Professor Jay ft. Babu Ayoub Kikao cha Dharura Prof Jay: Nawashukuru sana wananchi kwa kweza kunipa kura Nashangaa nimeitwa ghafla kwenye kikao cha dharula Kikao kinaashiria kina maswali juu yangu Hii inatokana na ndiyo mzee na ahadi zangu.. Naona watu ni wengi wananchi walio na maana Najaribu kutafakari ni nini kinawachanganya!! Nipo tayari kujibu maswali yenu zamu kwa zamu Watakao uliza maswali na ningependa niwafahamu Swali: ..Naitwa sajent Byemero kwa niaba ya jeshi la polisi Nilikuwa nauliza zile helikopta zetu vipi? Jibu: Prof Jay: Nafikiria kwanza kuanzisha chuo cha marubani Vinginevyo mtapata ajali nyingi sana angani. Baskeli hamjui kuendesha helikopta mtaendeshaje Kila mtu aendeshe yake huko angani itakuwaje? Swali: Mheshimiwa sisi wakulima ulituahidi matrekta Na siku zinayoyoma tu mbona haujayaleta ? Jibu: Prof Jay: Wakulima mngeendelea tu kutumia jembe la mkono Serikali haina hela bajeti imefika kikomo Naona kilimo cha mkono kiniendelea vizuri Jamani kazeni mikono endeleeni kukaza misuli KIITIKIO Wananchi tupo pamoja hapo. (siyo mzeeeeeee) Watanzania tunaerewana kule, (siyo mzeeeeeee) Washika dau na wapiga kura pale (siyo mzeeeeeee) Eeehh: siyo mzee....eti, (siyo mzeeeeeee) Wakulima tupo pamoja pale, (siyo mzeeeeeee) Wanafunzi tunaelewana kule, (siyo mzeeeeeee) Mabahamedi na mapolisi pale (siyo mzeeeeeee) VERSE 2 Prof Jay: Mabaaamedi ondoeni hofu kilio chenu nimekisikia Ma benzi yenu yapo bandarini tayari yameshawadia Nimemchagua kiranja ili anipe idadi yenu Niwape funguo zenu muondoke na magari yenu. Swali: Ulituahidi utatujengea barabara tano tano juu na chini Hizo zote hatutaki tunataka moja tu ardhini Kila siku tunapita barabara zinakuwa mbaya Umeyafumbia macho mheshimiwa huoni haya? Jibu: Prof Jay: Barabara ya makwekwe nimesha imwaga kifusi Baada ya wiki mbili itakuwa safi kama urusi Makandarasi wanafanya kazi kutoka china na madagascar Kuhusu vibarabara naomba muondoe shaka. Swali: Eeh vipi mzee mabomba kutoa maji na maziwa nchi nzima ? Jibu: Prof Jay: Jamani naomba muulize maswali ya utu uzima Mabomba kutoa maji na maziwa haiwezekani Mlinukuu vibaya nasisitiza haiwezekani Swali: Mzee hali ni mbaya si tungegawana vya kwako? Kwenye kampeni zako si ilikuwa moja ya ahadi zako ? Jibu: Prof Jay: Eeehh? kugawana vya kwangu hilo swala litakuwa gumu Familia itanitazama ebo? nina majukumu Imeandikwa kila mtu atabeba msalaba wake Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake Mbona mnaniuliza maswali mengi kunikomoa Jamani watanzania tunajenga tunabomoa RUDIA KIITIKIO x2 VERSE :3 Prof Jay: Wafanyakazi wa serikalini sasa nyinyi magari ya nini? Daladala chungu mzima mnaweza kuwahi kazini Nasema mnapenda sana starehe kuliko kazi Na hiyo ndio sababu mnaharibu hiki kizazi. Wanafunzi niliwahidi mtafanyia practical mwezini Kabla ya kupeleka mi nilifanya utafiti Nimengundua huko mwezini kweli kuna baridi sana Na pia kunavitisho kuwepo kambi za osama Mkinichngua tena mtakwenda huko mapema Nanita tekeleza kila neno ninalo sema Sema nimesongwa na haka kamuda Mkiniongezea muda kila kitu babu kubwa Wengine kimya na maswali yamepungua Yeyote mwenye swali ningependa kumtambua. Naona mnanong'ona na wengi mmekunja sura Hii inaonyesha mmeridhika kunipa kura Nadhani ndugu zangu tuko pamoja...... (aagh wapi) Jamani tupunguzeni jazba basi kidogo...... (hatutaki) Sasa watanzania mbona mnaazisha vurugu Nadhani mmesahau watanzania wote ni ndugu Babu Ayoub: Eeeh? jamani nasema hivi kikao kimeahirishwa Jamani maafande..... Afande miraj.... Afande mzafalu, afande nani Gondwe njooni mtusaidie huku.
Ruto government amplified by two songs... first Ndio mzee and Kikao cha dharura later all by Prof Jay..... Kweli usanii kioo cha jamii.... This song was released in 2004/2005 and its 2023 and it reflects perfect with kenyan economy and government at the moment..... 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
The relevance of this song on Kenyan political context. Mnakumbuka stadiums, free wifi, etc nothing came of it. Prof J will remain one of the best rapper ever.
Tablets for school going kids, guaranteed paid internships for university graduates, universal health care, big 4 agenda oh noo...😭😭. Ebo! What a scam!
Jina lako PROFESSOR linakufaa na hadhi yako vile vile, na nina uhakika itachukuwa karne(centuries) nyingi sana, pengine hatapatikana mwenye kukung'atua kwa kiti chako cha Ufalme, kwa maana wewe ndiwe!!! Mungu akuzidishie maisha marefu na afya nzuri tu.
Sometimes it feels like Prof Jay understood the Kenyan political state inside out. But it seems, politicians are the same everywhere. Kazi safi sana hii.
Continuation of song" 𝘯𝘥𝘪𝘺𝘰 𝘮𝘻𝘦𝘦" 2022 and still listening to this legend💯......kenyans vote wisley professor Wajacoyah afadhali can change our country August 9th vote wisely
Nimefika hapa mwaka huu 2024 2025...
Kenyans who are listening to this 2024 😢piga like
Kimsingi nimesongwa na haka ka muda, nadhani mkichagua tena nitatekeleza kile ninachosema, 😁😁😁😁😁 gonga like kama unamkubali huyu legendary
Ngoma kama izi haziishi utamu maana zinaujumbe Alisi wa viongozi.....anayesikiliza 2024 tujuane Kwa like
Tuko pamoja
2023 ,huu wimbo na wakati wa Sasa katika serikali ya kenya😢
Kama Hiii ngoma umeisikiliza 2020 tia like 😄
✌️
hapo sawa
Professor Jay ft. Babu Ayoub
Kikao cha Dharura
Prof Jay:
Nawashukuru sana wananchi kwa kweza kunipa kura
Nashangaa nimeitwa ghafla kwenye kikao cha dharula
Kikao kinaashiria kina maswali juu yangu
Hii inatokana na ndiyo mzee na ahadi zangu..
Naona watu ni wengi wananchi walio na maana
Najaribu kutafakari ni nini kinawachanganya!!
Nipo tayari kujibu maswali yenu zamu kwa zamu
Watakao uliza maswali na ningependa niwafahamu
Swali:
..Naitwa sajent Byemero kwa niaba ya jeshi la polisi
Nilikuwa nauliza zile helikopta zetu vipi?
Jibu:
Prof Jay:
Nafikiria kwanza kuanzisha chuo cha marubani
Vinginevyo mtapata ajali nyingi sana angani.
Baskeli hamjui kuendesha helikopta mtaendeshaje
Kila mtu aendeshe yake huko angani itakuwaje?
Swali:
Mheshimiwa sisi wakulima ulituahidi matrekta
Na siku zinayoyoma tu mbona haujayaleta ?
Jibu:
Prof Jay:
Wakulima mngeendelea tu kutumia jembe la mkono
Serikali haina hela bajeti imefika kikomo
Naona kilimo cha mkono kiniendelea vizuri
Jamani kazeni mikono endeleeni kukaza misuli
KIITIKIO
Wananchi tupo pamoja hapo. (siyo mzeeeeeee)
Watanzania tunaerewana kule, (siyo mzeeeeeee)
Washika dau na wapiga kura pale (siyo mzeeeeeee)
Eeehh: siyo mzee....eti, (siyo mzeeeeeee)
Wakulima tupo pamoja pale, (siyo mzeeeeeee)
Wanafunzi tunaelewana kule, (siyo mzeeeeeee)
Mabahamedi na mapolisi pale (siyo mzeeeeeee)
VERSE 2
Prof Jay:
Mabaaamedi ondoeni hofu kilio chenu nimekisikia
Ma benzi yenu yapo bandarini tayari yameshawadia
Nimemchagua kiranja ili anipe idadi yenu
Niwape funguo zenu muondoke na magari yenu.
Swali:
Ulituahidi utatujengea barabara tano tano juu na chini
Hizo zote hatutaki tunataka moja tu ardhini
Kila siku tunapita barabara zinakuwa mbaya
Umeyafumbia macho mheshimiwa huoni haya?
Jibu:
Prof Jay:
Barabara ya makwekwe nimesha imwaga kifusi
Baada ya wiki mbili itakuwa safi kama urusi
Makandarasi wanafanya kazi kutoka china na madagascar
Kuhusu vibarabara naomba muondoe shaka.
Swali:
Eeh vipi mzee mabomba kutoa maji na maziwa nchi nzima ?
Jibu:
Prof Jay:
Jamani naomba muulize maswali ya utu uzima
Mabomba kutoa maji na maziwa haiwezekani
Mlinukuu vibaya nasisitiza haiwezekani
Swali:
Mzee hali ni mbaya si tungegawana vya kwako?
Kwenye kampeni zako si ilikuwa moja ya ahadi zako ?
Jibu:
Prof Jay:
Eeehh? kugawana vya kwangu hilo swala litakuwa gumu
Familia itanitazama ebo? nina majukumu
Imeandikwa kila mtu atabeba msalaba wake
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
Mbona mnaniuliza maswali mengi kunikomoa
Jamani watanzania tunajenga tunabomoa
RUDIA KIITIKIO x2
VERSE :3
Prof Jay:
Wafanyakazi wa serikalini sasa nyinyi magari ya nini?
Daladala chungu mzima mnaweza kuwahi kazini
Nasema mnapenda sana starehe kuliko kazi
Na hiyo ndio sababu mnaharibu hiki kizazi.
Wanafunzi niliwahidi mtafanyia practical mwezini
Kabla ya kupeleka mi nilifanya utafiti
Nimengundua huko mwezini kweli kuna baridi sana
Na pia kunavitisho kuwepo kambi za osama
Mkinichngua tena mtakwenda huko mapema
Nanita tekeleza kila neno ninalo sema
Sema nimesongwa na haka kamuda
Mkiniongezea muda kila kitu babu kubwa
Wengine kimya na maswali yamepungua
Yeyote mwenye swali ningependa kumtambua.
Naona mnanong'ona na wengi mmekunja sura
Hii inaonyesha mmeridhika kunipa kura
Nadhani ndugu zangu tuko pamoja...... (aagh wapi)
Jamani tupunguzeni jazba basi kidogo...... (hatutaki)
Sasa watanzania mbona mnaazisha vurugu
Nadhani mmesahau watanzania wote ni ndugu
Babu Ayoub:
Eeeh? jamani nasema hivi kikao kimeahirishwa
Jamani maafande..... Afande miraj.... Afande mzafalu,
afande nani Gondwe njooni mtusaidie huku.
Kazi nzuri uliyoifanya
2002 nijaza daftari za nyimbo za wasanii 😎😂😂
Xaf
Sio mchezo.
Jerusha from Kenya. Professor J your songs have fantastic message l really like them. High five🖐
Ana akisi maisha halisi na siasa za Bara Afrika 😢
2024 and still lazima nisikilize ndio mzee na kikao cha dharura 😅😂
Ruto government amplified by two songs... first Ndio mzee and Kikao cha dharura later all by Prof Jay..... Kweli usanii kioo cha jamii.... This song was released in 2004/2005 and its 2023 and it reflects perfect with kenyan economy and government at the moment..... 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Very true...namvulia prof Jay kofia kwa utunzi wake
True
Maze we reject
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
Kama unampenda professor j gonga like
This was a true prophecy. That you were elected .. . and later.. maybe watu wakakwambia 'sio mzee'
2022 minus 2 still feeling the hit. Legend
Dedication to William Ruto and his hustler supporters
Indeed
I wish I would have a way to make our current leaders to listen mchew Kenya is getting messy
Tujuane ambao bado tunaukubari huu wimbo mpaka sasa! #2022 #GYPSY
Professor Jay ft. Babu Ayoub
Kikao cha Dharura...Life time song.
Tunaukubali , tafadhali usiharibu Kiswahili
Mungu akufanyie wepesi katika majukumu yako Ndugu Mheshimiwa Joseph Leonard Haule
When music was composed by the taleted musician as opposed today’s rubbish. Reminds me of my high school days
true,old is gold
Kwa wanaoiskiliza hiingoma kipindi hiki cha uchaguzi kandamiza ma like teleee
This guy is so accurate in voicing for the common citizens I wish tz would give him more chances on the legislative arena.
Hii imenifanya nikumbuke maisha ya zamani duuu!! Bongo frava umeitoa mbali sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻.
Kama huielewi hii ngoma, basi pumzika kidogo, kichwa yako itakuwa haiko sawa! Rudi tena baadae.
2021 and still like yesterday.
tuachane na diamond huyu mwamba wa bongo records big legendary
Hip-hop na reggae ndo mziki wa kijamii
2024 here
Hivi Babu Ayubu alipotelea wapi?
Alifariki. 😢
Duh😢@@xmaramoja362
hii wimbo inachekesha sana... ahsante professor Jay! wamekuzoea
Kama wakurima tumesikia tuendelee murina kwamkono twende pamoja❤❤❤
Maisha in jinsi uishivyo ulijiaminisha Leo umefanikiwa good,
The relevance of this song on Kenyan political context. Mnakumbuka stadiums, free wifi, etc nothing came of it. Prof J will remain one of the best rapper ever.
Tablets for school going kids, guaranteed paid internships for university graduates, universal health care, big 4 agenda oh noo...😭😭. Ebo! What a scam!
This song is a living reference to Kenya's political class
Prof's song highlights the current situation in Kenya. The hustler government resonates with what Prof says in this song.
Tanzanian icon...Respect sir🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Safi sana ,,mzeee Wa ndio mzeee umekuja kivingine gonga like hapa kama umemuelewa huyu jamaa na bonge la creativity,,
Living legend !! he prophesied of being an elected member of parliament now it has come to pass..... 2019 bado wimbo unahit
Ukiskia prophecy ndio hii ulijua utakua kiongozi na mungu amekujalia big up sana mkubwa
This guy is one of the best brains in music I have looked for this song since 2008. Prof J the legend in living
2023..still listeing from kenya much lov pr jay
I was raised by these legends, music was pure talented content. 2023 still a reflection of future
The song is relatable to the current govt in our country
Ma producers wazamani wslikua na talent kweli
Msanii wangu wa muda wote...mzee wa mitulinga
Prof Jay among the top prolific legend 🙌
Dah nilikuwa naskiliza hii nyimbo nikiwa mdogo sna😊😊😊
Mbona kama hizi nyimbo ulijitabilia hatima Yako kwenye Siasa Prof Jay 😢😢😢😢
Kweli
Mheshimiwa sisi wakulima ulituahidi matrekta,nasiku zinayoyoma tu mbona hujahawajaletaa..loved this vibe,much love from 254 ❤️❤️❤️❤️
Tanzania finest ..am from kenya
Jina lako PROFESSOR linakufaa na hadhi yako vile vile, na nina uhakika itachukuwa karne(centuries) nyingi sana, pengine hatapatikana mwenye kukung'atua kwa kiti chako cha Ufalme, kwa maana wewe ndiwe!!! Mungu akuzidishie maisha marefu na afya nzuri tu.
ameni
2023...Reminds me of the empty blanket promises made to Kenyans in 2022
Sometimes it feels like Prof Jay understood the Kenyan political state inside out. But it seems, politicians are the same everywhere. Kazi safi sana hii.
I m Mozambican FANS 🇲🇿🙏🙏🙏
igualmente 🇲🇿😃
You understand it?
Nafurahia sana nyimbo za huyu mwamba
Tunakutakia afya njema bro mungu ni mwema kila kitu kitakaa Sawa 🙏
Mwana hop anaepaswa heshima ni wew. Hukuan did q ,joh makin wala nn
Proff j zee...wametulinga...mti mkavu....your my legend...I will always love your music
This songs is masterpiece reflection of today's politicians..example being kenya
Baskeli hujui kuendesha helicopter utaendeshaje 😂😂😂 back in high scul 2002-3-4-5 daah
Hahahaha
Sote tukiwa na ndege itakuaje huko angani
Kila mtu awe na yake uko angani itakuwaje?
#arijitabilia ivi sasa kiongoz wa mikumi.... daa" life baana🙂
Mzee bomba la maziwa😂😂😂
Mola akupe miaka Prof ,nafurahia uponyanji wako..
I can never get enough of Jay and I don't even speak swahilli nut I understand the most but I wish can understand it all do beautiful
Magufuli alikuwa anampenda sana Sugu! Sema tu maslahi ya Chadema ndiyo yaliyomuweka kando Pro. Jay tokea zamani.!!
Cette chanson m'a trop fait du bien vraiment
Mpaka Sasa Nafata Iyi Song ! Kazeni Msuli Vijana. Bomba zakutowa Maji Na Maziwa. Que Dieu te bénisse Prof J Légende Vivante
Profesa wa mit❤❤❤ulinga❤❤❤❤
Wakenya mko wapi huyo aliona future yetu
PROFESSOR JAY FOR PRESIDENT 2025
Continuation of song" 𝘯𝘥𝘪𝘺𝘰 𝘮𝘻𝘦𝘦" 2022 and still listening to this legend💯......kenyans vote wisley professor Wajacoyah afadhali can change our country August 9th vote wisely
Classic classic classic song, nyimbo zinazoishi ... ⚘🌷🌹⚘🌷🌹🥀🌹🥀🌷⚘⚘🌷🌷🌺🌺🌺🌺🥀🥀🌹🌹...Chukua Maua yako Prof.Jay, Stay blessed.
hali mbaya tugawane vyakwako
Hiyo itakua ngumu
Hilo suala litakuwa gumu, familia inanitazama eboo nina majukumu😮
Aiseee hii ngoma ilishika vibaya❤❤❤
yaani huu wimbo ni applicable kwenyew ishu za 2018 kabisaaa 🙌🙌🙌🙌
Kichwa kingne ich jaman. Nan ako hapa 2020??
Ngoja nicoment leo You tube prof we ni kichwa ulichoimba leo kinaishi
Proff Jay had the so much talked about dream...EAfrica
Jamaaa legend wa E.A. hip hop
Kuhusu vibarabara naomba muondoe Shaka🥰
Oldskool Classic Hit 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️
I wish pro jay atupe nyimbo moja inayozungumzia hali halisi ya kisiasa tz
Sina shida na ww Proj j Mungu akupe ushindi japo mm ni ccm nakukubali
Hiyi ngoma kilasiku Inakuwaga Mpya Kwangu Jamanii
This song has reminded me Kenya Kwanza promises Ruto promised kenyans heaven on earth, its now very tough 😂😂😂
Good song. Nakukubali jay
Proffjize is back at it again... Lyrics zinashika sana
#KisumuPresident
Professor J mistari balaa wewe.Mpaka sasa bado hakuna aliyekukaribia,Kichwa vina kama mchanga wa bahari.
ulishatabiri, na sasa unaishi ndoto yako. Big up
Shikamoo professor afande mzafaruuuuuu
P funk saluuut Kaka jay mziki unaishi huu miaka buku
Eeeish proooof , zaidi ya noma yaani, mkali wa mistari, hipo, hop Kali sana afro pop, ya kikweli 2020
This guy is so articulate in voicing for the common citizens I 4:04 4:05 4:05 4:06 wish tz would give him more chances on the legislative arena.
My all time favorite Bongo artist.
In 2022 May and still feeling the same hit as 2004
Namkubali P jay still number one in Tanzania 🔥🔥🔥
This guy was ahead of time. Kenyan politics!
Ngoma kali sana kitambo icho cjui inamaanisha nn ila nw naelewa🙏🙏💪💪💪💪
Huerew maana ya huu wimbo poree
Jamaa uliona mbal asee
Nimekubali mkubwa dawa professor unatsha
I been looking for this song for long time finally you posted thanks a lot Mzee
Wakenya bado tupo hapa 2020🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri,japo kitambo lakini bado ina heat
wangapi bado tunaitazama iyi ngoma adi 2021 sasa tujuane
Mziki kama mziki na mwanamziki #pro
Yani leo nainjoi sana na ndio mzee leo 14/10/2019 uku nikimuenzi baba taifa
Joseph Leonard Haule,alijitabilia kupitia nyimbo zake
Shukrani Profesa wa Muziki
That's what all politicians say, promises they won't keep, politics a dirty game, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪