"Jirani ananambia be humble, mmmh Be humble ukipiga kizinga unafunga mlango, that is ridiculous, is not fun am serious, am genius though inanitesa am notorious" mstari mzuuri saaana katika wimbo huu
Honger sana bro...wewe ni zaidi yao..napenda unavomtanguliza MUNGU kwenye kila wimbo wako..dua yangu kwako ufike mbali sana...ufanikiwe kuliko wasanii wote Tanzania maana unaona mbali sana#
Kumbe hiki ndio ulichokuwa unakifanya Roma Marekani!!!?😱😱😱 Nimeona tofauti kuanzi style ya ku-rap mpka aina Video. Aise ROMA we kiboko mashabiki tupo nyum yko tunaendelea kukusurpot
ROMA NITAHIDI SANA KUTUMIA HII TONE YA HUU WIMBO MKOMBOZI NI TONE MOJA NZURI SANA IMETULIA UMEBADILIKA 100% ILE YA MWANZO INAKUA KAMA INA KELELE NYINGII BIG UP BRO I LOVE THE SONG ❤️❤️❤️
Wanaume wote mnao omba like Nawaona mashoga tu mafala Mwenye nyimbo haombi like nyie kenge mnaomba like. Share Kaz Kama umeikubali Like ya nin? Umeimba wew mbweha
@Roma - Hii ni nyimbo yako ya kwanza mie kuipenda. Umefanya vizuri sana. Umesema mambo mengi ambao ni muhimu kuyasema. Tatizo langu, next time - hakikisha stori zako zina flow vizuri. Stori zako ziko "all over the place". @One Six - umefunika na chorus. Asante sana!!!!
Hope Roma will read my comment, bro this is beyond Music! You’r touching lives, ts like im listng to sm1 else, never been ur fan, hope you will take the industry by storm, be blessed!
This song is damn realistic to our life......conglats Roma.wasanii wajifunze kuimba nyimbo kama hizi sio kila Siku nakupenda,maumv ya mapenz,umeniacha meeeen there is a lot of thngz in streets za kuimba watu tuna stress kbao HONGERA ROMA.....ADORABLE
Nawaz hiz ngoma mbila ya madimpo na haistui,, zinawezaje kuipita hii ngoma!! Mm nazn #roma umenifungulia mwaka vizur.. Kuliko hao wanaoiga Jamaica na waoimba umbea, ngoma n 🔥🔥🔥🔥🔥
Shikamoo Vocally,,amefanya poa sana Tone imekaa poa sana,, Style,, hatari Mistari ndio sisemi Pure Bongo Flavour, Huku ndiko tunapaswa kuendelea nako,, Inapendeza wasanii wajifunze kitu ,, Shikamoo tena
Wanaume wote mnao omba like Nawaona mashoga tu mafala Mwenye nyimbo haombi like nyie kenge mnaomba like. Share Kaz Kama umeikubali Like ya nin? Umeimba wew mbweha
Na mtaani kuna dent nimempa mimba Ni mtoto wa mjeda muda wowote pila linaweza timba, na Sina dusco hivyo kwa doctor siwezi timbaaa, Kama umeielewa hii ngoma achia like
Oya nani amekuja kucheki Ngoma ya Roma mkombozi 2024... mwezi wa 8 gonga like apa 👍🏿😂
Niko apa 18 mwez wa 8 2024
@@sifatiimannakubal 3:59 ❤❤❤
30/10/2024
29 Wa 10 mwez
Kama kuna mtu anaisikiliza hii ngoma 2023 naomba like yake
January 2024 bado narudia hili gomaa🇹🇿🎁✨💐
Ukiendekeza ndugu utavuna magugu na Mungu huta muabudu...Kama umeelewa gonga likes hapa
E
Kwasbabu unao ..wakikosa maisha nlyanakuwa magumu .. #anyhow
Aminia mashemeki 🙏🙏
Gonga like kama umegundua roma ana hofu ya Mungu coz 80%ya nyimbo zake amemtaja Mungu
No 80% ni 💯%...
kwel kabisa
Anampenda na anamtegemea mungu sababu hana tumaini katika serikali
Shukuran
@@davidmagumba767 😁😁😁😁😁
Tanzanians kueni serious, a masterpiece like this should have 10 million views
Sema Huyu One six Kwa Chorus huwa Anaua Sana Kwa Sauti Yake 🔥🔥
Mathias Wambua nyimbo kali
Roma nakukubari sana yani kk
noma sana huyo jama
Aikataiii jeshiii
Natamani angekuwa weusi aungane na G Nako
0% Utupu
0% matusi
0% bangi
100% pure talent
AtMosphere Sports fact #mziki mzur
5% kishada
Sana 💯%kipaji
Tz for life
ruclips.net/video/2mMbXbTGlSg/видео.html
Hivi mkiomba LIKE ndo inakuwa vp yaani,
Ngoma kali sana hii 💪
"Jirani ananambia be humble, mmmh Be humble ukipiga kizinga unafunga mlango, that is ridiculous, is not fun am serious, am genius though inanitesa am notorious" mstari mzuuri saaana katika wimbo huu
Bigabu sana
Mstari umenyooka
🔥🔥🔥🔥🔥
Nakupenda bure 🥰
Kizinga ni nini? 🇰🇪😂🥴
Kama umeirudia MARA 5 gonga like tusepe mazee Roma u a the best,,my 2020 imeanza poa,,naombe bs ata 100likes znatosha
hata mm,naikubali
Sio mara 5, nimeirudia kila inapoisha
Wewe mara 5 mm siku nzima nipo naisikiliza hii ngoma sijabadili roma anajua hadi anajua tena 🔥🔥🔥
Kevi
Nakubal tupo pamoja
Kama unaamini Roma ndio fundi Wa hip hop na yupo dynamic gonga like twende
Nee
Ok
Ok by
😇😇😇😇😇👍😮😢😪😛😛😛😝
kwel ckupng.
Km umeskia tone ya roma imebadilika tofaut na ile tunayoijua gonga like1 tu inatosha.
Kabisaaaa imebadilika
I see...
Me nikajua nimesikia me mwenyew...
Ningeusikia audio bila video ningebisha sio Roma...
Kwa ufupi me sijauelewa huh wimbo kwangu mie . ..
Alikuwa .marecan apo
km ktu wa HipHop toka ktambo kuna mtu anaitwa #ROHO7 ndio kwambali namckia humu but all in all nikitu imekaa poa sana
kwa wageni wa mziki wa roma mtaona mabadiliko
Roma ni 🐐🐐🐐Hebu gonga like hapo chini. One Love from 254🇰🇪
Bonge la goma
@@rashidhafidh2174 has always I JM ni k
Hatar ukiendekeza ndugu utavuna magugu
Kenyans muko Wapi.... Roma kwao Ni kisauni MOMBASA wetu huyu... Kama Upo na Roma Like tujuane
Wanao mkubali Viva Roma tujuane apa 🌎🇰🇪🇺🇬🇹🇿
Mkali sana huyu jamaaaa
Roma namukubali sana
Roma namukubali sana
Wanaomkali roma nataka like zenu jaman
Gonga like kama ulidhani litakua goma la kuchana serikali imekua vice versa 😁
Haha your so perfect
Tatizo lako ni kuwa labda hujui fasihi, ebu sikiliza vizuri tena Sana, hajachana serikali Ila kuna Mambo kayaweka wazi dhidi ya serikali
@@hamzashabani4910 jaman kwani mi nimesemaje au umeona nimepinga alichokisema????????wtf
@@zeidytheislandgirl7616 amenigusa asilimia 98
@@Gemstonetz.255 hahahaha
Nataka nione nguvu ya wakenya kwa like hapa harakati bado zinaendelea Tanzania WAP like zen
Movement for mental change Uganda, Burundi wapi Rwanda
Kama huelewi kwa nini jaijafika 1m gonga like hapa
“...be humble?!..nkipiga kizinga unafunga mlango... That’s ridiculous!....hehehe...it’s not funny I’m serious....I’m genius...though inanitesa..I’m Notorious!!”
My fav part!😊
Apriciate
Nini maana ya hamble
@@lamekisimoni2809 humble inamaanisha '''mnyenyekevu'''
Honger sana bro...wewe ni zaidi yao..napenda unavomtanguliza MUNGU kwenye kila wimbo wako..dua yangu kwako ufike mbali sana...ufanikiwe kuliko wasanii wote Tanzania maana unaona mbali sana#
Kumbe hiki ndio ulichokuwa unakifanya Roma Marekani!!!?😱😱😱 Nimeona tofauti kuanzi style ya ku-rap mpka aina Video. Aise ROMA we kiboko mashabiki tupo nyum yko tunaendelea kukusurpot
No one like roma my nest hiphop in tz
Bloo uposahihi mungu azidi kukupa ujuzi uzidi kutuelimisha
Uyu mwamba genius sana yan wenye akili wanaelewa👍🏻👍🏻🤙
KAMA UNAAMINI HII NDIO NGOMA YA KUFUNGULIA MWAKA 2020 LIKE TWENDE SAWA
tunaanza mwaka kibabe zaid ila Roma ndie baba lao
2020 twende sawa
Mloyo Ally bado
Loma babalao nakubali umwaka wakimbize
poa mambo
Anachoimba Roma ndo nnachopitiakwa 80%....Ila yupo Mungu mkombozi wa kunifuta machozi nnapolia mwana🤲 we Baba🙏
fefenails and makeup exactly mungu yupo atanyoosha njia ako
Sana yan
Nilikuwa sijawahi kuisikia hii ngoma hadi miezi michache iliyopita. One of the greatest hits from Roma 🐐
Gonga like kama unakubali 👍🏾
Wimbo umingusa kiroho Nani kanguswa Kama mm tujuane kwa like 👇👇👇👇👇👇👇
mama wa kambo anamchuna baba baba akutupa urith wala pen
Mtoto wa kiume Kuomba like huo n umama, utaguswa na bolo la mkundu, kuma la babaako
Watu wasio julikan umenichekesh san
H8feie
Hi
ROMA
NITAHIDI SANA KUTUMIA HII TONE YA HUU WIMBO MKOMBOZI NI TONE MOJA NZURI SANA IMETULIA
UMEBADILIKA 100%
ILE YA MWANZO INAKUA KAMA INA KELELE NYINGII
BIG UP BRO I LOVE THE SONG ❤️❤️❤️
Mandahari ya hii nyimbo imemfanya aimbe hivyo, sidhani nyimbo kama Mr. President angeweza kuimba kwa toni hii isingeleta msisimko kabisa
Aliwah i2mia zaman ton hii aliimba na Chaby 6, leo kairejea tenaaaa.
Roma mkali wadau bigap xn me brayarn cosmas
Ni bonge la aidia
Mikesha ya kina bee ooooooo kudadeki onesix
Kama unaamini hii Ndo bests hip hop 2020 gonga like twende kazi😁
Very very best best song @amaizing
Still my favorite Roma song. Kwani alibadilisha jina? Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kweli ukiamini ndugu utavuna magugu
Huu Wimbo umenigusa Nimehisi Roma kaniimbia mm Mungu nibariki sana Sikati tamaa ww ndo kila kitu kwangu🙏🏻🙏🏻 Don't give up💪🏻💪🏻👊🏻📌📌💣
kama una mkubali roma like apa chini ajili yake
Wanaume wote mnao omba like
Nawaona mashoga tu mafala
Mwenye nyimbo haombi like nyie kenge mnaomba like.
Share Kaz Kama umeikubali
Like ya nin? Umeimba wew mbweha
hizo likes mnazoomba mnaenda kutolea posa au
Nipe mkundu nikufile kwanza ndo nilike
Alaf ngoma sio yako alf unaomba like
Kumbe Yupo Mungu Ninacho kijua ni kwamba Roma Ana hofu kubwa ya Mungu
This song has story of my life the things which I have been going through but by his grace,Almighty God I have been standing on my feet 🙏 God
Peter Millanzi God Bless You Bruh 🙏🏾🙌🏾
Good song
Tunahitaj comments kama hiz sio za naomba like
Hizi ndi ngoma za kuimba na si wale kuna dullah makabila apa 😛😛😛😀🤣🤣🤣😍😍😍💤💤💤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤳🤳🤳🤳
Mimi hapa naisikiliza kwamakini
Kumbe yupo Mungu, Mkombozi
Wa kufuta machozi
Pale unapolia mwana, we baaba. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This is music
Hii ni kurasa ingine ya achievement
👇🏾
andrew sewangi nakuamini
Aiseee akuna kama uyu jamaa anatisha naomben like zangu kwajili ya Roma
Mm Sina lakusem dah hakuna mtu km wew
Kumbe yuko mungu....mkombozi
Bin Laaden...
imeishaa iyoooo....
safi sana mkubwa Viva Roma🔥🔥🔥🔥
One six Hili Chorous 🙌🔥🔥🔥🔥
He is the only man can save bongo Hip Hop
Sure
You can say it again
L
Kabisa
bravo....hongera , ROMA. Kwa mziki mzuri,;; weka like kama umependa wimbo huu tuwe pamoja
Duh binge la nyimbo gonga like kama umeipenda
@@chagamaismail9136 hakika bonge la ngoma,
ROMA.UNADENI LA KUFANYA NGOMA KALI KAMA HII MZEEE 🔥
The poetry in this song is just so much adorable., The word play and a dope intonation. I'm always proud of this revolutionary singer! God Bless
Ppp p
Daaah roma wewe nyimbo zako zinanipa Sana ujasili pale ninapo kalibia kukata tamaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
@Roma - Hii ni nyimbo yako ya kwanza mie kuipenda. Umefanya vizuri sana. Umesema mambo mengi ambao ni muhimu kuyasema. Tatizo langu, next time - hakikisha stori zako zina flow vizuri. Stori zako ziko "all over the place". @One Six - umefunika na chorus. Asante sana!!!!
Roma hii kali sana, ulimsahau stamina kwa nini 😂😂(rostam )
The chorus🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯. One six is pure talent.
Ujx
Wa kwanza kucomment nipeni like zangu
NYUMBANI UTARUDI LINI🇹🇿 ? TANZANIA KUNA ROMA ALAFU 🇰🇪KENYA KUNA RABBIT(KING KAKA)
Arudi kufanya nn wakati anapiga kazi? Wabongo bana 🤔😂😂😂
King kaka namkubali Sana natamani angekuwa mtanzania
Hongera sana big brother ROMA kwa mziki mzuri....
Kumbuka pia tunasubiria shooting ya NAITWA ROMA...🙏
Hope Roma will read my comment, bro this is beyond Music! You’r touching lives, ts like im listng to sm1 else, never been ur fan, hope you will take the industry by storm, be blessed!
Hii nyimbo ukiiskiliza mwaka 2024 unapata funzo kubwa kwa hisia kali
Npewe zangu za Roma mazese 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻🇰🇪🇰🇪Kenya nmewakilisha🇰🇪🇰🇪
Jamaa ngoma zake wachache ndio tunaozielewaa
Hili goma mim kila siku nikama ngoma mpyaaa hii ni zaid ya gospel ni zaid ya mahubir ya mchungaji gwajimaaa ❤
Kwangoma hii roma mbinguni moja kwa moja na malaika wanaimbaaaaa
Kwann dada umeongea ivyo
Namba 1 Tanzania,hakuna kama Roma kimzk
Dah.kweli ulipopelekwa sentro ndugu awajakuja kukuona wakasema afadhali mwizi anatakiwa kuchomwa.ulivyotoka ukaenda kuwabusu wakasema unawasonya.ukaonaeeheee bora uludzako,ngomakali San lakin kak bongo utalud Lin? Tumekumic kwasas upo UK
Huyu mtu ni zaidi ya timu zenu za kina mama hizo. Sisi tusiokaa ktk timu za wacheza vikoba tujuane kwa LIKE hapa
Waited for this. Mi ndo wakwanza kuComent ama, na wapili kuview👌
Haya huu mwaka umeshamaliza tunga ya mwakani
Daah huyo one six ana laaana
Km unataman kumuona km mm gonga like
Hahaha
Atakuwa anaimbaga kwaya, waimba kwaya wabaya sana kwenye vocal😁😁
😂😂Kabisa yani najitahidi ku zoom nimuone simuoni ila ngoma imeenda video nzurii nyimbo nzuri bigup kwake
,Asante ROMA
This song is damn realistic to our life......conglats Roma.wasanii wajifunze kuimba nyimbo kama hizi sio kila Siku nakupenda,maumv ya mapenz,umeniacha meeeen there is a lot of thngz in streets za kuimba watu tuna stress kbao HONGERA ROMA.....ADORABLE
Msanii wangu WA hip-hop wa muda wote
Anajua sn,hizo punch line daaaaaa!
Mswahili Wa Tanga Unatisha 💯
Dunia ina mambo hadi jogoo anaweza taga…hahaaa…Much love from Kenya.
BAba hii Ngoma hatari aseee ✨✨✨✨♥️♥️♥️♥️ Roma Umeua Mzee
Kama ume enjoy sanaaa gonga like
Nawaz hiz ngoma mbila ya madimpo na haistui,, zinawezaje kuipita hii ngoma!! Mm nazn #roma umenifungulia mwaka vizur.. Kuliko hao wanaoiga Jamaica na waoimba umbea, ngoma n 🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ngoma hatr San bonge ya zawadi
Nimekuja tena 2024
Matumizi ya Likes n nini kwa anaejua anijuze well done Roma
Am in lov with his Songs,,who else like it
This is my best song
Me here😍
Me too. Tunamwita ROMA
Me
In love with you and the song.
Bonge la ngoma aiseee tongwe recod
Noma sana. 👊👊👊
Shabik ako waukweeee
Shikamoo
Vocally,,amefanya poa sana Tone imekaa poa sana,,
Style,, hatari
Mistari ndio sisemi
Pure Bongo Flavour,
Huku ndiko tunapaswa kuendelea nako,,
Inapendeza wasanii wajifunze kitu ,,
Shikamoo tena
iko gudy xan roma
Nakubali
Shikamooo zaidiii
Nadhan hapo akna mwakyembe macho juu walizan lbda watachanwa😂😂😂😂😂😂like nyiiiiing hapa
Wanaume wote mnao omba like
Nawaona mashoga tu mafala
Mwenye nyimbo haombi like nyie kenge mnaomba like.
Share Kaz Kama umeikubali
Like ya nin? Umeimba wew mbweha
Waambie wana ni boa Sana hawa kenge
Mamayeee
Aisee umemaliza kila kitu agiza kinywaji chochote unachotumia bill kwangu
😆😆😆😆 shikamooo kaka
wsenge Sana wnaomb like
macho k o
Kalisana
Dah noma sana hii ngoma sio poa Roma noma
From 254 Roma's dope bonge la ngoma kwa wasanii wa kuchana he's Top
Mkomboz tz 📢🔥
Lazima nilipe kodii😁😁
Like tz
one six ni sauti sol in one,,, baba la hip hop VIVA ROMA
Hii goma naipenda hadi leo
Roma mkali sana
Song of the year I personally relate to it ....2020 is our year to testify .kumbe yupo mungu mkombozi 🤔
Kabisa yaniii
Hi wambui hujambo
@@joojoyce1477 🤗
@@dokasalim943 sijambo :)
Tanga city Stand up 👆 Wanangu wa Tanga gonga like tujuane
Roma hujawah tuangusha wanao
Tanga Boy Cation
bdu
Tanga boy
Yeah Tupo hapa
Cheche Boy Enjoy My New Official Video Song.. ruclips.net/video/1N_f8LpIJTc/видео.html
SIDHANI KAMA KUNA NGOMA ROMA ALISHAWAHI KUANDIKA KAMA HILI SHIPA,HUMU KAFANYA KUFURU ZAIDI
MAMAMAMAMAMAEEEEEE
Na mtaani kuna dent nimempa mimba Ni mtoto wa mjeda muda wowote pila linaweza timba, na Sina dusco hivyo kwa doctor siwezi timbaaa, Kama umeielewa hii ngoma achia like
Uko vema kaka
One of the best song u've ever made...
Uyo One six ni hatari ingine....
Roma saluti
USANII ni kuelimisha jamii na biashara kaka ROMA UNAELIMISHA SANA👊
Came across this song a few days ago and I'm just in love with the lyrics and the flow🔥🔥🔥
boss niaje...😊
Tunaoisikiliza 2024 gonga like hapa
wimbo kali ajaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabu!!!!
Weka like hii video ni ya kwanza kwa Roma kuwa nje ya nchi