ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 апр 2023
  • NIPENI MAUA YANGU by ROMA MKATOLIKI featuring Abiud
    Audio produced by Bea
    Twitter: / roma_mkatoliki
    / roma_mkatoliki
    Copyright (C) 2023 ROMA.
    ---
    Powered by www.vydia.com
    ALL RIGHTS RESERVED.
    #NIPENIMAUAYANGU #ROMA #ABIUD
    Kaka Tuchati ► • Rostam - Kaka Tuchati ...
    Now You Know ► • KHALIGRAPH JONES x ROS...
    Kibamia ► • Video
    HIvi Ama Vile ► • Rostam (Roma & Stamin...
    Zimbabwe ► • Roma - Zimbabwe [Offic...
    Kaolewa ► • Rostam - Kaolewa (Off...
    ParaPanda ► • ROSTAM - PARAPANDA | ...
    Anaitwa Roma ► • Roma Ft One Six - An...
    Mkombozi ► • Roma - Mkombozi (Offic...
    Watani Wa Jadi ► • Rostam Ft Mr. Blue - W...
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 9 тыс.

  • @amisiba751
    @amisiba751 5 месяцев назад +48

    Waliorudia wimbo huu mwaka 2024 tujuane kwa likes hapa

  • @EzechielNdikumana-qz2ni
    @EzechielNdikumana-qz2ni Год назад +25

    Nyimbo Kali Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tumeipokea kwa hamu kubwa, mtupe like kama mmependa nyimbo hii

  • @user-kj3hg7gc2m
    @user-kj3hg7gc2m Год назад +118

    Hizi ndo nyimbo tunazo zitaka kama unamkubali Roma na nyimbo zake kama Mimi nipeni maua yangu🔥🔥🔥🙌

  • @faustinhommedetatnifasha9669
    @faustinhommedetatnifasha9669 Месяц назад +4

    #Makonda anaongoza #Arusha kwakutumia huu wimbo

  • @verifierempire
    @verifierempire Год назад +1738

    Waliorudia huu wimbo zaidi yà mara moja, Gonga like please 😊

  • @chobalikosimon6459
    @chobalikosimon6459 Год назад +228

    kama umeupenda huu wimbo kama mimi basi nipe maua yangu 🤝

  • @gladnesskamana8706
    @gladnesskamana8706 Год назад +61

    Hatari sana, nyimbo iko poa sana nimeisikiliza zaidi ya mara 6, mistari imetulia na message delivered. Hongera sana Mkatoliki, KEEP IT UP.

  • @biardeng4225
    @biardeng4225 Год назад +116

    Kiswahili ndio lugha ya taifa katika bara letu la Africa na ni jukumu langu keendeza lugha hii pale Sudan Kusini 🇸🇸 number one Roma/Rostam fan . Nakupa maua yako Roma Mkatoliki 🌹 ✊

  • @erickgulayi2089
    @erickgulayi2089 Год назад +2447

    Huu wimbo una kila kitu ambacho watanzania tunahitaji, basi kama unakubaliana na Mimi basi nipeni Maua yangu pia👏👏😂

    • @csato9415
      @csato9415 Год назад +19

      🌺🌺🌻🌻🌼🌼🌷🌷

    • @ibrahimkimtiy965
      @ibrahimkimtiy965 Год назад +7

      🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌷💐🌷💐🌷💐🌷💐🌷💐🌷💐💐🌷💐💐💐💐💐🌺🌺

    • @mretamreta8058
      @mretamreta8058 Год назад +9

      Hatari sana huu wimbo bonge la shairi

    • @matrixTV.
      @matrixTV. Год назад +7

      Yamoto sana

    • @zakiasepetu7628
      @zakiasepetu7628 Год назад +6

      🎀🎊🎉💎🇹🇿

  • @hymerpozgalayz
    @hymerpozgalayz Год назад +937

    To those listening this song in 2098....ROMA was a pure talent from God.

  • @victorjaoko3862
    @victorjaoko3862 Год назад +25

    Ukisikia popote wimbo huu ukipigwa simama kwa heshima ukiisha endelea na safari yako.

  • @abdulhamisi1937
    @abdulhamisi1937 Год назад +12

    Kaka wewe ni kioo cha jamii mzalendo unatufariji sisi watz wenye maisha ya kila kukicha kheri y Jana mwenyezi Mungu akupe nguvu uzidi kutetea wanyonge amiin.

  • @Hamzasenior_
    @Hamzasenior_ Год назад +976

    To Everyone listening to this song in 2070’s this man was a Legend ✅🐐

  • @abbasallysaidy5442
    @abbasallysaidy5442 Год назад +266

    Huyu Jamaa ukisema umsikilize sana unaweza ukijikuta unakuwa Mpinzani ghafla au Mwanaharakati... A pure Talent, GENIUS...🫡🫡🫡

    • @nassoroshakiru7094
      @nassoroshakiru7094 Год назад +9

      kabisa kabisa yan unaweza jikuta hutamani kuskia kuhus chamantawalq

    • @immasudi8332
      @immasudi8332 Год назад +9

      Umesahau kuwa na hasira kwa walio madarakan

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 Год назад

      Siyo thambi kuwa

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 Год назад +6

      Bora atuammshe watanzania ujinga ututoke

    • @justinbara6783
      @justinbara6783 Год назад +2

      Mm mwenyewe kupitia huu wimbo natamani Sana kuwa mwanaharakati

  • @iddishelton
    @iddishelton 5 месяцев назад +10

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥💥💥💯🎶🎵message recieved to those who think the own our live ...,Bomboclat politicians..even here in kenya we are 😭😭😭 more than you brothers .,wapi likes za kenya please

    • @user-vm3pz5pk8k
      @user-vm3pz5pk8k 2 месяца назад +1

      😢😢😢❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @lazaromshamu3521
    @lazaromshamu3521 Год назад +18

    kwa mara ya kwanza nausikiliza huu wimbo,nimeurudia zaidi ya mara 10, VIVA ROMA chukua maua yako dadeki,you are the in AFRICA

  • @musajacob334
    @musajacob334 Год назад +518

    Anaechelewesha msafara ni ng'ombe wa mbele ila anachapwa wa myuma na ndie anaepiga kelele ,,What a line✊🙌

  • @zephkivungi8090
    @zephkivungi8090 Год назад +108

    Siwezi kutosha huu wimbo. Wangapi wameusikiza mara nyingi kama mimi? Naukumbuka Zimbabwe ila huu ni next level 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @ashakhaliky4772
      @ashakhaliky4772 Год назад

      Wallah machozi yananitoka .ukweli hata usikilize mara mbl bado utahitji kuusikiliza. sna cha kusema Roma na kundi lako Allah awajalie afya ktk kaz zenu👏

    • @amarnam5016
      @amarnam5016 3 месяца назад

      🤝👏👏

  • @DommyAbasy-cn5nc
    @DommyAbasy-cn5nc 18 дней назад +2

    Roma ubaki huko huko na uendelee kutusemea mzee♥ tunakupenda sana

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 10 месяцев назад +7

    Kabla ya kulala hadi niusikilize huu wimbo. Roma chukuwa mauwa yako ndugu yangu. 🎉🎉🎉🎉

  • @GodwithusSr
    @GodwithusSr Год назад +695

    Roma supporters gonga like twende ,Nasio utani ukishindwa kujifunza hapa ndo bas tena😢.....nipeni maua yangu niyanuse ningali Hai ....amen tutaonana tenaa roma tutaonana tena

  • @michaelmsinda4920
    @michaelmsinda4920 Год назад +277

    Nakukubali mwamba,kwa huu wimbo sina la kusema,uko na kipaji sana,shabiki wako mkubwa kutoka Kenya🇰🇪

    • @bakarihassani-ss3qx
      @bakarihassani-ss3qx Год назад +7

      Nitajie mstari mmoja ulio ukubali Sana.

    • @michaelmsinda4920
      @michaelmsinda4920 Год назад

      @@bakarihassani-ss3qx Sasa sijui nianzie wapi kifuani nimebeba mengi 🥺na sitotenda haki nisiposema hiki sipendi hiki napenda kile sitaki mambo ya kishenzi
      Na ukisema hawatufai wanakuumiza wee mpole yani wanaangua papai kwa kutumia gogole wanatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo jeshi gani mpaka leo mmeshindwa kumjua kigogo?
      Mkiongelea kutekwa eti tunarudia agenda,hamjibu mnakwepa mbona mama anarudia kilemba?🤷
      Nchi gani raia akihoji mnasema anakosoa na akikosoa anatukana serikali hii sio poa!
      Haya basi tuseme mko sawa na mna nia nzuri na sisi eeeh 😌mbona vyuma vimekaza alafu mama anaificha grisi?
      Mara mkapandisha tozo kampeni mkaona hatuwaungi si tulihoji mkajibu kwa dharau tuhamie burundi
      Tatizo mkiapishwa tu mnawaza uchaguzi ujao,hamuwazi njia mbadala kumlinda mkulima na mazao
      Yani bongo kikubwa uzima tu 😣
      Sasa mnatuambia tujiajiri mbona nyinyi hamkujiajiri ok nikupe bodaboda yangu kisha wee unipe uwaziri?Nikukabidhi vyeti vyangu hangaika navyo mwezi mmoja niko pale nakungoja uje tuongee lugha moja!
      Mimi sio CCM sio Chadema,hili niliweke wazi ila ukieka CCM na Andazi nitachagua Andazi,simwamini mtawala na mpinzani simsadiki maana wanaendelea kukatika huku Dj kauzima muziki
      Na inaiuma kuona msomi wa degree tatu mnashindwa kumpa ajira sasa anauza nyanya Karatu,Sasa sijui mtaniua nikimshikia mama shiringi maana hata inyeshe mvua mnasema naupiga mwingi 🤔
      Na namkubali na nitamng'ata sikio kama hajui wanaomkosoa ndo wanampenda wanaomsifia ndo maadui,ili wapate teuzi ndo wanamlamba miguu wakimpamba hawamsaidii amri jeshi mkuu
      Hivi hamjasikia tetesi kuwa rimoti iko msoga?Sukuma geni imedoda,magogoni imenoga
      Tatu ndani ya track moja,wamekalia kigoda
      Ngolo kante anampa
      Mbappe cross anafunga Pogba😁
      Hii nchi ina wenye nchi ,wala nchi na wananchi,na kuendelea kuwachagua ni kuenda na mchanga kwenye beach,kuwajaribu na wapinzani na watawala si wameshapata? Ugoro umewaingia puani sasa ona wanapiga chafya!
      Wanatumia dollar kubaki kongo za Dollar watawafunga watapora wataua watahonga vijora
      Karatasi tunaibiwa za kura kwenye sanduku,kwa hiyo mnatuonyesha ziwa huku mmeziziba chuchu???
      Dini gani mchungaji akitaka gari twamchangia,muumini akitaka gari twamuombea twamsalia,mchungaji tusimpe pesa tumuombee na yeye pia,tukae pale tusubiri miujiza ya wagalatia😂
      Wabunge wengi mlishinda kwa hisani ya mwendazake,mkipatacho muende chato mkumbuke hata ndugu zake,,,, jimbo hili haliendelei coz mmemchagua mpinzani,haya sasa mmeshinda kote fauluni huo mtihani
      Wa Basata msikie hili msije fungia huu wimbo ,
      Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo
      Ushauliza kwa nini bega liko karibu na kwapa?Usiondoke baki hapa usikie vesi inayofuata!!!!!!
      Yanga na Simba ni wapinzani ila sio kwamba hawapatani,maji yanayotoka mto msimbazi ndo yanayojaza jangwani!!!
      Na sio utani msipojifunza hapa ndo basi tena aliyesema aongezewe muda bungeni ameaga mapema,wakamlisha asali kwa kisu akalamba akamwaga wino,tangulia na dereva barua utaikuta chamwino

    • @zulayfasalumu701
      @zulayfasalumu701 Год назад +3

      Hii inchii ina wala nchi na wenyee nchii 👂 noma saanaa 🤔

    • @ayubujnnko6157
      @ayubujnnko6157 Год назад +1

      ​@@zulayfasalumu701 😂nnchi ina wananchi wenye nnchi na walannchi

    • @sharifumuya1979
      @sharifumuya1979 Год назад

      anarudia kiremba

  • @fredmabeta5914
    @fredmabeta5914 9 месяцев назад +9

    "Anayechelesha msafara siku zote ni ngombe wa mbele ila anachapwa wa nyuma na ndiye anayepiga kelele"....deep 🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀 maua yako hayo yanuse

  • @ambroseomae4377
    @ambroseomae4377 Год назад +17

    Wish my fellow Kenyans can listen to this great message🇰🇪🇰🇪 💯💯

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 Год назад +132

    Tunakupenda Roma wewe ni mkombozi wa fikra za wengi Tanzania ❤❤ Mungu akulinde nakuona mtu mkubwa sana Tanzania soon❤

  • @mubackprince7095
    @mubackprince7095 Год назад +307

    Waliorudia wimbo huu zaidi ya mara 3 tujuane nipeni like zangu

    • @Joetweve-dt9kh
      @Joetweve-dt9kh Год назад +1

      Sio mara tatu me ni siku nzima nauplay

    • @GeorgeMtei
      @GeorgeMtei Год назад +1

      Sio mara tatu nimerudi mara 50

  • @BenedictSulle-ju9if
    @BenedictSulle-ju9if Год назад +16

    Big up Roma the pride of Tanzania ngoma imesheheni mistari mizuri sana ambayo inamgusha kila Mtanzania Mzalendo note Ngolo Kante anampa Mbabe cross anafunga Pogba mm nataka niimbe verse tunakumissss mwana rudi njoo utusemee

  • @eldersimonproduction
    @eldersimonproduction Год назад +15

    “We all face difficult times. It is only the grace of God that gives strength to endure.”

  • @sossyforreal814
    @sossyforreal814 Год назад +890

    Hii ngoma imeandikwa kwa kipindi cha miaka 8, yaani tangu mwaka 2015.
    Dah Tanzania mwanamuziki ni mmoja tu. Long Live Roma. Mtanzania mzalendo mwenye kuipenda nchi yake.

  • @thadeusmahendeka4466
    @thadeusmahendeka4466 Год назад +197

    Namshukuru Mungu kupata nafasi ya kusikiliza majestic writings of ROMA. Huyu mwamba ni pure talented hipHop artist..Kazi yake itaishi milele Daima, vizazi na vizazi. Tanzania yangu Mwenyezi Mungu atusaidie, tuna mtihani mkubwa sana kuijenga nchi yetu.

  • @santiagokenya6294
    @santiagokenya6294 Год назад +10

    You're great man mr roma,,you will be forever remembered,,we celebrate you.when you're still alive,,here in Kenya 🇰🇪 we love you,,you're real ,lyrics ✅️, message ✅️,,the song is complete what a common mwananchi needs to hear

  • @AliSalehe-gd7ji
    @AliSalehe-gd7ji Год назад +1

    this song so creative music all the best brother

  • @allymakallo4137
    @allymakallo4137 Год назад +673

    Hii ngoma inaweza kuandikwa na watu wenye level ya juu kabisa ya kifikra ROMA I salute you bro🕴️

    • @daudiothumani
      @daudiothumani Год назад +3

      Roma,danrodi

    • @amoji126
      @amoji126 Год назад +3

      Ngoma hii mtu yoyote anaweza kuiandika maana hamna line hata moja ambayo haijawahi kusikika kabla ya hii ngoma, lines zote zipo mtaani. Kungekuwa na lines mpya ndio ingekuwa exceptional siyo.

    • @thekingdomtwins5325
      @thekingdomtwins5325 Год назад +1

      Roma Rudi

    • @mgangamganga5095
      @mgangamganga5095 Год назад +2

      Amesema kweli

    • @hanashhanash535
      @hanashhanash535 Год назад +1

      🎉

  • @ManagerMsomi
    @ManagerMsomi Год назад +46

    Wakwanza nipenii like zangu Roma oooooyeeee

  • @noelynjelekela5406
    @noelynjelekela5406 Год назад +3

    Roma kaka unajua sana tunakutegemea bila ww hatuwezi toboa

  • @karenjujulius364
    @karenjujulius364 9 месяцев назад +8

    If you have a voice you've got the obligation to project it for humanity. Thank you Roma for being the voice of the voiceless🙏🏿.

  • @MtiliPyson-wd5mp
    @MtiliPyson-wd5mp Год назад +149

    Nyimbo umeuwa sana hii kaka na umeiyongelea hali alisi ya maisha tunayoyaishi watanzania wotee yan🙏🏿🙏🏿🙏🏿 VIVA ROMA

  • @jamesmelkiadesmpinika6337
    @jamesmelkiadesmpinika6337 Год назад +64

    Yaan nikisikiliza Hii nyimbo..... Nakuvuta picha Hali ilivyo Tz basi TU Roma Umri mrefu ViVa....!!! Mungu akujalie Afya njema Mwanaharakati✅

  • @HamadizoMadizo
    @HamadizoMadizo Год назад +2

    Nice song

  • @ShaqueeBlackrapper
    @ShaqueeBlackrapper Год назад +12

    Nimeipenda hii ngoma ROMA ametumia vina vya Rap hajaimba Ngonjera kama nilivyomzoea 👏🏿

  • @danielpeter7921
    @danielpeter7921 Год назад +215

    This guy is phenomenal,..very different from other artists,..mtetezi wa wanyonge. Big love from Kenya 🇰🇪

  • @lungoznyamaume5802
    @lungoznyamaume5802 Год назад +46

    Wanatumia guvu kubwa kwenye mambo madogo💥💥👊namkubali mia mia kaka Roma💪from Mombsa 🇰🇪

  • @williamouma8263
    @williamouma8263 6 месяцев назад +3

    Roma ni Mwamba ajab ,East and Central Africa ajawai tokea mwanamuziki kama Roma.Pokea flowers Bingwa

  • @user-cr2hw3oi8t
    @user-cr2hw3oi8t 10 месяцев назад +2

    Respecto ROMA

  • @mbila.k3427
    @mbila.k3427 Год назад +302

    It's 2090 and am listening this song i can confirm this man was a legend my grandfather used to tell me that !

  • @mkechiivo5332
    @mkechiivo5332 Год назад +31

    Kwa wimbo huu nina imani kabisa huwezi rudi bongo leo wala kesho big up roma viva romaa

  • @ibongyaebuchajosias6182
    @ibongyaebuchajosias6182 Год назад +6

    Nice song ✌️🇹🇿TZ🇹🇿 Big up Sana 💥 nivizuri kuwa shauri ata kwenye nyimbo ✌️❤️❤️❤️❤️❤️from DRC🇨🇩 and Buja ville 🇧🇮

  • @bernardmacharia1872
    @bernardmacharia1872 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤Roma I wish you were a Kenyan, voice for voiceless. VivaRoma

  • @ThedonThedon-vq5ye
    @ThedonThedon-vq5ye Год назад +56

    Kama umeisikiliza mara 3 na zaidi , gonga like hapa🎉🎉🎉🎉

  • @djnickzie9743
    @djnickzie9743 Год назад +144

    Maneno makubwa yamo kwenye track huu,Wimbo huu umekubalika nchini Kenya 🇰🇪

  • @vennamaina
    @vennamaina Год назад +5

    HONGERA Roma kwa one milion hiii ni revolution kwenye mziki wa HIP HOP Africa

  • @user-tr2kq2dg2p
    @user-tr2kq2dg2p 6 месяцев назад +3

    From Kenya Malindi ((kilifi county) umekubalika kaka

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 Год назад +14

    Roma Bwana 😂😁😁😁😁
    Mungu akuhongezee miaka yakuishi🔥🔥🔥🔥🔥🌟🌟🌟🌟🌟

  • @KibakiKibaki-jm2ni
    @KibakiKibaki-jm2ni Год назад +94

    Huu ndiyo wimbo wa taifa sasa achana na ule wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote

  • @olomzshow
    @olomzshow 11 месяцев назад +2

    Wow I have came across this song and it is touching....... My son..dad come and sleep
    Me... Relax son Roma have just drop a song and I can't stop from playing it....
    I love it🔥🔥🔥🔥

  • @GemaShayo-hf6wf
    @GemaShayo-hf6wf Год назад +122

    To my daughter listening to this song when you grow up, know that your father gave Roma his flowers when he was alive.

    • @brunokimaro1053
      @brunokimaro1053 9 месяцев назад

      ruclips.net/video/R78Av_uiBxg/видео.html

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 Год назад +124

    This is what is called immortal music. It's full of social, economic and political contents. VIVA ROMA THE KING OF TANZANIAN HIP HOP!

  • @praygodlameck1401
    @praygodlameck1401 11 месяцев назад +1

    Bro, i salute u 100times mtfk, viva bro...nitemee mate ukiwa umelala chali, wanangu fatilieni huu wimbo hata kama sintakuwepo, wachache sana wataelewa

  • @kodoboyusuf-pv7gx
    @kodoboyusuf-pv7gx 11 месяцев назад +4

    Ooooo Africaaa......Those with wisdom have no power and those who have power have no brains nor wisdom...❤#Roma

  • @heamztabib
    @heamztabib Год назад +136

    The real definition of 'KIOO CHA JAMII',.....maua yako chukua VivaRoma✍️💯

  • @furahahappe1641
    @furahahappe1641 Год назад +29

    Roma 🔥🔥🔥 vitu vya kweli vyote ulivyosema! Anayechelewesha msafara 😢😢! Chukua maua yako Roma 🌹💐🌺🍁🪸🥀🪷🌹🌷🌺🌺🌸🌸🍁🍁🪷🪷🌺🌺🌸🌸

  • @user-xv6un5wx1w
    @user-xv6un5wx1w Год назад +3

    Waliorudia huu wimbo zaidi ya mara mbili.. tujuane.

  • @andrewaugustino3569
    @andrewaugustino3569 Год назад +4

    Music huu sichoki kuusikiliza, kila dakika nairudia Sana 🙏🙏 Roma

  • @Tesovibez
    @Tesovibez Год назад +247

    Roma doesn't Disappoint....Much love from Uganda

  • @vicentphilipo9711
    @vicentphilipo9711 Год назад +360

    Hatari Sana kama umeiludia zaidi ya mara Tano kama mimi gonga like hapa👍

    • @kingboytzphonesolutionking7622
      @kingboytzphonesolutionking7622 Год назад +2

      mimi zaidi ya mara 10

    • @mackhanssa2484
      @mackhanssa2484 Год назад +1

      🥔🥔🥔💐💐💐🌷maua na maandazi hayo bro umeua Sana🔥🔥🔥

    • @vicentphilipo9711
      @vicentphilipo9711 Год назад +4

      Vyuma vimekaza afu mother anaificha griss

    • @thegreatinfo8802
      @thegreatinfo8802 Год назад +4

      Wimbo Ni dk 6 ila naon kma dk 2😂👍

    • @williammollel89
      @williammollel89 Год назад +1

      Hata inyesha mnasema anaupiga mwingi,
      Nikukabidhi vyeti vyangu uangaike nazo.mwezi mmjo , Niko pale nakusubiri uje tuongee lugha moja

  • @didamugya6039
    @didamugya6039 11 месяцев назад +1

    Leo nimekupa maua yako💐🌸💮🏵🌹🥀🌺🌻🌼🌷⚘️

  • @user-rk3wj8ol5k
    @user-rk3wj8ol5k Год назад +1

    Daah huu ni binge la wimbo Maua yako chukua

  • @willinjowritter206
    @willinjowritter206 Год назад +462

    LONG LIVE ROMA, MUCH LOVE AND BLESSINGS FROM KENYA 💯 🙏 💓 💐💐💐💐💐💐

  • @jacksonmwangi5305
    @jacksonmwangi5305 Год назад +149

    "Jimbo hili haliendelei coz limemchangua mpizani" Listening from Kenya 🇰🇪 and what Roma is talking about is also happening here. Anyway have your flowers;🌹 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @agnessnestory-ox2lx
    @agnessnestory-ox2lx Год назад +19

    Roma never disappoints

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Год назад +1

    Kila nikifungua u tube lazima nikusikilize Roma Mungu akuhifadhi milele na milele nakukubali sana binafsi mimi nimeshakupa maua yako kabla ya kwenda kaburini ❤❤u so much wangapi tumerudia huu wimbo mara kwa mara kila tukiingia u tube

  • @officialhonreal3419
    @officialhonreal3419 Год назад +110

    U never disappoint Roma.....Kama unamkubali Roma kwa asimia 100 gonga like hapa♥️🙏

  • @abelkutwa8187
    @abelkutwa8187 Год назад +166

    The song has words of wisdom I wish all my fellow Kenyans could listen to this song it's high time we open our third eye thank broh Roma tumepata ujumbe 🙏🙏🙏

  • @DominikoTvOnline
    @DominikoTvOnline Год назад +1

    Tuitikie wote..... Tunakumiss Romaaa....

  • @ricco_junior
    @ricco_junior 11 месяцев назад +5

    This Masterpiece Will Remain Forever 🇰🇪🇰🇪

  • @ManagerMsomi
    @ManagerMsomi Год назад +34

    Huyu ndio Roma tunae mjua sisi

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 Год назад +44

    Roma wewe ndiyo msanii pekee unaewasemea wanyonge,waoga,na wasiotambua haki zao,Roma mungu akupe maisha marefu uendelee kumsea mnyonge,Roma yote uliyoimba ni ya kweli100%

    • @paresamaseko5422
      @paresamaseko5422 Год назад +1

      sio mwanamuziki huyo ni kibaraka. hakuna msanii anaendelea kwa kukosoa siasa

    • @egmsage4115
      @egmsage4115 Год назад +1

      ​@@paresamaseko5422 sio kila msanii anawaza maendeleo unayowaza wewe wengine hawahitaji hayo maendeleo coz wanayo tyr

    • @esterivan3452
      @esterivan3452 Год назад

      Na Ney wa Mitego pia

    • @mankambise2000
      @mankambise2000 Год назад

      ​@@paresamaseko5422 Loh! Maendeleo gani sasa

  • @Sal-upDon
    @Sal-upDon Год назад +1

    Namutaka roma ayimbiee burundi🇧🇮 ingin song kam hio

  • @peteruzia8313
    @peteruzia8313 Год назад +1

    Na kiongozi bola atoka
    Kwa Mungu.🙏

  • @Enemy_19
    @Enemy_19 Год назад +19

    #nape "nikupe boda yangu unipe uwaziri wako"
    oya nipeni emoji za moto 🔥🔥

  • @innocentfocus9217
    @innocentfocus9217 Год назад +18

    Hii nchi ina wananchi, wenye nchi na wala nchi🙌🙌

  • @ramadhanidd5230
    @ramadhanidd5230 Год назад +7

    The message is so powerful, talent revealed 🎉

  • @derickstabu6843
    @derickstabu6843 Год назад +7

    This music is on another level. Lit🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @eraschata5996
    @eraschata5996 Год назад +60

    May God keep this MAN for our next generation 🙏

  • @williamnyenyembe8968
    @williamnyenyembe8968 Год назад +20

    Tukimpoteza huyu msanii bac ❤❤❤

  • @hulairkabeya2163
    @hulairkabeya2163 10 месяцев назад +2

    How i wish we had these kind of patriot in DRCongo, chukua maua yako Mkatoliki🌹🌷🌹

  • @nimrodmonyoncho7025
    @nimrodmonyoncho7025 5 месяцев назад +3

    Kutoka Kenya nakubali Roma

  • @marklekasango9300
    @marklekasango9300 Год назад +109

    MTANZANIA MZWA UYU JAMAA 🇹🇿 hii ngoma ikipigwa tunatakiwa kusimama wote Tanzania. Akili mingi sana Roma, ata mm nitakula andazi. Come back home mwamba.

  • @ketsonempire
    @ketsonempire Год назад +44

    The baddest and topper Artist with lot of wisdom from Tz representing East Africa. We love your creations Roma. More love❤️❤️ from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @emmanuelelias5451
    @emmanuelelias5451 Год назад +1

    Abihudi kamaliza kazi🎉

  • @paulkiure7113
    @paulkiure7113 Год назад +2

    best singer always produce good songs, nice work

  • @soudyruge9858
    @soudyruge9858 Год назад +24

    Kwakweli tulimiss hizi kazi ahsante Mr Roma tulikuwa tushachoka na habari za JEJE 😁😁
    Respect bro 🙌🙌🙌🙌

  • @collinsmasiga9767
    @collinsmasiga9767 Год назад +453

    I wish Kenya had a musician like Roma. This guy is a legend.

  • @user-gk3tr7ec6z
    @user-gk3tr7ec6z 5 дней назад +2

    Nipeni na mimi like zangu roma ana fight🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @japhetsahani7121
    @japhetsahani7121 Год назад +49

    Wimbo mzuri sana wenye ujumbe mzito wenye mpangilio wa mashairi hongera sanah unastairi tunzo ya usanii Bora Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @nehzreal7445
    @nehzreal7445 Год назад +11

    +254 here listening show some love for roma 🇰🇪

  • @yasinjuma9447
    @yasinjuma9447 Год назад

    Much love Roma m2makin sana

  • @AmosMasanja-vu8ex
    @AmosMasanja-vu8ex Год назад

    Uko poa Sana Roma bigapu sana

  • @user-fl1mj2jn8v
    @user-fl1mj2jn8v Год назад +22

    Bonge la ngomaaa aseee daaaah huyu jamaaa ni genius 🙏

  • @phanymusic9900
    @phanymusic9900 Год назад +25

    HII NDIO MAANA YA MSANII ACHANA NA HAWA WAIMBA MAPIANO PUMBAFU SANA, Ishi sana brother, we na Ney ndo sauti ya Tanzania ilio baki 🇹🇿