Hongera sana mtangazaji nakupenda Bure unatupa vitu roho inapenda Mungu akuongoze vyema ktk kazi yako, Ahsante pia mrs Roma umejieleza vizuri sana Mungu akusimamie ktk ndoa yako
Yule mbunge hakujua alichokua anakiongea,Alishindwa kutofautisha kati ya ROMA na NAY WA MITEGO,maana wakati huo Nay ndo alitoa nyimbo ya WAPO sasa huyo mbunge ndo aliisikiliza hiyo ngoma ya wapo.
Abdu Babu,Nashwo Mwamba Roma hajawai kumtukana kiongozi kama umefatilia nyimbo zake zote na ndio maana the current government inatekeleza Yale aloyaimba Roma, Mbona waheshimiwa leo wanawakejeli watu wanawaita Vilaza hamuoni hayo acheni chuki haziwafikishi popote
pambana mwanamke mwenzangu nimeipenda sana hiyo mwanamke lazima huwe hivyo zidisha penzi mama achana na wambeya wa mjini Fanya kazi pambana na hubby wako
kwa waliokwenda Jkt wataelewa Zimbabwe nn kamaanisha,ni chenja ya kumtia mtu mzuka na ujasiri kusema kitu,ndo maana inaendelea anaimba imba Roma,sema baba wee,kumtia morali na ujasiri ,bt sio anahama nchi,ni nyimbo ya kwenye mchakamchaka Jkt
NI KWELI WENG HAWAELEWI "ZIMBABWE" HAIMAANISHA MNAVODHAN KAMA ANAFAGILIA HUKO NO AMETUMIA KUONESHA HISIA SANA INATUMIKA SANA JESHIN PALE WANAPO JITIA MOYO KWA KAZ JKT
Majaliwa Mgima hata mimi nataka kuhama nchi . MBONA nnaomba wimbo wa mchakamchaka wa wanajeshi waliokwenda kupigana vita, tungeni nyimbo zenu SIYO kukopi
JAMALI BWANA, MAPIMBI WALIKUWA HAWAJANG'AMUA HILO HUYU JAMAA NI JIWE SANA YAAN KAMA AKINA LUCK DUBE LONG TIME AGO WALIKUWA WANAGONGA VITU KAMA IVI.GONGA NYINGINE KAKA,TUNAKUSUBIRI, MAMBO YA MAMBAMBIO WAACHIE HAO HAO AKINA ....
Hongera sana mama Ivan kwakuonyesha ushirikiano mkubwasana kwa mumeo Roma /baba Ivan big up sana kwa Roma na mkewe
Hongera mama ivan wew jembe wimbo mzuri ujumbe umefika kwa mlegwa nauyo mbunge mvuta bangi ana lolote anaropoka.mungu atamuhukumu yeye
Atukuzwe mungu daima arise and shine
ukweli siku zote haujifichi hongera roma hongera mke wa Roma hayo ndiyo mapenzi ya kweli
daaaaa!!!!!!!!!!
we nikioo cha jamii iliyopo, iliyo kuwepo, na itakayo kuwepo. really God bless you,we're together.
i real appreciate this song. pia huyu mama ivan yuko smart sana katka kujieleza. much respect to you Mr Roma keep it on
Dada yupo vizuri sana. kweli ni mke, hana papara. barikiwa Roma family
Nimekupenda sana Nancy. Theway unavyoongea kiusitaarabu, ama Roma hajakosea, hongera sana mama Ivan.
hongera mm Ivan unajisitir
umetulia auna papara kwenye interview
Hongera sana mtangazaji nakupenda Bure unatupa vitu roho inapenda Mungu akuongoze vyema ktk kazi yako, Ahsante pia mrs Roma umejieleza vizuri sana Mungu akusimamie ktk ndoa yako
+Kelvin Shayo safi sana shemela
Yule mbunge hakujua alichokua anakiongea,Alishindwa kutofautisha kati ya ROMA na NAY WA MITEGO,maana wakati huo Nay ndo alitoa nyimbo ya WAPO sasa huyo mbunge ndo aliisikiliza hiyo ngoma ya wapo.
FARAJA MPOMBO .,.nimecheka sana alfu nukweli ilikiwa wapo ndio iko hewani
duh we mwanamke ni nimpambanaji Sana safi sana
Maman Ivane is beautiful and new song Roma hatari dahhhhh
yuko vizuri mama Roma amejawa hekima na Busara
Big up Roma sema ndugu mke umepata huyo ni Mpiganaji
thanks,a rhyme that is very sensitive song
Wewe kijana uko vizuri kwenye utangaxaji.....unawanawakimbixa sana a
Kabisa nakuunga mkono
Ritha Philemon Huyu dogo ananifanya nitulie kusikiliza video zake
mm mwenyew namkubali sana..kikweli yuko vizuri
+Kelvin Shayo we noma
Hongera shemeji....umeweza jitahidi kupambana big up xana
Kazi nzuri sana mwanangu #kelvinshayo mimi MWANAMAHUSIANO WAKO ARISTOTLE
Da! kibogo bongo is loss
Roma n ndugu yetu lkn yote tunamwachia sir god coz cc hatuna adhabu yyte yakutoa kwa kiumbe chochote
Mrs roma big up
Mungu akuzidishie upendo kwa mume wako
Roma hapa kati ya ngoma ulizo imba hiii imefunga rekodi zote mungu akubaliki saanaaaa tenaaa saana
Roma kapata Ninja kweli kweli
ukweli ngoma iko vizuri sana ina vuta hicia
mama uko vzr sana hongera Roma una mke jembe This is choice from God.
Love you dada una confidance had raha unafaa kuigwa
Nimeilewa sana Zimbambwe na sio kidogo much respect to uuu ma bro
Ongera san Shemeji Ma Ivan kwa kutambulisha ngoma ya Zimbabwe
Jaman Mungu akubariki Nancy kwa kweli umeongea kwa heshima sana big up
much respect mama Roma
Thank u Roma & mama IvaN
Duuuuuuuuiu!!!!!!!ngoma uko mwake siyo siriiiiiiiiiii
Good interview,kelvin shayo I missed your presentation
Kelvin Shayo kelvin nipo nchi za inje hila nakukubali kwa interview napenda unavyouliza kama utojali help me your number phone
Na mmi na kwenda Zimbabwe, big up sna kka roma.
Hongera sana Shemela yetu..kwa utu ulio nao
good music
asante Roma wimbo wako wa heshima kubwa sana tz kila mu2 anaupenda
So touching
Pole sana brothel Roma hayoo ndo maisha ya TZ
Ngoma imetulia saana. Nice interview kijana wangu.
Goma. Iko. Vizuri. Sana❤
I love that song
Ongera
vizuri mma Roma napenda xana
nimeipenda roma kapata mke
Mama ninjaaaaa big up
nawapenda Sana
Abdu Babu,Nashwo Mwamba Roma hajawai kumtukana kiongozi kama umefatilia nyimbo zake zote na ndio maana the current government inatekeleza Yale aloyaimba Roma, Mbona waheshimiwa leo wanawakejeli watu wanawaita Vilaza hamuoni hayo acheni chuki haziwafikishi popote
nakubali Roma
big up roma kaza but unajua maisha ni vita
Hongera mwimbo mzur
shemejii langu ninjaaaaaaa💪💪💪💪💪💪
Hii kauli ya kusema Mungu ndio anajua, Mungu ndie atakaehukumu, huwa inawapa advantage sana watu waovu, Kauli hii huwa haina afya.
wew mama Mbona mpana sana w
Good idea
great I.Q Roma
loma kaoa mwanamke mwenhe hekima sana nimempenda.
Roma Ni jembe anajua sana namkubali sana
Norbert Massawe
wazaaaap cool
shemej uko vizuli sana yani heshima sana umejaliwa kila kitu
nimeipenda Mama roma
Daa nafungasha naenda✈ ZIMBABWE
mama kazi nzuri sana
Ngoma Kali sana Roma kaumiza vbaya
OK Poa Sister
Mwanamke imaraaaa.nice saaana xhem
big up bro Roma chapa job
safi Sana Roma
Much respect kwako kev bila kumsahau Esther popote alipo
Shayo nipe mawasiliano yako mi nakusifu sana kwa namna unavyoweza kufanya interview yenye mpangilio mzuri
Huyo mbunge mungu atahuku tena anafuta bange!
pambana mwanamke mwenzangu nimeipenda sana hiyo mwanamke lazima huwe hivyo zidisha penzi mama achana na wambeya wa mjini Fanya kazi pambana na hubby wako
Palesyo Silingo hahahaha
big up sana mamy ivan
daaa niliumia Sana baada ya kaka kutekwa
ngoma Kali mno sana
kamuimba MTU wew sema hujaftalia vizur, kuna mbunge alisema et nimemtukana mkuu, nyingine aliye tabiri
Kaz saf san kaka
Kazi nzuri
nic dada
👊👊👊hii ni fireeeeeeeee
ata mm sna noma na Roma kwn n mpganaj wa kisiasa
Ivi nyie wanandoa musali dini ipi???
Mama ivani ni bonge la mwanamke aisee
Good
Kweli mama
Amen
good good
umoja ni nguvu safi
up romaa
And who is thumbing this down
kwa waliokwenda Jkt wataelewa Zimbabwe nn kamaanisha,ni chenja ya kumtia mtu mzuka na ujasiri kusema kitu,ndo maana inaendelea anaimba imba Roma,sema baba wee,kumtia morali na ujasiri ,bt sio anahama nchi,ni nyimbo ya kwenye mchakamchaka Jkt
Jamal Selemani
Kweli, umenikumbusha 832KJ
+Peter Eliya jamani nimekumbuka mbali baba na mama kuzimbabwe.daaaah wengine kweli832 pali tunyoosha sio kwa kulima kule
Lucy Mgulunde
Kumbeee, tulikuwa sote. Japo nimekusahau. Ila zile Chenja ni morari sana
NI KWELI WENG HAWAELEWI "ZIMBABWE" HAIMAANISHA MNAVODHAN KAMA ANAFAGILIA HUKO NO AMETUMIA KUONESHA HISIA SANA INATUMIKA SANA JESHIN PALE WANAPO JITIA MOYO KWA KAZ JKT
+Shyne Jiskaka ndio
Stick in truth don't fear born figther man don't loose hope human are the lost organism remember
mke wa roma kuna watu wamelia
nakukubali sn Ivan mumy
Mrs Roma endelea kuxali
#SuperWoman
Nakumiss sana we kska
tunaenda pammoja roma bongo nyoso twende zimbabwe
Ncly
Mwanamke mtulivu hana papara daaa walai bonge la wife material Mungu ni Mungu akujalie mema
duh! tz noma sote twendeni zimbabwe
big up Roma,
mhi
Mungu hamtupi mja wake mke wake anapambana na maisha yao vizuri sana ndio mawifi tunaowapenda sio hao wamajungu
Majaliwa Mgima hata mimi nataka kuhama nchi . MBONA nnaomba wimbo wa mchakamchaka wa wanajeshi waliokwenda kupigana vita, tungeni nyimbo zenu SIYO kukopi
kasema ukweli balaaa
Nyimbo hii naikubali sana!!!!
yu dada alicho kisema hata na mimi hule mstari nikisikia unaniuma kweli
JAMALI BWANA, MAPIMBI WALIKUWA HAWAJANG'AMUA HILO HUYU JAMAA NI JIWE SANA YAAN KAMA AKINA LUCK DUBE LONG TIME AGO WALIKUWA WANAGONGA VITU KAMA IVI.GONGA NYINGINE KAKA,TUNAKUSUBIRI, MAMBO YA MAMBAMBIO WAACHIE HAO HAO AKINA ....
Dogo nakkubari sana unaweza kuwa Raisi wa bdae!!
daaaaa!!!!!!!!!!
we nikioo cha jamii iliyopo, iliyo kuwepo, na itakayo kuwepo. really God bless you,we're together.
i think u might be one of a real example of a wife
Chrispin Joseph anatisha kka yuko vizur