Baada ya kusikia kisa Cha mama diamond na baba aliyekuwa wa diamond kujulikana sio baba halali wa diamond ukaamua kuja kuangalia huu wimbo weka like yako tujuane
*Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini* ruclips.net/video/LMMcOLVk4rs/видео.html Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel
Hii nyimbo kali ina ujumbe mzito Ila toka imetoka ilikkua inasua sua mpka magufuli kaichagua kma ngoma yake bora ndo watu wakaamka kuanza kuitazama 🙄🙄 bongo mziki mzuri hausapotiwi hta kdg ila ile ya hovyo ya akina naniiii ndo inatrend balaaa na haina ujumbe wwte..
*Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini* ruclips.net/video/LMMcOLVk4rs/видео.html Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel
Nyimbo za aina hii ndizo zinazopaswa kuimbwa na wasanii wetu, sio matusi daily na nyimbo za kijinga jinga. Heshima kwako Stamina kwa ubunifu uliowekeza humu ndani, ingawa ulitaka kumzingua mshua wako, lakini ukubwa dawa Profesa Jay akakupiga knock out ya kibabe. One Six, umepiga Kona za hatari kwenye kolasi, much respect all of you guys.
Daaah ujumbe mzuri sema viewers kwenye nyimbo hizi huwa wachache.......hadi muda huu hata 1m bado watu wanataka mapenzi tu....wakati hii nyimbo imeakisi ukweli haswaa....katika jamii.....
Tumepewa shavu na Rais tayari daaah....nimeamini maoni ukiwa nayo ni muhimu sana huwezi juwa ya mbele I hatimaye umekuwa wimbo bora na kumbe wapo wengine wameusikiliza ✊🏻
Kiukweli wabongo tumemisi nyimbo kama hizi burudani plus elimu, bonge la hit song Mbunge uliyeibiwa kura big up..... Hii lazma ikae ikae on trending mwezi.
Tuliokuja kuurudia 2024 nipeni like zangu 🔥
Waliokuja kuangalia hii song baada ya kuombwa na Rais gonga like hapa
✌🏼
Me
Tupo
Jamaaa ametisha hatareeee..
ata mimi nilikua siijui
Mh rais anaisikiliza ndani ya channel ten pongezi kwa jpm rais wetu mpendwa
We ni nooumaaaa 👌👌👌👌👌
Kama wewe ni mkenya na unaukubali huu wimbo,ngoga like msela
Mm jamn kiukweli nampend cn
Who's here after The President said this is one of his favourite song's in Tanzania 🇹🇿 much love from KENYA 🇰🇪.
Mimi hapa 😃✋
I am here!
Me too🤣🤣🤣🤣
Me too
Am here
Baada ya kusikia kisa Cha mama diamond na baba aliyekuwa wa diamond kujulikana sio baba halali wa diamond ukaamua kuja kuangalia huu wimbo weka like yako tujuane
mama dangotmh
Yaaaap
*Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini*
ruclips.net/video/LMMcOLVk4rs/видео.html
Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel
Kwahiyo mama Diamond alikuwa Malaya si ndio?
Ngoma umetoka kabla ya Mambo ya mond
like kama umerudi apa baada ya Magufuli kurequest hii nyimbo
Hii nyimbo kali ina ujumbe mzito Ila toka imetoka ilikkua inasua sua mpka magufuli kaichagua kma ngoma yake bora ndo watu wakaamka kuanza kuitazama 🙄🙄 bongo mziki mzuri hausapotiwi hta kdg ila ile ya hovyo ya akina naniiii ndo inatrend balaaa na haina ujumbe wwte..
Wimbo unafundisha aiseee nimetoa machozi
Tujuane tuliokuja kuingalia baada ya kumskia mkuu akiongelea hii ngoma
Wanao SEMA Ihingoma ufikie mama diamond platnam na family yk like hp tujuwane
Hii ngome mahususi kwa familia ya mama dangote na mzee abdul
UMEUWAAA NITAFUT
Reality mama Diamond umesikia hii
😀😀😀😀
Noma saaaaaaan
Narudia Tena mtanisameee na team zenu hizi ndo nyimbo zinatakiwa kutrend bongo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Iko namba moja sahivi
Kuna watu mpaka waimbe matusi! Ndo watrend
@@ikrampoppe141 yaaa man
@@Fgldesigns 🙏🙏🙏🙏
true
Hii Ngoma imeweza Kenya nzima kila kona wimbo n huu 🇰🇪 safi professor Jay na Stamina endeleeni kuelimisha jamii 🔥🔥🔥🔥
One six one si one six nimemuita mara tatu ebu gonga like apo kama umeuelew the best chorus maker
Hapo hata linex mjeda angefunika pia
Nampa g nako namba mja one six anakuja vizurii
@@KingKong-db9zv hapna Yule muha hapo apamfai six kauwa
"Hebu toa bangi zako aliyekuambie usisome ni nani?"
Likes za Prof. J zikam👍
254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂ruclips.net/video/kGY6Tp8Du3E/видео.html
🇰🇪 atoe dom hapa😃😃
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Wangapi tupo apa kuskiliza ngoma ya stamina baada ya kuskikia jpm ameipenda gonga like apa😄😄
Nipo
ONE OF THE GREATEST MASTERPIECE BIN LADEN KUTOA THUMBS UP..HII NYIMBO NA ILE YA FEROUZ STAREHE ZIEKWE KWA SYLLABUS YA TANZANIA
Waliokuja hapa kwa kuwa JPM ameuchagua wimbo huu akiwa anazindua studio ya MAGIC FM!! Ila wimbo huu umebeba ujumbe mkubwa Sana!!!
Sanaa
Hata mie nimekuja baada ya jpm kuutaja
Tumekuja kwel
Sana nipo naangalia tena
Stamina huimba Hali halisi ya maisha nipeeni like wadau⚡⚡
Mmmh
Wangapi tumerudi hapa baada ya mheshimiwa rais kuipromot hii ngoma like tujuane
Nimerudia mara mingi .. almost every week huwa nawatch hii nyimbo
Mi Mkenya, naheshimu Tanzania na mashahiri yao and good story telling. Stamina, Prof jay (currently an MP) na One six, nawafulia kofia.
Naomba Basata wampe tuzo ya heshima profesa J
Huyu ndio legendary bora wa hip hop Tanzania
Nimerudia ii ngoma zaidi ya mara kumi..si nipewe likes mbili tu☺️
Dah hameimba sn
We jamaa zizd sasa zngine nigaie mm
A@a@a@@%@@ki se on more 8 ko ni lol my
Kama na ww umemuona mama Kanumba tujuane hapa kwa like na coment
nime muonah🙄🙄🙄🙄
@@husnahassan2124 Ni hgf
CG Rico wqqeei wifi Wawa fw
CG Rico wqqeei wifi Wawa fw
This song it make me crying!2claumu xana wazazi coz ha2jui mpaka cc 2mekua wamepitia magumu mangap!tena kuwapenda xana baba zetu!
Huwezi kuamini hiphop ilipoanza paka leo inapata 2Million viewers
Rais wangu Dk John pombe magufuri umenisababishia kusikiliza huu wimbo leo tarehe 25.02.2021
Tuko wote nami nimesikiliza Leo baada ya laisi kauomba
wallah hata mie mimerudia kuisikiliza tena baada ya rais kuipromo
Bless
Km mm hii tarehe uipende mwenye wimbo👌😂
Hata Mimi Jamani
Kwa aliyesikiliza zaidi ya Mara moja kama Mimi plzz like zikusanywe hapa!!
Wd
Nani anasema hii ngoma inamkosa ROMA MKATOLIKI? Gonga like kama una mawazo sawa nami.
Kweli kabisa
Hiyoooooooookookkkkkkkk
Hiiiiyoooooooooookkooooookiiii
Duh angekuwepo hata stamina mngeona hajaimba kitu maana yule mtu ni hatarii
Kwel
Mwenye amekuja hapa baada ya kauli ya Mzee Magufuli, gonga like tujuane hapa. Love from Uganda 🇺🇬
Kama umeona UJUMBE umewafikia wakina NYANGE au wakina DANGOTE.. NIPE malike zaidi na zaidi.
Simon binagwa
Tuliyo kuja kwa nguvu za JPM weka like hapa
Tupo wengi baada ya Baba kuuchagua
Tunaoamini hii michano Professor Ja ameumiza tu like hapa🙏
hivi hizi like za nn lkn mnaboa mjue
@@mramsayo1025 hahaaaaaaaaa
Dear my president Magufuli( Hero),i remember you through this song😥😥😥😥😭.Rest in peace Baba, we are missing you😭😭
Waliosikia korasi ya one six zetu apaaaaa jmn...🎵🎵
😂😂😂ruclips.net/video/kGY6Tp8Du3E/видео.html
Anajua sana
Nimerudia kuitazama zaid ya mara ya 5 ila huyu ONE SIX ni bonge la chorus maker 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ameuaa one six
One six ni noma sana
Jamaa anajua san
Kama umeona kiabango kimeandikwa masikini Diamond tujuane hapa
Waliokuja baada ya Rais kuukubali huu wimbo weka like yako hapa!!
Mie Apana
Wasanii jitaidini nyimbo zinazo ishi magufuli mi tano tena walokuja kwa niaba ya rais tuonane
Hii ngoma kali sana yaan daah ina mafunzo makubwa professa jay alipoingia mpka raha
Wababa tunaonewa Sana nivile tu Tumeumbwa kuyameza Magumu. Gonga like kwa Wababa wote.
Bonge la ngoma pia inafundishoooo makubwaaa kama umeelewa weka likeeee yakooo hapaaa
Baada ya Mh. Magufuli kuusifu huu wimbo nimekuja tena leo
wanaocheki leo like hapa twende sawa
Kabisa
Mungu Mkubwa aisee..Tuzidi kumuomba maulana Daima Na tumuamini tu yeye bila kukata tamaa.Amiin
Nimeletwa huku na J. P. M 🙏 🇰🇪 gonga like tusonge
Wimb wa Taif ...Mpk JPM kauelewa Gong lik Twend xaw🔥🔥🔥
Nilimiss ngoma za kikubwa kama hizi! Safi sana, Stamina.
Here for the love of MAGUFULI♥️
Chaguo la JPM hili👏👏 tia likes hapa.
Hajakosea kbs
I love Tanzania's contents they are musicians NOT singers ...get the difference!.... From Kenya spreading love only!!!
Sans2
Ebana ngoma Ni nzuri sana
They do arts, they do really reflect what society find out
Totally true
@@24seventv99 ...yah and they do what they are best at!
KAMA UNAAMINI STAMINA ALIMWIMBIA DIAMOND GONGA LIKE
Kwakwel
Hahahah
@@aaa64sa13 halikuwa Amesha juwa hivyo
*Tazama Lyrics ya wimbo mpya wa Zuchu sukari kwa kugusa linki hii ya chini*
ruclips.net/video/LMMcOLVk4rs/видео.html
Lakin pia naomba subscribe kwenye channel yangu ili niweze kumonitize channel
@@aaa64sa13 unadhan nani mlengwa kama si nassibu nyange😎
when two story tellers meet, what comes out is bombshell ,big up also to Laden
Kama unamkubali professor jay kwa vesee yake gonga like hapa
Njooi na huku kwa Simba la singeli
Kama umeuwelewa mstari wa profesa j wa ngawila like 🔥🔥🔥🔥
Msanii wangu bora wa muda wote Professor Jay
Bro the chorus is killing me❤
uyu one six namuona mbali sanaa daah bonge la collabo big up sanaa jay
Tulio furahi kumuona mama kunumba tujuane hapa kwa like😳
Am So happy kuona mamake the great kanumba
Ambao tunacheki hii ngoma twende sawa
Kama presdar anauskiliza huu wimbo na akauelewa pamoja na majukumu alionayo ww nan mpaka usielewe tupia like kwa magu kwa kuwasaport vijana wake😎
Ngoma tamu Sana Kama nawew unaamini naomba like jamani..mwanionea ata like moja mwaninyima kweli🤔
ruclips.net/video/GG-W8u0RWzo/видео.html
naona kama raia hawamuoni ONE SIX ivi kwenye hii ngoma... ila JAMAAA kiukweli AMEUA.
NGOMA KALI. KICHUPA KINAENDA na maudhui. aiseee ni FIREEEEEEE
Tuliokuja hapa baada ya raisi kuomba hii nyimbo
nimemfuata magufuli nilikuwa siujui huu rais uko vizuri
Hizi ndo ngoma za kuelimisha tunazotaka,rest in peace magwea,way bak miaka hiyo,,,
Mwanangu stamina unajua kaka....prof baba ya hiphop bigup mkuu
Mh Rais leo kauomba akiwa Chanel 10, kwa ujumla ni bonge la wimbo
Hapa duniani akuna wakumlaumu ukisha kua yaache tu ibaki ivyo❤
This song is on another level,I loved how Stamina has approched the song...Then legend Professor J...😍.....waah....wapi likes jamani... From Kenya🇰🇪🇰🇪
Nyimbo za aina hii ndizo zinazopaswa kuimbwa na wasanii wetu, sio matusi daily na nyimbo za kijinga jinga. Heshima kwako Stamina kwa ubunifu uliowekeza humu ndani, ingawa ulitaka kumzingua mshua wako, lakini ukubwa dawa Profesa Jay akakupiga knock out ya kibabe. One Six, umepiga Kona za hatari kwenye kolasi, much respect all of you guys.
wakenya tuweke likes ya stamina hapa..🇰🇪🇰🇪
Kuanzia leo bro Stamina nakuwa shabiki wako, uko wamoto saaaaaana.
Prof jay umeamua na wewe uvunje ukimya kama mama Diamond mnatuchanganya jamniiiiii, kama umeliona lisemwaloooo tulike hapo
Utajua thamani ya Baba vizuri mpaka pale ukiwa baba. Ndiyo siku utakayoacha kumchukia na kumlaumu Baba yako. Thanks Legend One six and Stamina
Well said
Tuliokuja huku baada ya JPM kuisect channel ten,gonga like twende sawaaaaaa
Hii nyimbo nilikua naona ona tu status zawatu tu kumbe ni nyimbo ya mwamba hapa bravo bro ila huyo sister nae kajitahidi kupotesa.
Mimi hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 naomba sehemu ya pili alafu jay mpe verse mbili 🔥🔥🔥
Are we just going to ignore those vocals of the chorus guy, please give him a like for me.That chorus is lit.
Absolutely...... Goosebumps
One six massive
The guy have high class vocal
@@wittywayimba9617 ya get
Daaah ujumbe mzuri sema viewers kwenye nyimbo hizi huwa wachache.......hadi muda huu hata 1m bado watu wanataka mapenzi tu....wakati hii nyimbo imeakisi ukweli haswaa....katika jamii.....
Wanaitadjj nyimbo za usharati tu dunia nimbaya kitu kizuri ivi ndo kibaya mbele ya watu
Nikweli wengi hawajui Kuskiliza ujumbe wanaskiliza mdundo na rington
Tumepewa shavu na Rais tayari daaah....nimeamini maoni ukiwa nayo ni muhimu sana huwezi juwa ya mbele I hatimaye umekuwa wimbo bora na kumbe wapo wengine wameusikiliza ✊🏻
Naangalia tena kwasabab na rais wetu kaipenda, ahsante
Kiukweli wabongo tumemisi nyimbo kama hizi burudani plus elimu, bonge la hit song Mbunge uliyeibiwa kura big up..... Hii lazma ikae ikae on trending mwezi.
Huu wimbo mpelekee diamond jamani #stamina uliona MBali sana bro respect
One six ft Roma one six ft stamina, one six ft roma_anaitwa Roma song dah! Huyu mwamba namkubal co poa chorus anaumiza vibaya mno🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jamaa waga ni jini huyu haiwezekan kila akiwekwa anaua vile
Huyu onesix 😍
Anauwa mzee ile Mkombozi Dah nilikuwa najaribu kumjua huyu kijana yuko vizuri ile mbaya...
@@joeaub2185 Tena hatar xn huyu mwamba
@@shambaprojects488 jini huyu mtu
Congo 🇨🇩 we are undestand 👂
Huu ndo muziki wa kusikiliza..... siyo yale matusi ya nguoni ya wale jamaa
Wananiuzi sana wale mabaradhuli, wao wanafikiri maisha ni all about sehemu za siri tu. Ni wale na majambazi. Mh. Rais kwapa za uso kiaina
Kwel wanaimba ujinga mtupu 👐👐
Anaye amani maneno ya baba ni makali fanya ku like.🤣🤣🤣🤣
This song deserves many views guys east africans where a you this is a a hit
ROSTAM love from 🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲 2024 mid Year Jam
nimekuwa wa 15 ku comment likes nyingi kwanguuuuuu kama huna roho kwatu sema nini ngoma kaliiiii ya kufungia January ya majangaaaaaa💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Naomba tujuwane walio rudia Iyi nyimbo badaa yakusikia Mama Dangote kamkana Mzee Abdul sio baba Diamond nipe like twende ifikishe 1 million
Ngoma kali gonga like hapa kama umeludia kuangalia zaidi ya mara moja
Daaaah namkumbuk magu hii 2024
One Six ni 🔥🔥🔥🔥" hata kama we ni mzazi muda mwingine nawaza nikuchukie" umeua sana mzazi
Sema we tu ni mzazi naomba like za watu jamanii📌📌
Duuh patakufa jitu hapa wacha n comment Ntarud baadae..
Achia like kma hpa uksubr mapinduzi cup ya stamina na professor j
Mimi nakubali sana hilo bet sio mchezo hamna bongo mzina wala halitotokea kama hilo mzee yani salut
Hebu toa bangi zako alokuambia usisome naniiii...!!!!!
Professor jay mo 🔥🔥🔥🔥🔥
Lazima ifikie million 5 baada yah;president kuipenda nyimbo hii
This is the reality to parents
Bonge la ngoma limepenya! Like za kutosha jaman leo mwenye nchi kaithibitisha ngoma kali mnooo.
All sides of the coin explained here. Kweli nobody should blame anybody. Good one @stamina 🇰🇪
Yani Kenya mshafika💕
Hapo Kweli
Daha aisee hiv stamina hihi ngoma mliimba kwaajili yangu au tupowengi maan umenigusa Sana mzee
🇰🇪🇰🇪🇰🇪☺️☺️😁😁
Stamina kama staminaaaaaaaa gonga like kama umeikubali ngomaaaaaaa🇹🇿
Ni Vibaya Sana kutuonyesha mwenzetu anayeishi na ulemavu(zeru zeru) unapotaja laana.Hiyo sio Laana kaka