Sema kwa sasa unaona wanao wanaishi vizuri na unawahudumia na wanafuraha lakini niamini endapo utaoa mwanamke mwingine tofauti na mama yao aiseee kaka watapata wakati mgumu sana kama.ningeambiwa niwashauri jipimeni kwa muda mliotengana angalieni uwezekano wa kuwa pamoja muwaleee watoto wenu kwa upendo ukioa mwanamke.mwingine haya unayoongelea hapa hayatakuwepo mawasiliano na wanao au akulelelee wanao duh kaka aiseee kaka Neema ya Mungu Iamue Mioyoni Mwenu kabla hamjamove on.
Brother kwanza hongera sna kwa kweli ktk maisha yangu nakua nakufiatilia sana kaka nakila siku nakuombea sana kaka nakuomba sana,niweze kukupata lkn sijui nakupata wapi kwa kweli kaka,nisaidie nikuone sana kak mm Niko Pemba,
Sijawah muona mkewe akihojiwa but ombi langu ongeeni mlee watoto family ya baba na mama ni nzur mno mm nimelelewa na momy tu na kisha momy kafarik tukiwa wadogo tukalelewa na bibi now keshafarik tupo wenyew tu na naomba mungu mno nipate mwanaume bora na mwenye hofu ya mungu
Huyu jamanaa ndio maana mambo yake yananyooka ingawa katengana na mke wake naamini yule mwanake anamuombea sana mungu azidi kukuinua ili ulee watoto wako kwa upendo huohuo
@21yrs bado kabisa Shetta alikua hajala ujana, ukizingatia ni msanii na by then alikuja kua maarufu hasa zile tracks kama Shikolobo etc ni wazi alikutana na ngozi nyingi sana waluwalu halaf ni pisi kali mzee damu inachemka pesa ipo, jogoo kick moja tu kavimba kama chuma, weeh sio rahisi kuvuka kituo aisee. Umri ule wa 20-35yrs ni vigumu mno kijana kujifanya una drive mwendokasi express we vituo unauza tu! Hapo kudumu ndoa ni ama mwanamke akuvumilie sana, au nae asilipize kisasi. Vinginevyo sio rahisi ukizingatia mazingira ya kisanii anayoishi Shetta. Nyie Mungu anasisitiza Upendo. Upendo kati ya mwanamke na mwanaume ambao sio ndugu asilimia kubwa hufikia kwenye kuoana na kuishi pamoja, kadhalika upendo huo ndipo Mungu alipoweka amri zake na nyingi huvunjwa na binadamu kwa kua shetani nae achezi mbali kushawishi. Atakuingia kichwani na kukwambia hii ni pisi kali, piga kama vipi, iba pesa ukaspend nayo, ua ie toa mimba maana ishanasa etc . Kifupi ujana maji ya motoo
Asnte sana kaka sky ni mejifunza ilikua mm na bimkubwa wangu simu yake akini pigia tu mapovu ama sheta amevaa uhalisia wamsanii kioo chajamii umenifunza kaka sheta 😭
Watoto wawili mrudie mkeo hakuna lisiloweza kurekebishwa miaka 9 mmeishi dah mkataeni shetani salini saana wekeni mambo Sawa Mungu ashindwi na kitu kikubwa kumtanguliza Kwa kila jbo
Mungu akusaidie ikiwezekana msameheane mrudiane Maisha ni yale yale mama k au Kaka shetta ebu jaribuni ku angalia kama mrudiane tena if it’s possible please
Malaki 2:16 NEN “Ninachukia kuachana,” asema BWANA, Mungu wa Israeli, “pia nachukia mtu anayejivika jeuri kama vazi,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote. Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, wala msije mkavunja uaminifu. NEN: Neno: Bibilia Takatifu 2014
Sheta ulifanya kama mimi nilichofanya ukiachana na mkeo na mna watoto ni bora baba ukaondoka wewe ukawaachia nyumba ukiendelea kutoa support kuliko kumfukuza mwanamke
Ndoa za bongo kuachana sana juu ya kupenda ngono wanaume wengi tunapenda kucheat na kuvuruga ndoa ,ni bora kukaa mbila ndoa kuliko kupoteza mdaa kwa ndoa
@@nurdinchilambo1486 wanachana san lakini siyo kwa kusalitiana eti akatiwe au akatie nje ya ndo wanachan kwa mfumo jike kwa sabb Europe mwanamke ndiyo mwenye sauti ndan ya nyumba
Shetta ajarib kutafuta hela yeye kama yeye kiume tuone na sio kupewa pewa kwa bahati hyku anajitamba kuwa maisha mazur ni yake hahahhha ww know this dude anawwza hata sema sns ni ya kwake😀
Siwez kuacha kuwahudumia wanangu eti kisa nimeachana na mama yao ila siwez kumuhudumia mama yao bora nichinjwe f**c nilipe Kodi yake ,,nilipe Fees za wanangu,,kula yake na tuligawana sawa kila tulicho chuma pamoja kama yeye n homeless aniachie wanangu
Anamtunza kwasabab bado hajaolewa, pia kulinda saikolojia ya watoto. Akiolewa bas atachukua watot wake na kumuachia maisha yake mazima. Maneno ni sumu, hzo chuki ndizo hupandikiza ubaya kwenye akil za watoto mpaka wanakuwa wakubwa wanakua wanaishi kimatabaka na wazaz. Unashangaa mzaz flan anapendelewa na mtoto kumbe mtt alikuwa na mentality mbov kuhusu mzaz mwngne tangu utoto
Hiyo roho ya kimaskini! Hiyo nyumba anaishi x wake au na watoto? Chakula anakula kiasi gani hadi umapowalisha watoto ushindwe kumlisha na mama Yao? Futa hayo mawazo kichwani mwako sio afya.
Possibly...Sheta kamaliza Shule ya Msingi Boman pale ilala 2004...Kamaliza Form IV benjamin Mkapa 2008....Kama alimaliza Mdogo sana form IV anaweza akawa alikuwa na miaka 16 na Kama alimaliza Mkubwa sana alikuwa na Miaka 18....Pigia Mahesabu kuanzia hapo na kuendelea.....So it is possible akawa ana hiyo Miaka
Sema kwa sasa unaona wanao wanaishi vizuri na unawahudumia na wanafuraha lakini niamini endapo utaoa mwanamke mwingine tofauti na mama yao aiseee kaka watapata wakati mgumu sana kama.ningeambiwa niwashauri jipimeni kwa muda mliotengana angalieni uwezekano wa kuwa pamoja muwaleee watoto wenu kwa upendo ukioa mwanamke.mwingine haya unayoongelea hapa hayatakuwepo mawasiliano na wanao au akulelelee wanao duh kaka aiseee kaka Neema ya Mungu Iamue Mioyoni Mwenu kabla hamjamove on.
Kwakweli mama wa kambo aje atuwavuruga wote
Umeongea maneno mazima sana
Kweli kabisa..
Umeongea vyema kabisa, for the sake of the kids, wangemaliza tofauti zao. Kama wanaelewana kiasi hiko nini kinawazuia kuwa pamoja!?
Amen
umekaaa miaka mingi ...... kuna mnyamwezi Byser salute sana kwake
Baba Kyler nakukubali Sana afu upo na bonge la mwandishi
Nimekupenda kaka endelea kupenda wanao
Shetta anakuaga na akili mingi ..maturity at it's best
Safi sana sio wanaume wengine wakigombana wanasusa watoto dhambi ajui watoto wanateseka badae wko vizuri wahanza kusumbua
mwanamume anae jielewa Allah akupe uzim
Sheta kumbe kiumbe safi Sana🙌
Brother kwanza hongera sna kwa kweli ktk maisha yangu nakua nakufiatilia sana kaka nakila siku nakuombea sana kaka nakuomba sana,niweze kukupata lkn sijui nakupata wapi kwa kweli kaka,nisaidie nikuone sana kak mm Niko Pemba,
Shetta ni mwanaume wa kuigwa💪💪💪
Wewe upo tayari unzalie mtoto ni ku treat kama sheta??
Ila nisikuoe
@@eladiuspeter586 sawa
@@eladiuspeter586 okay
@@khadijakheir9323 ntumie namba zako
Shetta full inspiration brother
Ni vizuri msije mkauana kitu chema ni kujali watoto tu
Mashaalah kaka yangu allah akupe subara kaka
This is real nice👍👌
Sijawah muona mkewe akihojiwa but ombi langu ongeeni mlee watoto family ya baba na mama ni nzur mno mm nimelelewa na momy tu na kisha momy kafarik tukiwa wadogo tukalelewa na bibi now keshafarik tupo wenyew tu na naomba mungu mno nipate mwanaume bora na mwenye hofu ya mungu
Pole Sana lakini endelea kumuamini Mungu na usiwe na haraka atakupatia yule roho yako inamtamani.
Amiin
this is what i call maturity
Maturity wapi Uporo unapashwaa 😂
Huyu jamanaa ndio maana mambo yake yananyooka ingawa katengana na mke wake naamini yule mwanake anamuombea sana mungu azidi kukuinua ili ulee watoto wako kwa upendo huohuo
Mwanangu san.. sheta the don
Ubarkiwe hadi ushangae bro wanaume wote wa rika lako wangeipata hii akili dah watoto wasngepata tabu kitaa
Vizuri sana , watoto hawana makosa.
Masha laah❤
Ni kweli kabisa
baba mzuri kwa jamii❤❤❤
Swadakta kuowana Kwa wema kuwatana Kwa Amani👏👏
Nice
Safi mkuu
Vip kakah nakuhusu daimond kukut#mbea mke
Natamani interview iendeleeeeeeeeeeeee
Ongera kaka
Safi kbxaaa hku kwetu mkiachan ni majang matup yaan full kuchamb status nimekutan na x wngu amekonda mmbwa yule na emoji ya kukunyal juuu😏😏😏
Nimechekaaaa😁😁😂😂😂🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Shetta safi sana
Dude you so fucking strong Man eehh sio mchezo
Sema jamaa kawa boss bwana saivi
Uko vzr san, wanaume jifunzeni kwa huyu kuachana hamna vita
Mwamba mzungu sana huyu 😂
Mno! Nimempenda bure! Huyu ni Mbongo kweli au ....
Yani ndo najua leo 31/12/2023 kuwa sheta aliachana na mkewe
ongea kiswahili bwana ,unazingua
Profeda jay amekaa muda gan
Mrudie mke wako una watoto wazuri sana
@21yrs bado kabisa Shetta alikua hajala ujana, ukizingatia ni msanii na by then alikuja kua maarufu hasa zile tracks kama Shikolobo etc ni wazi alikutana na ngozi nyingi sana waluwalu halaf ni pisi kali mzee damu inachemka pesa ipo, jogoo kick moja tu kavimba kama chuma, weeh sio rahisi kuvuka kituo aisee. Umri ule wa 20-35yrs ni vigumu mno kijana kujifanya una drive mwendokasi express we vituo unauza tu!
Hapo kudumu ndoa ni ama mwanamke akuvumilie sana, au nae asilipize kisasi.
Vinginevyo sio rahisi ukizingatia mazingira ya kisanii anayoishi Shetta.
Nyie Mungu anasisitiza Upendo. Upendo kati ya mwanamke na mwanaume ambao sio ndugu asilimia kubwa hufikia kwenye kuoana na kuishi pamoja, kadhalika upendo huo ndipo Mungu alipoweka amri zake na nyingi huvunjwa na binadamu kwa kua shetani nae achezi mbali kushawishi. Atakuingia kichwani na kukwambia hii ni pisi kali, piga kama vipi, iba pesa ukaspend nayo, ua ie toa mimba maana ishanasa etc .
Kifupi ujana maji ya motoo
@@jojigeorige1056 inawezekana ndio sabab waliachana. Nae sasa kashaanza kuchoka hyo lyfstyle ndo anamkumbuka mama watt wake.
jaman kiswahili kitume sana
Swadakta
Asnte sana kaka sky ni mejifunza ilikua mm na bimkubwa wangu simu yake akini pigia tu mapovu ama sheta amevaa uhalisia wamsanii kioo chajamii umenifunza kaka sheta 😭
Kwahiyo wote mna dimpoz anhaaa
Watoto wawili mrudie mkeo hakuna lisiloweza kurekebishwa miaka 9 mmeishi dah mkataeni shetani salini saana wekeni mambo Sawa Mungu ashindwi na kitu kikubwa kumtanguliza Kwa kila jbo
Kweli warudiane! Imekaa hawaku achana Kwa ugomvi, shetani mbaya huyu!
yani huyu nibaba hongera
Uzungu mwingi
mm kuna dem niliachna nae kama leo kesho namkuta na panga mlangon kwangu 😄😄
😂 pole sana 🤗
Shetta ana akili
Mm ndonapend mfumo uo WA maisha cy mmetengan mnakua madui
Ulioa mdog sana lakin umekoamaa akili mapema hongera sana
Asije akadanganyika kuoa Tena na kuanza kuzaa atakiona Cha moto
Dunia ingekua na wanaume kama shetta ingekua raha sana
Jamani nipeni tu huyo shetta
usiamini kila uonacho kwenye social media.huyo ni msanii hawezi kuongea vibaya.
@@ahz6907 nimecheka kifala love jast joke
Unasema uhusiano wako ni mzuri na huyo X wako na upo single? Ngoja upate girlfriend utaona atakavyo badilika
Sheta akiamua kupasha kiporo hakuna upinzani
hilo mbona lipo wazi si kashasema ni washikaji.
Huyu bwege kweli... Mwanaume unazungumza na mkeo kuhusu mabwana zake? Hovyo sana.
Kwan kuna shida gan c wameachana
hovyo mwenyew
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️
Asa kingereza cha nini nakwazikaga mimi ,,, duhhh
🤣🤣🤣
Shetq ni mwanaume wa kuigwa wallah sijapata kuona
Ndugu zangu kama ni jambo liliwatenganisha , kaeni TU MUONGEE maana MUNGU HAFURAHII na EX ni EX TU labda kama mnapendana ndani Kwa ndani
Mungu akusaidie ikiwezekana msameheane mrudiane Maisha ni yale yale mama k au Kaka shetta ebu jaribuni ku angalia kama mrudiane tena if it’s possible please
Mimi naomba mwangalie kusameheana Ili watoto wawe na utulivu na akili ya kulelewa na baba na mama inapendeza zaidi
Harmonize Jana alijaza??????
Kumbe show ilikua jana😂
Malaki 2:16 NEN
“Ninachukia kuachana,” asema BWANA, Mungu wa Israeli, “pia nachukia mtu anayejivika jeuri kama vazi,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote. Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, wala msije mkavunja uaminifu.
NEN: Neno: Bibilia Takatifu 2014
p
Pete lake ilo 😳😳
Kizungu ilikuja na meli 🤣🤣 Tz "",
We do co-parenting...
He is still learning, practicing is the only way.
Waliojifunza ukubwani wanapambana na challenges nyingi lakini mdogomdogo tu aendelee kukaza.
What is wrong with that statement?? Acha ushamba. Hata waitaliano, wajerumani, wafaransa wana kiingereza kibovu vilevile
Wabongo hamjui kizungu si mkubali tu 🤔🤔🤔🤔🤔
😂😂😂😂ma ribs tuwaombee watajua with tym
Kwani kuna alité zaliwa Nacho?
Akili nying uyu jamaa
Mmh watarudiana tu hawa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Sheta ulifanya kama mimi nilichofanya ukiachana na mkeo na mna watoto ni bora baba ukaondoka wewe ukawaachia nyumba ukiendelea kutoa support kuliko kumfukuza mwanamke
🙏
Vp kama mama ndio chengachenga?yani yy ndio kaharibu unamfanyaje?😂
Hilo ni jambo la busara sema hapo inategemea na mmeachana kwasababu zipi na mwanamke ni mtu wa aina gani!
Ni Jambo zuli kuacha nyumba na kuondoka
Ukioa lazima abadilike tu
Kiswahili kinatosha bwana shetta!
Nenda shule bwana. Go to school
Inspection Haroon yupo kwenye ndoa miaka 23 hivyo sio msanii wa kwanza kukaa muda mrefu
Miaka 21-30 umeoa na kuacha?
Sasa shetta na mr bluu asemaje Kama wewe umekaa kwenye ndoa miaka Tisa😁😁😁
Yan ndo najua leo kama waliachana
Ndoa za bongo kuachana sana juu ya kupenda ngono wanaume wengi tunapenda kucheat na kuvuruga ndoa ,ni bora kukaa mbila ndoa kuliko kupoteza mdaa kwa ndoa
sio bongo tu ila fatilia vzur had ulaya hao wazungu unao ona labda wana maana hua wanaachana sana
@@nurdinchilambo1486 wanachana san lakini siyo kwa kusalitiana eti akatiwe au akatie nje ya ndo wanachan kwa mfumo jike kwa sabb Europe mwanamke ndiyo mwenye sauti ndan ya nyumba
Yeye ndo alimchoka ndo mana
Shetta ajarib kutafuta hela yeye kama yeye kiume tuone na sio kupewa pewa kwa bahati hyku anajitamba kuwa maisha mazur ni yake hahahhha ww know this dude anawwza hata sema sns ni ya kwake😀
Kitu kizito umepigwa
km tunaoana ili tuje kuachana ni bora kuzaa nao tu na kulea watt
Kizungu cha nini baba 😅😅
Sijui anajikuta naniii mdomo koma mimi naona aongee tu kiswahiliii🤣🤣🤣🤣
Da! Aisee ni ngumu kumeza.. kuachana kwa amani sawa ila mawasiliano close kama hayo cwez aisee..
Ni rahisi sana ukikubali matokeo kiroho safi, ila wanawake ndiyo huwa inakuwa ngumu kwao mpaka labda akipata baharia mwingine.
@@unclepwechnov1381 sure
Bora hata wewe kuliko wale watoa povu na lawama kibao
👏👏 Hekima ya bongo flavor Kutoka kwa Shetta kuachana sio vita.ruclips.net/video/m3AN6xvTgEA/видео.html
Tuacheni bhna hawa wanapasha viporo 😂😂😂hivi mnajua kuachana nyie au Mnasema tu
Hahaha wanatania hawa
Kwani watu kama sheta wako wapi na mimi nikaokote😄
nipo hapa
@@ahz6907 😄😄😄
Wapi huko sasa nije kuokota
Dar
@@ahz6907 wee na mm niko dar afu sijui wanakopatikana,ebu toa location
Mademu wanatamaa
Hivi jamani naomba niulize huyu ndo yule anaejiita shetani?
🤣🤣🤣🤣ndiooo siku hiz mpk kinge anaongeaaaa🙄😂😂😂😂
@@aminakipande5645 😭😭😭haya bwana
Siwez kuacha kuwahudumia wanangu eti kisa nimeachana na mama yao ila siwez kumuhudumia mama yao bora nichinjwe f**c nilipe Kodi yake ,,nilipe Fees za wanangu,,kula yake na tuligawana sawa kila tulicho chuma pamoja kama yeye n homeless aniachie wanangu
Anamtunza kwasabab bado hajaolewa, pia kulinda saikolojia ya watoto. Akiolewa bas atachukua watot wake na kumuachia maisha yake mazima. Maneno ni sumu, hzo chuki ndizo hupandikiza ubaya kwenye akil za watoto mpaka wanakuwa wakubwa wanakua wanaishi kimatabaka na wazaz. Unashangaa mzaz flan anapendelewa na mtoto kumbe mtt alikuwa na mentality mbov kuhusu mzaz mwngne tangu utoto
Hiyo roho ya kimaskini! Hiyo nyumba anaishi x wake au na watoto? Chakula anakula kiasi gani hadi umapowalisha watoto ushindwe kumlisha na mama Yao? Futa hayo mawazo kichwani mwako sio afya.
Umaskini ndo tatizo
wewe jishaue tu lkn ukweli ni kuwa bado unampenda,sasa jifanye mzungu lkn cku ukisikia anafunga ndoa ndio hakuna rangi utaacha kuona
Ndo hapo n km km bado washkaji nn imeshindikana kuendelea kua pamoja...maana ndoa yenye urafik ndo nzr na hudumu zaid
Zero
Kwakwel kama wanaume wote wangekuwa kama sheta 900 ingependeza sana😂😂😂
Bunduki ya hewa inayotengenezwa mbeya Tz na kijana mdogo tazama hii
ruclips.net/video/Lg84vXtWlWI/видео.html
Mama Kaila Malaya Dereva wa Kaila Alikuwa anakula mzigo
Unamjua sana?
Mbona kiherehere
Ukizubaa nawew anakukula mzigo.
wewe jishaue tu lkn ukweli ni kuwa bado unampenda,sasa jifanye mzungu lkn cku ukisikia anafunga ndoa ndio hakuna rangi utaacha kuona
Kwaiyo sheta una miaka30😂