Tanzanian movie inaitaji waigizaji kama hawa na madirecta kama hawa tusikubari bongo movie ife wakati uwezo tunao na story nzuri za maadiri kama izi zipo wasanii wanaojua kuandika nyimbo ambazo zinaweza kua movie wapo km ivi roma,dizasta vina na wengine kibao tuna kwama wp wadau wa filamu tanzania
I don't know why Tanzanians don't pay attention to this guy, he spits bars after bars which actually portray the real life that happens in our society (oppression of less fortunate by the rich) .
kuna siku nilikuwa nafikili nani anaweza kufanya.kitu kama iki man umeenda sawa na mawazo yangu mby Mimi nishabi kwako.milele endelea ivyoivyo tunaitaji uarisia.man ..love man !!!!mby 1
Kati ya ngoma zilizonigusa za #ROMA hii ndo kwanza..aisee ulikaa chini ukaandika👊😭👉NITAPAMBANA MPAKA TONE LA UHAI WANGU MAANA SURUBA NILIZOPITIA SIHITAJI ZIJIRUDIE..KABLA YA KUFA NITAHAKIKISHA JINA LANGU LINAHESHIMIKA DUNIANI.🌍 #Isaack Kanyankole.
Nimekesha kwa waganga😞😓 Nimevunja nazi njia panda nimeshikishwa tunguli,msata nkapiga manyanga,mikesha kinabii nyumba zote za Ibada tena mwisho kukufuru😭😞Kumbe yupo Mungu mkombozi wa kukufuta machozi pale unapolia Mwana Weeh Babaa🤲🏾🙏🏾
Naeza irudia hii video kwanza ngoma inalenga maisha yetu na video imetengenezwa mtaani kwangu big up broh huyu ndo wewe roma achana na mambo ya watu shusha mawe...
Kama unaamin roma ni mtuzi mzuri wa nyimbo ngonga like twende sawa
Sio mtunzi tu hata mkufunzi
Kweli Kabisa Ndugu Yangu
Xf
Nakubari sana
Yaani sana vivaroma
Kwa vipimo vyote na mizani zote, hii ni miongoni mwa ngoma boora kabisa kuwahi kufanywa.
Big up rooma.
Asante kwa kutukumbusha mkomboz wetu yu hai.
Nimekubali Kaka
Never Give up Jaman naombe hata like 30 watafutaj wenzangu🌈
Sswa
🌈 inamaanisha nini
Hugo choko.
Oya nani amekuja kucheki Ngoma ya Roma mkombozi 2024....mwezi wa 8....gonga like apa 👍🏿😅
Tulio irudia hii ngoma tugonge like
Apo Sawa Kakangu
Dah! huyu roma KIRUSI hatari sana. Anajua mpaka anakeraaaa .
NMEPENDA HIO COMMENT YAKO, HATAREEE
Thanx broo
Wanangu wa +254🇰🇪🇰🇪 wanaomkubali Roma wapi like zenu
Mkombozi ndio habari ya Mjini
Gonga like Kama wamkubali Roma
Bg up San hii ngoma hatariiii vivaroma
Tanzanian movie inaitaji waigizaji kama hawa na madirecta kama hawa tusikubari bongo movie ife wakati uwezo tunao na story nzuri za maadiri kama izi zipo wasanii wanaojua kuandika nyimbo ambazo zinaweza kua movie wapo km ivi roma,dizasta vina na wengine kibao tuna kwama wp wadau wa filamu tanzania
I don't know why Tanzanians don't pay attention to this guy, he spits bars after bars which actually portray the real life that happens in our society (oppression of less fortunate by the rich) .
we do pay attention however ppo are more interested in asking for likes than listening verse after verse, honestly i do wonder !!!!!
Who said pay ignore him?? He is one among top 10 all time rappers,
@@liboriusbabile1197 serious, many people like much fictions than the truth. For sure this song depicts what's happening in most parts of the world
Roma nakubali sana mziki wako una ujumbe mzito katika maisha yetu halisi Tanzania sio wasanii wengine kutupigia kelele tu
Roma Roma Roma, Mi ndo character wa hiyo nyimbo, sasa nimeokoka namtumikia Mungu. Naitwa Josephat, it is real my life.
Duuuuuu uhalisia wa maisha ya wmbo huuu.
By King Ally from mahembe kigoma.
Goma qalii
Na video iko yentee
Ukimuondoa prof Jay,Roma ndio msanii wangu WA hip-hop ajae
Safi sana Mr Roma naona unazidi kutupa karataaaaa ya ushindiiiii
I love this song I relate in many ways to it...much love from Kenya I respect your work#in the end God has you always
kuna siku nilikuwa nafikili nani anaweza kufanya.kitu kama iki man umeenda sawa na mawazo yangu mby Mimi nishabi kwako.milele endelea ivyoivyo tunaitaji uarisia.man ..love man !!!!mby 1
Hey hii song nzuli Sana ila hio filamu ndio naisubili Sana
Kumbe yuko Mungu mkombozi wa kukufuta machozi pale unapolia mama
Roma hili bonge la dude linagusa wengi. Kwa ridhaha yako naomba nilifanyie film
fanya tu nimekuruhusu ila iwe bora.
Nyimbo imetulia mbaya
huyu jamaa kwa video anaendana na song asee big up kwa director kwa kumpoint
Nyimbo zote nmeckia lkn hii mkomboz ndo kila k2 ndo nyimbo bora na kali kwangu tangu nmeanza kuckia nyimbo roma bg up sana
Daaaah aiseee romaaaa Hii video umetumia akili mingi nimeikubali sanaaa
Viva Roma....... Unajua mpaka sio vizuri......
Hata mimi maisha yalikuwa magumu mpaka mungu aliponipa ufunuo wa kuuza viwanja
Mungu katubariki kuwa n.a. vipaji vizuri vya artist
2nawaombeen sana nyinyi wanaharakati msiache kufanya nyimbo kama hz aisee
Kati ya watu ulio wagusa mi ni moja wapo akika yupo mungu mkombozi wa kutufuta machozi tunapolia.
Uuuuuuuiuuuuuuuuuuuuuuuuu baba asanteeeeeeee Na kukubali
Saafii ..huyo kijana amenitoa machozi
Kati ya ngoma zilizonigusa za #ROMA hii ndo kwanza..aisee ulikaa chini ukaandika👊😭👉NITAPAMBANA MPAKA TONE LA UHAI WANGU MAANA SURUBA NILIZOPITIA SIHITAJI ZIJIRUDIE..KABLA YA KUFA NITAHAKIKISHA JINA LANGU LINAHESHIMIKA DUNIANI.🌍 #Isaack Kanyankole.
Filamu iko vzr,chichi hongera
Story nzuri kinoma aiseeeeh hongera mwamba
Thanx Roma kwa Kumrudishia Mungu wetu JEHOVA Utukufu wake.
Mwenye hip hop yake🔥🔥🔥 like za #Roma tafadhali
HII NI MOTO, NAOMBA PATA WADAU IANDIKWE STORY NZIMA UITOE FULL MOVIE ,ITAPETA MWANA. FANYIA KAZI HILI WAZO TAFADHALI.
Leo wa pili jamani hata like
Nimekupa Kakangu 😊
@@KevinWakliFitness sijakupata
Sionagi kazi mbovu kwa roma #respect kwako
Stamina hizi ndio ngoma tunazo toka c uchwara wako roma love you moreee
Nimeshikishwa tunguri
Msata mkata nikabeba manyangaaaa
Kazi nzuri directed by MAJAGI
Dah mawazo yangu yametimia niliwaza kwanin isitoke filam hii nyimbo lakni imetoka dah nipo hapa roma pacha .............. Ney cardl
Safi Kabisa Kaka
Aiseee hi nyimbo nzuri jamani uko vizuri
Video story Kali imenitoa chozi kiukweri daaa
Nakupenda Sana na nimerudi tena kuwa shabiki wako hizi ndizo ngoma zako kule ulikuwa unapotea broo
This is the true Roma that we need in the Industry
Kakq ngomaa hiii inatishaaa balaa yaan siwez maliz siku kama sijai isikilizaa.
Mimi ndiowakwanza kbixaa kuicheki video kaliii
Sijui bongo muvi huwa wanakosea wapi
Big up Baba Ivan
Mziki ambao unaweza kuuangalia na familia nzima big up roma
Hii ngoma inanifikishaga mbali duuuuuh 🙏🙏🙏🙏
Duh kama nakuelewaga kuzidi wote hv
Hiyo move lin mdundo mkali sana Vivaroma
Nimewahi sijachelewa wa sitini na naneeeeee Roma motooooo
Wow ....wimbo una message kubwa sana
Mmmh!! Hii kitu najua ntakuwa wa kwanza kuiona coz mie mwanafamilia. Nipo mezani nasubiri ngoma ipakuliwe fasta. Hongera Shem ake mie
Bantu issa biireha no 1 to like this nice song lv
Kama umeipenda hii.kama sisi wanafunzi wa kiitaliano weka like kisha coment bravo...hongera kwa kazi nzuri
MAJAGI katisha mzee 👏👏👏
Wapiliii leooo woyooooooooooooooooooo
Together Sana Roma unawezaaaah.
Daah Roma we fundi jamaa yng na huyo one six ndo usiseme kabix iv nyie ni Watanzania kweli ebu waulizeni vizur wazaz wenu
Ubunifu...iko pw saaana
Umetisha sana nakukubali sana Roma
Mashairi hayaishi kichwani dah...... Unatakiwa utulie ili utafakari msishani,, ahsante sana #Roma🔥🔥🔥🔥
muvi zuri kweli
Daaah jaman video hiii walah imenitoa machozi
Big up #roma___zimbabwe 🙏🙏
Video concept nzuri sana
Daaah huyu roma 💥💥💥 hatari mno yan kaamua kutuletea reality kabisa
I was abt to be in tears aisee...nice script Bonge la Ngoma, Bonge la Chorus...Best Chorus in 2019...
Nimekesha kwa waganga😞😓 Nimevunja nazi njia panda nimeshikishwa tunguli,msata nkapiga manyanga,mikesha kinabii nyumba zote za Ibada tena mwisho kukufuru😭😞Kumbe yupo Mungu mkombozi wa kukufuta machozi pale unapolia Mwana Weeh Babaa🤲🏾🙏🏾
😂😂
I need to see 1M viewers watu siku hizi hawajua ngoma kali wanajua mziki mzuri tu
Huyu ndio real Roma
dahh inatouch sana big up broo👍
Very touchin. Imetoa machozi
Huyo mama mchungaji hayo macho vp😄😄😄
Cant stop replaying
Big up as the lyrically iko juu
Haya ndo manyimbo tunayoyataka siyo kila siku kusifia mbunye tuu
Kibao kikali xana buraza Roma 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wow. Naomba likes zenu 50 tu. Nimefika uku mapema
Daaaa nimetenda sana
Sema roma hatari sana makofi kwake
Kazi nzuri viva roma
ROMA IS A BADDEST GENIOUS AISEE GOD BLESS YOU IBRAHIM
Nakubar iii vivaroma
Roma mkatoliki Tz namb moja good song sichok kuangalia video kal
This song is too emotional aisee
Edward Mwenda sure broda
it is kabisa
Naeza irudia hii video kwanza ngoma inalenga maisha yetu na video imetengenezwa mtaani kwangu big up broh huyu ndo wewe roma achana na mambo ya watu shusha mawe...
Hongera kwa director
Upo juu kaka
Filamu safi kabisa
'''Ama kweli dunia ina mambo hadi jogoo anaweza taga'''
Roma hajawai niangusha big up (mwanaharakati)
Inasikitisha sana aiseee
nakubali mistar iyo imesimama kama mbindee
Nanimeikubali sana hyo ngoma
hii ni safi sana, imba roma iimbaaa!!
Roma i video inaumiza sana asee duh!!!