Roma - Zimbabwe [Official Music VIdeo]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 3,7 тыс.

  • @josephmbena611
    @josephmbena611 10 месяцев назад +155

    Tulio angalia tena hii ngoma 2024 like moja hapaaaa

  • @KhalidiMsuya-h6o
    @KhalidiMsuya-h6o 11 месяцев назад +273

    Kama unaangalia ngoma hii 2024 gonga like

  • @olengoko051
    @olengoko051 6 месяцев назад +95

    Watu wanaosikiliza huu wimbo 2024 gonga like

  • @TidoThefuture-fh4gj
    @TidoThefuture-fh4gj 5 месяцев назад +62

    kama yupo anayeangalia hii ngoma mwezi7(8) na kuendelea mwaka2024 gonga like hapa nikupe gift🎁 we mtu wa maana kabisa

  • @aclesaclemence8784
    @aclesaclemence8784 Год назад +52

    Kwa ukubwa wa tukio lililomkuta Roma ilipaswa nyimbo hii tufikishe 100 million.
    2023

  • @justinemgaya2810
    @justinemgaya2810 5 лет назад +237

    Alie kuja huku baada ya ngoma yake mpya ya ANAITWA ROMA twend sawaaa😍

  • @dullahkombo7295
    @dullahkombo7295 Год назад +8

    Mwana yuko zake 🇺🇸 lakini sisi tunaishi kwa misingi ya itikadi zake bado tunausikiliza mwimbo huu 2023

  • @alexlucas1964
    @alexlucas1964 7 лет назад +38

    Daaaaa bonge la ngoma ila nimependa pale kutekana tekana imani ya woga

  • @PeterWandameno
    @PeterWandameno 11 дней назад +2

    Nafunga mwaka na Zimbabwe Dec 2024

  • @Banokillertv
    @Banokillertv 4 месяца назад +7

    good song roma like hapo kama umeusikiliza huuwimbo 2024

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 7 лет назад +36

    najua unastahili tuzo japo watakunyima ila hakuna kama .roma labda kedriki lamar tu big up roma sote tutakwenda .ZIMBABWE

  • @marshallbaraka3109
    @marshallbaraka3109 5 лет назад +46

    Siogopi kufa ILA nawachaje wanaobaki??RESPECT

  • @hopemanrevocatus1472
    @hopemanrevocatus1472 7 лет назад +23

    kutekana tekana huu ni uhuni wa kishamba weka bunduki chini si tubishane kwa hoja respect broo god bless you always

  • @adminjobika6537
    @adminjobika6537 7 лет назад +85

    ONE OF THE BEST LINES IN THE SONG "ulikuja mwenyewe ama ulipewa ORDER!"

  • @onesmokidava3383
    @onesmokidava3383 5 лет назад +676

    Jamaniii Nani 2020 Bado amekuja kusikiliza ngomaa Hiiiiiih Tujuane kwa like Kama zote

  • @charlesskileo3671
    @charlesskileo3671 7 лет назад +19

    Baba roma tunakukubali sana n ngoma zako zote endelea kufunua maovu usiache baba sisi tuko nyuma yako kwa maombi n sala hawata kuweza mungu akujalie maisha mareeefu sana

  • @jeviounipers
    @jeviounipers 7 лет назад +215

    Mungu wa Paulo [Makonda], ndyo Mungu wa Daudi [Bashite], Mungu wa John [Pombe], wanamuita Yohana, Wayahudi... dah huyu jamaa kaongea kwa lugha ya sanaa iliyotukuka

  • @NestymwampambaMwampamba
    @NestymwampambaMwampamba 7 месяцев назад +15

    ivi tupo wangapi tunao endanayo 2024 like hapa ni ❤❤❤❤

  • @gervastweve8612
    @gervastweve8612 7 лет назад +69

    nakwenda zimbabwee
    zimbombo
    iyelele mama weeeeeee, hatari saaana, Like hapo before 500000

    • @lazaromichael351
      @lazaromichael351 7 лет назад +3

      this music is on heat;iam very proud to be with a good artister like you steel up my man

    • @lazaromichael351
      @lazaromichael351 7 лет назад +4

      so fun

    • @gervastweve8612
      @gervastweve8612 7 лет назад +2

      imefika 500000 , wanaosubir million view like hapa, najua ni siku tano tuu

    • @edwinjofry1150
      @edwinjofry1150 5 лет назад

      twende jaman

  • @josephtv3805
    @josephtv3805 7 лет назад +128

    Joseph from Nairobi Kenya nasma hii ngoma imenibamba mbayaaa. Respect Tanzanian

  • @lyricsonly27
    @lyricsonly27 11 месяцев назад +8

    Bonge moja ya kazi, mikono ya prod.geof masta, RIP brother .2024 still a banger

  • @bakariali4026
    @bakariali4026 7 лет назад +6

    hii ni ngoma kali sana na yule mbunge aliekuambia umemtukana raisi hajitambui yule si anaitwa kessy ,,,daa walisema utaonekana jumapili ndo vile vile duuuuu,kwani kua ukawa kuna tatizo gani jamani ,mhh sitaki simba wachukue ubingwa kwa vile mm ni mshabiki wa yanga ila kama huo mfano ulotoa utafaa ukawa kupata nchi wacha simba wachukue tu

  • @credojames7082
    @credojames7082 7 лет назад +18

    wimbo uliojaa hisia much respect tukutane harare

  • @nellymurphy8553
    @nellymurphy8553 5 лет назад +179

    Nani kapita huku hii 2019? Nipeeni likes basi. One love

  • @ntemigarany1208
    @ntemigarany1208 7 лет назад +8

    daaah nakuelewa sana ujawah kukosea ila hii melody napoickilza tu naona choz lina taka kutoloka kwenye jcho GOD never leave ur lonely

  • @ibrahimutenga5260
    @ibrahimutenga5260 7 лет назад +73

    This song reflects the real prevailing situation, it's very sensitive song, congratulations to you brother, God save you

  • @susans.s4609
    @susans.s4609 6 лет назад +40

    I like Tanzanian music, of all the other things,you people are really talented in music,big up. congratulations Roma , welcome to Kenya n do some show...

  • @robinedson
    @robinedson 7 лет назад +56

    Dear RUclips wekeni button ya replay.......I dont understand this language but HUU WIMBO UNAENDA KUA WA TAIFA SOON....

  • @tajirimtoto1729
    @tajirimtoto1729 7 лет назад +12

    Fire
    Fire
    Wape Habari wenye
    Habari zao kuwa mzigo
    Tayari
    Gonga like hapa kuonyesha umeukubali mziki mzuri

  • @gladieapolinario8790
    @gladieapolinario8790 5 лет назад +32

    Nani kapita buku baada ya kusikia "anaitwa Roma"
    Gonga like

  • @frankchecktime9094
    @frankchecktime9094 7 лет назад +5

    Ila humu duniani kuna watu wanajua aiseee kwanzia uandishi mpaka style Roma weee noma broo

  • @dagohassan1301
    @dagohassan1301 7 лет назад +36

    Bonge la Ngoma, Bonge la video.. Hongera sana kaka

  • @tonymverah5630
    @tonymverah5630 4 года назад +69

    I'm kenyan but this guy is the kind of people the government should support and not threaten. His in an insight and inspiration..a true definition of "kioo cha cha jamii" its official, ROMA MKATOLIKI is my favourite African musician. Deep poetry and meaningful words. Sio kuimba tu pombe na wanawake...Big up my brother ROMA, siku hazigandi...yatapita yote haya urudi nyumbani

  • @dinoboyarnold661
    @dinoboyarnold661 7 лет назад +19

    Viva romaaa vivaaa ngoma Kali sana

  • @ajcreativebrand4921
    @ajcreativebrand4921 7 лет назад +20

    Roma... Unaimba kwaajilii ya watu Mungu ni Mungu mwenye haki usirudi nyuma

  • @magdalenaandrew5457
    @magdalenaandrew5457 4 года назад +1

    Yaaan Kaka unanikosha na nyimbo zako nakupenda bureeeeeee

  • @zamoyonimhanga9500
    @zamoyonimhanga9500 7 лет назад +4

    Yaan hii ni hazina ya Tanzania bhana roma sikutegemea angeendelea na harakati hii!! Mega super

  • @richardommy1610
    @richardommy1610 7 лет назад +14

    Wimbo wq taifa huu...big up roma...kamq tupo sawq angushq like..

  • @emanuelotamba3863
    @emanuelotamba3863 4 года назад +10

    huyu ndo rapa bora wa Hip hop Tanzania!! I Love I Love Hip hop

  • @FAMASIKITAA
    @FAMASIKITAA 7 лет назад +14

    Nazan hii ngoma itahiti mpk mwaka unaisha halaf ngoma za mkubwa Roma hazichujavi yaan shoutout broo and much respect

  • @rebeccamtima625
    @rebeccamtima625 7 лет назад +9

    Wewe kaka roma ni zaidi ya noma duh

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 года назад +23

    Nani kaja kusikiliza hii ngoma baada ya kusikia kifo cha mag 🇶🇦

  • @mvungigaming
    @mvungigaming 7 лет назад +32

    Duuh so sad na utu uzima huu machoz nimeshndwa kuyazuia,thanx pia kwa kunifikirisha......viva Roma viva....

    • @bulaoriginal305
      @bulaoriginal305 7 лет назад +4

      Simjui sana Roma wala kufuatilia nyimbo zake lkn huu wimbo umeniliza. Msg imefika jipe moyo....mtetezi wako Mungu aendeelee kukutetea.

    • @saumumresh3667
      @saumumresh3667 7 лет назад +9

      Blandina Bilau uko km mm cjawahi kumjua roma ila huu wimbo umenikumbusha mateso niliyo pata saudia arabia kweli mungu co wa mtu mumoja

    • @bugombatv2166
      @bugombatv2166 7 лет назад

      safi sn kk

    • @moshiyetutv3748
      @moshiyetutv3748 7 лет назад

      Saumu Mresh hahahaaaaa saudi Arabia tene

    • @saumumresh3667
      @saumumresh3667 7 лет назад

      Mnzava TV eee nilipitia kweli huko co mahali

  • @huss3yin
    @huss3yin 7 лет назад +247

    KWA NGOMA HII ROMA UMEUA MZEE BABA
    WALIODISLIKE WOTE WACHAWI TU
    GONGA LIKE TWENDE SAWA HAPA

  • @OscarPsalms
    @OscarPsalms Месяц назад

    Hata wakigawa tuzo kiundugu mimi niko nyuma yako mpaka pumzi yako ya mwisho mwanaharakati.much respect my brother roma

  • @fredrickvituskebero5071
    @fredrickvituskebero5071 7 лет назад +6

    kweli aisee..bora kwenda Zimbabwe tu

  • @salimomarmkapa
    @salimomarmkapa 7 лет назад +5

    Mimi kwangu ningekua natoa award zote zingebebwa na Roma viva sana brother and live longer youre needed in this industry

  • @patrickngolo1756
    @patrickngolo1756 4 года назад +1

    Napenda nyimbo za Roma Sana ,,,huyu fundi stadi Sana,,imba Roma mkatoleki Imba

  • @metuselakamanzithedon1764
    @metuselakamanzithedon1764 7 лет назад +27

    Dahhhh kaka mkubwa
    Mtetez wetu sisi wanyonge
    Big up sana kwa bonge la ngoma

  • @ndongonyambalya6816
    @ndongonyambalya6816 7 лет назад +45

    Nina wasiwasi we #Mkatoliki hicho sio kichwa ni semi-computer, kwenye Mungu wa John na Daud hapo nimefikiria hadi najikuta nurudiarudia kusikiza, U deserve bro! Gat u! 100%√√√√

  • @aksantedeborah7913
    @aksantedeborah7913 5 лет назад +37

    Who's here 2019-2020?
    Still sad some people's wanaonewa kabisa 😭😭😭

    • @sashaqueentz2917
      @sashaqueentz2917 4 года назад

      Uyu mkaka akifumua y moyon ana kufa 😢😢n mistar yake uwez kuiga kuimba

  • @salehsalum4690
    @salehsalum4690 7 лет назад +43

    Aan Roma unavyojua kufikisha ujumbe kwa fasihi ya kitaalam dah utadhani ulisoma ma HKL kumbe PCM .much Appreciate to you big broh

    • @eliasmandela2755
      @eliasmandela2755 5 лет назад

      Hatareee organist mamatu do

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 года назад +1

      Huyu alikua mwalim tanga akaona hapati pesa ndio akaona aimbe tuu

  • @msafiriwebiro614
    @msafiriwebiro614 7 лет назад +7

    anatabiri kuwa tunakoelekea Ni Zimbabwe na mkumbuke mtawala wa Zimbabwe Ni nani na utawala wake Ni upi. mwenye masikio asikie na mwenye macho aone. Viva Roma viva

  • @yahyaally364ally2
    @yahyaally364ally2 5 лет назад +18

    Wangapi wamekuja kuichek hii ngoma november 28/2019 gonga like

  • @damianshirishama3918
    @damianshirishama3918 7 лет назад +111

    As a Zimbabwean someone tell Roma we would love it if he comes to Zimbabwe.

    • @Muganyizi
      @Muganyizi 3 года назад +6

      U have to understand that this is literature Zimbabwe is always termed as dumping political states..... So here an artist has used such name to Deriver his intention to our society. Note that....further welcome Tanzania home of peace.

    • @ismoodmohamed4581
      @ismoodmohamed4581 2 года назад +1

      Kaakkkkakk

    • @isdorynyoni9461
      @isdorynyoni9461 2 года назад +9

      The best interpretation for Zimbabwe in this song is "a safe haven for the oppressed"

    • @edwinmwenda7772
      @edwinmwenda7772 2 года назад +2

      Send me some cash bro. I hear you are selling toes for millions over there hahahaha

    • @starnfordmihungo653
      @starnfordmihungo653 2 года назад

      @@Muganyizi aàqaàaàààqqqqàa11q11q11qqqààaà

  • @allymalick5959
    @allymalick5959 7 лет назад +90

    tuekeni uteam pembeni this song deserve 2M views
    mshazoea mapenzi huku mnakufa na magonjwa hospital dawa hakuna
    tukesheni mpaka kieleweke still no 1 on trending 😊😊😊

    • @sarunijoel8281
      @sarunijoel8281 7 лет назад

      Anahitaji zaidi ya views 40 milioni hii jaa siku moja atakuwa kiongozi

    • @richardsonwayne1107
      @richardsonwayne1107 7 лет назад

      wakenya tunawasaidia kweli.Mtandao wenyu huezi fikisha milioni mbili.

    • @dayannadaniel1122
      @dayannadaniel1122 7 лет назад

      Ally Malick 💕💕💕

    • @moranilesoile9125
      @moranilesoile9125 5 лет назад

      Ally Malick 8

    • @na0m1fes51
      @na0m1fes51 5 лет назад

      😉😂😂😂 umeongeaaa point kabisaaa 👏

  • @JoelTweve
    @JoelTweve 3 месяца назад

    Nyimbo za ROMA zina ishi ,,,,namkubali huyu Jamaa atariiii

  • @kamwakarwe4192
    @kamwakarwe4192 7 лет назад +137

    Na ripoti ya upelelezi vp akiiteka mtekaji???? Gonga like km umemuelewa.

    • @josephjosephat7826
      @josephjosephat7826 7 лет назад +1

      Sam Salgur hahahahhahahahaaaa!

    • @amoursalim1693
      @amoursalim1693 7 лет назад +1

      Sam Salgur Hahahaaaaaa pasua kichwaa

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 6 лет назад

      🔥🔥🔥🔥💯💯💯🙋🙋🙋👍👍✌✌✌✌✌✌✌

  • @bayserjr4713
    @bayserjr4713 7 лет назад +25

    Safari Ime Wadia+ Tuna kwenda Zimbabwe Big up san Mkatoliki

  • @josephferdinandy9823
    @josephferdinandy9823 Месяц назад

    2024 bado tunaangalia nyimbo kali yenye tungo tata, asante sana kaka Roma 👏👏👏

  • @kidahyarevocatus8203
    @kidahyarevocatus8203 7 лет назад +8

    Yeah mbaba waambie.....family first

  • @iddimoshi8459
    @iddimoshi8459 7 лет назад +27

    Always ROMA stays true in his heart, believes in himself and work hard.
    The best song ever!

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 5 лет назад +1

    Daaah! pole sn jmn kakangu Roma wangu mashairi yako yanitoa machozi!

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 года назад

      Mihata nikisikiza tuu machozi yananitoka yani ninyimbo yakuuzunisha

  • @Kwakwarazi
    @Kwakwarazi 7 лет назад +15

    Indeed this guy ROMA is a real prophet.I could`nt understand the meaning of this track until it happened hre in Zimbabwe. We as Zimbabweans changed the Leader.

  • @agustinomgimba3806
    @agustinomgimba3806 7 лет назад +10

    duh polesana kaka umeimba kwahisia sana dah wewe mkali

  • @husseinmahenge3176
    @husseinmahenge3176 3 года назад +1

    Daaaa! Nakukubal Roma ilinitia machoz

  • @chazkoillah2652
    @chazkoillah2652 7 лет назад +6

    Ngoma nzuri viva Roma viva.... #naendaZimbabwe

  • @johnfungo7738
    @johnfungo7738 7 лет назад +17

    Bonge moja la ngoma God bless you kaka Roma

  • @VayleFrançois
    @VayleFrançois 2 месяца назад +1

    Ngoma hii ina tuliya sana,pia ina mafunzo mengi sana,mimi bado naisikiya hadi 2024 na kuendeleya

  • @asadiqbal3255
    @asadiqbal3255 7 лет назад +119

    I don’t understand this but it made me emotional
    Wonderful choreography
    Soulful music
    Love from Pakistan

    • @RAYJEEZYY
      @RAYJEEZYY 5 лет назад +6

      Its kinder deep messge abt gverment n his life wen he was kidnapped

    • @isomerdumelahisabati4832
      @isomerdumelahisabati4832 3 года назад +1

      He kidnapped by unknown people , thus why he thanks people all WHO find him for three days

    • @watatesa
      @watatesa 3 года назад +3

      @@isomerdumelahisabati4832 hapa nayo ungeongea kiswahili😁😁

    • @allyally2763
      @allyally2763 Год назад +1

      Nipo mm huoni

  • @aggyekotiteez444
    @aggyekotiteez444 7 лет назад +9

    Ni balaaaa go goo goooo roma

  • @bowattanga
    @bowattanga Год назад +1

    wimbo noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooma sana !!!!!

  • @angeltaimia1432
    @angeltaimia1432 7 лет назад +107

    Nyie mnaodislike hii ngoma mungu anawaona au nyie ndo watekaji maana haiwezekani

  • @innomrema
    @innomrema 7 лет назад +9

    Kwa wimbo kutoka one week na views 1M ni kuonyesha kwamba watu wameukubali huu wimbo. Roma ni moja ya wanamuziki anayeangalia maslahi ya nchi na si kama hao wengine wanaonunuliwa. Nimependa pale anapoimba tubishane kwa HOJA na si kukamata watu na kuwaweka ndani. Big up ROMA upo JUUUUUUUUUU

  • @KataiMuhono
    @KataiMuhono 3 месяца назад +1

    Brother napendaga sana ngoma zako maana zinamaanaisha uchafu wanaofanya viongozi wa Tanzania HAKUNA KAMA ROMA NA HATOTOKEA FOREVER ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @beegee1894
    @beegee1894 7 лет назад +4

    Jamaa walivomteka wamempa zinga la kiki kwenye muziki na usanii hata mm nilikua simjui na sasa hv nimekua namba 1 fan

  • @westzonetv366
    @westzonetv366 7 лет назад +11

    nakubali sana bro roma viva sarut kwako 👈👉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Makonda uhuni wakishamba good sana

    • @amourhamdu7972
      @amourhamdu7972 7 лет назад +2

      MKALI TV bashite aache uhuni wakishamba

    • @westzonetv366
      @westzonetv366 7 лет назад

      kweli bro

    • @amourhamdu7972
      @amourhamdu7972 7 лет назад

      MKALI TV bashite uhuni wakishamba achaga kumaaaaaaamake ngoma kali roma sarut mzee baba umewauwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

  • @momosandro1292
    @momosandro1292 6 лет назад

    huu ujumbe umetufikia na ukitafsiliwa kwa kiingeleza yaani dunia watamuelewa zaidi mr zimbambwe from Tanzania

  • @xhebahazad6505
    @xhebahazad6505 7 лет назад +264

    WANGAPI TUNA SEMA NYIMBO NZURI
    MIM NIME IKUBALI

  • @fadhiliromwald
    @fadhiliromwald 7 лет назад +31

    ngoma kali naomba kufanya cover iwe kama heshima

  • @h.efrankii9849
    @h.efrankii9849 3 года назад

    Imba Roma imba..imba Roma imba..iiimba Roma imba...men.
    Who will crown this talent wa Tz nawakubali sana aiseehh.
    From.kenya with love

  • @gabrielsixtus1718
    @gabrielsixtus1718 7 лет назад +4

    Umetujibu maswali yote kwa pamoja nimeelewa Viva roma Viva

  • @rachealmayallah6649
    @rachealmayallah6649 7 лет назад +12

    can't just stop listening at ds song. Nakupenda Roma

  • @standardtv3494
    @standardtv3494 5 лет назад +9

    Kama bado hii ni nyimbo yako ya kukutia nguvu gonga like ......✌🏽

  • @hongikachwele9037
    @hongikachwele9037 7 лет назад +34

    hakika mungu hamtup mnyonge Roma pigan tunazd kukuombea ili kuielimisha jamii yetu ya tanznia

  • @yusufjuma264
    @yusufjuma264 7 лет назад +12

    Imba Roma Imba
    Nice One.

  • @yustinkivamba4721
    @yustinkivamba4721 Год назад +2

    Baada ya kusikiliza Ile 👉nipe maua yangu 👈 nimerudi na huku huyu mwamba ananifundisha kuwa makini gonga like tuondoke

  • @jumamichael4083
    @jumamichael4083 7 лет назад +27

    Uchambuzi kuhusu wimbo "Zimbabwe" wa Roma mkatoriki.
    Roma tangu kutekwa kwake na hata baada ya kupatikana alikuwa hajawahi kuimba wimbo wowote. Lakini sasa ameamua kutoa wimbo uliobeba "majibu" kwa baadhi ya maswali yaliyokuwepo katikati ya wana-jamii.
    1. Roma anaamini kuwa kupotea/kutekwa kwake serikali ilihusika kwa asilimia zote, japo anapatwa na mashaka ya kutambua ni nani aliyewatuma watekaji.Kwa Imani yake Roma, japo hakuona "nyota" begani kwa mtekaji/watekaji lakini anaamini ni polisi/Jeshi.
    2. Roma anaamini kuwa watu ni "vigeugeu",na wengine wanafiki.Wanaweza kukujaza na kukutia moyo kwa maneno lakini siyo kwa matendo.Hivyo wanaweza kuwa sehemu ya wewe kupata matatizo lakini ukishakuwa katikati ya dimbwi hilo wakakukimbia na wengine kukucheka.
    Kwa msimamo wa Roma ni kuwa, tatizo siyo kufa lakini je,hawa wanaobaki anawaachaje?? ikiwemo familia yake na ndg.zake.
    3. Roma anaamini kuwa kwa sehemu fulani rais Magufuli amefanya baadhi yaliyo mema lakini hajafanikiwa kufikia kiwango cha mwisho.Anaamini kuwa kuendelea kumuunga mkono rais ni sehemu ya kumpa support. Roma anatoa maoni yake juu ya utendaji wa Magufuli. Pia Roma anadhihirisha jinsi alivyomtabiria Magufuli wakati bado akiwa Waziri wa ujenzi. Hivyo hapa Roma, anajaribu kutueleza jamii kuwa ni kwa namna gani nyimbo na mawazo yake huwa ni ya kifalsafa.
    4. Pia,Roma bado anaendelea kuwaasa watawala na kuwakumbusha kuwa utawala wao siyo wa milele, ipo siku "upinzani" watachukua nchi.Kwenye wimbo wake, Roma anasema "ipo siku mtawala atakuwa mpinzani".Hivyo, Roma pamoja na kuzibwa mdomo na kuteswa lakini anaamini kuwa demokrasia ni njia pekee ya kukomesha udikteta.
    5. Kuhusu Mbunge Kessy aliyetoa maneno yake ya "kejeli" kwa Roma.Hapa Roma amemjibu kwa kumuonesha kuwa "ukibaraka" siku zote hauna faida. Malipo ya kibaraka ni sifa za maneno ilihali wengine wanafanyiwa kwa vitendo. Tatizo la vibaraka ni kuwa hujitoa fahamu ili tu kutaka kuonekana kwa ma-boss wao.
    6. Mwisho,Roma anaonekana kukata tamaa na Tanzania. Hii inatokana na sababu mbili;
    (a) Maneno ya chorus "nakwenda Zimbabwe",ambayo yanaashiria kuwaza juu y nchi nyingine tofauti na nchi yake.
    (b) Lugha ya picha inayoonesha wahusika wote wanamfuata Roma kule anakoenda.Pia Roma anafanya "gestures" au ishara zenye kuonesha kuchoka na kukata tamaa.

  • @jrcheddy6778
    @jrcheddy6778 7 лет назад +15

    Shout out to Roma hebu like it kama bado unaisikiliza track hii on Venus 2018
    daaah umeuaaa Mkatoliki,(listen it 3:12-16)

    • @joanithajoely5536
      @joanithajoely5536 7 лет назад

      iko poa na naipenda sana Hii ngoma maana niyakuelimisha mungu akutangulie ktk kaz yko

  • @davidmichealkitila2103
    @davidmichealkitila2103 6 лет назад

    kenyan fan number one and also a rapper many atimes nimesema Roma atatawala miaka Mia moja kama Kobe Na zaidi

  • @nellymurphy8553
    @nellymurphy8553 7 лет назад +4

    Hii hapa kazi ya ki-utu uzima... Kaza kamba namna hii Roma. Kazi nzuri inajiuza namna hii

  • @veroniceluziga1998
    @veroniceluziga1998 7 лет назад +6

    Dah kwa wimbo huu Roma umegusa vtu vng sana imba Roma

  • @nikkev3659
    @nikkev3659 6 лет назад

    ngoma kali sana il a unaenda kufanya nini il a ujawahi kutuangusha mkali wetu

  • @tusajigwekasigila6407
    @tusajigwekasigila6407 7 лет назад +48

    Dah!! Mungu wa Paulo Mungu wa Daudi Na ndio Mungu wa Jon Na ndio Mungu wangu Mimi nawewe dah!! Nimesoma mnyama natamani Ni like mala 💯 yaani imepenyaaaa hata kibabe haha Wapi Mujombaaaaaaaaaaaaa!!

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 7 лет назад +7

    Roma Mtetezi Wawanyonge Huu Wimbo Baanawe Dah 💥❤️🇰🇪

  • @fridahmghazo1262
    @fridahmghazo1262 3 года назад +26

    I just had to come back and listen to this

  • @richardlizomba3142
    @richardlizomba3142 7 лет назад +7

    Nyimbo imenigusa sanaaa.. I wish it's ma best song.. i feel, i was me.. God bless you.. This is hustling. every body should stand up to the right things..Keep it on going on...

  • @youngsonmuyombe3905
    @youngsonmuyombe3905 7 лет назад +10

    From Malawi,i have listened to the song as well as the video,it carries a very big message, more esp to our corrupt regime and does even understand the rights of its citizen, mind you all those who are in power remember that it was our effort,am just waiting Zimbabwe and for sure i will be with u Roma,the video ends as u read the group out of Zimbabwe big up my lovely rapper Roma

  • @simionmagson6885
    @simionmagson6885 3 года назад

    Yaani huu wimbo bado ni mzuri sana sijapata kusikia nimewaza ikabidi niutafute kuusikiliza!

  • @originmaisera7146
    @originmaisera7146 2 года назад +23

    listened to this when i went to Tanzania in June, it made me proud of my country Zimbabwe