Banana Zoro - Zoba

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 сен 2013
  • Angalia nyimbo zake, Zoba ya Banana Zorro. Hizi nyimbo ni sehemu ya muziki wa Mseto Wahapahapa.
    "Maumivu, maumivu yamevunja moyo wangu ee
    Kusubiri, kusubiri, nimekusubiri mpenzi wangu ee
    Lakini umekuja kuuvunja moyo wangu ee"
    --------------
    One of the Mseto Wahapahapa music videos produced by MFDI Tanzania and directed by Jordan Riber. Mseto Wahapahapa is a album and music video DVD featuring Tanzania's leading musicians such as Banana Zorro, Lady Jaydee, Mzee Yusuph, Flora Mbasha and many more.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 792

  • @JohnMars-dt5my
    @JohnMars-dt5my 3 месяца назад +91

    Wanaoangalia mpaka leo 2024 tujuane

  • @buhendwagrace6801
    @buhendwagrace6801 2 года назад +128

    Naupenda sana huu wimbo,nautazama kila siku.kama nawewe unaangalia huu wimbo kwa mwezi huu wa april gonga like nyingi

    • @novatsteven2947
      @novatsteven2947 Год назад +2

      Daily

    • @fatumaathumani1426
      @fatumaathumani1426 Год назад +1

      0

    • @stevenmwaiko801
      @stevenmwaiko801 Год назад +1

      Ni mzuri sana huu wimbo

    • @charlesdaudi7150
      @charlesdaudi7150 Год назад +1

      Nataman uendelee kuimbia hizi nyimbo za hisia mpka milele daima na hakika we ni msanii marufu hapa Tanzania nimeanza kuuskiliza yangu uitowe hii nyimbo na nikiwa mdongo hd mpka wa leo

    • @arambawaziri1252
      @arambawaziri1252 11 месяцев назад +1

      Hebu tazama kinguo chako angeona vinguo vya sasa

  • @hanaphMsagati
    @hanaphMsagati 3 месяца назад +19

    daah huu wimbo umenigusa Sana yani kama kaniimbia mimi daah kwel mapenz mabaya ndani ya 2024

  • @eunicembwambo2749
    @eunicembwambo2749 2 года назад +101

    Tunao iyangalia hii nyimbo had leo 2022 gonga like ❤❤

  • @semanajmv
    @semanajmv 4 месяца назад +9

    Bado tupo 2024

  • @dexmorinc6343
    @dexmorinc6343 Год назад +44

    Its 2023 and we still keep the good music alive #love

    • @niyonkurunatacha2619
      @niyonkurunatacha2619 8 месяцев назад +1

      Nyimbo n hizi

    • @AmosiNjewa-wm4yq
      @AmosiNjewa-wm4yq 3 месяца назад

      hkllhllhhhkhkhhljkkhkkhlllkkklkk😊😊kkklkljlkkkkk😊kjk😊h😊lkkkkkhkhkkkhkkkkhjkkkhkkkhlkkkkkkkkklklhljhkkhkklkh.Kkbnbmkk
      A0
      Nn m.mnnnnnnnnnnnnnnnnn .n
      M m vv m vn nmv b m ñnnvnn n
      Nn ñmnn bvm
      Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmv . N mmm m.V b
      .Hkhh.jhkkk
      hllhhhk😊lkhhkhkhkljlhhllhkhjhlkhllhl
      Jjp😂😮jh😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊²2

  • @godfreyjeremiah8657
    @godfreyjeremiah8657 5 лет назад +100

    huu wimbo hatuutendei haki .... unatakiwa mpaka sasa uwe una views 10M

    • @swahiliwood
      @swahiliwood  5 лет назад +3

      Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu

    • @sadicksamuel2005
      @sadicksamuel2005 4 года назад +3

      Inatakiwa mujitahidi sana kushare

    • @limymasele21
      @limymasele21 10 месяцев назад

      Tuipelekeni tu hata hivyo tunajitahidi sna niya zamani mno ila ina views m1 na kadhaa

  • @mohamedindalo2663
    @mohamedindalo2663 4 года назад +57

    Bado miezi miwil kumaliza mwaka 2019 kma na we unacheki ngoma hii gonga like ,,,,,,,,

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 месяца назад +4

    Huu wimbo unaishi miaka mia❤❤

  • @JamesJoseph-bm8ix
    @JamesJoseph-bm8ix 14 дней назад +1

    MUZIKI NI HISIA OLD IS GOLD 2024 still we here🔥🔥🔥

  • @jenifferfrancis1503
    @jenifferfrancis1503 2 года назад +94

    It’s 2022 and this song is still lit🙌🏽🙌🏽🙌🏽🤩

  • @hermankoba4970
    @hermankoba4970 5 лет назад +7

    Mnajuwa nyimbo iz ni maisha yetu ya kila siku tunayo ishi so nakumbuka mbar jmn 2004-2006 kama yalinikuta

  • @seddymusicworldwide3867
    @seddymusicworldwide3867 Месяц назад +6

    2024 kama bad upo like tujuane

  • @benwamadaba8868
    @benwamadaba8868 4 года назад +165

    Kama unaangalia hii ngoma2019 gonga like twende sawa

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 5 лет назад +40

    2019 achia like

  • @binladen7727
    @binladen7727 4 года назад +75

    Kama unaangalia 2020 gonga like

  • @petermahimbo9450
    @petermahimbo9450 5 лет назад +51

    2019 bado inabamba

  • @magiclab6435
    @magiclab6435 4 года назад +124

    Anyone who watching this, once again in August 2019 na akajijua kuwa alifanya uzoba...twende sawa😁😁😀

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 2 года назад +11

    Juma aliua sana kwenye hii opening... Eti "tausi unajua kuimba .. oh" 😂😂
    Its 2022 we're still here like we never left.

  • @mkobamuddy4675
    @mkobamuddy4675 5 лет назад +87

    Bado siku mbili 2018 imalizike na naamua nimalizane na kitu hiki adimu, yani kama imetoka jana..
    Wangapi bado tupo apa..

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 5 лет назад +31

    2018..2019 twende sawa like za kushata

  • @felixmtei6787
    @felixmtei6787 4 года назад +19

    Who is with me this October 2019???
    The best song by the way.

    • @paty11648
      @paty11648 3 года назад

      Umesurvive pandemic ? Tupo 2021

  • @estercharles7597
    @estercharles7597 4 года назад +26

    2019 badoo tunasonga nayoo

  • @kelvinemajangah3450
    @kelvinemajangah3450 5 лет назад +21

    2019 bado natesa hit like kama upoooooooo

  • @rodgerzdangote8629
    @rodgerzdangote8629 6 лет назад +62

    Daaaah Leo Nani kaiona 2018 mwishon

  • @user-xx2zs1po7p
    @user-xx2zs1po7p 2 месяца назад +3

    2024 let’s gather here ❤

  • @mayaliamani5705
    @mayaliamani5705 4 года назад +5

    nilikua nkiipenda hii nyimbo tangu nikiwa na umri wa miaka 12 2015 ndio mwisho wa kuitazama ila leo 27 october 2019 nimeicheck hii ngoma bado kali tu history is making peace bwana banana zoro afrobongo haitochuja hata kidogo

  • @omarimatola122
    @omarimatola122 4 года назад +19

    Gonga like kama unaangalia Ngoma hii 2020 Ngoma Kali sana

  • @MrMPUTO
    @MrMPUTO 4 года назад +3

    2020 naicheki hii ngoma siku hz mm nasikiliza beat tu sioni mashairi kabisa, gonga likes kama unaisikiliza ngoma hii 2020

  • @mrblack3592
    @mrblack3592 7 месяцев назад +2

    Aaaah I was replaying some old hits then this song popped up its 2023 but am just astonished of how this song is so beautiful just amazing 10/10

  • @shakurkimboka4621
    @shakurkimboka4621 4 года назад +9

    Achia mbali na wimbo huu quality na organization ya hii video na maigizo yako kwa ujumla halijawahi kutokea ktk historia ya bongo movie, it was pure talent

    • @khasamentertainment4269
      @khasamentertainment4269 2 года назад +1

      Umeongea ukweli

    • @trueexplorer894
      @trueexplorer894 2 года назад

      Imeshawahi kutokea tayari na kwa bahati nzuri organiser, cameraman, director na producer ww hii kazi and the entire production team ndio waliotengeneza filamu ya Fatuma,Tunu,Chumo,Bahasha na tamthilia maarufu sana iliyobamba inayoitwa Siri ya Mtungi. Hizo kazi tajwa hapo juu zimeshinda tuzo kadhaa ktk tamasha la kimataifa la filamu zanzibar Ziff, na pia kuonyeshwa katika majumba mbalimbali ya sinema barani Afrika. Zote zipo RUclips na zingine zipo Netflix. Enjoy

    • @ericklaway8890
      @ericklaway8890 2 года назад

      sure kbx

  • @rashidimsangi3098
    @rashidimsangi3098 4 года назад +8

    Hii ngoma haichuji miaka yote utazani imetoka jana aisee 🔥🔥🔥

  • @vickerbello8006
    @vickerbello8006 2 года назад +24

    It's 29 April 2022...and the songs feels so nostalgic...all previous memories flows back...😊

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 4 года назад +12

    Yaan haya Mambo ndo yanazid kujtokeza 2019 na 2020 Kama Ni kwel twende Kaz maana usalit umezd

  • @niyonkurunatacha2619
    @niyonkurunatacha2619 6 месяцев назад +1

    Wimbo wng pendwa myaka nenda rudi mpka ssa bado unaupenda 2023

  • @uwezouwezo3111
    @uwezouwezo3111 4 года назад +9

    Mziki wangu pendwa 2019 naelekea 2020 thanks God

  • @zainabuyasin8189
    @zainabuyasin8189 6 лет назад +62

    huu wimbo mzur jmn naupenda sana duuu leo imekuwa kama bahati kuona

  • @Nyam033
    @Nyam033 5 лет назад +11

    Who is here with me 2019😍

  • @younggopary2266
    @younggopary2266 4 года назад +12

    The good message to the society, anyone in 2020, who watching this one

  • @khadijatirionaire2510
    @khadijatirionaire2510 21 день назад

    Km unaangalia 2024 was nice banana where are now guy...from Dubai

  • @chiconinde8135
    @chiconinde8135 5 лет назад +7

    Sema Cheche anajua sana kuigiza aisee daah!

  • @parfaitkalemera2159
    @parfaitkalemera2159 5 лет назад +11

    I’m still love this song Banana uko wapi tupe mambo 🙏🏿🇺🇸

  • @user-fq5gw9nv8d
    @user-fq5gw9nv8d 7 месяцев назад +1

    Huu mwimbo ni mzuri na unaelimisha sehem fran

  • @peternicholauskimwaga7857
    @peternicholauskimwaga7857 5 лет назад +69

    Wimbo huu umenifungulia 2019

    • @jamilamunisi1480
      @jamilamunisi1480 5 лет назад

      Peter Nicholaus Kimwaga woow

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 4 года назад

      Peter Nicholaus Kimwaga inyimb inamafunzo

  • @muwabroyal6233
    @muwabroyal6233 9 лет назад +8

    Mafunzo si haba. Bahati maishani hujitokeza mara moja tu kama Siku kuu mwakani,panapotokea kipenyezo, usingojee usije ukabakia kuwatizama wengine wakijiponda kwa nafasi yako. Mkenya mzalendo wa Bongo.

  • @kasangamrisho3405
    @kasangamrisho3405 5 лет назад +8

    Huu Wimbo Mlitisha Sana Mamaa Mamaa Nakufaa Konk Fire Konk Liquid

  • @omarysaidi4498
    @omarysaidi4498 4 года назад +2

    Km bado unaendelea kuangalia 2020 weka like hapa tujuane

  • @paty11648
    @paty11648 3 года назад +1

    Kupiga pamba koteee alafu binti kachoma... 2021 gonga like

  • @wilsonpius8217
    @wilsonpius8217 8 месяцев назад +1

    Huu wimbo naupenda sana 2023/10/11

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 2 года назад +1

    Hii nyimbo niliimbiwa sana na mpenz wangu ila mimi nilimpenda kwel yeye tu alihis sikumpenda nampenda mpaka kesho sema tu ali wahi kuoa

  • @paulchacha6315
    @paulchacha6315 5 лет назад +10

    Who’s watching this March 10 2019?? Good music 🥰🥰🥰😍😍

  • @valelijoseph4061
    @valelijoseph4061 5 лет назад +11

    Who else watching in 2019 😂, luv this song.

  • @tulymuhando96
    @tulymuhando96 4 года назад +3

    Kama unaangalia hii 2020 like hapa tujuane

  • @singlebaba1271
    @singlebaba1271 4 года назад +3

    2020 Mko wapi like zenu

  • @japalablack1588
    @japalablack1588 4 года назад +6

    🇰🇪 Representing 2023
    Bado kama kawa

  • @JohnsonSolomon_
    @JohnsonSolomon_ 2 года назад +6

    it’s may 2022 and still the hit song😍😍 all the way from Ukraine 🇺🇦

  • @JB-eu7sb
    @JB-eu7sb 4 года назад +2

    Kama bado unalienjoy hili goma 2020 gonga like

  • @saraphinajaden4400
    @saraphinajaden4400 4 года назад +1

    Pamoja na Janga hili la Corona...Leo tarehe 30.4.2020 kama unacheck hii ngoma Gonga like twende sambamba💪❤

  • @bensonmwakyando5776
    @bensonmwakyando5776 5 лет назад +9

    2019 bado naangalia hii nyimbo

  • @muwabroyal6233
    @muwabroyal6233 9 лет назад +16

    A great inspiration. Chances in life comes just once like Christmas in a year, whichever the opportunity, seize it boldly lest you crash down when you see someone else live your wish. Waaauh! Loving it in Kenya.

  • @superandemediatv953
    @superandemediatv953 4 года назад +1

    2020 noma kwel kama nawewe unaangalia hii gonga like

  • @piyemeofficial
    @piyemeofficial 4 года назад +2

    2020 I am still watching this song. Kama nawe bado unapenda sana wimbo huu ngonga like twende sawa

  • @chrisssalez2993
    @chrisssalez2993 5 лет назад +4

    Dah mpaka Leo 2019 mwez huu wa5 nimeiona bas kila mwaka utadum

  • @MedWithSid
    @MedWithSid 4 года назад +4

    2020 GONGA LIKE👍👍👍

  • @tanialucas4579
    @tanialucas4579 2 года назад +1

    Jamani mbona banana zoro na dada hawaimbi tena wasauti nziri sana

    • @gloriousn6425
      @gloriousn6425 2 года назад

      Dada yake aliokoka akaacha mziki
      Banana sijui habari yake

  • @mustafahamisi296
    @mustafahamisi296 4 года назад +4

    Daaaah ama kweli nilikua zoba enzi zile, 2019 bado nakumbuka

  • @adamsuleiman3897
    @adamsuleiman3897 4 года назад +1

    Wangapi wanacheki hii ngoma 2020, twende pamoja !!!!!!!111111

  • @helikanaingoa912
    @helikanaingoa912 2 года назад +2

    Na huu ndio ukweli wa mapenzi kuumia ndio mwisho wake😭

  • @piusonesmo1582
    @piusonesmo1582 4 года назад +1

    Wale ambao tunaangali 2020 gonga like

  • @wazambulitv5735
    @wazambulitv5735 2 года назад +4

    *Waliokuja uku baada ya Mtasubiri ya Diamond Platnumz ft Zuchu kufungiwa😅Zoba was though🔥🌍👇*

  • @emmanuelnhumba2958
    @emmanuelnhumba2958 4 года назад +1

    Nani anaangalia na kusikiliza huu mdundo wa zoba 2020?

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 5 лет назад +1

    Mlitisha kinyama yaan haiishi hamu mpk leo hii 2019

  • @burundian-lovestories
    @burundian-lovestories 2 года назад +2

    Who else sometimes takes time to watch za zamani like me?
    Still watching in 20201😄😄😄

  • @isserironman1800
    @isserironman1800 4 года назад +3

    Nani anaangalia leo 10 September 2019 kweli subira huvuta bangi ,,subira subira yamemkuta BAHARIA CHECHE , nani kamuona MWISHO MWAMPAMBA ENZI EZO ALIKUWA NA HELA KWELI

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Месяц назад

    Ni miaka mingi imepita toka wimbo huu mzuri utoke Bado naangalia nakumbuka mbali sana Kila nikiuangalia kipindi nipo Kijijini radio yangu ilikuwa kwenye repeating mode.

  • @mozesezekiel9750
    @mozesezekiel9750 4 года назад +1

    Naikubali sana haya. Mambo yanatokea sana 2020 gonga like

  • @mcsailas8328
    @mcsailas8328 3 года назад +1

    Hii nyimbo siachagi kuisikiliza aisee nyimbo tamu balaa mziki live daaaaah

  • @immahfred2127
    @immahfred2127 7 лет назад +24

    hii ngoma naikubal miaka yote

  • @liliansafi4611
    @liliansafi4611 5 лет назад +8

    I'm still watching this song 2019

  • @kidympole1997
    @kidympole1997 2 года назад

    Naona Diamond na mwanae Zuchu wakaamua kuchukua idea ya video na kwa bahati mbaya na Wimbo Wao ukafungiwa video hakika vya kale ni zahabu
    I’m still watching may 13 2022

  • @watwegodaniel5220
    @watwegodaniel5220 2 года назад +7

    This song is a masterpiece, a classic.

  • @immahfred2127
    @immahfred2127 7 лет назад +16

    1 June 2017 still listening n watch it!!

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 6 лет назад +18

    I really missed that kind of songs

    • @ianbosireobiye1268
      @ianbosireobiye1268 5 лет назад +1

      Salome Mlagila please tell me the genre...this music is like my brain's poison, I could study days on end with this

    • @samwelmashauri9414
      @samwelmashauri9414 5 лет назад +1

      Niliachwa na dem wangu niliushindia huu wimbo

    • @maulidramadhani3964
      @maulidramadhani3964 5 лет назад

      @@samwelmashauri9414 hu hhu. Pl kijn

    • @sadatisabihi3818
      @sadatisabihi3818 2 года назад

      @@samwelmashauri9414 ahahahahah

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 Год назад

    Zamani mlikuwa mnajua sana acha tu Burudan iendelee

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 5 лет назад +3

    2019-2020 twende Kaz tulio kua tunasubli ndoa

  • @4a9tr-msigwa
    @4a9tr-msigwa 5 лет назад +2

    MUZIKI HUU UTAISHI SANA UNA UJUMBE MZURI

  • @ianbosireobiye1268
    @ianbosireobiye1268 5 лет назад +8

    Hii ndio sabuni ya roho; a classic blend; might I add bitter and sweet💟

  • @saidriphat3491
    @saidriphat3491 7 лет назад +12

    2016 bado huu wimbo ni mtamu

  • @barakangowi4790
    @barakangowi4790 6 лет назад +7

    huu wimbo umeimbwa vizuri bana

  • @elizabethantony780
    @elizabethantony780 4 года назад

    anae angalia 2020 twend sawa na cheche mtungi

  • @bilajasho449
    @bilajasho449 4 года назад

    duuh banana hebu njoo uangalie hii video maanaa umenenepa sana njoo ucheki huuu mwili lazima ulie

  • @mzaliwabalibanga2618
    @mzaliwabalibanga2618 5 лет назад +20

    bado naiangalia 2018/august/10

  • @japalablack1588
    @japalablack1588 4 года назад +1

    Hu wimbo doh.....
    Nishatendwa marakadhaa

  • @neemabaraka3800
    @neemabaraka3800 2 месяца назад

    Nipo hapa 2024

  • @AidanMlay
    @AidanMlay 5 лет назад +6

    FoREVER A CLASSIC TUNE!!!!!!!!

  • @godlistenkesau647
    @godlistenkesau647 4 года назад +5

    Wangap tupo apa 2019

  • @SIMULIZIZONE
    @SIMULIZIZONE 3 года назад

    Balaaaa hili

  • @rosejoachim7275
    @rosejoachim7275 2 года назад

    Babana Zoro wewe ni bonge la kifaa asikuambie mtu mweee

  • @etwelve5788
    @etwelve5788 3 года назад

    Zoba tupo wangapi jaman hii 2020

  • @bertinaafonsorapaz8345
    @bertinaafonsorapaz8345 2 года назад

    Mwengine aliekuja baada ya mtasubiri kufungiwa