoooooo

    • @eliyatolage
      @eliyatolage 9 месяцев назад

      Kweli nimekumbuka halo la skendo

    •  8 месяцев назад +4

      Kwa hivyo ili tokana na true story 😮😮na vile tuli dance huku Kenya

    • @elmiaxmed6870
      @elmiaxmed6870 6 месяцев назад

      For really?!!

    • @nusurasalumnusura1106
      @nusurasalumnusura1106 3 месяца назад

      Hii comment nilikuwa naitafuta dah kitambo sana yule dada alikuwa ni miss singida sema alikuwa kisu

    • @nusurasalumnusura1106
      @nusurasalumnusura1106 3 месяца назад

      Ndio

  • @cleomwampe2203
    @cleomwampe2203 4 месяца назад +5

    Wakati anashoot nilikuwa Bagamoyo mwambao i was 12yrs na bado naona kama jana❤

  • @ProsperMgaya-q7b
    @ProsperMgaya-q7b Год назад +12

    2024 still in love with this song

  • @franklinekorir3839
    @franklinekorir3839 Год назад +9

    Huyu kaka ako na talanta isiyo ya kulazimisha.

  • @Ashora-s2x
    @Ashora-s2x 11 месяцев назад +9

    Zilipendwa nimeipenda pia

  • @edwardkamau475
    @edwardkamau475 3 месяца назад +13

    I used To Be A Kenyan DJ Way Back In 2006 Using The Pioneer CDJ 2000 Decks -- Using The Serato DJ Mixing Software Spinning Bongo Mixez, Hip Hop, RNB, Soul, Ol' Skul & S.A (South Africa) Music Tracks. This Hunifahamu Track Was My Best Mixing Track On The Bongo Mixing Tracks & It Can Actually Flow With Hip Hop & RNB Tracks, Inclusive Of Raggae Coz DJ's Worldwide Know How To Mix These Tracks. 2-EYEZ Productions, Congrats To You For Producing These Beatz. I Actually Visited Dar A Couple Of Times & Dully Sykes -- I Came To Your Concert In Dar Though Siezi Kumbuka The Joint, Though You Rocked The Crowd With This Hunifahamu Track. Mungu Akubariki Tele Dully Sykes -- You're A Talented Bongo Artiste.

    • @pauldiaz8335
      @pauldiaz8335 3 месяца назад

      Mind making a mix of old school bongo a proper one

  • @salehkimamba8453
    @salehkimamba8453 Месяц назад +1

    Nafurahi umenipa HI japo hunifahamu hii ni kama zali kuiona dhahabu usoni mwako macho yng yakosa amani nakunirudishia kumbukumbu kumuona salome ila naamin wewe ni zaidi ya beby cand leo nakuomba uishinde nafs yako maana leo ledsy freee 2024

  • @oldskoolempire6314
    @oldskoolempire6314 10 месяцев назад +5

    This song came into my mind today, 4th April 2024 #hunifahamu #classic ❤

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 Год назад +7

    Zamani ilikua nyimbo zina ujumbe mzuri saivi hakuna lolote

    • @khairbinjumaa5545
      @khairbinjumaa5545 Месяц назад

      Ujumbe wakati mwenzako alikuwa ajibu skendo ya kubaka

  • @simonthomas7969
    @simonthomas7969 8 месяцев назад +12

    Nyimbo za kale ni dhahabu aisee

  • @gideonlui1768
    @gideonlui1768 10 месяцев назад +5

    Old skul Bongo will always slap different

  • @mwakisukuli2124
    @mwakisukuli2124 20 дней назад

    Moja ya nyimbo amabazo ulionyesha uwezo wako wa kuimba na ulithibisha kuwa wewe ni mwanamziki siyo msanii , always is my favorite song it's this

  • @ayubuShukia
    @ayubuShukia 3 месяца назад +3

    Singida pamba disco tulioshuhudia hili timbwili mwaka show ilihailishwa mikono juu. Nakumbuka dully alienda kulala Stanley motel asubuhi paliwaka kelele itabid apitie mlango wa nyuma kisha akapanda tax (mark 2 ya Jerome masinia .. story ni ndefu

    • @nusurasalumnusura1106
      @nusurasalumnusura1106 3 месяца назад

      Dah ezi za pamba disco umenikumbusha mbali uwiiii

    • @ayubuShukia
      @ayubuShukia 3 месяца назад +1

      @nusurasalumnusura1106 now day singida imekuwa kubwa sana

    • @nusurasalumnusura1106
      @nusurasalumnusura1106 3 месяца назад

      @ayubuShukia ndio kweli nimepakumbuka nyumban nifanye nirud jaman kitambo

    • @ayubuShukia
      @ayubuShukia 3 месяца назад

      @nusurasalumnusura1106 now day uko wap nusura

    • @nusurasalumnusura1106
      @nusurasalumnusura1106 3 месяца назад

      @ayubuShukia niko dar ila home ni kibaon

  • @lordnicky
    @lordnicky 4 месяца назад +3

    Basi huu wimbo miaka hiyo ulitoka nilikuwa mafinga/iringa
    sasa kuna jiran zangu ndo waliniambia nicky dully mwaka 2006 nahisi katoa nyimbo mpya basi wakanichukua hadi kwao hapo mmoja alikuwa dany mahenge na steven mahenga
    ...tukaenda kwenye chumba cha kaka yao anaitwa dorat mahenge jamaa alikuwa ana tv so alikuwa na tabia ya kurecord nyimbo zinazopigwa east africa then anatupa mikanda tuangalie maana tv enzi hizo issue sana hasa nyimbo zikiwa zinapigwa zinarecordiwa kuangaliwa baadae
    basi wakaniwekea hii nyimbo nikaipenda hadi leo naipenda
    Ila bahati mbaya mwaka 2020 kipindi cha corona huyu steven mahenge alifariki alikuwa class mate wangu pia...
    Na dany yupo znz nahisi wimbo huu umenikumbusha mbali mno

  • @josephmwita2754
    @josephmwita2754 6 дней назад

    Mpenzi nakupenda

  • @serengetimediacentre
    @serengetimediacentre 8 месяцев назад +24

    2024 nani yupo

  • @gerryolomi7904
    @gerryolomi7904 Год назад +8

    05/11/2023
    kwann hunifahamu alafu unaniharibia kwa mamiloo nani kakutuma😢😢😢

  • @newking6497
    @newking6497 5 месяцев назад +2

    Heee huu wimbo hauchuji masikioni❤️🔥🇹🇿 2024

  • @kannzansetheviper1618
    @kannzansetheviper1618 17 дней назад

    Top madze Dully..frm 254

  • @MwanaJunior
    @MwanaJunior 7 месяцев назад +4

    Duh jaman tushazeeka😢😢

  • @dronemiguel2230
    @dronemiguel2230 4 месяца назад +1

    Nadhan ungekuwa unatumia beat ambazo sio ngumu sanaa ungemfikia kila m2 kwa urahisi na ndomaan kwenye collabo unauwa sanaa

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 4 месяца назад +1

    Napita KWA
    Like 2024 huu wimbo wapata miaka 20 sasa na hauja chuja

  • @edwinlaurent1313
    @edwinlaurent1313 15 дней назад

    Bonge la ngoma la kila muda🔥🔥

  • @salimiddi7583
    @salimiddi7583 2 месяца назад +1

    Watoto wa 2000 kaeni kando mwanzo

  • @nelsonmchau3625
    @nelsonmchau3625 Год назад +5

    2023 still hit song ✨🔥

  • @mohamednoti1401
    @mohamednoti1401 11 дней назад

    🙌🙌🙌

  • @emanuelnkotya2112
    @emanuelnkotya2112 10 месяцев назад +7

    Nipeni like zangu hapa

  • @wiltermoraa1324
    @wiltermoraa1324 11 месяцев назад +3

    When music was magical❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @newking6497
    @newking6497 5 месяцев назад +1

    Wimbo mzuri sana from Dully Sykes❤🔥 2024 and still counting

  • @jescamushi3142
    @jescamushi3142 25 дней назад

    Wa kwanza tena 2025🎉

  • @kawingasimkoko1391
    @kawingasimkoko1391 2 месяца назад +4

    Tulio kuja kwajili ya mahojiano ya pale crown tv tujuane

  • @LeonardNdimbo-c3x
    @LeonardNdimbo-c3x 4 месяца назад +1

    Jaman kitambo tumeshazeeka

  • @Mtamaduni14
    @Mtamaduni14 Месяц назад

    Dully was a different breed

  • @ramamasunga8269
    @ramamasunga8269 25 дней назад

    Baba wa bongo fleva

  • @SaydAli-iy5pi
    @SaydAli-iy5pi Год назад +2

    Kipindiiko ata boda boda ghali sana watu maprofesar na wabunge kuendesha bayskali ndio inshue hata wazee wetu walikua majeshi walikua mabaskeli yao ya rali na fonex ndio inshue mjini ddaaah

    • @NgwalaSeba
      @NgwalaSeba 7 месяцев назад

      Hakukuwa na boda boda miaka hiyo.

  • @FatumaBakari-f2g
    @FatumaBakari-f2g 5 месяцев назад +2

    Watoto wa 2000 hawawezi kuelewa

  • @vicgadmoguche7507
    @vicgadmoguche7507 7 месяцев назад +2

    2024... kali kama faya

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 6 месяцев назад +3

    2024
    Sikufahamu

  • @biddii1972
    @biddii1972 4 месяца назад +1

    Enzi za huyu mwamba ni 💥💥💥💥💥

  • @AzizaIssa-o9o
    @AzizaIssa-o9o 3 месяца назад +1

    ❤🎉hii song haichuji haki woye

  • @samuelmaina-gk5rs
    @samuelmaina-gk5rs 4 месяца назад +1

    dully dully nakuaminia

  • @khamisfakih_than
    @khamisfakih_than Год назад +4

    Daaaaaah❤❤❤❤❤❤❤❤ 2023

  • @iam_kadodo
    @iam_kadodo Год назад +3

    watching it in 2023🫡🫡🔥🔥🔥

  • @daimraymantz3800
    @daimraymantz3800 3 месяца назад +5

    2025 soon like hapa kama nawe ume play hii nyimbo

  • @surajiabdulrazak3270
    @surajiabdulrazak3270 4 месяца назад +5

    09/10/2024 Saa Moja Uciku nipo hapa ,naomba like zangu

  • @LowasaSanare
    @LowasaSanare 3 месяца назад

    Hatariii sanaa hv hawa wasanii wameenda wapi jmn yaan diluuuuuuuu

  • @Asnath-v2f
    @Asnath-v2f 7 месяцев назад +2

    2024 naangaliaaa

  • @Apollowmoves
    @Apollowmoves Год назад +2

    Noma sana 2024/02/10

  • @kinyerezi2402
    @kinyerezi2402 2 года назад +4

    naweza ruka na remix yake ? #mgeyo , naomba ruhsa yako brother dully.

  • @daudi_nungwana
    @daudi_nungwana 5 месяцев назад +2

    Randomly remembered this song in 2024, AGOSTIIIIII....:)

  • @lemmyodanga2519
    @lemmyodanga2519 5 месяцев назад

    Huu wimbo hauchoshi kuusikiliza kila mara unanikumbusha miongo miwili iliyopita.

  • @maduhueddy5076
    @maduhueddy5076 8 месяцев назад +1

    Best of Zuku song in Tz ever

  • @mohamedsarehe374
    @mohamedsarehe374 4 месяца назад

    This is what we called music

  • @aishaamiri4525
    @aishaamiri4525 2 месяца назад

    Diamond Platnumz wetu huyu alikua

  • @KolamuWabene
    @KolamuWabene 6 месяцев назад +4

    Tanzania hapo mlikuwa bado mnapiga mziki,siyo hizi za siku hizi ambazo mnatuhimbia

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 5 месяцев назад

      Ni kweli tumepotea njia mambo mengi lkn ujue Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho 😅
      The law of decay works also in the music industry

  • @bellingtonekimanzi7504
    @bellingtonekimanzi7504 Год назад +4

    Remain here,, still on 16/10/2023

  • @harrisondzombo
    @harrisondzombo 2 месяца назад

    My song nikiwa class 2

  • @lucaswaweru
    @lucaswaweru 11 месяцев назад

    Dully Nice song hunifahamu zilizopedwa

  • @reubenochieng4638
    @reubenochieng4638 8 месяцев назад +1

    The song is still relevant 2024

  • @HajiMohamed-y7e
    @HajiMohamed-y7e 2 месяца назад

    Wanaojua huu wimbo umetok mwak huu kama mm tujuane

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 Год назад +1

    DullySykes 🎵🎵🎵🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Outwest47
    @Outwest47 Год назад +1

    Unifahanu skufahamu

  • @officialmanji4438
    @officialmanji4438 8 месяцев назад +1

    Boom 💥

  • @FRANKRWABUSHUBI
    @FRANKRWABUSHUBI Год назад

    Hii ngoma inakumbusha mbali sanaa

  • @ElijahMotanya-yz7hp
    @ElijahMotanya-yz7hp 5 месяцев назад

    Best song ...ladha haishi

  • @abdallahudulo8828
    @abdallahudulo8828 11 месяцев назад +1

    Nice song

  • @JosejoseJose-bg8rj
    @JosejoseJose-bg8rj 11 месяцев назад

    Pamogya 2024

  • @JohnMwambusi
    @JohnMwambusi Год назад

    Bongo la ngoma za dul

  • @BakariMraba-c5j
    @BakariMraba-c5j Год назад

    Big up dully

  • @josephzenda3827
    @josephzenda3827 7 месяцев назад

    weweeeeeee❤❤❤❤ aiiiiiiiiih

  • @SigwaMkinga
    @SigwaMkinga 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤ dully

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 8 месяцев назад +6

    I am watching this in 2050 still a hit, who is alive 😂😂😂
    Comment in advance !!

  • @salimomari150
    @salimomari150 Год назад

    Big up bro my favorite song 🎉

  • @gabrieledward
    @gabrieledward 5 месяцев назад

    Unifahamu wewe

  • @swaibaadamu1570
    @swaibaadamu1570 8 месяцев назад

    ❤ Ya kale dhahabu

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 5 месяцев назад

    2024 tunatamba nao

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 2 месяца назад

    Sasa unalialia nn mtoto wa kiume kwenye media😂😂😂

  • @danielmwakatika3592
    @danielmwakatika3592 17 часов назад +1

    February 7, 2025

  • @georgenshashi1308
    @georgenshashi1308 7 месяцев назад +1

    2024 let's go

  • @ezradastan4167
    @ezradastan4167 4 месяца назад

    This guy deserves the best of all the time. Should be crowned the best musician of the centuries. @basata @dully

  • @sotetours
    @sotetours 4 месяца назад

    2024 but still my hears get a vitamin music

  • @michaelfovo2948
    @michaelfovo2948 7 месяцев назад

    Ilo beat sasa

  • @Jimmsuva-be5dc
    @Jimmsuva-be5dc 10 месяцев назад

    Big up

  • @AgueroBoaz-ei5qt
    @AgueroBoaz-ei5qt 9 месяцев назад

    Mbna kalikua peku

  • @GeorgeMajaliwa-lj5hf
    @GeorgeMajaliwa-lj5hf 4 месяца назад

    Still we watch 2024

  • @HauajiJonas
    @HauajiJonas Месяц назад

    30/ 12/ 2024 . 11:21 minutos é Moçambique 🇲🇿🇹🇿

  • @ShadreckDreck
    @ShadreckDreck 7 месяцев назад

    🔥🔥🔥🔥👍👍👍

  • @JumaHatibu-g5i
    @JumaHatibu-g5i 7 месяцев назад +3

    2024 stay here😢

  • @newking6497
    @newking6497 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤