Rostam Feat Ferooz - Hujambo Mwanangu (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 3,4 тыс.

  • @mcjackmasterkenya7071
    @mcjackmasterkenya7071 3 года назад +439

    jameni nipee like atleast zifike kumi nmekua nasaport mziki wa stamina toka .. WAKENYA TUPO DANI... ONE LOVE

  • @chingatz4420
    @chingatz4420 3 года назад +45

    Dah rostam mnafanya mpka najisikia kuimba wakati siwez ila ii ngoma naomba irudiweeee iirudiweeeeee naomb like zifike 20k kwa leo tu

  • @otilebrownofficial
    @otilebrownofficial 3 года назад +583

    Mad sick 🔥

  • @salimuhabibu5295
    @salimuhabibu5295 3 года назад +155

    Alioickiliza hii ngoma Zaid ya mara kumi kutafuta haya mafumbo jiwe gizani limempata nan Tujuwane hapa kwa like

  • @MichaelMayaka
    @MichaelMayaka Год назад +5

    Pongezi sana Rostam

  • @HonJongo
    @HonJongo Год назад +6

    609:60 Mt 3:2Yesu akamwambia, “Waache wafu wawazike wafu wao, bali wewe nenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.”

  • @chumkhamis8924
    @chumkhamis8924 3 года назад +182

    Yani hii Bakora inapiga kimnya. Wale wadau wenzangu wa rostom Gonga like tujuane... Listing From Zurich Switzerland 🇨🇭

  • @zotempyaonline8485
    @zotempyaonline8485 3 года назад +48

    WANAOAMINI AWA JAMAA NI MA GENIUS. KILA WAKITOA DUDE LINA TREND LIKE APA JMN👋👋👋👏👏

  • @kennedymwangi604
    @kennedymwangi604 2 года назад +1

    You guys God bless you....couse this is the reality guys

  • @odba_jr371
    @odba_jr371 3 года назад +220

    Mwanacha ndaki ndaki wa rostam naomba like 100 ivi

  • @sniperbogo6210
    @sniperbogo6210 3 года назад +1

    Hawa jamaa wakitoa wimbo mm naamini hakuna aliesokiliza mata moja na akapita lazma arudie hata mara kumi hivi ili kujua nn wanamaanisha safi sana rostam

  • @christianwilfred6032
    @christianwilfred6032 3 года назад +266

    Luke 9:60
    📜 Akamwambia Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe enenda ukautangaze ufalme wa Mungu.

    • @jessieboaz4592
      @jessieboaz4592 3 года назад +5

      Wavivu kusoma Bible umetusaidia sanaaa🙏🙏

    • @lilymatoli7117
      @lilymatoli7117 3 года назад +2

      @@jessieboaz4592 hhhhh

    • @gine9011
      @gine9011 3 года назад +1

      🔥🔥🔥

  • @rashidmulika5227
    @rashidmulika5227 3 года назад +44

    *Tunaimba wote nafungiwa Mimi* -Roma
    Hii nyimbo ni bonge la GOMA. Safi Sana.

  • @suleimanialex6209
    @suleimanialex6209 3 года назад +1

    Magufuli . Kweli ataishi miyoni mwetu daima . Kumbukeni alituambia mungu anaipenda tanzania .Kwaiyo tumtangulize mungu

  • @abudeensalim3592
    @abudeensalim3592 3 года назад +76

    Naombeni likes japo tatu tu jamani mimi nduguyenu wa damu mkinibagua ntawasema na mama...

  • @banegatv5553
    @banegatv5553 3 года назад +90

    Kama Uelewi Code Hapa Uezi Elewa Kinachoendelea Respect Sana Chama Langu Rostam ✊✊

  • @miketez2160
    @miketez2160 3 года назад +30

    Nmerudi tena... Sijaona likes🇰🇪

  • @chawedonard6617
    @chawedonard6617 3 года назад +60

    Naombeni hata like 10 jamani tunaokubali hii ngoma

  • @jumanenga271
    @jumanenga271 3 года назад +30

    Roma umeprove km umekimbia uhaibuni dah! Sema ngoma kali madini mengi yanayok kw hivi vichw 2 ila feruu hodari w mda wot 💣💥🔥😍

  • @jonathanmulei9594
    @jonathanmulei9594 Год назад +1

    Eeh this is talent...achana na kina,diamond

  • @asueddy1465
    @asueddy1465 3 года назад +73

    LUKA 9 : 60
    Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”

  • @emmanuelterevael5766
    @emmanuelterevael5766 3 года назад +17

    Rostam mnastahili kupewa tuzo nyimbo zenu hazichoshi kusikiliza na Zina ujumbe mzuri Kama ukiweza kufumbua mafumbo yake,,big up @rostam

  • @eyshermohammed2236
    @eyshermohammed2236 3 года назад +2

    Nyimbo kali wanangu Rostam na ferooz

  • @hardsonchikole9787
    @hardsonchikole9787 3 года назад +159

    Aliye enda kuangaliaa #luka9:60 gonga like tujuane

    • @neemaernest2906
      @neemaernest2906 3 года назад +13

      Akamwambia waache wafu wawazike wafu wao, Bali wewe nenda ukatangaze ufalume was mungu

    • @korneliserafini7843
      @korneliserafini7843 3 года назад +3

      @@neemaernest2906 👏

    • @marcomgowole7676
      @marcomgowole7676 3 года назад +2

      Luka 9:60
      Akamwambia Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe enenda ukautangaze ufalme wa Mungu.

    • @izdorimushi4150
      @izdorimushi4150 3 года назад +1

      LUKA 9:60,Yesu akawaambia "Waache wafu wazike wafu wao,bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa mungu"

    • @selemanally126
      @selemanally126 3 года назад

      Luka inasemaje wengine waislam

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 3 года назад +32

    Unausikiliza wimbo huu najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @emanuellawrence4912
    @emanuellawrence4912 3 года назад +106

    Wanao sema "ROSTAM KAZI IENDELEE" like yako pia

  • @espoirkashindi1725
    @espoirkashindi1725 3 года назад +47

    Mimi ni mcongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ila wimbo nilikuwa nausubiri sana kabisa..... Wa Congo nipe like zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @peterladslaus6904
    @peterladslaus6904 3 года назад +39

    Yesu akamwambia, “Waache wafu wawazike wafu wao, bali wewe nenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.”

  • @ntibarufatanyamibwa1892
    @ntibarufatanyamibwa1892 3 года назад +1

    Ho ngera sana rostama wimbo mzuri mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu ameen

  • @emmanuelntemi2752
    @emmanuelntemi2752 3 года назад +62

    luka 9:60 Lakini Yesu akamwambia, “Waache waliokufa wawazike wafu wao. Ni lazima uende kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu.”
    shikamo Roma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hassanbonge2605
    @hassanbonge2605 3 года назад +203

    Njiwa:Ndege
    Banda kjjn: Airport Chato
    Bamdog Mchng: Gwaj Boy
    Anc w sngda :Lissu
    B mkbw wa msoga Kikwt
    Ntard janur na ntafkzia kw mjmba bumbl :Januar Makamba

    • @yohanamsanga9411
      @yohanamsanga9411 3 года назад +4

      Umetisha sana

    • @eknotz
      @eknotz 3 года назад +7

      Mwalimu tanga ni ummy mwalimu

    • @charlespatrick4859
      @charlespatrick4859 3 года назад +6

      kaka alie hai..sabaya,ally hapi,musiba,mwigulu

    • @jastinreuben1518
      @jastinreuben1518 3 года назад +8

      Bamdogo mchungaji sio gwaji kaka....ni mpango 🙌🙌

    • @dn_arg
      @dn_arg 3 года назад +8

      @@jastinreuben1518 ha ha ha katika code ngumu, ilikua hii - maana gwaji boy hana ushawishi wowote kwa mama. NAKUBALIANA NA WEWE

  • @shakurfaith
    @shakurfaith 4 месяца назад +2

    2024 hapa. Ngoma bado kali

  • @salehjuma5242
    @salehjuma5242 3 года назад +42

    Mamae mnajuwa mpaka mnaniuz like kama zote kwa ferouz✅✅🙏

  • @officialsteeve2384
    @officialsteeve2384 3 года назад +69

    Mziki ungekua wa namna hii czan kama mzki ungekua na mashabiki,,,mana kwa hii ngoma inaitaji ufikir sana ndipo uielewe respect my ROSTAM🎶🎶🎶🎶🎶

  • @farijjmohammed7723
    @farijjmohammed7723 Год назад +1

    ferooz ametisha sana

  • @mcnoblelux3378
    @mcnoblelux3378 3 года назад +7

    I don't stop to listen to this song,vijana wanafanya kazi kweli na sio upumbavu waki diamond na Harmonize social media,we need good music,positive vibes,strong msg,respect to Feroos,professional chorus big up guys and keep the good tracks

  • @deogratiuskiteti2887
    @deogratiuskiteti2887 3 года назад +26

    Kama unawakubali wasanii naombeni like zenu Leo..wimbo huu ni shiiiidaaa

  • @twahirumtunguja4136
    @twahirumtunguja4136 3 года назад +1

    Ummy mwalimu ckia vijana wako mama Samia ckia wanao majaliwa mariza tofauti za vijana makonda utapata tabuu juu ya vijana Hawa🙏🙏

  • @saidalflan6515
    @saidalflan6515 3 года назад +9

    awa jamaa wanajua mbaka wanajua tena
    kama kutakuwa na uhuru wa kuongea kwenye hii nchi basi tutegemee ngoma kari kwa hawa jamaa ROSTAM ❤❤

  • @chrissy766
    @chrissy766 3 года назад +23

    Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”
    Jesus said unto him, Let the dead bury their dead; but go thou and publish abroad the kingdom of God. ”
    Straight Line.

  • @mohamedimfinanga8564
    @mohamedimfinanga8564 3 года назад +1

    Dah nyie jamaa rostam n balaa na nusu good idea good song 👏👏🤘

  • @ashrafsaadoun3863
    @ashrafsaadoun3863 3 года назад +6

    Rostam tunawapenda milele nyimbo zinu zinaelmisha hatuwezi kuwasahau Mungu awalende milele

  • @bongoreview1738
    @bongoreview1738 3 года назад +13

    Ferooz voice is Priceless 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @abdillahmkaikuta3033
    @abdillahmkaikuta3033 2 года назад +1

    Luka 9:60 BHND
    Yesu akamwambia, “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.”

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 3 года назад +29

    Ney alitoa ngoma wakaifungia! Haya fungieni na hii nyie wachumia matumbo! Watu Wana mengi vifuani mwao! Acheni waseme ili wawe huru! Wewe Kama unaona ulineemeka kaa ukijua Kuna wengine waliumizwa Tena moja kwa moja acheni waongee watoe ya moyoni! Kuwazuia kwa kivuli sijui Cha maadili haisaidii! Bravo rostam! Hii ngoma ni Kali na ya kufikirisha sana!

    • @omarzinga4965
      @omarzinga4965 3 года назад

      Fact line

    • @dathan49
      @dathan49 3 года назад +1

      hawawezi kuifungia sababu haieleweki.... kirahisi

    • @Wamoyothenumberone
      @Wamoyothenumberone 3 года назад +1

      Hahahahhajahajjaja

    • @emmanuelmnuna1821
      @emmanuelmnuna1821 3 года назад +1

      Ni kweli bro umenena

    • @henockovicent204
      @henockovicent204 3 года назад +1

      Hii ngoma wametumia akili kiasi kwamba hata professa kuielewa anahitaji muda@ big up rostam

  • @Zilizopendwa_60s
    @Zilizopendwa_60s 3 года назад +70

    TUNAIMBA WOTE ILA NAFUNGIWA MIM"" hili hata Mimi najiulizaga na sipati jibu".... Roma mtata Sana.. Kuna vitu vinafikirisha humu

  • @andrewsailen7628
    @andrewsailen7628 3 года назад

    Njiwa wanatutia hasara tuuu wanaumia mikono wanatibiwa Kambodiaa daaaah

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 3 года назад +8

    Mm nimesikiliza... Zaid ya Mara Tano... Kam ww umesikiliz gonga like

  • @patrickmkongwa9574
    @patrickmkongwa9574 3 года назад +168

    Narud January ntafikia kwa kaka bumbulli...........sijawahi pata like 100 jaman

    • @smartworktz2128
      @smartworktz2128 3 года назад +1

      We timu yako inashuka daraja huko wew unatafuta likes huku🤔

    • @mickyernest7970
      @mickyernest7970 3 года назад +1

      @@smartworktz2128 😂😂😂

    • @georgengoda4447
      @georgengoda4447 3 года назад

      Mzee umapata ongea mengine

  • @aishambondo8923
    @aishambondo8923 3 года назад +1

    Ferooz unaninilizaa mwenzio😭🙌🙌

  • @lyndaalloyo9387
    @lyndaalloyo9387 3 года назад +4

    Luka 9:60
    Yesu akamwambia, "waache wafu wazike wafu; wao bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu"

  • @Donrugi
    @Donrugi 3 года назад +60

    Niamini Mimi hii nyimbo unatakiwa uisikilize si chini ya mala 5 ndiyo uielewe vizuri tena ukiwa umetulia TULIII. Rostam hawajawahi niangusha 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

    • @mangweajr9666
      @mangweajr9666 3 года назад +1

      Ni kwel

    • @Donrugi
      @Donrugi 3 года назад

      @@salehkupaza4547 mala moja uongo labda kama ulikuwa unarudisha rudisha nyuma. But the reality lazima uisikilize zaidi ya mala moja ili kuielewa

    • @sirfabiano767
      @sirfabiano767 3 года назад

      Roma ni fala

  • @jamesmuiruri7246
    @jamesmuiruri7246 Год назад +1

    Please give us frequent music.. Sometimes I listen to your lyrics and am just crying.
    Kenya listening

  • @frankapolonary6993
    @frankapolonary6993 3 года назад +75

    ROMA “kasema tukasome ,Luka : 9 : 60 - Akamwambia Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe enenda ukautangaze ufalme wa Mungu.

  • @King3201Offical
    @King3201Offical 3 года назад +33

    Luka 9:60 hongereni sana vijana! hawa ndio wasanii sasa wanaoonyesha nini maana ya msanii maana wengine sio kioo cha jamnii tena👍 like kwa ajili ya vijana hawa.

    • @ricksamthecrow
      @ricksamthecrow 3 года назад +1

      Waache wafu wakazike wafu wao bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.

  • @ianmatakeyah5297
    @ianmatakeyah5297 3 года назад +1

    Rostam wanajua sana💯🙌🙌

  • @visionman8277
    @visionman8277 3 года назад +12

    Yesu akamwambia, “Waache wafu wawazike wafu wao. Bali wewe nenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.” luka 9:60

  • @Davidgraphix
    @Davidgraphix 3 года назад +7

    Bonge la ngoma
    Ile swimming pool ya rufijii
    Daa sema wana wanajua sanaa aseeb
    Shout out kwa #rostam

  • @Painkiller5068
    @Painkiller5068 3 месяца назад +1

    Rostam tunataka mrudi kama zamani tunawakumbuka

  • @Swahili_Wisdom
    @Swahili_Wisdom 3 года назад +4

    Luke 9:60 " Waache Wafu Wawazike Wafu Wao, Bali wewe Nenda Ukautangaze Ufalme Wa Mungu"

  • @hendrytarimo1602
    @hendrytarimo1602 3 года назад +42

    Walioirudia zaidi ya mara moja naomba like zakutosha ✍️✍️

  • @reaganmaringo5052
    @reaganmaringo5052 3 года назад

    Feooz pia Kasimama vizuri sana na Chorus . Ni kama kafanya majumuisho kwamba vijana wanataka mama Yao afanye nini...wanantazama awafute machozi,awarudishie na tabasamu

  • @kipusaudaku7792
    @kipusaudaku7792 3 года назад +65

    Naomba like za mtumzima Roma na Stamina. Mana walikua wame nifanya nipoze mtaani💪🏾💪🏾💪🏾

  • @rojabest2011
    @rojabest2011 3 года назад +4

    Hii ndio ngoma yang pendwa ndan ya mwaka huu haitokei respect rostam ft ferooz .

  • @wakayaamos7676
    @wakayaamos7676 3 года назад

    Rostam wana fanya mtu apende Hip-hop na poetry. Kazi safi hawajawahi ku ni angusha.

  • @paschalchitanda1713
    @paschalchitanda1713 3 года назад +8

    Rostam for life..kama unawakubali rostam like hapa..🤝

  • @lukeoj7164
    @lukeoj7164 3 года назад +42

    Damn! The art in this song... Maana fiche!
    Love from Kenya 🇰🇪

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 года назад

      Hawa jamaa ni shiidaa!

    • @hafydhmo9566
      @hafydhmo9566 3 года назад +3

      @@abbyadams8691 but mkenya huwez elewa hapo mpak ujue siasa ya TZ

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 3 года назад +1

      @@hafydhmo9566 Km unajua Kiswahili walau 50-70% utaelewa ila km hujui Kiswahili hapo ni Zero kabisa!!

    • @denisorodi8195
      @denisorodi8195 2 года назад

      kama hujui habari za tanga huezi elewa

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 3 года назад

    Wabongo bana , wanaogopa kuongelea siasa alafu wanapita kwa mbali .

  • @timolivier411
    @timolivier411 3 года назад +5

    Rostam tufanye feat na kikosi kazi 🔥🔥 please itakuwa soo sana nakukuza mziki mbali wa hip-hop . Tungo Safi sana mchabiki wenu number moja toka drc congo Nataka like 💯

  • @kakahshivohpoetry8973
    @kakahshivohpoetry8973 3 года назад +3

    Huu wimbo uko kimafumbo,big up Rostam👊

  • @mkutanopaul4773
    @mkutanopaul4773 3 года назад +1

    Halooo,,hujambo mwanangu? How Sweet is that 🥰

  • @webbydanagu9667
    @webbydanagu9667 3 года назад +70

    "Hata kaka aliyekuwa hakupendi,
    Mambo yake yako mshazali,
    Aliuza nyumba ya kino bila hela ya udalali,
    Akapata ya kigamboni ikasombwa na upepo wa bahari,"

  • @johnsonkibaja6910
    @johnsonkibaja6910 3 года назад +5

    Hawa jamaa ni wabunifu mno mekubali🔥🔥🔥

  • @ketsonempire
    @ketsonempire 3 года назад +1

    Video ije sasa.,.. Roma ni mpiganaji kweli

  • @oscarcadorzo8626
    @oscarcadorzo8626 3 года назад +31

    Hawa jamaa wapewe ulinzi naomben like zanguu kwa hii ngoma kaliii

  • @kinguyejumanne7050
    @kinguyejumanne7050 3 года назад +6

    Daaah ngoma kalii hii gonga #like_hap Kama una wakubar Hawa wasanii wetu

  • @floramanyika2008
    @floramanyika2008 3 года назад

    Nyie ndio mnakila sifa yakuitwa wasani.mmepewa kipaji,mnakitumia ipasavyo mungu atazidi kuwafungulia njia,hamzungumzii hisia zenu tu mnatizama na za wengine

  • @ibrahimkanuto3514
    @ibrahimkanuto3514 3 года назад +7

    "Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe nenda ukatangaze ufalme wa Mungu.” Luka 9:60

  • @hamad4430
    @hamad4430 3 года назад +5

    dah hawa jamaa ngoma yao kalii ni balaaaaaaa...hii ngoma ukisikilza mara tatu ndio unazidi kuielewa......NAOMBA STAMINA HII NGOMA IRUDIWE

  • @browndavid3954
    @browndavid3954 3 года назад

    Aisee.....ukiongelea mziki....sasa hapa ndo tumekutana Na wanaojua mziki....big up to you rostam...saluteeee

  • @kilelechaimani.8956
    @kilelechaimani.8956 3 года назад +21

    Anaeijua Luka 9:60 tangu utotoni na alisahau ila leo malegendary wamemkumbusha Basi gonga like Hapa ili kupitia kumbusho MUNGU pia akukumbuke ktk Mambo yako.
    PST Chris Soraya.

    • @nicholasmukhwana7268
      @nicholasmukhwana7268 3 года назад

      Rostam wanajua mziki wao!

    • @pierelizy5222
      @pierelizy5222 3 года назад

      Akamwambia Waache wafu wawazike wafu wao; bali wewe nenda ukautangaze ufalme wa Mungu.

  • @mbena0g654
    @mbena0g654 3 года назад +57

    Nime chelewa dakika chache Sana ila like nipewe Mana so kwa hili lijimbo

  • @loylaizer1668
    @loylaizer1668 3 года назад +1

    Hii ngoma, ni kama shule ya bure, elewa maisha yanabadilika.

  • @mkojanifilm3350
    @mkojanifilm3350 3 года назад +23

    Ng'ombe wew kumbe unajua kuimba nyimbo tamu

  • @mwendwamjukuu0027
    @mwendwamjukuu0027 3 года назад +33

    Hivi umeonana na Dadaa..... Gonga like Kama umeelewa dada ni mange kimambi

  • @mugharoshayo8882
    @mugharoshayo8882 3 года назад

    hamjawai toa bokoo you have too much creativited..... @rostam forever

  • @eugenesamuel989
    @eugenesamuel989 3 года назад +12

    Waah...this is pure talent from Roma and Stamina....I love this...💙

  • @jeivinmtundu3958
    @jeivinmtundu3958 3 года назад +29

    Hatari hii ngoma ukiisikiliza kichwa kichwa huwezi kuelewaaah Ila big u rostam

  • @noahmwasomola4317
    @noahmwasomola4317 3 года назад

    Hatariiii na nusu, tulimiss vitu kama hivi......ngonjera za bongo flavour zilituchoshaaaaa.

  • @tanzalivetv
    @tanzalivetv 3 года назад +374

    wangapi wanataka tuwachambulie hii ngoma

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 3 года назад +3

      Mm hap

    • @iradiboni5272
      @iradiboni5272 3 года назад +3

      Tuchambulie Tafadhali

    • @namallakankalla3780
      @namallakankalla3780 3 года назад +18

      @@KimbaloEt-Ohms njiwa ni zile ndege halaf banda la kijijin ni airport chato

    • @kumwambaboymc4854
      @kumwambaboymc4854 3 года назад +1

      Tufafanulie

    • @risktaker4111
      @risktaker4111 3 года назад +11

      @@iradiboni5272 dada.. ni Mange Kimambi, Njiwa ni Ndege, banda kijijini.. uwanja wa Ndege Chato

  • @samuelmungai6310
    @samuelmungai6310 3 года назад +13

    This deep...🔥🔥shout out to Ferooz for bringing out the emotion on the hook.

  • @skabajunior4656
    @skabajunior4656 3 года назад

    Nyimbo mbovu inakamata namba one on trending wameisumbua sauti ya ferooz

  • @lazarobituro8644
    @lazarobituro8644 3 года назад +37

    I've struggled to find a proper way to put it but nothing sufficed more than "YOU GUYS ARE TALENTED"

  • @bigdaddyjumong461
    @bigdaddyjumong461 3 года назад +5

    Waliosikia kama #mama ni #prsnt #mama#samia wanipe #like✅🇿🇲🇿🇲

  • @shafyshabanmohamed9418
    @shafyshabanmohamed9418 3 года назад +1

    Madini kama Madini

  • @alphatissa9379
    @alphatissa9379 3 года назад +4

    Mwana kulitafuta,mwanakulipata,round hii sio ununio,Daraja LA mkapaaa....

  • @lucasjr5521
    @lucasjr5521 3 года назад +18

    Ushauri anapewa na Baba mkubwa wa msoga.😀😀😀😀😀 Ngonga Like za kutosha kwa #Rostam

  • @adammohamedi4482
    @adammohamedi4482 3 года назад +2

    Congrats Rostam.....!!!
    This how artist potrey things...Artistically...Hahhha!!!!

  • @canalybleez1306
    @canalybleez1306 3 года назад +15

    Wanaosema nyimbo hii angeshirikishwa nay wa mitego gonga like hapa🤙🤙

  • @phen255
    @phen255 3 года назад +89

    All the way from Germany, In love with the flow, 100 likes for we Tanzanians in Germany.