MwanaFA - We Endelea Tu (Official Video)
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- #MwanaFA #WeEndeleaTu #SlideDigital
(c) Slide Digital
SMS [Skiza 8091976] to 811
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.to/mwanafa
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
www.facebook.c...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Anayesema uyu Jamaa, mistari yake ni ujumbe tosha, gonga like hapa twende pamoja
Watoto waliachiwa wakaharibu bongo fleva...sasa ma Legendary wamerudi...Mwana FA
😂😂😂😂😂😂😂Duuuuhhhh umeniweza 😂
Kabisa
Kabisaaa wale wenye mziki wao wamerudi madogo wengi na wanahippop wanatuandikia kutuchania vitu vya ajabu
Baaas ukweli 🔥🔥
Hawawezi peke yao mkuu
Hata wachawi pia wanafiwa 😂😂😂😂😂😂 sharti nimevaa LA Jana ila gari nmebadilisha #FA unajua kinomaaaa mzeeee like 1000 kwa FA
hadi tuwatie mimba wake zao ndo wajue tuna Fanya kazi
Noma San sijawahi kukoment ila KW hii ngoma noma
Naona bendera za kenya ziko nyingiiii hayaaa waTz🇹🇿🇹🇿gonga like hapa 🎶🎶🎶🎶🎶💣💣
ruclips.net/video/qcUxdygOk8I/видео.html
Watanzania unafiki umetujas kwani hujui
Bendera ni mingi sababu Mwana FA ni mkali Ndugu! Kazi kali
😂😂😂😂😂😂
Nice
TANZANIA kimuziki tuko juu East Africa Soma hiyoooo 🇹🇿🔥
FAHAMU || NAMNA VIONGOZI KATILI NA DIKTETA DUNIANI WALIVYOKUFA (2)
ruclips.net/video/iEKdIwy48O8/видео.html
Kabisa
Wamlambez
This is madness
Hata mchawi Hua anafiwa 😂😂😂
Kama message siipendi na mshoot mpaka messenger 😂😂😂 meen...... Gonga like ya kibabe
Ndio hivyo...2024 mwisho mwisho
Ujawahi kukosea mwana FA
Wakikuuliza unaendeleaje wajibu zaidi ya jana....Legendary FA
Kaliii fa is back gonga like km umeangalia zaidi ya mala 2
Tafuta hela ta kutosha ila usipige nazo Picha.. FA mwisho wa mawazo
FAHAMU || NAMNA VIONGOZI KATILI NA DIKTETA DUNIANI WALIVYOKUFA (2)
ruclips.net/video/iEKdIwy48O8/видео.html
....maisha yanabadilika
Dope song
Hapa ndo unapoweza kutofautisha kat ya MwanaMUZIKI na MSANII.
Waambie "Vizur zaidi ya jana, Vizur zaidi ya wao" mak hao
"anaejifanya anakuamua anakushika upigwe babu,mtie mitama siku nyingine ashike adabu" #weeendeleatu
Tuliorudia kuitazama hii video weka moto🔥🔥🔥🔥
Kama ngoma umeielewa kama mm gonga like🔥🔥🔥🔥
Hata wachawi wanafiwa we endelea tu
Dah vijana wameharibu bongo flavor.... Asante ma legendary
Mzee... umetishaaa. Hakuna hata comment 1 inaepinga hii ngoma.
Legendary... nakuita Hamisi
mwana MUZIKI hutoa ngoma bila kiki msanii ndo huangaika na kiki#WE ENDELEA TU#fa
Mw AF mm nakupaa big up wimbo endelea tu . Umetimia mashair na biti imetimia ila. IPO ndogo
kama umetazama hii ngoma zaidi ya mara 40 WE ENDELEA TU!!!👊👊👊sema nn FA weeeee niii maaafyaaaaaaaa!!!!
We endelea tu
Mbona poa tu, YANI KWAKIFUPI WE NDO MZEE WA MISEMO
Imekuwa tofauti na wasanii wengine kwa mfalame FA kila kukicha ndo anavyozidi kuwa mkali
subira haivuti bangi haigongi nyagi inavuta kheri tu haijawahi kubugi 🔥🔥🔥 nice jam
We endelea tuu kuninyima like, team mwana_f_a na team east_cost__team gusa like
Kama una amin FA ndo Best MC wa muda wote gonga like twende sawa.
Huyu mzee yupo katika best mc wa all time
atar we endelea 2
@@winnermlaki2520 faya
@@mugadimon3563 mtu mbaya asiye na mambo mengi
Tafata her ira usipig nazo pch
heshima kwako FA umekaa chini ukaumiza kichwa na kutoa nyimbo yenye ujumbe uliojitosheleza
Springs Media
🙌🙌🙌
We endelea tyu kwa mungu amna wanafki
hao walio dislike wanaujua mziki kweli au wamezoea zile video za marangi rangi na uchi uchii....
this is a good music
Waambie Watoto hawajakua
Hata me nimeshangaa sana una dislike nn sasa hapo
Hao wanao dislike walishazoea nyimbo za mikelele nyingi
We endelea tu kuachia Ngoma kimya kimya. Keeping the good music alive
#WeEndeleaTu
anasema nini hapo eti, ...............,kishua au kimtaa ni kucheza na number kama mtu mbaya Salah.
Hilal Mtangi mbna biti zilezile
Msanii wangu bora wa hip hop tanzania ,,we endeleea kunifurahisha tuu
Piga kelele km umependa Mwana FA weeweeee🗣🗣🗣🗣🗣🗣
mmbuyu ulianza kaa mchicha ila mchicha haujawai kuwa mmbuyu💣
My big brother FA hujawahi kuyumba the best lyricist of all time
Mc KobaTz kabisa
Miruzi mingi mbwa sipotei we endelea kuskiliza utaelewa tyu
Hahahahahaha big daddy #mtu mbaya #mwanaFa #big dady #mwanafalsafa # we endelea tu. We jamaaaa unatisha kama EBOLA ✈️✈️✈️
Dah naombeni like hata moja jmn
Mi nna mungu we endelea tuu safiii fa
I beleve in you Mwana Falsana lazima tujifunze kwa waliofanikiwa ili nasi tufanikiwe i swear nitatafuta pesa na nikipata Sipigi nazo picha ng'ooo
We endeleaa tu
FAHAMU || Msitu hatari zaidi duniani || kuna viumbe wa ajabu (Romania)
ruclips.net/video/Sd6ZVMsxLxY/видео.html
Show
JD online
@@josephdaudi4471 nam
Kbsaa
Bonge la nyimbo kama unamkubali mwanafa like hapa twende Sawa 👌🏼👌🏼
🇹🇿 🇰🇪 Ni Rehma za Mungu tu na maamuzi yake.. Kwa Mungu hakuna majungu mi nina Mungu.
Mkongwe wa Hiphop Afrika!
Uyu jamaa ajawai kuchuja mana mziki anaujua xana angekuwa anaupromoti mziki wake km wanavyo fanya wenzie wakina Mondi basi africa nzima kusinge kalika. Weeeeeee ENDELEA TYU. UMEUWAAAAA F. A. SAFI XANA. napenda xana mziki wako napenda xana mziki mzuri. Sichagui wala sibagui nasapoti mtu anae imba mziki mzuri basi
Nalikubali kubwa mwana fa from Kenya+254 kama unamkubali mwana fa ngonga like hapa big bro 😘😘😘😘
Mimi siyo mgeni hapa,najua miili inapozikwa/
Nina kitabu hapa,najua nini kimeandikwa.
#WeEndeleaTu.
Hili lijamaa linajua thamani ya mb zangu
kwa ngoma hii Kwanini nisimalize bando
👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪💪
Endelea tuu Bonge LA nyimbo,falsafa katisha
Hahaha! Hata mm nimerudia zaidi ya mara 20..kweli huyu mwana FA
Mm ninavyoon hii ndio itakua ngoma boraa sanaa katika huu mwakaa nani anabishaaaa
Hao waliodislike ndio wachawi waliodhani Wao hawafiwi😀😀
Haujawahi kufel bro,, nakukubal Leo kexho mpaka milele
Huyu Ndoo msanii namba 1 Bongo nzimaa hatarii gemuu imemisi hizi kaziii sio zogooo la Vumbi
Hii ngoma hatari sana....inapaswa kupigwa remix na malegends karibu wote..awa watoto waskuiz wanazingua sana....thanks for good music
Noel Philip Mollel real
Uko sawaaa
Hizi flow za kigadhabu achia warabu
disi hip hop za wenye hip FA Whatsap
Miendo ya ngamia juu ya maji eeh ya filauni
Huku tunakanyaga tamu na kutetema,
Kwangwaru kwa mademu sio mchezo Wa kusema
Nilikua nangoja sana Mzazy FA utapakua nini na lini but umeangusha mzigo mkali FA yuleyule misemo full kujiachia
Kenya tumekubali waambie wakanyange polepole wasije wakajikwaaaaaa!
its we ni mwanafalsafa maana duuh watoto hawawezi elewa ila ss wakongwe tunakupata 100%
Sisi ndio wagosi tunaweza uza Ng'ombe kwa kesi Ya kuku lazima tushinde big up Mwana FA mgosi wa ndima Kama mbwayi mbwayi tu
Hatufeligi kindezi wagosi wa tanga
Mshaanza ukabila mnataka kutambika au
@@johnsonjoshua6707 😂😂😂
Kwani je haya ndo mambo sasa misamiati kama yote ::::: we endelea tu kwa Mungu hakuna majungu
one of the best in E.A without a doubt! Hujawahi kutuangusha mafans wako!
Mwana FA ni Manufaa ❤❤❤❤from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Oyooooooo... Wanao amini kwa MUNGU hakuna majungu.. waendelee tu... Like mingii hapaa
Hata kama hukipendi kukiheshimu inabidi🙌
Wangapi wamepata vibes za 2010
👇
Ma legendary are back with a bang💪💪💪💪,we endelea tu 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Heshimu pesa baada ya dini ......... We endelea tyuu... Eeh bhn gonga like hapaaa
Mwana fa we endelea tu maana ukitoa unatoa bila kuboa, watoto wanaochafua mziki wanakujua kua we noma ,wape habari wenye habari zao 7bu kwa Mungu hakuna majungu....we endelea tu
Huwezi kutupangia. Tushavuta sana milango iloandikwa push..na trust me inafunguka..
You always make music feel easy maana mistari migum ila unaitema kama umezaliwa nayo. Big up FA.
Keeping th good music alive.
Kimewaka 🔥🔥🔥🔝 gonga like twenzetu na burudani🎬
Hawa ndoo ma legends sasaaaa.. mziki safi
All the way from 🇰🇪 the legend is back with a great message❤️❤️💯
Ukisikia wahuni nd hawa cy muhun utembee na wembe good F A
Et amua mwnywe utazik au utasafirisha # mwana fa uko juuu mkubwa
Daa!bonge la hit 🔥👊💥Subira haivuti bangi!......
we endelea maisha co lazma uvalie kikoiii
anajifanya anakuamua mshike mpge mtama ckunyngne acrudie
kwa mungu hakuna majungu mwanafa
Nyimbo kali sana Mwana Fa sema hapo kwenye chorus angekaa G nako ingekuwa kizazi sana
G nako au belle 9
But tayr ipo kwa hewa
Sasa unadhani nani kama c gnako
@Ahmed Ally mawazo yako Kama yangu
Chorus angekaa mtu mzima belle tisa
Nakupend xana mwanafA .....unajuwa kaka. Anayebixha mbana pua.
Maisha siyo lazima yakubali kwani unayadai??? 😀 #falsafa ...we endelea tu...🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Imenyooka Mzazi, Kali i sei
From Kenya this Extravaganza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
second home kenya salute
The one man Army 🔥🔥🔥🔥🇰🇪👏👏👏 najua kuna wenye wameanza kustuka juu hii real hip hop come back💕🔥
wakikuuliza unaendeleaje wambie vizur anae kuamua ana kushka upigwe isha wahi kunitokea
Mafundi sikuzote wanajua wanachokifanya....Heshima za kutosha kwako Hamisi Mwin'juma
Amua mwenyewe Utazika? Utasafirisha? (mwana FA).
ChoirMaster❗️
Wa kwanza ku comments gonga like kama unamfatilia huyu jamaa 💥🔥🔥
Habily Boy huwa akosei mwamba%√
FAHAMU || Msitu hatari zaidi duniani || kuna viumbe wa ajabu (Romania)
ruclips.net/video/Sd6ZVMsxLxY/видео.html
Kaka umewaza nini...... Tanga juuuuuuu
Tafta hela zakutosha ila usipege nazo piacha😊👏👏👏
'Amua mwenyewe utazikwa utasafirishwa'
Mi NAENDELEA tu kuwatch na nipo #FYN by falsafa🙌🙌
wakikuuliza naendeleaje waambie vizuri zaidi ya jana,,,miluzi mingi ila kubwa la jibwa sipoteii,,,dah respect sana brooother💪💪💪💪💪
Wale wabana pua wapo wapi natamani waisikilize hi ngoma waachane na nyege, wasikie vina humu na mpangalio wa beti ama kweli wenye mziki wao wanasafisha mazingira hi ngoma ukimtwisha dogo janja anadondoka nayo chini hatoi hata mguu
Tuliikumbuka hii sauti na imeludi kwa kasi ya hatari 👑👑👑 nakuele mfalme mwana f.a we endelea tu kutuletea mistari bora Tanzania
Bro @Mwanafatz respect.. Ni rehema za Mungu tu,na maamuzi yake tu..🙏
Kisasi hakitanitibu ila na ww utakuwa umeumia!👏👏👏👏😁
Daah duniani hamna mtu mwembamba F.A sasa hivi na ye kawa mbavu
Kichupa na nusu🔥🔥 falsafa unajua mpaka unajua tenaaaaa
Hao walio thumb down wote wana utindio wa ubongo...what the hell🙄..masikio yao yapo sawa kweli...this issa💣💣
Hahaha
"anayejifany anakuamua anakushik upigwe babu, mtie mitama skuingine ashik adabu" 🗣🗣Faaalsaaafaaa hatar sanaaa
Ila hii nyimbo ukifanya masihara unaweza usijue kilichoimbwa umu ndan,,,Bonge LA ngoma father...GOD BLESS YOU
Kizazi sana hili goma hata sichoki kuliona RUclips
Mwana cjuinikupe heshima gani wewe king wa flavor za bongo
This man mentions God in most of his songs like every beautifully crowned eternal soul
That’s why he’s called the “PHILOSOPHER” aka falsafaaa🥳