Waliokuja hapa baada ya kuwa Naibu Waziri like hapa. Jamaa alijitabiria kuwa ipo siku utaniheshimu au utaheshimu fedha zangu. Sasa hivi imekua kweli. Power Of Positive Affirmations.
Huu wimbo ulitoka nikiwa na kipindi kigumu kwel..lkn Mungu alinivusha salama na kwa ushindi.🙏💯 I believe hata ktk kipindi kigumu hiki atanitoa salama kwa ushindi..🙏🙏 Thank you Hon. Minister 💯🔥
Npo 2023 naishi na hiii ngoma kali aiseee nyie mlikuwa mnajua sana sema nn saiv zimekuwa nyimbo za biashara sio tena Uharisia lkn poa burudani iendelea
Ipo siku utaniheshimu ama utaheshim hela zangu …. Yametimia yote kwa pamoja 2023 n mteule wa Rais~tunakuheshimu 😢😢 Na unahela pia tunaheshim hela zako😊😊😊
LYRICS Mwana FA ft G Nako - Mfalme lyrics [Mwana FA] Look around brother Choir Master! Ghetto Gospel (Yes!) Keeping the good music alive! [G Nako] Kanipa maarifa loloo (nampa sifa) Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa) Kaziba nyufa loloo (nampa sifa) Olooh! (Mfalmee!) Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfaaalmeee [Mwana FA] Holla at ya boy! Sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu Hawalalamiki wanamshukuru Aliyejuu Siwezi nikamletea makuu maombi ya kibraza du Mbwembwe za kuomba magari nawaachia son I'm cool Kama kipande cha kwanza cha mbao kwenye safina Mimi ni kitu cha Mungu nafanya alichonituma Kanipa ubongo na misuli na roho ya kitajili Sina kitu ila sina roho mbaya tunaishi vizuri Fukara nayeshukuru au tajiri nisiyekufuru Najua bata najua hustle mi ni njiwa na kunguru Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla hujamuomba utajiri Naishi kwa mapenzi yake hakuna kitu naona hatari Unapata ulichoandikiwa Mungu hakupi kama hataki Hata ukipora itapotea ili mradi yatimie maandishi Mi ndo vito wa kolioni vitu vinaisha my way Nife nikiwa muumini na everything gon' be I man [G Nako] Kanipa maarifa loloo (nampa sifa) Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa) Kaziba nyufa loloo (nampa sifa) Olooh! (Mfalmee!) Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfalmeee Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfalmeee [Mwana FA] Najua anamipango, anafungua milango Ndo anatoa michongo, namwita Mfalme Wa Jungle Boss wa dunia yangu kanipa nguvu na ubongo Mwenye maamuzi ya mwisho angetaka angeniumba fungo Mafala wana midomo ka vicheche usiwe kati yao Wanaosema wenzao rudi angalia maisha yao Wengine hawana hata kalaki wanaita wenzao maskini Haki nawaombea mabaya kama wanavyoniombea mimi Ni hata mtoa wa roho ni malaika, na nahisi ataenda peponi Achia kuhukumu sio kazi yako, we ni mwenzangu na mimi Na una dhambi kama mimi, na hatujui kubwa za nani Labda zako labda zangu, sio kazi yetu ni ya Maanani Usiniwaze sana mi nawaza maisha yangu Sina hata mia ya urithi vyote hivi ni vya kwangu Nshaenda shule bila viatu, nshatoa funza kama buku Na ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela zangu [G Nako] Kanipa maarifa loloo (nampa sifa) Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa) Kaziba nyufa loloo (nampa sifa) Olooh! (Mfalmee!) Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfalmeee Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa Ikajipa sifa, kaziba nyufa Namwiita ye Mfalmeee Mfalmeee Kanipa maarifa loloo (nampa sifa) Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa) Kaziba nyufa loloo (nampa sifa) Olooh! (Mfalmee!)
Ujumbe ni mzuri na umejitosheleza sanaaa Ujumbe huu utaendelea kuishi daima na utabaki kuwa kumbukumbu kwa vizazi vijavyo waone jinsi wasanifu wa lugha kama Mwana FA walivyotumia lugha kuelezea ukubwa wa MUNGU
Huu wimbo kwa sasa unasadifu maisha halisi kabisa ya Mhe. Naibu Waziri, a.k.a Mwana-Fa. "Mungu amenipa maarifa, yakanipa nyadhifa namwita ye Mfalme..."
Kama mungu ni mfalme maishani mwako usiache kugonga like!!
kuma la mamako...
ci kama mungu ndo mfalime wa kila ki2
Always God is King of the kings
@@claudiusmaximus319Acha bangi
Ll😢@@bekabeka-ww2mn
Waliokuja hapa baada ya kuwa Naibu Waziri like hapa. Jamaa alijitabiria kuwa ipo siku utaniheshimu au utaheshimu fedha zangu. Sasa hivi imekua kweli. Power Of Positive Affirmations.
Kamkili Mungu na kajinyenyekeza kwa Mungu ndio maana kampa muujiza wa unaibu waziri kwa kifup kamwinua sana Mungu katika hii nyimbo
Kama alikuwa anajua mungu kamfungulia milango kweli
G Nako ni Mbadi sana
Facts
@@bankintoleahmady9321namuelewa sana huyu kichwa asee hajawahi kosea
“Na ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela zangu” - BIGGEST BRAG. He is HIM🙌🏽🔥
Huu wimbo ulitoka nikiwa na kipindi kigumu kwel..lkn Mungu alinivusha salama na kwa ushindi.🙏💯
I believe hata ktk kipindi kigumu hiki atanitoa salama kwa ushindi..🙏🙏
Thank you Hon. Minister 💯🔥
Onyesha upendo wako kwa like kama unasikiliza hili goma 2024
Hii nyimbo sijui kwanini watu wengi hawajaielewa , this song means alot to me
Bomba la pini
Yeah ni kweli 💯
Wengi tumeielewa
Bosi wa dunia yangu kanipa nguvu na ubongo, mwenye maamuzi yake angependa angeniumba fungo🙌😍more than talent
imechukua muda gani kujua kama hii ngoma ni gospel iliyopigwa kihipop yaani ni ngoma ya kumtukuza Mungu
unavingi vya kumuomba mungu kabla hujamwomba utajiri
umeona eeeh
Hii ngoma nilianza kuiskiliza tangu mwaka 2014 Nipo geto mpaka sasa namiliki nyumba.. Shukran mungu
In shaa Allah namimi ntajenga
2019 nani anaendelea katazama hii video...gonga like twend sawa
Mie
Conguration
Mii pia
Me
☺ me
Kila nikiweka bando lazima niisikilize hii ngoma.. Mwana FA hongera sana
3:01 😢
Sinung'uniki Sina viatu kuna wenzangu awana miguu💪2019 gonga like tupewe maalifa
NENO "Unapata ulichoandikiwa,mungu hakupi kama hataki,hata ukipola itapotea ili mladi yatimie maandishi" BIG UP Mwana FA
1 news tz Kali kinyama
100%
Tuo sikiliza ngoma hii mwakq 2024. Weka like
Kama mpaka Mwaka huu 2024 unauelewa huu wimbo, gonga like hapa tupo pamoja 🎉
Sitasahau hii nyimbo Mara kwa Mara huwa naiskiliza pindi mwenyezi MUNGU anaponiinua back to 2014
June 25, 2020 nasikiliza hii nyimbo lakini naiona mpya...kaka ujumbe mzito..Mungu akupe busara zaidi Binamu @MwanaF.A
Gonga like twende sawa na MFALME
Alafu kuna ngurumo anaongea kuwa g warawara anaharibu kwenye kolabo
Kilaza wewe tupishe kidogo
G warawara g nako salute sana baba la baba
Ngoma kali sana mpaka leo narudiaga kama bado unasikili like hapa
Tuko pamoja
Sanaaaaaa🎉🎉🎉🎉 HIII NGOMA kubwa
Sinung'uniki Sina viatu wenzangu hawana miguu,
FALSAFA 🔥🔥🔥🔥🔥💯🙌
Hii nyimbo ilibadilisha maisha yangu kabisa
Kama Bdoo unapiga hii ngoma 2023 reply my comment please
Sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu! Ni mgogoro hili track meen!!!!
2020 nani anaendelea kutazama hii video gonga like ili twende sawa
HIL DUDE NI HATARIIII
mwl shirima wa tanga tech anakupa hi.. anatupa stor zako kuwa ulikuwa mkali sana class., king of bongo hip hop
Huyu maalimu alinifundisha miaka ya 1998 shule ya msingi mkwakwani mpe hi sana .
NEVER GIVE UP GUYS 2023 HUYO JAMAA NI NAIBU WAZIRI WA TZ
Wow
Mungu ni mkubwa
Appreciate sana this song.."ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela zangu"❤❤❤
Sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu hawalalamiki wanamshukuru alie juu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nyimbo pendwa nitarudi hata kila siku kama naweza kuisikiliza hii nyimbo Nov 2022 AKELO JA JA.
Neem ya Bwana yesu ikuzukie Barnaba siku moja na wewe mjue kristo..amen
Kuna vingi vya kumwomba Mungu kabla hujamwomba utajiri
Hivi kwann nyimbo hizi hawapewi tuzo,,,inasikitisha sana wasanii wengi wanaimba matusi eti wanapewa tuzo,,ila utapewa tuzo na mungu
hii nyimbo ilitakiwa iwe na views hata 5mill yaani..
benny cardozo Exactly
gud
benny cardozo ndo maana nakubaliyakwamba Diamond ananunuwa kweli
Watu wanasubir nyimbo za matusi ndo waangalie kwa wingi.
Sure kabisa
Show Kali sana kiongoz mkuu Mimi xibiki yako kutuka mozabique Nina kukubali sana Kaká wafaida
hii nyimbo inaishi never goes out of style
Sikiliza chorus ya G nako huyu jamaa balaa
Nimeipenda iii ata ukiiba itapotea ili mradi itie mandishii
Ngoma inayo ishi na itakayoishi keep going brother
"Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla hujamuomba utajiri"📌📌
Ndani yamaono yako leo wanaeshim ela wanakueshim na wanaeshim ela zako
Kamtukuza Mungu Leo Mungu kamfanya Waziri Kweli Mungu ukimtukuza anajibu
Npo 2023 naishi na hiii ngoma kali aiseee nyie mlikuwa mnajua sana sema nn saiv zimekuwa nyimbo za biashara sio tena Uharisia lkn poa burudani iendelea
Nani yupo kusikiliza 2024
Upo mwenyewe 😂
We ndo upo mwenyewe@@SumaSeleka-ph3pg
Nimekuja tn leo tar 25/9/2019 saa 22:50 Twende sawa kama unaikub hii ngoma na mwana fa mwenyewe. Like hp tuondk
Fayaaa
Hili pin ni national anthem, nimeisubiri sana hii video ! umeutendea haki....
Nyimbo hi number is the best of the best big up m,bunge f.a
Nyimbo ya BORA till date! Mungu ana nguvu sana
Mwenyezi mungu ndiye mfalmee wa dunia nzimaa🤝
Salute sana , Mheshimiwa mistari ya humu sijawahi ikinai
Ipo siku utaniheshimu ama utaheshim hela zangu ….
Yametimia yote kwa pamoja 2023 n mteule wa Rais~tunakuheshimu 😢😢
Na unahela pia tunaheshim hela zako😊😊😊
That's the power of positive affirmation, usiache kujiombea mazuri, God is Good 🙏
I'm here for those who will still be listening this masterpiece in 2030.. even if RUclips will no longer be used or whatever but you're real Legends 💪
Sanaa Kaka ❤❤❤
Wapi wa Kenya wotee🎉🎉🎉❤❤❤❤
LYRICS
Mwana FA ft G Nako - Mfalme lyrics
[Mwana FA]
Look around brother
Choir Master!
Ghetto Gospel (Yes!)
Keeping the good music alive!
[G Nako]
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfaaalmeee
[Mwana FA]
Holla at ya boy!
Sinung'uniki sina viatu wenzangu hawana miguu
Hawalalamiki wanamshukuru Aliyejuu
Siwezi nikamletea makuu maombi ya kibraza du
Mbwembwe za kuomba magari nawaachia son I'm cool
Kama kipande cha kwanza cha mbao kwenye safina
Mimi ni kitu cha Mungu nafanya alichonituma
Kanipa ubongo na misuli na roho ya kitajili
Sina kitu ila sina roho mbaya tunaishi vizuri
Fukara nayeshukuru au tajiri nisiyekufuru
Najua bata najua hustle mi ni njiwa na kunguru
Kuna vingi vya kumuomba Mungu kabla hujamuomba utajiri
Naishi kwa mapenzi yake hakuna kitu naona hatari
Unapata ulichoandikiwa Mungu hakupi kama hataki
Hata ukipora itapotea ili mradi yatimie maandishi
Mi ndo vito wa kolioni vitu vinaisha my way
Nife nikiwa muumini na everything gon' be I man
[G Nako]
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
[Mwana FA]
Najua anamipango, anafungua milango
Ndo anatoa michongo, namwita Mfalme Wa Jungle
Boss wa dunia yangu kanipa nguvu na ubongo
Mwenye maamuzi ya mwisho angetaka angeniumba fungo
Mafala wana midomo ka vicheche usiwe kati yao
Wanaosema wenzao rudi angalia maisha yao
Wengine hawana hata kalaki wanaita wenzao maskini
Haki nawaombea mabaya kama wanavyoniombea mimi
Ni hata mtoa wa roho ni malaika, na nahisi ataenda peponi
Achia kuhukumu sio kazi yako, we ni mwenzangu na mimi
Na una dhambi kama mimi, na hatujui kubwa za nani
Labda zako labda zangu, sio kazi yetu ni ya Maanani
Usiniwaze sana mi nawaza maisha yangu
Sina hata mia ya urithi vyote hivi ni vya kwangu
Nshaenda shule bila viatu, nshatoa funza kama buku
Na ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela zangu
[G Nako]
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Kanipa maarifa yakanipa nyadhifa
Ikajipa sifa, kaziba nyufa
Namwiita ye Mfalmeee
Mfalmeee
Kanipa maarifa loloo (nampa sifa)
Yakanipa nyadhifa loloo (nampa sifa)
Kaziba nyufa loloo (nampa sifa)
Olooh! (Mfalmee!)
Ujumbe ni mzuri na umejitosheleza sanaaa
Ujumbe huu utaendelea kuishi daima na utabaki kuwa kumbukumbu kwa vizazi vijavyo waone jinsi wasanifu wa lugha kama Mwana FA walivyotumia lugha kuelezea ukubwa wa MUNGU
I love it
Iomk
Mwana fa king pop bongo
Waooooh
Usiniwaze sana
Mi nawaza maisha yangu
wimbo wa TAIFAAA....unapata ulichoandikiwa mungu akupi kama HATAKI.......
Directors wa bongo wanajitahidi sana.Good video,nice view n beautiful song
Fukara nayeshukuru, na tajiri nisiyekufuru.Much respect to Mwana FA.
I wish I featured in this AMAZING SONG. I love this tune.
Namuita mfalme hufungua milango 🙏🙏🙏🙏💯God is the king 👑 forever he has pure love 💕 @mwanafa love from hongkong .
Mziki wa kuishi miaka mingi..Salute binamu
Ngoma kali sana mwana efa alituliza akili avyo kua anatunga nyimbo iyo
bonge la ngoma
mungu ni mwema kila wakati
Hii ngoma inanikumbusha mbali sana mwana f jiniaz
So much Love from Kenya 🇰🇪 🙌 ♥
Huu wimbo kwa sasa unasadifu maisha halisi kabisa ya Mhe. Naibu Waziri, a.k.a Mwana-Fa. "Mungu amenipa maarifa, yakanipa nyadhifa namwita ye Mfalme..."
Kwa upande wangu hiyo ndo nyimbo bora ya muda wote
Namuelewa sana mpaka hii 2019
Namwelewa adi 2020
Mmetisha wajomba
Anatoa michongo namwita mfalme wa juggle,
Mungu tuu.
Alhamdulilah.
Nice song.
Mungu ni wetu sote 🙏
One of the best rapper in East Africa, big up bro...
True. He Good 😊
FA my greatest artist always God is all it detects to be greatfull
Greatest for me
Sinunguniki sina viatu , wenzangu hawana miguu, ila wanamshukuru aliye juu💯💯💯💯2019
Ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu Hela zangu .....gongeni like zakutosha 2021 Nov 28
Ubarikiwe sana mungu akupe nguvu na ushindi
Hii video iko powa na inaonesha jinsi gani dhana iliyomo kwenye wimbo inavyoelekeana na video yenyewe.
Sahh kbisah
In Malawi we love you Mwana FA. Timakukonda kwambiri
Big up sanaa naibu waziri
hii ngoma fa alikuwa na hasira mno
Jama namkubali mpaka nakela Mungu akubless😍😍😍😍😍😍😍😍
Sana
Usiniwaze Sana mi nawaza maisha yangu! hahahaha!be blessed!
My favourite Swahili song... its sweet 😍😍
GOD IS A TRUE KING
Hakuna bongo Nnae mkubali zaidi ya FA
Kwakweli tunakuheshimu muheshimiwa wazir mungu kajibu maombi yako
January 1st 2020 anyone?
G Nako namkubali mbaya, yn n kilaka....anaimba ngumu, anaimba commercial, pia chorus anauwa!!
Dah imetimia saivi tunakuheshimu kama Mh waziri
Ipo siku utaheshimu ela zangu❤
Wakati ule Roma anamtazama falsafa Kama idol wake 👀
Silalamiki Sina viatu wengine hawana miguu.......... nampenda Sana binam
Hii ngoma fa umeuwa kabisa katka ngoma zako zote
tunamuita bosi w dunia yetu, noma sana huu mkono #mwana-fa 👊
Namwita yeye MFALME 🎶
Deep lyrics,Georgous vdeo,Maasai Undifited Tribe.FA De Real Boss..!G Wara wara A city on a map..!
Nani amekuja hapa baada ya kuusikia kwenye simba day akitambulishwa MWANA FA 🎉❤
Hii nyimbo nailendraaa❤
hili linyimbo lilifaa liwe lina views B.1 or 2!! still kuna watu bado hawajui muziki mzur
Kabisa