EXCLUSIVE na MKE wa ROMA/ Afunguka KUTONGOZWA na SHETTA/ Alivyokutana na ROMA/ ROMA kuacha MUZIKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 133

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 4 года назад +41

    Huyu ndo mke kwangu naona wakwanza in EAC kwawasanii.respect ROMA

  • @danielicosmas137
    @danielicosmas137 4 года назад +35

    Anae mkubali mke wa ROMA namke wa Bab tale mareem shamy like zenu tujuwane

  • @stanleytango7012
    @stanleytango7012 4 года назад +23

    BIG RESPECT TO YOU MAMA IVAN.....SALUTE TO ROMA........MORE LOVE FROM 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fatmahussein9421
    @fatmahussein9421 4 года назад +161

    Km kuna mtu kagundua uyu dada ni mzuri alike apa

  • @allymavura7023
    @allymavura7023 4 года назад +29

    Hii bond ya Roma na mkewe imekaa poa sana! Mungu awabariki muishi miaka 1000..

  • @jerrixjax
    @jerrixjax 4 года назад +13

    Napenda hekima ya huyu dada akiwa anajibu maswari. She is so down to earth.

  • @jumaseif2140
    @jumaseif2140 4 года назад +17

    Watanga wenzangu shemelee nipen likes

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 года назад +26

    Huyu dada nampenda sana ni mstaarab sana anavoongea ,

  • @erickkalw8190
    @erickkalw8190 3 года назад +1

    Cette femme, je l'apprécie beaucoup. Longue et meilleure vie mum

  • @herbertkamote2213
    @herbertkamote2213 4 года назад +30

    Mwanamke anajitambua sana huyu

  • @emanuelzachariah312
    @emanuelzachariah312 4 года назад +4

    Ivo tu mises Roma yupo amazing sana Mungu Akupe maisha good 💯💯🇹🇿

  • @harrysam.1168
    @harrysam.1168 4 года назад +8

    She’s pretty and nice like you can see she has respect

  • @fadhilsanga2847
    @fadhilsanga2847 4 года назад +2

    Mke wa Roma ......... Anajitambua. Sana love you mama romaa

  • @utamuwaleo1970
    @utamuwaleo1970 4 года назад +19

    interview nzuri, mtangazaji upo poa sana, ila Mama Ivan pia umetisha

  • @saulimwakyusa3859
    @saulimwakyusa3859 4 года назад +3

    Dah unatisha sana mke Wa Roma salute unajitambua

  • @diocreshezron4087
    @diocreshezron4087 4 года назад +13

    Mm nawaombea muishi miaka 3000 pamoja nawakubali sana ndoa yenu

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 4 года назад +18

    Dah, Safi Nancy

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 4 года назад +1

    Roma ana mke mzuri hongera Bro Roma shemeji mkali kinomaa aisee

  • @canisiusibrahim9856
    @canisiusibrahim9856 4 года назад +9

    Roma kapata mke@mama Ivan

  • @shebbynasoro2556
    @shebbynasoro2556 4 года назад +1

    Mungu awape maisha maref nyie wail pam0j na wanenu

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 4 года назад +22

    Mke wangu❤❤❤

    • @joshuakiimay4194
      @joshuakiimay4194 4 года назад +2

      Hongera sanaa romaaa ....namwomba Mungu.......

    • @gbonetz2120
      @gbonetz2120 4 года назад +1

      Rhymes of The Magic Attraction R. O. M. A Hongera sana umepata bonge la Mke anaonekana Kujielewa sana Mungu awajalie Amanii Katika maisha yenuuuuuu

    • @FaridaFarida-ov2th
      @FaridaFarida-ov2th 4 года назад

      Roma rudi Tz bhana

    • @josephsilvester1413
      @josephsilvester1413 4 года назад

      Hongera sana Kaka Roma. Nakukubali sana fanya urud bwana

  • @zachaaaamosy8320
    @zachaaaamosy8320 4 года назад +4

    Eee mwenyezi mungu nakuomba unipe mwanamke mwenye hekima na busara kama huyu

    • @Aidhjuma
      @Aidhjuma 7 месяцев назад +1

      Udhampata au bado nikutafuyie😂

  • @fadhilsanga2847
    @fadhilsanga2847 4 года назад +3

    Mwandishi uko vizuri kazi nzuri sana

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 4 года назад +1

    Unaejirewa sana dada❤️❤️💐💐💐😘😘😘

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 4 года назад +2

    Dada nampenda huyu, hana hekaheka hana kujikweza kujionesha onyesha

  • @willyzan8658
    @willyzan8658 4 года назад +1

    Hongera Sana Shem lake kwa kujiamini

  • @daudinyanda2499
    @daudinyanda2499 4 года назад +8

    Mwandishi upo vzurii xnaa keep on moving utafikaa mbaliii maana unajitambuaa Sanaa kwa maswali yako mazuriii

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 4 года назад +7

    Mama Roma....💓💓💓💓💓💓

  • @JulienNgoy-qz1cu
    @JulienNgoy-qz1cu 8 месяцев назад

    Uyu Dada ni mzuri etiee

  • @manenotembo3356
    @manenotembo3356 3 года назад +1

    Mtaratibu Sana Shem ndio Safi Sana

  • @rosechalula1095
    @rosechalula1095 4 года назад +1

    Nimekumis sana Nancy wangu duu lv u mumy

  • @Wauswazi_Ke
    @Wauswazi_Ke 3 года назад

    Umefunguka sana Shem

  • @najfathertz6542
    @najfathertz6542 3 года назад

    Nawapenda sanaaaaa zaidi ya sanaaaa

  • @paulbuswelu1311
    @paulbuswelu1311 4 года назад +2

    Bigap sana

  • @hamzaseleman5604
    @hamzaseleman5604 4 года назад +2

    Nassi Nakupenda sana maana ni mwanamke wa pekee tu sana ila jistiri tu mwili wko yaan kichwa chako Allah bless u ww ni mfano wa kuigwaaaa

  • @lucasjames2102
    @lucasjames2102 4 года назад +3

    Mi pia nampenda uyuuu

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 года назад

    Uko vzur dada huna mishauo honger

  • @sadockjohn2460
    @sadockjohn2460 4 года назад

    Kiukweli Roma Ana mke bora sana roma hongera sana kwa kuwa na mke mwenye akili

  • @anthonyissa1660
    @anthonyissa1660 4 года назад +1

    Dah shemeji mzuri sanaaa dah

  • @kanutitv356
    @kanutitv356 4 года назад +2

    Kuna mambo mengi nime jifunza kupitia mahusiano ya roma na mama lay vani

  • @hydaxthedom5754
    @hydaxthedom5754 4 года назад +10

    Wanao isi Kama shetta alitembea na beat tujuane

  • @DaudiNungwana
    @DaudiNungwana 4 года назад +9

    Wanaotafuta swali kuhusu Shetta, ni kuanzia hapa 03:05 ...

  • @mmungalubunga4404
    @mmungalubunga4404 4 года назад +25

    Kweli mke wa roma msomi hata anavyoongea kunaashiria ana kitu kichwani

  • @zephaniapaul9592
    @zephaniapaul9592 4 года назад +2

    Sawa sawa

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 4 года назад +1

    Duh huyu dada hadi rahaaaaa jamn

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 4 года назад +2

    Roma muislamu kwani minijuwa mchrist khaaa jamani manshaallah.

  • @iddyamosi8048
    @iddyamosi8048 4 года назад +1

    Saf shemej mnyamwez sanaaa

  • @kidalinkidai9893
    @kidalinkidai9893 4 года назад +6

    asa shetta katokea wapi apo jmn mbn mnapenda kuchafua majina ya watu..? Sio poa

  • @furahasarakikya5676
    @furahasarakikya5676 4 года назад

    Beautifully

  • @gsnoopydoggy.9261
    @gsnoopydoggy.9261 4 года назад

    Anae oji maswari anaweza.

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 4 года назад +1

    Mzuriiii

  • @chamwenyeweamina1710
    @chamwenyeweamina1710 4 года назад +10

    ❤️

  • @ephraimrichard6701
    @ephraimrichard6701 4 года назад +1

    Kazuri alafu kapole alafu sauti ya mafua alafu rangi natural yani misifa kibao anayo

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 2 года назад

    Mwanamke mwnye sifa ya mke

  • @santaboy2413
    @santaboy2413 4 года назад +17

    Unapoandika shetta kumtongoza hujui kama anafamilia shetta acha kufanya ili liende wewe

  • @freenationonlinetv5100
    @freenationonlinetv5100 4 года назад +8

    👏👏👏

  • @chobalikosimon6459
    @chobalikosimon6459 4 года назад +2

    Mama ivan

  • @khalidjafary1120
    @khalidjafary1120 Год назад

    Waooo

  • @chumachakavu6664
    @chumachakavu6664 4 года назад

    Jaman shemeji nimekutaman

  • @grandmaempiresecret
    @grandmaempiresecret 4 года назад +5

    Jamani 😂😂😂😂 ,Kama mpenzi wa vitu vya asilia karibu subscribe Channel yangu.🙏

  • @amourhemed9752
    @amourhemed9752 4 года назад +8

    Roma kpata mke bwan adinaonawiv

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 2 года назад

    Mtoto mzuri

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 4 года назад +1

    Adileo marafiki zangu wakiume

  • @mwaminiwivine2840
    @mwaminiwivine2840 4 года назад +5

    Uyumama mupore namupeda

  • @salimsoko4259
    @salimsoko4259 4 года назад +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪 unakaa mpole

  • @rehemahussein748
    @rehemahussein748 4 года назад +3

    Nani kaona macho yake makubwa mazuri 😂😂😂watu wenye haya macho huwa ni bala

  • @agnesgervas8070
    @agnesgervas8070 4 года назад +2

    Mm huwa nakuja kuangalia ty anavyoongea kwa upole na mm najifunza kupitia kwak ili nikipata na mm family yng kam mme na watoto ntakuwa nimejfnz kumheshim mme wng

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 4 года назад +1

    Huyu demu ana macho mazuri aise, ila ya demu yangu yamezidi😎😎😎

  • @said306nyatu9
    @said306nyatu9 4 года назад +6

    Nitakuja saloon kwako Nancy

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 года назад +1

    Kwel

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 года назад

    😘😘😘

  • @magerebudodi8471
    @magerebudodi8471 4 года назад +1

    Shetta katokea wapi?

  • @selemaniissa5485
    @selemaniissa5485 4 года назад

    Upuz

  • @kasimmarko5513
    @kasimmarko5513 4 года назад +1

    Sasa kutomgozwa ni kawaida kwa mwanamke sabbu hata roma alitongoza ndio maana wapo wote.kutongozwa ni kawaida kwa mwanamke ni kama salamu tu kawaida sana uwezi kutafuta kiki kawaida sana

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 4 года назад +1

    Uyu demu Ni mkali tuache unafiki wadau

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 2 года назад

    Mukeanaturiya hatamunamuchafuwa

  • @rodgerthegreat9192
    @rodgerthegreat9192 4 года назад +3

    Hey upcoming youtubers si usubscribe kwa channel yangu nami ni subscribe kwa yako

  • @princejustine2732
    @princejustine2732 4 года назад

    Unajua nacny mia

  • @jjbornagain813
    @jjbornagain813 4 года назад

    Ila kadanganya eti hakuwa anamjua Roma kama msanii mkubwa hapo ameongopea.

  • @tasibuayubu9468
    @tasibuayubu9468 3 года назад

    V

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 года назад +1

    Sheta mfupi na kulamba mdogo kama Simba na Jux

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 Год назад

    Watanzania bwana eti Roma kapata mke Kwa hiyo wengine tuna nguruwe

  • @jumadulaz9370
    @jumadulaz9370 4 года назад

    sasa jmn huyo.mke.wakoma atakuwaje kungwi wakat yy mwenyew hajafundwa

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 4 года назад

    Zangu izo Kama tom fulani marafiki zangu wakiume

  • @hamisule3878
    @hamisule3878 4 года назад +1

    Mnn

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 года назад

    Shetta ni fisi. Kuna ile wakati alimbaka msichana wa kufanya massage huyo baba kaila hajafikiria kua malipo ni hspa hapa huyo mwanae yatakuja mpata

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 года назад

    Mwandishi elimu yako ni darasa la ngapi

  • @Worldwidetv901
    @Worldwidetv901 4 года назад

    Musistuke ni Upole wa Mitadaoo
    🤞🤣

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 4 года назад +1

    wife material,ila kavua pete ya ndoa kwa makengeza yangu

    • @mishynay9008
      @mishynay9008 4 года назад +1

      Una makengeza Pete anayo mkono wa kushoto

  • @deoijumba8843
    @deoijumba8843 4 года назад

    Huyu Mrs Roma mbona mnamsumbua au mnafurahi kusikia wameachana?

  • @shanuarilazaro9929
    @shanuarilazaro9929 4 года назад

    hahaha

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 4 года назад +5

    Anaetongozwa hasemagi wewe mnaaa

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 4 года назад

    Ndugu mwandishi ongela kwa maswali mazuli

  • @willyzan8658
    @willyzan8658 4 года назад +1

    Hongera Sana Shem lake kwa kujiamini

  • @mugadimon3563
    @mugadimon3563 4 года назад +3

    Roma kapata mke bond yao kubwa mno