ROMA MKATOLIKI _ MNIOMBEE ( Official Audio )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 77

  • @SporaGeje
    @SporaGeje 4 дня назад

    Kama hauna d 2 huwezi muelewa uyu mwamba anajua sana qmamk❤❤

  • @DottoJaphary
    @DottoJaphary 6 месяцев назад +3

    Hip hop yako ni kishenzi sana, umetoka kuimbia walio hai sasa unaelekea kuimbia wafu. Nilikuheshimu kama MC bora lakini kwa hili nenda ukawasifie wazungu

  • @kwaialfredvalentine3006
    @kwaialfredvalentine3006 6 месяцев назад +1

    Sasa huyo ndiye romamkatoliki big up man

  • @SporaGeje
    @SporaGeje 4 дня назад

    Huna baya kaka 🎉🎉🎉

  • @saimonmizingo7485
    @saimonmizingo7485 3 дня назад

    Nyau sio mtu ni nyau

  • @DeoUrio-k6f
    @DeoUrio-k6f 6 дней назад

    Huu wimbo umezingua roma

  • @saidviiri7803
    @saidviiri7803 4 месяца назад +1

    Genius work

  • @mshamlibaba736
    @mshamlibaba736 18 дней назад +2

    Hapa umezinngua Kaka ashakufa ww

  • @captainenough681
    @captainenough681 24 дня назад +2

    Nyimbo mbovu haina maana ni uchizi ulielemewa ujinga

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 29 дней назад +1

    Nyimbo Yako Bora ya kufungia mwaka nakubali mwamba💪💪💪💪💪💯🔥🔥🔥

  • @AmusedEyeglassFrames-ed4uw
    @AmusedEyeglassFrames-ed4uw 6 месяцев назад +3

    Sana tu mwanangu tupo pamoja

  • @odingamawe
    @odingamawe 6 месяцев назад +3

    Baba piga bakola una baya 🌍🇹🇿🙏🏽

  • @WEMANASSORO-l8l
    @WEMANASSORO-l8l 6 месяцев назад +2

    Wanyoshee Babaaaa

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 6 месяцев назад +1

    Wewe Roma achakujitafitia chuki na wana siyasa utakufa brother

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 6 месяцев назад +1

    Izokelele ninahamini unazipigia indjeya inchi kwenda ukazifanyie bongo

  • @daudisalum9574
    @daudisalum9574 6 месяцев назад +1

    Namkubali sana roma

  • @GeorgeMarcky-og6os
    @GeorgeMarcky-og6os 6 месяцев назад +12

    Sijawahi kukukataa ila kwenye hilo hapana Roma umezingua sana acha kumsema alotangulia marehem hasemwi Kwa ubaya heshimu hilo na kimsingi hakuna alokamilika ila alifanya mengi sana mazuri mbona hayo hujawahi kuyasema!heshimu kila zama huwa na kitabu chake

    • @kajentanmjeuri104
      @kajentanmjeuri104 6 месяцев назад

      àna uchungu sio kwa kutekwa kule

    • @ambelemlawa9139
      @ambelemlawa9139 6 месяцев назад

      Ukweli utadum milele

    • @hassanidume6499
      @hassanidume6499 6 месяцев назад

      Ujinga tu nyimbo za gani utoto tu umetuchosha una zuri hata moja ndo nini

    • @Tesha2000
      @Tesha2000 6 месяцев назад +1

      Huwez kuelewaaa maana stor inatakiwa mwanzo ilii ujuee mwisho upoje😂

    • @ThabitiKondo
      @ThabitiKondo Месяц назад

      ​@@hassanidume6499 ungetekwa ungejua nn anachokisema

  • @AndrewGirenga
    @AndrewGirenga 18 часов назад

    Kaka lud home

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 5 месяцев назад +1

    😂😂😂 safii sanaa kazi nzurii🎉🎉🎉

  • @RichardLeonardchuwa
    @RichardLeonardchuwa 2 дня назад

    Uko swa

  • @EmmanuelSadala-t6r
    @EmmanuelSadala-t6r 21 день назад +1

    kaka nakubali

  • @KiredioChayanga
    @KiredioChayanga 6 месяцев назад +2

    Yan Mimi nishabinki yako mkubwa Sana Ila umemtukana makufuli siitaji kuskiliza nyimbo yako umeniboa vibaya yn unamtukana magu mwamba wewe boya Sana magu mwamba ujue

  • @sabatoager
    @sabatoager 6 месяцев назад +1

    mpaka machozi yanatutoka ss masikini

  • @ambelemlawa9139
    @ambelemlawa9139 6 месяцев назад +3

    Ukikurupuka tu huwez elewa zaid ya kusikia tu

  • @tumainjoseph2846
    @tumainjoseph2846 6 месяцев назад +3

    Tunataka katiba mpya👊

  • @vicentsilikwa5726
    @vicentsilikwa5726 6 месяцев назад +2

    Chukua %110

  • @LeonardSamwel-y7g
    @LeonardSamwel-y7g 21 день назад +1

    Uhakika mwamba

  • @JoseeWapili
    @JoseeWapili 19 дней назад +1

    Nana kama mkatolik

  • @shukurumushi6309
    @shukurumushi6309 6 месяцев назад +2

    Imenyooka b

  • @revocaprojestus4637
    @revocaprojestus4637 6 месяцев назад +1

    Saw baba panya wanataka katiba. Ira kama ingekua akaun ya ROMA NINGE KOMENT BAHAZI YA MISTALI AMBAYO ANGETOA WIMBO.

  • @sultanpuissant4406
    @sultanpuissant4406 6 месяцев назад +2

    😂😂😂😂naona panya mnauhuru baada ya paka kufa

  • @kazikazicompany-yl6sd
    @kazikazicompany-yl6sd 23 дня назад +1

    nakubari sana

  • @WilfredFred-p6c
    @WilfredFred-p6c 6 месяцев назад +2

    Imeenda

  • @mafaruentertainment
    @mafaruentertainment 6 месяцев назад +1

    Voice up

  • @wingstarmsanii9862
    @wingstarmsanii9862 6 месяцев назад +1

    Kali sana

  • @CosmasEdward-o5v
    @CosmasEdward-o5v 15 дней назад

    unajua kutunga mashairi hilo ni sawa, lakini wewe ni mtetezi wa genge la wahuni tu, utakuwa unatumwa, laa sivyo ni jani, wewe imba tu zingine tutakupenda lakini tuachie tu mwamba wetu, kama alikufanya kitu mbaya ni wewe komaaaaa, chuki zako dhidi yake usituletee sisi

  • @kadach5238
    @kadach5238 6 месяцев назад

    Basata kama kawaida yenu mko wapi maana hamchelewi

  • @OmaryMnaguzi
    @OmaryMnaguzi 6 месяцев назад

    Anatafutaugali matusi yanin kamawewhujaipend wapowatakao ipokea

  • @EmmanuelSadala-t6r
    @EmmanuelSadala-t6r 21 день назад

    aujawai kufeli kutupigania

  • @johnmfungo4680
    @johnmfungo4680 6 месяцев назад +1

    𝙏𝙪𝙣𝙖𝙬𝙖𝙡𝙖𝙯𝙞𝙢𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙩𝙪𝙚𝙡𝙚𝙬𝙖 𝙩𝙪

  • @noahphilipo7008
    @noahphilipo7008 6 месяцев назад

    Roma ❤❤

  • @patrickmpangala3098
    @patrickmpangala3098 6 месяцев назад

    Wamafinga tujuaneeeee😂😂😂😂

  • @Ayoubsambo
    @Ayoubsambo 6 месяцев назад +2

    Sasa inasaidia nn kumsema mtu alie pumzka au inabadlsha ktu gan

  • @ismailabdallah4362
    @ismailabdallah4362 6 месяцев назад

    Kuma mako Roma

    • @SporaGeje
      @SporaGeje 4 дня назад

      Nenda kale acha makasiriko😅

  • @kadach5238
    @kadach5238 6 месяцев назад

    Ila Kama una D MBILI HUWEZI ELEWA HILI NGOMA

  • @professorwexy2545
    @professorwexy2545 6 месяцев назад

    Mimi ni fan mkubwa wa bongo music roma namuheshimu sana ila professor jay Allendale wapi mtu anipe address zake please he is my mentor Saudi yake na yangu kwenye mziki sina karibiana ni twin brother sina njia naweza kumpata

  • @AmosJoseph-pd2gy
    @AmosJoseph-pd2gy 6 месяцев назад

    Nimeipenda ila tutaifungia😂

  • @jamespeter2187
    @jamespeter2187 6 месяцев назад +1

    Nani akuombbee shoga ww umefirwa baada ya kutekwa ukakimbia

    • @elibarikilukasimakala5534
      @elibarikilukasimakala5534 6 месяцев назад +1

      Matako mako ☝️😒

    • @DottoJaphary
      @DottoJaphary 6 месяцев назад +1

      Kweli kawa shoga, afrika hatuna tatizo la katiba hata kama mapungufu yapo. Amuulize babu yake katiba kaisoma wp na lini. Tuna matatizo kibao ya msingi......

    • @PaulinaSinyanya
      @PaulinaSinyanya 6 месяцев назад

      Kwani shida ni nini na wewe nenda studio katoe ngoma yako

  • @OmaryMnaguzi
    @OmaryMnaguzi 6 месяцев назад

  • @YassnKalyango
    @YassnKalyango 16 дней назад +1

    Ww roma nimshenzi mkubwa tena chiz mshenz

    • @SporaGeje
      @SporaGeje 4 дня назад

      Acha makasiriko😅😅

  • @bahatimushi2003
    @bahatimushi2003 6 месяцев назад

    100000%

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 6 месяцев назад +1

    Mbona sauli. Anasemwa mpk Leo kwa maovu yake fisiyemu kaa kwa kutulia kunywa uji

  • @ramshetmlawa6995
    @ramshetmlawa6995 6 месяцев назад

    Bado cjaelwa😂

  • @MojaZirro
    @MojaZirro 24 дня назад

    😂😂😂😂😂

  • @jacksonbohbahck6307
    @jacksonbohbahck6307 6 месяцев назад

    ahahahhhh

  • @MbokaAyubu
    @MbokaAyubu 6 месяцев назад

    Kuna wakati hata yaliopita ya paswa kusemwa Kwa 7bu yalikuwa yamejificha ili wakujifunza ajifunze na ndio maan mashulen Kuna somo la history na ndio mjue Kuna watu wanajua ukweli ila shida ni pakusemea tuu